# en/all.en-sw.xml.gz
# sw/all.en-sw.xml.gz


(src)="1"> about how long have these symptoms been going on ?
(trg)="1"> je , dalili hizi zimekuwa zikiendelea kwa takriban muda gani sasa ?

(src)="2"> and all chest pain should be treated this way especially with your age
(trg)="2"> na maumivu ya kifua yanapaswa kutibiwa hivi hasa umri wako ukizingatiwa

(src)="3"> and along with a fever
(trg)="3"> pamoja na joto jingi mwilini

(src)="4"> and also needs to be checked your cholesterol blood pressure
(trg)="4"> na pia kiwango chako cha kolesteroli na shinikizo la damu linapaswa kupimwa

(src)="5"> and are you having a fever now ?
(trg)="5"> na je , una joto jingi mwilini sasa ?

(src)="6"> and are you having any of the following symptoms with your chest pain
(trg)="6"> na je , una dalili zozote kati ya hizi pamoja na maumivu ya kifua chako

(src)="7"> and are you having a runny nose ?
(trg)="7"> na je , una mafua ?

(src)="8"> and are you having this chest pain now ?
(trg)="8"> na je , una maumivu haya ya kifua sasa ?

(src)="9"> and besides do you have difficulty breathing
(trg)="9"> kando na hayo , je una matatizo ya kupumua

(src)="10"> and can you tell me what other symptoms are you having along with this ?
(trg)="10"> na unaweza kuniambia ni dalili zipi zingine ulizo nazo pamoja na hizi ?

(src)="11"> and does this pain move from your chest ?
(trg)="11"> na je , maumivu haya yanasonga kutoka kwa kifua chako ?

(src)="12"> and drink lots of fluids
(trg)="12"> na unywe vinywaji vingi

(src)="13"> and how high has your fever been
(trg)="13"> na umekuwa na joto jingi mwilini lililo kali kiasi gani

(src)="14"> and i have a cough too
(trg)="14"> na nina kikohozi pia

(src)="15"> and i have a little cold and a cough
(trg)="15"> ninahisi mafua kidogo na kikohozi

(src)="16"> and i 'm really having some bad chest pain today
(trg)="16"> na nina maumivu mabaya sana ya kifua leo

(src)="17"> and is this the right time for your hay fever
(trg)="17"> na huu ndio wakati mwafaka wa homa yako ya mzio

(src)="18"> and it get the chest pain
(trg)="18"> na ninapata maumivu ya kifua

(src)="19"> and i think i have a little bit of a fever
(trg)="19"> na ninafikiri nina joto mwilini kiasi

(src)="20"> and i want you to describe where the chest pain is
(trg)="20"> na ninataka ufafanue mahali ambapo pana maumivu ya kifua

(src)="21"> and she is sorta have the same symptoms
(trg)="21"> na ni kama ana dalili sawa

(src)="22"> and tell me what symptoms are you having now ?
(trg)="22"> na niambie , ni dalili zipi ulizo nazo sasa ?

(src)="23"> and they 're having some fevers as well
(trg)="23"> na ana joto mwilini pia

(src)="24"> and with your history of diabetes
(trg)="24"> na kwa historia yako ya kisukari

(src)="25"> and you know it feels like my chest is like gonna crush
(trg)="25"> na unajua ninahisi kana kwamba kifua changu kitapasuka

(src)="26"> and you know people cough on me all the time
(trg)="26"> na unafahamu kuwa watu hunikoholea kila wakati

(src)="27"> and you 're having chest pain
(trg)="27"> na una maumivu ya kifua

(src)="28"> and your symptoms do not go away in five days
(trg)="28"> na dalili zako hazipotei katika muda wa siku tano

(src)="29"> and you said this is a pressure in your chest
(trg)="29"> na ulisema kwamba hili ni shinikizo kwenye kifua chako

(src)="30"> anyone in the family have a heart problem heart disease heart attack high cholesterol high blood pressure
(trg)="30"> mtu yeyote katika familia ana tatizo la moyo , ugongwa wa moyo , mshtuko wa moyo , kiwango cha juu cha kolesteroli , shinikizo la damu

(src)="31"> any other symptoms or problems that you notice with the muscle aches ?
(trg)="31"> kuna dalili zozote zingine au matatizo unayoona pamoja kwa maumivu ya misuli ?

(src)="32"> any sharp pain on your left side of your chest ?
(trg)="32"> kuna maumivu yoyote makali kwenye sehemu ya kushoto ya kifua chako ?

(src)="33"> are there other people sick as you at home with your same symptoms ?
(trg)="33"> je , kuna watu wengine ambao ni wagonjwa kama wewe walio nyumbani na dalili sawa na zako ?

(src)="34"> are you having any difficulty breathing now
(trg)="34"> una ugumu wowote wa kupumua sasa ?

(src)="35"> are you having any other symptoms ?
(trg)="35"> je , una dalili zozote zingine ?

(src)="36"> are you having any shortness of breath ?
(trg)="36"> je , unahisi kukatika kwa pumzi ?

(src)="37"> are you still having the chest pain
(trg)="37"> je , bado una maumivu ya kifua

(src)="38"> because this is flu season
(trg)="38"> kwa sababu huu ni msimu wa homa ya mafua

(src)="39"> besides the diabetes do you have other problems or important diseases ?
(trg)="39"> kando na kisukari , je , una matatizo mengine au magonjwa kuu ?

(src)="40"> but also we shouldn 't be put aside for the heart cardiac origin chest pain
(trg)="40"> lakini pia hatupaswi kutengwa kwa ajili ya maumivu ya kifua yanayotokana na mshtuk wa moyo

(src)="41"> but a more important problem now is this chest pain
(trg)="41"> lakini tatizo muhimu zaidi sasa ni maumivu haya ya kifua

(src)="42"> but if you have the cough
(trg)="42"> lakini ikiwa una kikohozi

(src)="43"> but i have difficulty breathing
(trg)="43"> lakini ni ugumu wa kupumua

(src)="44"> but i know lot of people cough on me
(trg)="44"> lakini ninajua watu wengi kuhokoa kwangu

(src)="45"> but we need to treat every chest pain with the utmost seriousness
(trg)="45"> lakini tunapaswa kuchukulia kila maumivu ya kifua kwa umakini mkubwa

(src)="46"> but you 're breathing all right right now right ?
(trg)="46"> lakini kwa sasa unapumua vizuri kabisa sio ?

(src)="47"> cause of this chest pain i totally forgot
(trg)="47"> nimesahau kabisa kilichosababisha maumivu haya ya kifua

(src)="48"> cause they 're having a cough
(trg)="48"> kwa sababu ana kikohozi

(src)="49"> does it feel like somebody squeezing your chest
(trg)="49"> je , unahisi kana kwamba mtu anakama kifua chako

(src)="50"> do still feel like shortness of breath
(trg)="50"> je bado unahisi kukatika pumzi

(src)="51"> do they complain of being sick similar symptoms ?
(trg)="51"> je , wanalalamika kuwa wagonjwa na dalili sawa ?

(src)="52"> do you have any blood pressure problem as far as you know ?
(trg)="52"> je , una tatizo lolote la shinikizo la damu kadri ujuavyo ?

(src)="53"> do you have any other chronic like high blood pressure or anything like that ?
(trg)="53"> je , una ugonjwa mwingine sugu kama vile shinikizo la damu au chochote sawa na hicho ?

(src)="54"> do you have any other diseases chronic medical problems like diabetes ?
(trg)="54"> je , una matatizo yoyote ya magonjwa sugu kama vile kisukari ?

(src)="55"> do you have any shortness of breath with that chest pain ?
(trg)="55"> je , unakatika pumzi pamoja na maumivu hayo ya kifua ?

(src)="56"> do you have high blood pressure ?
(trg)="56"> je , una shinikizo la damu ?

(src)="57"> do you have some shortness of breath goes with that ?
(trg)="57"> je , una unakatika pumzi unaochukuana na hilo ?

(src)="58"> do you know what symptoms she was having ?
(trg)="58"> je , unafahamu dalili aliokuwa nazo ?

(src)="59"> do your relatives have the same symptoms
(trg)="59"> je , jamaa zako wana dalili sawa

(src)="60"> do you see the image ?
(trg)="60"> je unaona taswira hiyo ?

(src)="61"> drink plenty of fluids today
(trg)="61"> kunywa bidhaa za majimaji kwa wingi leo

(src)="62"> have a dry cough a cold and runny nose vomiting diarrhea
(trg)="62"> nina kikohozi kikavu , homa na mafua , kutapika na kuendesha

(src)="63"> however i take tests for the diabetes
(trg)="63"> hata hivyo ninapimwa kwa ajili ya kisukari

(src)="64"> however she has symptoms quite similar to mine
(trg)="64"> hata hivyo , ana dalili karibu sawa na zangu

(src)="65"> how high is your fever ?
(trg)="65"> je , homa yako ni kali kiasi gani ?

(src)="66"> how ' s your blood pressure ?
(trg)="66"> kiwango cha shinikizo lako la damu ni kipi ?

(src)="67"> i don 't think i have high blood pressure
(trg)="67"> sidhani kwamba nina shinikizo la damu

(src)="68"> i feel a pain in the chest here in the front part of the chest
(trg)="68"> ninahisi maumivu kifuani katika sehemu ya mbele ya kifua

(src)="69"> if you continue to have high fevers
(trg)="69"> ukiendelea kuwa na joto jingi mwilini

(src)="70"> if you have a fever of a hundred and two or higher
(trg)="70"> iwapo una homa ya kiwango cha mia au mbili au zaidi

(src)="71"> if you think that your symptoms or problems warrant a better look
(trg)="71"> iwapo unafikiri kwamba dalili au matatizo yako yanahitaji kuangaliwa vyema zaidi

(src)="72"> i got a fever yesterday
(trg)="72"> nilishikwa na homa jana

(src)="73"> i got a slight fever too
(trg)="73"> nilikuwa na homa kidogo pia

(src)="74"> i had a fever yesterday
(trg)="74"> nilikuwa na homa jana

(src)="75"> i had a short sharp pain in my chest
(trg)="75"> nilikuwa na maumivu makali mafupi kifuani

(src)="76"> i have a sharp pain here in the chest
(trg)="76"> nina maumivu makali hapa kwenye kifua

(src)="77"> i have hay fever though too
(trg)="77"> nina homa inayoanza pia

(src)="78"> i have made on the body around the chest area ?
(trg)="78"> nimekuwa nayo mwilini karibu na eneo la kifua ?

(src)="79"> i have some difficulty breathing too
(trg)="79"> nina ugumu wa kupumua pia

(src)="80"> i 'll send you an image
(trg)="80"> nitakutumia taswira

(src)="81"> i 'm having some chest pain today
(trg)="81"> nina maumivu fulani ya kifua leo

(src)="82"> i 'm just having some headaches and some fever today
(trg)="82"> leo ninaumwa na kichwa na joto mwilini

(src)="83"> in my opinion it is flu
(trg)="83"> kwa maoni yangu ni homa ya mafua

(src)="84"> in my opinion this is a little flu
(trg)="84"> kwa maoni yangu hii ni homa kidogo tu ya mafua

(src)="85"> i see it going from the center of your chest going up to your neck
(trg)="85"> ninaweza kuiona ikitokea katikati ya kifua chako kuelekea kwenye shingo lako

(src)="86"> is it like some heavy heavy person sitting on your chest ?
(trg)="86"> je , ni kana kwamba mtu mzito mno anakalia kifua chako ?

(src)="87"> it all started with the headaches and with the fever about the same time
(trg)="87"> ilianza kwa maumivu ya kichwa na homa karibu siku moja

(src)="88"> it hurts in the chest
(trg)="88"> inauma ndani ya kifua

(src)="89"> it hurts in the middle of my chest
(trg)="89"> inaumia sehemu ya katikati mwa kifua

(src)="90"> it is a pressure like chest pain
(trg)="90"> ni maumivu ya kifua kama ya shinikizo

(src)="91"> it is in my chest
(trg)="91"> iko ndani ya kifua changu

(src)="92"> it is in the center of my chest
(trg)="92"> iko katikati ya kifua changu

(src)="93"> it is in the center of the chest
(trg)="93"> iko katikati ya kifua

(src)="94"> it is occurring right in the middle of my chest
(trg)="94"> inafanyika katikati ya kifua changu

(src)="95"> it is right in the center of my chest
(trg)="95"> iko katikati ya kifua changu hasa

(src)="96"> it sounds like you just may have the garden variety cold or a flu
(trg)="96"> inaonekana una homa au mafua aina ya garden

(src)="97"> i 've got pain in my chest
(trg)="97"> nina maumivu ya kifua

(src)="98"> i 've very concerned of this chest pain
(trg)="98"> nina wasiwasi sana kuhusu maumivu haya ya kifua

(src)="99"> i want you to tell me in describing this chest pain
(trg)="99"> ninataka uniambie kwa kufafanua maumivu haya ya kifua

(src)="100"> i will send you an image
(trg)="100"> nitakutumia taswira