# et/ted2020-1455.xml.gz
# sw/ted2020-1455.xml.gz


(src)="1"> Ma räägin teile täna religioonist ,
(trg)="1"> Nitaenda kuongelea kuhusu dini .

(src)="2"> kuid see on lai ja väga tundlik teema seega pean end piirama .
(trg)="2"> Lakini ni mada pana na nyeti sana , hivyo itabidi nijiwekee mpaka .

(src)="3"> Ja seega räägin teile vaid religiooni ja seksuaalsuse vahelistest seostest .
(trg)="3"> Na kwahiyo nitajiwekea mpaka kuongelea tu kuhusu uhusiano kati ya dini na kujamiiana .

(src)="4"> ( Naer ) See tuleb tõsine ettkanne .
(trg)="4"> ( Kicheko ) Haya ni majadiliano yenye uzito sana .

(src)="5"> Sestap räägin teile vaid sellest , mida mäletan imeliseimana .
(trg)="5"> Hivyo , nitaongelea juu ya ninachokumbuka kua cha ajabu sana .

(src)="6"> Kui noor paar sosistab : „ Täna öösel teeme lapse . “
(trg)="6"> Ni pale wanandoa vijana walinong 'oneza , " Usiku tutaenda kutengeneza mtoto . "

(src)="7"> Minu ettekanne kõneleb religiooni mõjust laste arvule naise kohta .
(trg)="7"> Maongezi yangu yatahusu athari ya dini kwa idadi ya watoto kwa mwanamke .

(src)="8"> See on tõepoolest oluline , kuna kõik mõistavad , et sellel on piir , mitmekesi me sellele planeedile mahume .
(trg)="8"> Hii ni muhimu kweli , kwa sababu kila mtu anaelewa kua kuna aina fulani ya mpaka kwa jinsi watu wengi wanaweza kua kwenye hii sayari .

(src)="9"> Osa inimesi väidab , et maailma rahvaarv kasvab – kolm miljardit 1960 . aastal , seitse miljardit eelmisel aastal – ja jätkab kasvamist , sest osa religioone keelab naistel saada vähe lapsi , ja rahvaarv võibki jääda niimoodi kasvama .
(trg)="9"> Na kuna baadhi ya watu wanaosema kua idadi ya watu duniani imekua kama hivi -- bilioni tatu mwaka 1960 , bilioni saba mwaka jana tu -- na itaendelea kukua kwa sababu kuna dini zinazozuia wanawake kuwa na watoto wachache , na inaweza kuendelea hivi .

(src)="10"> Kuivõrd on nendel inimestel õigus ?
(trg)="10"> Ni kwa kiasi gani hawa watu wako sahihi ?

(src)="11"> Kui mina sündisin , oli maailmas alla miljardi lapse , täna , 2000 . aastal on lapsi peaaegu kaks miljardit .
(trg)="11"> Nilivyozaliwa kulikua na watoto chini ya bilioni moja duniani , na leo , 2000 , kuna karibia bilioni mbili .

(src)="12"> Mis on vahepeal juhtunud ja mis juhtub asjatundjate arvates laste arvuga sel sajandil ?
(trg)="12"> Nini kimetokea tangu hapo , na nini wataalam wanatabiri kitatokea na idadi ya watoto karne hii ?

(src)="13.1"> See on viktoriin .
(src)="13.2"> Mida teie arvate ?
(trg)="13.1"> Hili ni jaribio .
(trg)="13.2"> Unafikiri nini ?

(src)="14"> Kas teie arvates väheneb see taas ühe miljardini ?
(trg)="14"> Unafikiri itapungua mpaka bilioni moja ?

(src)="15"> Jääb samaks ja on sajandi lõpuks kaks miljardit ?
(trg)="15"> Itabaki sawa na kua bilioni mbili ifikapo mwisho wa karne ?

(src)="16"> Kas kuni 15-aastaste laste arv suureneb igal aastal või jätkub sama kiire kasv ja sajandi lõpuks on maailmas neli miljardit last ?
(trg)="16"> Idadi ya watoto itaongezeka kila mwaka hadi miaka 15 , au itaendelea na kiwango cha haraka kile kile na kua watoto bilioni nne huko juu ?

(src)="17"> Ma avaldan teile vastuse oma ettekande lõpus .
(trg)="17"> Nitawaambia ifikapo mwisho wa hotuba yangu .

(src)="18"> Aga nüüd , kuidas on religioon kõige sellega seotud ?
(trg)="18"> Lakini sasa , dini inahusika vipi ?

(src)="19"> Religiooni on arvatust keerulisem klassifitseerida .
(trg)="19"> Unapotaka kuainisha dini , ni ngumu kuliko unavyofikiri .

(src)="20"> Te kasutate Vikipeediat ja esimene kaart , mille te leiate , on see .
(trg)="20"> Unaenda Wikipedia na ramani ya kwanza unayopata ni hii .

(src)="21"> See jagab maailma aabrahamlikeks usunditeks ja idamaiseks usundiks , kuid see pole piisavalt täpne .
(trg)="21"> Inagawanyisha dunia kwenye dini za Ibrahimu na dini za Mashariki , lakini hio haina undani wa kutosha .

(src)="22"> Sukeldusime Vikipeedias sügavamale ja leidsime selle kaardi .
(trg)="22"> Hivyo tukaenda zaidi na kuangalia kwenye Wikipedia , tukapata hii ramani .

(src)="23"> Kuid see jagab kristluse , islami ja budismi paljudeks alarühmadeks , mis oli jällegi liiga detailne .
(trg)="23"> Lakni hio inaianisha Ukristo , Uislamu na Ubuddha kwenye makundi mengi madogo , ambayo yalikua ya kina sana .

(src)="24"> Seetõttu koostasime ise Gapminderis kaardi , mis näeb välja selline .
(trg)="24"> Kwa hiyo pale Gapminder tulitengeneza ramani yetu , Na inaonekana hivi .

(src)="25"> Iga riik on tähistatud mulliga .
(trg)="25"> Kila nchi ni puto .

(src)="26"> Suurus viitab rahvaarvule – siin on suur Hiina ja suur India .
(trg)="26"> Ukubwa ni idadi ya watu -- China kubwa , India kubwa hapa .

(src)="27"> Värv on valitsev usund .
(trg)="27"> Na rangi sasa ni dini yenye wengi .

(src)="28"> Ehk usund , millesse väidab end kuuluvat üle 50 % inimestest .
(trg)="28"> Ni dini ambayo watu zaidi ya asilimia 50 wanasema wanahusika .

(src)="29"> Indias , Hiinas ja nende naaberriikides Aasias on valitsev idamaine religioon .
(trg)="29"> Ni dini ya Mashariki huko India na China na nchi jirani za Asia .

(src)="30"> Islam on valitsev religioon Alates Atlandi ookeanist , läbi Lähis-Ida , Lõuna-Euroopa ja Aasia , kuni Indoneesiani välja .
(trg)="30"> Uislamu ni dini ya wingi njia yote kutoka Bahari ya Atlantiki kupitia Mashariki ya Kati , Ulaya ya Kusini na kupitia Asia njia yote mpaka Indonesia .

(src)="31"> Sealt leiame islamiusuliste enamuse .
(trg)="31"> Hapo ndipo tunapata Waislamu wengi .

(src)="32"> Kristlus on aga nende riikide valitsev religion .
(trg)="32"> Na dini nyingi za Kikristo , tunaona kwenye hizi nchi .

(src)="33.1"> Need on sinised .
(src)="33.2"> Nende sekka kuuluvad enamik Ameerika ja Euroopa riikidest , paljud riigid Aafrikas ja mõned Aasias .
(trg)="33.1"> Ni za bluu .
(trg)="33.2"> Na hizo ni nchi nyingi za Marekani na Ulaya , nchi nyingi za Afrika na chache za Asia .

(src)="34.1"> Valgega tähistatud riike ei saa klassifitseerida .
(src)="34.2"> Neis riikides kas ei ületa ükski usund 50 % künnist , kaheldakse teada olevates andmetes või siis on mõni muu põhjus .
(trg)="34"> Nyeupe hapa ni nchi ambazo haziwezi kuwa kuainishwa , kwa sababu dini moja haifiki asilimia 50 au kuna shaka kuhusu takwimu au sababu yoyote nyingine .

(src)="35"> Seega me olime nendega ettevaatlikud .
(trg)="35"> Hivyo tulikua makini na hilo .

(src)="36"> Varuge nüüd kannatust , et ma saaksin tutvustada teile seda pilti .
(trg)="36"> Hivyo vumilia urahisi wetu sasa nikiwapeleka kwenye hii picha .

(src)="37"> Aasta on 1960 .
(trg)="37"> Hii ni 1960 .

(src)="38"> Näitan teile nüüd laste arvu naise kohta : kaks , neli või kuus – palju lapsi , vähe lapsi .
(trg)="38"> Na sasa naonyesha idadi ya watoto kwa mwanamke hapa : mbili , nne au sita -- watoto wengi , watoto wachache .

(src)="39"> Ja siin on sissetulek inimese kohta võrreldavates dollarites .
(trg)="39"> Na hapa mapato kwa mtu ikilinganishwa dola .

(src)="40"> Näitajad on tingitud inimeste arusaamast , et esmalt peab koguma rikkust ja alles seejärel saama lapsed .
(trg)="40"> Sababu ya hio ni kua watu wengi wanasema unapaswa kua tajiri kwanza kabla hujapata watoto wachache .

(src)="41"> Seega väike sissetulek siin , suur sissetulek seal .
(trg)="41"> Hivyo mapato ya chini hapa , mapato ya juu pale .

(src)="42"> Ja tõepoolest 1960ndatel said vaid rikkad kristlased vähe lapsi .
(trg)="42"> Na kweli mwaka 1960 , ulitakiwa uwe Mkristo tajiri kuwa na watoto wachache .

(src)="43"> Erand oli Jaapan .
(trg)="43"> Ilikua isipokua Japan .

(src)="44"> Ja Jaapanit peetigi erandlikuks .
(trg)="44"> Japan hapa ilionekana ya kipekee .

(src)="45"> Muidu kehtis see kristlikes riikides .
(trg)="45"> Vinginevyo ni nchi za Kikristo tu .

(src)="46"> Samas oli ka palju kristlikke riike , kus naise kohta sündis kuus-seitse last .
(trg)="46"> Lakini pia kulikua na nchi nyingi za Kikristo zilizokua na watoto sita mpaka saba kwa mwanamke .

(src)="47"> Kuid need olid Ladina-Ameerika või Aafrika riigid .
(trg)="47"> Lakini zilikua Amerika ya Kusini au zilikua Afrika .

(src)="48"> Peaaegu kõigis neis riikides , kus valdavaks religiooniks oli islam , sündis naise kohta kuus-seitse last , sõltumata perekonna sissetulekust .
(trg)="48"> Na nchi zenye Kiislamu kama dini kuu , zote zilikua na karibia watoto sita mpaka saba kwa mwanamke , bila kujali kiwango cha mapato .

(src)="49"> Laste arv oli sarnane ka idamaistes religioonides , välja arvatud Jaapanis .
(trg)="49"> Na dini zote za mashariki isipokua Japan zilikua na kiwango sawa .

(src)="50"> Vaatame nüüd , mis on vahepeal toimunud .
(trg)="50"> Sasa tuone kilichotokea kwenye dunia .

(src)="51"> Panen maailma käima ja läheb lahti .
(trg)="51"> Ninaanzisha dunia , na tunaenda hivi .

(src)="52"> 1962 – kas näete , et inimesed saavad veidi rikkamaks , aga laste arv naise kohta väheneb ?
(trg)="52"> Sasa 1962 -- unaweza kuona wanakua tajiri zaidi , lakini idadi ya watoto kwa mwanamke inashuka ?

(src)="53.1"> Vaadake Hiinat .
(src)="53.2"> Laste arv väheneb kiirelt .
(trg)="53.1"> Angalia China .
(trg)="53.2"> Wanashuka kwa haraka sana .

(src)="54"> Laste arv väheneb ka kõigis islami enamusega riikides , nagu kristliku enamusega riikideski keskmise sissetulekuga inimeste puhul .
(trg)="54"> Na nchi zote zenye Wasilamu wengi katika mapato zinakuja chini , kama nchi zenye Wakristo wengi kwenye eneo lenye mapato ya kati .

(src)="55"> Sellesse sajandisse jõudes leiate siit alt poolt enamuse inimkonnast .
(trg)="55"> Na tunapoingia kwenye karne hii , utakuta zaidi ya nusu ya watu huku chini .

(src)="56"> 2010 . aastal elab 80 % inimestest riikides , kus on naise kohta umbes kaks last .
(trg)="56"> Na ifikapo 2010 , tuko kwa kweli asilimia 80 ya watu wanaoishi kwenye nchi zenye kama watoto wawili kwa mwanamke .

(src)="57"> ( Aplaus ) Aset on leidnud üsna hämmastav areng .
(trg)="57"> ( Makofi ) Ni maendeleo ya kushangaza kabisa ambayo yametokea .

(src)="58"> ( Aplaus ) Siin on Ameerika Ühendriigid – sissetulek inimese kohta 40 000 dollarit – Prantsusmaa , Venemaa , Iraan , Mehhiko , Türgi , Alžeeria , Indoneesia , India ja ka Bangladesh ja Vietnam , kus on sissetulek ühe inimese kohta vähem kui 5 % ameeriklaste samast näitajast , kuid naise kohta on lapsi sama palju .
(trg)="58"> ( Makofi ) Na hizi ni nchi za Marekani hapa , zenye $ 40,000 kwa kila mtu , Ufaransa , Urusi , Uajemi , Mexico , Uturuki , Algeria , Indonesia , India na moja kwa moja mpaka Bangladesh na Vietnam , ambazo zinazo chini ya asilimia tano ya mapato kwa mtu wa Marekani na kiasi sawa cha watoto kwa mwanamke .

(src)="59"> Võin teile öelda , et andmed , mis näitavad laste arvu naise kohta , on kõikides riikides üllatavalt head .
(trg)="59"> Naweza kukuambia kua takwimu ya idadi ya watoto kwa mwanamke ina uzuri wa kushangaza nchi zote .

(src)="60"> Kasutame rahvaloenduste andmeid ,
(trg)="60"> Tunapata hizo kutoka takwimu za sensa .

(src)="61"> mitte kaheldava väärtusega statistikat .
(trg)="61"> Sio moja ya hizi takwimu zilizo na mashaka sana .

(src)="62"> Võime seega järeldada : selleks , et saada vähe lapsi , ei pea olema rikas .
(trg)="62"> Hivyo tunachohitimisha ni hauhitaji kua tajiri kuwa na watoto wachache .

(src)="63"> See on juhtunud kogu maailmas .
(trg)="63"> Imetokea katika dunia .

(src)="64"> Kui me vaatame religioone , näeme , et üheski riigis , kus on valitsev idamaine usund , ei sünni naise kohta üle kolme lapse .
(trg)="64"> Na kisha tunapoangalia dini. tunaona kua dini za mashariki , kwa kweli hakuna nchi hata moja yenye wingi wa hio dini ambayo ina zaidi ya watoto watatu .

(src)="65"> Riikides , kus on valitsev usund islam või kristlus , on lapsi naise kohta sageli rohkem .
(trg)="65"> Ambapo na Uislamu kama dini ya wingi na Ukristo , unaona nchi njia yote .

(src)="66"> Siiski ei ole see erinevus suur .
(trg)="66"> Lakini hakuna tofauti kubwa .

(src)="67"> Usundite vahel suurt erinevust pole .
(trg)="67"> Hakuna tofauti kubwa kati ya hizi dini .

(src)="68"> Erinevus on seotud sissetulekuga .
(trg)="68"> Kuna tofauti kwenye mapato .

(src)="69"> Nendes riikides , kus on naise kohta palju lapsi , on sissetulekud üsna väiksed .
(trg)="69"> Nchi ambazo zina watoto wengi kwa mwanamke hapa , zina mapato ya chini kweli .

(src)="70"> Enamus neist asuvad Sahara-taguses Aafrikas .
(trg)="70"> Nyingi zao ziko Afrika kusini mwa Sahara .

(src)="71"> Kuid siin on ka riigid nagu Guatemala , Paapua Uus-Guinea , Jeemen ja Afganistan .
(trg)="71"> Lakini pia kuna nchi huku kama Guatemala , kama Papua New Guinea , kama Yemen na Afghanistan .

(src)="72"> Paljud arvavad , et Afganistanis ja Kongos , mida on räsinud tõsised konfliktid , ei kasva rahvaarv kiiresti .
(trg)="72"> Wengi hufikiri kua Afghanistan hapa na Kongo , ambazo zimeteseka na migogoro mikali , kua hazina ukuaji wa idadi ya watu wa haraka .

(src)="73"> Kuid see on vastupidi .
(trg)="73"> Ni kinyume chake .

(src)="74"> Tänapäeval kasvab rahvaarv kõige kiiremini suurima suremusega riikides ,
(trg)="74"> Kwenye dunia leo , ni nchi zenye kiwango cha juu cha vifo ambazo zina ukuaji wa haraka wa idadi ya watu .

(src)="75"> kuna lapse surma kompenseeritakse uue lapsega .
(trg)="75"> Kwa sababu kifo cha mtoto kimefidiwa na mtoto mmoja zaidi .

(src)="76"> Nendes riikides on naise kohta kuus last .
(trg)="76"> Hizi nchi zina watoto sita kwa mwanake .

(src)="77"> Kahjuks neis riikides ka sureb naise kohta üks-kaks last .
(trg)="77"> Zina kiwango cha vifo cha kusikitisha cha mtoto mmoja mpaka wawili kwa mwanamke .

(src)="78"> Kuid 30 aasta pärast on Afganistani rahvaarv 30 miljoni asemel 60 miljonit
(trg)="78"> Lakini miaka 30 kutoka sasa , Afghanistan inatoka milioni 30 mpaka milioni 60 .

(src)="79"> ning Kongos 60 miljoni asemel 120 miljonit .
(trg)="79"> Kongo inaenda kutoka 60 mpaka 120 .

(src)="80"> Neis riikides on rahvaarvu kasv suur .
(trg)="80"> Hapo ndipo tunapata ukuaji wa idadi ya watu .

(src)="81"> Paljud arvavad , et need on stagneerunud riigid , aga see ei ole nii .
(trg)="81"> Na wengi wanafikiri kua hizi nchi ziko palepale , lakini hazipo .

(src)="82"> Võrdleme Senegali – kus valitsev usund on islam – Ghanaga , mille valitsev usund on kristlus .
(trg)="82"> Ngoja nilinganishe Senegal , nchi iliotawaliwa na Waislamu , na nchi iliotawaliwa na Wakristo , Ghana .

(src)="83.1"> Vaatame aega , mil nad iseseisvusid .
(src)="83.2"> 1960ndate alguses olid nad siin üleval .
(trg)="83"> Nazipeleka nyuma hapa kwenye uhuru wao , ambapo walikua huku juu mwanzoni mwa miaka ya 1960 .

(src)="84"> Vaadake , mida nad on teinud .
(trg)="84"> Angalia tu walichokifanya .

(src)="85"> See on hämmastav areng , seitsmest lapsest naise kohta on nüüdseks saanud neli-viis last naise kohta .
(trg)="85"> Ni maendeleo ya kushangaza , kutoka watoto saba kwa mwanake , wameenda moja kwa moja chini mpaka wanne na watano .

(src)="86"> Vapustav edasiminek .
(trg)="86"> Ni maendeleo makubwa .

(src)="87"> Niisiis mida on selleks vaja ?
(trg)="87"> Hivyo inachukua nini ?

(src)="88"> Teame üsna hästi , mida on nendes riikides vaja .
(trg)="88"> Basi tunajua vizuri kabisa kinachohitajika kwenye hizi nchi .

(src)="89"> Ellujäämiseks on vaja lapsi .
(trg)="89"> Unahitaji kua na watoto kuishi .

(src)="90"> Selleks , et perekonnad ei vajaks lapsi töötamiseks , peab välja saama sügavamast vaesusest .
(trg)="90"> Unahitaji kutoka nje ya umasikini uliokithiri hivyo watoto sio wa muhimu kwa kazi kwenye familia .

(src)="91"> Inimestel peab olema võimalus pereplaneerimiseks .
(trg)="91"> Unahitaji kua na upatikanaji wa baadhi ya uzazi wa mpango .

(src)="92"> Vaja on ka neljandat tegurit , mis on võib-olla ka kõige olulisem .
(trg)="92"> Na unahitaji sababu ya nne , ambayo pengine ni sababu muhimu kuliko zote .

(src)="93"> Selgitan seda neljandat tegurit , vaadates Katari .
(trg)="93"> Lakini ngoja nionyeshe hio sababu ya nne kwa kuangalia Qatar .

(src)="94"> Siin on praegu Katar ja siin Bangladesh .
(trg)="94"> Hapa tuna Qatar leo , na pale tuna Bangladesh leo .

(src)="95"> Kui vaadata neid riike iseseisvumise ajal , mis toimus enam-vähem samal aastal – 1971 , 1972 – siis näeme , et toimunud on üsna hämmastav areng .
(trg)="95"> Kama nikizipeleka hizi nchi nyuma kwenye miaka ya uhuru wao , ambazo ni karibia mwaka mmoja -- ' 71 , ' 72 -- ni maendeleo ya kushangaza kabisa ambayo yalitokea .

(src)="96"> Vaadake Bangladeshi ja Katari .
(trg)="96"> Angalia Bangladesh na Qatar .

(src)="97"> Sissetulek on nii erinev , aga naise kohta sündinud beebide arv on samamoodi vähenenud .
(trg)="97"> Zenye mapato yanayotofautiana kabisa , ni karibia muanguko sawa kwenye idadi ya watoto kwa mwanamke .

(src)="98"> Mis on Kataris selle põhjus ?
(trg)="98"> Na nini sababu ya Qatar ?

(src)="99"> Teen nii nagu alati .
(trg)="99"> Basi kama kawaida yangu .

(src)="100"> Lähen Katari statistikaameti kodulehele – see on väga hea koduleht , soovitan – ning vaatan järele – oi , siin saab nalja – ja leidsin Katari ühiskondlikud suundumused .
(trg)="100.1"> Nilienda kwenye mamlaka ya takwimu ya Qatar , kwenye tovuti yao -- Ni tovuti nzuri sana .
(trg)="100.2"> Ninaipendekeza -- na nikaangalia juu -- ndio , ni burudani nyingi hapa -- na zinatolewa bure , nilikuta mwenendo wa kijamii wa Qatar .