# ss/Swahili-NT.xml.gz
# zh/Chinese-tok.xml.gz


(src)="b.MAT.1.1.1"> Yesu Kristo alikuwa mzawa wa Daudi , mzawa wa Abrahamu .
(src)="b.MAT.1.1.2"> Hii ndiyo orodha ya ukoo wake :
(trg)="b.MAT.1.1.1"> 亞伯拉罕 的 後裔 、 大衛 的 子孫 、 耶穌基督 的 家譜 . 〔 後裔 子孫 原文 都 作 兒子 下同

(src)="b.MAT.1.2.1"> Abrahamu alimzaa Isaka , Isaka alimzaa Yakobo , Yakobo alimzaa Yuda na ndugu zake ,
(trg)="b.MAT.1.2.1"> 亞伯拉罕 生 以撒 . 以撒 生 雅各 . 雅各 生猶 大和 他 的 弟兄

(src)="b.MAT.1.3.1"> Yuda alimzaa Faresi na Zera ( mama yao alikuwa Tamari ) , Faresi alimzaa Hesroni , Hesroni alimzaa Rami ,
(trg)="b.MAT.1.3.1"> 猶大 從 他 瑪氏 生法 勒斯 和 謝拉 . 法勒斯生希斯崙 . 希斯崙生 亞蘭

(src)="b.MAT.1.4.1"> Rami alimzaa Aminadabu , Aminadabu alimzaa Nashoni , Nashoni alimzaa Salmoni ,
(trg)="b.MAT.1.4.1"> 亞蘭生 亞米 拿達 . 亞米 拿 達生 拿順 . 拿順 生撒門

(src)="b.MAT.1.5.1"> Salmoni alimzaa Boazi ( mama yake Boazi alikuwa Rahabu ) .
(src)="b.MAT.1.5.2"> Boazi na Ruthi walikuwa wazazi wa Obedi , Obedi alimzaa Yese ,
(trg)="b.MAT.1.5.1"> 撒門從 喇合氏 生波阿斯 . 波阿斯從路 得 氏生 俄備得 . 俄備 得 生 耶西

(src)="b.MAT.1.6.1"> naye Yese alimzaa Mfalme Daudi .
(src)="b.MAT.1.6.2"> Daudi alimzaa Solomoni ( mama yake Solomoni alikuwa mke wa Uria ) .
(trg)="b.MAT.1.6.1"> 耶西 生 大衛王 。 大衛從烏 利亞 的 妻子 生 所羅門

(src)="b.MAT.1.7.1"> Solomoni alimzaa Rehoboamu , Rehoboamu alimzaa Abiya , Abiya alimzaa Asa ,
(trg)="b.MAT.1.7.1"> 所羅門 生 羅波安 . 羅波安 生亞比雅 . 亞比雅生 亞撒

(src)="b.MAT.1.8.1"> Asa alimzaa Yehoshafati , Yehoshafati alimzaa Yoramu , Yoramu alimzaa Uzia ,
(trg)="b.MAT.1.8.1"> 亞撒 生約 沙法 . 約沙法生 約蘭 . 約蘭 生烏西亞

(src)="b.MAT.1.9.1"> Uzia alimzaa Yothamu , Yothamu alimzaa Ahazi , Ahazi alimzaa Hezekia ,
(trg)="b.MAT.1.9.1"> 烏西亞生約坦 . 約坦 生亞哈斯 . 亞哈斯生 希西家

(src)="b.MAT.1.10.1"> Hezekia alimzaa Manase , Manase alimzaa Amoni , Amoni alimzaa Yosia ,
(trg)="b.MAT.1.10.1"> 希西家 生瑪拿西 . 瑪拿西 生 亞們 . 亞們 生約西亞

(src)="b.MAT.1.11.1"> Yosia alimzaa Yekonia na ndugu zake .
(src)="b.MAT.1.11.2"> Huo ulikuwa wakati Wayahudi walipopelekwa uhamishoni Babuloni .
(trg)="b.MAT.1.11.1"> 百姓 被 遷到 巴比倫 的 時候 、 約西亞生 耶哥 尼雅 和 他 的 弟兄

(src)="b.MAT.1.12.1"> Baada ya Wayahudi kupelekwa uhamishomi Babuloni : Yekonia alimzaa Shealtieli , Shealtieli alimzaa Zerobabeli ,
(trg)="b.MAT.1.12.1"> 遷到 巴比倫 之後 、 耶哥 尼雅 生 撒拉鐵 . 撒拉 鐵生 所 羅巴伯

(src)="b.MAT.1.13.1"> Zerobabeli alimzaa Abiudi , Abiudi alimzaa Eliakimu , Eliakimu alimzaa Azori ,
(trg)="b.MAT.1.13.1"> 所 羅巴伯生亞比玉 . 亞比玉生 以利 亞敬 . 以利 亞敬 生亞所

(src)="b.MAT.1.14.1"> Azori alimzaa Zadoki , Zadoki alimzaa Akimu , Akimu alimzaa Eliudi ,
(trg)="b.MAT.1.14.1"> 亞所生 撒督 . 撒督生 亞金 . 亞金 生以律

(src)="b.MAT.1.15.1"> Eliudi alimzaa Eleazeri , Eleazeri alimzaa Mathani , Mathani alimzaa Yakobo ,
(trg)="b.MAT.1.15.1"> 以 律生 以利亞撒 . 以利亞撒 生 馬但 . 馬但 生 雅各

(src)="b.MAT.1.16.1"> Yakobo alimzaa Yosefu , aliyekuwa mume wake Maria , mama yake Yesu , aitwaye Kristo .
(trg)="b.MAT.1.16.1"> 雅各 生 約瑟 、 就是 馬利亞 的 丈夫 . 那 稱為 基督 的 耶穌 、 是 從馬利亞 生的

(src)="b.MAT.1.17.1"> Basi , kulikuwa na vizazi kumi na vinne tangu Abrahamu mpaka Daudi , vizazi kumi na vinne tangu Daudi mpaka Wayahudi walipochukuliwa mateka Babuloni , na vizazi kumi na vinne tangu kuchukuliwa mateka mpaka wakati wa Kristo .
(trg)="b.MAT.1.17.1"> 這樣 、 從 亞伯拉罕 到 大衛 、 共 有 十四代 . 從 大衛 到 遷至 巴比倫 的 時候 、 也 有 十四代 . 從遷 至 巴比倫 的 時候 到 基督 、 又 有 十四 代

(src)="b.MAT.1.18.1"> Basi , hivi ndivyo Yesu Kristo alivyozaliwa : Maria , mama yake , alikuwa ameposwa na Yosefu .
(src)="b.MAT.1.18.2"> Lakini kabla hawajakaa pamoja kama mume na mke , alionekana kuwa mja mzito kwa uwezo wa Roho Mtakatifu .
(trg)="b.MAT.1.18.1"> 耶穌基督 降生 的 事 、 記在 下面 . 他 母親 馬利亞 已 經許 配 了 約瑟 、 還沒 有 迎娶 、 馬利亞 就 從聖 靈懷 了孕

(src)="b.MAT.1.19.1"> Yosefu , mumewe , kwa vile alikuwa mwadilifu , hakutaka kumwaibisha hadharani ; hivyo alikusudia kumwacha kwa siri .
(trg)="b.MAT.1.19.1"> 他 丈夫 約瑟 是 個義人 、 不 願意 明明 的 羞辱 他 、 想要 暗暗 的 把 他 休 了

(src)="b.MAT.1.20.1"> Alipokuwa bado anawaza jambo hilo , malaika wa Bwana alimtokea katika ndoto , akamwambia , " Yosefu , mwana wa Daudi , usiogope kumchukua Maria awe mke wako , maana amekuwa mja mzito kwa uwezo wa Roho Mtakatifu .
(trg)="b.MAT.1.20.1"> 正 思念 這 事 的 時候 、 有主 的 使者 向 他 夢中顯現 、 說 、 大衛 的 子孫 約瑟 、 不 要 怕 、 只 管 娶 過 你 的 妻子 馬利亞來 . 因 他所懷的孕 、 是 從聖靈 來的

(src)="b.MAT.1.21.1"> Atajifungua mtoto wa kiume , nawe utampa jina Yesu , kwa kuwa yeye atawaokoa watu wake kutoka katika dhambi zao . "
(trg)="b.MAT.1.21.1"> 他 將要 生 一 個 兒子 . 你 要 給他 起 名叫 耶穌 . 因 他 要 將 自己 的 百姓 從罪惡裡 救出來

(src)="b.MAT.1.22.1"> Basi , haya yote yalitukia ili litimie lile neno Bwana alilosema kwa njia ya nabii :
(trg)="b.MAT.1.22.1"> 這一切 的 事 成就 、 是 要 應驗 主 藉 先知 所 說的話

(src)="b.MAT.1.23.1"> " Bikira atachukua mimba , atamzaa mtoto wa kiume , naye ataitwa Emanueli " ( maana yake , " Mungu yu pamoja nasi " ) .
(trg)="b.MAT.1.23.1"> 說 、 『 必 有 童女 、 懷孕 生子 、 人 要 稱 他 的 名為 以 馬內利 。 』 ( 以 馬內 利繙 出來 、 就是 神與 我 們 同在 。

(src)="b.MAT.1.24.1"> Hivyo , Yosefu alipoamka usingizini alifanya kama malaika huyo alivyomwambia , akamchukua mke wake nyumbani .
(trg)="b.MAT.1.24.1"> 約瑟 醒了 、 起來 、 就 遵著 主使者 的 吩咐 、 把 妻子 娶過來

(src)="b.MAT.1.25.1"> Lakini hakumjua kamwe kimwili hata Maria alipojifungua mtoto wa kiume .
(src)="b.MAT.1.25.2"> Naye Yosefu akampa jina Yesu .
(trg)="b.MAT.1.25.1"> 只是 沒有 和 他 同房 、 等 他 生 了 兒子 、 〔 有 古 卷 作 等 他 生了頭胎 的 兒子 〕 就 給 他 起名 叫 耶穌

(src)="b.MAT.2.1.1"> Yesu alizaliwa mjini Bethlehemu , mkoani Yudea , wakati Herode alipokuwa mfalme .
(src)="b.MAT.2.1.2"> Punde tu baada ya kuzaliwa kwake , wataalamu wa nyota kutoka mashariki walifika Yerusalemu ,
(trg)="b.MAT.2.1.1"> 當 希律王 的 時候 、 耶穌生 在 猶太 的 伯利恆 . 有幾個 博士 從東 方來 到 耶路撒冷 、 說

(src)="b.MAT.2.2.1"> wakauliza , " Yuko wapi mtoto , Mfalme wa Wayahudi , aliyezaliwa ?
(src)="b.MAT.2.2.2"> Tumeiona nyota yake ilipotokea mashariki , tukaja kumwabudu . "
(trg)="b.MAT.2.2.1"> 那 生下 來作猶 太 人 之 王 的 在 那裡 。 我 們 在 東方 看見 他 的 星 、 特來 拜他

(src)="b.MAT.2.3.1"> Mfalme Herode aliposikia hayo , alifadhaika , yeye pamoja na wakazi wote wa Yerusalemu .
(trg)="b.MAT.2.3.1"> 希律王 聽見 了 、 就 心裡不安 . 耶路撒冷 合城 的 人 、 也 都 不安

(src)="b.MAT.2.4.1"> Basi akawaita pamoja makuhani wakuu wote na walimu wa Sheria , akawauliza , " Kristo atazaliwa wapi ? "
(trg)="b.MAT.2.4.1"> 他 就 召齊 了 祭司 長和 民間 的 文士 、 問他 們說 、 基督 當生 在 何處

(src)="b.MAT.2.5.1"> Nao wakamjibu , " Mjini Bethlehemu , mkoani Yudea .
(src)="b.MAT.2.5.2"> Ndivyo nabii alivyoandika :
(trg)="b.MAT.2.5.1"> 他 們 回答 說 、 在 猶太 的 伯利恆 . 因為 有 先知記 著說

(src)="b.MAT.2.6.1"> Ewe Bethlehemu katika nchi ya Yuda , kwa vyovyote wewe si mdogo kabisa kati ya viongozi wa Yuda ; maana kwako atatokea kiongozi atakayewaongoza watu wangu , Israeli . "
(trg)="b.MAT.2.6.1"> 『 猶大 地 的 伯利 恆阿 、 你 在 猶大 諸 城中 、 並 不 是 最 小 的 . 因 為將來 有 一 位 君王 、 要從 你 那 裡出來 、 牧養 我 以色列 民 。

(src)="b.MAT.2.7.1"> Hapo , Herode aliwaita faraghani hao wataalamu wa nyota , akawauliza wakati hasa ile nyota ilipowatokea .
(trg)="b.MAT.2.7.1"> 當下 希律 暗暗 的 召 了 博士來 、 細問 那 星 是 甚 麼時候 出現的

(src)="b.MAT.2.8.1"> Kisha akawatuma Bethlehemu akisema , " Nendeni mkachunguze kwa makini habari za mtoto huyo .
(src)="b.MAT.2.8.2"> Mkisha mpata nileteeni habari ili nami niende nikamwabudu . "
(trg)="b.MAT.2.8.1"> 就 差 他 們往 伯利 恆去 、 說 、 你 們去 仔細尋訪 那 小孩子 . 尋到 了 、 就 來報 信 、 我 也好 去 拜 他

(src)="b.MAT.2.9.1"> Baada ya kumsikiliza mfalme , hao wataalamu wa nyota wakaenda .
(src)="b.MAT.2.9.2"> Kumbe ile nyota waliyokuwa wameiona upande wa mashariki iliwatangulia hata ikaenda kusimama juu ya mahali pale alipokuwa mtoto .
(trg)="b.MAT.2.9.1"> 他 們聽見 王的話 、 就 去 了 . 在 東方 所 看見 的 那 星 、 忽然 在 他 們 前 頭行 、 直行 到 小孩子 的 地方 、 就 在 上頭 停住 了

(src)="b.MAT.2.10.1"> Walipoiona hiyo nyota , walifurahi mno .
(trg)="b.MAT.2.10.1"> 他 們看見 那 星 、 就 大大 的 歡喜

(src)="b.MAT.2.11.1"> Basi , wakaingia nyumbani , wakamwona yule mtoto pamoja na Maria mama yake ; wakapiga magoti , wakamsujudia .
(src)="b.MAT.2.11.2"> Kisha wakafungua hazina zao , wakampa zawadi : dhahabu , ubani na manemane .
(trg)="b.MAT.2.11.1"> 進 了 房子 、 看見 小孩子 和 他 母親 馬利亞 、 就 俯伏 拜 那 小孩子 、 揭開 寶盒 、 拿黃 金 乳香沒 藥為禮 物 獻給他

(src)="b.MAT.2.12.1"> Mungu aliwaonya katika ndoto wasimrudie Herode ; hivyo wakarudi makwao kwa njia nyingine .
(trg)="b.MAT.2.12.1"> 博士 因 為 在 夢中 被 主 指示 、 不 要 回去 見 希律 、 就 從別 的 路回 本地 去了

(src)="b.MAT.2.13.1"> Baada ya wale wageni kuondoka , malaika wa Bwana alimtokea Yosefu katika ndoto , akamwambia , " Amka !
(src)="b.MAT.2.13.2"> Mchukue mtoto pamoja na mama yake , mkimbilie Misri .
(src)="b.MAT.2.13.3"> Kaeni huko mpaka nitakapokwambia , maana Herode anakusudia kumwua huyu mtoto . "
(trg)="b.MAT.2.13.1"> 他 們去 後 、 有主 的 使者 向 約瑟夢 中 顯現 、 說 、 起來 、 帶 著 小孩子 同 他 母親 、 逃往 埃及 、 住在 那 裡 、 等 我 吩咐 你 . 因為 希律 必尋 找 小孩子 要 除 滅他

(src)="b.MAT.2.14.1"> Hivyo , Yosefu aliamka , akamchukua mtoto pamoja na mama yake , akaondoka usiku , akaenda Misri .
(trg)="b.MAT.2.14.1"> 約瑟 就 起來 、 夜間帶 著 小孩子 和 他 母親往 埃及去

(src)="b.MAT.2.15.1"> Akakaa huko mpaka Herode alipokufa .
(src)="b.MAT.2.15.2"> Jambo hilo lilifanyika ili neno alilosema Bwana kwa njia ya nabii litimie : " Nilimwita Mwanangu kutoka Misri . "
(trg)="b.MAT.2.15.1"> 住 在 那 裡 、 直 到 希律 死了 . 這是 要 應驗 主 藉 先知 所 說的話 、 說 、 『 我 從 埃及 召出 我 的 兒子來 。

(src)="b.MAT.2.16.1"> Herode alipogundua kwamba wale wataalamu wa nyota walikuwa wamemhadaa , alikasirika sana .
(src)="b.MAT.2.16.2"> Akaamuru watoto wote wa kiume mjini Bethlehemu na kandokando yake wenye umri wa miaka miwili na chini yake wauawe .
(src)="b.MAT.2.16.3"> Alifanya hivyo kufuatana na muda aliopata kujua kutoka kwa wale wataalamu wa nyota .
(trg)="b.MAT.2.16.1"> 希律 見 自己 被 博士 愚弄 、 就 大大 發怒 、 差人 將伯利 恆城裡 、 並四 境 所有 的 男孩 、 照著 他 向 博士仔 細查問 的 時候 、 凡兩歲 以 裡 的 、 都殺盡了

(src)="b.MAT.2.17.1"> Ndivyo yalivyotimia maneno yaliyosemwa kwa njia ya nabii Yeremia :
(trg)="b.MAT.2.17.1"> 這就應 了 先知 耶利米 的話 、 說

(src)="b.MAT.2.18.1"> " Sauti imesikika mjini Rama , kilio na maombolezo mengi .
(src)="b.MAT.2.18.2"> Raheli anawalilia watoto wake , wala hataki kutulizwa , maana wote wamefariki . "
(trg)="b.MAT.2.18.1"> 『 在 拉 瑪聽見號咷 大哭 的 聲音 、 是 拉結哭 他 兒女 、 不 肯 受 安慰 、 因為 他 們 都 不在了 。

(src)="b.MAT.2.19.1"> Baada ya kifo cha Herode , malaika wa Bwana alimtokea Yosefu katika ndoto kule Misri ,
(trg)="b.MAT.2.19.1"> 希律 死 了 以後 、 有主 的 使者 、 在 埃及 向 約瑟夢 中 顯現 、 說

(src)="b.MAT.2.20.1"> akamwambia , " Amka !
(src)="b.MAT.2.20.2"> Mchukue mtoto pamoja na mama yake , urudi tena katika nchi ya Israeli , maana wale waliotaka kumwua mtoto huyo wamekwisha kufa . "
(trg)="b.MAT.2.20.1"> 起來 、 帶 著 小孩子 和 他 母親往 以色列 地 去 . 因為 要害 小孩子 性命 的 人 已 經死了

(src)="b.MAT.2.21.1"> Basi , Yosefu aliamka , akamchukua mtoto pamoja na mama yake , akarejea katika nchi ya Israeli .
(trg)="b.MAT.2.21.1"> 約瑟 就 起來 、 把 小孩子 和 他 母親帶 到 以色列 地去

(src)="b.MAT.2.22.1"> Lakini Yosefu aliposikia kwamba Arkelao mwanawe Herode alikuwa mfalme wa Yudea mahali pa baba yake , aliogopa kwenda huko .
(src)="b.MAT.2.22.2"> Naye baada ya kuonywa katika ndoto , alikwenda katika mkoa wa Galilaya ,
(trg)="b.MAT.2.22.1"> 只因 聽見亞 基 老 接著 他 父親希律 作了 猶 太 王 、 就 怕 往那 裡 去 . 又 在 夢中 被 主 指示 、 便 往 加利利 境內 去了

(src)="b.MAT.2.23.1"> akahamia katika mji uitwao Nazareti .
(src)="b.MAT.2.23.2"> Ndivyo yalivyotimia maneno yaliyonenwa kwa njia ya manabii : " Ataitwa Mnazare . "
(trg)="b.MAT.2.23.1"> 到了 一 座 城 、 名叫 拿撒勒 、 就 住在 那 裡 . 這是 要 應驗 先知 所 說 、 他 將稱為 拿撒勒人 的 話了

(src)="b.MAT.3.1.1"> Siku hizo Yohane Mbatizaji alitokea , akaanza kuhubiri katika jangwa la Yudea :
(trg)="b.MAT.3.1.1"> 那時 、 有 施洗 的 約翰 出來 、 在 猶太 的 曠野傳道 、 說

(src)="b.MAT.3.2.1"> " Tubuni , maana Ufalme wa mbinguni umekaribia . "
(trg)="b.MAT.3.2.1"> 天國 近 了 、 你 們應當 悔改

(src)="b.MAT.3.3.1"> Huyu Yohane ndiye yule ambaye nabii Isaya alinena juu yake aliposema : " Sauti ya mtu imesikika jangwani : Mtayarishieni Bwana njia yake , nyoosheni vijia vyake . "
(trg)="b.MAT.3.3.1"> 這人 就是 先知 以 賽亞 所 說 的 、 他說 、 『 在 曠野 有 人 聲喊 著說 、 豫備主 的 道 、 修直 他 的 路 。

(src)="b.MAT.3.4.1"> Yohane alivaa vazi lililoshonwa kwa manyoya ya ngamia , na ukanda wa ngozi kiunoni mwake .
(src)="b.MAT.3.4.2"> Chakula chake kilikuwa nzige na asali ya mwituni .
(trg)="b.MAT.3.4.1"> 這 約翰 身穿 駱駝 毛 的 衣服 、 腰束 皮帶 、 喫 的 是 蝗蟲 野蜜

(src)="b.MAT.3.5.1"> Basi , watu kutoka Yerusalemu , kutoka mkoa wote wa Yudea na sehemu zote za kandokando ya mto Yordani , walimwendea ,
(trg)="b.MAT.3.5.1"> 那時 、 耶路撒冷 和 猶太 全 地 、 並約 但 河 一 帶 地方 的 人 、 都 出去 到 約翰 那 裡

(src)="b.MAT.3.6.1"> wakaziungama dhambi zao , naye akawabatiza katika mto Yordani .
(trg)="b.MAT.3.6.1"> 承認 他 們 的 罪 、 在 約但 河裡 受 他 的 洗

(src)="b.MAT.3.7.1"> Lakini alipowaona Mafarisayo wengi na Masadukayo wanamjia ili awabatize , aliwaambia , " Enyi kizazi cha nyoka !
(src)="b.MAT.3.7.2"> Ni nani aliyewadokezea kwamba mnaweza kuiepuka ghadhabu inayokuja ?
(trg)="b.MAT.3.7.1"> 約翰 看 見許 多 法 利賽人 和 撒 都 該人 、 也來 受洗 、 就 對 他 們說 、 毒蛇 的 種類 、 誰 指示 你 們逃避 將來 的 忿怒 呢

(src)="b.MAT.3.8.1"> Onyesheni basi kwa matendo , kwamba mmetubu kweli .
(trg)="b.MAT.3.8.1"> 你 們要 結出 果子 來 、 與悔改 的 心 相稱

(src)="b.MAT.3.9.1"> Msidhani kwamba mtaweza kujitetea kwa kusema , Baba yetu ni Abrahamu !
(src)="b.MAT.3.9.2"> Nawaambieni hakika , Mungu anaweza kuyafanya mawe haya yawe watoto wa Abrahamu .
(trg)="b.MAT.3.9.1"> 不要 自己 心 裡說 、 有 亞伯拉罕 為我們 的 袓宗 . 我 告訴 你 們 、 神 能 從這 些 石頭中給 亞伯拉罕 興 起子 孫來

(src)="b.MAT.3.10.1"> Basi , shoka liko tayari kuikata mizizi ya miti ; hivyo , kila mti usiozaa matunda mazuri , utakatwa na kutupwa motoni .
(trg)="b.MAT.3.10.1"> 現 在 斧子 已 經放 在 樹根 上 、 凡 不 結好 果子 的 樹 、 就 砍下 來 、 丟 在 火裡

(src)="b.MAT.3.11.1"> Mimi ninawabatizeni kwa maji kuonyesha kwamba mmetubu .
(src)="b.MAT.3.11.2"> Lakini yule anayekuja baada yangu ana uwezo kuliko mimi .
(src)="b.MAT.3.11.3"> Mimi sistahili hata kubeba viatu vyake .
(src)="b.MAT.3.11.4"> Yeye atawabatizeni kwa Roho Mtakatifu na kwa moto .
(trg)="b.MAT.3.11.1"> 我 是 用水 給 你 們施洗 、 叫 你 們悔改 . 但 那 在 我 以 後來 的 、 能力 比 我 更 大 、 我 就是 給 他 提鞋 、 也 不配 . 他 要 用 聖靈 與火給 你 們施洗

(src)="b.MAT.3.12.1"> Yeye anashika mkononi chombo cha kupuria nafaka , ili aipure nafaka yake ; akusanye ngano ghalani , na makapi ayachome kwa moto usiozimika . "
(trg)="b.MAT.3.12.1"> 他 手 裡 拿著 簸箕 、 要 揚淨 他 的 場 、 把 麥子 收 在 倉裡 、 把糠 用 不 滅 的 火燒盡 了

(src)="b.MAT.3.13.1"> Wakati huo Yesu alitoka Galilaya akafika katika mto Yordani , akamwendea Yohane ili abatizwe naye .
(trg)="b.MAT.3.13.1"> 當下 、 耶穌從 加利利 來到 約但 河 、 見 了 約翰 、 要 受 他 的 洗

(src)="b.MAT.3.14.1"> Lakini Yohane alijaribu kumzuia akisema , " Je , wewe unakuja kwangu ?
(src)="b.MAT.3.14.2"> Mimi hasa ndiye ninayehitaji kubatizwa nawe . "
(trg)="b.MAT.3.14.1"> 約翰 想要 攔住 他 、 說 、 我當受 你 的 洗 、 你 反倒 上 我 這裡來麼

(src)="b.MAT.3.15.1"> Lakini Yesu akamjibu , " Acha tu iwe hivyo kwa sasa , maana kwa namna hii inafaa tuyatekeleze yale yote Mungu anayotaka . "
(src)="b.MAT.3.15.2"> Hapo Yohane akakubali .
(trg)="b.MAT.3.15.1"> 耶穌 回答 說 、 你 暫且許 我 . 因為 我 們理當這樣盡諸 般的義 . 〔 或 作禮 〕 於是 約翰 許 了 他

(src)="b.MAT.3.16.1"> Mara tu Yesu alipokwisha batizwa , alitoka majini ; na ghafla mbingu zikafunguka , akaona Roho wa Mungu akishuka kama njiwa na kutua juu yake .
(trg)="b.MAT.3.16.1"> 耶穌 受 了 洗 、 隨即從水裡 上來 . 天 忽然為 他 開 了 、 他 就 看 見神 的 靈 、 彷彿鴿 子 降下 、 落在 他 身上

(src)="b.MAT.3.17.1"> Sauti kutoka mbinguni ikasema , " Huyu ndiye Mwanangu mpendwa , nimependezwa naye . "
(trg)="b.MAT.3.17.1"> 從天 上有聲 音說 、 這是 我 的 愛子 、 我 所 喜 悅 的

(src)="b.MAT.4.1.1"> Kisha Roho alimwongoza Yesu mpaka jangwani ili ajaribiwe na Ibilisi .
(trg)="b.MAT.4.1.1"> 當時 、 耶穌 被 聖靈 引 到 曠野 、 受 魔鬼 的 試探

(src)="b.MAT.4.2.1"> Akafunga siku arubaini mchana na usiku , na mwishowe akaona njaa .
(trg)="b.MAT.4.2.1"> 他 禁食 四十 晝 夜 、 後來 就 餓了

(src)="b.MAT.4.3.1"> Basi , mshawishi akamjia , akamwambia , " Ikiwa wewe ni Mwana wa Mungu , amuru mawe haya yawe mikate . "
(trg)="b.MAT.4.3.1"> 那 試探人 的 進前來 、 對他說 、 你 若是 神 的 兒子 、 可以 吩咐 這些 石頭變 成 食物

(src)="b.MAT.4.4.1"> Yesu akamjibu , " Imeandikwa katika Maandiko Matakatifu : Binadamu hataishi kwa mikate tu , ila kwa kila neno asemalo Mungu . "
(trg)="b.MAT.4.4.1"> 耶穌卻 回答 說 、 經上記 著說 、 『 人 活著 、 不 是 單靠 食物 、 乃是 靠 神口 裡 所 出 的 一切 話 。

(src)="b.MAT.4.5.1"> Kisha Ibilisi akamchukua mpaka Yerusalemu , mji mtakatifu , akamweka juu ya mnara wa hekalu ,
(trg)="b.MAT.4.5.1"> 魔鬼 就 帶 他 進 了 聖城 、 叫 他 站在 殿 頂上 、 〔 頂 原文 作翅

(src)="b.MAT.4.6.1"> akamwambia , " Ikiwa wewe ni Mwana wa Mungu , jitupe chini ; maana imeandikwa : Mungu atawaamuru malaika wake kwa ajili yako ; watakuchukua mikononi mwao , usije ukajikwaa kwenye jiwe . "
(trg)="b.MAT.4.6.1"> 對他說 、 你 若是 神 的 兒子 、 可以 跳 下去 . 因 為經 上 記著說 、 『 主要 為 你 吩咐 他 的 使者 、 用手 托 著 你 、 免得 你 的 腳碰 在 石頭 上 。

(src)="b.MAT.4.7.1"> Yesu akamwambia , " Imeandikwa pia : Usimjaribu Bwana , Mungu wako . "
(trg)="b.MAT.4.7.1"> 耶穌對 他 說 、 經上 又 記著說 、 『 不 可 試 探主 你 的 神 。

(src)="b.MAT.4.8.1"> Kisha Ibilisi akamchukua mpaka juu ya mlima mrefu , akamwonyesha falme zote za ulimwengu na fahari zake ,
(trg)="b.MAT.4.8.1"> 魔鬼 又 帶 他 上 了 一 座 最 高 的 山 、 將 世上 的 萬國 、 與萬國 的 榮華 、 都 指給 他 看

(src)="b.MAT.4.9.1"> akamwambia , " Hivi vyote nitakupa kama tu ukipiga magoti na kuniabudu . "
(trg)="b.MAT.4.9.1"> 對他說 、 你 若 俯伏 拜 我 、 我 就 把 這 一切 賜給你

(src)="b.MAT.4.10.1"> Hapo , Yesu akamwambia , " Nenda zako Shetani !
(src)="b.MAT.4.10.2"> Imeandikwa : Utamwabudu Bwana Mungu wako na kumtumikia yeye peke yake . "
(trg)="b.MAT.4.10.1"> 耶穌說 、 撒但 退去 罷 。 〔 撒但 就是 抵擋 的 意思 乃 魔鬼 的 別名 〕 因 為經 上 記著說 、 『 當 拜 主 你 的 神 、 單要事 奉 他 。

(src)="b.MAT.4.11.1"> Basi , Ibilisi akamwacha , na malaika wakaja , wakamhudumia .
(trg)="b.MAT.4.11.1"> 於是 魔鬼 離 了 耶穌 、 有 天使來 伺候 他

(src)="b.MAT.4.12.1"> Yesu aliposikia kwamba Yohane ametiwa gerezani alikwenda Galilaya .
(trg)="b.MAT.4.12.1"> 耶穌聽見 約翰 下 了 監 、 就 退到 加利利 去

(src)="b.MAT.4.13.1"> Aliondoka Nazareti , akaenda Kafarnaumu , mji ulio kando ya bahari ya Genesareti , mpakani mwa wilaya za Zabuloni na Naftali , akakaa huko .
(trg)="b.MAT.4.13.1"> 後 又 離開 拿撒勒 、 往迦 百 農 去 、 就 住在 那 裡 . 那 地 去 方 靠海 、 在 西 布倫 和 拿弗他利 的 邊界 上

(src)="b.MAT.4.14.1"> Ndivyo lilivyotimia lile neno lililosemwa kwa njia ya nabii Isaya :
(trg)="b.MAT.4.14.1"> 這是 要 應驗 先知 以 賽亞 的 話

(src)="b.MAT.4.15.1"> " Nchi ya Zabuloni na nchi ya Naftali , kuelekea baharini ng ' ambo ya mto Yordani , Galilaya nchi ya watu wa Mataifa !
(trg)="b.MAT.4.15.1"> 說 、 『 西 布 倫地 、 拿弗他利 地 、 就是 沿海 的 路 、 約但 河外 、 外邦人 的 加利利 地

(src)="b.MAT.4.16.1"> Watu waliokaa gizani wameona mwanga mkubwa .
(src)="b.MAT.4.16.2"> Nao walioishi katika nchi ya giza na kivuli cha kifo , mwanga umewaangazia ! "
(trg)="b.MAT.4.16.1"> 那 坐在 黑暗 裡 的 百姓 、 看見 了 大 光 、 坐在 死 蔭 之 地 的 人 、 有光 發現 照著 他 們 。

(src)="b.MAT.4.17.1"> Tangu wakati huo Yesu alianza kuhubiri akisema , " Tubuni , maana ufalme wa mbinguni umekaribia ! "
(trg)="b.MAT.4.17.1"> 從那時候 耶穌 就 傳起 道來 、 說 、 天國近 了 、 你 們應當 悔改

(src)="b.MAT.4.18.1"> Yesu alipokuwa anatembea kando ya ziwa Galilaya , aliwaona ndugu wawili wavuvi ; Simoni ( aitwae Petro ) na Andrea , ndugu yake ; walikuwa wakivua samaki kwa nyavu ziwani .
(trg)="b.MAT.4.18.1"> 耶穌 在 加利利 海邊 行走 、 看 見 弟兄 二 人 、 就是 那 稱呼 彼得 的 西門 、 和 他 兄弟 安得烈 、 在 海裡 撒網 . 他 們本 是 打 魚的

(src)="b.MAT.4.19.1"> Basi , akawaambia , " Nifuateni , nami nitawafanya ninyi wavuvi wa watu . "
(trg)="b.MAT.4.19.1"> 耶穌對 他 們說 、 來跟從 我 、 我 要 叫 你 們得 人 如 得魚一樣

(src)="b.MAT.4.20.1"> Mara wakaziacha nyavu zao , wakamfuata .
(trg)="b.MAT.4.20.1"> 他 們 就 立刻 捨了網 、 跟從 了 他

(src)="b.MAT.4.21.1"> Alipokwenda mbele kidogo , aliwaona ndugu wengine wawili : Yakobo na Yohane , wana wa Zebedayo .
(src)="b.MAT.4.21.2"> Hao walikuwa ndani ya mashua pamoja na baba yao Zebedayo , wakitengeneza nyavu zao .
(src)="b.MAT.4.21.3"> Basi Yesu akawaita ,
(trg)="b.MAT.4.21.1"> 從那裡 往前 走 、 又 看 見弟兄 二 人 、 就 是 西庇太 的 兒子 雅各 、 和 他 兄弟 約翰 、 同 他 們的 父親 西庇太 在 船上 補網 . 耶穌 就 招呼 他 們

(src)="b.MAT.4.22.1"> nao mara wakaiacha mashua pamoja na baba yao , wakamfuata .
(trg)="b.MAT.4.22.1"> 他 們立刻 捨 了 船 、 別 了 父親 、 跟從 了 耶穌

(src)="b.MAT.4.23.1"> Yesu alikuwa anakwenda kila mahali wilayani Galilaya , akifundisha katika masunagogi na kuhubiri Habari Njema juu ya ufalme wa Mungu .
(src)="b.MAT.4.23.2"> Aliponya kila namna ya maradhi na magonjwa waliyokuwa nayo watu .
(trg)="b.MAT.4.23.1"> 耶穌 走遍 加利利 、 在各會堂裡 教訓人 、 傳 天國 的 福音 、 醫治 百姓 各 樣 的 病症

(src)="b.MAT.4.24.1"> Habari zake zikaenea katika mkoa wote wa Siria .
(src)="b.MAT.4.24.2"> Wagonjwa wote wenye maradhi ya kila namna na wale waliosumbuliwa na kila namna ya taabu : waliopagawa na pepo , wenye kifafa na watu waliokuwa wamelemaa , walipelekwa kwake ; naye akawaponya wote .
(trg)="b.MAT.4.24.1"> 他 的 名聲 就 傳遍 了 敘利亞 . 那裡 的 人 把 一切 害病 的 、 就是 害 各 樣 疾病 、 各 樣 疼痛 的 、 和 被 鬼 附 的 、 癲癇 的 、 癱瘓 的 、 都帶了來 、 耶穌 就 治好 了 他 們

(src)="b.MAT.4.25.1"> Makundi mengi ya watu kutoka Galilaya , Dekapoli , Yerusalemu , Yudea na ng ' ambo ya mto Yordani , walimfuata .
(trg)="b.MAT.4.25.1"> 當下 、 有 許多 人 從加利利 、 低 加 波利 、 耶路撒冷 、 猶太 、 約但 河外 、 來 跟 著 他

(src)="b.MAT.5.1.1"> Yesu alipoyaona makundi ya watu , alipanda mlimani , akaketi .
(src)="b.MAT.5.1.2"> Wanafunzi wake wakamwendea ,
(trg)="b.MAT.5.1.1"> 耶穌 看 見這許 多 的 人 、 就 上 了 山 、 既 已 坐下 、 門徒 到 他 跟前來

(src)="b.MAT.5.2.1"> naye akaanza kuwafundisha :
(trg)="b.MAT.5.2.1"> 他 就 開口 教訓 他 們說

(src)="b.MAT.5.3.1"> " Heri walio maskini rohoni , maana ufalme wa mbinguni ni wao .
(trg)="b.MAT.5.3.1"> 虛心 的 人 有 福 了 . 因 為 天國是 他 們的

(src)="b.MAT.5.4.1"> Heri walio na huzuni , maana watafarijiwa .
(trg)="b.MAT.5.4.1"> 哀慟 的 人 有 福 了 . 因為 他 們必得 安慰

(src)="b.MAT.5.5.1"> Heri walio wapole , maana watairithi nchi .
(trg)="b.MAT.5.5.1"> 溫柔 的 人 有 福 了 . 因為 他 們必 承受 地土

(src)="b.MAT.5.6.1"> Heri wenye njaa na kiu ya kufanya atakavyo Mungu , maana watashibishwa .
(trg)="b.MAT.5.6.1"> 飢 渴慕義 的 人 有 福 了 . 因為 他 們必得 飽足

(src)="b.MAT.5.7.1"> Heri walio na huruma , maana watahurumiwa .
(trg)="b.MAT.5.7.1"> 憐恤 人 的 人 有 福 了 . 因為 他 們必 蒙憐恤

(src)="b.MAT.5.8.1"> Heri wenye moyo safi , maana watamwona Mungu .
(trg)="b.MAT.5.8.1"> 清心 的 人 有 福 了 . 因為 他 們必得 見神

(src)="b.MAT.5.9.1"> Heri wenye kuleta amani , maana wataitwa watoto wa Mungu .
(trg)="b.MAT.5.9.1"> 使 人 和睦 的 人 有 福 了 . 因為 他 們必稱為 神 的 兒子

(src)="b.MAT.5.10.1"> Heri wanaoteswa kwa sababu ya kufanya atakavyo Mungu , maana ufalme wa mbinguni ni wao .
(trg)="b.MAT.5.10.1"> 為義 受 逼迫 的 人 有 福 了 . 因 為 天國是 他 們的