# sh/ted2020-159.xml.gz
# sw/ted2020-159.xml.gz


(src)="1"> Ja sam vrlo , vrlo srećan da sam okružen nekima od naj -- svetla zaista smetaju mojim očima i odbijaju se o moje naočare .
(trg)="1"> nina furaha kubwa kuwa kati ya mwanga unasumbua sana macho yangu na unaakisiwa katika miwani yangu

(src)="2"> Ja sam vrlo srećan i počastvovan da sam okružen vrlo , vrlo inovativnim i inteligentnim ljudima .
(trg)="2"> Ni furaha na heshima kwangu kuwa kati ya watu wabunifu na wenye ufahamu wa hali ya juu

(src)="3"> Slušao sam prethodna tri govornika , i pogodite šta se dogodilo ?
(trg)="3"> nimewasikiliza wazungumzaji watatu waliopita na jaribu kufikiri nini kilichotokea ?

(src)="4"> Sve što sam nameravao reći , oni su to već rekli ovde , i to izgleda i zvuči kao da nemam ništa drugo za reći .
(trg)="4"> kila kitu nilichopanga kuzungumza wameshakiongea , na inaonekana sasa ni kama sina chochote cha kuongea

(src)="5"> ( Smeh ) Ali postoji izreka u mom narodu da ako populjak ostavi drvo bez reči , taj populjak je mlad .
(trg)="5"> ( vicheko ) lakini kuna msemo katika jamii yangu kuwa kama jani likidondoka kutoka mtini bila kusema chochote basi jani hilo ni changa

(src)="6"> Pa ću ja -- pošto nisam mlad i vrlo sam star -- ipak nešto reći .
(trg)="6"> kwa hiyo kwa kuwa si mchanga nami nina umri mkubwa sana bado nitaongea kitu

(src)="7"> Održavamo ovu konferenciju u veoma povoljnom trenutku jer druga konferencija se održava u Berlinu .
(trg)="7"> tunaandaa mkutano huu katika wakati ambao umejaa fursa nyingi kwa kuwa mkutano mwingine unafanyika katika mji wa Berlin ( Ujerumani )

(src)="8"> To je samit G8 .
(trg)="8"> na huu ni mkutano wa G8

(src)="9"> Samit G8 predlaže da rešenje za probleme Afrike treba da bude masivna porast novčane pomoći , nešto slično Maršalovom planu .
(trg)="9"> mkutano huu wa G8 , unapendekeza kuwa ufumbuzi wa matatizo ya Afrika ni ongezeko maradufu la misaada , hatua ambayo inafanana na mpango wa Marshall

(src)="10"> Nažalost , ja lično ne verujem u Maršalov plan .
(trg)="10"> bahati mbaya ni kuwa mimi siamini katika mpango huu wa Marshall

(src)="11"> Prvo , jer je korist od Maršalovog plana bila preterana .
(trg)="11"> kwanza , kwa sababu faida za mpango huu wa Marshall zimeongezwa chumvi .

(src)="12"> Njegovi najveći primaoci su bili Nemačka i Francuska , i to samo 2,5 % njihovog BDP-a .
(trg)="12"> waliopokea msaada mkubwa kupitia mpango huu walikuwa ni ujerumani na ufaransa , na msaada huu ulikuwa ni asilimia 2.5 tu ya pato lao la taifa ( GDP )

(src)="13"> Prosečna afrička zemlja dobija inostranu pomoć u iznosu od 13 , 15 % njenog BDP-a , i to je jedan , do tada , nevidjen transfer finansijskih sredstava iz bogatih zemalja u siromašne zemlje .
(trg)="13"> kwa wastani nchi yoyote Afrika inapokea misaada kutoka nje kufikia kiwango cha asilimia 13 , 15 ya pato la taifa , huu ni uhamishaji wa rasilimali za kiuchumi mkubwa sana kutoka nchi tajiri kwenda nchi maskini

(src)="14"> Ali želim reći da postoje dve stvari koje su nam potrebne za spajanje .
(trg)="14"> lakini kuna vitu viwili ambavyo tunahitaji kuviunganisha

(src)="15"> Kako mediji pokrivaju Afriku na Zapadu , i posledice toga .
(trg)="15"> navyo ni jinsi vyombo vya habari vinavyoionyesha Afrika katika nchi za magharibi na madhara yake

(src)="16"> Prikazujući očaj , bespomoćnost i beznadje , mediji govore istinu o Africi , i ništa osim istine .
(trg)="16"> kwa kuonyesha majonzi , matatizo na ukosefu wa matumaini vyombo vya habari vinaonyesha ukweli kuhusu Afrika , na si vinginevyo zaidi ya ukweli .

(src)="17"> Medjutim , mediji nam ne govore celu istinu .
(trg)="17"> lakini vyombo vya habari havielezi ukweli wote .

(src)="18"> Zato što očaj , gradjanski rat , glad i oskudica , iako su deo i breme naše afričke realnosti , nisu jedina realnost .
(trg)="18"> kwa sababu huzuni , vita vya wenyewe kwa wenyewe na njaa ingawa ni sehemu ya ukweli kuhusu Afrika lakini sio ukweli pekee

(src)="19"> I drugo , to su delići realnosti .
(trg)="19"> na pili ni sehemu ndogo sana ya ukweli

(src)="20"> Afrika ima 53 nacije .
(trg)="20"> bara la Afrika lina mataifa 53

(src)="21"> Imamo gradjanski rat u samo šest zemalja , što znači da mediji pokrivaju samo šest zemalja .
(trg)="21"> lakini tuna vita vya wenyewe kwa wenyewe katika nchi sita tu , hii inamaanisha kwamba vyombo vya habari vinaonyesha nchi sita tu

(src)="22"> Afrika ima velike mogucnosti koje nikad ne prodju kroz mrežu očaja i bespomoćnosti koje Zapadni mediji u velikoj meri prezentuju svojoj publici .
(trg)="22"> Afrika ina fursa nyingi ambazo hazijatolewa katika mzunguko wa matatizo na kukosa msaada ambao vyombo vya habari vya magharibi vinaonyesha kwa watazamaji wao

(src)="23"> Ali efekat te prezentacije je da apeluje na saučešće .
(trg)="23"> lakini madhara ya hali hii ni kuwa inaleta hali ya huruma

(src)="24"> Apeluje na sažaljenje ; apeluje na nešto što se zove milosrdje .
(trg)="24"> inaleta hali ya huruma na kusaidia

(src)="25"> I , kao posledica , zapadni pogled na afričke ekonomske dileme je pogrešno formulisan .
(trg)="25"> kwa hiyo mwonekano kwa nchi za magharibi kuhusu matatizo ya kiuchumi ya afrika unakuwa mbaya

(src)="26"> Pogrešna formulacija je proizvod razmišljanja da je Afrika mesto očaja .
(trg)="26"> mwonekano huu mbaya ni zao la mawazo kuwa afrika ni sehemu ya matatizo

(src)="27.1"> Šta treba da radimo s tim ?
(src)="27.2"> Treba da damo hranu gladnima .
(trg)="27"> tuifanyie nini ? tupeleke chakula kwa wenye njaa

(src)="28"> Treba da dostavimo lekove onima koji su bolesni .
(trg)="28"> tupeleke madawa kwa wagonjwa

(src)="29"> Treba da pošaljemo mirovne trupe da služe onima koji se součavaju sa gradjanskim ratom .
(trg)="29"> tupeleke majeshi ya kulinda amani kuwalinda wanaokabiliwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe .

(src)="30"> I u tom procesu Afrika je lišena samoinicijative .
(trg)="30"> na katika hali hii afrika imenyang 'anywa kujitegemea yenyewe

(src)="31"> Želim reći da je važno prepoznati fundamentalne slabosti koje Afrika poseduje .
(trg)="31"> nataka kusema kuwa ni muhimu kuelewa kuwa afrika ina udhaifu wa msingi

(src)="32"> No , jednako , poseduje mogućnosti i mnogo potencijala .
(trg)="32"> lakini pia ina fursa nyingi na uwezo mkubwa

(src)="33"> Mi moramo preformulisati izazov sa kojim se Afrika suočava od izazova očaja , očaj koji se zove smanjenje siromaštva , do izazova nade .
(trg)="33"> tunahitaji kubadilisha fikra kuhusu changamoto zinazoikabili Afrika kutoka changamoto za matatizo matatizo yanayoitwa upunguzaji wa umaskini kuwa changamoto ya matumaini

(src)="34"> Mi to formulišemo kao izazov nade , i to je vredna tvorevina .
(trg)="34"> tunahitaji kuonyesha kuwa ni changamoto ya matumaini

(src)="35"> Izazov sa kojim se součavaju svi oni koji su zainteresovani za Afriku nije izazov smanjene siromaštva .
(trg)="35"> changamoto inayowakabili wote wanaoipenda Afrika siyo changamoto ya kupunguza umaskini

(src)="36"> To bi trebao biti izazov stvaranja bogatstva .
(trg)="36"> bali ni changamoto ya kutengeneza mafanikio

(src)="37"> Jednom kada promenimo te dve stvari -- ako kazete da su afrikanci siromašni i da im je potrebno smanjene siromaštva , imate medjunarodni kartel dobrih namera koji se seli na kontinent , s čim ?
(trg)="37"> ni mpaka tutakapobadilisha vitu hivi viwili ukisema Waafrika ni maskini na wanahitahitaji kupunguza umaskini utakuwa na ushirika wa kimataifa wenye nia ya kusaidia ukiingia afrika na nini ?

(src)="38"> Lekovi za siromašne , hranu za pomoć gladnoj sirotinji , i mirovne trupe za one koji se součavaju sa gradjanskim ratom .
(trg)="38"> dawa kwa ajili ya maskini , msaada wa chakula kwa ajili ya wenye njaa na walinda amani kwa wale wanaokabiliwa na vita za wenyewe kwa wenyewe

(src)="39"> I u tom procesu nijedna od ovih stvari nije zaista produktivna jer leči simptome , a ne uzroke afričkih osnovnih problema .
(trg)="39"> na mwisho vitu hivi vyote havisaidii chochote kwa sababu unatibu dalili na sio chanzo cha msingi cha matatizo ya Afrika

(src)="40"> Tako što ćete poslati nekoga u školu i dati mu lekove , dame i gospodo , to ne stvara bogatstvo za njih .
(trg)="40"> kumpeleka mtu shule na kumpatia dawa mabibi na mabwana , hakutengenezi mafanikio kwa ajili yao

(src)="41"> Bogatstvo je funkcija prihoda , a prihod dolazi od pronalaska profitabilne mogućnosti trgovanja ili dobro plaćenog posla .
(trg)="41"> mafanikio yanatokana na kipato , kipato kinachokuja kutokana na kupata fursa ya biashara yenye faida au ajira inayolipa vizuri

(src)="42"> Sada , kada smo počeli govoriti o stvaranju bogatstva u Africi , naš drugi izazov će biti , ko su stvaraoci bogatstva u bilo kom društvu ?
(trg)="42"> kwa hiyo tunaapoanza kuongelea kutengeneza mafanikio katika Afrika changamoto yetu ya pili itakuwa ni , ni kina nani ambao ni mawakala wa utengenezaji wa mafanikio katika jamii yoyote

(src)="43.1"> To su preduzetnici .
(src)="43.2"> [ Nejasno ] rečeno nam je da ih je uvek oko 4 % populacije , ali 16 % su imitatori .
(trg)="43"> ni wajasiriamali .. [ haileweki ] .... alituambia kuwa siku zote asilimia 4 ya watu , lakini asilimia 16 ni waigaji

(src)="44"> Ali oni takodje uspevaju u poslu preduzetništva .
(trg)="44"> lakini pia wanafanikiwa katika ujasiriamali

(src)="45"> Pa gde bi smo trebali ulagati novac ?
(trg)="45"> kwa hiyo tuwekeze pesa zetu wapi sasa ?

(src)="46"> Moramo ulagati novac tamo gde može produktivno rasti .
(trg)="46"> tunahitaji kuwekeza pesa zetu pale ambapo itazaa

(src)="47"> Podrška privatnim investicijama u Africi , i domaćim i stranim .
(trg)="47"> wezesha uwekezeji binafsi Afrika , uwekezaji kutoka ndani na nje

(src)="48"> Podrška istraživičkim centrima , jer znanje je važan deo stvaranja bogatstva .
(trg)="48"> wezesha taasisi za utafiti , kwa sababu maarifa ni sehemu muhimu ya utengenezaji wa mafanikio

(src)="49"> Ali šta medjunarodna zajednica radi sa Afrikom danas ?
(trg)="49"> lakini ni nini jumuiya ya misaada ya kimataifa inafanya afrika leo ?

(src)="50"> Oni bacaju velike sume novca na osnovno lečenje , na osnovno obrazovanje , na pomoć sirotinji u hrani .
(trg)="50"> wanatupa kiasi kikubwa cha pesa kwa ajili ya huduma za msingi za afya , elimu na misaada ya chakula .

(src)="51"> Čitav kontinent je pretvoren u u mesto očaja , kome je potrebna milostinja .
(trg)="51"> bara lote limegeuzwa kuwa ni , sehemu ya matatizo inayohitaji msaada

(src)="52"> Dame i gospodo , može li mi bilo ko od vas reći suseda , prijatelja , rodjaka kojeg znate a da je postao bogat od primanja milostinje ?
(trg)="52"> mabibi na mabwana , kuna yeyote anayeweza kuniambia jirani , rafiki , ndugu unayemjua ambaye alikuwa tajiri kwa kupokea misaada ?

(src)="53"> Tako što je držao zdelu i primao milostinju ?
(trg)="53"> kwa kushika bakuli la kuombea ?

(src)="54"> Da li iko od vas zna takvu osobu ?
(trg)="54"> kuna mtu yeyote kati yenu aliye na mtu wa aina hiyo ?

(src)="55"> Da li iko od vas zna zemlju koja se razvila zbog nečije velikodušnosti i ljubaznosti ?
(trg)="55"> kuna yeyote anayejua nchi iliyoendelea kwa sababu ya huruma na ukarimu wa nchi nyingine ?

(src)="56"> Pa , budući da ne vidim ruke , čini se da je istina ono što sam naveo .
(trg)="56"> kwa kuwa sioni mkono wowote inaonekana ninachokiongea kuwa ni sahihi

(src)="57.1"> Bono : Da !
(src)="57.2"> Endru Muenda : Vidim da Bono kaže da zna takvu zemlju ?
(trg)="57"> Bono : ndio Andrew Mwenda : naona bono anasema anaijua nchi hiyo .

(src)="58"> Koja je to zemlja ?
(trg)="58"> ni nchi gani hiyo ?

(src)="59.1"> Bono : To je irsko ime .
(src)="59.2"> ( Smeh ) Bono : [ nejasno ] Hvala ti mnogo .
(src)="59.3"> Ali ispričaću vam ovo .
(trg)="59"> Bono : ni jina la kiireland ( vicheko ) Bono [ haileweki ] asante sana. lakini naomba nikwambie kuwa

(src)="60"> Spoljni faktori vam mogu jedino dati šansu .
(trg)="60"> wasaidizi kutoka nje watakachokupa ni fursa tu

(src)="61"> Sposobnost da iskoristite tu šansu i pretvorite je u prednost zavisi od vaših unutrašnjih kapaciteta .
(trg)="61"> uwezo wa kuitumia na kuigeuza kuwa faida unategemea na uwezo ulionao

(src)="62"> Afrika je dobila niz mogućnosti ,
(trg)="62"> afrika imepata fursa nyingi

(src)="63"> mnoge od njih nisu bile puno od koristi .
(trg)="63"> nyingi kati ya hizo hazijatusaidia sana .

(src)="64.1"> Zašto ?
(src)="64.2"> Zato što nam nedostaje interni institucionalni okvir i politički okvir koji će nam omogućiti korist od naših spoljnih odnosa .
(src)="64.3"> Daću vam jedan primer .
(trg)="64"> kwa nini ? kwa sababu tumekosa uwezo kutoka ndani na sera zitakazowezesha kufaidika na mahusiano yetu ya nje.nitatoa mfano

(src)="65"> Pod Kotonovim Sporazumom , ranije poznat kao Lome Konvencija , afričkim zemljama je data prilika od Evrope za izvoz robe , oslobodjene carine , na tržište Evropske Unije .
(trg)="65"> chini ya makubaliano ya Cotonou zamani yakijulikana kama makubaliano ya Lome nchi za afrika zimepewa nafasi na bara la ulaya ya kusafirisha bidhaa bila ushuru katika soko lao

(src)="66"> Moja zemlja , Uganda , ima kvote za izvoz 50,000 tona šećera na tržište Evropske Unije .
(trg)="66"> Nchi yangu mwenyewe , Uganda imepewa kuuza kiasi cha tani 50 000 za sukari kwenda katika soko la ulaya

(src)="67"> Nismo izvezli još nijedan kilogram .
(trg)="67"> mpaka sasa hatujauza hata kilo moja

(src)="68"> Uvezli smo 50,000 tona šećera iz Brazila i Kube .
(trg)="68"> tunaagiza tani 50 000 za sukari kutoka brazili na Cuba

(src)="69"> Drugo , pod protokolom tog sporazuma o govedini , afričke zemlje koje proizvode govedinu imaju kvote za izvoz govedine , oslobodjene carine , na tržiste Evropske Unije .
(trg)="69"> pili , upande wa nyama katika makubaliano haya nchi za afrika zinazozalisha nyama zimepewa kiasi cha kuuza bila ushuru katika soko la ulaya

(src)="70"> Nijedna od tih zemalja , uključujući i afričku najuspešniju naciju , Bocvanu , nije ispunila svoje kvote .
(trg)="70"> hakuna nchi yoyote ikiwamo botswana , nchi iliyofanikiwa sana afrika ambayo imefanikiwa kufikia kiwango hicho

(src)="71"> Zato danas želim da raspravim da je osnovni izvor afričke nemogućnosti da se upusti u ostatak sveta u produtkivniji odnos taj što ima siromašan institucionalni i politički okvir .
(trg)="71"> kwa hiyo nataka kusema kuwa msingi wa afrika kushindwa kushirikiana kikamilifu na nchi nyingine duniani katika mahusiano ya kiuchumi ni kwa sababu ya uwezo mbovu kitaasisi na kisera

(src)="72"> I svim oblicima intervencija je potrebna podrška , evolucija takve vrste institucija koje stvaraju bogatstvo , institucije koje povećavaju produktivnoost .
(trg)="72"> njia zozote za utatuzi zinahitaji msaada kuanzishwa kwa taasisi zinazotengeneza mafanikio taasisi zinazoongeza uzalishaji

(src)="73"> Kako čemo početi to da radimo i zašto je novčana pomoć loše orudje ?
(trg)="73"> tunaanzaje kufanya hivyo na kwa nini misaada si njia nzuri ?

(src)="74"> Pomoć je loše orudje , a znate li zašto ?
(trg)="74"> misaada si njia nzuri , unajua ni kwa nini ?

(src)="75"> Jer svim Vladama širom sveta je potreban novac da prežive .
(trg)="75"> ni kwa sababu serikali zote duniani zinahitaji pesa ili zidumu

(src)="76"> Novac je potreban za jednostavne stvari kao što je čuvanje reda i zakona .
(trg)="76"> pesa inahitajika kwa ajili ya kufanya vitu kama kuhakikisha usalama .

(src)="77"> Morate da platite vojsku i policiju da bi pokazali red i zakon .
(trg)="77"> unahitaji kulipa wanajeshi na polisi kulinda usalama .

(src)="78"> A budući da su mnoge naše Vlade prilično diktatorske , zaista im je potrebna vojska da izmlati opoziciju .
(trg)="78"> na kwa sababu serikali zetu nyingi ni za kidikteta wanahitaji jeshi kunyanyasa wapinzani

(src)="79"> Druga stvar koju treba da uradite jeste da platite vaše političke prirepke .
(trg)="79"> na pili unahitaji kulipa washirika wako wa kisiasa

(src)="80"> Zašto ljudi treba da podržavaju njihove Vlade ?
(trg)="80"> kwa nini watu waisaidie serikali yao ?

(src)="81.1"> Pa , zato što im daju dobro plaćena radna mesta .
(src)="81.2"> Ili su to , u mnogim afričkim zemljama , nezvanične prilike za zaradu od korupcije .
(trg)="81"> kwa sababu inawapa kazi yenye malipo mazuri au , katika nchi nyingi za africa , nafasi zisizo rasmi za kujinufaisha na rushwa

(src)="82"> Činjenica je da nema Vlade u svetu , uz izuzetak nekoliko njih poput one u Idi Aminu , koja može da traži da se u potpunosti osloni na snagu kao instrument vladavine .
(trg)="82"> ukweli ni kwamba hakuna serikali duniani ukiondoa chache kama ile ya Idi Amin ambazo zitategemea nguvu katika kutawala

(src)="83"> Mnoge zemlje u [ nejasno ] , potreban im je legitimitet .
(trg)="83"> nchi nyingi katika [ haileweki ] , zinahitaji uhalali

(src)="84"> Da bi dobili legitimitet , Vlade često treba da omoguće stvari kao što su osnovno obrazovanje , osnovnoe lečenje , puteve , rade bolnice i klinike .
(trg)="84"> kujihalalisha , serikali mara nyingi inaleta vitu kama elimu ya msingi huduma za afya , barabara , hospitali na vituo vya afya

(src)="85"> Ako Vladin fiskalni opstanak zavisi o podizanju novca od svog naroda , takva Vlada je vodjena sopstvenim interesima upravljanja na prosvećeniji način .
(trg)="85"> kama kusimama kwa serikali kiuchumi kunategemea kuingiza pesa kutoka kwa watu wake serikali kama hiyo inaendeshwa na maslahi binafsi ikitawala kwa kutoa amri

(src)="86"> Oni će sedeti sa onima koji su stvorili bogatstvo .
(trg)="86"> itakaa na wanaoingiza fedha

(src)="87"> Razgovarati sa njima o vrsti politike i institucija koje su potrebne za njih da se proširi lestvica i obim poslovanja tako da mogu prikupiti više prihoda od njih .
(trg)="87"> kuongea nao kuhusu sera na taasisi ambazo ni muhimu kwao kwa ajili ya kukuza biashara zao ili iweze kukusanya kodi zaidi kutoka kwao

(src)="88"> Problem sa afričkim kontinentom i problem sa industrijom pomoći je taj što imaju iskrivljene strukture podsticaja s kojima se suočavaju Vlade u Africi .
(trg)="88"> tatizo la bara la afrika na mashirika ya misaada ni kwamba imeharibu mfumo wa kujitegemea unaozikumba serikali za Afrika

(src)="89"> Produktivna marža u potrazi naše Vlade za većim prihodom ne leži u domaćoj ekonomiji , leži u medjunarodnim donatorima .
(trg)="89"> inatafuta mapato ya maana sio katika uchumi wa ndani bali kutoka kwa wafadhili

(src)="90"> Umesto da sede sa ugandskim -- ( Aplauz ) Umesto da sede sa ugandskim preduzetnicima , biznismenima Gane , Južnoafričkim liderima preduzetništva , naše Vlade nalaze produktivnijim da razgovaraju sa MMF-om i Svetskom Bankom .
(trg)="90"> baada ya kukaa na makofi baada ya kukaa na wajasiriamali wa Uganda wafanyabiashara wa Ghana , au viongozi wa viwanda wa afrika ya kusini serikali zetu zinaona ni bora kuongea na IMF na benki ya dunia

(src)="91"> Mogu vam reći , čak i ako imate 10 doktorata , nikada ne možete potući Bil Gejtsa u razumevanju kompjuterske industrije .
(trg)="91"> hata kama utakuwa na madaktari wa falsafa kumi hauwezi kumshinda Bill Gates kuhusu ufahamu wa biashara ya kompyuta

(src)="92.1"> Zašto ?
(src)="92.2"> Zato što znanje koje je potrebno za vas da razumete potrebne podsticaje da proširite biznis , zahteva da slušate ljude , aktere privatnog sektora u toj industriji .
(trg)="92"> kwa nini ? kwa sababu maarifa yanayohitajika ili uelewe jinsi ya kukuza biashara yanahitaji uwasikilize watu walio katika sekta binafsi

(src)="93"> Vladama u Africi je , dakle , data šansa od strane medjunarodne zajednice da izbegavaju izgradnju produktivnih aranžmana sa svojim gradjanima , i stoga je dozvolila da započnu beskrajne pregovore sa MMF-om i Svetskom Bankom , potom MMF-om i Svetskom Bankom koji im govore sta je potrebno njihovim gradjanima .
(trg)="93"> serikali za afrika kwa hiyo zimepewa nafasi na jamii ya kimataifa kujiondoa katika kujenga mipango endelevu na wananchi wao na kufanya majadiliano yasiyoisha na IMF na benki ya dunia na baada ya hapo ni IMF na benki ya dunia ambao wanawaeleza kile wananchi wao wanachihitaji

(src)="94"> U tom procesu mi , afrički narod , smo bačeni na sporedni kolosek iz kreiranja politike , političke orijentacije i političkog procesa implementacije u našim zemljama .
(trg)="94"> katika hali hiyo watu wa afrika wanaachwa pembeni katika utengenezaji na utekelezaji wa sera katika nchi zetu

(src)="95"> Imamo ograničen unos , jer onaj koji plaća svirača zove muziku .
(trg)="95"> tunakuwa hatuna mchango , kwa kuwa amlipaye mpiga filimbi ndiye anayechagua wimbo

(src)="96"> MMF , Svetska Banka , i kartel dobrih namera u svetu su preuzeli naša prava kao gradjana , i zato ono što naše Vlade rade , jer zavise od pomoći , jeste da slušaju medjunarodne kreditore radije nego svoje gradjane .
(trg)="96"> IMF , Benki ya dunia na muunganiko wa watoa misaada wametunyang 'anya haki zetu sisi kama raia kwa hiyo ambacho serikali zetu inafanya kwa kuwa zinategemea misaada ni kuwasikiliza wafadhili kuliko wananchi wao wenyewe

(src)="97"> Ali ja želim da uložim prigovor na moj argument , a taj prigovor je da nije istina da je novčana pomoć uvek destruktivna .
(trg)="97"> lakini nataka niweke angalizo katika maelezo yangu na angalizo hili ni kuwa si kila msaada ni mbaya

(src)="98"> Neka pomoć je možda izgradila bolnicu , nahranila gladno selo .
(trg)="98"> baadhi ya misaada inaweza ikawa imejenga hospitali na kulisha wenye njaa

(src)="99"> Možda je izgradila put , a taj put je možda služio u veoma dobre svrhe .
(trg)="99"> inaweza ikawa imejenga barabara na hiyo barabara inaweza ikawa imefanya kazi nzuri

(src)="100"> Greška medjunarodne industrije pomoći je da pokupi ove izolovane incidente uspeha , generalizuje ih , ulije milijarde i hiljade miljiarde dolara u njih , i onda ih proširi širom sveta , ignorišući specifične i jedinstvene okolnosti u odredjenom naselju , veštine , prakse , norme i navike koje dozvoljavaju da mala pomoć za projekat uspe -- kao u Sauri naselju u Keniji gde radi Džefri Saks -- i stoga generalizuje to iskustvo kao iskustvo svih nas .
(trg)="100"> Kosa la jamii ya misaada ya kimataifa ni kuchagua mafanikio haya machache na kuingiza mabillioni kwa matrillioni ya Dola na baadaye kuyatangaza dunia nzima wakisahau mazingira mengine tofauti katika kijiji ujuzi , mazoea na tabia vilivyosababisha mradi mdogo wa msaada kufanikiwa kama katika kijiji cha sauri , Kenya , ambako Jeffrey Sachs yupo na kuifanya kuwa ndio hali ya kila mtu