# sw/ted2020-1660.xml.gz
# zh/ted2020-1660.xml.gz
(src)="1"> Salaam alaikum
(trg)="1"> 願平安與各位同在 !
(src)="2"> Karibuni Doha .
(trg)="2"> 歡迎大家蒞臨多哈
(src)="3"> Mimi ndio muhusika wa usalama wa chakula nchi hii .
(trg)="3"> 我宜家嘅工作係負責卡塔爾嘅食品安全
(src)="4"> Hii ni kazi yangu kwa miaka miwili ijayo , kutengeneza mpango mkuu , na kwa miaka kumi ijayo kuupendekeza na watu wengine wengi ,
(trg)="4"> 但喺未來兩年 我要幫手規劃一個大項目 同埋喺之後嗰十年執行項目 當然有好多同事兼埋一齊做啦
(src)="5"> Lakini kwanza , nahitaji kukuhadithia , hii ni hadithi yangu , kuhusu nchi hii mliyopo leo
(trg)="5"> 但首先 , 我想同大家 分享一個我自己嘅故仔 呢個故仔發生喺大家身處嘅呢個國家
(src)="6"> Kwa uhakika , wengi wenu mmekula milo mitatu leo , nahisi mtaendelea kula tena baada ya hii shughuli .
(trg)="6"> 在座嘅大多數今日都應該食過三餐 或者喺活動之後仲會食
(src)="7"> Tuangalie sasa ni vipi Quatar ilikuwa katika mwaka 1940 ?
(trg)="7"> 但係 , 二十世紀四十年代嘅 卡塔爾是乜嘢樣嘅呢 ?
(src)="8"> Tulikuwa watu kama 11,000 tunaoishi hapa .
(trg)="8"> 大概有 11,000 人口
(src)="9"> Hakukuwa na maji.Hakukuwa an nishati , mafuta , magari , vyote hivo havikuwepo .
(trg)="9"> 冇水 、 冇能源 冇石油 、 冇汽車 … 乜都冇
(src)="10"> Watu wengi walioishi hapa waliishi vijiji vya pwani , kuvua , au walikuwa watu wa kuhamahama ambao walitembea kutafuta maji .
(trg)="10"> 喺度生活嘅大多數人 一係喺海邊村莊打魚為生 一係周圍遊牧揾水源
(src)="11"> Uzuri wote huu unauona haukuwepo .
(trg)="11"> 宜家大家所見嘅迷人景緻喺當時仲未有
(src)="12"> Hakukuwa na jiji kama uonavyo leo Doha au Dubai au Abu Dhabi au Kuwait au Riyadh .
(trg)="12"> 多哈 、 迪拜 、 阿布扎比 、 科威特 或者利雅得以前都係好落後
(src)="13"> Haikuwa kwamba walishidwa kuendeleza miji .
(trg)="13"> 之所以落後唔係因為人哋發展唔到城市
(src)="14"> Malighafi hazikuwepo kuweza kuendeleza .
(trg)="14"> 而係事關資源貧乏
(src)="15"> Na unaweza kuona muda wa watu kuishi ulikuwa mfupi .
(trg)="15"> 眾所週知 , 當時嘅人均壽命短
(src)="16"> Watu wengi walifariki katika miaka 50
(trg)="16"> 大多數人嘅壽命都係得 50 歲
(src)="17"> Twende sasa ukurasa wa pili : wakati wa mafuta .
(trg)="17"> 隨著時間發展 , 石油時代蒞臨嘞
(src)="18"> 1939 ,hapo ndipo mafuta yaligundulika .
(trg)="18"> 1939 年 , 當時嘅人首次喺中東發現石油
(src)="19"> Kwa bahati mbaya , hayakutumika vya kutosha kibiashara mpaka vita ya pili ya dunia .
(trg)="19"> 但遺憾嘅係 , 直到二戰之前 石油仲未得到全面嘅商業開採
(src)="20"> Ilifanya nini ?
(trg)="20"> 咁 , 石油到底起到幾大作用 ?
(src)="21"> Ilibadilisha muonekano wa nchi , kama unavyoona na kushuhudia .
(trg)="21"> 正如各位所見 佢改變咗呢個國家嘅面貌
(src)="22"> Na ilifanya wale watu wote waliokuwa wakizunguka jangwa .. kutafuta maji , kutafuta chakula , wakijaribu kuwatunza wanyama wao .. wakaepata maendeleo
(trg)="22"> 佢亦令喺沙漠揾水源同食物嘅 遊牧民族移居到城市
(src)="23"> Unaweza kuona ni ajabu , lakini katika familia yangu tuna lafudhi tofauti .
(trg)="23"> 大家可能會覺得奇 ︰ 我屋企人嘅口音不盡相同
(src)="24"> Mama yangu ana asili ambayo ni tofauti na baba yangu , wote tupo idadi inayofikia watu 300,000 tunaoishi katika nchi moja .
(trg)="24"> 我嘅母親同我嘅父親嘅口音有好大分別 那怕喺呢個人口 30 萬嘅國家
(src)="25"> Kuna lafudhi kama tano au sita katika nchi hii ninapoongea mpaka sasa .
(trg)="25"> 就已經有五六種唔同口音
(src)="26"> Kuna mtu husema " Kivipi ? Inawezekanaje kutokea ?
(trg)="26"> 有人會問點解 ?
(src)="27"> Kwa kuwa tuliishi tukiwa tumetawanyika .
(trg)="27"> 査實係事關我哋住得好零散
(src)="28"> Hatukuishi katika sehemu ya pamoja sana kwa sababu hatukuwa na malighafi .
(trg)="28"> 畢竟資源唔集中 我哋冇可能咁集中居住
(src)="29"> Na malighafi zilipokuja , mafuta , tukaanza kutengeneza teknolojia ya hali ya juu na kuwaleta watu pamoja kwa sababu tulihitaji kukusanyika .
(trg)="29"> 但當資源 , 即係石油 , 豐富嘅時候 我哋就開始發展先進技術 並因應發展所需 , 將人集中起嚟
(src)="30"> Watu walianza kufahamiana .
(trg)="30"> 住喺唔同地方嘅人開始瞭解對方
(src)="31"> Na tukagundua kulikuwa na tofauti ya asili .
(trg)="31"> 於是乎發現大家嘅口音好唔相同
(src)="32"> Hiyo ilikuwa ukurasa wa pili : wakati wa mafuta .
(trg)="32"> 以上就係石油時代嘅情況
(src)="33"> Tuangalie leo .
(trg)="33"> 宜家我哋嚟關注今日
(src)="34"> Inawezekana hiki ndicho wengi mnachojua kuhusu Doha .
(trg)="34"> 呢個就係今時今日嘅多哈
(src)="35"> Idadi ya watu ikoje leo ?
(trg)="35"> 今日嘅人口有幾多 ?
(src)="36"> ni watu milioni moja na laki saba .
(trg)="36"> 經已係 170 萬人嘅大城市
(src)="37"> Hiyo ni katika kipindi kisichozidi miaka 60 .
(trg)="37"> 但發展所花嘅時間卻少過 60 年
(src)="38"> Wastani wa ukuaji w uchumi wetu ni asilimia 15 katika miaka mitano iliyopita .
(trg)="38"> 過去五年經濟平均增長 15 %
(src)="39"> Tegemeo la kuishi limeongezeka hadi miaka 78 .
(trg)="39"> 壽命預期提升至 78 歲
(src)="40"> Matumizi ya maji yameongezeka hadi lita 430 .
(trg)="40"> 人均用水量上到去 430 升
(src)="41"> Na hii ndo takwimu kubwa duniani .
(trg)="41"> 人均用水量達到世界高水平
(src)="42"> Kutoka kutokuwa na maji mpaka kutumia maji katika kiwango kikubwa duniani , kikubwa kuliko taifa lolote .
(trg)="42"> 由水資源極其匱乏 到用水量達到世最高水平
(src)="43"> Sijui kama hii ni matokeo ya ukosefu wa maji .
(trg)="43"> 我唔知係咪因為過往啲人太缺水所致
(src)="44"> Lakini ni kipi kinachonifurahisha kwenye hadithi niliyosimulia ?
(trg)="44"> 之不過呢個故仔最盞鬼係乜嘢呢 ?
(src)="45"> Kinachofurahisha ni kwamba tunaendelea kukua asilimia 15 kila mwaka kwa miaka mitano bila maji .
(trg)="45"> 最盞鬼係過去五年係冇水嘅情況下 我哋仍然能夠保持 15 % 經濟增長
(src)="46"> Sasa hiyo ni historia.Haijawahi tokea kabla ya historia .
(trg)="46"> 呢個簡直係傳奇 係從未喺歷史出現過嘅
(src)="47"> Miji yote iliharibika kwa sababu ya ukoseu wa maji .
(trg)="47"> 歷史上 , 冇水源嘅城市都會被廢棄
(src)="48"> Hii ni historia iliyotengenezwa katika eneo hili .
(trg)="48"> 但係喺多哈 , 啲人卻改寫歷史
(src)="49"> Sio miji tu ndo tunajenga , lakini miji yenye maono na watu ambao wanatamani kuwa wanasayansi , madaktari .
(trg)="49"> 城市唔止係講緊興建咁簡單 更加載住好多人嘅夢想 想成為科學家 、 醫生
(src)="50"> Kujenga nyumba nzuri , kuwaleta wasanifu majengo , kutengeneza nyumba yangu .
(trg)="50"> 佢哋都想起靚嘅家園 請建築師設計屋企
(src)="51"> Hawa watu wanaamini kwamba sehemu hii unaweza kuishi wakati ilipokuwa haiwezekani .
(trg)="51"> 正因為人嘅堅定同努力 令呢笪不毛之地變成宜居繁榮
(src)="52"> Lakini kwa sababu ya teknolojia .
(trg)="52"> 但一切都必須歸功於先進科技
(src)="53"> Brazil ina kiasi cha mvua kwa milimita 1782 kwa mwaka .
(trg)="53"> 巴西嘅年降雨量有 1,782 毫米
(src)="54"> Quatar ina 74 ,na tuna ukuaji kiasi hicho .
(trg)="54"> 卡塔爾淨係得 74 但同巴西經濟發展率一樣
(src)="55"> Swali ni kivipi ?
(trg)="55"> 咁點解我哋可以齋靠 74 毫米嘅 雨量成就今日呢 ?
(src)="57"> Hatuna maji kabisa .
(trg)="56"> 雖然我哋冇水資源
(src)="58"> kwa sababu ya mashine kubwa ya kutoa chumvi kwenye maji .
(trg)="57"> 但我哋有好龐大嘅海水淨化裝置
(src)="59"> Nishati ni kitu kikubwa hapa.Imebadilisha kila kitu .
(trg)="58"> 呢個時候能源就係關鍵 ︰ 能源改變一切
(src)="60"> Ni ambacho kinakitoa toka ardhini , tunaunguza tani na tani , wengi wenu mmekitumia kuja Doha .
(trg)="59"> 能源就係我哋從地底抽取同消耗嘅石油 査實在大多數人嚟到多哈都係靠佢
(src)="61"> Hilo ni ziwa letu , kama unaweza kuona .
(trg)="60"> 所以 , 石油就似係我哋嘅湖泊同河流
(src)="63"> Hivyo ndivyo inavotokea mpaka kutumia na kufaidi maji .
(trg)="61"> 事關有佢 , 大家先至有淡水可用
(src)="64"> Hii ni teknolojia nzuri sana ambayo eneo hili linayo , kuondoa chumvi katika maji
(trg)="62"> 講到呢度 , 海水淡化技術 係對呢個地方最大嘅恩物
(src)="65"> Je , hatari ni zipi ?
(trg)="63"> 但呢個地方咁樣發展 , 有咩風險 ?
(src)="66"> Unaogopa sana ?
(trg)="64"> 你哋有冇擔心過 ?
(src)="67"> Naweza kusema , ukiangalia ukweli kiujumla , utagundua , unatakiwa kuwa na mashaka .
(trg)="65"> 我想講嘅係 , 當我哋放眼全球 你就會發現 , 擔心並非多餘
(src)="68"> Kuna hitaji la kukua , ukuaji wa idadi ya watu .
(trg)="66"> 人口不斷增長 對資源嘅需求亦都不斷增長
(src)="69"> Tumekuwa bilioni saba miezi michache iliyopita .
(trg)="67"> 幾個月前 , 全球人口總數 經已經超過 70 億
(src)="70"> Na hiyo idadi pia inahitaji chakula .
(trg)="68"> 隨之而嚟嘅就係對食物需求嘅增長
(src)="71"> Na kuna makisio kwamba tutakuwa bilioni tisa kwa mwaka 2050 .
(trg)="69"> 據預測 , 到 2050 年 全球人口會突破 90 億
(src)="72"> Kwa hiyo nchi ambayo haina maji inakuwa na wasiwasi kipi kitachotokea nje ya mipaka yake .
(trg)="70"> 對於一個缺乏水資源嘅國家嚟講 必須要考慮未來人口增長帶嚟嘅負擔
(src)="73"> Kuna kubadilisha ulaji .
(trg)="71"> 呢一事實甚至改變咗人嘅飲食方式
(src)="74"> Kwa kuongezeka katika hali ya juu ya maisha , pia wanabadilisha ulaji wao .
(trg)="72"> 隨著社會經濟水平提高 人嘅飲食習慣亦都隨之改變
(src)="75"> Wanaanza kula kula sana nyama na vinginevyo .
(trg)="73"> 例如會食更加多肉
(src)="76"> Kwa upande mwingine , uzalishaji unaporomoka kwa sababu ya mabadiliko ya tabia ya nchi na sababu nyinginezo .
(trg)="74"> 另一方面 , 因為氣候變化同其他原因 農作物產量減少
(src)="77"> Na inatakiwa mtu atambue lini hili tatizo litakuja kutokea .
(trg)="75"> 所以 , 人不得不面對危機會發生嘅事實
(src)="78"> Hii ni hali hapa Quatar , kwa wale wasiojua .
(trg)="76"> 呢個就係卡塔爾嘅現況
(src)="79"> Tuna siku mbili tu za utunzaji maji .
(trg)="77"> 我哋嘅淡水儲備只夠用到兩日
(src)="80"> Tunaagiza asilimia 90 ya chakula chetu , na tunalima chini ya asilimia moja ya ardhi yetu .
(trg)="78"> 我哋 90 % 嘅食物都依賴進口 我哋亦衹開發咗 1 % 嘅國土
(src)="81"> Idadi ndogo ya wakulima ambayo tunayo wameondolewa katika taratibu zao za ulimaji kwa sababu ya soko huria na ushindani , n.k.
(trg)="79"> 我哋為數唔多嘅農民 亦都因為市場開放政筞 同引進激烈競爭等原因 而唔再從事農業生產
(src)="82"> Kwa hiyo tunakumbana na hatari
(trg)="80"> 所以話 , 危機的確存在
(src)="83"> Hatari hizi zimeathiri uendeleaji wa taifa hili
(trg)="81"> 呢啲危機直接影響著呢個國家嘅 可持續發展同延續性
(src)="84"> Swali ni kwamba , je kuna suluhisho ?
(trg)="82"> 咁 , 有乜解決方案呢 ?
(src)="85"> Kuna ufumbuzi wa uhakika ?
(trg)="83"> 有冇解決方案 ?
(src)="86"> Kiukweli upo .
(trg)="84"> 答案係有嘅
(src)="87"> Hii inaonesha nyaraka zipatazo 1000 za kiufundi ambazo tulikuwa tunafanyia kazi katika miaka miwili iliyopita .
(trg)="85"> 呢份投影片總結咗數千頁嘅 技術文件內容 亦都係我哋過去兩年嘅工作成果
(src)="88"> Tuanze na maji .
(trg)="86"> 我先講水資源
(src)="89"> Tunajua fika ... niliwaonyesha mapema .. kwamba tunahitaji hii nishati .
(trg)="87"> 之前我哋經已知道 , 我哋確實需要能源
(src)="90"> Kwa hiyo kama tutahitaji nishati , ni aina ipi ?
(trg)="88"> 如果我哋需要能源 , 要係咩能源 ?
(src)="91"> nishati inayoisha ? mafuta ghafi ?
(trg)="89"> 不可再生資源 ? 化石燃料 ?
(src)="92"> Au tutumie kitu kingine ?
(trg)="90"> 定係我哋可以用其他能源 ?
(src)="93"> Tunayo faida ya kulinganisha kutumia aina nyingine ya nishati ?
(trg)="91"> 假設我哋使用其他能源 係咪會有更多著數 ?
(src)="94"> Nahisi wote mnafahamu kwamba tuna siku 300 za jua .
(trg)="92"> 我斷估大多數人都諗到太陽能
(src)="95"> Kwa tunaweza tumia hii nishati kutupa maji tunayohitaji .
(trg)="93"> 冇錯 , 呢度全年晴天日數 高達 300 日 , 陽光充沛 所以 , 我哋要利用太陽能製造水
(src)="96"> Kwa hiyo tunaweza kuweka 1800 megawati za umeme jua kuzalisha milioni 3.5 za ujazo za maji .
(trg)="94"> 於是我哋興建 180 萬千瓦功率嘅 太陽能發電設施 嚟製造 350 萬立方米嘅淡水
(src)="97"> Na hayo ni maji mengi .
(trg)="95"> 350 萬一啲都唔細數
(src)="98"> Hayo maji yataenda kwa wakulima , na wakulima wataweza kumwagilia mazao yao , wataweza kuihudumia jamii kwa chakula
(trg)="96"> 呢啲淡水將會分配畀農民 用嚟灌溉農作物 進而為社會供應糧食
(src)="99"> Lakini kwa ajili ya kuhimili upande huu kwa sababu hii ni mipango , hii ni mipango tunayotekeleza pia tunatakiwa tuendeleze upande mwingine kusimamia mifumo , elimu ya hali ya juu , tafiti na maendeleo , vinwanda , teknolojia , kutengeneza teknolojia kwa matumizi , na mwisho masoko .
(trg)="97"> 但係 , 我哋唔單止要做到可持續 我哋仲需要追求發展同進步 包括系統可靠性 、 高等教育 研究開發 、 工業 、 科技 令製造出嚟嘅科技可以 用於應用同市場裏面
(src)="100"> Lakini kipi kinarahisha na kuwezesha , ni sheria , sera , utaratibu .
(trg)="98"> 但係要將所有嘢到位 需要有法律 、 政策同規範
(src)="101"> Bila hivi hatuwezi kufanya chochote .
(trg)="99"> 冇咗法律 、 政策同規範 一切都衹係空談
(src)="102"> Kwa hiyo hiki ndicho tunachopanga kufanya .
(trg)="100"> 呢個亦正係我哋計劃之中嘅工作