# ms/ted2020-14392.xml.gz
# sw/ted2020-14392.xml.gz


(src)="1"> Saya seorang penghijrah dari Uganda menetap di Amerika Syarikat sementara menanti permohonan suaka saya diluluskan .
(trg)="1"> Mimi ni mhamiaji kutoka Uganda Naishi Marekani nikisubiri ombi langu la hifadhi kupita .

(src)="2"> Penghijrah tidak menikmati kebebasan bergerak di dunia kita kini .
(trg)="2"> Wahamiaji hawafaidi sana Uhuru wa kutembea Katika dunia yetu leo .

(src)="3"> Ini relevan kepada mereka yang cukup terdesak untuk mengemudi ribut dan laut yang bergelora menggunakan bot .
(trg)="3"> Hii hasa huwahusu wale walio tayari kwa lolote hata kusafiri kwenye bahari yenye mawimbi na dhoruba kwa mashua .

(src)="4"> Ini adalah risiko saudara saya dari Afrika Barat dan Afrika Utara hadapi apabila mereka cuba menyeberang ke Eropah .
(trg)="4"> Hizi ndizo hatari ambazo ndugu zangu wa Afrika Magharibi na Kaskazini huzipata wanapojaribu kuvuka kwenda Ulaya .

(src)="5"> Semestinya , ini adalah peluang yang jarang tetapi bertuah untuk seorang penghijrah untuk berucap di perhimpunan seperti ini .
(trg)="5"> Kweli , ni nadra lakini ni fursa ya bahati kwa mhamiaji kuhutubia kusanyiko kama hili .

(src)="6"> Tetapi ini juga menandakan apa yang sering ketinggalan dalam debat global berkenaan isu pelarian Migran dan imigran , suara-suara yang dipinggirkan .
(trg)="6"> Lakini hii pia inaonesha kitu gani hukosekana mara nyingi katika mdahalo wa kidunia juu ya wakimbizi , wahamaji na wahamiaji , sauti za wasio na haki ya uraia .

(src)="7"> Rakyat kepada negara-negara tuan rumah , walaupun yang sebelumnya menyambut pendatang-pendatang baru tidak senang dengan jumlah individu yang semakin bertambah memasuki negara mereka .
(trg)="7"> Wananchi wa nchi nyingi wenyeji , hata zile ambazo mwanzoni zilikaribisha wageni , wana wasiwasi juu ya ongezeko la namba ya watu wanaokuja kwenye nchi zao .

(src)="8"> Kritikan pertama ialah pendatang akan merosakkan kestabilan kebajikan sosial dan pekerjaan di negara mereka .
(trg)="8"> Kasoro ya kwanza ni kuwa wageni wataangusha uthabiti wa huduma za kijamii na ajira katika nchi zao .

(src)="9"> Rakyat yang tidak pasti dan sangsi melihat ahli politik mereka yang bertanding antara satu sama lain untuk melihat siapa mendapat gelaran empunya suara paling lantang demi populisme dan nasionalisme
(trg)="9"> Wanachi wenye mashaka na shuku huwaelekea wanasiasa wanaoshindana wao kwa wao kuona nani anaweza kushinda sauti kubwa kabisa ya uwingi na utaifa .

(src)="10"> Ia satu pertandingan menentukan siapa paling tegas terhadap pendatang yang sanggup mengenakan sekatan perjalanan yang paling teruja untuk mencadangkan projek pembinaan tembok .
(trg)="10"> Ni ushindani juu ya nani ni mkali zaidi juu ya wahamaji , aliye tayari zaidi kuamuru mazuio ya kusafiri na mwenye hamu kubwa ya kupendekeza miradi ya kujenga kuta .

(src)="11"> Seluruh pembatasan ini hanya menyatakan simptom masalah itu bukan penyebabnya .
(trg)="11"> Vikwazo vyote hivi vinatatua viashiria vya tatizo sio visababishi .

(src)="12"> Mengapa mereka datang ke mari ?
(trg)="12"> Kwa nini wanakuja ?

(src)="13"> Para pendatang boleh berkongsi pandangan sekiranya ahli politik sanggup mendengar
(trg)="13"> Wahamaji waweza kutoa mitazamo yao , ikiwa tu wanasiasa watakuwa tayari kusikiliza .

(src)="14"> Di Dubai , saya membabadkan ketidakadilan yang berlaku terhadap tenaga kerja asing .
(trg)="14"> Nikiwa Dubai , nimeandika ukiukwaji wa haki na usawa unaofanywa mara nyingi kwa wafanyakazi wahamiaji .

(src)="15"> Akibatnya , tekanan daripada kerajaan-kerajaan dari negara masing-masing menyebabkan saya terpaksa berhenti menjadi wartawan di Timur Tengah .
(trg)="15"> Matokeo yake , mashinikizo toka serikali za nchi husika zimepelekea mimi kuacha kazi yangu ya uandishi habari katika Mashariki ya Kati .

(src)="16"> Saya diusir pulang ke Uganda , di mana kemerosotan ekonomi mengakibatkan kebuluran .
(trg)="16"> Nilirudishwa Uganda , ambapo uchumi uliokengeuka humweka kila mtu katika hatari ya kukosa chakula .

(src)="17"> Saya melarikan diri untuk ke Amerika Syarikat dengan harapan untuk memberi suara kepada saudara saudari saya yang mengalami pahit gentir sebagai migran .
(trg)="17"> Nilikimbia Uganda kuja Marekani Katika tumaini la kudumisha sauti ya kaka na dada zangu ambao wanapata majanga makubwa zaidi kama wahamiaji

(src)="18"> Bapa saya tidak begitu teruja dengan saya menulis buku yang membawa risiko pengusiran dan pengangguran
(trg)="18"> Baba yangu aliniambia hakuwa na furaha kwa mimi kuandika kitabu kilichohatarisha kurudishwa nyumbani na kukosa kazi

(src)="19"> Dia menghidap kencing manis ketika saya masih bekerja di Dubai dan gaji saya cukup untuk membayar rawatannya
(trg)="19"> Alikuwa na kisukari kwa miaka mingi nilipokuwa bado nikifanya kazi Dubai , na mshahara wangu ulitosha wakati wote kulipia matibabu yake .

(src)="20"> Setelah saya diusir , saya tidak mampu untuk terus membayar rawatannya , dan di akhir hayatnya , saya tidak mampu membawanya ke hospital
(trg)="20"> Baada ya mimi kufukuzwa , Sikuweza kugharamia matibabu yake , na hata katika siku zake za mwisho , sikuweza kumpeleka hospitali .

(src)="21"> Ketika saya mengusung badannya untuk disemadikan di bulan Jun tahun lepas , saya dapati saya telah membayar harga yang tinggi demi melantangkan suara saya .
(trg)="21"> Nilipobeba mwili wake mikononi mwangu kumlaza ardhini Mwezi juni mwaka jana , Nilitambua nimelipa bei kubwa sana kwa ajili ya kukuza sauti yangu .

(src)="22"> Tindakan saya untuk menentang ketidakadilan bukannya mudah , kerana masalah itu lebih daripada retorik .
(trg)="22"> Kitendo cha kuongelea juu ya udhalimu ulio na matabaka mengi si rahisi , sababu matatizo haya huhitaji zaidi ya elimu ya usemaji .

(src)="23"> Selagi lombong emas , lapangan minyak dan ladang di Afrika masih dimiliki oleh pelabur asing dan sumber-sumber penting dieksport ke Barat , pendatang-pendatang Afrika akan sentiasa masuk .
(trg)="23"> Iwapo migodi ya dhahabu , visima vya mafuta na mashamba makubwa Afrika yataendelea kumilikiwa na wawekezaji wa kigeni na zile rasilimali muhimu zikisafirishwa magharibi , mkodo wa wahamaji wa Kiafrika utaendelea bila kukata .

(src)="24"> Tiada sekatan ketat yang dapat menghentikan gelombang penghijrahan yang menetapkan sejarah manusia .
(trg)="24"> Hakuna mazuio ambayo yangeweza kuwa madhubuti sana kuzuia wimbi la uhamaji ambalo limeamua historia yetu ya binadamu .

(src)="25"> Sebelum kawalan sempadan diketatkan , dan sekatan visa dikenakan , negara-negara yang telah lama menerima pendatang harus mengadakan perbincangan yang lebih terbuka .
(trg)="25"> Kabla ulinzi wa mipaka haujaimarishwa na masharti mapya ya viza kuwekwa , nchi ambazo zimekuwa zikipokea wahamiaji zinatakiwa kujishughulisha na majadiliano ya wazi zaidi .

(src)="26"> Itu adalah permulaan yang praktikal untuk akhirnya berdamai , sebuah legasi eksploitasi , penghambaan , penjajahan dan imperialisma supaya kita dapat maju bersama membentuk ekonomi global yang adil di abad ke-21 -- yang bermanfaat untuk semua .
(trg)="26"> Huo ndio mwanzo pekee wa kitendaji wa kupatanisha , hatimaye , hiba ya unyonyaji , utumwa , ukoloni na ubeberu , ili sote kwa pamoja , tuweze kwenda mbele kujenga uchumi wa dunia wa usawa zaidi katika karne ya 21 -- ambao unanufaisha wote .

# ms/ted2020-1470.xml.gz
# sw/ted2020-1470.xml.gz


(src)="1"> Saya bekerjasama dengan bakteria .
(trg)="1"> Ninashirikiana na bacteria

(src)="2.1"> Saya akan menunjukkan bahan visual henti-gerak yang saya hasilkan baru-baru ini .
(src)="2.2"> Anda akan melihat bakteria mengumpulkan bahan mineral dari persekitarannya dalam masa satu jam .
(trg)="2"> ninataka nikuonyeshe kipande cha video ambacho nimetengeneza hivi karibuni ndani yake utaweza kuona bacteria wakikusanya madini kutoka katika mazingira yao ndani ya zaidi ya saa moja

(src)="3"> Apa yang anda sedang lihat ialah bakteria sedang memetabolisme , semasa memetabolisme , bakteria menghasilkan cas elektrik .
(trg)="3"> Kwa hiyo unachokiona hapa ni bacteria wakiwa wanameng 'enya wakati wanafanya hivyo wanatengeneza chaji za umeme .

(src)="4"> Ini akan menarik logam-logam dari persekitaran bakteria .
(trg)="4"> na inavuta metali kutoka katika mazingira ya karibu

(src)="5"> Semua logam ini berkumpul sebagai bahan mineral pada permukaan bakteria .
(trg)="5"> metali hizi zinajikusanya kama madini katika uso wa wa bacteria

(src)="6"> Salah satu masalah yang semakin meluas di dunia ini sekarang ialah kekurangan capaian kepada air minuman bersih .
(trg)="6"> Moja kati ya matatizo yaliyoenea sana duniani katikati ya watu ni upungufu wa maji safi na salama ya kunywa

(src)="7"> Proses penyahgaraman ialah satu proses di mana kami mengeluarkan garam .
(trg)="7"> mchakato wa kuchukua maji na kutoa chumvi ndani yake

(src)="8"> Air tersebut boleh diminum dan digunakan dalam pertanian
(trg)="8"> ili yaweze kutumika kwa ajili ya kunywa na kilimo

(src)="9"> Mengeluarkan garam daripada air , terutamanya air laut , melalui osmosis songsang ialah teknik yang penting bagi negara yang tiada capaian kepada air minuman bersih di seluruh dunia .
(trg)="9"> Kutoa chumvi katika maji na hasa maji ya bahari kupitia mfumo wa kinyume wa osmosis na njia muhimu kwa ajili ya nchi ambazo zina upungufu wa maji safi na salama ya kunywa duniani kote

(src)="10"> Osmosis songsang air laut ialah teknologi penurasan membran .
(trg)="10"> Kwa hiyo utoaji wa chumvi katika maji ya bahari ni teknolojia ya kuchuja kwa kutumia utando

(src)="11"> Kami mengambil air laut dan mengenakan tekanan .
(trg)="11"> Tunachukua maji kutoka baharini na tunayagandamiza katika msukumo mkubwa

(src)="12"> Tekanan ini memaksa air laut melalui sebuah membran .
(trg)="12"> na mgandamizo huu unayalazimisha maji kupita katika utando

(src)="13.1"> Proses menghasilkan air bersih ini memerlukan tenaga .
(src)="13.2"> Proses menghasilkan air bersih ini memerlukan tenaga .
(trg)="13"> Hii inahitaji nguvu kutengeneza maji ya kunywa

(src)="14"> Tapi proses ini juga menghasilkan air garam pekat .
(trg)="14"> Lakini hii inaacha nyuma chumvi kali

(src)="15.1"> Proses ini sangat mahal .
(src)="15.2"> Kosnya tidak dapat ditampung oleh kebanyakan negara .
(trg)="15"> Mchakato huu ni wa gharama sana gharama ambayo ni kubwa sana kwa nchi nyingi duniani

(src)="16"> Selain itu , air garam pekat yang terhasil selalunya dipam balik ke laut .
(trg)="16"> Na pia chumvi inayobaki mara nyingi hurudishwa tena baharini

(src)="17"> Ini akan memudaratkan ekologi tempatan di kawasan laut di mana air garam pekat dipam balik .
(trg)="17"> na hali hii si nzuri kwa mazingira ya eneo la baharini chumvi inapotupwa

(src)="18.1"> Sekarang , saya bekerja di Singapura .
(src)="18.2"> Singapura mempunyai teknologi penyahgaraman yang canggih .
(src)="18.3"> Singapura mempunyai teknologi penyahgaraman yang canggih .
(trg)="18"> Kwa hiyo nafanya kazi Singapore kwa sasa Na hili ni eneo ambalo linaongoza kwa utoaji wa chumvi katika maji ya baharini

(src)="19"> Singapura mengusulkan , menjelang tahun 2060 , ia akan menghasilkan 900 juta liter air yang dinyahgaramkan setiap hari .
(trg)="19"> Na Singapore inapendekeza kuwa mpaka mwaka 2060 kutengeneza lita millioni 900 kwa siku za maji yaliyotolewa chumvi

(src)="20"> Tapi ini akan menghasilkan sangat banyak air garam pekat yang dinyahgaramkan .
(trg)="20"> Lakini hii itasababisha kiasi kama hicho cha ukubwa cha chumvi

(src)="21"> Di sinilah kerjasama saya dengan bakteria bermula .
(trg)="21"> Na hapa ndipo ushirikiano wangu na Bacteria unapofanya kazi

(src)="22"> Apa yang kami lakukan pada masa ini ialah , kami mengumpulkan logam-logam seperti kalsium , kalium dan magnesium daripada air garam pekat yang dinyahgaramkan .
(trg)="22"> Kwa hiyo tunachofanya kwa sasa ni tunakusanya metali kama Kalsiamu , Potassiamu na Magnesiamu kutoka katika chumvi inayobaki baada ya maji kutolewa chumvi

(src)="23"> Dari segi magnesium dan jumlah air yang saya sebut tadi , ini bersamaan dengan US $ 4.5 bilion dalam industri perlombongan di Singapura , sebuah negara yang tidak mempunyai sumber semula jadi .
(trg)="23"> Na hii , kwa Magnesiamu na kiasi cha maji ambacho nimekitaja ina thamani ya Dola za Marekani , Billioni 4.5 kwa mfumo wa madini wa Singapore Sehemu ambayo haina rasilimali zozozte

(src)="24"> Bayangkan sebuah industri perlombongan yang tidak pernah wujud ; bayangkan sebuah industri perlombongan yang tidak mencemarkan Bumi ; bayangkan bakteria membantu kita melakukannya dengan cara mengumpulkan , mempercepat dan mengendapkan bahan mineral daripada air garam pekat yang dinyahgaramkan .
(trg)="24"> Kwa hiyo ningependa uwaze kuhusu viwanda vya madini katika njia ambayo haijawahi kutokea kabla Fikiria viwanda vya madini ambavyo haviharibu mazingira Fikiria bacteria wakiwa wanatusaidia kufanya hivi kwa kukusanya na kumeng 'enya madini kutoka katika chumvi iliyobaki baada ya maji kutolewa chumvi

(src)="25"> Apa yang anda boleh lihat di sini ialah permulaan sebuah industri dalam sebuah tabung uji , sebuah industri perlombongan yang wujud berharmoni dengan alam semula jadi .
(trg)="25"> Na utakachokmiona hapa ni mwanzo wa viwanda , viwanda vya madini ambavyo vitaendana na mazingira

(src)="26"> Terima kasih .
(trg)="26"> Asante Sana

(src)="27"> ( Tepukan )
(trg)="27"> ( Makofi )

# ms/ted2020-1660.xml.gz
# sw/ted2020-1660.xml.gz


(src)="1"> Salaam alaikum .
(trg)="1"> Salaam alaikum

(src)="2"> Selamat datang ke Doha .
(trg)="2"> Karibuni Doha .

(src)="3"> Saya bertanggungjawab terhadap keselamatan makanan di negara ini .
(trg)="3"> Mimi ndio muhusika wa usalama wa chakula nchi hii .

(src)="4"> Inilah kerja saya untuk 2 tahun akan datang , untuk mereka sebuah pelan induk , dan saya mempunyai 10 tahun untuk melaksanakannya -- Semestinya , dengan bantuan ramai yang lain .
(trg)="4"> Hii ni kazi yangu kwa miaka miwili ijayo , kutengeneza mpango mkuu , na kwa miaka kumi ijayo kuupendekeza na watu wengine wengi ,

(src)="5"> Tapi pertama sekali , saya nak ceritakan tentang negara ini .
(trg)="5"> Lakini kwanza , nahitaji kukuhadithia , hii ni hadithi yangu , kuhusu nchi hii mliyopo leo

(src)="6"> Semestinya , anda sudah makan 3 kali hari ini , dan mungkin juga sekali lagi selepas majlis ini .
(trg)="6"> Kwa uhakika , wengi wenu mmekula milo mitatu leo , nahisi mtaendelea kula tena baada ya hii shughuli .

(src)="7.1"> Mari kita teruskan .
(src)="7.2"> Apakah keadaan Qatar pada tahun 1940-an ?
(trg)="7"> Tuangalie sasa ni vipi Quatar ilikuwa katika mwaka 1940 ?

(src)="8"> Hanya 11,000 orang yang tinggal di sini .
(trg)="8"> Tulikuwa watu kama 11,000 tunaoishi hapa .

(src)="9"> Tempat ini tiada air , tenaga , minyak , dan kereta .
(trg)="9"> Hakukuwa na maji.Hakukuwa an nishati , mafuta , magari , vyote hivo havikuwepo .

(src)="10"> Kebanyakan orang yang tinggal di sini tinggal di kawasan persisiran pantai dan menangkap ikan atau merupakan nomad yang merayau merata untuk mencari sumber air
(trg)="10"> Watu wengi walioishi hapa waliishi vijiji vya pwani , kuvua , au walikuwa watu wa kuhamahama ambao walitembea kutafuta maji .

(src)="11"> Tidak pernah ada semua kemewahan yang anda dapat lihat pada hari ini .
(trg)="11"> Uzuri wote huu unauona haukuwepo .

(src)="12"> Tiada bandar seperti Doha , Dubai , Abu Dhabi , Kuwait atau Riyadh .
(trg)="12"> Hakukuwa na jiji kama uonavyo leo Doha au Dubai au Abu Dhabi au Kuwait au Riyadh .

(src)="13"> Bukan disebabkan mereka tidak mampu membinanya ,
(trg)="13"> Haikuwa kwamba walishidwa kuendeleza miji .

(src)="14"> tapi mereka tiada sumber yang mencukupi .
(trg)="14"> Malighafi hazikuwepo kuweza kuendeleza .

(src)="15"> Jangka hayat rakyat negara ini pendek .
(trg)="15"> Na unaweza kuona muda wa watu kuishi ulikuwa mfupi .

(src)="16"> Kebanyakannya meninggal dunia di sekitar usia 50 tahun .
(trg)="16"> Watu wengi walifariki katika miaka 50

(src)="17"> Mari kita teruskan : Zaman minyak .
(trg)="17"> Twende sasa ukurasa wa pili : wakati wa mafuta .

(src)="18"> Mereka menemui punca minyak pada tahun 1939 .
(trg)="18"> 1939 ,hapo ndipo mafuta yaligundulika .

(src)="19"> Tapi ia tidak digunakan secara komersial sepenuhnya sehinggalah selepas Perang Dunia Kedua .
(trg)="19"> Kwa bahati mbaya , hayakutumika vya kutosha kibiashara mpaka vita ya pili ya dunia .

(src)="20"> Apakah kesan penemuan minyak ?
(trg)="20"> Ilifanya nini ?

(src)="21"> Ia mengubah wajah negara ini , seperti yang anda dapat lihat kini .
(trg)="21"> Ilibadilisha muonekano wa nchi , kama unavyoona na kushuhudia .

(src)="22"> Ia juga menyebabkan nomad di padang pasir -- mencari air dan makanan , dan menjaga ternakan mereka -- pembandaran .
(trg)="22"> Na ilifanya wale watu wote waliokuwa wakizunguka jangwa .. kutafuta maji , kutafuta chakula , wakijaribu kuwatunza wanyama wao .. wakaepata maendeleo

(src)="23"> Mungkin anda merasakan bahawa ini pelik , tetapi ahli keluarga saya berbahasa dengan pelbagai loghat .
(trg)="23"> Unaweza kuona ni ajabu , lakini katika familia yangu tuna lafudhi tofauti .

(src)="24.1"> Loghat ibu saya begitu berbeza dengan loghat ayah saya .
(src)="24.2"> Rakyat negara ini hanyalah dalam 300,000 orang .
(trg)="24"> Mama yangu ana asili ambayo ni tofauti na baba yangu , wote tupo idadi inayofikia watu 300,000 tunaoishi katika nchi moja .

(src)="25"> Tetapi ada 5 atau 6 loghat bahasa negara saya .
(trg)="25"> Kuna lafudhi kama tano au sita katika nchi hii ninapoongea mpaka sasa .

(src)="26"> Ada orang tanya saya , " Bagaimana ini boleh terjadi ? "
(trg)="26"> Kuna mtu husema " Kivipi ? Inawezekanaje kutokea ?

(src)="27"> Jawapannya , kami hidup di tempat yang berbeza .
(trg)="27"> Kwa kuwa tuliishi tukiwa tumetawanyika .

(src)="28"> Kami tidak bertumpu di sesebuah kawasan kerana ketiadaan sumber .
(trg)="28"> Hatukuishi katika sehemu ya pamoja sana kwa sababu hatukuwa na malighafi .

(src)="29"> Apabila terdapatnya sumber , yakni minyak , kami mula mereka pelbagai teknologi canggih dan menumpukan penduduk di sesebuh kawasan .
(trg)="29"> Na malighafi zilipokuja , mafuta , tukaanza kutengeneza teknolojia ya hali ya juu na kuwaleta watu pamoja kwa sababu tulihitaji kukusanyika .

(src)="30"> Mereka mula mengenali antara satu sama lain .
(trg)="30"> Watu walianza kufahamiana .

(src)="31"> Kami tahu tentang kepelbagaian loghat bahasa kami .
(trg)="31"> Na tukagundua kulikuwa na tofauti ya asili .

(src)="32"> Itulah zaman penemuan minyak .
(trg)="32"> Hiyo ilikuwa ukurasa wa pili : wakati wa mafuta .

(src)="33"> Mari kita lihat zaman sekarang .
(trg)="33"> Tuangalie leo .

(src)="34"> Inilah pemandangan Doha yang anda semua kenali .
(trg)="34"> Inawezekana hiki ndicho wengi mnachojua kuhusu Doha .

(src)="35"> Berapakah jumlah penduduk ?
(trg)="35"> Idadi ya watu ikoje leo ?

(src)="36"> Seramai 1.7 juta orang .
(trg)="36"> ni watu milioni moja na laki saba .

(src)="37"> Ia dicapai dalam masa kurang daripada 60 tahun .
(trg)="37"> Hiyo ni katika kipindi kisichozidi miaka 60 .

(src)="38"> Kadar purata pertumbuhan ekonomi ialah 15 % selama 5 tahun yang lalu .
(trg)="38"> Wastani wa ukuaji w uchumi wetu ni asilimia 15 katika miaka mitano iliyopita .

(src)="39"> Kadar hayat meningkat kepada 78 tahun .
(trg)="39"> Tegemeo la kuishi limeongezeka hadi miaka 78 .

(src)="40"> Penggunaan air meningkat kepada 430 liter .
(trg)="40"> Matumizi ya maji yameongezeka hadi lita 430 .

(src)="41"> Ia adalah antara yang tertinggi di dunia .
(trg)="41"> Na hii ndo takwimu kubwa duniani .

(src)="42"> Daripada tidak mempunyai sumber air hinggalah menggunakan air dengan kadar yang amat tinggi .
(trg)="42"> Kutoka kutokuwa na maji mpaka kutumia maji katika kiwango kikubwa duniani , kikubwa kuliko taifa lolote .

(src)="43"> Entah ini merupakan reaksi terhadap ketiadaan air .
(trg)="43"> Sijui kama hii ni matokeo ya ukosefu wa maji .

(src)="44"> Apakah yang menariknya tentang cerita saya ?
(trg)="44"> Lakini ni kipi kinachonifurahisha kwenye hadithi niliyosimulia ?

(src)="45"> Yang menarik ialah , berlakunya pertumbuhan ekonomi 15 % selama 5 tahun tanpa sumber air .
(trg)="45"> Kinachofurahisha ni kwamba tunaendelea kukua asilimia 15 kila mwaka kwa miaka mitano bila maji .

(src)="46"> Ia sesuatu yang tidak pernah berlaku dalam sejarah .
(trg)="46"> Sasa hiyo ni historia.Haijawahi tokea kabla ya historia .

(src)="47"> Banyak bandar musnah kerana ketiadaan air .
(trg)="47"> Miji yote iliharibika kwa sababu ya ukoseu wa maji .