<?xml version="1.0" encoding="utf-8"?> <document> <s id="1">Akiona kwamba Mt.</s> <s id="2">Mapema ulifuatwa mfano wa Wadominiko wa konventi zote kuwa na magereza, ila yajali utu.</s> <s id="3">Baadhi ziligeuka kuwa mashirika ya kitume, bila ya kuacha kanuni ya Kiklara.</s> <s id="4">Babu bora wa Kanisa lote, mt.</s> <s id="5">Ili kurekebisha maisha ya mapadri, toka zamani ulisisitizwa uundaji wa jumuia kati yao, ambamo waishi na kusali na kufanya utume kwa pamoja.</s> <s id="6">Katika karne ya XVII na XVIII hata Waurbani wakapata marekebisho yao hasa upande wa ufukara, Ufaransa na Italia.</s> <s id="7">Oxford iliwatoa hasa: nd.</s> <s id="8">Halikukosekana taji la ushahidi wa imani na wa ubikira (Waklara wote wa Tripoli mwaka 1289, na wote 70 wa Tolemais mwaka 1291).</s> <s id="9">Leo, nd.</s> <s id="10">Kwa kuwa Yohane XXIII alifariki tarehe 2-6-1963, vikao vitatu vya mwisho viliongozwa na mwandamizi wake, Paulo VI, na hati zote kumi na sita zikatolewa chini yake pia kwa kupigiwa kura ya ndiyo karibu kwa kauli moja.</s> <s id="11">Hoja ya msingi ilikuwa kwamba walio wengi wasingefanya bidii katika sala ya binafsi.</s> <s id="12">Miaka ya kukaa nje ya konventi ndiyo miaka ambapo mashirika mengi ya huduma yalianzishwa na watawa hao.</s> <s id="13">Baada ya Ukomunisti kuanguka (1989) matawi yote yamejitahidi kujiimarisha Ulaya Mashariki walipopata tena nafasi ya kuhubiri na kupokea miito, ambayo huko ni mingi.</s> <s id="14">Tena udugu haukuishia shirikani bali ulitakiwa kuenea kwa watu na viumbe vyote.</s> <s id="15">Ndivyo walivyofanya watawa wa mashirika mbalimbali, kwa kuwa haja ya urekebisho ilitambulikana na wote katika Kanisa la karne ya XV na ya XVI.</s> <s id="16">Polepole karama ya mwanzilishi na ya kila tawi ikaja kuzingatiwa tena kwa furaha, badala ya kujali masuala ya miundo tu.</s> <s id="17">Hata vita viliwapa nafasi za kujitoa kwa upendo kama mapadri wa wanajeshi, hasa katika kuzuia Waturuki Waislamu wasiteke Ulaya nzima kati ya mwaka 1571 na 1686.</s> <s id="18">Hata desturi ya Wakonventuali ya kupokea watoto ikaja kwisha karne ya XVI.</s> <s id="19">Kama yeye alitaka mafungamano imara na Utawa I, monasteri zote zikiwa chini ya Ndugu Wadogo, na wanne kati yao wakiwa tayari kuihudumia kila mojawapo.</s> <s id="20">Hivyo kwa kutofautisha kutumia vitu na kuvimiliki kisheria, Ndugu Wadogo waliweza kujidai fukara ingawa wanatumia vingi, eti si vya kwao!</s> <s id="21">SALA YA MOYO INANITAKASA Nimeathiriwa na vilema mbalimbali, kiasi kwamba matendo mema pia yamejaa umimi, kiburi, majivuno n.k.</s> <s id="22">Pius X (1903-1914) akatamka kwamba, "Watumishi wakuu wa familia tatu za Kifransisko wako sawa kwa heshima na mamlaka walizonazo, nao watazamwe sawia kama makamu na waandamizi halisi wa Mt.</s> <s id="23">Mpaka leo kanuni zake zinaongoza karibu wamonaki wote wa Mashariki, na kwa njia yao makanisa ya Orthodoksi kwa kuwa maaskofu kwanza ni wamonaki nao wanaelekeza wakristo wote kufuata mifano yao.</s> <s id="24">Kazi ya kawaida zaidi ilikuwa ile ya kuhubiri.</s> <s id="25">Pamoja na hayo, yalianzishwa mashirika mapya ya kiume Hispania, Ufaransa na hata Gwatemala kwa ajili ya huduma mbalimbali.</s> <s id="26">Bila ya kutembelea kanda za shirika, alishika uongozi wote mikononi mwake, akichagua Watumishi na walinzi, akihamisha ndugu, akituma wawakilishi wake huko na huko kusimamia kazi ya Watumishi, na akikataa kuitisha mkutano mkuu.</s> <s id="27">Upande wa Waklara alirekebisha au kuanzisha monasteri 22 kufuatana na kanuni ya I aliyoomba nakala yake halisi kwa monasteri mama ya Asizi.</s> <s id="28">Mikaeli, Gonzalo Garcia na Filipo wa Yesu, mabradha, ambao wote walifia dini Japani (+1597), hatimaye Mt.</s> <s id="29">Lakini Benedikto XV (1914-1922), baada ya kuona TOR inameza mashirika madogo ya Watersyari, aliiruhusu tena (1921) akipendekeza mashirika yote ya kiume na ya kike ya Utawa III wa Kifransisko yaungane nayo.</s> <s id="30">Hata karne ya XVI ilidai sana urekebisho wa Kanisa lote.</s> <s id="31">MAREKEBISHO KUANZA (1400-1517) Karne ya XV hadi ya XVIII ziliona monasteri za Waklara kuhuishwa tena, kufuatana na marekebisho ya Ndugu Wadogo (kama ilivyotokea kwa wanawake wa mashirika mengine), halafu na Mtaguso wa Trento na maagizo ya Mapapa, lakini pia kutokana na karama yenyewe ya Mt.</s> <s id="32">Kaisari wa Speyer afe kwa njaa kisha kumfunga).</s> <s id="33">Huko Uingereza na Irelandi baada ya kufukuzwa wote, kwa karne tatu Wafransiskani wakaendelea kuingia ili kufanya utume kwa siri kutoka Ulaya Bara walipopokea na kulea miito ya visiwa hivyo.</s> <s id="34">Mmojawao akasoma Misa mbele ya mfalme wa Kongo (1491) akambatiza (1495).</s> <s id="35">Zaidi ya mashirika 2000 yaliyoanzishwa baada ya hapo, hasa katika karne ya XIX, yalifuata kwa kiasi fulani mtindo huo, yakilenga hasa huduma fulani iliyoonekana inahitajika lakini haina wa kuitoa, k.mf. kuhubiri vijijini, kulea vijana, kufundisha fukara, kuuguza wagonjwa, kuanzisha misheni, kushughulikia upashanaji habari.</s> <s id="36">Baada ya kujitayarisha, nifanye nini? 5.1.</s> <s id="37">Miaka ishirini baada ya mtaguso kumalizika, sinodi maalumu iliyoitishwa ili kutathmini matokeo yake ilisema wazi kuwa kazi bado sana, kwa namna ya pekee kuhusu kulenga utakatifu kwa waamini wote.</s> <s id="38">Sala yenyewe mawazo mafupi ya imani kwa kutumia pengine kitabu mapenzi, yaani unyenyekevu, tumaini, upendo, sikitiko n.k. maombi: ya mwanga, ya kudumu mpaka mwisho na hasa ya kujaa upendo c.</s> <s id="39">Baada ya Wafransisko 354 wa Utawa I na III kufia dini, waamini wakaendelea kwa siri bila ya mapadri: wamisionari wapya walipofika (1865) wakakuta Wakristo wenye majina ya Kifransisko!</s> <s id="40">Nyumba za kitawa katika eneo hilo lote likafikia kuzidi 50, baadhi zikiwa na ndugu wasiopungua 20.</s> <s id="41">Pamoja na kuhubiri, wengine wametuachia kwa maandishi hotuba zao, mifano mingi na maelekezo juu ya namna ya kuhubiri.</s> <s id="42">Falsafa ya Wafransisko ilifuata ile ya Plato kumpitia Mt.</s> <s id="43">Vilevile Wakapuchini walienea sehemu hizo na Urusi.</s> <s id="44">Huko Misri Wafransiskani waliendelea hadi karne ya XIX.</s> <s id="45">Chuo chake mjini Roma kilianzishwa (1627) hasa kwa juhudi na ukarimu wa Kardinali Mkapuchini.</s> <s id="46">Walifuata kanuni ya mt.</s> <s id="47">Mojawapo ni tunda la Maria Klara Bouillevaux (+1871) aliyelianzisha Paris (1854), likifuata kanuni ya Utawa Hasa III na katiba maalumu, yenye jambo la pekee la kuabudu ekaristi saa zote.</s> <s id="48">Hatimaye yalijikuta mali zake zimepungua sana, na wanashirika vilevile, lakini waliobaki wametakaswa kiasi kikubwa.</s> <s id="49">Hata ndani ya Kanisa wengi wamesoma hati zake kijuujuu, wakishikilia upande mmoja na kutojali wa pili.</s> <s id="50">Lengo la sala hiyo ni "kuongea moyo kwa moyo" (mt.</s> <s id="51">Wakonventuali wasishiriki tena uchaguzi wa Mtumishi mkuu, wala kiongozi wao asiitwe Mtumishi bali Mwalimu mkuu tu!</s> <s id="52">Pia mikutano mikuu haikufanyika muda mrefu: katika OFM tangu 1768 hadi 1856; kwa Wakonventuali tangu 1789 hadi 1847.</s> <s id="53">KUANDIKA Kabla sijafunga sala ni vema niandike chochote: muhtasari wake au neno nililolitafakari au sala iliyochipuka moyoni mwangu au azimio nililolifikia au wazo fulani ambalo linaweza kunisaidia hapo baadaye.</s> <s id="54">Hivyo ni vigumu kufanikisha mtaguso.</s> <s id="55">Mambo hayo yalipotokana na msimamo wa moyo yalijenga kweli, tofauti na yalipofanyika kwa nje tu.</s> <s id="56">Basi, anajaribu kwa kila namna kunikatisha tamaa nisisali.</s> <s id="57">Utawa II hauna mwakilishi, kutokana na muundo wake wa monasteri zenye ugo.</s> <s id="58">Jumuia kubwa zaidi zilikuwa zile za kutolea huduma fulani, hasa kutunza wagonjwa.</s> <s id="59">Kuhusu uenezaji Injili kwa wasio Wakristo, karne ya XVI na XVII zilikuwa na miito mingi ya kimisionari, hata likatokea swali, "Je, Watumishi wanaweza kuzuia watawa wasiende kwenye nchi za misheni?".</s> <s id="60">Fransisko kanisa zuri sana, halafu jirani nalo konventi kubwa mno, ili kushindana na abasia za Wabenedikto.</s> <s id="61">UNYENYEKEVU "Sala ya mnyenyekevu hupenya mawingu".</s> <s id="62">Monasteri nyingine zikaanzishwa karne hiyohiyo Peruu, Ekwado, Kolombia, Chile, Gwatemala na Brazili.</s> <s id="63">Polepole Kanisa likawakubalia (1950) wito mpya wa mashirika ya ulimwenguni ambayo waamini wanawekwa wakfu wawe chumvi, mwanga na chachu kati ya watu.</s> <s id="64">"Kabla ya yote katika kutafakari kwangu natumia Injili: ndani yake naona yale yote ambayo roho yangu maskini ndogo inayahitaji.</s> <s id="65">Wiliamu wa Ockham (+1347) aliyepotosha falsafa akadai eti, akili haiwezi kujua yanayopita malimwengu: msimamo wake ukaenea sana, ukampa Martin Luther silaha dhidi ya imani katoliki, ukaathiri utamaduni wa Magharibi hadi leo.</s> <s id="66">Mwaka 1680 kwa wastani kulikuwa na ndugu 17 kwa nyumba; mwaka 1762 walifikia 20.</s> <s id="67">Fransisko, kwa jinsi alivyoathiriwa na roho hiyo.</s> <s id="68">Hata hivyo baadhi yao waliongoza vizuri na kuchangia amani ya Kanisa hadi ulipopatikana umoja wake na wa shirika mwaka 1418.</s> <s id="69">Jubilei ya miaka 700 tangu shirika lianze (1909), iliadhimishwa kwa fahari zaidi, kutokana na hali ya kutumainisha ya matawi yote.</s> <s id="70">Veronika Giuliani (+1727) aliyejaa karama na njozi tangu utotoni, alivyosimulia kwa utiifu na unyofu katika shajara yenye kurasa 22,000.</s> <s id="71">Hata hivyo uwepo wake umekuwa changamoto kwa matawi makubwa ambayo yakaanza kujirudi kidogo, baada ya kupungukiwa na wengi wasiokuwa na msimamo pamoja na kutambua matokeo ya majaribio yaliyofanywa; shida ni kwamba kujirekebisha baada ya kulegea sana si rahisi, hasa kama kazi hiyo inahusu idadi kubwa ya watu.</s> <s id="72">Ndugu Wadogo wakajiona kuwa shirika hilo jipya ambalo lilete Kanisa la Kiroho lenye kufuata ufukara.</s> <s id="73">Hivyo upendo pia unakua kwa kutaka zaidi nilingane na matakwa yake.</s> <s id="74">Karibu na monasteri za kiume kuliko na nyingine za kike.</s> <s id="75">MBONA SINA MOYO HUO?</s> <s id="76">Hapo wakasisitiza ndugu wasisome kwa ajili ya elimu, bali kwa kujirekebisha na kurekebisha wengine.</s> <s id="77">Kwa ajili hiyo aliilinganisha TOR na matawi matatu ya Utawa I: tangu hapo familia ya Kifransisko ikahesabiwa kuwa na Wakuu 4.</s> <s id="78">Mara nyingine Wakonventuali walipokea makundi hayo chini ya ulinzi wao ili kuwakomoa Waoservanti waliokuwa wanawadharau wakijidai ndio wafuasi halisi wa Mt.</s> <s id="79">Kumbe kabla ya hapo Tertius Ordo ilimaanisha kundi la tatu la waamini, yaani walei, waliopangwa baada ya makleri na watawa.</s> <s id="80">Upinzani wa Maaskofu na maparoko dhidi ya Ndugu Wadogo ulikuwa umeungwa mkono na chuo kikuu cha Paris: hapo hazikupingwa tu ruhusa kadhaa walizopewa, bali msingi wenyewe wa mtindo wao na wa Wadominiko.</s> <s id="81">Hiyo ni sheria hasa yenye namba 39.</s> <s id="82">Kutokana na kujitegemea kwa kila monasteri, Wabenedikto wakapata sura tofautitofauti bila ya kuachana na kanuni.</s> <s id="83">Kusema niseme kwa moyo hata nikitumia sala za mwingine: kama maneno yake hayalingani na moyo wangu itakuwa kazi bure.</s> <s id="84">Mtumishi wa kanda aliwatafuta sana, lakini walilindwa vizuri na Katerina Cibo, ndugu wa Papa.</s> <s id="85">Watawa waliozoea kwa miaka kadhaa kuishi mmojammoja ulimwenguni, walipolazimishwa na Kanisa kurudi konventini hawakukubali tena nidhamu ya nadhiri.</s> <s id="86">Karne ya kwanza ilizaa watakatifu 4 (Klara na Agnes wa Asizi, Agnes wa Praha na Kinga wa Hungaria) na wenye heri 6 katika nchi mbalimbali, hasa kutoka koo za kifalme.</s> <s id="87">Mtindo wake ulisisitiza ushirikiano kati ya ndugu kuliko uongozi wa abati na miundo mikubwa.</s> <s id="88">Vinsenti wa Paulo).</s> <s id="89">Kazi hiyo ilichukua miaka mingi kuliko ilivyotarajiwa, kwa kufikiria upya vipengele vyote vya maisha ya Kifransisko.</s> <s id="90">MTAGUSO II WA VATIKANO Muda mfupi baada ya kuchaguliwa papa mwenye heri Yohane XXIII alitangaza uamuzi wake wa kuitisha mtaguso mkuu akiamini kwamba utaweza kuandaa na kusababisha ustawi mpya wa maisha ya Kanisa.</s> <s id="91">Baadaye ikatokea migawanyiko mingine kati ya waliopewa na wasiopewa fadhili, yaani ruhusa za pekee.</s> <s id="92">Upinzani ukalipuka hasa baada ya Nikola III (1277-1280) kutoa hati nyingine juu ya kanuni (1279) ili kuwaondolea Ndugu Wadogo wasiwasi wowote kuhusu namna ya kuitekeleza, pamoja na kuwatetea dhidi ya maadui wa nje.</s> <s id="93">Inafaa niongee nao hasa mwanzoni mwa sala ya moyo ili waniongoze.</s> <s id="94">SALA YA MOYO INAIMARISHA MAISHA YANGU YA KIROHO Tofauti na wanyama, mimi kama binadamu natakiwa kuishi sio kimwili tu, bali hasa kiroho: yaani sio tu kwa ajili ya kula na kunywa, kuzaa na kustarehe, bali hasa kwa kushirikiana na Mungu na pia na watu, kwa njia ya upendo.</s> <s id="95">Ufransisko ulilingana kikamilifu na madai ya urekebisho ya walei, pia uliwapendeza viongozi wa Kanisa walioona ulivyookoa utiifu wa watu kwao: hivyo ulienea kasi ajabu, hata kati ya wanawake na watu wa ndoa.</s> <s id="96">Halafu, akiona maisha yao hayana toba na nidhamu za kutosha, ingawa Kardinali mlinzi alijitahidi, aliwaweka wote, wanaume kwa wanawake, chini ya Waoservanti (1567-1568).</s> <s id="97">"Nzi anayetaka kuonja utamu wa asali akizamisha mabawa yake ndani ya asali hawezi kuruka tena.</s> <s id="98">Vivyo hivyo, nikiwa na maombi, niyatoe, mradi niweke mbele mapenzi yake.</s>