# eu/ted2020-1543.xml.gz
# sw/ted2020-1543.xml.gz
(src)="1"> Mila esker .
(trg)="1"> Asanteni sana .
(src)="2"> Hannah Fry aparta naiz
(trg)="2"> Mimi ni Hannah Fry , shupavu .
(src)="3"> eta gaur galdera bat egin nahi dizuet : Bizitza hain konplexua al da ?
(trg)="3"> Na leo ninauliza maswali : Maisha ni magumu kweli ?
(src)="4.1"> Bederatzi minutu baino ez ditut erantzuten saiatzeko .
(src)="4.2"> Beraz , hitzaldia bi zatitan sailkatu dut .
(src)="4.3"> Lehenengo zatia : bai .
(src)="4.4"> Eta ondoren , bigarren zatia : ez .
(trg)="4"> Sasa , nina dakika tisa tu kujaribu kuwapatia jibu , nilichofanya ni kugawa hili vizuri kwenye sehemu mbili : sehemu ya kwanza : ndio ; na baadae , kwenye sehemu ya pili : hapana .
(src)="5"> Edo , hobeto esanda : ez ?
(trg)="5"> Au , kuwa sahihi zaidi : hapana ?
(src)="6"> ( Barreak ) Hasteko , " konplexu " hitzarekin zer esan nahi dudan azalduko dizuet .
(trg)="6"> ( Kicheko ) Kwanza kabisa , ngoja nijaribu kufafanua maana ya " magumu . "
(src)="7"> Definizio dotore sorta bat eman diezazueket , baina gauzak nahastu gabe , arazo konplexu bat Einstein eta bere kideek konpondu ezin dutena da .
(trg)="7"> Sasa , ninaweza kukupa umati wa fafanuzi zilizorasmi , ila kwa istilahi rahisi , tatizo lolote kwenye ugumu ni kitu ambacho Einstein na wenzake wameshindwa .
(src)="8"> Jo dezagun ... mandoa ondo badabil ... hori da .
(trg)="8"> Hivyo , tufikirie -- kama kibonyezeo kikikubali ... haya twende .
(src)="9"> Einstein billarrean ari da .
(trg)="9"> Einstein anacheza mchezo wa snuka .
(src)="10"> Tipo argia denez , badaki bola zuria jotzean ekuazio bati esker bola gorriak mahaiaren ertzak zehazki non joko dituen , ze abiadura duen eta non bukatuko duen jakin dezakeela .
(trg)="10"> Ni mwanaume mwerevu , anajua kua anapopiga mpira wa ishara , anaweza kukuandikia mlinganyo na kukuambia kabisa mpira mwekundu utaenda kugonga kwenye pande jinsi unavyoenda haraka na wapi utaishia .
(src)="11"> Billarreko bolak Eguzki sistemaren eskala eramanez gero , Einsteinek gauza bera egin dezake .
(trg)="11"> Kama ukirekebisha hii mipira ya snuka mpaka kwenye kipimo cha mfumo wa jua Einstein bado anaweza kukusaidia .
(src)="12"> Fisika ez da berdina , noski , baina Lurrak Eguzkiaren inguruan egiten duen ibilbidea jakin nahi baduzu , Einsteinek ekuazio bat idatzi eta bi objektuak edozein unetan non egongo diren esateko gai da .
(trg)="12"> Kweli , fizikia hubadilika , lakini kama ulitaka kujua kuhusu njia ya Dunia kuzunguka Jua , Einstein angekuandikia mlinganyo ukikuambia wapi vitu vyote viwili vilipo kwa mda wowote
(src)="13"> Zailtasun maila igotzen bada ere , Einsteinek Ilargia gehitu lezake bere kalkuluetan .
(trg)="13"> Sasa , na ongezeko la ugumu la kushangaza , Einstein angeweza kuongezea Mwezi kwenye hesabu .
(src)="14"> Baina zenbat eta planeta gehiago gehitu , adibidez , Marte edo Jupiter , problema zailegia da Einsteinek boligrafo eta paperaz ebazteko .
(trg)="14"> Lakini unapoongeza sayari zaidi na zaidi , Mars na Jupiter , mfano , tatizo linakua gumu sana kwa Einstein kutatua na kalamu na karatasi .
(src)="15"> Gezurra badirudi ere , planeta sorta bat izan ordez milioika objektu izango balitu , baita bilioika ere , problema asko errazten da eta Einstein ebazteko gai izango litzateke .
(trg)="15"> Sasa , kiajabu , kama badala ya kua na sayari chache , unakua na mamilioni ya vitu au hata mabilioni , tatizo linakua kweli rahisi zaidi , na Einstein anarudi kwenye mchezo .
(src)="16"> Honekin esan nahi dudana azaltzeko objektu hauek molekula-eskala batera eramango ditut .
(trg)="16"> Wacha nieleze ninachomaanisha na hili , kwa kurekebisha hivi vitu kua vidogo kwenye kiwango cha masi .
(src)="17"> Aire-molekula bakar baten mugimendu erratikoa aurreikustea erabat ezinezkoa da .
(trg)="17"> Kama ulitaka kufuatilia njia mbalimbali za molekyuli binafsi ya hewa , ungekosa matumaini kabisa .
(src)="18"> Baina milioika aire-molekulaz osatutako talde bat kuantifikatu eta aurreikusi daitekeen era antolatu batean mugitzen da .
(trg)="18"> Lakini kama una mamilioni ya molekyuli za hewa kwa pamoja. zinaanza kutenda kwa njia inayohesabika , inayotabirika na inayotenda vizuri .
(src)="19"> Eskerrak airea ondo antolatuta dagoen ; bestela , hegazkinak zerutik erori egingo lirateke .
(trg)="19"> Ninashukuru sana hewa inatenda vizuri , kwa sababu isingekua hivyo , ndege zingeanguka kutoka angani .
(src)="20"> Eskala are handiago batera eramanda , gure planetaren mailara , aire molekula hauekin bezala gertatzen da .
(trg)="20"> Sasa , kwenye marekebisho makubwa zaidi , katika dunia nzima , hilo wazo liko sawa kabisa na molekyuli nyingine zote za hewa .
(src)="21"> Egia da ezin duzula euri tanta bat hartu eta nondik datorren edo non bukatuko duen asmatu ,
(trg)="21"> Ni kweli kua huwezi kuchukua tone moja la mvua na kusema lilipotoka au litaishia wapi .
(src)="22"> baina nahiko ziur esan dezakezu bihar zerua lainotuta egongo den edo ez .
(trg)="22"> Lakini unaweza sema na uhakika mzuri sana kama kutakua na mawingu kesho .
(src)="23"> Eta kitto .
(trg)="23"> Basi ndio hivyo .
(src)="24"> Einsteinen garaiean , honaino iritsi zen zientzia .
(trg)="24"> Kwa wakati wa Einstein , hapa ndipo sayansi ilipofika .
(src)="25"> Problema txikiak ebatzi zitezkeen elkarri eragiten dioten objektu sorta batekin ; edo problema erraldoiak , milioika objekturen arteko elkarrekintza sinpleak aztertuz .
(trg)="25"> Tungeweza kufanya matatizo madogo kweli ya vitu vichache na miingiliano mirahisi , au tungefanya matatizo makubwa ya mamilioni ya vitu na miingiliano mirahisi .
(src)="26"> Eta tarteko guztia zer ?
(trg)="26"> Lakini vipi kuhusu kila kitu katikati ?
(src)="27"> Einstein hil baino zazpi urte lehenago , Warren Weaver izeneko zientzialari estatubatuarrak hau eztabaidatu zuen .
(trg)="27"> Basi , miaka saba tu kabla ya kifo cha Einstein , mwanasayansi Mmarekani aitwae Warren Weaver alisema kabisa jambo hili .
(src)="28"> Bere ustez , metodologia zientifikoa mutur batetik bestera joan da , tarteko eremu zabal bat aztertu gabe utziz .
(trg)="28"> Alisema kua mbinu za kisayansi zimeenda kutoka kasi moja hadi nyingine , ikibakiza eneo kubwa la kati lisiloguswa .
(src)="29"> Tarteko eremu hau aztertzen du zientzia konplexuak ; hau da , beraz , " konplexu " hitzarekin azaldu nahi dudana .
(trg)="29"> Sasa , hili eneo la kati ndipo ugumu wa sayansi ulipo , na hichi ndicho ninachomaanisha kwa ugumu .
(src)="30"> Zoritxarrez , giza portaerarekin lotutako edozein problema tarteko puntu honetan dago .
(trg)="30"> Sasa , bahati mbaya , karibia kila tatizo utakalo liwaza kuhusu tabia ya binadamu linakaa eneo hili la kati .
(src)="31"> Einsteinek ez daki giza talde baten mugimendua aurreikusten .
(trg)="31"> Einstein hana wazo kabisa jinsi ya kuunda harakati ya umati .
(src)="32"> Jende gehiegi dago banaka aztertzeko eta gutxiegi gasa balira bezala aztertzeko .
(trg)="32"> Kuna watu wengi sana wa kuwaangalia wote binafsi na wachache sana kuwatendea kama gesi .
(src)="33"> Gainera , beste oztopo bat pertsonak erabakiak hartzeko gai direla edota elkar topatzea saihestu dezaketela da , beraz arazoaren zailtasuna handitu egiten da .
(trg)="33"> Vilevile , watu wanakabiliwa na vitu vinavyoudhi kama maamuzi na kutokutaka kugongana na kila mmoja , ambayo inaleta tatizo yote ambayo ni ngumu zaidi .
(src)="34"> Einsteinek ezingo lizuke esan noiz izango den hurrengo finantza kiebra .
(trg)="34"> Einstein asingeweza kukuambia lini kutakua na mgongano wa soko la hisa .
(src)="35"> Ezin dizu aholkurik eman langabezia hobetzeko .
(trg)="35"> Einstein hakuweza kukuambia jinsi ya kuboresha ajira .
(src)="36"> Ez daki hurrengo iPhone-ak arrakasta izan edo porrot egingo duen .
(trg)="36"> Einstein asingeweza kukuambia kama iPhone ijayo itakua kubwa au itatia fora
(src)="37"> Lehenengo zatia laburbilduz : gureak egin du .
(trg)="37"> Kuhitimisha sehemu ya kwanza : tuna matatizo kabisa .
(src)="38"> Ezin dugu hau kudeatu eta bizitza konplexuegia da .
(trg)="38"> Hatuna vifaa vya kutendea kazi hili na maisha ni magumu sana .
(src)="39"> Baina beharbada badago itxaropenik , azken urteotan zientziaren arlo berri bat jaio delako , matematika erabiliz gure gizartea aurreikusten saiatzen dena .
(trg)="39"> Lakini labda kuna matumaini , miaka michache iliyopita , tulianza kuona mwanzo wa eneo jipya la sayansi kutumia hisabati kuunda mifumo ya kijamii .
(src)="40"> Ez naiz estatistikaz eta ordenagailu bidezko simulazioez ari .
(trg)="40"> Na siongelei tu kuhusu takwimu na uigaji wa kompyuta .
(src)="41"> Gizarteari buruzko ekuazioak idatzi eta gertatzen ari dena ulertzeari buruz ari naiz , billarreko bolekin eta eguraldi-aurreikuspenekin bezalaxe .
(trg)="41"> Naongelea kuhusu kuandika chini milinganyo kuhusu jamii ambayo itatusaidia kuelewa kinachoendelea kwa njia sawa kama mipira ya snuka au utabiri wa hali ya hewa .
(src)="42"> Arlo hau sortu zen adituak gure giza sistemen eta inguruko mundu fisikoaren arteko analogiez baliatu gaitezkeela jabetu zirenean .
(trg)="42"> Na hii imetokea kwa sababu watu wameanza kugundua kua tunaweza kutumia mifano kati ya mifumo yetu ya kibinadamu na zile za dunia ya halisi inayotuzunguka .
(src)="43"> Adibidez , Europan zeharreko migrazioen problema konplexua aztertuz gero ,
(trg)="43"> Sasa , kuwapa mfano : Ukubwa mkuu wa tatizo la uhamiaji katika Ulaya .
(src)="44"> migratzaileek denak batera grabitate-legea jarraituko balute bezala jokatzen dute .
(trg)="44"> Ukweli , inaonekana , unapoangalia watu wote pamoja , kwa pamoja , wanatenda kama vile wanafuata sheria za mvutano .
(src)="45"> Elkar erakartzen duten planetak izan beharrean , pertsonak erakartzen dituzten lekuak dira , lan aukera gehiago , soldata altuagoak , bizi-maila hobea edo langabezia baxuagoa dutelako .
(trg)="45"> Lakini badala ya sayari kuvutiana zenyewe kwa zenyewe , ni watu ambao wanavutiwa na maeneo yenye nafasi bora za ajira , malipo ya juu , ubora wa maisha na ukosefu wa ajira wa chini .
(src)="46"> Jendea gertuko aukeren bila doan bezalaxe , Londresetik Kentera , esate baterako , Londresetik Melbournera joan ordez , urruneko planeten grabitate-indarra askoz gutxiago antzematen da .
(trg)="46"> Na kwa hali hio hio kama watu wanaelekea zaidi kwenda kwa nafasi karibu na wanapoishi tayari -- London mpaka Kent , kwa mfano , tofauti na London mpaka Melbourne -- matokeo ya mvutano wa sayari mbali sana unasikika kidogo sana .
(src)="47"> Beste adibide bat : 2008an , UCLAko ikerlari batzuk hiriko ohiko lapurreta guneen bilakaera aztertu zuten .
(trg)="47"> Hivyo , kuwapa mfano mwingine : mwaka 2008 , kikundi cha UCLA kilikua kikiangalia ndani ya mitindo ya sehemu wizi upo kwa wingi mjini .
(src)="48"> Askotan lapurrek leku berean egiten dute kalte .
(trg)="48"> Sasa , kitu kimoja kuhusu wezi ni hili wazo la uathirikaji wa kuendelea .
(src)="49"> Lapurreta bat eremu zehatz batean ondo ateratzen bada , eremu horretara itzultzeko joera izango dute .
(trg)="49"> Hivyo kama una kundi la wezi waliofaniikiwa kuiba kwenye eneo lako , wanapenda kurudi kwenye hilo eneo na kuendelea na wizi .
(src)="50"> Etxe barruko antolamenduari , ihes egiteko bideei eta bertako segurtasun-neurriei buruzko informazioa biltzen dute .
(trg)="50"> Hivyo wanajifunza mipangilio ya nyumba , njia za kutorokea na kipimo cha ulinzi wa eneo uliopo sehemu hio .
(src)="51"> Honek horrela jarraituko du biztanleek eta poliziak segurtasun-neurriak indartu arte ; baina honezkero lapurrak beste zonalde batean egongo dira .
(trg)="51"> Na hii itaendelea kutokea mpaka wa kazi na polisi wa eneo hilo wasimamie ulinzi , ambapo ndipo , wezi watahamia kuelekea eneo lingine .
(src)="52"> Segurtasunaren eta lapurren arteko oreka horrek sortzen ditu hiriko lapurreta-guneak .
(trg)="52"> Na ni huo usawa kati ya wezi na ulinzi unaotengeneza hizi sehemu kuu za wizi jijini zinazobadilika .
(src)="53.1"> Hara non , leopardoek orbanak lortzeko jarraitzen duten prozesu berbera da .
(src)="53.2"> Leopardoaren kasuan ez dira lapurrak eta segurtasuna , estanpatu hori sortzen duen prozesu kimikoa eta morfogenesi izeneko beste faktore bat .
(trg)="53"> Kama inavyoonekana , huu ni mfumo sawa kabisa ya jinsi chui anavyopata madoadoa , isipokua kwenye mfano wa chui , sio wezi na ulinzi , ni mchakato wa kemikali unaotengeneza huu utaratibu na kitu kinachoitwa " morphogenesis . "
(src)="54"> Egia esan , dezente dakigu leopardo-orbanen morfogenesiaz .
(trg)="54"> Tunajua kabisa mambo mengi kuhusu morphogenesis ya madoa ya chui .
(src)="55"> Agian lapurreta-arrisku adierazleak antzematen saiatzeko eta delituak saihesteko estrategiak sortzen lagundu liezaguke .
(trg)="55"> Labda tunaweza kutumia hili kujaribu kuona baadhi ya alama za kuonya na wezi na pengine , kuunda pia mbinu bora za uhalifu kuzuia uhalifu .
(src)="56"> UCLn bertan talde bat daukagu gai honen inguruan Mendebaldeko Midlandseko poliziarekin elkarlanean dabilena .
(trg)="56"> Kuna kikundi hapa UCL ambao wanafanya kazi na polisi wa West Midlands sasa hivi kwenye swali hili hasa .
(src)="57"> Honen antzeko adibide mordoa eman diezazueket , baina Londreseko matxinaden inguruan egin nuen ikerketarekin bukatuko dut .
(trg)="57"> Nitawapa mifano mengi kama hii , lakini nilitaka kukuacha na moja ya tafiti zangu kwenye ghasia za London .
(src)="58"> Ez dut uste joan den udako gertakariak azaldu behar ditudanik ; Londresek eta Erresuma Batuak azken hogei urteotako indarkeria bidezko lapurreta eta su-emate bolada okerrena jasan dute .
(trg)="58"> Sasa , labda hauhitaji mimi nikuambie juu ya matukio ya kiangazi kilichopita , ambapo London na Uingereza waliona kipindi kibaya cha kuhimili cha uhalifu na uchomaji kwa zaidi ya miaka ishirini .
(src)="59"> Ez da harritzekoa gizarte gisa matxinada hauen jatorria ulertu nahi izatea , baina baita geure poliziak estrategia hobeak asmatu eta arazoak azkarrago konpon ditzan nahi dugulako .
(trg)="59"> Inaeleweka kua , kama jamii , tunataka kujaribu kuelewa nini kilichosababisha hizi ghasia , lakini pia , pengine , kuwapa polisi wetu mbinu bora kuongoza kwenye suluhisho nyepesi mbeleni .
(src)="60"> Ez dut soziologia-kontuetan hanka sartu nahi ezin dudalako erreboltarien banakako arrazoiez hitz egin , baina matxinatu guztiak elkarrekin ikustean , matematikoki hiru pausotako prozesu batean zatitu eta horren araberako analogiak asma ditzakezu .
(trg)="60"> Sasa , sitaki kuwakasirisha wanasosholojia hapa , hivyo sitaweza kuongelea kabisa kuhusu hamasisho binafsi za mpinduzi , lakini unapoangalia wanamapinduzi kwa pamoja , kihisabati , unaweza kuitenga kwenye mchakato wa hatua tatu na kuweka mifano ipasavyo .
(src)="61"> Lehen pausoa : imajina ezazue koadrila bat ,
(trg)="61"> Basi , hatua ya kwanza : tuseme una kikundi cha marafiki .
(src)="62.1"> matxinadan parte hartzen ari ez dena .
(src)="62.2"> Lagunetako batek Foot Locker batean atraku bat gertatzen ari dela ikusi eta kiroletako pare bat lapurtzen du .
(trg)="62"> Hakuna hata mmoja anaehusika na ghasia , lakini mmoja wao anapita mbele ya Foot Locker inayokua inavamiwa , na kuingia na kujinunulia viatu vipya vya mazoezi .
(src)="63"> Lagun bati mezu bat bidaltzen dio : " Zatoz altxamendura " .
(trg)="63"> Anaandika ujumbe kwa mmoja wa rafiki zake na kusema , " Njoo kwenye mgomo . "
(src)="64"> Laguna beregana doa eta mezu gehiago bidali ondoren lagun gehiago animatzen dira , haiek ere mezuak bidaltzen dituzte , eta horrela infinituraino .
(trg)="64"> Hivyo rafiki yake anamuunga , halafu wawili hao wanaandikia marafiki zao zaidi , ambao wanawaunga , na kuandikia marafiki zao zaidi na zaidi na zaidi , na hivyo inaendelea .
(src)="65"> Prozesu hau birus baten hedapenaren berdin-berdina da .
(trg)="65"> Huu mchakato unafanana na jinsi kile kirusi kinavyosambaa kwenye umati .
(src)="66"> Orain dela bi urte gertatutako hegazti gripe epidemian bezalaxe , zenbat eta jende gehiagok izan , orduan eta jende gehiago kutsatzen zen eta gero eta azkarrago zabaltzen zen birusa agintariek egoera kudeatzea lortu baino lehen .
(trg)="66"> Ukifikiria kuhusu tatizo la mafua ya ndege miaka kadhaa iliopita , wagonjwa walivyoongezeka , watu walioambukizwa waliongezeka , na kadri kirusi kilivyosambaa kabla mamlaka hayajaweza kumudu kuweza kudhibiti matukio .
(src)="67"> Hemen gertatzen dena prozesu berbera da .
(trg)="67"> Na ni mchakato huo huo hapa .
(src)="68"> Demagun norbaitek matxinada bat antolatu nahi duela .
(trg)="68"> Tusema umepata mpinduzi , ameamua atoke aende kwenye maandamano .
(src)="69"> Lehendabizi , altxamendurako leku bat aukeratu behar du .
(trg)="69"> Kinachofuata ni kuchagua mahali pa maandamano .
(src)="70"> Erreboltariei buruzko beste datu bat ,
(trg)="70"> Sasa , unachotakiwa kujua kuhusu wapinduzi ni kua , um ...
(src)="71"> -mandoa ez dabil , hori da -
(trg)="71"> Oops , kibonyezo kimetoweka .
(src)="72"> erreboltariak ez daude prest beren bizilekutik gehiegi urruntzeko , matxinada leku oso mamitsua ez bada behintzat .
(trg)="72.1"> Sawa .
(trg)="72.2"> Unachotakiwa kujua kuhusu wapinduzi ni , hawajajiandaa kusafiri mbali sana na wanapoishi , isipokuwa eneo zuri sana la ghasia .
(src)="73"> ( Barreak ) Grafiko honetan ikus daiteke erreboltari asko kilometro bat baino gutxiagora zeudela aukeratutako matxinada lekutik .
(trg)="73"> ( Kicheko ) Hivyo unaona hilo hapo kwenye hii grafu , lenye wapinduzi wengi waliosafiri chini ya kilomita kwenye mahali walipoenda .
(src)="74"> Joera hau txikizkako salmentaren arloko kontsumoan ere ageri da , hau da , erosketak egiteko aukeratzen dugun lekua .
(trg)="74"> Sasa , huu mtindo unaonekana kwenye mifano ya watumiaji wa rejareja , yaani , tunapochagua kwenda kununua vitu .
(src)="75"> Denok bertako dendak nahiago ditugu , baina prest gaude urrunxeago joateko arropa dendak merezi badu .
(trg)="75"> Hivyo , bila shaka , watu wanapenda kwenye maduka ya mtaani , lakini utakua umejiandaa kwenda mbali zaidi kidogo kama lilikua eneo zuri la maduka .
(src)="76.1"> Egunkari batzuek analogia hori aprobetxatu zuten ; prentsa horiak " Indarkeriarekin erosketak " esamoldea erabili zuen hau aipatzeko .
(src)="76.2"> Horrek laburpen gisa balio digu ikerketarako .
(trg)="76"> Na huu mfano , kweli , ulikua tayari umechaguliwa na baadhi ya magazeti , na baadhi ya wachapa magazeti wakiita haya matukio " Ununuzi na fujo , " ambayo pengine inaeleza kwa maneno ya utafiti wetu .
(src)="77.1"> Ene !
(src)="77.2"> Atzera egin du .
(trg)="77"> Oh ! -- tunaenda nyuma .
(src)="78"> Hirugarren pausoa .
(trg)="78"> Sawa , hatua ya tatu .
(src)="79"> Azkenean , erreboltaria matxinadan dago eta ez du atxilotzerik nahi .
(trg)="79"> Mwishowe , mpinduzi yupo eneo lake , na anataka kuepuka kukamatwa na polisi .
(src)="80"> Polizia saihestuko du etengabe ; baino zailagoa izango da hainbeste jende artean .
(trg)="80"> Wapinduzi wataepuka polisi muda wote , lakini kuna usalama kwenye wengi .
(src)="81"> Bestalde , polizia bere baliabide mugatuez hiriaren ahalik eta eremu zabalena babesten , ahalik eta erreboltari gehien atxilotzen eta disuasio-efektu bat eragiten saiatzen da .
(trg)="81"> Na kwa upande mwingine , polisi , na rasilimali zao kidogo , wanajaribu kulinda jiji kadri watakavyoweza , kukamata wapinduzi inapowezekana na kutengeneza athari za kizuizi .
(src)="82"> Ba hara non , nolabait estateko , bi espezie hauen arteko mekanismoa predatzaile eta harrapakinen artekoaren berbera da .
(trg)="82"> Na kweli , kama inavyoonekana , huu mfumo kati ya jamii hizi mbili , za wapinduzi na polisi , ni sawa na wawindaji na windo mbugani .
(src)="83"> Untxi eta azerien kasuan , adibidez , untxiek azeriengandik ihes egin bitartean azeriek lekua patruilatzen dute untxien bila .
(trg)="83"> Basi ukifikiria sungura na mbweha , sungura wanajaribu kuepuka mbweha kwa namna zote , wakati mbweha wanazunguka eneo , wakijaribu kutafuta sungura .
(src)="84"> Asko dakigu predatzaile eta harrapakinen arteko dinamikaz ,
(trg)="84"> Tunajua ukweli kiasi kikubwa kuhusu msukumo wa wawindaji na windo .
(src)="85"> baita kontsumo-merkatuko fluxuei
(trg)="85"> Tunajua pia mengi kuhusu mtiririko wa tabia za watumiaji .
(src)="86"> eta birusen zabalkuntzari buruz ere .
(trg)="86"> Na tunajua mengi kuhusu jinsi virusi vinavyosamnaa kwenya umati .
(src)="87"> Hiru analogia hauek ustiatuz gero , altxamenduen joera orokorren adierazpen matematiko bat lortu daiteke .
(trg)="87"> Hivyo ukichukua hii mifano mitatu kwa pamoja na kuitumia , unaweza kutoka na mfano wa hisabati wa nini hasa kilichotokea , ambacho kinauwezo wa kurudia mitindo ya jumla ya ghasia zenyewe .
(src)="88"> Honek berrikuntza askori bide eman diezaieke : kalte gehien jaso dezaketen hiriko zonaldeak identifikatu eta berriro gertatuko balitz polizia-estrategia aproposak asma daitezke .
(trg)="88"> Tunapojua hili , tunaweza tumia hili kama kisahani cha tafiti na kuanza kuwa na majadiliano kuhusu maeneo gani kwenye jiji ambayo yako hatarishi kuliko mengine na mbinu gani za polisi zinaweza tumika kama zingetokea tena huko mbeleni .
(src)="89"> Duela hogei urte arte ez zen horrelako aurreikuspenik egin ,
(trg)="89"> Hata miaka ishirini iliyopita , mifano ya hii namna haikusikika kabisa .
(src)="90"> baina analogia hauek gizarteko arazoei aurre egiteko sekulako garrantzia dutela uste dut , agian gizartea hobetzeko eta guzti .
(trg)="90"> Lakini ninafikiri hii mifano ni kifaa kizuri na muhimu sana kwenye kupambana na matatizo ya jamii yetu , na pengine , mwishowe kuboresha jamii yetu kwa ujumla .
(src)="91"> Laburbilduz , bizitza konplexua da , baina ulertzeak ez du hain zaila izan beharrik .
(trg)="91"> Hivyo , kuhitimisha , maisha ni magumu , lakini pengine kuyaelewa sio lazima kuwe kugumu hivyo .
(src)="92"> Eskerrik asko .
(trg)="92"> Asanteni .
(src)="93"> ( Txaloak )
(trg)="93"> ( Makofi )
# eu/ted2020-1654.xml.gz
# sw/ted2020-1654.xml.gz
(src)="1"> Hemen nago gaur galdera kezkagarri bati buruz hitz egiteko non erantzuna ere kezkagarria den .
(trg)="1"> Leo niko hapa kuongea kuhusu swala nyeti , ambalo lina jibu tatanishi .
(src)="2"> Nire gaia etxeko indarkeriari loturiko sekretuak dira , eta landuko dudan galdera denok egiten dugun galdera da : Zergatik geratzen da ?
(trg)="2"> Swala langu ni zile siri za ugomvi nyumbani , na swali nitakalokabiliana nalo ni lile swali moja kila mmoja huliuliza kila mara : Kwa nini muathirika hubakia ?
(src)="3"> Zergatik geratuko litzateke inor jotzen duen gizonarekin ?
(trg)="3"> Kwa nini mtu yeyote abaki na mume ampigaye ?
(src)="4"> Ez naiz psikiatra , ez gizarte langilea edo etxeko indarkerian aditua .
(trg)="4"> Mie si daktari wa akili , mfanyakazi wa ustawi wa jamii au mtaalam wa ugomvi wa nyumbani .
(src)="5"> Kontatzeko istorio bat duen emakume bat besterik ez naiz .
(trg)="5"> Mimi ni mwanamke mwenye hadithi ya kusimulia .
(src)="6.1"> 22 urte neuzkan .
(src)="6.2"> Harvarden graduatu berria nintzen .
(trg)="6.1"> Nilikuwa na umri wa miaka ishirini na miwili .
(trg)="6.2"> Nilikuwa nimehitimu tu kutoka chuo cha Harvard .
(src)="7"> New Yorkera joan nintzen nire lehenengo lanera Seventeen aldizkariko idazle eta editore gisa .
(trg)="7"> Nilikuwa nimehamia mjini New York kwa ajili ya kazi yangu ya kwanza kama mwandishi na mhariri wa gazeti la Seventeen .