# eo/ted2020-1470.xml.gz
# sw/ted2020-1470.xml.gz


(src)="1"> Mi kunlaboras kun bakterioj .
(trg)="1"> Ninashirikiana na bacteria

(src)="2"> Kaj mi tuj montros al vi bildopostbildan videon , kiu mi faris lastatempe en kiu oni vidas bakteriojn eltiri mineralojn el sia medio dum unuhora periodo .
(trg)="2"> ninataka nikuonyeshe kipande cha video ambacho nimetengeneza hivi karibuni ndani yake utaweza kuona bacteria wakikusanya madini kutoka katika mazingira yao ndani ya zaidi ya saa moja

(src)="3"> Tio , kion vi vidas estas bakterioj , kiuj metabolas , kaj tion farante kreas elektran ŝarĝon .
(trg)="3"> Kwa hiyo unachokiona hapa ni bacteria wakiwa wanameng 'enya wakati wanafanya hivyo wanatengeneza chaji za umeme .

(src)="4"> Tio eltiras metalojn el la proksima ĉirkaŭaĵo .
(trg)="4"> na inavuta metali kutoka katika mazingira ya karibu

(src)="5"> Tiuj metaloj kolektiĝas kiel mineraloj je la surfaco de la bakterioj .
(trg)="5"> metali hizi zinajikusanya kama madini katika uso wa wa bacteria

(src)="6"> Unu el la plej persistaj problemoj de la monda loĝantaro hodiaŭ estas trovi fidindajn fontojn de trinkebla akvo .
(trg)="6"> Moja kati ya matatizo yaliyoenea sana duniani katikati ya watu ni upungufu wa maji safi na salama ya kunywa

(src)="7"> La procezo nomata sensaligo estas unu el tiuj fontoj de trinkakvo .
(trg)="7"> mchakato wa kuchukua maji na kutoa chumvi ndani yake

(src)="8"> Ĝi uzeblas por homa konsumado aŭ agrikulturo .
(trg)="8"> ili yaweze kutumika kwa ajili ya kunywa na kilimo

(src)="9"> Sensaligi akvon -- specife marakvon -- per inversa osmozo estas grava procezo por landoj kie uzebla trinkakvo mankas tra la mondo .
(trg)="9"> Kutoa chumvi katika maji na hasa maji ya bahari kupitia mfumo wa kinyume wa osmosis na njia muhimu kwa ajili ya nchi ambazo zina upungufu wa maji safi na salama ya kunywa duniani kote

(src)="10"> Inversa osmozo de marakvo estas membranfiltrila teknologio .
(trg)="10"> Kwa hiyo utoaji wa chumvi katika maji ya bahari ni teknolojia ya kuchuja kwa kutumia utando

(src)="11"> Oni altiras marakvon per pumpilo , kaj repuŝas ĝin
(trg)="11"> Tunachukua maji kutoka baharini na tunayagandamiza katika msukumo mkubwa

(src)="12"> trans membrano duontralasebla .
(trg)="12"> na mgandamizo huu unayalazimisha maji kupita katika utando

(src)="13"> Por produkti trinkeblan akvon tiumaniere , oni bezonas energion .
(trg)="13"> Hii inahitaji nguvu kutengeneza maji ya kunywa

(src)="14"> Krome , la procezo postlasas koncentritan salsolvon ,
(trg)="14"> Lakini hii inaacha nyuma chumvi kali

(src)="15"> kaj ĝi tre multekostas , tro , fakte , por multaj landoj tramonde .
(trg)="15"> Mchakato huu ni wa gharama sana gharama ambayo ni kubwa sana kwa nchi nyingi duniani

(src)="16"> Ofte , ankaŭ , la salsolvon , kiu rezultas oni simple repumpas en la maron .
(trg)="16"> Na pia chumvi inayobaki mara nyingi hurudishwa tena baharini

(src)="17"> Tio damaĝas la ekologion de la loko en kiu oni remetas la solvon .
(trg)="17"> na hali hii si nzuri kwa mazingira ya eneo la baharini chumvi inapotupwa

(src)="18"> Nun , mi laboras en Singapuro , urbo kiu ludas ĉefrolon pri la disvolvigo de sensaligajn teknologiojn .
(trg)="18"> Kwa hiyo nafanya kazi Singapore kwa sasa Na hili ni eneo ambalo linaongoza kwa utoaji wa chumvi katika maji ya baharini

(src)="19"> Singapuro proponas prokukti ĝis 2060 900 milionojn da litroj de sensaligitan akvon ĉiutage .
(trg)="19"> Na Singapore inapendekeza kuwa mpaka mwaka 2060 kutengeneza lita millioni 900 kwa siku za maji yaliyotolewa chumvi

(src)="20"> Bedaŭrinde , tio ankaŭ rezultigos grandegan kvanton da salsolvo .
(trg)="20"> Lakini hii itasababisha kiasi kama hicho cha ukubwa cha chumvi

(src)="21"> Ĝuste tie povas interveni mia kunlaboranto kun bakterioj .
(trg)="21"> Na hapa ndipo ushirikiano wangu na Bacteria unapofanya kazi

(src)="22"> Tio , kion ni faras nun estas akumuli metalojn , kiel kalcio , kalio kaj magnezio , ekstraktitajn el postsensaliga salsolvo .
(trg)="22"> Kwa hiyo tunachofanya kwa sasa ni tunakusanya metali kama Kalsiamu , Potassiamu na Magnesiamu kutoka katika chumvi inayobaki baada ya maji kutolewa chumvi

(src)="23"> Nur pri kalio kaj la akvokvanto , kiun mi ĵus menciis , oni kalkulas valoron de $ 4.5 miliardoj por la minindustrio de Singapuro -- kie ne estas krudmaterialoj .
(trg)="23"> Na hii , kwa Magnesiamu na kiasi cha maji ambacho nimekitaja ina thamani ya Dola za Marekani , Billioni 4.5 kwa mfumo wa madini wa Singapore Sehemu ambayo haina rasilimali zozozte

(src)="24"> Do mi petas vin imagi minindustrion tian , kia neniam ekzistis antaŭe ; imagu minindustrion , kiu ne profanas la Teron ; imagu bakteriojn , kiuj helpas nin tiurilate per akumulado , precipitado kaj sedimentigo de mineraloj el sensaliga salsolvo .
(trg)="24"> Kwa hiyo ningependa uwaze kuhusu viwanda vya madini katika njia ambayo haijawahi kutokea kabla Fikiria viwanda vya madini ambavyo haviharibu mazingira Fikiria bacteria wakiwa wanatusaidia kufanya hivi kwa kukusanya na kumeng 'enya madini kutoka katika chumvi iliyobaki baada ya maji kutolewa chumvi

(src)="25"> Tio , kion vi povas vidi ĉi tie estas la komenco de enlaboratoria industrio , de minindustrio en akordo kun naturo .
(trg)="25"> Na utakachokmiona hapa ni mwanzo wa viwanda , viwanda vya madini ambavyo vitaendana na mazingira

(src)="26"> Dankon .
(trg)="26"> Asante Sana

(src)="27"> ( Aplaŭdoj )
(trg)="27"> ( Makofi )

# eo/ted2020-2483.xml.gz
# sw/ted2020-2483.xml.gz


(src)="1"> Monataĵo .
(trg)="1"> Siku .

(src)="2"> Sango .
(trg)="2"> Damu .

(src)="3"> Menstruo .
(trg)="3"> Hedhi .

(src)="4"> Naŭze .
(trg)="4"> Uchafu .

(src)="5"> Sekrete .
(trg)="5"> Siri .

(src)="6"> Kaŝite .
(trg)="6"> Kuficha .

(src)="7"> Kial ?
(trg)="7"> Kwanini ?

(src)="8"> Natura biologia procezo , kiun spertas ĉiu knabino kaj virino , ĉiumonate dum duono de sia vivo .
(trg)="8"> Utaratibu asilia kibaolojia ambao kila msichana na mwanamke anapitia kila mwezi kwa karibia nusu ya maisha yake .

(src)="9"> Tiel grava fenomeno , ke de ĝi dependas la pluvivo kaj disvastiĝo de la homaro .
(trg)="9"> Jambo ambalo ni la umuhimu mkubwa sana kiasi kwamba kupona na uenezwaji wa spishi zetu unautegemea .

(src)="10"> Tamen ni konsideras ĝin tabuo .
(trg)="10"> Bado tunauchukulia kama mwiko .

(src)="11"> Ni sentas nin malkomfortaj kaj hontaj kiam ni pri ĝi diskutas .
(trg)="11"> Tunajisikia ugumu na fedheha kuliongelea .

(src)="12"> Unuafoje kiam mi menstruis , oni postulis al mi kaŝi tiun sekreton - eĉ de mia patro kaj frato .
(trg)="12"> Nilipopata siku zangu mara ya kwanza , Niliambiwa nifanye iwe siri nisiwaambie wengine -- hata kwa baba yangu au kaka .

(src)="13"> Kiam ni atingis la tiurilatan ĉapitron de nia lernolibro , nia biologia instruisto preterpasis ĝin .
(trg)="13"> Baadaye wakati hili somo limejitokeza vitabuni mwetu , mwalimu wetu wa baolojia aliiruka mada .

(src)="14"> ( Ridoj ) Ĉu vi scias kion mi lernis de tio ?
(trg)="14"> ( Kicheko ) Nilijifunza nini kutokana na hili ?

(src)="15"> Mi lernis , ke paroli pri ĝi estas hontege .
(trg)="15"> Nilijifunza kwamba ni fedheha mno kuongelea jambo hili .

(src)="16"> Mi lernis honti pri mia korpo .
(trg)="16"> Nilijifunza kufedheshwa na mwili wangu .

(src)="17"> Mi lernis resti nekonscia pri menstruo por resti deca .
(trg)="17"> Nilijifunza kutokufahamu siku zangu ili kuweza kubaki na heshima .

(src)="18"> En diversaj lokoj de Barato , esplorado montras , ke tri el dek knabinoj tute ne konscias pri menstruado kiam ili unuafoje menstruas .
(trg)="18"> Utafiti katika sehemu mbalimbali India waonyesha wasichana watatu kati ya kumi hawafahamu kuhusu hedhi wakati wa siku zao za kwanza .

(src)="19"> Eĉ en partoj de Raĝastano povas esti tiel multe , kiel naŭ el dek .
(trg)="19"> Na baadhi ya sehemu za Rajasthan hii namba ni kubwa kama wasichana tisa kati ya kumi kutokufahamu

(src)="20"> Vi certe surprize ekscius , ke la plejparto de la knabinoj kun kiuj mi parolis , kiuj ja nenion sciis pri menstruo , pensis ke ili ekhavas sangkanceron - kaj tuj mortos .
(trg)="20"> Unaweza kushangazwa kujua kwamba wasichana wengi nilioongea nao , waliokuwa hawajui kuhusu siku zao wakati wa hedhi zao za kwanza walifikiria kuwa wana saratani ya damu na watakufa muda sio mrefu .

(src)="21"> Menstrua higieno estas tre grava faktoro por infektoj de la reprodukta sistemo .
(trg)="21"> Usafi wa hedhi ni kipengele muhimu cha hatari kwa maambukizi wa mfumo wa via vya uzazi .

(src)="22"> Sed en Barato , nur 12 procentoj de la knabinoj kaj virinoj havas aliron al higienaj manieroj por prizorgi siajn monataĵojn .
(trg)="22"> Lakini India , ni asilimia 12 tu ya wasichana na wanawake wanaweza kupata njia za usafi wa kumudu siku zao .

(src)="23"> Tio signifas , ke 88 procentoj de la knabinoj kaj virinoj prizorgas sin malhigiene .
(trg)="23"> Ukifanya mahesabu , asilimia 88 ya wasichana na wanawake hutumia njia zisizo salama kwa siku zao .

(src)="24"> Mi estis ĉi tia knabino .
(trg)="24"> Nilikuwa mmoja wao .

(src)="25"> Mi kreskis en urbeto en Jharkhand kiu nomiĝas Garhwa , ie kie eĉ aĉeti menstrutukon estas hontege .
(trg)="25"> Nilikulia kwenye mji mdogo uitwao Garhwa , jimbo la Jharkhand , ambako hata kununua pedi ilichukuliwa kama fedheha .

(src)="26"> Do , je la unuaj menstruoj mi komencis prizorgi min per ĉifonoj .
(trg)="26"> Sasa nilipoanza kupata siku zangu , Nilianza kutumia matambara .

(src)="27"> Post ĉiu fojo kiam mi uzis ilin , mi lavis kaj uzis ilin denove .
(trg)="27"> Baada ya kila matumizi niliyafua na kuyatumia tena .

(src)="28"> Sed por konservi ilin , mi ilin kaŝis en malluma kaj malseka loko , por ke neniu malkovru , ke mi menstruadas .
(trg)="28"> Lakini kuyahifadhi , Niliyaficha na kuyaweka sehemu yenye giza na unyevu ilikwamba mtu asijue kuwa niko kwenye hedhi .

(src)="29"> Post ripeta lavado , la ĉifonoj iĝis malglataj , kaj pro ilia uzado , mi ofte havis infektojn kaj haŭtruĝiĝojn .
(trg)="29"> Kwa kuyarudia kufua matambara yalikuja kuwa magumu , na mara nyingi nilipata upele na maambukizi kwa kuyatumia .

(src)="30"> Mi uzis tiujn ĉifonojn dum 5 jaroj ĝis kiam mi foriris de tiu urbeto .
(trg)="30"> Niliyavaa kwa muda wa miaka mitano hadi nilipohama ule mji .

(src)="31"> Alia problemo , kiun mi spertis pro monataĵoj , sociaj limoj altrudataj al inoj dum ili menstruas .
(trg)="31"> Suala lingine ambalo siku zilileta maishani mwangu lile la kuwekewa mipaka kijamii iliyowekwa kwa wasichana wetu na wanawake wakiwa kwenye siku zao .

(src)="32"> Mi pensas , ke vi ĉiuj certe jam konas ilin , sed mi listigos kelkajn ekzemplojn por la malmultaj , kiuj ne jam konas ilin .
(trg)="32"> Nafikiri wote lazma mtakuwa mnajua , lakini bado nitaelezea kwa wale wachache wasiojua .

(src)="33"> Mi ne rajtis aŭ manĝi aŭ tuŝi peklaĵon .
(trg)="33"> Sikuruhusiwa kula au kugusa vitu vichachu .

(src)="34"> Mi ne rajtis sidi sur sofo aŭ la litoj de miaj parencoj .
(trg)="34"> Sikuruhusiwa kukaa kwenye sofa au kitandani mwa ndugu wa familia .

(src)="35"> Mi devis lavi miajn littukojn post ĉiu monataĵo , eĉ se ili ne estis makulitaj .
(trg)="35"> Nilitakiwa kufua mashuka kila baada ya siku zangu , hata kama hazikuchafuka kwa madoa .

(src)="36"> Mi estis konsiderata malpura , kaj oni malpermesis al mi preĝi aŭ tuŝi ion ajn kio estas grava religie .
(trg)="36"> Nilichukuliwa kama najisi na kukatazwa kuabudu au kugusa kitu chochote chenye umuhimu kidini .

(src)="37"> Oni povas trovi ŝildojn ekster preĝejoj , kiuj malpermesas al menstruantaj inoj eniri .
(trg)="37"> Ulikutana na matangazo nje ya misikiti kukataza wasichana na wanawake walio kwenye hedhi .

(src)="38"> Ironie , plejofte estas pli aĝa virino , kiu altrudas ĉi tiajn limojn al la pli junaj knabinoj de la familio .
(trg)="38"> Chakuchekesha , wakati wote ni wanawake watu wazima ndio walioweka vizuizi hivyo kwa wasichana wadogo katika familia .

(src)="39"> Kompreneble , ĉar ŝi kreskis akceptante ĉi tiajn limojn kiel normalajn .
(trg)="39"> hata hivyo , wamekua wakikubali vizuizi hivyo kama desturi .

(src)="40"> Kaj , sen interveno , estas la mitoj kaj malkomprenoj kiuj disvastiĝas generacie .
(trg)="40"> Na katika kukosekana kwa kuingiliwa , ni imani potofu na kutoeleweka kunakoenezwa kizazi hata kizazi .

(src)="41"> Dum la jaroj kiam mi laboris en ĉi tiu fako , mi eĉ aŭdis raportojn , ke inoj devas manĝi kaj lavi telerojn aparte .
(trg)="41"> Kwa miaka nilyofanyia kazi taaluma hii , Nimeshakutana na hadithi ambapo wasichana walitakiwa kula na kuosha vyombo vyao kwa kutengwa .

(src)="42"> Ili ne rajtas baniĝi dum monataĵo , kaj en kelkaj hejmoj , ili eĉ izoliĝas de aliaj parencoj .
(trg)="42"> Hawakuruhusiwa kuoga wakati wa siku zao , na katika nyumba nyingine walitengwa hata na ndugu wengine wa familia .

(src)="43"> Proksimume 85 procentoj de la inoj en Barato sekvas unu aŭ pliajn limigajn kutimojn dum la monataĵoj , ĉiumonate .
(trg)="43"> Kiasi cha asilimia 85 za wasichana na wanawake India walifuata moja au zaidi ya masharti ya mila kwenye siku zao kila mwezi .

(src)="44"> Ĉu vi povas imagi , kion tio faras al la memestimo kaj memfido de junulino ?
(trg)="44"> Unafikiria hii inafanya nini katika kujithamini na kujiamini kwa msichana mdogo ?

(src)="45"> La psikan traŭmaton kiun ĝi kaŭzas , kiu efektas ŝian personecon , ŝian lernejan sukceson , kaj ĉiun parton de ŝia kreskado dum ŝiaj formantaj jaroj .
(trg)="45"> Kiwewe cha kisaikolojia ambacho hili huumiza , kuathiri haiba yake , utendaji wake kimasomo na kila kipengele cha ukuaji katika miaka ya awali ya uumbaji wake ?

(src)="46"> Mi sekvis precize ĉi tiujn limigajn kutimojn dum 13 jaroj , ĝis kiam diskuto kun mia amkunulo , Tuhin , ŝangis mian percepton pri menstruo tute .
(trg)="46"> Nilifuata kwa bidii masharti haya yote ya kimila kwa miaka 13 , hadi mjadala na mshirika mwenzangu , Tuhin , ulipobadilisha mtazamo wangu kuhusu hedhi milele .

(src)="47"> En 2009 , Tuhin kaj mi okupiĝis pri postdiplomiĝo pri desegnado .
(trg)="47"> Mwaka 2009 , mimi na Tuhin tulikuwa tunasoma stashada katika ubunifu .

(src)="48"> Ni enamiĝis , kaj mi tute komforte diskutis monataĵojn kun li .
(trg)="48"> Tukapendana na nilikuwa huru kujadiliana naye kuhusu siku zangu .

(src)="49"> Tuhin sciis malmulte pri monataĵoj .
(trg)="49"> Tuhin alijua kidogo kuhusu siku .

(src)="50"> ( Ridoj ) Li surprize eksciis , ke knabinoj havas dolorajn kramfojn , kaj ni sangas ĉiumonate .
(trg)="50"> ( Kicheko ) Alishangazwa kujua kwamba wasichana hupata maumivu makali na hutokwa damu kila mwezi .

(src)="51"> ( Ridoj ) Jes .
(trg)="51"> ( Kicheko ) Ndio .

(src)="52"> Li estis tute ŝokita kiam li eksciis pri la limoj , kiujn la socio kaj familioj altrudas al menstruantaj inoj .
(trg)="52"> Alishtushwa kabisa kujua kuhusu vizuizi vinavyowekwa kwa wasichana na wanawake walio kwenye hedhi na familia pamoja na jamii zao wenyewe .

(src)="53"> Por helpi min kontraŭ miaj kramfoj , li lernis pri menstruo interrete .
(trg)="53"> Ili kuweza kunisaidia na maumivu yangu , alikwenda kwenye mtandao wa intaneti kujifunza kuhusu hedhi .

(src)="54"> Kiam li diris al mi pri tio , kion li lernis , mi ekkonsciis kiom malmulte mi mem sciis pri menstruo .
(trg)="54"> Aliponielezea alichojifunza , Niligundua ufahamu mdogo nilionao kuhusu hedhi ,

(src)="55"> Kaj finfine , mi eksciis ke multe de tio kion mi kredis estas mita .
(trg)="55"> na vitu vingi nilivyoamini vilikuja kuwa ni imani potofu ,

(src)="56"> Tiam ni pripensis : se ni , kiel bonedukitoj , estis tiom malbone edukitaj pri menstruo , nu , estas milionoj da knabinoj en la mondo kiuj certe estas same misedukitaj .
(trg)="56"> Ndipo nilipojiuliza : kama sisi , tumesoma vizuri hivi , tumefundishwa vibaya kuhusu hedhi , kutakuwa na mamilioni ya wasichana huko nje waliofundishwa vibaya , pia .

(src)="57"> Por studi -- por plibone kompreni la problemon , Mi faris esploron dum unu jaro por studi primenstruan nekonscion , kaj la ĉefajn kialojn pro tio .
(trg)="57"> Kusoma -- kuelewa tatizo vizuri , Nilifanya utafiti wa mwaka mmoja kujifunza ukosefu wa ufahamu kuhusu hedhi na chanzo chake nyuma yake .

(src)="58"> Ĝenerale , oni kredas , ke primenstrua nekonscio kaj malscio estas kamparaj fenomenoj , sed dum mia esploro mi trovis , ke tio estas same urba fenomeno .
(trg)="58"> Wakati kiujumla inaaminika kwamba kutokufahamu hedhi na kuelewa vibaya ni tatizo la vijijini , katika utafiti wangu , Niligundua kwamba ni tatizo la mijini pia .

(src)="59"> Ĝi eĉ ekzistas ĉe la edukitaj urbanoj , ankaŭ .
(trg)="59"> Na lipo kwa daraja la walioelimika mijini , pia .

(src)="60"> Kiam mi parolis kun gepatroj kaj instruistoj , mi trovis , ke multal inter ili fakte volus eduki knabinojn pri monataĵo antaŭ kiam tiuj komencas menstrui .
(trg)="60"> Wakati naongea na wazazi wengi pamoja na waalimu , Niligundua kuwa wengi wao walitaka kuelimisha wasichana kuhusu siku zao kabla hawajaanza kupata mzunguko wao wa hedhi .

(src)="61"> Kaj -- sed taŭga rimedo mankis al ili .
(trg)="61"> Na -- lakini wenyewe walikosa njia stahiki .

(src)="62"> Kaj , pro tio ke temas pri tabuo , ili honte parolas pri ĝi .
(trg)="62"> Na kwavile ni mwiko , wanajisikia kusita na fedheha kuongelea jambo hilo .

(src)="63"> Nuntempe , knabinoj ekmenstruas dum la sesa aŭ sepa lernojaro [ 11-13-jaraj ] , sed nia eduksistemo instruas knabinojn pri menstruo nur dum la oka kaj naŭa lernojaroj .
(trg)="63"> Wasichana siku hizi hupata siku zao wakiwa darasa la sita na la saba , lakini mtaala wetu wa elimu hufundisha wasichana kuhusu siku zao darasa la nane na la tisa tu .

(src)="64"> Kaj ĉar temas pri tabuo , instruistoj ankoraŭ preterpasas la temon entute .
(trg)="64"> na kwa vile ni mwiko , waalimu bado wanairuka mada .

(src)="65"> Do , lernejoj ne instruas knabinojn pri menstruo , kaj gepatroj ne diskutas pri tio .
(trg)="65"> Hivyo shule haziwafundishi wasichana kuhusu siku zao , wazazi hawazungumzii jambo hilo .

(src)="66"> Al kiu knabinoj povas turni sin ?
(trg)="66"> Wasichana wanaenda wapi ?

(src)="67"> Antaŭ du jardekoj , kaj nun -- inter ili , nenio ŝanĝiĝis .
(trg)="67"> Miongo miwili iliyopita na sasa -- hakuna kilichobadilika .

(src)="68"> Mi montris tion , kion mi trovis al Tuhin , kaj ni pripensis : Imagu se ni kreus ion , kio ebligus al knabinoj memlerni pri menstruo , ion , kio helpus al gepatroj kaj instruistoj paroli komforte pri menstruo al knabinoj ?
(trg)="68"> Nilimshirikisha Tuhin matokeo yangu na tulijiuliza Itakuwaje tukianzisha kitu ambacho kitasaidia wasichana kuelewa kuhusu hedhi wao wenyewe -- Kitu ambacho kitawasaidia wazazi na waalimu kuongelea kuhusu siku za hedhi kwa raha kwa wasichana wadogo ?

(src)="69"> Dum mia esploro , mi kolektis multajn historiojn .
(trg)="69"> Wakati wa utafiti wangu , Nilikuwa nakusanya hadithi nyingi .

(src)="70"> Ĉi tiuj estis historioj , kiuj rilatas al la spertoj de knabinoj dum monataĵoj .
(trg)="70"> Hizi ni hadithi za mambo waliyopitia wasichana kipindi cha siku zao .

(src)="71"> Ĉi tiuj interesus kaj scivolemigus knabinojn diskuti pri menstruo kun siaj propraj amikrondoj .
(trg)="71"> Hadithi hizi zitawafanya wasichana wawe wadadisi na kuvutiwa katika kuongea kuhusu hedhi ndani ya watu wao wa karibu .

(src)="72"> Ĝi estas ekzakte tio , kion ni celis .
(trg)="72"> Hicho ndio tulichotaka .

(src)="73"> Ni celis ion , kio scivolemigos knabinojn , kaj igos ilin lerni pli .
(trg)="73"> Tulitaka kitu ambacho kingewafanya wasichana wawe wadadisi na kuwasukuma kujifunza .