Kipumbwi ist ein Gemeindebezirk im [[Pangani (Distrikt)|Distrikt Pangani]] an der Küste der [[Tanga (Region)|Tangaregion]] von Tansania.
Kimang'a ni jina la kata ya Wilaya ya Pangani katika Mkoa wa Tanga , Tanzania yenye Postikodi namba 21311.


Die Postleitzahl ist 21311. Bei der Volkszählung von 2012 hatte die Gemeinde 3,876 [1] Einwohner.
Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ina wakazi wapatao 3,876 [1] waishio humo.

Simon Cosmas Michael (im Volksmund bekannt als Simon Rieber, geboren am 18. Mai 1994 in Dar es Salaam, Tansania) ist ein digitaler Künstler, Geschäftsmann und Unternehmer aus Tansania.[1][2][3]
Simon Cosmas Michael (maarufu kama Simon Rieber alizaliwa Dar es salaam, Tanzania, 18 May 1994) ni msanii wa kidigitali, mfanyabiashara na mjasiriamali kutoka Tanzania.[1][2][3]

Externe Links
Viungo vya nje

Simon wurde als einer der einflussreichsten Online- und Jungunternehmer und einflussreichsten Menschen durch soziale Medien bei der Ermutigung junger Menschen zu Entwicklungsaktivitäten zitiert.
Simon ametajwa kuwa mmoja wa watu mashuhuri wa mitandaoni na mfanyabiashara wenye umri mdogo na mwenye ushawishi mkubwa kupitia mitandao ya kijamii katika kuhamasisha vijana katika shughuli za kimaendeleo.

Simon hat mit dem großen internationalen Unternehmen Adobe Illustrator im Bereich Malerei zusammengearbeitet.
Simon amewahi kushirikiana na kampuni kubwa ya kimataifa Adobe illustrator kwenye uchoraji.

Große Popularität erlangte er durch die sozialen Medien, die er nutzt, um seine Kunstwerke zu veröffentlichen.[1][2][3][4][5]
Amepata umaarufu wake mkubwa kupitia mitandao ya kijamii ambayo hutumia kuchapisha kazi zake za sanaa.[4][5][6][7][8]

Leben und Bildung
Maisha na elimu

Simon hat seine Informatikausbildung an der Universität von Dar es Salaam . studiert und abgeschlossen[1]
Simon amesoma na kumaliza elimu yake ya Sayansi ya Kompyuta katika Chuo Kikuu cha Dar es salaam.[1]

Unternehmen
Biashara

Nach seinem Abschluss in Informatik im Jahr 2011 war Simon in einem kleinen Unternehmen tätig und entschloss sich später, Malerei online zu studieren und begann 2018 seine offiziellen Arbeiten online zu veröffentlichen.[1]Große Popularität erlangte Simon auch durch soziale Medien, um junge Mädchen und Männer zu ermutigen und zu inspirieren, sich stärker auf das Unternehmertum zu konzentrieren, um selbstständig zu werden und sich aus der Armut zu befreien. Er war einer der jungen Leute, die soziale Medien nutzen konnten, um Veränderungen zu bewirken und andere zu erheben. Simon ist auch ein Investor in die Kunst der tansanischen Musik.[2]
Baada ya kumaliza masomo yake ya Sayansi ya Kompyuta mwaka 2011, Simon alikuwa akijihusisha na baishara ndogo ndogo baadae aliamua kujifunza uchoraji mtandaoni na kuanza kuchapisha kazi zake rasmi mtandaoni mnamo 2018.[1] pia Simon alipata umaarufu mkubwa kupitia mitandao ya kijamii katika kuhamasisha na kuwahiiza vijana wadogo wa kike na kiume katika kujikita zaidi katika ujasiariamali ili kuweza kujitegemea na kujikwamua katika umaskini. amekuwa mmoja wa vijana wenye umri mdogo waliowezakutumia mitandao ya kijamii katika kuleta mabadiliko na kuinua wengine Simon pia ni muwekezajazi katika sanaa ya muziki wa Tanzania.[2]

Verweise
Marejeo

Bedeutende Faltengebirge
Milima kunjamano muhimu

Faltengebirge entstehen, wenn mindestens zwei Platten der Erdkruste sich aufeinander zubewegen und aufeinander Druck ausüben, was dazu führt, dass die Kruste in der Kontaktzone der beiden Platten verformt und emporgedrückt („aufgefaltet“) wird (→ Gebirgsbildung).
Milima kunjamano hutokea wakati mabamba ya gandunia yanagongana. Shinikizo linasababisha kukunjwa kwa ganda la dunia na hili linafanya sehemu ya uso wa ardhi kuinuliwa juu.

Dabei entsteht eine einzelne Bergkette oder sogar eine ganze Reihe annähernd paralleler Bergketten, weshalb man auch von Kettengebirge spricht. Diese Bergketten sind im Kartenbild nicht selten bogenförmig.
Tokeo lake ni safu ya milima au pia mfululizo wa masafu yaliyo sambamba. .

Faltengebirge sind die häufigste Hochgebirgs­form auf der Erde. Im Gegensatz dazu erreichen Bruchschollengebirge nur Mittelgebirgshöhen.
Milima kunjamano ni umbo la kawaida kati ya milima mirefu duniani.

Viele europäische Mittelgebirge sind Bruchschollengebirge, bei denen sich die Schollen entlang der Bruchzonen als Ganzes heben oder senken, ohne dass es zur Faltung kommt. Allerdings können die Gesteine dieser Bruchschollengebirge in der geologischen Vergangenheit bereits eine Faltengebirgsbildung durchlaufen haben und sind daher trotzdem gefaltet.
Mifano ni milima ya Atlas katika Afrika ya Kaskazini, Alpi katika Ulaya na Himalaya katika Asia.

Dies ist z. B. beim Harz oder dem Rheinischen Schiefergebirge der Fall. Bruchschollengebirge bilden oft keine lange Gebirgskette sondern haben im Kartenbild eher rundliche oder ovale Form.
Kilimanjaro ni mlima mrefu lakini si mlima kunjamano kwa sababu ni volkeno ya pekee.

Vorgeschichte des Aufstandes
Historia ya awali

Yaa Asantewaa (* 1863; † 1923) war die Königinmutter von Edweso, eines Teilstaates des Aschantikönigreiches.
Yaa Asantewaa (* 1863; † 1923) alikuwa malkia mama wa Edweso, sehemu ya milki ya Ashanti.

Sie führte 1900 den letzten großen Aufstand der Aschanti gegen die britische Herrschaft über ihr Land und die damalige Goldküste, das spätere Ghana, an.
Mnamo mwaka 1900 aliongoza vita ya mwisho ya Waashanti dhidi ya uenezaji wa utawala wa Uingereza kwenye Gold Coast (leo Ghana).

1896 bereits hatten die Briten den letzten herrschenden Asantehene („König“) der Aschanti abgesetzt und in das mehrere tausend Kilometer entfernte Freetown verschleppt.
Kakaye Afrane Panin aliendelea kuwa Eijisuhene (mtawala) wa Eijisu. Yaa Asantetwaa aliishi maisha ya mkulima akaolewaa akamzaa binti mmoja.[2] Baada ya kuwa mtawala Afrane Panin alimfanya dada kuwa mama malkia. Afrane Panin alikufa mwaka 1894 na hapo Yaa Asantewaa alitumia nafasi yake ya malkia mama kumteua mjukuu wake kuwa Eijisuhene mpya.

1900 versuchten sie den Widerstandswillen der Aschanti endgültig zu brechen, indem sie die Herausgabe des Golden Stool, des goldenen Stuhles der Aschanti, verlangten.
Mwaka 1896 Waingereza walishambulia milki ya Ashanti wakaingia Kumasi na kumkamata Asantehene yaani mfalme wa Ashanti aliyetumwa nao ugenini. Alipaswa kukaa Shelisheli mbali na nchi yake. Waingereza walipora dhahabu na sanaa za Kumasi lakini walishindwa kupata kiti cha dhahabu cha kifalme ambacho ni ishara takatifu ya taifa lao kilichofichwa na askari wa Asantehene.

Dieser Goldene Stuhl galt seit den Tagen des Okomfo Anokye 1695 als Sitz der Seele des Aschantivolkes.
Eijisuhene yaani mjukuu wa Yaa Asantetwaa alikamatwa na kutumwa nje pamoja na Asantehene. Hivyo utawala wa Eijisu ulibaki mkononi mwa malkia mama. Kiongozi kwenye Vita ya Kiti cha Dhahabu Mwaka 1899 gavana Sir Frederick Hodgson wa Gold Coast alifikiri ya kwamba ugumu wa kutawala Waashanti ungepungua kama yeye mwenyewe angeshika kiti cha dhahabu.

Er war und ist das heiligste nationale Symbol dieses Volkes.
Hivyo gavana Hodgson mwenyewe alienda Kumasi akaita mkutano wa watawala wa maeneo ya Ashanti akadai kupewa kiti cha dhahabu. Hotuba hii ilikasirisha viongozi lakini waliondoka kimya. Walikutana baadaye kati yao wakishauriana namna gani kujibu.

Am 28. März 1900 berief der britische Gouverneur alle Oberhäupter der Aschanti aus dem Umkreis ihrer Hauptstadt Kumasi ein und verlangte von ihnen die Herausgabe des Goldenen Stuhles.
Alipoona ya kwamba wengine wa viongozi walitaka kunyamaza alitoa hotuba akiwauliza wakuu wengine namna gani waliweza kunyamaza tu na kusikiliza kimya maneno ya Mwingereza, na kama wameacha kuwa wanaume au kubadilishwa kuwa wanawake? Katika mkutano huu Yaa Asantewaa alichaguliwa kuwa kiongozi wa vita wa Ashanti. Mwenyewe au kupitia mwakilishi alisimamia mikutano ya kupanga hatua zilizochaguliwa.

Die versammelten Oberhäupter verließen die Versammlung ohne Antwort.
Hali halisi ilikuwa nusu tu ya watawala wa kieneo walioshiriki katika vita hii. Jeshi la Ashanti ilikutanana polepole na kuviringisha Waingereza katika boma la Kumasi lakini walikosa silaha za kushambulia boma lenyewe. Vita iliendelea hadi Julai wakati Waingereza walikusanya jeshi jipya kutoka vikosi vyao vya Sierra Leone na Nigeria na jeshi hili lilifika Kumasi kwenye Julai na kufukuza jeshi la Waashanti.

Gegen Ende des Aufstandes wurde Yaa Asantewaa von den Briten gefangen genommen und für den Rest ihres Lebens ebenso wie später der letzte Asantehene auf den Seychellen exiliert.
Kuelekea mwisho wa mapigano Yaa Asantewaa pamoja na viongozi wengine alitekwa na Waingereza na kupelekwa nje ya nchi kwenda Shelisheli.

Yaa Asantewaa ist heute noch eine legendäre und beliebte Figur in Ghana, insbesondere unter den Aschanti.
Hapo alikufa mwaka 1921. Miaka mitatu baadaye Asantehene aliruhusiwa kurudi Kumasi.

Auf dem 20 Cedi- Schein des unabhängigen Ghana der 1980er Jahre ist sie abgebildet.
Yaa Asantewaa anakumbukwa hadi leo na picha yake ilionekana kwenye pesa ya cedi 20 ya Ghana baada ya uhuru.

Das Bauhaus-Logo, 1922 entworfen von Oskar Schlemmer
Alama ya Bauhaus, mwaka 1922, iliyoundwa na Oskar Schlemmer

Das Staatliche Bauhaus wurde 1919 von Walter Gropius in Weimar als Kunstschule gegründet.
Staatliches Bauhaus ilikuwa chuo cha sanaa nchini Ujerumani.

Nach Art und Konzeption war es damals etwas völlig Neues, da das Bauhaus eine Zusammenführung von Kunst und Handwerk darstellte.
Ilianzishwa katika mwaka wa 1919 na Walter Gropius mjini Weimar na kuishi hadi mwaka 1933.

Das historische Bauhaus stellt heute die einflussreichste Bildungsstätte im Bereich der Architektur, der Kunst und des Designs im 20. Jahrhundert dar.
Kulingana na vyuo vyingine vya wakati huo, Bauhaus ilikuwa kitu kipya kabisa, tangu iliunganisha sanaa na ufundi katika mafundisho yake.

Das Bauhaus bestand von 1919 bis 1933 und gilt heute weltweit als Heimstätte der Avantgarde der Klassischen Moderne auf allen Gebieten der freien und angewandten Kunst.
Bauhaus ni chuo chenye ushawishi mkubwa sana katika uwanja wa usanifu, sanaa na design katika karne ya 20.

Die Resonanz des Bauhauses hält bis heute an und prägt wesentlich das Bild modernistischer Strömungen.
Leo inaonekana kama makao ya avant-garde ya Classic Modernism katika sanaa na usanifu.

Der Yssykköl (kirgisisch Ысыккөл/Yssykköl „heißer See“; russisch Иссык-Куль/Issyk-Kul) ist der größte See in Kirgisistan (Zentralasien).
Issyk Kul ( Kikirgizia: Yssykköl "ziwa moto"; Kirusi: Иссык-Куль) ni ziwa kubwa zaidi la nchi ya Kirgizia katika Asia ya Kati.

Nach dem südamerikanischen Titicacasee ist der im Tianshan-Gebirge liegende See mit 6236 km² Fläche der zweitgrößte Gebirgssee der Erde.
Ziwa hili liko katika milima ya Tian Shan na uso wake upo mita juu ya usawa wa bahari.

Er befindet sich im Gebiet Yssykköl, ist 182 km lang, 60 km breit, bis 668 m tief und liegt 1607 m über dem Meeresspiegel. Man nennt den See auch das „Herz des Tianshan“.
Eneo la maji ni km2 6236 na hivyo ni ziwa la mlimani kubwa la pili duniani baada ya Ziwa Titicaca (Amerika Kusini).

Nördlich des Sees liegt die Bergkette des Kungej-Alatau, südlich befindet sich die Kette des Terskej-Alatau.
Mito 118 inapeleka maji yao katika Issyk Kul.

In den Yssykköl münden 118 Flüsse. Wichtigste Zuflüsse sind Dschergalan, Tjup, Dschuku, Karakol und Dscheti-Ogus.
Muhimu zaidi ni mito ya Jergalan, Tjup, Dschuku, Karakol na Jeti-Ogus .

Besonderheiten
Tabia za pekee

Der Yssykköl gefriert trotz einer Lufttemperatur von bis zu −20 °C im Winter nie.
Maji ya Yssyk Kul hayagandi wakati wa baridi ingawa halijoto ya hewa hupua hadi sentigredi 20 chini ya sifuri.

Dies liegt vermutlich daran, dass die rasche Mischung zwischen Oberflächenwasser und Tiefenwasser (mit einer Temperatur von > 4 °C) im Winter eine Auskühlung der Oberfläche bis zum Gefrierpunkt verhindert.[3] Zudem wird die Temperatur der maximalen Dichte des Wassers aufgrund dessen Salzgehalts (ca. 6 g/kg) von 4 °C (Süßwasser) auf ≈ 2,6 °C verringert, was die Auskühlung des Wasserkörpers und somit das Zufrieren erschwert.[3] Als weitere Gründe für das Fehlen einer Eisdecke im Winter werden häufig auch die große Tiefe oder das Auftreten warmer Quellen am Seegrund angeführt; allerdings sind diese Voraussetzungen auch in anderen Seen erfüllt, die im Winter dennoch zufrieren (z. B. Baikalsee).
Inaaminiwa sababu yake hasa ni mwendo wa kuchanganya maji ya chini (yenye halijoto ya °C 4) na maji ya usoni (yanayopoa zaidi wakati wa baridi). Sababu ya ziada ni kiasi kidogo cha chumvi katika maji ya ziwa kinachofikia asilimia 0.6 (maji ya bahari huwa na % 3.5) Ziwa hilo halina njia ya kutoka, kwa hiyo maji yote yanayoingia hulingana na kiasi kinachopotea tena kwa njia ya uvukizaji.

Der See ist endorheisch, besitzt also mehrere Zuflüsse, aber keinen Abfluss. Über längere Zeiträume schwankt der Wasserspiegel deshalb durch lokale Klimaveränderungen stark.
[1]. Riwaya kadhaa za mwandishi Genghis Aitmatov zinasimulia hadithi za Issyk Kul.

Nutzung
Matumizi

Das ehemals fischreiche Stillgewässer ist sowohl Naturschutzgebiet als auch Erholungsgebiet. Am Ufer bzw. in der Nähe des Sees befinden sich die Städte Karakol und Tscholponata. Der See ist auch ein Schauplatz der Romane Tschingis Aitmatows.
Zamani Issyk Kul ilikuwa na maana kwa uvuvi wa samaki; siku hizi hutumiwa zaidi kwa utalii.

Am Ufer bei Tscholponata wurden prähistorische Felszeichnungen entdeckt, außerdem hat man Reste einer alten versunkenen Stadt im Yssykköl gefunden.
Karibu na ziwa iko miji ya Karakol na Cholponata .

Während der Zeit der Kirgisischen SSR wurde der See vom sowjetischen Militär zum Testen von Torpedos und Torpedosteuerungssystemen genutzt; große Wasser- und Uferareale waren militärische Geheim- und Sperrzonen. Im März 2008 gab die kirgisische Regierung bekannt, dass 866 Hektar der Karabulan-Halbinsel auf unbestimmte Zeit an die russische Marine verpachtet werden, die dort ihre Waffentests wieder aufnehmen will. Die Pacht soll etwa 4,5 Millionen US-Dollar pro Jahr betragen.
Wakati wa Umoja wa Kisovyeti (hadi 1991) maeneo makubwa ya ziwa na mwambao yalikuwa maeneo ya kijeshi; wanamaji walifanya hapa utafiti na majaribio ya topido.

Das Iranische Hochland, auch Persisches Plateau[1][2] (persisch فلات ایران Falāt-e Īrān) und ähnlich genannt, ist eine gebirgige Region in Asien, zwischen dem Zweistromland im Westen und der Hindukuschregion im Osten.
Nyanda za Juu za Iran, pia za Uajemi [1] [2] ( persisch ) ni eneo la milima katika Asia ya Magharibi, kati ya Mesopotamia upande wa magharibi na milima ya Hindu Kush upande wa mashariki. فلات ایران