# sw/ted2020-1.xml.gz
# zh_tw/ted2020-1.xml.gz


(src)="1"> Ahsante sana Chris .
(trg)="1"> 非常謝謝你 , 克里斯 。 能有這個機會第二度踏上這個演講台

(src)="2.1"> Pia kwakweli ni heshima kubwa kupata nafasi hii kuja katika ukumbi huu mara mbili .
(src)="2.2"> Nashukuru kwa dhati .
(trg)="2"> 真是一大榮幸 。 我非常感激 。

(src)="3"> nimepigwa na butwaa na huu mkusanyiko , na nataka kuwapa shukrani kwa maoni mengi mazuri kuhusu niliyoongelea usiku ule .
(trg)="3"> 這個研討會給我留下了極為深刻的印象 , 我想感謝大家 對我之前演講的好評 。

(src)="4"> Ninasema hilo kwa dhati , kidogo kwasababu -- ( Kwikwi ya maskhara ) -- niliyahitaji !
(trg)="4"> 我是由衷的想這麼說 , 有部份原因是因為 — ( 假哭 ) — 我真的有需要 !

(src)="5"> ( Vicheko ) Jiweke katika nafasi yangu !
(trg)="5"> ( 笑聲 ) 請你們設身處地為我想一想 !

(src)="6"> Nilipaa kwa ndege " Air Force Two " kwa miaka nane .
(trg)="6"> 我曾搭乘副總統專機八年 。

(src)="7"> Sasa inabidi nivue viatu vyangu au mabuti ili kupanda ndege .
(trg)="7"> 現在我卻必須脫了鞋子才能上飛機 !

(src)="8"> ( Vicheko ) ( Makofi ) Nitawasimulia hadithi moja haraka kuonesha hali ilivyo kwangu .
(trg)="8"> ( 笑聲 ) ( 掌聲 ) 讓我跟你們說一個很短的故事 , 你們就會明白我的日子是怎麼過的 。

(src)="9"> Ni hadithi ya ukweli -- kila tukio ni ukweli .
(trg)="9"> 這是一個真實的故事 — 徹頭徹尾都是真實的 。

(src)="10"> Muda mfupi baada ya Tipper na mimi -- ( Kwikwi ya maskhara ) -- ( Vicheko ) -- tulikuwa tukiendesha gari kutoka nyumbani Nashville kwanda kwenye shamba letu dogo maili 50 mashariki mwa Nashville --
(trg)="10"> 在我跟我夫人蒂佩爾離開 — ( 假哭 ) — 白宮 — ( 笑聲 ) — 後 我們從那什維爾的家開車到 東邊 50 英哩外的一個我們擁有的小農場 —

(src)="11"> tukiendesha gari wenyewe .
(trg)="11"> 自己開車去 。

(src)="12"> Najua inasikika kama jambo dogo kwenu , lakini -- ( Vicheko ) -- Nikaangalia katika kioo cha kuangalizia nyuma na ghafla ikatokea nikagundua .
(trg)="12"> 我知道這對你們來說是一件小事 , 但是 — ( 笑聲 ) — 當我看了後照鏡後 , 才突然驚覺 ~

(src)="13"> Kulikuwa hamna msafara huko nyuma .
(trg)="13"> 車後並沒有車隊跟隨 。

(src)="14"> Mmesikia kuhusu maumivu ya phantom limb ?
(trg)="14"> 我想大家都聽過 「 鬼腳痛 」 吧 ? ( 笑聲 )

(src)="15"> ( Vicheko ) Hili gari lilikuwa ni Ford Taurus ya kukodishwa .
(trg)="15"> 那是一部租來的福特金牛座汽車 。 正值晚餐時刻 ,

(src)="16"> Ilikuwa saa ya chakula cha jioni , na tukaanza kutafuta sehemu ya kupata chakula .
(trg)="16"> 我們也開始尋找用餐的地方 。

(src)="17"> Tulikuwa katika barabara I-40 .
(trg)="17"> 我們在 I-40 公路上 。 從 238 號出口交流道 , 下到田納西州黎巴嫩市 。

(src)="19"> tukatoka katika hiyo barabara , tukaanza kutafua -- tukapata mgahawa wa Shoney .
(trg)="18"> 我們下了交流道後就開始找餐廳 — 我們發現了一家 Shoney ' s餐館 。

(src)="20"> Ni mnyonyoro wa migahawa inayomilikiwa na familia , kwa wale ambao hawaufahamu .
(trg)="19"> 如果你沒聽過這家餐廳的話 , 這是一家廉價家庭連鎖式餐廳 。

(src)="21"> Tuliingia ndani na kukaa kibandani na muhudumu wa kike akaja , akafanya vurugu kubwa juu ya Tipper ( Vicheko )
(trg)="20"> 我們進去坐下 , 女服務員也走了過來 , 對著蒂佩爾恭維聊天了好一會兒 。 ( 笑聲 )

(src)="22"> Akachukua maagizo yetu , halafu akaenda kwa wawili waliokuwa kibanda kilichofuata , halafu alashusha sauti yake chini sana ilibidi nitumie juhudi nzito ili kusikia alichokuwa akisema .
(trg)="21"> 她幫我們點了菜 , 然後就走去了我們座位旁邊的一對夫妻那兒 , 她大大地降低了她的音量 , 我必須很努力才能聽到她在說些什麼 。

(src)="23"> Halafu akasema " Ndio , yule ni Makamu wa Raisi aliyepita Al Gore na Mkewe Tipper . "
(trg)="22"> 她說 : 是 , 那是前副總統艾爾 • 高爾和他的夫人蒂佩爾 。

(src)="24"> Halafu huyo mwanaume akasema " Amekuja safari ndefu au sio ? "
(trg)="23"> 那位男士跟着說 , 「 他真是一落千丈啊 , 難道不是嗎 ? 」 ( 笑聲 )

(src)="25"> ( Vicheko ) Kumekuwa na kama mfululizo hivi wa kutokewa na ugunduzi ghafla .
(trg)="24"> 這有點兒像是一連串的明證 。

(src)="26"> Siku iliyofuata , kuendeleza hadithi ya kweli kabisa , nilipanda G-5 kupaa mpaka Afrika kutoa hotuba Naijeria , jijini Lagos , kuhusu nishati .
(trg)="25"> 第二天 , 繼續一個完全真實的故事 , 我搭乘 G-5 飛到非洲奈及利亞的 拉哥斯市去做一個關於能源的演說 。

(src)="27"> Na nikaanza hotuba kwa kuwaambia hii hadithi ya matukio ya siku ile jana yake kule Nashville .
(trg)="26"> 我用前一天剛剛在那什維爾所發生的故事 來作為我演講的開場 。

(src)="28.1"> Na nilihadithia kama kwa namna hii hii nilivyoshikikishana na ninyi .
(src)="28.2"> Tipper na mimi tulikuwa tukiendesha gari wenyewe , mgahawa wa gharama ndogo wa kifamilia wa Shoney , yale yule mwanaume alivyosema -- wakacheka .
(trg)="27"> 我就以如同我剛剛才跟你們說過一樣的方式講了這個故事 。 蒂佩爾和我自己駕駛 , Shoney ' s , 低價家庭連鎖式餐館 , 那位男士所說的話 — 他們都笑了 。

(src)="29"> Nikatoa hotuba yangu , halafu nikarudi uwanja wa ndege kurudi nyumbani .
(trg)="28"> 演講完後 , 我去機場準備搭機回家 。

(src)="30"> Niliishia usingizini kwenye ndege , mpaka usiku wa manane , tulitua visiwa nya Azores kwa ajili ya kuongeza mafuta .
(trg)="29"> 我在飛機上一直睡到半夜 , 我們在亞速爾群島落地加油 。

(src)="31"> Nikaamka , wakafungua mlango , nikatoka nje kupata hewa safi kidogo , halafu nikaangalia na nikamuona mwanaume akikimbia katika barabara ya ndege .
(trg)="30"> 我醒了 , 他們打開了門 , 我出去呼吸一下新鮮空氣 , 然後我看見一個人越過跑道跑過來 。

(src)="32.1"> Alikua akipunga kipande cha karatasi na alikuwa akipayuka , " Piga simu Washington !
(src)="32.2"> Piga simu Washington ! "
(trg)="31"> 他揮舞着一張紙 , 並且叫喊着 , 「 打電話到華盛頓 ! 打電話到華盛頓 ! 」

(src)="33.1"> Halafu nikafikiria , usiku wa manane , katikati ya Atlantic , kuna kasoro gani duniani huko Washington ?
(src)="33.2"> Halafu nikakumbuka inaweza ikawa ni rundo la maswala .
(trg)="32"> 我在想 , 在這半夜裡 , 在大西洋中間 , 到底華盛頓會出什麼事 ? 然後我想起了華盛頓有很多事可能出問題 。

(src)="34"> ( Vicheko )
(trg)="33"> ( 笑聲 )

(src)="35.1"> Lakini kumbe ilikuwa kwamba wafanyakazi wangu walikuwa wamechukizwa sana kwasababu moja huduma za habari kule Naijeria ilikuwa tayari imeandika habari kuhusu hotuba yangu .
(src)="35.2"> Halafu ilikuwa tayari imeshachapishwa kwenye miji kote Marekani
(trg)="34"> 結果原來是我的職員很不高興 , 因為 奈及利亞的其中一個通訊社已經寫了一篇關於我演講的報導 。 並且它在全美各大城市都已經刊登了

(src)="36"> -- ilichapishwa Monterey , nilihakikisha .
(trg)="35"> — 我查出來是在蒙特利所印的 。 報導的起頭是這樣 ,

(src)="37.1"> Halafu habari zikaanza , " Makamu wa Raisi aliyepita Al Gore ametangaza Naijeria jana , " Mke wangu Tipper na mimi tumefungua mgahawa wa kifamilia wa gharama za chini uitwao Shoney 's , na tunauendesha wenyewe .
(src)="37.2"> ' ' ' ( Vicheko ) Kabla sijafika katika ardhi ya Marekani , David Letterman na Jay Leno walikuwa wameshalianzia hili -- mmoja wao aliniweka katika kofia kubwa ya mpishi , Tipper alikuwa akisema " Burger moja ya nyongeza na chipsi ! "
(trg)="36"> 「 前副總統艾爾 • 高爾昨日在奈及利亞宣布 , 我夫人蒂佩爾和我開設了一家廉價家庭連鎖式餐館 , 名為 Shoney ' s 餐館是由我們自己親手經營 。 」 ( 笑聲 ) 在我還沒有回到美國前 , 大衛 • 萊特曼和杰伊 • 萊諾已經開始拿我開玩笑了 -- 他們中的一個有我戴上大白色廚師帽子 , 蒂佩爾說 , " 再來一個漢堡配炸薯條 ! "

(src)="38"> Siku tatu baadae , nikapokea barua nzuri , ndefu , iliyoandikwa na mkono kutoka kwa rafiki yangu mpenzi na mfanyakazi mwenza Bill Clinton akisema , " Hongera kwa mgahawa mpya , Al ! "
(trg)="37"> 三日后 , 我收到一封我朋友兼伙伴兼同事的手寫信件 , 比爾 ・ 克林頓說 , " 艾爾 , 祝賀你的新餐館開張 ! "

(src)="39"> ( Vicheko ) Tunapenda kusheherekea mafanikio yetu na ya wenzetu maishani .
(trg)="38"> ( 笑聲 ) 我們倆都喜歡互相恭賀對方的成就 。

(src)="40"> Nilikuwa niongelee ikolojia ya habari .
(trg)="39"> 我原本應談論一下信息生態的 。

(src)="41"> Lakini nilifikiria kwamba sababu nilipanga kuwa na tabia ya kuja tena TED , kwamba labda ningeongelea hilo wakati mwingine ( Makofi )
(trg)="40"> 但因我計劃終身回來TED , 那我可能下次再談吧 。 ( 掌聲 )

(src)="42"> Chris Anderson : Ni mpango !
(trg)="41"> 克里斯 ・ 安徒生 : 一言為定 !

(src)="43.1"> Al Gore : Nataka kulenga kwenye ambalo wengi wenu mmesema mnataka nilifafanue .
(src)="43.2"> Ni nini ambacho unaweza kufanya kuhusu mabadiliko ya hali ya hewa ?
(trg)="42"> 艾爾 • 戈爾 : 我想要集中講一些你們希望我詳盡闡述的題目 。 你對氣候危機能做些什麼 ? 我想要以這開始 –

(src)="44"> Nataka nianze na -- Nitawaonesha picha kadhaa mpya , na nitafupisha maelezo kwenda nne au tano tu .
(trg)="43"> 我想給你們看一些新的圖象 , 我會概述其中四或五張 。

(src)="45.1"> Sasa maonesho .
(src)="45.2"> Naongeza upya wa maonesho haya kila wakati ninapoyafanya .
(trg)="44"> 現在 , 幻燈片放映 。 我每次演講前都更新我的幻燈片材料 。

(src)="46"> Naongeza picha mpya kwasababu najifunza zaidi kuhusu hili swala kila wakati ninapoonesha .
(trg)="45"> 我增加了新的圖象是因為我每次用它我都學到更多的東西 。

(src)="47"> ni kama uokotaji fukweni , unajua ?
(trg)="46"> 你知道嗎 , 這就像梳海灘一樣 。 在浪潮一進一退時 ,

(src)="48"> Kila wakati wimbi lijapo na linapoondoka , unapata vifuniko vya chaza zaidi .
(trg)="47"> 你找到更多的貝殼 。

(src)="49"> Ndani ya siku mbili tu zilizopita , tumepata rekodi mpya za joto za mwezi wa kwanza .
(trg)="48"> 在剛過去的兩天 , 我們得到一月份新的溫度紀錄 。

(src)="50"> Hizi ni za Marekani tu .
(trg)="49"> 這只是美國的數字 。 歷年來一月份的平均溫度為

(src)="51"> Wastani wa kihistoria wa mwezi wa kwanza ni digrii 31 . mwezi uliopita ilikuwa digrii 39.5 .
(trg)="50"> 31 度 。 上個月是 39.5 度 。

(src)="52"> Sasa , najua mlitaka habari mbaya zaidi kuhusu mazingira -- natania -- lakini haya maonesho ni ufupisho ,
(trg)="51"> 現在 , 我知道你們想聽更多關於環境的壞消息 。 -- 我只是說笑 -- 但是這些是概括的幻燈片

(src)="53"> halafu nitaingia katika maelezo mapya kuhusu mtachowezafanya .
(trg)="52"> 然後我會談一下新的材料 , 是關於個人能做些什麼 。

(src)="54"> Lakini nilitaka kufafanua mawili ya haya .
(trg)="53"> 但我想先詳盡闡述幾點 。

(src)="55"> Kwanza , hapa ndipo tunapotabiriwa kwenda katika mchango wa Marekani kwenye mabadiliko ya hali ya hewa , katika biashara kama kawaida .
(trg)="54"> 首先 , 這是我們估計美國對全球性變暖的貢獻 , 在一切正常之下 。 最終使用的電和所有能量的效率

(src)="56"> Ufanisi katika matumizi ya mwisho ya umeme na matumizi ya mwisho ya nishati yote ni tunda lining 'inialo karibu na chini .
(trg)="55"> 是低垂懸的果子 , 很容易就達到 。 效率和保護 :

(src)="57.1"> Ufanisi na uhifadhi .
(src)="57.2"> Hli sio gharama , ni faida.Hii bango sio sahihi .
(trg)="56"> 不是成本 , 是盈利 。 標志是錯誤的 。

(src)="58"> Sio hasi , ni chanya .
(trg)="57"> 不是負數 , 是正數 。 這些是能支付自己的投資 。

(src)="60"> Lakini pia ni wafanisi sana katika kupotosha njia yetu .
(trg)="58"> 但是他們也是非常有效地偏轉我們的前路 。

(src)="61"> Magari na malori -- Niliongelea kuhusu hilo kwenye yale maonesho ya picha , lakini nawataka ninyi myaweke katika mtazamo .
(trg)="59"> 汽車和卡車 -- 我在這裡談了一點 , 但是我想進一步解釋一下 。

(src)="62"> Ni rahisi , na ni lengo lionekanalo lenye wasiwasi , na linatakiwa kuwa hivyo , lakini kuna mabadiliko ya hali ya hewa ya uchafuzi ambayo yanatokana na majengo kuliko yanayotokana na magari na malori .
(trg)="60"> 本來就是一個容易而可見的目標 , 是應該那樣的 , 但是來自高樓大廈的全球性變暖污染比 從汽車和卡車產生更多 。

(src)="63"> Magari na malori ni muhimu , na tuna viwango vya chini kabisa duniani ,
(trg)="61"> 汽車和卡車是非常重要的 , 但是我們在世界上算是有最低的標準 ,

(src)="64.1"> kwahiyo tunatakiwa kujaribu tatua hilo .
(src)="64.2"> Lakini ni sehemu ya kitendawili hiki .
(trg)="62"> 因此我們應該特別對此注意 。 但是這是問題的一部分 。

(src)="65"> Ufanisi wa usafiri mwingine ni muhimu kama magari ya abiria na ya mizigo !
(trg)="63"> 其他運輸效率跟汽車和卡車是一樣重要的 !

(src)="66"> Vyanzo vijizalilishaji katika viwango vya sasa vya ufanisi wa kiteknolojia vinaweza kuleta tofauti kiasi hiki , na pakiwa na waliyofanya Vinod na John Doerr na wengineo ,
(trg)="64"> 可再生能源的當前技術效率 可以產生這些變化 , 與維諾德 , 約翰 • 多爾和其他人 ,

(src)="67"> wengi wenu mlio hapa -- wengi wanahusika moja kea moja na hili -- hili tatizo litakuwa kwa kasi zaidikuliko makadirio ya sasa yanavyoonesha .
(trg)="65"> 包括你們在內 -- 直接參與的人們 -- 這一塊會比當前預報的更加迅速地增長 。

(src)="68"> Carbon capture and sequestation -- ndio CCS inavyosimama badala yake ina uwezekano wa kuwa utumizi muhimu mkuu hiyo itatuwezesha sisi kuendelea kutumia mafuta asili kwa namna mbayo ni salama .
(trg)="66"> 碳封存 -- 縮略詞就是CCS -- 可能成為最有效 可使我們繼續安全地使用礦物燃料的應用系統 。

(src)="69"> Lakini bado kidogo .
(trg)="67"> 但是我們還沒達到那裡 。

(src)="70.1"> Sawa .
(src)="70.2"> Sasa , ninyi mfanye nini ?
(src)="70.3"> Punguza uzalishaji wa hewa chafu majumbani .
(trg)="68"> 好了 。 現在 , 你能做些什麼 ? 從你的家裡減排

(src)="71"> Nyingi ya hizi gharama zinazalisha faida pia .
(trg)="69"> 這些開支也是有利的 。

(src)="72"> Kupunguza upotevu wa joto , ubunifu bora , ununuzi wa umeme bora kimazingira pale iwezekanapo .
(trg)="70"> 絕緣材料 , 更好的設計 , 應盡可使用綠色電 。

(src)="73"> Nimegusia magari -- nunua yatumiayo mchanganyo .
(trg)="71"> 我以前提及過汽車 -- 買混合動力汽車 。 使用輕鐵 。

(src)="75"> Tafuta machaguo kadhaa mengine ambayo ni mazuri zaidi .
(trg)="72"> 找其他更好的選擇 。 這是很重要的 。

(src)="77"> Kuwa mtumiaji rafiki kimazingira .
(trg)="73"> 成為一個綠色消費者 。 你有權去選擇你買的一切 ,

(src)="78"> Una machaguo katika kila ununuacho , baina ya vitu vyenye athari kali au athari ndogo zaidi kwenye mabadiliko ya hali ya hewa duniani .
(trg)="74"> 在有苛刻的作用或對 全球性氣候危機的較不苛刻的作用來選擇 。

(src)="79.1"> Fikiria hili .
(src)="79.2"> Chagua kuishi maisha yasiyokuwa na kaboni .
(trg)="75"> 考慮一下吧 。 決定去過一個碳中立的生活 。

(src)="80"> Kwa wale kati yenu ambao ni madhubuti katika usanifu wa majina , ningependa kupata ushauri na msaada wenu katika namna ya kusema hili kwa namna ambayo inapatana na watu wengi .
(trg)="76"> 你們那些擅長品牌的人 , 我想征求你們的意見和幫助 有關怎樣去說服更多人的方法 。

(src)="81"> Ni rahisi kuliko unavyofikiri .
(trg)="77"> 實際上這比你想象的更容易 。 是真的 。

(src)="83"> Wengi wetu humu tumefanya huo uamuzi na ni rahisi tu .
(trg)="78"> 我們這裡很多人都做出了那個決定 , 並且是一個相當容易的決定 。

(src)="84"> punguza uzalishaji wako wa kaboni daioksaidi kwa kutumia machaguo yako mbalimbali halafu nunuaau pata jinsi za kukabiliana kwa ajili ya kiasi kilichobaki pasipokupungua kabisa .
(trg)="79"> 從個人選擇方面來減少二氧化碳排出 , 然後購買或者獲取能 完全地抵消剩下的 。 它的意思在climatecrisis.net有詳盡闡述 。

(src)="86"> Hapo pana kikokotozi cha kaboni .
(trg)="80"> 那裡有碳計算器 。 Participant Productions已經聚集了 ,

(src)="87"> washiriki wazalishaji walikusanyika , pakiwa na uhusika hai kutoka kwangu , waandishi viongozi duniani wa programu za kompyuta katika hii sayansi geni ya ukokotozi wa kaboni kujenga kikokotozi cha kaboni ambacho ni rafiki kwa mtumiaji .
(trg)="81"> 與我的活躍介入 , 世界的主導軟件作家 在碳演算這神秘科學修建一個 消費者友好的碳計算器 。

(src)="88"> unaweza kwa usahii wa hali yuu kukokotoa kiasi cha utoaji wako wa CO2 , halafu ndipo utapewa machaguo yenyekupunguza .
(trg)="82"> 你能非常精確地計算什麼你的二氧化碳排放 , 然后將給你減少排放的選擇 。

(src)="89"> Na wakati filamu inapokaribia kuzinduliwa Mei , hii kuongezwa kuwa 2.0 na sisi tutabidi tubonye kununua jinsi za kukabiliana .
(trg)="83"> 並且 , 當電影在 5 月出來的時候 , 這將被更新到 2.0 , 並且我們將有按點購買抵消產品 。

(src)="90"> Linalofuata , fikiria kuifanya biashara yako isiwe itoayo kaboni .
(trg)="84"> 其次 , 考慮把你的企業變成碳中性 。 再次 , 我們一部份人已經做到了

(src)="91"> Tena , baadhi yetu tumeshafanya hivyo , na sio vigumu kama unavyofikiri .
(trg)="85"> 這並不是你想象的那麼困難 。 把你創新的發明與解決氣候問題合並起來 ,

(src)="92"> Unganisha ufumbuzi wa maswala hali ya hewa katika maswala yako yote ya uvumbuzi , kama unatoka katika maeneo ya teknolojia au burudani , au ubunifu na usanifumajengo .
(trg)="86"> 不論你在技術 , 或娛樂 , 或設計和建築行業 。

(src)="93"> Wekeza kwa uendelevu .
(trg)="87"> 可持續地去投資 。 Majora提及了此 。

(src)="95"> Sikiliza , kawa umewekeza fedha na mameneja ambao unawapa fidia kutakana na matokeo wanayoonesha kwa mwaka , usilalamike tena kuhusu taarifa za kila robomwaka za usimamizi wa mkurugenzi mtendaji .
(trg)="88"> 聽着 , 如果你的投資報償是 根據他們的每年表現來計算的 , CEO首席執行官與管理層再不要抱怨季度報告了 。

(src)="96"> Baada ya muda , Watu wanafanya kile unachewalipa ili wafanye .
(trg)="89"> 隨着時間 , 人們做你支付他們的去做事 。 如果他們的

(src)="97"> Na kama wataamua kiasi gani watalipwa kutoka mtaji wako ambao wamewekeza , kutokana na faida za ndani ya muda mfupi , utapata maamuzi ya ndani ya muda mfupi .
(trg)="90"> 報酬是根據用你的資本來做 短期回歸投資的話 , 你就會得到短期決定 。

(src)="98"> Kuna mengi ya kusemwa kuhusu hilo .
(trg)="91"> 此話有多說法 。

(src)="99"> Kuwa kichocheo cha mabadiliko .
(trg)="92"> 成為一個變革的催化劑 。 教育其他人 , 學習更多 , 多討論 。

(src)="101"> Filamu itazinduliwa -- filamu ni toleo la kifilamu kutoka yale maonesho ya picha niliyoyatoa usiku wa siku mbili zilizopita , isipokuwa inaburudisha zaidi .
(trg)="93"> 電影出來了 -- 電影是我前兩天晚上給大家看過的幻燈片 的電影版本 , 但電影版本就更有娛樂性了 。 電影版會在五月出來 。

(src)="103"> Wengi wenu hapa mna nafasi ya kuhakikisha watu wengi wanaiona .
(trg)="94"> 在座的每位有這個機會去說服更多人來看它 。

(src)="104"> Fikiria kumpeleka fulani Nashville .
(trg)="95"> 考慮派人到納稀威 。 選擇好 。

(src)="106"> Halafu mimi binafsi nitawafundisha watu jinsi ya ya kufanya haya maonesho ya picha , ya kiwa na maana nyingine upya ya baadhi ya hadithi binafsi pasipo shaka ikiwa na mbinu za ujumla , na -- sio tu haya maonesho ya picha , ni maana yanayoleta .
(trg)="96"> 我會親自訓練他們去給這個幻燈片的 , 再改一些 , 用一些普通的方法來替換某些個人故事 , 和 -- 這不僅是幻燈片 , 並且他們意味著什麼 。 他們是怎麼連接起來的 。

(src)="108"> Kwahiyo nitakuwa nikifundisha darasa kiangazi kijacho kwa ajili ya kundi la watu ambao wanachaguliwa na jamaa mbalimbali halafu naipa umati , ndani ya jamii mbalimbali nchi nzima , tutaongeza upya wa hizi picha tunazoonesha kwa wote kila juma ili kuzifanya ziwa za kisasa kabisa .
(trg)="97"> 我今年夏天會舉辦一個培訓班 給一群各方提名來的學員 , 然后把這個幻燈片 , 集體地 , 在全國各地的社區廣播 並且我們每一個星期會去更新所有的材料 來保持它的尖端性 。

(src)="109"> Nikifanya kazi na Larry Lessig , katikati ya mchakato huo , zitabandikwa zikiwa na hati miliki zinazoruhusu matumizi ya nje kiasi ili kwamba vijana waweze kumfanya michanganyiko na wafanye kwa namna zao binafsi .
(trg)="98"> 與拉里 • 萊西希一起合作 , 那個過程中將是 , 張貼有限使用版權的工具 , 因此青年人能用他們自己的方式去再混合使用它 。

(src)="110.1"> ( Makofi ) Ni wapi mtu yoyote alipata wazo kwanya mnatakiwa kukaa mbali kabisa na siasa ?
(src)="110.2"> Haimaanishi kwamba kama wewe ni mrepablikan ambaye najaribu kumshawishi awe
(trg)="99"> ( 掌聲 ) 誰說你應該跟政治保持一定的距離 ? 如果你是共和黨人這並不是說我想說服你成為

(src)="111"> mdemokrati.Tunawahitaji warepablikan pia.Hii lilishawahi kuwa swala lisililokuwa la mgawanyiko wa upand wowote ,
(trg)="100"> 民主黨 。 我們也需要共和黨人 。 這曾經是一個兩黨問題 ,