<?xml version="1.0" encoding="utf-8"?>
<document>
<s id="1">Mifano ya kihistoria ya ubunifu unaotumia udongo ulioshindiliwa ni miji ya kihistoria kama Sanaa (Yemen) au Ait Benhaddou (Moroko).</s>
<s id="2">Orodha ya milima Sierra Pinacate ni mlima wa Meksiko katika Amerika ya Kaskazini.</s>
<s id="3">Tanaka alicheza Japani katika mechi 1.</s>
<s id="4">Wana mabawa marefu yaliyochogoka na kila bawa lina manyoya makuu kumi na moja, na hii inawapatia mruko nyofu wa mbio.</s>
<s id="5">Namba hurejea miaka 650 KK na 650 BK.</s>
<s id="6">Jina la Kiswahili na la lugha nyingine nyingi linatokana na kitenzi cha Kigiriki βαπτίζω (baptizo, maana yake nazamisha (nazika, nafunika) majini, naosha, lakini pia nanawa).</s>
<s id="7">7 Septemba 1916 siku ambako Wajerumani waliobaki mjini walijisalimisha mbele ya kikosi cha wanamaji Waingereza.</s>
<s id="8">Wakoloni Waingereza walianza kuchimba lalio la Nile kupitia eneo la Sadd mnamo mwaka 1900 wakilenga kuunda njia kwa meli za mtoni kupita hapa lakini mfereji huu haukusaidia kupita kwa maji haraka zaidi.</s>
<s id="9">Lugha ya C# na jukwaa ya .Net Framework zilizalishwa na kampuni ya Microsoft mwaka 2002.</s>
<s id="10">Kinajumuisha wasanii watatu: Oteraw, Kama na Johny.</s>
<s id="11">Lugha ya ni Kiingereza.</s>
<s id="12">Lakini baadaye walianza kuingilia zaidi na ilhali wakati ule walipendelea Watutsi karibu na machifu wote walikuwa Watutsi na Wahutu walipotea katika nafasi za uongozi kimahali.</s>
<s id="13">Wengine waliona jinsi familia yao ilivyouawa katika dhuluma za kidini.</s>
<s id="14">Mikoa ya Hispania Wikimedia Commons ina media kuhusu: Mkoa wa Valencia "Still D.R.E." ni wimbo wa Dr. Dre, umetolewa ukiwa kama wimbo kingozi wa albamu iliopata maplatinam kedekede ya 2001.</s>
<s id="15">Kamsoba alisainikatika klabu hiyo ya Victory iiliyopo katika A-League kwa mkataba wa miezi 18 mnamo 3 Januari 2019.</s>
<s id="16">Hii ilipelekea wanamuundo-uamilifu kufafanua tena na kupunguza upeo wa "utamaduni."</s>
<s id="17">Wikimedia Commons ina media kuhusu: 910 Papa Celestino II alikuwa papa kuanzia tarehe 25 Septemba 1143 hadi kifo chake tarehe 8 Machi 1144.</s>
<s id="18">Mikoa ya Chile Orodha ya nchi kufuatana na wakazi Wikimedia Commons ina media kuhusu: Chile (Kihispania) Serikali ya Chile tovuti rasmi Bertha Félicie Sophie von Suttner (9 Juni 1843 – 21 Juni 1914) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Austria.</s>
<s id="19">Aleksander alipiga mbio kukutana naye.</s>
<s id="20">Misri na Sudan Kaskazini zinalenga kukamilisha mradi kwa sababu wanaona faida ya kuongezeka kwa maji huko kwao.</s>
<s id="21">Ilhali ni nyepesi ya kufulika na hailiki haraka inapendwa kwa kutengeneza ala za musiki kama tarumbeta, tromboni , gunda au saksofoni ambapo husifiwa namna ya sauti inayotokea.</s>
<s id="22">Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kihaya imehesabiwa kuwa watu 1,300,000.</s>
<s id="23">Hula wadudu na pia mbegu na makokwa.</s>
<s id="24">"Yeye amwaminiye Mwana wa Mungu anao huo ushuhuda ndani yake.</s>
<s id="25">Wikimedia Commons ina media kuhusu: Miaka ya 1480 KK Adoniya alikuwa mwana wa Mfalme Daudi wa Israeli.</s>
<s id="26">Kabla ya kuaga dunia alimtaja Umar kama mfuasi wake.</s>
<s id="27">Wikimedia Commons ina media kuhusu: 157 Mia mbili arubaini na tisa ni namba inayoandikwa 249 kwa tarakimu za kawaida na CCXLIX kwa zile za Kirumi.</s>
<s id="28">Mshewa aliishi Martin Shafuri, mchungaji mwenyeji wa kwanza eneo la Mbaga baada ya wamisionari wa kwanza wa Kilutheri.</s>
<s id="29">Mchungaji huyo alikubali Mungu amchunge maisha yake yote, akamfuata bila ya wasiwasi, akituachia mfano bora wa kumshika mkono Mungu daima bila ya hofu.</s>
<s id="30">Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kitaiap haihusiani na lugha nyingine. lugha ya Kitaiap kwenye Multitree makala za OLAC kuhusu Kitaiap lugha ya Kitaiap katika Glottolog lugha ya Kitaiap kwenye Ethnologue Chanji ni jina la kata ya Wilaya ya Sumbawanga Mjini katika Mkoa wa Rukwa, Tanzania.</s>
<s id="31">Wengi wao ni Wahehe.</s>
<s id="32">Mikoa na Wilaya, imegawanywa katika tarafa 509.</s>
<s id="33">Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ina wakazi wapatao 13,829 waishio humo.</s>
<s id="34">Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kimungkip imehesabiwa kuwa watu 12 tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni.</s>
<s id="35">Wilaya ya Issia sasa imegawanywa katika tarafa zifuataz Boguédia; Iboguhé; Issia; Nahio; Namané; Saïoua; Tapéguia.</s>
<s id="36">Barbuda ina watu 1,638 tu.</s>
<s id="37">Idadi ya Wafransisko waliouingia ni ndogo kulingana na ile ya walioupinga tangu ulipoanza, kabla wengi hawajatambua hatari.</s>
<s id="38">Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kitabo iko katika kundi lake lenyewe la Kiwaia. lugha ya Kitabo kwenye Multitree makala za OLAC kuhusu Kitabo lugha ya Kitabo katika Glottolog lugha ya Kitabo kwenye Ethnologue Kibareli-Pauri ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wabareli.</s>
<s id="39">Upo mashariki mwa pwani ya Bahari Nyeusi kati ya Trabzon na Artvin.</s>
<s id="40">Glasgow ni mji mkubwa zaidi kuliko yote ndani Uskoti, myenye wakazi karibu ya nusu ya milioni, lakini Glasgow si mji mkuu (Bunge ya Uskoti katika Edinburgh.</s>
<s id="41">Katika miaka iliyofuata ilionekana umbo lilibadilika kiasi.</s>
<s id="42">Mwaka 1799 alipata ajira ya kwanza kama mwalimu wa hisabati na mwaka 1802 aliitwa kuwa mwalimu wa fizikia na kemia mjini Bourg-en-Bresse.</s>
<s id="43">Awali, uwezo wake ulimruhusu aweze kwenda mahali popote atakapo, kusimamisha wakati, au kusafiri kupitia wakati, lakini matukio ya hivi karibuni ya mfululizo yamezuia kupata nguvu zake kama awali.</s>
<s id="44">Ni wa pili kufanyika Magharibi, kwenye Kanisa kuu la Roma (Italia).</s>
<s id="45">Combined postcode list, tovuti ya TCRA, iliangaliwa Desemba 2019 Mlima Pingalame ni kati ya milima ya Usambara iliyoko katika Mkoa wa Manyara nchini Tanzania.</s>
<s id="46">Baadaye ardhi katika mazingira ya mji ilitolewa kwa walowezi Wazungu na kilimo cha biashara kilianza kuchangia.</s>
<s id="47">Mwaka 1972 malaki ya Wahutu waliuawa na jeshi la Kitutsi waliolenga hasa Wahutu wenye elimu.</s>
<s id="48">Madola ya Ujerumani yalipigana kati yao, na nchi za nje zilishiriki zikiwemo Hispania, Ufaransa, Uswidi, Uholanzi na Denmark.</s>
<s id="49">EKG ni muhimu kutambua ridhimu isiyo ya kawaida ya moyo, mtiririko duni wa damu kwenye misuli ya moyo, na tatizo linguine la kielektriki kama vile sindromu ndefu ya QT na -a Brugada.</s>
<s id="50">Kuna falsafa tofauti kwa kila dini kama vile: Falsafa ya Kihindu Falsafa ya Kibuddha Falsafa ya Kijaini Falsafa ya Kiyahudi Falsafa ya Kikristo Falsafa ya Kiislamu Falsafa ya Kikalasinga Sivas ni jina la mkoa uliopo mjini mashariki mwa sehemu ya kanda ya Anatolia ya Kati huko nchini Uturuki.</s>
<s id="51">Mashariki ya Kati inatawaliwa kwanza na Babuloni Mpya ya Wakaldayo, halafu na Uajemi uliozidi kuenea hadi kuwa dola kubwa kuliko yote yaliyotangulia.</s>
<s id="52">Orodha ya miji ya Urusi Diyadin ni mji na wilaya iliopo Mkoani Ağrı kwenye kanda ya Anatolia ya Mashariki huko nchini Uturuki.</s>
<s id="53">Sensa ya 2012, Shinyanga Region - Kahama Town Council Wilaya ya Wanging'ombe ni wilaya moja ya Mkoa wa Njombe.</s>
<s id="54">Sensa ya 2012, Geita Region – Geita District Council Itilo ni jina la kata ya Wilaya ya Nzega katika Mkoa wa Tabora, Tanzania yenye postikodi namba 45404 ..</s>
<s id="55">A bull Theresa Randle kacheza kama Juanita Jordan, mke wa Michael Jordan.</s>
<s id="56">Mtu maarufu zaidi wa kabila hilo ni Yesu aliyekuwa mwana wa Bikira Maria, lakini alijulikana kama mtoto wa Yosefu wa ukoo wa mfalme Daudi na kwa hiyo wa kabila la Yuda.</s>
<s id="57">Baada ya fitina za ndani kwa ndani, Dongbuyeo ikaanguka, na eneo lake likachukuliwa na Goguryeo.</s>
<s id="58">22 Julai 1974) ni mwigizaji wa filamu kutoka nchini Ujerumani.</s>
<s id="59">Chama cha Afro-Shirazi Party (ASP), kilichowakilisha hasa Waafrika, kilipoona kwamba bungeni kina viti vichache ingawa kilipata 54% za kura katika uchaguzi wa Julai 1963, kilipatana na chama cha mrengo wa kushoto Umma Party.</s>
<s id="60">Embu ni makao makuu ya Kaunti ya Embu.</s>
<s id="61">Science Aid: The leaf Encyclopedia_Americana_(1920): Leaves Kisiraya ilikuwa lugha ya Kiaustronesia nchini Taiwan iliyozungumzwa na Wasiraya.</s>
<s id="62">Wahispania walijenga dola kubwa la kikoloni na kutwaa karibu Amerika ya Kusini yote pamoja na Amerika ya Kati na Mexiko hadi sehemu za kusini za Marekani ya leo.</s>
<s id="63">Hutaga mayai 3-6 ardhini kwa manyasi.</s>
<s id="64">Injinitreni ya mvuke hutumia joto la kuwasha kuni, makaa au mafuta kuchemsha maji na kusukuma injini kwa nguvu ya mvuke wa maji.</s>
<s id="65">Wikimedia Commons ina media kuhusu: 420 KK Mia nne na kumi na nane ni namba inayoandikwa 418 kwa tarakimu za kawaida na CDXVIII kwa zile za Kirumi.</s>
<s id="66">Wanatokea mahali popote ambapo wanaweza kukamata wadudu wadogo: chini ya gamba la miti, katika takataka za majani, katika ardhi, chini ya mawe, katika nyufa za miamba, katika mapango na katika pwaji ya ufuko.</s>
<s id="67">Hutaga mayai yao chini kwa maeneo ya Akitiki.</s>
<s id="68">Mwanzoni, mfumo huu uliweza kuhimili hadi kb 64 ya kumbukumbu kuu.</s>
<s id="69">Mito ya Kenya Orodha ya mito ya kaunti ya Marsabit Geonames.org Lugha za Kisamoyedi ni familia ya lugha ambazo huzungumzwa nchini Urusi.</s>
<s id="70">Mwaka wa 1924, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Wasifu kwa tawasifu yake From Immigrant to Inventor ("Kwanza Mhamiaji, halafu Mvumbuzi").</s>
<s id="71">Binturongi ni mfupi lakini mzito kuliko fungo.</s>
<s id="72">Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigeji iko katika kundi la Kichadiki. lugha ya Kigeji kwenye Multitree makala za OLAC kuhusu Kigeji lugha ya Kigeji katika Glottolog http://www.ethnologue.com/language/gji Kikadara ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wakadara.</s>
<s id="73">Alipokuwa akijiunga na shule ya bweni (kutoka darasa la 7 - fomu 4) walimu wake walimtia moyo kujiunga na makundi ya muziki kama vile Drama Club, Shule ya Choir na Music Club.</s>
<s id="74">Mchezaji mkubwa kimwili, mara nyingi alicheza kama mshambuliaji lakini pia amecheza kama winger, kama kiungo cha kushambulia, na kama kituo cha kushambulia.</s>
<s id="75">Nishati ya mabomu ya hidrojeni yapita kiwango cha mabomu atomia mara 100.</s>
<s id="76">Baada ya kutua usoni iliweza kutuma tena data kwa dakika 23.</s>
<s id="77">Kutokana na kuwa kwake taratibu, konokono amekuwa akionekana kama alama ya uvivu.</s>
<s id="78">Pia kuna wasemaji 25,000 nchini Mali.</s>
<s id="79">Vigawo vyake vya namba tasa ni: 3 x 3 x 11 x 11.</s>
<s id="80">Shakivale wengi hula wanyama wadogo, lakini wengine hula wadudu na mizoga pia.</s>
<s id="81">Ubeti huu Nature karudi tena kwa Afrika nzima, anatetea wakimbizi wanaodhulumiwa misaada yao na viongozi au wasimamizi walafi.</s>
<s id="82">Hamas walikataa misaada hiyo hadi wanaharakati wote waliokuwa wameshikwa waachiliwe.</s>
<s id="83">Leo hii ni mji wa viwanda.</s>
<s id="84">Papa Marko alikuwa papa kwa miezi kadhaa tu kuanzia tarehe 18 Januari 336 hadi kifo chake tarehe 7 Oktoba 336.</s>
<s id="85">Luxemburg - bonde la mto Pétrusse Daraja la Petrusse Place d'Armes Kituo cha Reli Mtaa wa Grund mjini Luxemburg Bonde la mto Alzette Benki ya Mikopo ya Luxemburg Mto Mongo ni mto wa Mkoa wa Singida (Tanzania ya kati).</s>
<s id="86">Katika nyakati zile Marekani ilitawala sehemu za mashariki za Amerika ya Kaskazini tu na kupanua polepole kuelekea magharibi hadi kufikia Pasifiki na baadaye pia kutawala maeneo ya katikati.</s>
<s id="87">Wakati wa wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 6,028 walioishi humo.</s>
<s id="88">Orodha ya miji ya Ufaransa Wikimedia Commons ina media kuhusu: Le Mée-sur-Seine Wilaya ya Madi-Okollo ni wilaya mojawapo ya Mkoa wa Kaskazini, Uganda.</s>
<s id="89">Anamwua Hektor na kuacha maiti yake kwa siku 12 kwenye mchanga.</s>
<s id="90">Wakati wa ukoloni kulikuwa na kituo cha forodha na polisi lakini tangu kujengwa kwa barabara barani ndani zaidi hakuna kituo tena.</s>
<s id="91">Eneo lao katika Kenya ni hasa kaunti ya Busia. http://www.ethnologue.com/show_language.asp?code=bxk Mto Palagole unapatikana kaskazini mwa Uganda.</s>
<s id="92">Uvuvi katika ziwa ni sehemu muhimu ya uchumi kwa wenyeji.</s>
<s id="93">1991 Raila aliondoka Kenya kukimbilia Norwei akihofia maisha yake.</s>
<s id="94">Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 6 Septemba.</s>
<s id="95">Wikipedia ya Kipoland ni toleo la Wikipedia, kamusi elezo huru (Kipoland) Polish Wikipedia Mto Luwalisi ni kati ya mito ya mkoa wa Mbeya (Tanzania Kusini Magharibi) ambayo maji yake yanaishia katika bahari Hindi kupitia mto Zambezi.</s>
<s id="96">Japokuwa Umoja wa Mataifa mwaka 1947, uliamuru kurudishwa kwa nguzo hizo nchini Ethiopia, lakini Italia imekuwa ikikataa na kupelekea kusainiwa kwa mkataba juu ya nguzo hiyo, inayoaminika mionagoni mwa wananchi wa Ethiopia kuwa ishara ya Utaifa wao.</s>
<s id="97">Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2007, mji una wakazi wapatao 55,000 wanaoishi katika mji huu.</s>
<s id="98">Wana mkia mrefu kiasi, kichwa kwa umbo wa pembetatu na mboni za wima.</s>