# fil/ted2020-535.xml.gz
# sw/ted2020-535.xml.gz


(src)="1"> Noong nakaraang taon , ipinakita ko ang dalawang slides na ito upang patunayan na ang arctic ice cap , na sa nakalipas na tatlong milyong taon ay kasinlaki ng 48 states ng Estados Unidos , ay umurong ng 40 porsyento .
(trg)="1"> Mwaka jana nilionyesha hizi kurasa mbili ili kuthibitisha kuwa barafu inayofunika arctic , ambayo kwa zaidi ya miaka milioni tatu iliyopita imekuwa na ukubwa unaopungua kidogo ya ule wa majimbo 48 , imepungua kwa asilimia 40 .

(src)="2"> Ngunit higit na malubha pa dito ang problema dahil hindi nito naipapakita ang kapal ng yelo .
(trg)="2"> Lakini hii inapunguza msisitizo wa tatizo hili mahsusi kwa sababu haionyeshi unene wa barafu .

(src)="3"> Ang arctic ice cap , kung ikukumpara , ay ang pusong nagpapatibok ng pandaigdigang klima .
(trg)="3"> Mfuniko wa barafu wa arctic ni , kwa matazamo , Mapigo ya moyo wa mfumo wa tabia nchi wa dunia .

(src)="4"> Ito ay lumalawak sa taglamig at umuurong sa tag-init .
(trg)="4"> Inatanuka wakati wa masika na kusinyaa wakati wa kiangazi .

(src)="5"> Ipapakita ng susunod na slide ang fast forward ng mga pangyayari sa nakalipas na 25 taon .
(trg)="5"> Kurasa inayofuata nawaonesha ( barafu ) itatoweka kwa kasi zaidi kuliko ilivyotokea miaka 25 iliyopita .

(src)="6"> Dito , kulay pula ang palagiang yelo ( permanent ice ) .
(trg)="6"> Barafu ya kudumu imewekewa alama nyekundu .

(src)="7.1"> Kulay asul naman ang kabuuang lawak ng yelo .
(src)="7.2"> Iyan ang taunang yelo tuwing taglamig .
(src)="7.3"> Umuurong ito tuwing tag-init .
(trg)="7.1"> Kama mnavyoona , inatanuka kuelekea rangi ya bluu iliyokolea .
(trg)="7.2"> Hiyo ni barafu ya mwaka wakati wa masika .
(trg)="7.3"> Na inasinyaa wakati wa kiangazi .

(src)="8"> Ang permanent ice , na limang taon na o higit pa , ay maikukumpara sa dugo , na tumatagas mula sa katawan .
(trg)="8"> Kilichoitwa barafu ya kudumu , katika umri wa miaka mitano , mnaona imekuwa kama damu , ikitiririka kutoka mwilini hapa .

(src)="9"> Sa loob ng 25 taon , mula sa ganito , ay naging ganito na .
(trg)="9"> Ndani ya miaka 25 imetoweka kutoka hii , hadi hii .

(src)="10"> Ito ay isang suliranin sapagkat tinutunaw ng pag-init ang nagyeyelong lupain sa paligid ng Karagatang Arctic kung saan may maraming frozen carbon na kung matutunaw ay magiging methane gawa ng mga mikrobyo .
(trg)="10"> Hili ni tatizo kwa kuwa kuongezeka kwa joto , kunapasha ardhi iliyoganda kuzunguka bahari ya arctic ambayo ina kiasi kikubwa cha ukaa ulioganda ambao , unapoyeyuka , unabadilishwa na wadudu wadogo kuwa methini .

(src)="11"> Kung idadagdag sa kabuuang polusyon sa atmosphere dulot ng global warming , dodoble ang polusyon kapag nangyari ito .
(trg)="11"> Ukilinganisha na jumla ya uchafuzi wa anga wenye kuleta ongezeko la joto duniani , Kiasi hiki chaweza 'kuwa mara mbili endapo tutavuka ncha hii hatari .

(src)="12"> Ngayon pa lang , sa mga mabababaw na lawa ng Alaska nabubuo na ang methane dito .
(trg)="12"> Tayari katika maziwa ya kina kifupi yaliyoko Alaska methini inatoka majini kama mapovu yenye nguvu .

(src)="13"> Pumunta si Propesor Katey Walter mula sa Pamantasan ng Alaska kasama ang isang grupo sa isang mababaw na lawa noong nakaraang taglamig .
(trg)="13"> Profesa Katey Walter kutoka Chuo Kikuu cha Alaska alienda pamoja na timu nyingine kwenye ziwa jingine fupi wakati wa masika iliyopita .

(src)="14.1"> Video : Whoa !
(src)="14.2"> ( Tawanan ) Al Gore : Ayos lang naman siya .
(src)="14.3"> Ang tanong ay kung tayo rin ba .
(trg)="14.1"> Whoa !
(trg)="14.2"> Yuko sawa .
(trg)="14.3"> Swali ni iwapo tutakuwa .

(src)="15"> At isang dahilan ay itong malaking heat sink na pinapa-init ang Greenland mula sa hilaga .
(trg)="15"> Na sababu moja ni , hili joto kuu linaloshuka likipasha joto Greenland kutoka kaskazini .

(src)="16"> Ito ang taunang ilog mula sa natutunaw na glaciers .
(trg)="16"> Huu ni mto unaoyeyuka mwaka mzima .

(src)="17"> Ngunit ang bulto nito ay mas malaki na kaysa dati .
(trg)="17"> Lakini kiasi cha ujazo ni kikubwa kuliko wakati wote .

(src)="18"> Ito ang Ilog Kangerlussuaq sa timog-kanlurang Greenland .
(trg)="18"> Huu ni mto Kangerlussuaq kusini magharibi mwa Greenland .

(src)="19"> Umaangat ang pantay laot ( sea level ) mula sa natunaw na yelo sa lupa at umaabot ito hanggang dagat .
(trg)="19"> Kama unataka kujua jinsi kina cha bahari kinavyoongezeka kutokana na kuyeyuka kwa ardhi-barafu hapa ndipo huingilia baharini .

(src)="20"> Lalong lumalakas ang pag-agos nito .
(trg)="20"> Mitiririko hii inaongezeka kwa kasi sana .

(src)="21"> Sa kabilang dako ng daigdig , ang Antartica ang pinakamalaking tipak ng yelo sa ating planeta .
(trg)="21"> Pale Antarctica , mwisho mwingine wa sayari , kuna mlundikano mkubwa zaidi wa barafu katika sayari hii .

(src)="22"> Noong nakaraang buwan , iniulat ng mga siyentipiko na ang buong kontinente ay nasa " negative ice balance " na .
(trg)="22"> Mwezi uliopita wanasayansi waliripoti bara nzima lina barafu katika mizania hasi .

(src)="23"> Sa kanlurang Antartica , nakalutang na ang ilang isla na dati 'y nakalubog , at mabilis itong natutunaw .
(trg)="23"> Na Antarctica magharibi ambayo imezuka ghafla juu ya baadhi ya visiwa ndani ya bahari , Ni mahsusi kwa kuyeyuka haraka .

(src)="24"> Katumbas nito ang 20 talampakan ng pantay laot , tulad ng Greenland .
(trg)="24"> Hiyo si sawa na futi 20 za usawa wa bahari , kama ilivyo Greenland .

(src)="25"> Sa Himalayas , ang ikatlong pinakamalaking tipak ng yelo , makikita sa tuktok nito ang mga bagong lawa , na noo 'y glaciers pa .
(trg)="25"> Himalaya , ina mkusanyiko wa barafu wa tatu kwa ukubwa , Juu yake unaona maziwa mapya , ambayo miaka michache iliyopita yalikuwa barafu .

(src)="26"> 40 porsyento ng mga tao sa mundo ay umaasa sa natutunaw na yelo bilang tubig pang-inom .
(trg)="26"> Asilimia 40 ya watu wote duniani wanapata nusu ya maji ya kunywa kutokana na kuyeyuka kunakotoa mtiririko huo .

(src)="27"> Sa Andes , ang glacier na ito ang pinagkukunan ng inuming tubig ng lungsod na ito .
(trg)="27"> Katika Andes , hii barafu ni chanzo cha maji ya kunywa kwa jiji hili .

(src)="28"> Lumalakas ang pag-agos nito .
(trg)="28"> Mitiririko imeongezeka .

(src)="29"> Ngunit kung ito 'y mawawala , ganoon din ang inuming tubig .
(trg)="29"> Lakini kadiri yanavyotoweka , vivyo hivyo na maji ya kunywa

(src)="30"> Sa California , 40 porsyento ang pagbaba ng snowpack sa Sierra .
(trg)="30"> Huko California asilimia 40 ya mlundikano ya barafu wa Sierra umepungua .

(src)="31"> Ito ay dagok sa mga imbakan ng tubig ( reservoir ) .
(trg)="31"> Hili linaathiri akiba ya maji .

(src)="32"> At ang mga nababasa natin tungkol sa hinaharap ay nakakabahala .
(trg)="32"> Na tabiri , kama mlivyosoma , ni makini .

(src)="33"> Dulot ng pagkatuyo ng mundo ay ang dumaraming insidente ng sunog .
(trg)="33"> Huku kukauka kwa dunia kumepelekea Ongezeko kubwa la mioto .

(src)="34"> At ang bilang ng mga sakuna sa buong mundo ay patuloy na tumataas , sa nakakaalarma at di-inaasahang antas .
(trg)="34"> Na maafa duniani kote yamekuwa yakiongezeka kwa kiwango kisicho cha kawaida na kwa kasi ya kutisha .

(src)="35"> Makaapat na beses ang dami sa nakalipas na 30 taon kumpara sa nakaraang 75 taon .
(trg)="35"> Mara nne zaidi katika miaka 30 iliyopita kama ilivyo kwa miaka 75 ya karibuni .

(src)="36"> Maaaring hindi na natin kayanin kapag nagpatuloy pa ito .
(trg)="36"> Huu ni mpangilio usio endelevu kabisa .

(src)="37"> Kung pagbabatayan ang kasaysayan makikita natin kung ano ang nagagawa nito .
(trg)="37"> Kama ukiangalia katika muktadha wa historia unaweza kuona hii inafanya nini .

(src)="38"> Sa nakaraan limang taon naidagdag natin ang 70 milyong tonelada ng CO2 bawat 24 oras -- 25 milyong tonelada araw-araw sa mga karagatan .
(trg)="38"> Katika miaka mitano iliyopita Tumeongeza tani milioni 70 za hewa ya ukaa kila saa 24 -- tani milioni 25 kila siku kwenda baharini .

(src)="39"> Tingnan nang mabuti ang bandang silangang Pasipiko , mula sa Amerika , papuntang kanluran , at sa paligid ng Indian subcontinent , kung saan higit na nauubos ang oxygen sa karagatan .
(trg)="39"> Angalia kwa makini eneo la mashariki mwa Pacific , kutoka Amerika , likitanuka kuelekea magharibi na upande wowote wa bara dogo la India , ambako hewa ya oksijeni katika bahari inaisha kwa kasi .

(src)="40"> Ang pinakamalaking sanhi ng global warming , kasabay ng pagtotroso na katumbas ay 20 porsyento , ay ang pagsusunog ng mga fossil fuel .
(trg)="40"> Sababu moja kubwa ya ongezeko la joto duniani sambamba na ukataji hovyo wa miti , ambao ni asilimia 20 , ni nishati itokanayo na visukuku

(src)="41"> Ang langis ay problema , ngunit ang uling ang pinakamalubha .
(trg)="41"> Mafuta ni tatizo , na makaa ya wawe ni tatizo kubwa kuliko yote .

(src)="42"> Isa ang Estados Unidos sa sa pinakamalakas gumamit nito , kasama ang Tsina .
(trg)="42"> Marekani ni moja ya nchi mbili kubwa zinazotoa gesi joto , sambamba na China .

(src)="43"> At ang mungkahi ay dagdagan pa ang mga planta ng uling .
(trg)="43"> Na pendekezo limekuwa kujenga viwanda zaidi vya makaa ya mawe .

(src)="44"> Mabuti 't nagsisimula na ang pagbabago .
(trg)="44"> Lakini tulikuwa tunaanza kuona badiliko .

(src)="45"> Ito ang mga nakansela noong mga nakaraang taon at ang mga mungkahing alternatibo na makakalikasan .
(trg)="45"> Hapa ni mpango mmoja uliovunjwa miaka michache iliyopita Kukiwa na mapendekezo mbadala ya kijani .

(src)="46"> ( Palakpakan ) Ngunit may isyung politikal sa ating bansa .
(trg)="46"> ( Makofi ) Hata hivyo kuna vita ya kisiasa nchini mwetu .

(src)="47"> Gumugol ang mga industriya ng uling at langis ng isang-kapat na bilyong dolyar noong nakaraang taon upang isulong ang malinis na uling ( clean coal ) . na isang " oxymoron " .
(trg)="47"> Na viwanda vya makaa ya mawe na viwanda vya mafuta vilitumia dola robo bilioni katika mwaka wa kalenda uliopita kutangaza makaa safi ya mawe , ambayo ni utatanishi .

(src)="48"> Ito ang naaalala ko .
(trg)="48"> Picha hiyo ilinikumbusha kitu

(src)="49"> ( Tawanan ) Noong isang Pasko , sa bayan ko sa Tennessee , natapon ang isang bilyong galon ng coal sludge .
(trg)="49"> ( Kicheko ) Karibia na Krismas , nyumbani kwangu Tennessee , galoni bilioni za majimaji ya makaa ya mawe zilivuja .

(src)="50"> Marahil nakita niyo na ito sa balita .
(trg)="50"> Huenda mliiona kwenye habari .

(src)="51"> Ito ang pangalawa sa pinakamalaking waste stream sa Amerika .
(trg)="51"> Hiki , nchini kote , ni kijito cha pili kwa ukubwa cha uchafu katika Marekani .

(src)="52"> Nangyari ito noong isang Pasko .
(trg)="52"> Hii ilitokea karibu na Krismas .

(src)="53"> Isa sa mga patalastas ng industriya ng uling noong Pasko ay ito .
(trg)="53"> Moja ya matangazo kutoka kiwanda cha makaa ya mawe karibia Krismas lilikuwa hili ,

(src)="54"> Video : ♪ ♫ Frosty the coal man is a jolly , happy soul .
(trg)="54"> Bila bashasha Kaa-jiwe-mtu ni mchangamfu , akiishi kwa furaha .

(src)="55"> Ito 'y laganap sa Amerika , nang lumago lalo ang ekonomiya .
(trg)="55"> Anapatikana kwa wingi hapa Marekani , Na anasaidia uchumi wetu kukua .

(src)="56"> " Frosty the coal man " ay mas lumilinis bawat araw .
(trg)="56"> Bila bashasha kaa – jiwe-mtu anakuwa safi kila siku ,

(src)="57"> Abot-kaya at nakakatuwa , bigay ay sahod sa manggagawa .
(trg)="57"> gharama yake ni ndogo na anapendwa , na watumishi wanabakiza malipo yao .

(src)="58"> Al Gore : Ito ang pinagmumulan ng halos lahat ng uling sa West Virginia .
(trg)="58"> Hiki ni chanzo cha kiasi kikubwa cha makaa ya mawe katika Virginia Magharibi

(src)="59"> Ang pinakamalaking minero ay ang lider ng Massey Coal .
(trg)="59"> Mchimbaji mkubwa kuliko wote ni mkuu wa kampuni ya makaa ya mawe ya Massey

(src)="60.1"> Video : Don Blankenship : Lilinawin ko lang .
(src)="60.2"> Al Gore , Nancy Pelosi , Harry Reid , hindi nila alam ang sinasabi nila .
(trg)="60.1"> Ngoja niwe wazi kuhusu hiyo .
(trg)="60.2"> Al Gore , Nancy Pelosi , Harry Reid , hawajui wanalozungumzia .

(src)="61"> Al Gore : Kaya ang Alliance for Climate Protection ay naglunsad ng dalawang kampanya .
(trg)="61"> Kwa hiyo Muungano wa Kulinda Tabia Nchi umezindua kampeni mbili .

(src)="62"> Isa ito sa mga iyon , ang unang bahagi .
(trg)="62"> Hii ni mojawapo , sehemu ya mojawapo .

(src)="63"> Video : Aktor : Sa COALergy tingin namin ang climate change bilang isang seryosong banta sa aming negosyo .
(trg)="63"> Pale COALergy tunaona mabadiliko ya tabia nchi kama tishio kubwa kwa biashara zetu .

(src)="64"> Kung kaya 'y ito ang aming pangunahing layunin na gumastos ng maraming pera sa mga talastas na nagpapaliwanag ng katotohanan sa uling .
(trg)="64"> Ndio maana tumelifanya lengo letu la msingi kutumia kiasi kikubwa cha fedha katika juhudi za kutangaza kuweza kuuweka wazi na kwa ujumla wake uweki kuhusu makaa ya mawe .

(src)="65"> Sa katunayan , hindi marumi ang uling .
(trg)="65"> Ukweli ni kuwa , makaa ya mawe sio uchafu .

(src)="66"> Sa tingin namin ito 'y malinis -- mabango pa .
(trg)="66"> Tunadhani ni safi – ina harufu nzuri , pia .

(src)="67"> Kaya ' wag mag-alala sa climate change .
(trg)="67"> Hivyo msijali kuhusu mabadiliko ya tabia nchi .

(src)="68"> Ipaubaya na ninyo sa amin .
(trg)="68"> Tuachie sisi .

(src)="69"> ( Tawanan ) Video : Aktor : Malinis na uling , narinig niyo na ang tungkol dito .
(trg)="69"> ( Kicheko ) Makaa safi ya mawe , mmesikia mengi kuyahusu .

(src)="70"> Kaya tayo 'y mamasyal sa state-of-the-art clean coal facility na ito .
(trg)="70"> Hivyo hebu tutalii nyenzo yetu mahiri ya makaa safi ya mawe .

(src)="71.1"> Ang galing !
(src)="71.2"> Medyo maingay ang makina .
(trg)="71.1"> Yashangaza !
(trg)="71.2"> Mashine ni aina ya kelele .

(src)="72"> Pero yan ang tunog ng " clean coal technology . "
(trg)="72"> Lakini hiyo ni sauti ya teknolojia ya makaa safi ya mawe .

(src)="73"> At habang ang pagsusunog ng uling ay isang pangunahing dahilan ng global warming , ang pambihirang " clean coal technology " na nakikita niyo dito ang babago sa lahat .
(trg)="73"> Na wakati kuchoma makaa ya mawe ni moja ya sababu kuu za ongezeko la joto duniani , teknolojia ya kipekee ya makaa safi ya mawe mnayoona hapa inabadilisha kila kitu .

(src)="74"> Tingnan nang mabuti , ito ang " clean coal technology " sa ngayon .
(trg)="74"> Angalia kwa kirefu , hii ni teknolojia ya kisasa ya makaa safi ya mawe .

(src)="75"> Al Gore : Sa wakas , ang magandang alternatibo ay sumasang-ayon na sa mga hamon ng ekonomiya at pambansang seguridad .
(trg)="75"> Mwisho mbadala chanya Unaoana na changamoto zetu za kiuchumi na changamoto zetu za usalama wa taifa .

(src)="76"> Video : Tagapagsalaysay : May krisis ang Amerika , sa ekonomiya , pambansang seguridad , krisis sa klima .
(trg)="76"> Marekani ipo katika mzozo , uchumi , Usalama wa taifa , mzozo wa tabia nchi .

(src)="77"> Ang nag-uugnay sa lahat ng ito , ang ating pagkahumaling sa mga carbon-based fuel , tulad ng maruming uling at inaangkat na langis .
(trg)="77"> Utando unaziunganisha zote , mazoea yetu ya nishati zitokanazo na ukaa , kama makaa ya mawe chafu na mafuta ya kigeni .

(src)="78"> Ngunit ngayon , may bago at mapangangahas na sagot sa gulong ito .
(trg)="78"> Lakini sasa kuna suluhisho mpya thabiti la kututoa katika vurugu hili .

(src)="79"> " Repower America " gamit ang 100 % na malinis na elektrisidad , sa loob ng 10 taon .
(trg)="79"> Kuipa nguvu mpya Marekani kwa kuwa na umeme safi kwa asilimia 100 , ndani ya miaka 10 .

(src)="80"> Isang hakbang upang mapakilos muli ang Amerika , sa ating ikakapanatag , at tutulong sa pagpigil ng global warming .
(trg)="80"> Mpango wa kuirejesha Marekani kazini , unatufanya tuwe salama , na unasaidia kusimamisha ongezeko la joto duniani .

(src)="81"> Sa wakas , isang solusyong lulutas sa ating mga problema .
(trg)="81"> Mwisho , suluhisho lililo kubwa vya kutosha kusuluhisha matatizo yetu .

(src)="82"> " Repower America " .
(trg)="82"> Kuipa nguvu mpya Marekani .

(src)="83.1"> Tuklasin .
(src)="83.2"> Al Gore : Ito ang pinakahuli .
(trg)="83.1"> Tafuta zaidi .
(trg)="83.2"> Hii ni ya mwisho .

(src)="84"> Video : Tagapagsalaysay : Ito 'y tungkol sa pagpapasiglang muli sa Amerika .
(trg)="84"> Inahusu kuipa nguvu mpya Marekani .

(src)="85"> Mabilis na paraan upang hindi na tayo umasa sa makaluma 't maruruming fuel na pumapatay sa ating daigdig .
(trg)="85"> Moja ya njia za haraka kupunguza utegemezi wetu kwenye nishati chafu ya kizamani inayoua sayari yetu .

(src)="86.1"> Lalaki : Heto ang kinabukasan .
(src)="86.2"> Hangin , araw , isang bagong energy grid .
(trg)="86.1"> Mustakabali wetu upo hapa .
(trg)="86.2"> Upepo , jua , nishati mpya ya gridi .

(src)="87"> Lalaki # 2 : Mga bagong puhunan na lilikha ng mga trabahong may mataas ang sahod .
(trg)="87"> Uwekezaji mpya unaotengeneza ajira mpya zenye malipo makubwa .

(src)="88"> Tagapagsalaysay : " Repower America " .
(trg)="88.1"> Ipe nguvu mpya Marekani .
(trg)="88.2"> Ni wakati wa kupata usahihi .

(src)="89.1"> Magpakatotoo na .
(src)="89.2"> Al Gore : May salawikaing Aprikano na nagsasabing , " Kung nais mong mapabilis , mag-isa kang umalis .
(trg)="89"> Kuna methali ya kale ya Kiafrika isemayo , " Kama unataka kwenda haraka , nenda mwenyewe .

(src)="90"> Kung nais mo 'y malayo ang marating , magsama-sama kayo . "
(trg)="90"> Kama unataka kwenda mbali , nenda pamoja . "

(src)="91"> Nawa 'y malayo ang ating marating , sa lalong madaling panahon .
(trg)="91"> Tunataka kwenda mbali , kwa haraka .

(src)="92"> Maraming salamat po .
(trg)="92"> Asanteni sana .

(src)="93"> ( Palakpakan )
(trg)="93"> ( Makofi )

# fil/ted2020-70.xml.gz
# sw/ted2020-70.xml.gz


(src)="1.1"> Sa totoo lang , ito ay dalawang oras na pagtalakay na binibigay ko sa mga mag-aaral ng high school na pinaikli sa tatlong minuto .
(src)="1.2"> Nagsimula ito isang araw sa eroplano habang papunta ako sa TED
(trg)="1"> Huu ni mjadala wa kweli wa masaa mawili nilioutoa kwa wanafunzi wa sekondari , unakatiza kwa dakika tatu .

(src)="2.1"> pitong taon na ang nakakalipas .
(src)="2.2"> At sa upuang katabi ko
(trg)="2"> Na yote yalianza siku moja nikiwa kwenye ndege , nikielekea TED , miaka saba iliyopita .

(src)="3"> ay isang mag-aaral ng high school , isang dalaga , na nanggaling sa isang mahirap na pamilya .
(trg)="3"> Na katika siti iIiyopo pembeni yangu alikuwapo mwanafunzi wa sekondari , kijana , alitokea katika familia masikini sana .

(src)="4.1"> At gusto niyang gumawa ng mahalaga ang buhay nya kaya tinanong niya ako .
(src)="4.2"> Wika niya , " Anu-ano ang magdadala sa tagumpay ? "
(trg)="4"> Na alitaka kujitengenezea maisha , akaniuliza swali rahisi .

(src)="5"> Sumama ang loob ko ,
(trg)="5"> Alisema , " Ni nini husababisha mafanikio ? "

(src)="6"> dahil wala akong maibigay na makabuluhang sagot sa kanya .
(trg)="6"> Na nilijisikia vibaya sana , kwa sababu sikuweza kumpa jibu zuri .

(src)="7"> Kaya nang makalapag ang eroplano , at makarating ako sa TED
(trg)="7"> Hivyo nilitoka kwenye ndege , na kuja TED .