# ca/ted2020-14392.xml.gz
# sw/ted2020-14392.xml.gz


(src)="1"> Sóc un immigrant d 'Uganda i visc als Estats Units mentre espero que processin la meva sol · licitud d 'asil .
(trg)="1"> Mimi ni mhamiaji kutoka Uganda Naishi Marekani nikisubiri ombi langu la hifadhi kupita .

(src)="2"> Els emigrants no gaudeixen de gaire llibertat de moviment al món d 'avui .
(trg)="2"> Wahamiaji hawafaidi sana Uhuru wa kutembea Katika dunia yetu leo .

(src)="3"> S 'aplica certament als qui estan prou desesperats per navegar per mars agitats i tempestuosos .
(trg)="3"> Hii hasa huwahusu wale walio tayari kwa lolote hata kusafiri kwenye bahari yenye mawimbi na dhoruba kwa mashua .

(src)="4"> Són els riscos que els meus cosins de l 'Àfrica Occidental i del Nord afronten quan intenten creuar fins a Europa .
(trg)="4"> Hizi ndizo hatari ambazo ndugu zangu wa Afrika Magharibi na Kaskazini huzipata wanapojaribu kuvuka kwenda Ulaya .

(src)="5"> Aquesta és una oportunitat poc habitual però afortunada per a un emigrant de dirigir-se a un públic com aquest .
(trg)="5"> Kweli , ni nadra lakini ni fursa ya bahati kwa mhamiaji kuhutubia kusanyiko kama hili .

(src)="6"> Però això també demostra el que sovint falta en el debat global sobre refugiats , emigrants i immigrants : la veu dels desfavorits .
(trg)="6"> Lakini hii pia inaonesha kitu gani hukosekana mara nyingi katika mdahalo wa kidunia juu ya wakimbizi , wahamaji na wahamiaji , sauti za wasio na haki ya uraia .

(src)="7"> Els ciutadans de molts països receptors , inclús els que prèviament acolliren els nouvinguts , estan incòmodes amb el creixent nombre de persones que arriben als seus països .
(trg)="7"> Wananchi wa nchi nyingi wenyeji , hata zile ambazo mwanzoni zilikaribisha wageni , wana wasiwasi juu ya ongezeko la namba ya watu wanaokuja kwenye nchi zao .

(src)="8"> La crítica immediata és que els nouvinguts fan trontollar l 'estabilitat del benestar social i l 'ocupació als seus països .
(trg)="8"> Kasoro ya kwanza ni kuwa wageni wataangusha uthabiti wa huduma za kijamii na ajira katika nchi zao .

(src)="9"> Ciutadans indecisos i escèptics miren cap als polítics que competeixen per veure qui guanya el premi de la veu més forta del populisme i el nacionalisme .
(trg)="9"> Wanachi wenye mashaka na shuku huwaelekea wanasiasa wanaoshindana wao kwa wao kuona nani anaweza kushinda sauti kubwa kabisa ya uwingi na utaifa .

(src)="10"> És un concurs , qui és el més dur amb els emigrants , el més disposat a imposar prohibicions de viatge el que té més ganes de proposar la construcció de murs .
(trg)="10"> Ni ushindani juu ya nani ni mkali zaidi juu ya wahamaji , aliye tayari zaidi kuamuru mazuio ya kusafiri na mwenye hamu kubwa ya kupendekeza miradi ya kujenga kuta .

(src)="11"> Totes aquestes restriccions només aborden els símptomes del problema , no les causes .
(trg)="11"> Vikwazo vyote hivi vinatatua viashiria vya tatizo sio visababishi .

(src)="12"> Per què vénen ?
(trg)="12"> Kwa nini wanakuja ?

(src)="13"> Els emigrants poden donar les seves perspectives , si els polítics estiguessin disposats a escoltar .
(trg)="13"> Wahamaji waweza kutoa mitazamo yao , ikiwa tu wanasiasa watakuwa tayari kusikiliza .

(src)="14"> A Dubai , vaig criticar les injustícies i les desigualtats infligides regularment sobre la mà d 'obra migratòria .
(trg)="14"> Nikiwa Dubai , nimeandika ukiukwaji wa haki na usawa unaofanywa mara nyingi kwa wafanyakazi wahamiaji .

(src)="15"> Com a resultat de la pressió dels governs dels respectius països vaig haver d 'abandonar la meva carrera de periodista a l 'Orient Mitjà .
(trg)="15"> Matokeo yake , mashinikizo toka serikali za nchi husika zimepelekea mimi kuacha kazi yangu ya uandishi habari katika Mashariki ya Kati .

(src)="16"> Em van deportar a Uganda , on les privacions econòmiques posen a tothom en risc d 'inanició .
(trg)="16"> Nilirudishwa Uganda , ambapo uchumi uliokengeuka humweka kila mtu katika hatari ya kukosa chakula .

(src)="17"> Vaig fugir d 'Uganda per venir als Estats Units amb l 'esperança de mantenir una veu per als meus germans i germanes que viuen una situació més difícil com a emigrants .
(trg)="17"> Nilikimbia Uganda kuja Marekani Katika tumaini la kudumisha sauti ya kaka na dada zangu ambao wanapata majanga makubwa zaidi kama wahamiaji

(src)="18"> El meu pare em va dir que no volia que escrigués un llibre que em posés en risc de deportació i atur .
(trg)="18"> Baba yangu aliniambia hakuwa na furaha kwa mimi kuandika kitabu kilichohatarisha kurudishwa nyumbani na kukosa kazi

(src)="19"> Feia anys que era diabètic quan jo encara treballava a Dubai , i amb el meu sou sempre havia pogut pagar els tractaments .
(trg)="19"> Alikuwa na kisukari kwa miaka mingi nilipokuwa bado nikifanya kazi Dubai , na mshahara wangu ulitosha wakati wote kulipia matibabu yake .

(src)="20"> Després de ser expulsat , no vaig poder mantenir el seu tractament , i fins i tot en els últims dies de vida , no el vaig poder dur a l 'hospital .
(trg)="20"> Baada ya mimi kufukuzwa , Sikuweza kugharamia matibabu yake , na hata katika siku zake za mwisho , sikuweza kumpeleka hospitali .

(src)="21"> Mentre duia en braços el seu cos per enterrar-lo , el juny de l 'any passat , em vaig adonar que havia pagat un preu molt alt per amplificar la meva veu .
(trg)="21"> Nilipobeba mwili wake mikononi mwangu kumlaza ardhini Mwezi juni mwaka jana , Nilitambua nimelipa bei kubwa sana kwa ajili ya kukuza sauti yangu .

(src)="22"> Denunciar les injustícies no és mai fàcil. perquè els problemes requereixen més que simple retòrica .
(trg)="22"> Kitendo cha kuongelea juu ya udhalimu ulio na matabaka mengi si rahisi , sababu matatizo haya huhitaji zaidi ya elimu ya usemaji .

(src)="23"> Mentre les mines d 'or i les explotacions petroleres i agrícoles de l 'Àfrica continuïn en mans d 'inversors estrangers i aquests recursos essencials s 'enviïn a Occident , el corrent d 'emigrants africans continuarà .
(trg)="23"> Iwapo migodi ya dhahabu , visima vya mafuta na mashamba makubwa Afrika yataendelea kumilikiwa na wawekezaji wa kigeni na zile rasilimali muhimu zikisafirishwa magharibi , mkodo wa wahamaji wa Kiafrika utaendelea bila kukata .

(src)="24"> No hi ha restriccions prou rigoroses per aturar l 'onada de migració que ha determinat la història humana .
(trg)="24"> Hakuna mazuio ambayo yangeweza kuwa madhubuti sana kuzuia wimbi la uhamaji ambalo limeamua historia yetu ya binadamu .

(src)="25"> Abans d 'endurir els controls fronterers , i imposar noves restriccions als visats , els països que des de sempre han rebut emigrants haurien de comprometre 's a un debat més obert .
(trg)="25"> Kabla ulinzi wa mipaka haujaimarishwa na masharti mapya ya viza kuwekwa , nchi ambazo zimekuwa zikipokea wahamiaji zinatakiwa kujishughulisha na majadiliano ya wazi zaidi .

(src)="26"> Aquest és l 'únic punt de partida per reconciliar , finalment , un llegat d 'explotació , esclavitud , colonialisme i imperialisme , perquè junts , poguem crear una economia global més justa al segle XXI - que ens beneficiï a tots .
(trg)="26"> Huo ndio mwanzo pekee wa kitendaji wa kupatanisha , hatimaye , hiba ya unyonyaji , utumwa , ukoloni na ubeberu , ili sote kwa pamoja , tuweze kwenda mbele kujenga uchumi wa dunia wa usawa zaidi katika karne ya 21 -- ambao unanufaisha wote .

# ca/ted2020-14484.xml.gz
# sw/ted2020-14484.xml.gz


(src)="1.1"> Voldria que imaginéssiu per un moment que les pestanyes us creixen cap endins en comptes d 'enfora , i que cada cop que pestanyegeu us rasquen la part frontal dels ulls i us fan malbé les còrnies .
(src)="1.2"> Lentament i amb dolor , us aniríeu tornant cecs .
(trg)="1"> Ningependa utafakari , kwa muda mfupi , Kuwa kope zako zinakua kuingia ndani badala ya nje , Kwa hiyo kila wakati ukipepesa macho , Zinakwaruza mtoto wa jicho zikiharibu chamba cha jicho Kwa hiyo taratibu na kwa maumivu makali unakuwa kipofu .

(src)="2"> Això els passa a les persones amb tracoma .
(trg)="2"> Hivyo ndivyo inavyotokea kwa mtu mwenye ugonjwa wa trakoma

(src)="3"> Aquest nen , en Pamelo de Zambia , té tracoma .
(trg)="3"> Huyu mvulana hapa , Pamelo kutoka Zambia ana trakoma

(src)="4"> I si no fem res , es tornarà cec .
(trg)="4"> Kama hatutafanya chochote , atakuwa kipofu

(src)="5"> El tracoma és una malaltia curiosa .
(trg)="5"> Trakoma ni ugonjwa unaotibika

(src)="6"> És una infecció bacteriana que passa de persona a persona i per les mosques .
(trg)="6"> Ni maambukizi ya bakteria yanayotoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine yanayosambazwa na nzi .

(src)="7"> La infecció constant provoca ferides a les parpelles que es contrauen i es pleguen cap endins .
(trg)="7"> Maambukizi ya mara kwa mara yanasababisha makovu katika kope zako inasababisha kusinyaa na kope kugeuka ndani nje .

(src)="8"> Especialment afecta a les dones perquè són les que tenen contacte amb els nens .
(trg)="8"> Huathiri sana wanawake. kwa sababu wanagusana na watoto .

(src)="9"> Sovint a llocs com Etiòpia es veuen noies amb pinces com aquesta penjades al coll , amb les quals s 'arrenquen les pestanyes .
(trg)="9"> Kwa hiyo utachokiona katika sehemu kama Ethiopia ni wasichana walio na koleo kama hii katika shingo zao , na wanazitumia kuchomoa kope zao .

(src)="10"> Però això només els dóna un descans temporal perquè tornen a créixer més fortes que abans .
(trg)="10"> Lakini hata hivyo , inawapa nafuu ya muda mfupi tu , kwa sababu zinakuwa tena kwa kasi ya haraka sana kuliko mwanzo .

(src)="11"> Hi ha gairebé dos milions de persones al món que són cegues o deficients visuals a causa del tracoma .
(trg)="11"> Kuna watu takribani milioni mbili duniani ambao ni wapofu au wana uono hafifu kwa sababu ya trakoma .

(src)="12"> I es creu que pot haver-hi uns 200 milions de persones que estan en risc .
(trg)="12"> Na tunaamini wanaweza kuwepo wengi zaidi hadi watu milioni 200 ambao wapo katika hatari .

(src)="13"> És una malaltia molt antiga .
(trg)="13"> Sasa , ni ugonjwa mkongwe sana .

(src)="14"> Podeu veure una foto de la paret d 'una tomba al nord del Sudan .
(trg)="14"> Unachoona ni picha ya ukuta wa kaburi huko Sudani Kaskazini .

(src)="15"> Un company i jo viatjàvem per una vila remota i vam demanar que ens portessin a una petita tomba .
(trg)="15"> Mimi na rafiki tulikuwa tukisafiri vijiji vya mbali , na tukamuomba mzee mmoja kutupeleka kwenye kaburi dogo .

(src)="16"> A la paret vam veure dos ulls .
(trg)="16"> Sasa , kwenye ukuta , tuliona macho mawili .

(src)="17"> Un d 'ells plorava i veieu les pinces al costat .
(trg)="17"> Moja likitoa machozi , na unaweza kuona kuna koleo pembeni yake .

(src)="18"> El Simon em va dir : " Déu meu , creus que això és tracoma ? "
(trg)="18"> Simon aliniambia , " Mungu wangu , unadhani hiyo ni trakoma ? "

(src)="19"> Vam enviar la foto al Museu Britànic i van confirmar que sí , que era tracoma .
(trg)="19"> Kwa hiyo tuliituma hii picha kwenye makumbusho ya Uingereza , na walithibitisha kwamba , ndiyo , hii ni trakoma .

(src)="20"> Per tant , fa milers d 'anys els antics nubis pintaven tracoma a les parets de les tombes .
(trg)="20"> Hivyo , maelfu ya miaka iliyopita , wana wa kale wa Kinubia walikuwa wakichora picha za trakoma kwenye kuta za makaburi yao .

(src)="21"> I la tragèdia és que la malaltia segueix descontrolada en aquesta àrea avui en dia .
(trg)="21"> Na cha kuhuzunisha ni kwamba ugonjwa huu bado unaathiri eneo hilo mpaka leo .

(src)="22"> El que és pitjor , és que sabem com parar-la .
(trg)="22"> Na jambo linaloudhi ni , tunajua namna ya kuzuia ugonjwa .

(src)="23"> Per sort la comunitat del tracoma s 'ha ajuntat per sumar els seus esforços .
(trg)="23"> Na jambo zuri ni kwamba jamii zote zenye tatizo la trakoma zimeungana pamoja kushirikisha juhudi zao .

(src)="24"> No competim , col · laborem .
(trg)="24"> Hatushindani ; tunashirikiana .

(src)="25"> He de dir que no sempre és el cas en la meva experiència al món de les ONG .
(trg)="25"> Nataka nikwambie , sio suala muda wote katika uzoefu wangu wa dunia ya taasisi zisizo za kiserikali .

(src)="26"> Hem creat la Coalició Internacional pel Control del Tracoma .
(trg)="26.1"> Tumeunda taasisi inaitwa International Coalition for Trachoma Control .
(trg)="26.2"> ( Muungano wa Kimataifa wa Kuzuia Trakoma )

(src)="27"> I junts hem desenvolupat una estratègia per combatre 'l .
(trg)="27"> Na pamoja , tumeweka mkakati wa kupambana na trakoma .

(src)="28"> Aquesta estratègia es diu " SAFE " i està aprovada per la OMS .
(trg)="28"> Huuna mkakati unaitwa mkakati wa SAFE , na umethibitishwa na Shirika la Afya Duniani .

(src)="29"> L ' " S " és de " surgery " ( cirurgia ) .
(trg)="29"> " S " inamaanisha " surgery " ( upasuaji )

(src)="30"> És un procediment senzill que torna a posar bé la parpella endinsada .
(trg)="30"> Ni utaratibu rahisi wa mara moja kurekebisha kope katika hali yake ya kawaida .

(src)="31"> Entrenem infermeres per fer-ho i usen anestèsia local .
(trg)="31"> Tunawafundisha manesi kufanya huu upasuaji , na wanatumia ganzi za kawaida .

(src)="32"> I com veieu , es pot fer a l 'entrada de qualsevol casa , si escau .
(trg)="32"> Na kama unavyoweza kuona , unaweza ukaufanyia kwenye kibaraza cha mwenye nyumba , kama inahitajika .

(src)="33"> L ' " A " és d 'antibiòtics .
(trg)="33"> Kisha " A " inamaanisha " antibiotics " ( dawa viuavijasumu ) .

(src)="34"> Pfizer els dóna i també en paga el transport fins al port del país .
(trg)="34"> Hizi zinatolewa kama msaada na Pfizer , ambae analipia kwa ajili ya kusafirisha hizo dawa kwenye bandari ya nchi husika .

(src)="35"> D 'allà , els porten a les viles on centenars de milers de voluntaris de la comunitat els distribueixen a la gent .
(trg)="35"> Kutokea pale , zinapelekwa vijijini , ambapo mamia ya maelfu ya wanajamii wanaojitolea husambaza dawa hizo kwa watu .

(src)="36"> Formem els voluntaris i ajudem als ministeris amb les dificultats logístiques .
(trg)="36"> Sasa , huwa tunawafundisha wanaojitolea , na pia tunasaidia wizara katika namna nzima ya kuendesha zoezi .

(src)="37"> I tots els voluntaris tenen un pal com aquest .
(trg)="37"> Na kila mtu anaejitolea ana mlingoti kama huu .

(src)="38"> Se 'n diu " pal de dosis " .
(trg)="38"> Unaitwa " mlingoti wa tiba . "

(src)="39"> Aquest és de Camerun .
(trg)="39"> Huu umetokea Cameroon .

(src)="40"> Com veieu , està marcat amb diferents colors , on es veu quantes pastilles s 'han de donar segons l 'alçada .
(trg)="40"> Na unaweza kuona umewekewa alama zenye rangi mbalimbali , na unaweza jua ni vidonge vingapi unaweza mpatia mgonjwa. kulingana na kimo chao .

(src)="41"> L " F " és de " face washing " ( rentar la cara ) .
(trg)="41"> " F " inamaanisha " face washing " ( kuosha uso ) .

(src)="42"> Abans hi havia tracoma al Regne Unit i als EUA .
(trg)="42"> Sasa , tuliwahi kuwa na trakoma katika nchi za Marekani na Uingereza .

(src)="43"> De fet , el president Carter , parla de com el tracoma era un gran problema a Geòrgia quan ell era petit .
(trg)="43"> Katika uhalisia , Rais Carter , anaongelea namna gani trakoma ilikuwa ni tatizo kubwa maeneo ya Georgia alipokuwa mdogo .

(src)="44"> I al Regne Unit , el famós hospital oftalmològic Moorfields era originàriament un hospital de tracoma .
(trg)="44"> Na Uingereza , hospitali maarufu ya macho , Moorfields , hapo mwanzo ilikuwa ni hospitali ya trakoma .

(src)="45"> El que fem és ensenyar als nens com és d 'important rentar-se la cara .
(trg)="45"> Tunachofanya ni kufundisha watoto kwamba ni muhimu kuosha nyuso zao .

(src)="46"> Finalment , l ' " E " és " environment " ( ambient ) on ajudem a les comunitats a construir latrines i ensenyem a separar els animals de les zones on viuen per així reduir el nombre de mosques .
(trg)="46"> Na mwisho , " E " inamaanisha " environment " ( mazingira ) , ambapo tunasaidia jamii kujenga vyoo , na tunawafundisha kuwatenganisha wanyama wao mbali na nyumba wanapoishi kwa ajili ya kupunguza mazalia ya nzi .

(src)="47"> Sabem doncs com solucionar la malaltia .
(trg)="47"> Kwa hiyo tunafahamu namna ya kuushinda ugonjwa .

(src)="48"> Però hem de saber on és .
(trg)="48"> Lakini tunahitaji kujua upo wapi .

(src)="49"> I ho sabem , perquè fa uns anys , Sightsavers va dirigir un programa increïble que es deia el Projecte Mundial de Mapes del Tracoma .
(trg)="49"> Na tunafahamu , Kwa sababu miaka michache iliyopita , taasisi ya Sightsavers waliongoza zoezi bora sana liitwalo the Global Trachoma Mapping Project ( Ramani ya Dunia ya Trakoma ) .

(src)="50"> Vam trigar tres anys , però vam anar a 29 països i vam ensenyar als treballadors de salut que anessin districte a districte per examinar les parpelles de més de dos milions i mig de persones .
(trg)="50"> Ilituchukua miaka mitatu , na tulitembea katika nchi 29 , na tuliwafundisha watumishi wa afya kutembelea wilaya baada ya wilaya , na walichunguza kope za watu zaidi ya milioni mbili na nusu ,

(src)="51"> Van fer servir telèfons Android per descarregar els arxius .
(trg)="51"> na walitumia simu za Android kwa ajili ya kupakua taarifa .

(src)="52"> Amb això , vam poder fer un mapa que senyalés on es trobava la malaltia .
(trg)="52"> Na kuanzia hapo , tuliweza kutengeneza ramani inayoonyesha wapi ugonjwa ulipo .

(src)="53"> Aquest és un mapa general que mostra quins països tenen problemes amb el tracoma .
(trg)="53"> Sasa , hii ni ramani ya ngazi ya juu ambayo inaonyesha nchi gani zina tatizo la trakoma .

(src)="54"> Potser us pregunteu : " Però realment funciona aquesta estratègia ? "
(trg)="54"> Na unaweza kuniuliza , " Sasa , mkakati huu unafanya kazi kweli ? "

(src)="55"> Sí que funciona .
(trg)="55"> Ndiyo , unafanya kazi .

(src)="56"> Aquest mapa mostra el progrés que hem fet fins ara .
(trg)="56"> Hii ramani inaonyesha hatua tulizopiga mpaka sasa .

(src)="57"> Els països verds confien que han eliminat el tracoma , i bé han estat o estan en procés que la OMS ho validi .
(trg)="57"> Nchi za kijani zinaamini kwamba zimeshaondoa trakoma , na washapata au wapo katika hatua za kupata uthibitisho wa kutokomeza ugonjwa toka kwa WHO .

(src)="58"> Els països en groc tenen els diners que necessiten , i tenen els medis per eliminar el tracoma .
(trg)="58"> Nchi za njano wana fedha wanazohitaji , wana rasilimali kwa ajili ya kuondoa trakoma .

(src)="59"> I alguns d 'ells gairebé ja hi són .
(trg)="59"> Na baadhi ya wanakaribia

(src)="60"> Però els països en vermell no tenen suficients fons .
(trg)="60"> Lakini nchi nyekundu , hawana fedha za kutosha .

(src)="61"> No poden eliminar-lo a no ser que n 'obtinguin més .
(trg)="61"> Hawawezi kuondoa trakoma kama wasipopata fedha zaidi .

(src)="62"> I ens preocupa que el progrés s 'aturi .
(trg)="62"> Na tunaona kwamba unatuhusu , ingawa , muendelezo umekwama mpaka sasa .

(src)="63"> Per això , quan parlàvem amb els nois d 'Audacious , ens vam preguntar : Si de veritat ens esforcéssim en els propers quatre o cinc anys i tinguéssim els diners , què creiem que podem aconseguir ?
(trg)="63"> Kwa hiyo tulivyokuwa tukiongelea kuhusu mradi wa Audacious , tulijiuliza maswali : Kama kweli , tukiweza kujisukuma ndani ya miaka minne au mitano ijayo na tukawa na fedha , tunadhani tunaweza fanikisha mambo gani ?

(src)="64"> Creiem que podem eliminar el tracoma als 12 països africans i arreu d 'Amèrica i arreu del Pacífic .
(trg)="64"> Hata hivyo , tunaamini kwamba tunaweza kuondoa trakoma katika nchi 12 za Kiafrika na katika nchi za America na kote katika Pacific .

(src)="65"> I podem fer un progrés important en dos països que tenen l 'índex més alt de la malaltia , que són Etiòpia i Nigèria .
(trg)="65"> Na tunaweza fanya mabadiliko makubwa katika nchi mbili ambazo zina mzigo wa magonjwa , ambazo ni Ethiopia na Nigeria .

(src)="66"> I fent-ho podem utilitzar més de dos mil milions de dòlars en donacions de medecines .
(trg)="66"> Katika kufanya hayo yote , tunaweza kupata zaidi ya dawa zenye thamani ya kiasi cha dola za Kimarekani bilioni mbili ( shilingi za Kitanzania takribani trilioni nne )

(src)="67.1"> ( Aplaudiments ) Aquest mapa mostra l 'impacte que tindríem ...
(src)="67.2"> Mireu quants països passen al verd .
(trg)="67"> ( Makofi ) Sasa , hii ramani inakuonyesha mafanikio tutayopata -- angalia nchi ngapi zinazoelekea kuwa kijani .

(src)="68"> I podeu veure com progressen Etiòpia i Nigèria .
(trg)="68"> Na hapo , utaweza kuona maendeleo katika nchi za Ethiopia na Nigeria .

(src)="69"> I , sí , hi ha alguns països encara en vermell .
(trg)="69"> Sasa , bado kuna nchi ambazo ni nyekundu .

(src)="70.1"> Són principalment països en guerra ...
(src)="70.2"> Llocs com el Iemen , Sudan del Sud ... on és difícil treballar .
(trg)="70"> Hizi ni nchi ambazo zipo katika migogoro -- sehemu kama Yemen , Sudani Kusini -- ambapo ni ngumu kufanya kazi .

(src)="71"> Tenim l 'equip , l 'estratègia i el mapa .
(trg)="71"> Kwa hiyo , tuna timu , mkakati na ramani .

(src)="72"> També tenim les relacions amb els governs per assegurar-nos que coordinen el programa amb d 'altres de control de malalties , perquè sigui eficient .
(trg)="72"> Na pia tuna mahusiano na serikali kwa hiyo tunaweza kuhakikisha kwamba zoezi linaunganishwa na mazoezi mengine yanayohusiana na kupambana na magonjwa , ili kuongeza ufanisi zaidi .

(src)="73"> No seria fantàstic poder fer-ho ?
(trg)="73"> Haitakuwa nzuri kama tutaweza kufanya hivi ?

(src)="74"> Faríem que desaparegués el tracoma .
(trg)="74"> Tuna ugonjwa wa trakoma bado .