# sw/ted2020-1733.xml.gz
# uz/ted2020-1733.xml.gz


(src)="1"> Nilipokuwa na miaka 27 niliacha kazi ya kuchukua muda sana kama mshauri wa utawala kufanya kazi inayochukua muda zaidi sana ya kufundisha .
(trg)="1"> 27 yoshligimda , menejment konsaltingi sohasidagi talabgir ishimni tashlab , undan-da talabgir bo ‘ lgan boshqa ishga o ‘ tdim : o ‘ qituvchilikka .

(src)="2.1"> Nilienda kufundisha hisabati , watoto wa darasa la saba .
(src)="2.2"> Katika shule ya serikali ya New York .
(trg)="2"> Men Nyu-Yorkga davlat maktablarida 7-sinf o 'quvchilariga matematikadan dars berish uchun bordim .

(src)="3"> Na kama Mwalimu yeyote , niliandaa majaribio na mitihani .
(trg)="3"> Va har bir o ‘ qituvchi kabi , nazorat ishlari va testlar oldim .

(src)="4"> Nilitoa pia mazoezi ya nyumbani
(trg)="4"> Uyga vazifalar berdim .

(src)="5"> Kazi ziliporudishwa , nikafanya mahesabu ya alama walizopata .
(trg)="5"> Uy ishlari qaytib kelganda baholarni hisoblab chiqardim .

(src)="6"> Kilichonishangaza ni kuwa I.Q haikuwa tofauti pekee kati ya wanafunzi wanaofanya vizuri sana na wale waliofanya vibaya sana .
(trg)="6"> Meni shu hayron qoldirdiki , mening eng yaxshi va eng yomon o ‘ quvchilarim o ‘ rtasidagi yagona farq IQda emas edi .

(src)="7"> Baadhi ya wale wazuri sana hawakuwa na I.Q za juu sana .
(trg)="7"> Eng kuchli o ‘ quvchilarning ba 'zilarida IQ darajasi u darajada

(src)="8"> walikuwa hawafanyi vizuri sana .
(trg)="8.1"> yuqori emas edi .
(trg)="8.2"> Eng aqlli o 'quvchilarimning ba 'zilari esa uncha yaxshi o ‘ qimayotgandi .

(src)="9"> na hii ikanifanya nifikiri .
(trg)="9"> Ana shu meni o ‘ yga toldirdi .

(src)="10"> Vitu unavyohitaji kujifunza darasa la saba ni kweli vigumu kama : uwiano , desimali , eneo la msambamba .
(trg)="10"> 7-sinf matematikasida o ‘ rganilishi kerak bo ‘ lgan mavzular , albatta , qiyin edi : nisbatlar , o ‘ nlik sanoq , parallelogrammning yuzi .

(src)="11"> lakini dhana hizi sio ngumu , na niliamini kuwa wanafunzi wangu wanaweza kujifunza vitu hivi kama wakijituma kwa bidii .
(trg)="11"> Lekin ularni tushunish imkonsiz emas edi va men o ‘ quvchilarimning har biri yetarlicha qattiq va uzoq vaqt o ‘ z ustida ishlasa , o ‘ quv dasturini o ‘ zlashtira olishiga ishonchim komil edi .

(src)="12"> Baada ya miaka kadhaa ya kufundisha , nilipata hitimisho kuwa tunachohitaji katika elimu ni ufahamu mzuri zaidi wa wanafunzi na usomaji kwa kuangalia upande wa uhimizaji kwa kuangalia upande wa kisaikolojia
(trg)="12"> Yana bir necha yil muallimlik qilganimdan keyin , men ta 'limda biz o ‘ quvchilarni va o ‘ rganish jarayonini motivatsion va psixologik nuqtai nazardan ancha ko ‘ proq anglashimiz zarur degan xulosaga keldim .

(src)="13"> Katika elimu , kitu tunachokipima vizuri
(trg)="13"> Ta 'limda biz o ‘ lchashni eng yaxshi eplaydiganimiz IQdir .

(src)="14"> ni I.Q , lakini vipi kama kufanikiwa shuleni na katika maisha inategemea zaidi ya uwezo wako wa kusoma haraka na kirahisi ?
(trg)="14"> Lekin maktabda va hayotda muvaffaqiyatga erishish tez va oson o ‘ rganib olish qobiliyatidan ancha ko ‘ prog ‘ iga bog ‘ liq bo ‘ lsachi ?

(src)="15"> Nikaondoka darasani , na nikaenda katika masomo ya uzamili ili kuwa mwanasaikolojia
(trg)="15"> Shunday qilib men sinfxonani tark etdim va psixolog bo ‘ lish uchun magistraturaga kirdim .

(src)="16"> nikaanza kujifunza kuhusu watoto na watu wazima katika mazingira magumu mbalimbali , na katika kila utafiti swali langu lilikuwa , ni nani ambaye amefanikiwa hapa na kwa nini ?
(trg)="16"> Men bolalar va kattalarni barcha turdagi o 'ta sinovli sharoitlarda o ‘ rgana boshladim , va har bir izlanishda mening oldimda " Bu yerda kim zafar quchmoqda va nega ? " degan savol turardi .

(src)="17"> Timu yangu ya watafiti na mimi tulienda katika chuo cha kijeshi cha West Point .
(trg)="17"> Men tadqiqot jamoam bilan West Point harbiy bilim yurtiga bordik .

(src)="18"> Tulijaribu kutabiri makadeti gani watakaa katika mafunzo na wale ambao watashindwa na mafunzo
(trg)="18"> Biz kadetlardan qay biri harbiy ta 'limda qolishi va qaysilari uni tashlab ketishini bashorat qilishga urindik

(src)="19"> Tukaenda shindano la taifa la kutamka herufi na kutabiri watoto gani wataendelea mpaka mwisho wa shindano .
(trg)="19"> Biz AQShdagi Milly Imlo Tanloviga bordik va bolalardan qaysilari musobaqada uzoqroqqa borishini taxmin qilishga urundik .

(src)="20"> Tuliwatafiti walimu wapya wanaofanya kazi katika maeneo magumu sana , tukiuliza walimu gani wataendelea kuwepo wakifundisha mpaka mwisho wa mwaka wa masomo , na kati yao , yupi atakuwa amefanikiwa kuongeza uwezo wa kimasomo wa wanafunzi wake ?
(trg)="20"> Biz ishlash juda og ‘ ir bo ‘ lgan tumanlarga dars berish uchun yangi kelgan muallimlardan qaysilari shu yerda o ‘ qituvchiligini o ‘ quv yili oxirigacha davom ettirarkan va ulardan qaysilari o ‘ z o ‘ quvchilarining o ‘ zlashtirish natijalarini yaxshilay olarkan deb izlandik .

(src)="21"> Tulishirikiana na kampuni binafsi , tukiuliza kati ya watu kadhaa wa masoko ni yupi atakayeendelea kuwa kazini ?
(trg)="21"> Xususiy kompaniyalar sotuvchilaridan qaysilari o ‘ z ishlarini saqlab qolishi va kim eng ko ‘ p

(src)="22"> na yupi atapata pesa nyingi zaidi ?
(trg)="22"> pul topishini so ‘ rab , hamkorlik qildik .

(src)="23"> katika mazingira hayo mbalimbali , kitu kimoja kiliibuka kama kiashiria muhimu cha mafanikio .
(trg)="23"> Mana shu barcha turfa shart-sharoitlarda bir xususiyat muvaffaqiyat bashoratlovchisi sifatida ajralib chiqdi .

(src)="24"> haikuwa uwezo wa kufikiri .
(trg)="24"> Bu ijtimoiy aql-idrok emas ,

(src)="25"> haikuwa mwonekano wa kuvutia , afya nzuri na haikuwa I.Q
(trg)="25"> yaxshi tashqi ko ‘ rinish , jismoniy tetiklik emas , va IQ ham emas edi .

(src)="26"> ilikuwa ni uvumilivu na shauku
(trg)="26"> Bu matonat edi .

(src)="27"> ni shauku na uvumilivu wa malengo ya muda mrefu .
(trg)="27"> Matonat - bu juda uzoq muddatli maqsadlar uchun ishtiyoq va tirishqoqlikka

(src)="28"> ni kuwa na stamina .
(trg)="28.1"> ega bo ‘ lishdir .
(trg)="28.2"> Matonat bu qat 'iyatli bo ‘ lish demak .

(src)="29"> ni kung 'ang 'ania kila siku , si kwa wiki moja , si kwa mwezi mmoja , lakini ni kwa miaka , ma kufanya kazi kwa bidii na kufanya maisha yako ya baadaye kuwa kitu halisi .
(trg)="29"> Matonat - kelajakdagi maqsadlarga sodiq bo ‘ lish demakdir , kundan kunga , shunchaki bir hafta emas , shunchaki bir oy emas , balki yillar davomida va o ‘ sha kelajakni ro ‘ yobga chiqarish uchun jon-jahdi bilan ishlash matonatdir .

(src)="30"> ni kuishi maisha kama mbio ndefu za marathon na sio mbio fupi .
(trg)="30"> Matonat hayotni sprintdagidek emas , marafondagidek yashab o ‘ tishdir .

(src)="31"> Miaka michache iliyopita nilianza , kujifunza kuhusu hali hii katika shule za serikali za mji wa Chicago .
(trg)="31"> Bir necha yillar oldin , men Chikagodagi davlat maktablarida matonatni tadqiq qila boshladim .

(src)="32"> niliwaomba maelfu ya wanafunzi wa sekondari kujibu dodoso kuhusu hali hii baadae nikasubiri zaidi ya mwaka mmoja kuangalia ni nani atakayehitimu .
(trg)="32"> Men minglab bitiruvchi sinfidagilardan matonat so ‘ rovnomalarini to ‘ ldirishni so ‘ radim va kim bitirishini ko ‘ rish uchun bir yildan oshiqroq vaqt poyladim .

(src)="33"> inaonekana watoto wenye shauku na uvumilivu huu sana walikuwa na nafasi kubwa zaidi ya kuhitimu , hata pale nilipolinganisha vigezo mbalimbali , vigezo kama kipato cha familia , matokeo ya mitihani ya kupima uwezo , hata watoto walivyojisikia salama wakiwa shuleni .
(trg)="33.1"> Ma 'lum bo ‘ ldiki , matonatliroq bolalarning maktabni bitirish ehtimoli sezilarli darajada yuqori ekan .
(trg)="33.2"> Hattoki men hisoblashim mumkin bo ‘ lgan har bir xususiyatlar , masalan , oilasining daromadi , standartlashtirilgan o ‘ zlashtirish imtihon baholari , hatto bolalar maktabligida qanchalik o ‘ zini xavfsiz his qilishini solishtirib ko ‘ rganimda ham .

(src)="34"> Kwa hiyo si tu katika chuo cha Westpoint au shindano la taifa la kutamka herufi shauku na uvumilivu huu unapokuwa na maana , lakini shuleni ,
(trg)="34"> Demak , matonat faqatgina harbiy bilim yurti yoki Milliy Imlo Tanlovidagina katta ahamiyatga ega emas .

(src)="35"> zaidi sana kwa watoto walio hatarini kuacha masomo .
(trg)="35"> U maktablarda ham muhim , ayniqsa o ‘ qishni tashlash xavfi bor bolalar uchun .

(src)="36"> Kwangu kitu cha kushangaza kuhusu shauku na uvumilivu huu ni jinsi tusivyofahamu mengi kuhusu hali hii jinsi kidogo sana sayansi inavyojua , kuhusu kuijenga .
(trg)="36"> Matonatni tadqiq qilib , uni shakllantirish haqida biz qanchalik oz bilishimiz , ilm-fanga qanchalik oz ma 'lumligi meni eng hayratga solgan narsa bo ‘ ldi .

(src)="37"> Kila siku , wazazi na walimu wananiuliza , " Ninaijengaje hali hii ndani ya watoto " ?
(trg)="37"> Har kuni mendan ota-onalar va o ‘ qituvchilar so ‘ rashadi : " Bolalarda qanday qilib matonatni shakllantiraman ?

(src)="38"> nifanyeje kuwafundisha watoto umuhimu wa kazi ?
(trg)="38"> Ularga mustahkam ish o 'rgatish uchun nima qilishim kerak ?

(src)="39"> nifanyeje kuwamasisha kwa muda mredu zaidi ? "
(trg)="39"> Ularning motivatsiyasini uzoq vaqtga qanday ushlab tursa bo ‘ ladi ? "

(src)="40"> Jibu ni kuwa sijui .
(trg)="40"> Ochiqchasiga javob bersam , Men bilmayman .

(src)="41"> ( vicheko ) nachojua ni kuwa kipaji hakikusaidii kuwa na hali hii .
(trg)="41"> ( Kulgi ) Biladiganim shuki , iqtidor sizni matonatli qilib qo ‘ ymaydi .

(src)="42"> Taarifa zetu zinaonyesha wazi wazi kuwa wapo wengi wenye vipaji mbalimbali lakini wanshindwa kutimiza majukumu yao .
(trg)="42"> Bizdagi ma 'lumotlar aniq-ravshan qilib shuni ko ‘ rsatadiki , o ‘ z majburiyatlarini ado etishda sobitqadam bo ‘ lmagan ko ‘ p iqtidor egalari bor .

(src)="43"> na ukweli ni kwamba katika taarifa zetu , inaonyesha hakuna uhusiano wa aina yoyote na kipaji
(trg)="43"> Aslida , bizdagi ma 'lumotlarda matonat iqtidor o ‘ lchovlariga odatda bog ‘ liq emas , yoki hatto ziddir .

(src)="44"> mpaka sasa , wazo zuri zaidi la kujenga hali hii kwa watoto nililolisikia ni kitu kinaitwa " ukuaji wa ufahamu . "
(trg)="44"> Shu paytgacha bolalarda matonatni shakllantirish bo ‘ yicha eshitganlarimning eng zo ‘ ri " growth mindset " , ya 'ni o ‘ sishga moyil qarashdir .

(src)="45"> hili ni wazo liloanzishwa chuo kikuu cha Stanford na Carol Dweck , na ni imani kuwa uwezo wa kujifunza hauna mipaka , unaweza kubadilika kutokana na juhudi yako .
(trg)="45"> Bu Stenford Universitetida Karol Dvek tomonidan yaratilgan g ‘ oya bo ‘ lib , o ‘ rganish qobiliyati turg ‘ un emas , uni o ‘ z sa 'y-harakatlaringiz bilan o ‘ zgar- tirishingiz mumkinligiga ishonishdir .

(src)="46"> Dr Dweck ameonyesha kuwa watoto wanaposoma na kujifunza kuhusu ubongo na jinsi unavyokua na kuongezeka unapokabiliana na changamoto , wanakuwa na nafasi kubwa ya kuvumilia wanaposhindwa , kwa kuwa hawaamini kuwa kushindwa kuwa ni hali ya kudumu .
(trg)="46"> Doktor Dvek shuni ko ‘ rsatdiki , bolalar miya va uning qiyinchiliklarga javoban o ‘ zgarishi va rivojlanishi haqida o ‘ qib , o ‘ rganar ekanlar , muvaffaqiyatsizlikka uchraganlarida shunchalik tirishadilarki , chunki ular muvaffaqiyatsizlikni doimiy holat emasligiga ishonadilar .

(src)="47"> Kwa hiyo ukuaji wa ufahamu ni wazo zuri kwa kujenga hali hii .
(trg)="47"> Shunday qilib " o ‘ sishga moyil qarash " matonatni shakllantirish uchun ajoyib g ‘ oya .

(src)="48"> lakini tunahitaji zaidi .
(trg)="48"> Lekin bizga bundan ko ‘ prog ‘ i kerak .

(src)="49"> na hapa ndipo nitafunga maelezo yangu , kwa sababu ndipo tulipo .
(trg)="49"> Shu yerda esa men o ‘ z xulosalarimni tugataman , sababi biz xali shu joyidamiz .

(src)="50"> Hii ndiyo kazi iliyoko mbele yetu .
(trg)="50"> Oldimizda shunday ish turibdi-da .

(src)="51"> Tunahitaji kuchukua mawazo yetu mazuri na kuyajaribu .
(trg)="51"> Biz o ‘ zimizning eng yaxshi g ‘ oyalarimiz va eng kuchli intuitsiyalarimizni sinashimiz zarur .

(src)="52"> Tunahitaji kupima kama tumefanikiwa , na tunahitaji kukubali kufeli , kutokuwa sahihi , kuanza upya na masomo tuliyojifunza .
(trg)="52"> Ishimiz omadli chiqqani yo chiqmaganini aniqlashimiz , muvaffaqiyatsizlikka uchrash , xato qilishga va yana qaytadan boshlashga tayyor bo ‘ lishimiz lozim .

(src)="53"> Kwa maneno mengine , tunahitaji kuwa na uvumilivu na shauku hii. kuwafanye watoto wetu kuwa na shauku na uvumilivu huu .
(trg)="53"> Boshqacha qilib aytganda , biz bolalarimizni matonatliroq qilish uchun matonatliroq bo ‘ lishimiz kerak .

(src)="54"> Asante
(trg)="54"> Rahmat .

(src)="55"> ( Makofi )
(trg)="55"> ( Qarsaklar )

# sw/ted2020-1763.xml.gz
# uz/ted2020-1763.xml.gz


(src)="1"> KIla kitu kinahusiana na kingine
(trg)="1"> Hamma narsa bir biriga bog 'langan .

(src)="2"> Kama muhindi , nilikuzwa kujua hili
(trg)="2"> Men Shinnekokli Hind sifatida , bu so 'z bilan ulg 'aydim .

(src)="3"> Sisi ni kabila dogo la wavuvi Katika ncha ya kusini mashariki mwa kisiwa cha Long karibu na mji wa Southampton katika jiji la New York .
(trg)="3"> Bizlar baliq ovlovchi kichik qabilamiz , va New Yorkning Southampton shahri yonidagi , Long Island orolining janubiy sharqida joylashganmiz .

(src)="4"> Nilipokuwa msichana mdogo , Babu yangu alinichukua kukaa naye juani katika wakati wa majira ya joto .
(trg)="4"> Yoshligimda , issiq bir yoz kuni bobom bilan tashqarida o 'tirgandik .

(src)="5"> Hakukuwa na mawingu angani .
(trg)="5"> Osmonda hech bulut yo 'q edi .

(src)="6"> na baada ya muda mfupi nikaanza kutoka jasho .
(trg)="6"> Biroz so 'ngra men terlay boshladim .

(src)="7"> na akanionyesha angani na kusema , " Angalia , unaona kile ?
(trg)="7"> Bobom esa osmonni ko 'rsatip , dedi ki , " Qara , ko 'ryapsanmi ?

(src)="8"> Ile ni sehemu yako kule juu .
(trg)="8"> U sening bir parchang .

(src)="9"> Yale ni maji yako yanayosaidia kutengeneza mawingu yanayokuwa mvua inayonywesha mimea ambayo inalisha wanyama . "
(trg)="9"> Sendan chiqqan bug 'dan o 'sha bulut paydo bo 'ladi va u yomg 'irga aylanib o 'simliklarning va jonivorlarning chanqog 'ini bosadi . "

(src)="10"> katika utafiti wangu wa mambo haya ambayo yanaonyesha uhusiano katika maisha , Nilianza kukimbiza vimbunga mwaka 2008 baada ya binti yangu kusema , " Mama , ni lazima ufanye hivyo . "
(trg)="10"> Men hayotta hamma narsaning bir biriga bog 'langanligini ko 'rsatuvchi tabiat hodisalari ustida tadqiqot yuritishni davom ettirdim , va 2008-yili to 'fonlarni taqib qilishni boshladim , o 'shanda qizim menga qarap dedi , " Oyi , siz bu kasb bilan shugullaning . "

(src)="11"> siku tatu baadaye , nikiendesha gari kwa kasi sana , nikajikuta nafuatilia aina moja ya wingu kubwa sana , lenye uwezo wa kutengeneza mvua ua mawe kubwa na vimbunga vya ajabu , ingawa ni asilimia mbili tu hufanya hivyo .
(trg)="11.1"> Shunday qilip , uch kun so 'ngra men mashinamni juda tez haydagan holda super hujayra dep nomlangan bahaybat bir bulutni taqib qilishni boshladim .
(trg)="11.2"> Bahaybatligidan greypfrut kabi do 'l va ajoyib quyun hosil qila oladigan bulut turi , garchi faqat ikki foizi bunday qiladi .

(src)="12"> mawingu haya yanaweza kuwa makubwa sana , mpaka maili 50 kwa upana na yanaweza yakaenda mpaka futi 65,000 juu angani .
(trg)="12"> Bu tur bulutlar 50 milyagacha kengaya oladi , va 65000 futgacha ( 20000ga yaqin metr ) atmosferaga erisha oladi .

(src)="13"> yanaweza yakawa makubwa sana kiasi cha kuzuia mwanga wa mchana , kufanya ukisimama chini yake kuwa peusi sana .
(trg)="13"> Kunduzgi yorug 'likni to 'sip qoyadigan darajada kattarip , hammayoqni qorong 'ulikka burkab , ostidagilarni dahshatga soladi .

(src)="14"> Kukimbiza vimbunga ni kitu chenye mguso wa kipekee .
(trg)="14"> To 'fon taqib qilish sezgirlikni talap qiladi .

(src)="15"> unakuta kuna upepo mnyevu wa joto unaopuliza mgongoni kwako haufu ya mchanga , ngano na majani .
(trg)="15"> Orqangizda iliq va nam shamol esishi , tuproq hidi , bug 'doy , maysa va boshqa zaryadlangan zarralar .

(src)="16"> halafu pia kuna rangi mbalimbali katika mawingu ya mvua ya mawe , ya kijani na bluu .
(trg)="16"> So 'ngra ranglar paydo bo 'ladi bulutlarda , do 'ldan oldingi yashil va zangori-ko 'kish ranglari .

(src)="17"> nimejifunza kuiheshimu radi .
(trg)="17"> Men chaqmoqlarni hurmat qilishni o 'rgandim .

(src)="18"> Nywele zangu zilikuwa hazijajikunja ziko moja kwa moja .
(trg)="18"> Sochim ilgari tep-tekis edi .

(src)="19"> ( vicheko ) ninatania .
(trg)="19"> ( Qahqaha ) Shunchaki hazillashtim .

(src)="20"> ( vicheko ) kinachonifurahisha mimi kuhusu vimbunga hivi ni jinsi vinavyotembea , vinavyozunguka , na mawingu yenye vitu kama miale ya moto .
(trg)="20"> ( Qahqaha ) Meni to 'fonlar haqida eng ko 'p hayajonlandirgan narsa bu ularning harakati , to 'lqinsimon , gir-gir aylanishi , burulishi , lavaning dabdurustdan otilishiga o 'hshagan haybatli bulutlari .

(src)="21"> yanakuwa ni madude yanayotisha huku yakipendeza pia .
(trg)="21"> Ular sevimli maxluqqa aylanishadi .

(src)="22"> ninapoyapiga picha , nashindwa kujizuia kukumbuka mafundisho ya babu yangu .
(trg)="22"> Suratga olish vaqtida , bobomning aytgan so 'zlarini eslamay qo 'yolmayman .

(src)="23"> na ninasimama chini yake , naona sio tu wingu , lakini na kuelewa pia nina bahati ya kushuhudia nguvu zile zile , mchakato ule ule , katika hali ndogo ambavyo vilitengeneza anga letu , mfumo wa jua , jua letu na hata sayari hii .
(trg)="23"> Ularning ostida turarkan , faqatgina bulutlar emas , balki ko 'rayotganlarim galaktika , quyosh sistemasi , quyosh , va hatto shu sayyoramizning yaratilishining sahnalashtirilgan shakli ekanligiga va men bunga guvoh bo 'lish sharafiga musharraf bo 'layotganimligimni his qilaman .

(src)="24"> na mahusiano yote yangu .
(trg)="24"> Tashakkur .

(src)="25.1"> Asante sana .
(src)="25.2"> ( Shangwe )
(trg)="25"> ( Olqish )

# sw/ted2020-2059.xml.gz
# uz/ted2020-2059.xml.gz


(src)="1.1"> Dokta .
(src)="1.2"> Martin Luther King Jr. mnamo mwaka 1968 katika hotuba yake akiongelea haki za kiraia alisema , " Wakati wa mwisho , hatutakumbuka maneno ya adui zetu bali tutakumbuka ukimya wa marafiki zetu "
(trg)="1.1"> Fan doctori Martin Luter King Jr .
(trg)="1.2"> 1968 yilgi nutqida Fuqoro Huquqlari Harakati haqida firk yuritar ekan , shunday deydi , " Eng so 'ngida yodimizda qoladigani dushmanlarimizning so 'zlari emas balki do 'stlarimizning sukunatidir . "

(src)="2"> Kama mwalimu , nimetazama ujumbe huu kiundani .
(trg)="2"> Muallim sifatida men bu fikrni o 'zimga tadbiq etdim .

(src)="3"> Kila , miongoni mwetu , tunayaona madhara ya ukimya yakijionyesha katika hali ya kutengwa , vurugu , mauaji ya kimbari na vita .
(trg)="3.1"> Har kungi hayotimizda , atrofimizda biz sukunatning oqibatlariga shohidmiz .
(trg)="3.2"> Ular bizga diskriminatsiya , vahshiylik , qatliom va urush ko 'rinishida namoyon bo 'ladi .

(src)="4"> Darasani , huwa nawapa changamoto wanafunzi wangu kuchunguza ukimya uliopo katika maisha yao kupitia ushairi
(trg)="4"> Sinfimda men o 'quvchilarimni o 'z hayotlarida she 'riyat orqali sukunatni kashf etishga chorlayman .

(src)="5"> Tunafanya kazi pamoja kuziba mapengo , kuweza kutambua , kupatia majina , kuelewa kwamba hawahitaji kuwa chanzo cha aibu .
(trg)="5"> Birgalikda biz sukunat bo 'shlig 'ini to 'ldiramiz , uni tanib bilib , unga nom beramiz , sukut uyat manbai bo 'lishi shart emasligini tushunishga intilamiz .

(src)="6"> Katika juhudi za kutengeneza utamaduni katika darasa langu ambapo wanafunzi hujisikia salama kusema yale yaliyo ndani ya mioyo yao katika ukimya wao Nina kanuni nne kuu nilizozibandika ukutani mbele ya darasa langu , ambapo kila mwanafunzi hutia saini mwanzo wa mwaka. kusoma kwa makini , kuandika kwa utambuzi , kuongea kwa ufasaha , kusema ukweli .
(trg)="6.1"> O 'quvchim o 'z kechinmasini bo 'lisha oladigan tinch sinf muhit yaratish uchun doskada 4 asosiy tamoyillarni yozdim .
(trg)="6.2"> Bular sinfimning oldida va yil boshida har bir o 'quvchi ularni imzolaydi , tanqidiy nazar bilan o 'qi , tushunib yoz , aniq gapir , o 'z haqiqatingni so 'zla .

(src)="7"> Ninajikuta ninawaza sana kuhusu pointi ya mwisho , kusema ukweli wako .
(trg)="7"> So 'nggi fikr meni juda ko 'p o 'yga soladi - o 'z haqiqatingni so 'zla .

(src)="8"> Nikatambua ya kwamba kama ningewaambia wanafunzi wangu waongee , Nilitakiwa kusema ukweli wangu na kuwa mkweli kuhusu nyakati nilizowahi shindwa kufanya hivyo .
(trg)="8"> Va men shuni tushundimki , o 'quvchilarimdan qo 'rqmay gapirishni so 'rar ekanman , unda o 'zim ham o 'z haqiqatimni so 'zlashim kerak hamda , haqchil bo 'lolmagan damlarim haqida ularga ochiq aytishim kerak .

(src)="9"> Huwa nawaambia kwamba kukua , katika familia ya Kikatoliki jiji la New Orleans , wakati wa majivu nilikuwa siku zote nikifundishwa kwamba kitu cha maaana ambacho mtu anaweza kufanya ni kutoa kitu kwa wengine , kutoa sadaka kwa kile unachokijali sana kudhihirisha kwa Mungu kwamba unaelewa wema wake .
(trg)="9.1"> Men ularga , Nyu Orleansda Katolik oilasida uyg 'ayar ekanman , ro 'za paytida inson uchun eng mazmunli narsa bu nimadandir voz kechish , nimadandir qurbon bo 'lish deb uqtirilgan edi .
(trg)="9.2"> Bu , Xudo muqaddas degan tushungizni isbotidir .

(src)="10"> Nimetoa soda , McDonald 's , French fries , Busu , na kila kitu .
(trg)="10"> Men gazli ichimliklar , McDonald 's , fri-kartoshkani , o 'pishish , va boshqa narsalardan voz kechdim .

(src)="11"> Lakini mwaka fulani , nilitoa sauti yangu .
(trg)="11"> Lekin bir yili , gapirishdan ham voz kechdim .

(src)="12"> Nilitambua ya kuwa kitu pekee cha maana sana ambacho ningetoa kama sadaka ilikuwa ni sauti yangu , lakini ilikuwa kama sijatambua kama nilishawahi kutoa muda mrefu sana uliopita .
(trg)="12.1"> O 'z ovozim menga eng qadrli bo 'lgani uchun uni qurbon keltirishim kerak deb o 'yladim .
(trg)="12.2"> Ammo , undan allaqchon voz kechganimni tushunmagandim .

(src)="13"> Nimetumia muda wangu mwingi katika maisha kuwaambia watu vitu walivyotaka kusikia badala ya vitu walivyovihitaji , nikaiambia nafsi yangu sikuhitajika kuwa dhamira ya mtu yoyote kwa sababu natakiwa kutambua kuwa mwenyewe , kwa hivyo muda mwingine siwezi sema chochote , kuukubali ujinga kwa ukimya wangu , bila kujua ya kwamba ukweli hauhitaji maneno ili kusaidia uwepo wake .
(trg)="13"> Hayotimda odamlarga o 'zimning gapim o 'rniga ular istagan gapni aytdim , o 'zimga , men boshqaning vijdoni emasman , o 'z hayot yo 'limni topishim kerak derdim , ba 'zida hech narsa demasdim , sukutimni bilmaslik bilan oqlardim , sukunat rizo alomati ekanligini bilmasdim .

(src)="14"> Wakistro walipopigwa kwa kuwa mashoga , Niliweka mikono yangu mfukoni na nikaondoka kichwa chini kama vile sijaona kilichotokea .
(trg)="14"> Kristian gey bo 'lgani uchun do 'pposlanganda indamadim , hech narsani ko 'rmaganday boshimni egib ketaverardim .

(src)="15"> Sikutumia kabati langu kwa wiki kadhaa kwa sababu bolt katika kufuli inanikumbusha kama ile niliyoweka katika mdomo wangu wakati mwanaume mmoja asiye na sehemu ya kuishi aliponiangalia kwa macho ya kuonyesha ya kuashiria anahitaji nimuangalie .
(trg)="15.1"> Jovonimni bir necha hafta ocholmadim .
(trg)="15.2"> Undagi qulf tilimga so 'lingan qulfni eslatardi .
(trg)="15.3"> Ko 'chadagi uysiz odam menga qaraganda e 'tibor ham bermagandim .
(trg)="15.4"> Unga olma berishdan ko 'ra , Apple telefonim bilan band edim .

(src)="17"> Pale mwanamke mmoja katika tafrija ya kuchangisha harambee aliposema " Ninajisikia fahari sana kwako "
(trg)="16"> Maktabga mablag ' yig 'ish kechasida bir ayol shunday dedi , " Siz bilan fahrlanaman , bu qasshoq , aqlsiz bolalarni o 'qitish qiyin bo 'lsa kerak . "

(src)="18"> Itakuwa ngumu sana kufundisha Niling 'ata mdomo wangu , kwa sababu muda huo tulikuwa tukihitaji mchango wake zaidi ya wanafunzi wanavyohitaji heshima yao .
(trg)="17"> Indamadim , chunki bizga o 'quvchining hurmatidan ko 'ra , pul muhimroq edi .

(src)="19"> Tunatumia muda mwingi kusikiliza vitu ambavyo watu wanasema lakini hatutilii maanani katika vitu ambavyo hawasemi .
(trg)="18"> Biz boshqaning gapiga quloq solishga juda ko 'p vaqt ajratamiz , u aytmayotgan narsaga e 'tibor bermaymiz .

(src)="20"> Ukimya ni mabaki ya uoga .
(trg)="19"> Sukunat qo 'rquvning qo 'ldig 'idir .

(src)="21"> Ni hali ya kuhisi mapungufu yako yakinyonga ulimi wako .
(trg)="20"> U - kamchiliklaringiz tufayli , tilingizni tiyishga majburlaydi .