# sw/barwani.xml.gz
# zh/jian.xml.gz


(src)="s1.1"> KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU .
(trg)="s1.1"> 奉至仁至慈的真主之名

(src)="s1.2"> Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu , Mola Mlezi wa viumbe vyote ;
(trg)="s1.2"> 一切赞颂全归真主 , 众世界 的主 ,

(src)="s1.3"> Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu ;
(trg)="s1.3"> 至仁至慈的主 ,

(src)="s1.4"> Mwenye Kumiliki Siku ya Malipo .
(trg)="s1.4"> 报应日的主 ,

(src)="s1.5"> Wewe tu tunakuabudu , na Wewe tu tunakuomba msaada .
(trg)="s1.5"> 我们只崇拜你 , 只求你祐助

(src)="s1.6"> Tuongoe njia iliyo nyooka ,
(trg)="s1.6"> 求你引领我们正路 ,

(src)="s1.7"> Njia ya ulio waneemesha , siyo ya walio kasirikiwa , wala walio potea .
(trg)="s1.7"> 你所祐助者的路 , 不是受谴怒者的路 , 也不是迷误者的路 。

(src)="s2.1"> Alif Lam Mim .
(trg)="s2.1"> 艾列弗 , 俩目 , 米目 。

(src)="s2.2"> Hiki ni Kitabu kisichokuwa na shaka ndani yake ; ni uwongofu kwa wachamungu ,
(trg)="s2.2"> 这部经 , 其中毫无可疑 , 是敬畏者的向导 。

(src)="s2.3"> Ambao huyaamini ya ghaibu na hushika Sala , na hutoa katika tuliyo wapa .
(trg)="s2.3"> 他们确信幽玄 , 谨守拜功 , 并分舍我所给与他们的 。

(src)="s2.4"> Na ambao wanayaamini yaliyo teremshwa kwako , na yaliyo teremshwa kabla yako ; na Akhera wana yakini nayo .
(trg)="s2.4"> 他们确信降示你的经典 , 和在你以前降示的经典 , 并且笃信後世 。

(src)="s2.5"> Hao wapo juu ya uwongofu utokao kwa Mola wao Mlezi , na hao ndio walio fanikiwa .
(trg)="s2.5"> 这等人 , 是遵守他们的主的正道的 ; 这等人 , 确是成功的 。

(src)="s2.6"> Hakika wale walio kufuru ni sawa kwao ukiwaonya au usiwaonye , hawaamini .
(trg)="s2.6"> 不信道者 , 你对他们加以警告与否 , 这在他们是一样的 , 他们毕竟不信道 。

(src)="s2.7.0"> Mwenyezi Mungu amepiga muhuri juu ya nyoyo zao na juu ya masikio yao , na juu ya macho yao pana kifuniko .
(src)="s2.7.1"> Basi watapata adhabu kubwa .
(trg)="s2.7"> 真主已封闭他们的心和耳 , 他们的眼上有翳膜 ; 他们将受重大的刑罚 。

(src)="s2.8"> Na katika watu , wako wasemao : Tumemwamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho , wala wao si wenye kuamini .
(trg)="s2.8"> 有些人说 : 我们已信真主和末日了 。 其实 , 他们绝不是信士 。

(src)="s2.9"> Wanatafuta kumdanganya Mwenyezi Mungu na wale walio amini , lakini hawadanganyi ila nafsi zao ; nao hawatambui .
(trg)="s2.9"> 他们想欺瞒真主和信士 , 其实 , 他们只是自欺 , 却不觉悟 。

(src)="s2.10.0"> Nyoyoni mwao mna maradhi , na Mwenyezi Mungu amewazidishia maradhi .
(src)="s2.10.1"> Basi watakuwa na adhabu chungu kwa sababu ya kusema kwao uwongo .
(trg)="s2.10"> 他们的心里有病 , 故真主增加他们的心病 ; 他们将为说谎而遭受重大的刑罚 。

(src)="s2.11.0"> Na wanapo ambiwa : Msifanye uharibifu ulimwenguni .
(src)="s2.11.1"> Husema : Bali sisi ni watengenezaji .
(trg)="s2.11"> 有人对他们说 : 你们不要在地方上作恶 。 他们就说 : 我们只是调解的人 。

(src)="s2.12"> Hakika wao ndio waharibifu , lakini hawatambui .
(trg)="s2.12"> 真的 , 他们确是作恶者 , 但他们不觉悟 。

(src)="s2.13.0"> Na wanapo ambiwa : Aminini kama walivyo amini watu .
(src)="s2.13.1"> Husema : Tuamini kama walivyo amini wapumbavu ?
(src)="s2.13.2"> Hakika wao ndio wapumbavu , lakini hawajui tu .
(trg)="s2.13"> 有人对他们说 : 你们应当象众人那样信道 。 他们就说 : 我们能象愚人那样轻信吗 ? 真的 , 他们确是愚人 , 但他们不知道 。

(src)="s2.14.0"> Na wanapo kutana na walio amini husema : Tumeamini .
(src)="s2.14.1"> Na wanapo kuwa peke yao na mashet'ani wao husema : Hakika sisi tu pamoja nanyi .
(src)="s2.14.2"> Hakika sisi tunawadhihaki tu .
(trg)="s2.14"> 他们遇见信士们就说 : 我们已信道了 。 他们回去见了自己的恶魔 , 就说 : 我们确是你们的同党 , 我们不过是愚弄他们罢了 。

(src)="s2.15"> Mwenyezi Mungu atawadhihaki wao na atawawacha katika upotofu wao wakitangatanga ovyo .
(trg)="s2.15"> 真主将用他们的愚弄还报他们 , 将任随他们彷徨於悖逆之中 。

(src)="s2.16"> Hao ndio walio nunua upotofu kwa uwongofu ; lakini biashara yao haikupata tija , wala hawakuwa wenye kuongoka .
(trg)="s2.16"> 这等人 , 以正道换取迷误 , 所以他们的交易并未获利 , 他们不是遵循正道的 。

(src)="s2.17"> Mfano wao ni kama mfano wa aliye koka moto , na ulipo tanda mwangaza wake kote kote Mwenyezi Mungu aliiondoa nuru yao na akawawacha katika giza , hawaoni .
(trg)="s2.17"> 他们譬如燃火的人 , 当火光照亮了他们的四周的时候 , 真主把他们的火光拿去 , 让他们在重重的黑暗中 , 甚麽也看不见 。

(src)="s2.18"> Viziwi , mabubu , vipofu ; kwa hivyo hawatarejea .
(trg)="s2.18"> ( 他们 ) 是聋的 , 是哑的 , 是瞎的 , 所以他们执迷不悟 。

(src)="s2.19.0"> Au ni kama mvua kubwa itokayo mbinguni , ina giza na radi na umeme ; wakawa wakitia vidole vyao masikioni mwao kwa ajili ya mingurumo , kwa kuogopa kufa .
(src)="s2.19.1"> Na Mwenyezi Mungu amewazunguka makafiri .
(trg)="s2.19"> 或者如遭遇倾盆大雨者 , 雨里有重重黑暗 , 又有雷和电 , 他们恐怕震死 , 故用手指塞住耳朵 , 以避疾雷 。 真主是周知不信道的人们的 。

(src)="s2.20.0"> Unakaribia umeme kunyakua macho yao .
(src)="s2.20.1"> Kila ukiwatolea mwangaza huenda , na unapo wafanyia giza husimama .
(src)="s2.20.2"> Na angelitaka Mwenyezi Mungu angeliondoa kusikia kwao na kuona kwao .
(src)="s2.20.3"> Hakika Mwenyezi Mungu ni Muweza wa kila kitu .
(trg)="s2.20"> . 电光几乎夺了他们的视觉 , 每逢电光为他们而照耀的时候 , 他们在电光中前进 ; 黑暗的时候 , 他们就站住 。 假如真主意欲 , 他必褫夺他们的听觉和视觉 。 真主对於万事确是全能的 。

(src)="s2.21.0"> Enyi watu !
(src)="s2.21.1"> Muabuduni Mola wenu Mlezi aliye kuumbeni nyinyi na wale wa kabla yenu , ili mpate kuokoka .
(trg)="s2.21"> 众人啊 ! 你们的主 , 创造了你们 , 和你们以前的人 , 你们当崇拜他 , 以便你们敬畏 。

(src)="s2.22.0"> ( Mwenyezi Mungu ) ambaye amekufanyieni hii ardhi kuwa kama tandiko , na mbingu kama paa , na akateremsha maji kutoka mbinguni , na kwayo akatoa matunda yawe riziki zenu .
(src)="s2.22.1"> Basi msimfanyizie Mwenyezi Mungu washirika , na hali nyinyi mnajua .
(trg)="s2.22"> 他以大地为你们的席 , 以天空为你们的幕 , 并且从云中降下雨水 , 而借雨水生许多果实 , 做你们的给养 , 所以你们不要明知故犯地给真主树立匹敌 。

(src)="s2.23"> Na ikiwa mna shaka kwa hayo tuliyo mteremshia mja wetu basi leteni sura moja ya mfano wake , na muwaite mashahidi wenu badala ya Mwenyezi Mungu , ikiwa mnasema kweli .
(trg)="s2.23"> 如果你们怀疑我所降示给我的仆人的经典 , 那末 , 你们试拟作一章 , 并舍真主而祈祷你们的见证 , 如果你们是诚实的 。

(src)="s2.24"> Na mkitofanya - na wala hamtofanya kamwe - basi uogopeni moto ambao kuni zake ni watu na mawe walio andaliwa hao wanao kanusha .
(trg)="s2.24"> 如果你们不能作 ─ ─ 你们绝不能作 ─ ─ 那末 , 你们当防备火狱 , 那是用人和石做燃料的 , 已为不信道的人们预备好了 。

(src)="s2.25.0"> Na wabashirie walio amini na wakatenda mema kwamba watapata mabustani yapitayo mito kati yake ; kila watapo pewa matunda humo , watasema : Haya ndiyo kama tuliyo pewa mbele .
(src)="s2.25.1"> Na wataletewa matunda yaliyo fanana ; na humo watakuwa na wake walio takasika ; na wao humo watadumu .
(trg)="s2.25"> 你当向信道而行善的人报喜 ; 他们将享有许多下临诸河的乐园 , 每当他们得以园里的一种水果为给养的时候 , 他们都说 : 这是我们以前所受赐的 。 其实 , 他们所受赐的是类似的 。 他们在乐园里将享有纯洁的配偶 , 他们将永居其中 。

(src)="s2.26.0"> Hakika Mwenyezi Mungu haoni haya kutoa mfano hata wa mbu na ulio wa zaidi yake .
(src)="s2.26.1"> Ama wale walio amini hujua ya kwamba hiyo ni haki iliyo toka kwa Mola wao Mlezi , lakini wale walio kufuru husema : Ni nini analo kusudia Mwenyezi Mungu kwa mfano huu ?
(src)="s2.26.2"> Kwa mfano huu huwapoteza wengi na huwaongoa wengi ; lakini hawapotezi ila wale wapotovu ,
(trg)="s2.26"> 真主的确不嫌以蚊子或更小的事物设任何譬喻 ; 信道者 , 都知道那是从他们的主降示的真理 ; 不信道者 , 却说 : 真主设这个譬喻的宗旨是甚麽 ? 他以譬喻使许多人入迷途 , 也以譬喻使许多人上正路 ; 但除悖逆者外 , 他不以譬喻使人入迷途 。

(src)="s2.27"> Wanao vunja ahadi ya Mwenyezi Mungu baada ya kwisha ifunga , na wakayakata aliyo amrisha Mwenyezi Mungu kuungwa , na wakafanya uharibifu katika nchi ; hao ndio wenye khasara .
(trg)="s2.27"> 他们与真主缔约之後 , 并断绝真主命人联络的 , 且在地方上作恶 ; 这等人 , 确是亏折的 。

(src)="s2.28.0"> Vipi mnamkanusha Mwenyezi Mungu na hali mlikuwa wafu akakufufueni !
(src)="s2.28.1"> Kisha atakufisheni , tena atakufufueni , kisha kwake mtarejeshwa ? .
(trg)="s2.28"> 你们怎麽不信真主呢 ? 你们原是死的 , 而他以生命赋予你们 , 然後使你们死亡 , 然後使你们复活 ; 然後你们要被召归於他 。

(src)="s2.29.0"> Yeye ndiye aliye kuumbieni vyote vilivyomo katika ardhi .
(src)="s2.29.1"> Tena akazielekea mbingu , na akazifanya mbingu saba .
(src)="s2.29.2"> Naye ndiye Mjuzi wa kila kitu .
(trg)="s2.29"> 他已为你们创造了大地上的一切事物 , 复经营诸天 , 完成了七层天 。 他对於万物是全知的 。

(src)="s2.30.0"> Na pale Mola wako Mlezi alipo waambia Malaika : Mimi nitamweka katika ardhi Khalifa ( mfwatizi ) , wakasema : Utaweka humo atakaye fanya uharibifu humo na kumwaga damu , hali sisi tunakutakasa kwa sifa zako na tunakutaja kwa utakatifu wako ?
(src)="s2.30.1"> Akasema : Hakika Mimi nayajua msiyo yajua .
(trg)="s2.30"> 当时 , 你的主对众天神说 : 我必定在大地上设置一个代理人 。 他们说 : 我们赞你超绝 , 我们赞你清净 , 你还要在大地上设置作恶和流血者吗 ? 他说 : 我知道你们所不知道的 。

(src)="s2.31"> Na akamfundisha Adam majina ya vitu vyote , kisha akaviweka mbele ya Malaika , na akasema : Niambieni majina ya hivi ikiwa mnasema kweli .
(trg)="s2.31"> 他将万物的名称 , 都教授阿丹 , 然後以万物昭示众天神 , 说 : 你们把这些事物的名称告诉我吧 , 如果你们是诚实的 。

(src)="s2.32.0"> Wakasema : Subhanaka , Wewe umetakasika !
(src)="s2.32.1"> Hatuna ujuzi isipokuwa kwa uliyo tufunza Wewe .
(src)="s2.32.2"> Hakika Wewe ndiye Mjuzi Mwenye hikima .
(trg)="s2.32"> 他们说 : 赞你超绝 , 除了你所教授我们的知识外 , 我们毫无知识 , 你确是全知的 , 确是至睿的 。

(src)="s2.33.0"> Akasema : Ewe Adam !
(src)="s2.33.1"> Waambie majina yake .
(src)="s2.33.2"> Basi alipo waambia majina yake alisema : Sikukwambieni kwamba Mimi ninajua siri za mbinguni na za duniani , na ninayajua mnayo yadhihirisha na mliyo kuwa mnayaficha ?
(trg)="s2.33"> 他说 : 阿丹啊 ! 你把这些事物的名称告诉他们吧 。 当他把那些事物的名称告诉他们的时候 , 真主说 : 难道我没有对你们说过吗 ? 我的确知道天地的幽玄 , 我的确知道你们所表白的 , 和你们所隐讳的 。

(src)="s2.34"> Na tulipo waambia Malaika : Msujudieni Adam , wakamsujudia wote isipo kuwa Iblis , alikataa na akajivuna na akawa katika makafiri .
(trg)="s2.34"> 当时 , 我对众天神说 : 你们向阿丹叩头吧 ! 他们就叩头 , 惟有易卜劣厮不肯 , 他自大 , 他原是不信道的 。

(src)="s2.35.0"> Na tulisema : Ewe Adam !
(src)="s2.35.1"> Kaa wewe na mkeo katika Bustani , na kuleni humo maridhawa popote mpendapo , lakini msiukaribie mti huu tu ; mkawa katika wale walio dhulumu .
(trg)="s2.35"> 我说 : 阿丹啊 ! 你和你的妻子同住乐园吧 ! 你们俩可以任意吃园里所有丰富的食物 , 你们俩不要临近这棵树 ; 否则 , 就要变成不义的人 。

(src)="s2.36.0"> Lakini Shet'ani aliwatelezesha hao wawili na akawatoa katika waliyo kuwamo , na tukasema : Shukeni , nanyi ni maadui nyinyi kwa nyinyi .
(src)="s2.36.1"> Katika ardhi yatakuwa makaazi yenu na starehe kwa muda .
(trg)="s2.36"> 然後 , 恶魔使他们俩为那棵树而犯罪 , 遂将他们俩人从所居的乐园中诱出 。 我说 : 你们互相仇视下去吧 。 大地上有你们暂时的住处和享受 。

(src)="s2.37"> Kisha Adam akapokea maneno kwa Mola wake Mlezi , na Mola wake Mlezi alimkubalia toba yake ; hakika Yeye ndiye Mwingi wa kukubali toba na Mwenye kurehemu .
(trg)="s2.37"> 然後 , 阿丹奉到从主降示的几件诫命 , 主就恕宥了他 。 主确是至宥的 , 确是至慈的 。

(src)="s2.38"> Tukasema : Shukeni nyote ; na kama ukikufikieni uwongofu utokao kwangu , basi watakao fuata uwongofu wangu huo haitakuwa khofu juu yao wala hawatahuzunika .
(trg)="s2.38"> 我说 : 你们都从这里下去吧 ! 我的引导如果到达你们 , 那末 , 谁遵守我的引导 , 谁在将来没有恐惧 , 也不愁 。

(src)="s2.39"> Na wenye kukufuru na kuzikanusha ishara zetu , hao ndio watakao kuwa watu wa Motoni , humo watadumu .
(trg)="s2.39"> 不信道而且否认我的迹象的人 , 是火狱的居民 , 他们将永居其中 。

(src)="s2.40.0"> Enyi Wana wa Israili !
(src)="s2.40.1"> Kumbukeni neema yangu niliyo kuneemesheni , na timizeni ahadi yangu , na Mimi nitatimiza ahadi yenu , na niogopeni Mimi tu .
(trg)="s2.40"> 以色列的後裔啊 ! 你们当铭记我所赐你们的恩惠 , 你们当履行对我的约言 , 我就履行对你们的约言 ; 你们应当只畏惧我 。

(src)="s2.41.0"> Na aminini niliyo yateremsha ambayo yanasadikisha mliyo nayo , wala msiwe wa kwanza kuyakataa .
(src)="s2.41.1"> Wala msiuze Ishara zangu kwa thamani ndogo .
(src)="s2.41.2"> Na niogopeni Mimi tu .
(trg)="s2.41"> 你们当信我所降示的 , 这能证实你们所有的经典 , 你们不要做首先不信的人 , 不要以廉价出卖我的迹象 , 你们应当只敬畏我 。

(src)="s2.42"> Wala msichanganye kweli na uwongo na mkaificha kweli nanyi mnajua .
(trg)="s2.42"> 你们不要明知故犯地以伪乱真 , 隐讳真理 。

(src)="s2.43"> Na shikeni Sala , na toeni Zaka , na inameni pamoja na wanao inama .
(trg)="s2.43"> 你们当谨守拜功 , 完纳天课 , 与鞠躬者同齐鞠躬 。

(src)="s2.44.0"> Je !
(src)="s2.44.1"> Mnawaamrisha watu mema na mnajisahau nafsi zenu , na hali nyinyi mnasoma Kitabu ?
(src)="s2.44.2"> Basi je , hamzingatii ?
(trg)="s2.44"> 你们是读经的人 , 怎麽劝人为善 , 而忘却自身呢 ? 难道你们不了解吗 ?

(src)="s2.45"> Na tafuteni msaada kwa kusubiri na kwa kusali ; na kwa hakika jambo hilo ni gumu isipokuwa kwa wanyenyekevu ,
(trg)="s2.45"> 你们当借坚忍和礼拜而求佑助 。 礼拜确是一件难事 , 但对恭敬的人却不难 。

(src)="s2.46"> Ambao wana yakini kuwa hakika watakutana na Mola wao Mlezi na ya kuwa hakika watarejea kwake .
(trg)="s2.46"> 他们确信自己必定见主 , 必定归主 。

(src)="s2.47.0"> Enyi Wana wa Israili !
(src)="s2.47.1"> Kumbukeni zile neema zangu nilizo kuneemesheni , na nikakuteuweni kuliko wote wengineo .
(trg)="s2.47"> 以色列的後裔啊 ! 你们当铭记我所赐你们的恩典 , 并铭记我曾使你们超越世人 。

(src)="s2.48"> Na iogopeni Siku ambayo mtu hatomfaa mtu kwa lolote , wala hayatakubaliwa kwake maombezi , wala hakitapokewa kikomboleo kwake ; wala hawatanusuriwa .
(trg)="s2.48"> 你们当防备将来有这样的一日 : 任何人不能替任何人帮一点忙 , 任何人的说情 , 都不蒙接受 , 任何人的赎金 , 都不蒙采纳 , 他们也不获援助 。

(src)="s2.49"> Na vile tulipo kuokoeni kwa watu wa Firauni walio kupeni adhabu mbaya , wakiwachinja wana wenu wa kiume na wakawawacha hai wanawake ; na katika hayo ulikuwa ni mtihani mkubwa ulio toka kwa Mola wenu Mlezi .
(trg)="s2.49"> 当时 , 我拯救你们脱离了法老的百姓 。 他们使你们遭受酷刑 ; 屠杀你们的儿子 , 留存你们的女子 ; 这是从你们的主降下的大难 。

(src)="s2.50"> Na tulipo ipasua bahari kwa ajili yenu na tukakuokoeni , tukawazamisha watu wa Firauni , na huku mnatazama .
(trg)="s2.50"> 我为你们分开海水 , 拯救了你们 , 并溺杀了法老的百姓 , 这是你们看著的 。

(src)="s2.51"> Na tulipo muahidi Musa masiku arubaini , kisha mkachukua ndama ( mkamuabudu ) baada yake , na mkawa wenye kudhulumu .
(trg)="s2.51"> 当时 , 我与穆萨约期四十日 , 在他离别你们之後 , 你们认犊为神 , 你们是不义的 。

(src)="s2.52"> Kisha tukakusameheni baada ya hayo , ili mpate kushukuru .
(trg)="s2.52"> 在那件事之後 , 我恕饶了你们 , 以便你们感谢 。

(src)="s2.53"> Na tulipo mpa Musa Kitabu na pambanuo ili mpate kuongoka .
(trg)="s2.53"> 当时 , 我以经典和证据赏赐穆萨 , 以便你们遵循正道 。

(src)="s2.54.0"> Na Musa alipo waambia watu wake : Enyi watu wangu !
(src)="s2.54.1"> Hakika nyinyi mmezidhulumu nafsi zenu kwa kuchukua kwenu ndama ( kumuabudu ) .
(src)="s2.54.2"> Basi tubuni kwa Muumba wenu na ziueni nafsi zenu .
(src)="s2.54.3"> Haya ni bora kwenu mbele ya Muumba wenu .
(src)="s2.54.4"> Naye akapokea toba yenu .
(src)="s2.54.5"> Hakika Yeye ndiye apokeaye toba na Mwenye kurehemu .
(trg)="s2.54"> 当时 , 穆萨对他的宗族说 : 我的宗族啊 ! 你们确因认犊为神而自欺 , 故你们当向造物主悔罪 , 当处死罪人 。 在真主看来 , 这对於你们确是更好的 。 他就恕宥你们 。 他确是至宥的 , 确是至慈的 。

(src)="s2.55.0"> Na mlipo sema : Ewe Musa !
(src)="s2.55.1"> Hatutakuamini mpaka tumwone Mwenyezi Mungu waziwazi .
(src)="s2.55.2"> Ikakunyakueni radi nanyi mnaangalia .
(trg)="s2.55"> 当时 , 你们说 : 穆萨啊 ! 我们绝不信你 , 直到我们亲眼看见真主 。 故疾雷袭击了你们 , 这是你们看著的 。

(src)="s2.56"> Kisha tukakufufueni baada ya kufa kwenu , ili mpate kushukuru .
(trg)="s2.56"> 在你们晕死之後 , 我使你们苏醒 , 以便你们感谢 。

(src)="s2.57.0"> Na tukakutilieni kivuli kwa mawingu na tukakuteremshieni Manna na Salwa ; tukakwambieni : Kuleni vitu vizuri hivi tulivyo kuruzukuni .
(src)="s2.57.1"> Nao hawakutudhulumu Sisi lakini walikuwa wanajidhulumu nafsi zao .
(trg)="s2.57"> 我曾使白云荫蔽你们 , 又降甘露和鹌鹑给你们 。 你们可以吃我所供给你们的佳美食物 。 他们没有损害我 , 但他们自欺 。

(src)="s2.58.0"> Na tulipo sema : Ingieni mji huu , na humo mle mpendapo maridhawa , na ingieni katika mlango wake kwa unyenyekevu , na semeni : Tusamehe !
(src)="s2.58.1"> Tutakusameheni makosa yenu , na tutawazidishia wema wafanyao wema .
(trg)="s2.58"> 当时 , 我说 : 你们进这城市去 , 你们可以随意吃其中所有丰富的食物 。 你们应当鞠躬而进城门 , 并且说 : ` 释我重负 。 ' 我将赦宥你们的种种罪过 , 我要厚报善人 。

(src)="s2.59.0"> Lakini walio dhulumu waliibadili kauli isiyo kuwa waliyo ambiwa .
(src)="s2.59.1"> Kwa hivyo tukaiteremsha juu ya wale walio dhulumu adhabu kutoka mbinguni kwa sababu ya walivyo kuwa wamepotoka .
(trg)="s2.59"> 但不义的人改变了他们所奉的嘱言 , 故我降天灾於不义者 , 那是由於他们的犯罪 。

(src)="s2.60.0"> Na Musa alipo omba maji kwa ajili ya watu wake , tulimwambia : Lipige jiwe kwa fimbo yako .
(src)="s2.60.1"> Mara zikatimbuka chemchem kumi na mbili ; kila kabila ikajua mahali pake pa kunywea .
(src)="s2.60.2"> Tukawaambia : Kuleni na mnywe riziki ya Mwenyezi Mungu , wala msiasi katika nchi mkafanya uharibifu .
(trg)="s2.60"> 当时 , 穆萨替他的宗族祈水 , 我说 : 你用手杖打那磐石吧 。 十二道水泉 , 就从那磐石里涌出来 , 各部落都知道自己的饮水处 。 你们可以吃饮真主的给养 , 你们不要在地方上为非作歹 。

(src)="s2.61.0"> Na mlipo sema : Ewe Musa !
(src)="s2.61.1"> Hatuwezi kuvumilia chakula cha namna moja tu , basi tuombee kwa Mola wako Mlezi atutolee vile vinavyo mea katika ardhi , kama mboga zake , na matango yake , na thom zake , na adesi zake , na vitunguu vyake .
(src)="s2.61.2"> Akasema : Mnabadili kilicho duni kwa kilicho bora ?
(src)="s2.61.3"> Shukeni mjini , huko mtapata mlivyo viomba .
(src)="s2.61.4"> Na wakapigwa na unyonge , na umasikini , na wakastahili ghadhabu ya Mwenyezi Mungu .
(src)="s2.61.5"> Na haya ni kwa sababu walikuwa wakiyakataa maneno ya Mwenyezi Mungu , na wakiwauwa Manabii pasipo haki .
(src)="s2.61.6"> Hayo ni kwa walivyo asi na wakapindukia mipaka .
(trg)="s2.61"> 当时 , 你们说 : 穆萨啊 ! 专吃一样食物 , 我们绝不能忍受 , 所以请你替我们请求你的主 , 为我们生出大地所产的蔬菜 ─ ─ 黄瓜 、 大蒜 、 扁豆和玉葱 。 他说 : 难道你们要以较贵的换取较贱的吗 ? 你们到一座城里去吧 ! 你们必得自己所请求的食物 。 他们陷於卑贱和穷困中 , 他们应受真主的谴怒 。 这是因为他们不信真主的迹象 , 而且枉杀众先知 ; 这又是因为他们违抗主命 , 超越法度 。

(src)="s2.62"> Hakika Walio amini , na Mayahudi na Wakristo , na Wasabai ; yeyote atakaye muamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho na akatenda mema basi watapata malipwa yao kwa Mola wao Mlezi , wala haitakuwa khofu juu yao , wala hawatahuzunika .
(trg)="s2.62"> 信道者 、 犹太教徒 、 基督教徒 、 拜星教徒 , 凡信真主和末日 , 并且行善的 , 将来在主那里必得享受自己的报酬 , 他们将来没有恐惧 , 也不忧愁 。

(src)="s2.63"> Na tulipo chukua ahadi yenu , na tukaunyanyua mlima juu yenu ( tukakwambieni ) : Shikeni kwa nguvu haya tuliyo kupeni , na yakumbukeni yaliyomo ndani yake ili mpate kujilinda .
(trg)="s2.63"> 当时 , 我与你们缔约 , 并将山树立在你们的上面 , 我说 : 你们当坚守我所赐你们的经典 , 并且当牢记其中的律例 , 以便你们敬畏 。

(src)="s2.64.0"> Kisha mligeuka baada ya haya .
(src)="s2.64.1"> Na lau kuwa si fadhila za Mwenyezi Mungu juu yenu na rehema zake , mngeli kuwa miongoni mwa wenye kukhasirika .
(trg)="s2.64"> 以後 , 你们背叛 。 假若没有真主赏赐你们的恩惠和慈恩 , 你们必定变成亏折者 。

(src)="s2.65"> Na hakika mlikwisha yajua ya wale miongoni mwenu walio ivunja Sabato , ( siku ya mapumziko , Jumaa Mosi ) na tukawaambia : Kuweni manyani wadhalilifu .
(trg)="s2.65"> 你们确已认识你们中有些人 , 在安息日超越法度 , 故我对他们说 : 你们变成卑贱的猿猴吧 。

(src)="s2.66"> Kwa hivyo tukayafanya hayo kuwa onyo kwa wale walio kuwa katika zama zao na walio kuja baada yao , na mawaidha kwa wachamngu .
(trg)="s2.66"> 我以这种刑罚为前人和後人的戒与敬畏者的教训 。

(src)="s2.67.0"> Na Musa alipo waambia watu wake : Hakika Mwenyezi Mungu anakuamrisheni mchinje ng'ombe .
(src)="s2.67.1"> Wakasema : Je !
(src)="s2.67.2"> Unatufanyia mzaha ?
(src)="s2.67.3"> Akasema : Audhubil lahi !
(src)="s2.67.4"> Najikinga kwa Mwenyezi Mungu nisiwe miongoni mwa wajinga .
(trg)="s2.67"> 当时 , 穆萨对他的宗族说 : 真主的确命令你们宰一头牛 。 他们说 : 你愚弄我们吗 ? 他说 : 我求真主保佑我 , 以免我变成愚人 。

(src)="s2.68.0"> Wakasema : Tuombee kwa Mola wako Mlezi atupambanulie ni ng'ombe gani ?
(src)="s2.68.1"> Akasema : Hakika Yeye anasema kwamba ng'ombe huyo si mpevu , wala si kinda , bali ni wa katikati baina ya hao .
(src)="s2.68.2"> Basi fanyeni mnavyo amrishwa .
(trg)="s2.68"> 他们说 : 请你替我们请求你的主为我们说明那头牛的情状 。 他说 : 我的主说 : 那头牛确是不老不少 , 年龄适中的 。 你们遵命而行吧 !

(src)="s2.69.0"> Wakasema : Tuombee kwa Mola wako atupambanulie nini rangi yake ?
(src)="s2.69.1"> Akasema : Yeye anasema , kuwa ng'ombe huyo ni wa manjano , na rangi yake imekoza , huwapendeza wanao mtazama .
(trg)="s2.69"> 他们说 : 请你替我们请求你的主为我们说明那头牛的毛色 。 他说我的主说 : 那头牛毛色纯黄 , 见者喜悦 。

(src)="s2.70.0"> Wakasema : Tuombee kwa Mola wako Mlezi atupambanulie ni yupi ?
(src)="s2.70.1"> Hakika tunaona ng'ombe wamefanana .
(src)="s2.70.2"> Na kwa yakini , Inshaallah , Mwenyezi Mungu akipenda , tutaongoka .
(trg)="s2.70"> 他们说 : 请你替我们请求你的主为我们说明那头牛的情状 , 因为在我们看来 , 牛都是相似的 , 如果真主意欲 , 我们必获指导 。

(src)="s2.71.0"> Akasema : Yeye anasema : Kuwa huyo ni ng'ombe asiye tiwa kazini kulima ardhi wala kumwagia maji mimea , mzima , hana baka .
(src)="s2.71.1"> Wakasema : Sasa umeleta haki .
(src)="s2.71.2"> Basi wakamchinja , na walikaribia kuwa wasifanye hayo .
(trg)="s2.71"> 他说 : 我的主说 : 那头牛不是受过训练的 , 既不耕田地 , 又不转水车 , 确是全美无斑的 。 他们说 : 现在你揭示真相了 。 他们就宰了那头牛 , 但非出自愿 。

(src)="s2.72"> Na mlipo muuwa mtu , kisha mkakhitalifiana kwayo , na Mwenyezi Mungu ni mwenye kuyatoa hayo mliyo kuwa mkiyaficha .
(trg)="s2.72"> 当时 , 你们杀了一个人 , 你们互相抵赖 。 而真主是要揭穿你们所隐讳的事实的 。

(src)="s2.73.0"> Tukasema : Mpigeni kwa kipande chake ( huyo ng'ombe ) .
(src)="s2.73.1"> Ndivyo hivi Mwenyezi Mungu huwahuisha wafu ; na anakuonyesheni Ishara zake ili mpate kufahamu .
(trg)="s2.73"> 故我说 : 你们用它的一部分打他吧 ! 真主如此使死者复活 , 并以他的迹象昭示你们 , 以便你们了解 。

(src)="s2.74.0"> Kisha nyoyo zenu zikawa ngumu baada ya hayo , hata zikawa kama mawe au ngumu zaidi ; kwani kuna mawe yanayo timbuka mito , na kuna mengine yanayo pasuka yakatoka maji ndani yake , na kuna mengine huanguka kwa sababu ya khofu ya Mwenyezi Mungu .
(src)="s2.74.1"> Na Mwenyezi Mungu si mwenye kughafilika na mnayo yafanya .
(trg)="s2.74"> 此後 , 你们的心变硬了 , 变得像石头一样 , 或比石头还硬 。 有些石头 , 河水从其中涌出 ; 有些石头 , 自己破裂 , 而水泉从其中流出 ; 有些石头为惧怕真主而坠落 。 真主绝不忽视你们的行为 。

(src)="s2.75"> Mnatumai watakuaminini na hali baadhi yao walikuwa wakisikia maneno ya Mwenyezi Mungu , kisha wakayabadili baada ya kuwa wameyafahamu , na hali wanajua ?
(trg)="s2.75"> 你们还企图他们会为你们的劝化而信道吗 ? 他们当中有一派人 , 曾听到真主的言语 , 他们既了解之後 , 便明知故犯地加以篡改 。

(src)="s2.76.0"> Na wanapo kutana na wale walio amini husema : Tumeamini .
(src)="s2.76.1"> Na wanapo kuwa peke yao , wao kwa wao , husema : Mnawaambia aliyo kufunulieni Mwenyezi Mungu ili wapate kukuhojieni mbele ya Mola wenu Mlezi ?
(src)="s2.76.2"> Basi hamfahamu nyinyi ?
(trg)="s2.76"> 他们遇见信士们 , 就说 : 我们已信道了 。 他们彼此私下聚会的时候 , 他们却说 : 你们把真主所启示你们的告诉他们 , 使他们将来得在主那里据此与你们争论吗 ? 难道你们不了解吗 ?

(src)="s2.77"> Hawajui ya kwamba Mwenyezi Mungu anayajua wanayo yaficha na wanayo yatangaza ?
(trg)="s2.77"> 难道他们不晓得真主知道他们所隐讳的 , 和他们所表白的吗 ?

(src)="s2.78"> Na wako miongoni mwao wasio jua kusoma ; hawakijui Kitabu isipo kuwa uwongo wanao utamani , nao hawana ila ni kudhania tu .
(trg)="s2.78"> 他们中有些文盲 , 不知经典 , 只知妄言 , 他们专事猜测 。

(src)="s2.79.0"> Basi ole wao wanao andika kitabu kwa mikono yao , kisha wakasema : Hiki kimetoka kwa Mwenyezi Mungu , ili wachumie kwacho pato dogo .
(src)="s2.79.1"> Basi ole wao kwa yale iliyo andika mikono yao , na ole wao kwa yale wanayo yachuma .
(trg)="s2.79"> 哀哉 ! 他们亲手写经 , 然後说 : 这是真主所降示的 。 他们欲借此换取些微的代价 。 哀哉 ! 他们亲手所写的 。 哀哉 ! 他们自己所营谋的 。

(src)="s2.80.0"> Na walisema : Hautatugusa Moto ila kwa siku chache tu .
(src)="s2.80.1"> Sema : Mmechukua ahadi kwa Mwenyezi Mungu ?
(src)="s2.80.2"> Kweli Mwenyezi Mungu hatokwenda kinyume na ahadi yake .
(src)="s2.80.3"> Au mnamsingizia Mwenyezi Mungu mambo msiyo yajua ?
(trg)="s2.80"> 他们说 : 火绝不接触我们 , 除非若干有数的日子 。 你说 : 真主是绝不爽约的 , 你们曾与真主缔约呢 ? 还是假借真主的名义而说出自己所不知道的事呢 ?

(src)="s2.81"> Naam , anaye chuma ubaya - na makosa yake yakamzunguka - hao ndio watu wa Motoni ; humo watadumu .
(trg)="s2.81"> 不然 , 凡作恶而为其罪孽所包罗者 , 都是火狱的居民 , 他们将永居其中 。

(src)="s2.82"> Na wale walio amini na wakatenda mema , hao ndio watu wa Peponi , humo watadumu .
(trg)="s2.82"> 信道而且行善者 , 是乐园的居民 , 他们将永居其中 。

(src)="s2.83.0"> Na tulipo funga agano na Wana wa Israili : Hamtamuabudu yeyote ila Mwenyezi Mungu ; na muwafanyie wema wazazi na jamaa na mayatima na masikini , na semeni na watu kwa wema , na shikeni Sala , na toeni Zaka .
(src)="s2.83.1"> Kisha mkageuka isipo kuwa wachache tu katika nyinyi ; na nyinyi mnapuuza .
(trg)="s2.83"> 当时 , 我与以色列的後裔缔约 , 说 : 你们应当只崇拜真主 , 并当孝敬父母 , 和睦亲戚 , 怜恤孤儿 , 赈济贫民 , 对人说善言 , 谨守拜功 , 完纳天课 。 然後 , 你们除少数人外 , 都违背约言 , 你们是常常爽约的 。

(src)="s2.84"> Na tulipo chukua agano lenu kuwa hamtamwaga damu zenu , wala hamtatoana majumbani mwenu ; nanyi mkakubali nanyi mnashuhudia .
(trg)="s2.84"> 当时 , 我与你们缔约 , 说 : 你们不要自相残杀 , 不要把同族的人逐出境外 。 你们已经承诺 , 而且证实了 。

(src)="s2.85.0"> Kisha nyinyi kwa nyinyi mnauwana , na mnawatoa baadhi yenu majumbani kwao , mkisaidiana kwa dhambi na uadui .
(src)="s2.85.1"> Na wakikujieni mateka mnawakomboa , na hali kuwatoa mmekatazwa .
(src)="s2.85.2"> Je !
(src)="s2.85.3"> Mnaamini baadhi ya Kitabu na mnakataa baadhi yake ?
(src)="s2.85.4"> Basi hana malipo mwenye kutenda hayo miongoni mwenu ila hizaya katika maisha ya duniani , na Siku ya Kiyama watapelekwa kwenye adhabu kali kabisa .
(src)="s2.85.5"> Na Mwenyezi Mungu si mwenye kughafilika na yale mnayo yatenda .
(trg)="s2.85"> 然後 , 你们自相残杀 , 而且把一部分同族的人逐出境外 , 你们同恶相济 , 狼狈为奸地对付他们 ─ ─ 如果他们被俘来归 , 你们却替他们赎身 ─ ─ 驱逐他们 , 在你们是犯法的行为 。 你们确信经典里的一部分律例 , 而不信别一部分吗 ? 你们中作此事者 , 其报酬不外在今世生活中受辱 , 在复活日 , 被判受最严厉的刑罚 。 真主绝不忽视你们的行为 。

(src)="s2.86"> Hao ndio walio nunua uhai wa dunia kwa ( uhai wa ) Akhera ; kwa hivyo hawatapunguziwa adhabu wala hawatanusuriwa .
(trg)="s2.86"> 这等人 , 是以後世换取今世生活的 , 故他们所受的刑罚 , 不被减轻 , 他们也不被援助 。

(src)="s2.87.0"> Na hakika tulimpa Musa Kitabu na tukafuatisha baada yake Mitume wengine .
(src)="s2.87.1"> Na tukampa Isa , mwana wa Mariamu , hoja zilizo waziwazi , na tukamtia nguvu kwa Roho Takatifu .
(src)="s2.87.2"> Basi kila walipo kufikieni Mitume kwa yale ambayo hayapendwi na nafsi zenu , mlijivuna ; wengine mkawakanusha , na wengine mkawauwa .
(trg)="s2.87"> 我确已把经典赏赐穆萨 , 并在他之後继续派遣许多使者 , 我把许多明证赏赐给麦尔彦之子尔撒 , 并以玄灵扶助他 。 难道每逢使者把你们的私心所不喜爱的东西带来给你们的时候 , 你们总是妄自尊大吗 ? 一部分使者 , 被你们加以否认 ; 一部分使者 , 被你们加以杀害 。

(src)="s2.88.0"> Na walisema : Nyoyo zetu zimefunikwa .
(src)="s2.88.1"> Bali Mwenyezi Mungu amewalaani kwa kufuru zao : kwa hivyo ni kidogo tu wanayo yaamini .
(trg)="s2.88"> 他们说 : 我们的心是受蒙蔽的 。 不然 , 真主为他们不信道而弃绝他们 , 故他们的信仰是很少的 。

(src)="s2.89.0"> Na kilipo wajia Kitabu kitokacho kwa Mwenyezi Mungu kinacho thibitisha waliyo nayo - na wao walikuwa wakitafutia ushindi kuwashinda makafiri - yalipo wajia yale waliyo kuwa wakiyajua waliyakanusha .
(src)="s2.89.1"> Basi laana ya Mwenyezi Mungu juu ya wakanushao !
(trg)="s2.89"> 当一部经典能证实他们所有的经典 , 从真主降临他们的时候 , ( 他们不信它 ) 。 以前他们常常祈祷 , 希望借它来克服不信道者 , 然而当他们业已认识的真理降临他们的时候 , 他们不信它 。 故真主的弃绝加於不信道者 。

(src)="s2.90.0"> Kiovu kweli walicho jiuzia nafsi zao , nacho ni kule kukataa kwao aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu , kwa ajili ya kuona maya kwa kuwa Mwenyezi Mungu humteremshia fadhila yake amtakaye miongoni mwa waja wake .
(src)="s2.90.1"> Basi wamejiletea wenyewe ghadhabu juu ya ghadhabu .
(src)="s2.90.2"> Na makafiri watapata mateso ya kudhalilisha .
(trg)="s2.90"> 他们因真主把他的恩惠降给他所意欲的仆人 , 故他们心怀嫉妒 , 因而不信真主所降示的经典 ; 他们为此而出卖自己 , 他们所得的代价真恶劣 。 故他们应受加倍的谴怒 。 不信道者 , 将受凌辱的刑罚 。

(src)="s2.91.0"> Na wanapo ambiwa : Yaaminini aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu .
(src)="s2.91.1"> Wao husema : Tunaamini tuliyo teremshiwa sisi .
(src)="s2.91.2"> Na huyakataa yasiyo kuwa hayo .
(src)="s2.91.3"> Na hali ya kuwa hii ndiyo Haki inayo thibitisha yale waliyo nayo wao .
(src)="s2.91.4"> Sema : Mbona mliwauwa Manabii wa Mwenyezi Mungu hapo zamani ikiwa kweli mlikuwa Waumini ?
(trg)="s2.91"> 有人对他们说 : 你们应当信真主所降示的经典 。 他们就说 : 我们信我们所受的启示 。 他们不信此後的经典 , 其实 , 这部经典是真实的 , 能证实他们所有的经典 。 你说 : 如果你们是信道的人 , 以前你们为甚麽杀害众先知呢 ?

(src)="s2.92"> Na alikufikieni Musa na hoja zilizo waziwazi , kisha mkamchukua ndama ( kumuabudu ) baada yake , na mkawa wenye kudhulumu .
(trg)="s2.92"> 穆萨确已昭示你们许多明证 , 他离开你们之後 , 你们却认犊为神 , 你们是不义的 。

(src)="s2.93.0"> Na tulipo chukua ahadi yenu na tukauinua mlima juu yenu ( tukakwambieni ) : Kamateni kwa nguvu haya tuliyo kupeni na sikieni .
(src)="s2.93.1"> Wakasema : Tumesikia na tumekataa !
(src)="s2.93.2"> Na wakanyweshwa nyoyoni mwao ( imani ya ) ndama kwa kufuru yao .
(src)="s2.93.3"> Sema : Ni uovu mno iliyo kuamrisheni imani yenu ikiwa ni wenye kuamini .
(trg)="s2.93"> 当时 , 我与你们缔约 , 并将山岳树立在你们的上面 , 我说 : 你们当坚守我所赐你们的经典 , 并当听从 。 他们说 : 我们听而不从 。 他们不信道 , 故对犊之爱 , 已浸润了他们的心灵 。 你说 : 如果你们是信士 , 那末 , 你们的信仰所命你们的真恶劣 !