# ps/ted2020-2889.xml.gz
# sw/ted2020-2889.xml.gz


(src)="1"> ددې سټیج مخې ته ددې ټولو خلکو مخې ته څه کوئ ؟
(trg)="1"> Unafanya nini katika jukwaa hili mbele ya watu wote hawa ?

(src)="2"> ( په خندا ) منډه کړئ !
(trg)="2"> ( Kicheko ) Kimbia !

(src)="3"> ( په خندا ) اوس منډه کړئ .
(trg)="3"> ( Kicheko ) Kimbia sasa .

(src)="4"> دا زما د اندیښنو خبرې دي
(trg)="4"> Hii ni sauti ya hofu yangu inaongea .

(src)="5"> که څه هم هیڅ خبره نشته زه کله کله دا فشاري حس د تاثیر لاندې راځم لکه په دې کونج کې چې کوم خطر متوجه وي
(trg)="5"> Hata kama hakuna tatizo lolote , Kuna wakati huwa napata hisia za mahangaiko , kama hatari inaninyemelea kwenye kona .

(src)="6"> یو څو کاله وړاندې ، په ما کې اندیښنه او خفګان تشخیص شوی وو چې دا داړه حالتونه خوا په خوا وي
(trg)="6"> Unaona , miaka michache iliyopita , Niligundulika na ugonjwa wa msongo wa hofu na mawazo -- hali mbili ambazo huenda pamoja .

(src)="7"> اوس ، دا هغه وخت وو چې ما هیچا ته نه ویلې په ځانګړې توګه دومره خلکو مخکې
(trg)="7"> Sasa , kuna wakati nisingemuambia mtu yoyote , hususani mbele ya umati mkubwa .

(src)="8"> د یو تورپوستې به حیث په دې برخه کې مې بریالیتوب تر لاسه کړی
(trg)="8"> Kama mwanamke mwenye ngozi nyeusi , Nimetakiwa kujijengea ustahimilivu wa hali ya juu ili kufanikiwa .

(src)="9"> لکه زما په ټولنه کې د نورو خلکو په څير ما سره داسې نا سمه مفکوره وه چې ژور خفګان د کمزورۍ نښه ده او د شخصیت یو منفي ټکی
(trg)="9"> Na kama watu wengi katika jamii yangu , Nilikuwa na imani potofu kwamba msongo wa mawazo ni kiashiria cha udhaifu , udhaifu wa tabia .

(src)="10"> خو زه کمزوری نه وم ، زه یوه لوړ هدف ترلاسه کونکی وم
(trg)="10"> Lakini sikuwa dhaifu ; Nilikuwa nimefanikiwa kwa hali ya juu .

(src)="11"> ما په رسنیزو مطالعو کې ماستري اغستې او فلمي او تلویزیوني صنعت کې مې په لوړو دنددو کار کړی دی
(trg)="11"> Nilipata Shahada ya Uzamili kwenye masomo ya vyombo vya habari na kuwa na kazi za hadhi ya juu katika tasnia ya filamu na televisheni .

(src)="12"> ما د ډير کار له امله د ایمي جایزې هم اغستي
(trg)="12"> Nimeshinda hata tuzo mbili za Emmy kwa uchapakazi kazi wangu .

(src)="13"> دقیقا ، ما ډير وخت مصرف کړی وو هغه څه څخه چې خوند مې ځيني اغسته ، پکې لیواله نه وم لږ خوراک به مې کوه بې خوبۍ به ځوریدم او یواځې او ګوښه احساس مې کاوه
(trg)="13"> Hakika , Nilitumika sana , Nilikosa hamu katika vitu nilivyozoea kuvifurahia , nilikula mara chache , nilisumbuka kupata usingizi na nilijihisi kutengwa na kushuka thamani .

(src)="14"> خو ژور خفګان ؟
(trg)="14"> Lakini kuwa na masononeko ?

(src)="15"> نا ، زه نه یم
(trg)="15"> Hapana , sio mimi .

(src)="16"> څو اونیو کې په دې بریالۍ شوم چې دا ومنم خو ډاکټرانو هم سم ویلې زه په ژور خفګان اخته وم
(trg)="16"> Ilinichukua wiki kadhaa kabla ya kukubaliana na hali yangu , lakini daktari alikuwa sahihi : Nilikumbwa na msongo wa mawazo .

(src)="17"> تر اوسه ، ما خپل تشخیص باره کې هیچا ته نه دي ویلي
(trg)="17"> Bado , sikumwambia mtu yoyote kuhusu majibu ya uchunguzi .

(src)="18"> زه ډيره شرمیدم
(trg)="18"> Nilihisi aibu .

(src)="19"> ما فکر کاوه چې د خفګان حق نه لرم
(trg)="19"> Sikudhani nilipaswa kusongwa na mawazo .

(src)="20"> ما یوه مینه ناکې کورنۍ سره یوې ښې دندې څخه برخمنه وم
(trg)="20"> Nilikuwa na maisha yenye kipaumbele yenye familia iliyo na upendo na kazi iliyo na mafanikio .

(src)="21"> او لکه مې چې نا ویونکې ډار باره کې فکر کاوه کوم چې زما نیکونو په دې هیواد کې تیر کړي نو اوس زه خوشبخته یم زما شرمیدل نور هم پسې ژور لاړل
(trg)="21"> Na nilipowaza kuhusu maafa yasiyofikirika ambayo mababu zangu walipitia katika nchi hii ili niwe na maisha bora , aibu yangu iliongezeka zaidi .

(src)="22"> زه د هغوی په اوږو بار وم
(trg)="22"> Nilikuwa nimesimama kwenye mabega yao .

(src)="23"> زه څنګه هغوی پاتې راولم ؟
(trg)="23"> Ningewezaje kuwaangusha ?

(src)="24"> ما به خپل سر بره نیوه مسکا به مې کوله او هیچا ته مې نه ویل
(trg)="24"> Nilinyanyua kichwa changu na kuangalia juu , na kuweka tabasamu katika uso wangu na kutoiambia nafsi yoyote .

(src)="25"> د ۲۰۱۳ کال جولایي میاشت کې زما ژوند کې بدلون راغی
(trg)="25"> Mnamo tarehe 4 , Julai mwaka 2013 , dunia yangu ilipasuka ndani yangu .

(src)="26"> هغه ورځ وه چې مور مې راته زنګ ووهه او راته یی وویل چې زما ۲۲ کلن وراره ، پال ، خپل ژوند له لاسه ورکړ څو کلونو ژوند خفګان او اندیښنو څخه له جګړې وروسته
(trg)="26"> Hiyo ilikuwa siku nilipokea simu kutoka kwa mama yangu akiniambia kwamba mpwa wangu mwenye miaka 22 , Paul , amejiua , baada ya miaka kadhaa ya kupambana na msongo wa mawazo na hofu .

(src)="27"> هاغسې حالاتو باره کې ویلو لپاره لغاتونه نه لرم چې بیان يې کړم
(trg)="27"> Hakuna maneno ambayo yanaweza kuelezea namna gani nilijisikia vibaya .

(src)="28"> پال او زه ډير سره نزدې وو خو ما هیڅ فکر نه کاوه چې هغه له څه ځوریږي
(trg)="28"> Mimi na Paul tulikuwa karibu , lakini sikutambua alikuwa akipitia maumivu makubwa .

(src)="29"> او مونږ هم هیڅکله یو بل ته دې باره کې څه ویلي ول
(trg)="29"> Hakuna yeyote kati yetu ambaye aliwahi kumwambia mwenzie kuhusu mahangaiko aliyokuwa akipitia .

(src)="30"> شرم مونږ دواړه چپ کړي وو
(trg)="30"> Aibu na unyanyapaa ulitufanya wote kuwa kimya .

(src)="31"> نو له هاغسې حالاتو سره مخ کیدو لپاره لارې لرم راتلونکي دوه کلونه مې د خفګان او اندیښنو سره مبارزه کې څیړنې وکړې او هغه څه مې پیدا کړل چې حیرانونکي وي
(trg)="31"> Sasa , namna yangu ya kupambana na mikosi ni kuitazama bila uoga , kwa hiyo nilitumia miaka miwili baadaye kufanyia utafiti msongo wa mawazo na hofu , na niligundua jambo la kushangaza .

(src)="32"> د روغتیا نړیوال سازمان یو راپور کې ویلي چې ژور خفګان د ناروغۍ او معیوبیت سبب ګرځي خو بیا د ژور خفګان
(trg)="32"> Taasisi ya Afya Duniani imetoa ripoti ikisema kwamba msongo wa mawazo ni sababu kuu ya magonjwa na ulemavu duniani .

(src)="33"> سبب روښانه نه دی څیړنو ښودلې چې عصبي ګډوډي لږ تر لږه د مغزو په یوه برخه کې د کمیاوي موادو ګډوډي وي او یا کوم ارثي دلیل ولري
(trg)="33"> Wakati sababu hasa ya msongo wa mawazo haijatambulika , utafiti unaelezea kwamba magonjwa mengi ya akili hujitokeza , walau katika sehemu , kwa sababu ya kutolingana kwa kemikali katika ubongo , na / au katika utengenezaji wa mwanzo wa jenetikia .

(src)="34"> نو ځان په اسانۍ ترې نه شئ خلاصولی
(trg)="34"> Kwa hiyo huwezi kuachana nayo tu .

(src)="35"> د تور پوستو امریکایانو لپاره د نژاد پرستۍ او ټولنیز اقتصادي توپیرونه د نورو په پرتله شل سلنه زیات تور پوستي په عصبي ګډوډۍ اخته کیږي او بیا د سپین پوستو په پرتله ۵۰ سلنه يې د درملنې څخه ګټه اخلي .
(trg)="35"> Kwa Wamarekani weusi , vileta msongo wa mawazo kama ubaguzi wa rangi na utofauti wa hali ya kiuchumi katika jamii huwaweka katika asilimia 20 zaidi ya kupata ugonjwa wa akili , na bado hutafuta huduma za afya ya akili katika kiwango sawa na nusu ya Wamarekani weupe .

(src)="36"> ددې یو دلیل شرم دی دری شپیته سلنه تور پوستي امریکایان په غلطۍ ژور خفګان کمزوري ګڼي
(trg)="36"> Sababu moja ni unyanyapaa , ikiwa asilimia 63 ya Wamarekani weusi hukosea kwa kuwaza kwamba msongo wa mawazo ni udhaifu .

(src)="37"> بدبختانه ، په تیرو ۲۰ کلونو کې د ماشومانو ځان وژنه دوه چنده شوې ده
(trg)="37"> Cha kusikitisha , kasi ya watoto weusi ambao hujiua imeongezeka mara mbili katika miaka 20 iliyopita .

(src)="38"> نو اوس ښه خبره دلته دا ده اویا سلنه خلک د ژور خفګان سره مبارزې لپاره له تراپي ، درملنې او درملو څخه ګټه اخلي
(trg)="38"> Sasa , hii ni habari njema : asilimia 70 ya watu ambao wanasumbuka na msongo wa mawazo hali zao zitaboreka kwa kupata tiba na dawa .

(src)="39"> له دې مالوماتو خبریدو وروسته ما یوه پریکړه وکړه زه به نوره چپ نه شم
(trg)="39"> Wakipewa taarifa , Nimechukua uamuzi : Sitakuwa kimya tena .

(src)="40"> زما د کورنۍ په برکت زه به خپله کیسه شریکوم تر څو ملي بحث برخه وګرځي
(trg)="40"> Na baraka za familia yangu , Nitasimulia hadithi yetu katika matumaini ya kuleta mjadala wa kitaifa .

(src)="41"> یو ملګری کیلی پيير لیوس ویلي قوي اوسیدل مونږ وژني
(trg)="41"> Rafiki yangu , Kelly Pierre-Loius , alisema , " Kuwa ngangari hutuua . "

(src)="42"> هغې سم ویلي
(trg)="42"> Alikuwa sahihi .

(src)="43"> مونږ باید هغه زاړه روایتونه پریږدو چې تورې پوستې قوي ښځې او تکړه تور پوستي ځلمیان څوک ، که هر څو ځله هغوی وغورځول شي نو ایسته يې لرې کړئ
(trg)="43"> Tunabidi kuondokana na hizo imani ziilizopitwa na wakati kuhusu mwanamke mweusi jasiri na mwanaume mweusi kuwa mwanaume hasa , ambaye , haijalishi mara ngapi wakidondoshwa , hujifuta na kisha husonga mbele .

(src)="44"> احساس درلودل د کمزورۍ نښه نه ده
(trg)="44"> Kuwa na hisia sio dalili ya udhaifu .

(src)="45"> احساس درلودل د انسانیت نښه ده
(trg)="45"> Hisia zinamaanisha kwamba sisi ni binadamu .

(src)="46"> او کله چې له انسانیته منکریږو نو له دننه څخه خالي کیږو ځان لپاره تداوي کوو تر څو دا خالي ګاه ډکه کړو
(trg)="46"> Na pale tunapoukana ubinadamu wetu , hutuacha wapweke ndani , tukitafuta njia za kujiponya ili kuepukana na upweke .

(src)="47"> زما درملنه یوه غټه لاسته راوړنه وه
(trg)="47"> Dawa yangu ilikuwa mafanikio makubwa .

(src)="48"> په دې ورځو کې زه خپله کیسه په ازادانه ډوله نورو سره شریکوم او له هغوی غواړم خپلې راسره شریکې کړي
(trg)="48"> Siku hizi , naweza kusimulia hadithi yangu wazi , na kuwauliza wengine kusimulia zao , pia .

(src)="49"> زما په فکر همدا يې لاره ده چې هغه خلکوسره چې چپتیا کې ځوریږي او هغوی ته احساس ورکړو چې یواځې نه دي او چې پوه شي مرسته کولی شي دا مرض دوا کړي
(trg)="49"> Naamini hicho ndicho kinachoweza kusaidia watu wanaohangaika katika ukimya ili wajue kwamba hawapo peke yao na kujua kwamba kwa msaada , wanaweza kupona .

(src)="50"> زه اوس هم خپلې هڅې جاري ساتم په ځانګړې توګه خپلو اندیښو سره . خو زه کولای شم اداره يې کړم د هره ورځ درملو ، یوګا او روغتیایي پرهیز په مرسته
(trg)="50"> Sasa , bado nina mahangaiko yangu , hasa kutokana na hofu , lakini ninaweza kukabiliana na hali hio kwa kutafakari kila siku , kufanya yoga na kula vizuri kiasi .

(src)="51"> ( په خندا ) که فکر وکړم چې شیان مارپیچې کیږي نو خپل تیراپست سره ګورم یوه تکړه تورپوستې ښځه ډاکټره چې ډام ارمسټرانګ نومیږي چې یو طبیعي حس او اشنایي لري چې دا زما لپاره ارامونکې ده
(trg)="51"> ( Kicheko ) Kama nikiona kwamba hali inaanza kuwa mbaya , Huwa nawasiliana na mtoa tiba wangu , mwanamke mweusi anayeitwa Dawn Armstrong , ambaye ni mcheshi na mwenye uzoea ambao hunipa faraja .

(src)="52"> زه تل پښیماني څرګندوم چې زه ولې خپل وراره سره هلته نه وم
(trg)="52"> Daima nitajuta sikuwepo kumsaidia mpwa wangu .

(src)="53"> خو زه د زړه دا هیله لرم چې زه خپلو زده کړو نه نورو ته څه ورزده کړم
(trg)="53"> Lakini tumaini langu la kweli ni kwamba niwahamasishe wengine kutokana na somo nililojifunza .

(src)="54"> ژوند ډير ښایسته دی
(trg)="54"> Maisha ni mazuri .

(src)="55"> کله کله ګډوډیږي خو تل ناڅاپي وي
(trg)="55"> Kuna wakati yanavurugika , na hayatabiriki siku zote .

(src)="56"> خو هر څه به سم شي کله چې خپل سیستم له لارې مرسته وکړې
(trg)="56"> Lakini kila kitu kitakuwa sawa unapokuwa na mfumo ambao utakusaidia kuyashinda yote .

(src)="57"> زه هیله لرم که بار مو ډیر دروند شو نو له یو چا به مرسته وغواړې .
(trg)="57"> Nina imani kama mzigo wako ukiwa mzito sana , utaomba msaada , pia .

(src)="58"> مننه
(trg)="58"> Asante .