# srp/ted2020-1731.xml.gz
# sw/ted2020-1731.xml.gz
(src)="1"> Predajem hemiju .
(trg)="1"> Ninafundisha somo la kemia
(src)="2"> ( Eksplozija ) U redu , u redu .
(trg)="2"> ( Mlipuko ) Sawa , Sawa .
(src)="3"> Hemija je više od eksplozija , nalazi se svuda .
(trg)="3"> Ni zaidi ya milipuko , Kemia ipo kila mahali .
(src)="4"> Da li ste ikad zatekli sebe kako u restoranu zamišljeno samo ponavljate ovo ?
(trg)="4"> Umeshawahi kuwa katika mgahawa ukiwa unajaribu kufanya hivi ?
(src)="5"> Neki ljudi klimaju glavom .
(trg)="5"> Baadhi ya watu wanaitikia ndio .
(src)="6"> Nedavno sam pokazao ovo svojim učenicima , i samo sam ih pitao da pokušaju da objasne zašto se to desilo .
(trg)="6"> Hivi karibuni , niliwaonyesha wanafunzi wangu , niliwaambia waelezee kwa nini imetokea .
(src)="7"> Pitanja i razgovori nakon toga bili su fascinantni .
(trg)="7"> Maswali na mazungumzo yaliyofuata yalikuwa ya kusisimua .
(src)="8"> Pogledajte ovaj video koji mi je poslala Medi sa treće godine , te večeri .
(trg)="8"> angalia video hii ambayo Maddie kutoka darasa langu la tatu aliyonitumia jioni .
(src)="9"> ( Smijeh ) Kao Medin nastavnik hemije , očigledno je da me je oduševilo što je otišla kući i nastavila da istražuje o ovoj nevjerovatnoj demonstraciji koju smo imali na času .
(trg)="9"> ( Vicheko ) Ni dhahiri , kama mwalimu wa kemia wa Maddie Nilifurahi kwamba alienda nyumbani na kuendelea na zoezi hili la ajabu ambalo tulilifanya darasani .
(src)="10"> Ali još više me je fasciniralo to da je Medina radoznalost odvela nju na novi nivo .
(trg)="10"> Lakini kilichonisisimua zaidi ilikuwa ni kuwa udadisi wa Maddie ulimpeleka kwenye hatua nyingine .
(src)="11"> Ako pogledate unutar te posude vidjećete svijeću .
(trg)="11"> ukiangalia ndani ya kikopo hiki , unaweza ukaona mshumaa .
(src)="12"> Medi koristi temperaturu da ovaj fenomen pogura do novog scenarija .
(trg)="12"> Maddie anatumia joto kuifanya hali hii kuwa tukio jingine jipya .
(src)="13"> Pitanja i radoznalost poput Medine su magneti koji nas vuku prema našim nastavnicima i oni prelaze granice svake tehnologije ili krilatice u obrazovanju .
(trg)="13"> Maswali na udadisi kama wa Maddie ndio sumaku zinazotuvuta kwa walimu wetu , na zinazidi teknolojia zote ubunifu mpya wa elimu .
(src)="14"> Ali ako te tehnologije stavimo ispred pitanja učenika , možda ćemo ostati bez najvećeg nastavničkog alata : pitanja naših učenika .
(trg)="14"> Lakini kama teknolojia kabla ya udadisi wa wanafunzi , tunaweza tukawa tunajinyima wenyewe zana muhimu kama walimu : maswali ya wanafunzi wetu .
(src)="15"> Na primjer , prebacivanje dosadne lekcije iz učionice na ekran mobilnog uređaja možda će vam sačuvati nastavno vrijeme , ali ako je u središtu učenikovog iskustva , to je isto neljudsko ćaskanje , samo umotano u kitnjasto pakovanje .
(trg)="15"> Kwa mfano , kupitia mhadhaa unaochosha kwa kutumia mtandao unaweza ukaokoa muda wa ufundishaji , lakini kama ni lengo la wanafunzi wetu. ni jambo lile lile la kudhalilisha ambalo limefungwa vizuri .
(src)="16"> Ali ako umjesto toga imamo hrabrosti da zbunimo svoje učenike , stavimo ih u rebus i izazovemo prava pitanja , kroz ta pitanja , mi kao nastavnici imamo informacije sa kojima možemo da napravimo moćne i informativne metode kombinovane nastave .
(trg)="16"> Lakini kama tuna ujasiri wa kuwachanganya wanafunzi wetu , na kuamsha maswali ya kweli , ingawa maswali hayo sisi kama walimu yana taarifa ambazo tunaweza kuzitumia kwa ajili ya kutengeneza mfumo wa taarifa zilizochanganyika
(src)="17"> Ako sklonimo na stranu moderne izraze 21 . vijeka , istina je da predajem već 13 godina i morala je da se desi situacija opasna po život da me probudi iz 10 godina kvazi-predavanja i pomogne mi da shvatim da su pitanja učenika korijen pravog učenja , a ne napisan nastavni plan koji im daje komadiće nasumičnih informacija .
(trg)="17"> ukiondoa maneno ya karne ya 21 kuhusu hali hii , Ukweli ni kuwa nimefundisha sasa kwa miaka 13 , na ilibidi kuwe na tukio la kutisha kunitoa katika miaka 10 ya ufundishaji wa mazoea na kunifanya nijue kuwa maswali ya wanafunzi ndio mbegu za kujifunza hasa , na sio mtaala ambao umeshaandaliwa ambao unawapa tu taarifa chache
(src)="18"> U maju 2010 , sa 35 godina , sa dvogodišnjim djetetom kod kuće i drugim djetetom na putu , otkrili su mi veliku aneurizmu na početku moje torakalne aorte .
(trg)="18"> Mwezi Mei 2010 ,nikiwa na miaka 35 , nikiwa na mtoto wa miaka 2 nyumbani na mtoto wa pili njiani niligundulika kuwa na kuongezeka kwa mishipa ya damu katika eneo la mshipa mkubwa wa damu wa aorta katika moyo
(src)="19.1"> Došlo je do operacije na otvorenom srcu .
(src)="19.2"> Ovo je pravi imejl od mog doktora .
(trg)="19"> ilisababisha nifanyiwe upasuaji wa moyo.Hii ni barua pepe kutoka kwa Daktari , pale .
(src)="20"> Kada sam dobio ovo , bio sam - pritisnite Caps Lock - potpuno poludio .
(trg)="20"> nilipoipata barua hii , nilikuwa nimechanganyikiwa kabisa ?
(src)="21"> Ali me je nevjerovatno utješilo samopouzdanje mog hirurga .
(trg)="21"> lakini nilipata mida ya faraja nikiwa na hakika aliyokuwa nayo daktari wangu .
(src)="22"> Odakle mu to samopouzdanje , ta odvažnost ?
(trg)="22"> Alipata ujasiri huu ?
(src)="23"> Kada sam ga pitao , rekao mi je tri stvari .
(trg)="23"> Kwa hiyo nilipomuuliza , akaniambia vitu vitatu .
(src)="24"> Prvo je rekao da ga je znatiželja vodila da postavlja teška pitanja o proceduri , o tome šta jeste , a šta nije funkcionisalo .
(trg)="24"> akasema kwanza , udadisi wake ulimsukuma kuuliza maswali magumu kuhusu upasuaji , kuhusu uzuri na ubaya wake .
(src)="25"> Drugo , prihvatio je i nije se plašio zbrkanog procesa pokušaja i griješenja , tog neizbježnog procesa .
(trg)="25"> Pili , aliikubali , na hakuogopa , mchakato wa kujaribu jaribu , mchakato usiokwepeka wa kujarijaribu .
(src)="26"> I treće , kroz intenzivno razmišljanje , skupio je potrebne informacije da smisli i preradi proceduru , i onda je čvrstom rukom spasio moj život .
(trg)="26"> na tatu , kupitia kutafakari sana , alikusanya taarifa alizohitaji kusanifu na kupitia upya mchakato , na kwa mkono wa taratibu , akaokoa maisha yangu .
(src)="27"> Upio sam dosta toga iz ovih mudrih riječi i prije nego što sam se te jeseni vratio u učionicu , napisao sam tri svoja pravila koja svaki dan stavljam u planiranje nastave .
(trg)="27"> Nilichukua mengi kutoka maneno haya ya hekima , na kabla ya kwenda darasani majira ya kipupwe niliandika sheria tatu zangu mwenyewe ambazo nazitumia wakati napangillia masomo mpaka leo .
(src)="28"> Prvo pravilo : znatiželja je na prvom mjestu .
(trg)="28"> Sheria ya kwanza : udadisi kwanza
(src)="29"> Pitanja mogu biti prozori do sjajne nastave , ali nikako obrnuto .
(trg)="29"> Maswali yanaweza kuwa dirisha la mazungumzo mazuri sana , lakini kinyume chake si sahihi
(src)="30"> Pravilo dva : prihvati zbrku .
(trg)="30"> Sheria ya pili : Kubaliana na hali ya fujo
(src)="31.1"> Svi smo nastavnici .
(src)="31.2"> Znamo da je učenje nezgodno .
(trg)="31"> Sote ni walimu.Tunajua kujifunza ni vurugu tupu .
(src)="32"> I samo zato što je naučni metod određen za stranu 5 odjeljka 1.2 prvog poglavlja , kojeg uvijek preskačemo , pokušaji i greške još uvijek mogu biti neformalni dio onoga što svaki dan radimo u Katedrali svetog srca u prostoriji 206 .
(trg)="32"> na kwa sababu tu njia za kisayansi zimetengewa ukurasa wa tano wa kipengele 1.2 ya sura ya kwanza ambazo huwa tunaziruka , sawa , kujari jaribu bado kunaweza kuwa ni sehemu isiyo rasmi kwa vile tuvifanyavyo kila siku Katika kanisa la Moyo Mtakatifu , chumba 206 .
(src)="33"> Pravilo tri : vježbajte razmišljanje .
(trg)="33"> Sheria namba tatu : Fanya zoezi la kutafakari .
(src)="34.1"> Radimo bitnu stvar .
(src)="34.2"> Ona zaslužuje našu pažnju , ali i razmatranje .
(trg)="34"> Tukifanyacho ni muhimu.inastahili kuangaliwa nasi , lakini instahili mapitio yetu .
(src)="35"> Možemo li mi biti hirurzi u učionicama ?
(trg)="35"> Je tunaweza kuwa madaktari wa madarasa yetu ?
(src)="36"> Kao da će ono što radimo jednog dana spašavati živote .
(trg)="36"> Kama vile tuyafanyayosiku moja yataokoa maisha ya watu .
(src)="37"> Naši učenici su vrijedni toga .
(trg)="37"> Wanafunzi wetu , wanstahili kabisa .
(src)="38"> I svaki slučaj je drugačiji .
(trg)="38"> na kila hali ni tofauti .
(src)="39.1"> ( Eksplozija ) U redu .
(src)="39.2"> Izvinite .
(trg)="39.1"> ( Mlipuko ) Sawa .
(trg)="39.2"> Samahani
(src)="40"> Moj unutrašnji nastavnik hemije je morao da izbaci to iz sebe prije nego što nastavimo .
(trg)="40"> Mwalimu wa Kemia ndani yangu alitaka kuta hicho nje yangu kabla hatujaendelea .
(src)="41"> Ovo su moje kćerke .
(trg)="41"> Kwa hiyo hawa ni mabinti zangu .
(src)="42"> S desne strane je mala Emalu - mi smo južnjačka porodica .
(trg)="42"> Kulia kwangu tuna Emmalou -- Familia ya kusini
(src)="43"> A sa lijeve je Rajli .
(trg)="43"> Na kushoto , Riley .
(src)="44"> Rajli će za nekoliko nedjelja biti velika devojčica .
(trg)="44"> Riley atakuwa binti mkubwa wiki chache zijazo .
(src)="45"> Imaće četiri godine i svako ko poznaje dijete tih godina zna da oni vole da pitaju : " Zašto ? "
(trg)="45"> Atakuwa na miaka minne , na yeyote amjuaye mtoto wa miaka minne anajua kuwa wanapenda kuuliza " kwa nini " ?
(src)="46.1"> Da .
(src)="46.2"> Zašto .
(trg)="46.1"> Ndiyo .
(trg)="46.2"> Kwa nini .
(src)="47"> Ovo dijete mogu da naučim bilo čemu jer je sve interesuje .
(trg)="47"> Naweza kumfundisha mtoto huyo chochote kwa sababu ni mdadisi wa kila kitu .
(src)="48"> Svi smo bili u tom dobu .
(trg)="48"> Sote tulikuwa hivyo katika umri huo .
(src)="49"> Ali izazov je za Rajline buduće nastavnike , one koje tek treba da upozna .
(trg)="49"> Lakini changamoto kubwa ni kwa walimu wa mbeleni wa Riley ambao bado hajakutana nao .
(src)="50"> Kako će njegovati tu radoznalost ?
(trg)="50"> Watawezaje kuukuza udadisi huu ?
(src)="51"> Rekao bih da je Rajli metafora za svu djecu i mislim da napuštanje škole postoji u raznim oblicima - od starijeg učenika koji odustane prije početka godine do praznog stola u pozadini učionice urbane osnovne škole .
(trg)="51"> Naweza nikasema kuwa Riley ni kama fumbo la watoto wote , Na nadhani kuacha shule kunakuja katika njia mbalimbali Kwa mwanafunzi wa mwaka wa mwisho , anayeacha shule kabla ya mwaka kwisha. au dawati tupu katika shule za sekondari za mijini .
(src)="52"> Ali ako mi kao nastavnici napustimo ovu jednostavnu ulogu distributera znanja i usvojimo novu paradigmu kao kultivatori radoznalosti i ljubopitljivosti , možda doprinesemo sa malo više značenja njihovom školskom danu , i pokrenemo njihovu maštu .
(trg)="52"> lakini , ikiwa sisi kama walimu tunaacha kazi nyepesi ya kusambaza taarifa na kukubaliana na dhana mpya ya wapandaji wa udadisi na uulizaji maswali , tunaweza kusababisha maana zaidi kuwepo kwao shuleni , na kuwasha cheche za tafakari .
(src)="53"> Hvala vam puno .
(trg)="53"> Asante sana .
(src)="54"> ( Aplauz )
(trg)="54"> ( Makofi ) .
# srp/ted2020-301.xml.gz
# sw/ted2020-301.xml.gz
(src)="1"> Mislio sam da vam malo govorim o tome šta ja volim da pišem .
(trg)="1"> Nimeona niwaeleze kidogo kuhusu kile ninachopenda kuandika
(src)="2"> I volim da se zadubim u temu .
(trg)="2"> Napenda kujikita hasa katika mada zangu .
(src)="3"> Jednostavno , volim da utonem u to i postanem neka vrsta ljudskog zamorčeta .
(trg)="3"> Napenda kuzamia humo na kuwa kama nguruwe .
(src)="4"> Posmatram svoj život kao niz eksperimenata .
(trg)="4"> ninaona maisha yangu kama mkusanyiko wa majaribio
(src)="5"> Tako , radio sam za " Eksquire " časopis i prije nekoliko godina , napisao sam članak pod nazivom " Moj spoljni život " , i unajmio tim ljudi u Bangloru , u Indiji , da žive moj život umjesto mene .
(trg)="5"> Nafanya kazi na Jarida la Esquire , na miaka michache iliyopita Niliandika makala iliyoitwa " Maisha yangu kwenda kwa wengine " ambapo niliajiri watu katika mji wa Bangalore , India Kuyaishi kwa niaba yangu
(src)="6"> Tako da su oni , odgovarali na moje email-ove .
(trg)="6"> Kwa hiyo walikuwa wanajibu barua pepe zangu
(src)="7"> Javljali se na moj telefon .
(trg)="7"> walijibu simu zangu
(src)="8"> Raspravljali se sa mojom ženom umjesto mene , i čitali mom sinu priče za spavanje .
(trg)="8"> Waligombana na mke wangu kwa niaba yangu , na kumsomea hadithi mtoto wangu wa kiume
(src)="9"> To je bio najbolji mjesec u mom životu , zato što sam se samo odmarao , čitao knjige i gledao filmove .
(trg)="9"> ulikuwa ni mwezi mzuri sana wa maisha yangu Kwa sababu nilikaa tu nikisoma vitabu na kuangalia filamu
(src)="10"> To je bilo predivno iskustvo .
(trg)="10"> Hii ilikuwa hali nzuri sana
(src)="11"> Skorije , sam napisao članak za " Esquire " pod nazivom -- o radikalnoj iskrenosti .
(trg)="11"> Hivi karibuni , nimeandika makala kwa ajili ya jarida la Esquire Kuhusu kuwa mwaminifu hasa
(src)="12"> I to je pokret u kom -- osnovao ga je psiholog u Virdžiniji , u kom se kaže da nikad , baš nikada ne smijete slagati , osim možda tokom pokera ili golfa , to su samo izuzeci .
(trg)="12"> Na huu ni muunganiko wa watu ulioanzishwa na mwanasaikolojia katika mji wa Virginia Ambaye anasema usiseme uongo kabisa. labda tu wakati unacheza kamari au mchezo wa golf .
(src)="13"> I više od toga , šta god vam je u mislima treba da kažete .
(trg)="13"> Na zaidi ya hapo , chochote kilicho katika ubongo wako kinatakiwa kitoke katika mdomo wako
(src)="14"> Tako da sam pokušao ovo mjesec dana
(trg)="14"> Niliamua kuwa nitajaribu kwa mwezi mmoja .
(src)="15"> To je bio najgori mjesec u mom životu .
(trg)="15"> Huu ulikuwa ni mwezi mbaya sana wa maisha yangu
(src)="16"> ( Smijeh ) Ne preporučujem ovo uopšte .
(trg)="16"> ( Vicheko ) Sipendekezi hatua hii kwa mtu yeyote
(src)="17"> Da vam malo približim ovo iskustvo , članak se zove " Mislim da si debela " .
(trg)="17"> Kukujulisha jinsi hali inavyokuwa , Makala iliitwa " Nafikiri wewe ni mnene "
(src)="18"> ( Smijeh ) To je bilo teško .
(trg)="18"> ( Vicheko ) Kwa hiyo , ilikuwa ngumu
(src)="19"> Moja najskorija knjiga -- prethodna se zvala " Znam sve " , i ona je o godini koju sam proveo čitajući enciklopediju " Britanika " od A do Z sa namjerom da naučim sve na svijetu , ili tačnije od Aak , to je vrsta istočno azijske muzike , pa sve do Zwyieka , što je -- pa , ne želim da kvarim kraj .
(trg)="19.1"> Kitabu cha karibuni , kitabu cha zamani kinaitwa " kujua yote " Ulikuwa ni mwaka niliosoma kitabu cha Encyclopedia Britannica .
(trg)="19.2"> Kutokea mwanzo mpaka mwisho , katika nia yangu ya kujifunza kila kitu katika Dunia au pia kutoka A-ak ambao ni aina ya muziki kutoka Mashariki ya Asia .
(trg)="19.3"> Mpaka Zwyiec , ambayo ni -- sitaki kuharibu mwisho wake .
(src)="20"> ( Smijeh ) Kraj ima uzbudljiv zaplet , kao u romanu O. Henrija , tako da ne želim da ga pokvarim .
(trg)="20"> ( Vicheko ) Ina mabadiliko ya ajabu mwishoni kama kitabu cha hadithi cha Henry , kwa hiyo sitaki kuharibu .
(src)="21"> Ali taj volim , jer je to eksperiment o tome koliko informacija ljudski mozak može da primi .
(trg)="21"> lakini naipenda hiyo Kwa sababu hili lilikuwa ni zoezi kuhusu taarifa kiasi gani. ubongo mmoja unaweza kuchukua ,
(src)="22"> Mada , ako slušamo Kevina Kelija , ne moramo da pamtimo ništa .
(trg)="22"> ingawa ukimsikiliza Kevin Kelly , hauhitaji kukumbuka chochote .
(src)="23"> Sve možemo naći na Guglu .
(trg)="23"> unaweza ukaitafuta katika mtandao wa Google
(src)="24"> Tako da sam potrošio vrijeme na tome .
(trg)="24"> kwa hiyo nilipoteza muda kidogo hapo
(src)="25"> Volim te eksperimente , ali mislim da je najtemeljniji i najsudbonosniji eksperiment koji sam uradio moj najskoriji eksperiment , u kom sam proveo godinu dana pokušavajući da pratim pravila Biblije , " Godina života po Bibliji " .
(trg)="25"> nayapenda majaribio kama hayo lakini nadhani jaribio muhimu zaidi na lililobadilisha maisha yangu ni hili la karibuni , ambapo nilikaa mwaka moja nikijitahidi kufuata maelekezo ya Biblia " Mwaka wa kuishi Kibiblia "
(src)="26"> I uradio sam ovo iz dva razloga .
(trg)="26"> na nilifanya hivi kwa sababu mbili
(src)="27"> Prvi je jer sam odrastao bez ikakve religije .
(trg)="27"> Kwanza , ni kwa sababu nilikua bila dini kabisa
(src)="28"> Kao što sam rekao u svojoj knjizi , ja sam Jevrej koliko je Oliv Garden , Italijan .
(trg)="28"> Kama navyosema katika kitabu changu , ni Myahudi kama vile Kama vile bustani ya mizeituni ilivyo ya kiitaliano
(src)="29"> ( Smijeh ) Znači , nisam baš .
(trg)="29"> ( vicheko ) Kwa hiyo sio sana
(src)="30"> Ali sve sam se više interesovao za religiju .
(trg)="30"> Lakini nimevutiwa sana na dini
(src)="31"> Mislim da je ona jedno od bitnih pitanja našeg vremena , ili bar jedno od glavnih .
(trg)="31"> Na amini ni jambo muhimu sana kwa kipindi hiki moja muhimu kati ya mengi
(src)="32.1"> I imam sina .
(src)="32.2"> Želim da znam šta da ga naučim .
(trg)="32"> Na nina mtoto wa kiume na nataka nijue jinsi ya kumfundisha .
(src)="33"> Tako sam odlučio da zaronim u to , i pokušam da živim Bibliju .
(trg)="33"> kwa hiyo nikaamua kuishi kwa kufuata Biblia
(src)="34"> Drugi razlog zbog kog sam uradio ovo je zato što sam zabrinut zbog rasta fundamentalizma , religioznog fundamentalizma , i ljudi koji kažu da bukvalno shvataju Bibliju , kojih je , prema nekim anketama veliki broj , 45 do 50 procenata Amerikanaca .
(trg)="34"> Sababu ya pili ni kuwa ninaguswa na mwongezeko wa uhafidhina uhafidhina wa kidini , na watu wanaosema Wanaifuata Biblia kama ilivyo , na kwa mujibu wa tafiti mbalimbali Asilimia karibu 45 au 50 ya wamarekani
(src)="35"> Pa sam odlučio , šta ako stvarno shvatite Bibliju bukvalno ?
(trg)="35"> Kwa hiyo nikaamua , itakuwaje kama utaifuata Biblia kama ilivyo ?
(src)="36"> Odlučio sam , i došao do logičkog zaključka da prihvatim sve u Bibliji bukvalno , a da ne biram .
(trg)="36"> nikaamua kuifuata kufuata kila kama kilivyo bila kuchuja wala kubagua
(src)="37"> Prva stvar koju sam uradio je da sam nabavio gomilu Biblija .
(trg)="37"> Kitu cha kwanza nilichofanya ilikuwa ni kutafuta Biblia nyingi
(src)="38"> Imao sam hrišćanske Biblije .
(trg)="38"> Nilikuwa na Biblia ya Kikristo
(src)="39"> Imao sam jevrejske Biblije .
(trg)="39"> Nilikuwa na Biblia ya Kiyahudi
(src)="40.1"> Moj prijatelj mi je poslao nešto što se zove Hip-Hop Biblija , u kojoj je 23 .
(src)="40.2"> Psalm glasio , " Gospod je sve to " , suprotno od onoga što sam ja znao da " Gospod je moj pastir "
(trg)="40"> Rafiki yangu alinitumia Biblia ya kufoka foka , Ambayo Zaburi ya 23 , inasema " Bwana ndiye kila kitu " , Badala ya " Bwana ndiye mchungaji wangu " kama ninavyojua
(src)="41"> Onda sam uzeo i pročitao nekoliko verzija , i napisao svako pravilo koje sam mogao da nađem .
(trg)="41"> Na nikaendelea na kusoma tafsiri mbalimbali Na nikaandika kila agizo ambalo niliweza kuliona
(src)="42"> I to je bila prilično dugačka lista -- više od 700 pravila .
(trg)="42"> hii ilikuwa orodha ndefu -- zaidi ya maagizo 700
(src)="43"> I rangirane su od najpoznatijih za koje sam čuo -- Deset Zapovijesti , volite vašeg komšiju , budite vjerni i množite se .
(trg)="43"> Kuanzia yale maarufu ambayo niliwahi kuyasikia Amri kumi , mpende jirani yako , enendeni mkaijaze nchi .
(src)="44"> I želio sam da slijedim ta .
(trg)="44"> Kwa hiyo nikataka kuzifuata
(src)="45"> I ustvari , shvatio sam svoj projekat veoma ozbiljno , zato što sam dobio blizance tokom te godine , tako da sam definitivno shvatio projekat ozbiljno .
(trg)="45"> Na kwa kweli nilichukulia jambo kwa uzito sana Kwa sababu nilipata watoto mapacha katika mwaka huo kwa hiyo nilichukulia jambo hili kwa uzito unaostahili
(src)="46"> Ali isto tako sam želio da slijedim stotine neshvatljivih i nejasnih pravila koja postoje u Bibliji .
(trg)="46"> lakini pia nilitaka kufuata mamia ya maagizo ambayo hayajulikani na wengi ndani ya Biblia