# arq/ted2020-70.xml.gz
# sw/ted2020-70.xml.gz
(src)="1"> F el-ḥeqq , hadi muḥaḍara ntaɛ saɛtin nmedha l el-ṭalaba ntaɛ el-lisiyat , meqṣuṣa hnaya l telt dqayeq Kul ši bda f waḥed el-nhar fi ṭeyyara , f ṭriqi beš neḥḍer l TED ,
(trg)="1"> Huu ni mjadala wa kweli wa masaa mawili nilioutoa kwa wanafunzi wa sekondari , unakatiza kwa dakika tatu .
(src)="2.1"> hadi sebɛ snin fatet .
(src)="2.2"> W f el-kursi elli quddami
(trg)="2"> Na yote yalianza siku moja nikiwa kwenye ndege , nikielekea TED , miaka saba iliyopita .
(src)="3"> kanet qaɛda waḥed el-ɛziba , teqra f el-lisi , Ɛaylatha zawaliya w meɛduma b el-bezzaf .
(trg)="3"> Na katika siti iIiyopo pembeni yangu alikuwapo mwanafunzi wa sekondari , kijana , alitokea katika familia masikini sana .
(src)="4.1"> W kanet baġya tdir keš ḥaja fi ḥyatha , w seqsatni swal ṣġir w sahel .
(src)="4.2"> Qaletli : " Weš huwa elli yweṣṣel l el-njaḥ ? "
(trg)="4"> Na alitaka kujitengenezea maisha , akaniuliza swali rahisi .
(src)="5"> W ḥessit ruḥi ṣeḥḥ kelli tfukert ,
(trg)="5"> Alisema , " Ni nini husababisha mafanikio ? "
(src)="6"> laxaṭerš ma qdertš neɛṭilha jwab wafi .
(trg)="6"> Na nilijisikia vibaya sana , kwa sababu sikuweza kumpa jibu zuri .
(src)="7"> ' Beɛdatik , nzelt m el-ṭeyyara , w jit l TED .
(trg)="7"> Hivyo nilitoka kwenye ndege , na kuja TED .
(src)="8.1"> W xemmemt temmatik : Ya el-Zeḥḥ !
(src)="8.2"> Rani fi weṣṭ ṣala mɛemra b nas najḥin !
(trg)="8"> Na nikafikiri , lahaula , niko miongoni mwa watu wenye mafanikio !
(src)="9"> Ɛlah ma nseqsihumš weš elli ɛawenhum beš nejḥu , w nqerrih l el-drari ?
(trg)="9"> Kwa nini nisiwaulize wao nini kiliwasaidia kufanikiwa , na kuwaelimisha watoto ?
(src)="10"> ' Amala , rana hna , sebɛ snin , 500 ' intervyu beɛdatik , w ġadi nqullkum šahuwala ṣeḥḥ elli yweṣṣel l el-njaḥ w yxelli nas TED yezzeġdu .
(trg)="10"> Hivyo , miaka saba , mahojiano 500 baadaye , nitawaambia nini hasa hupelekea mafanikio yanayowasukuma wanaTED .
(src)="11"> W el-ḥeyya el- 'ewla hiya el-welɛa ( ki el-waḥed ykun muluɛ b keš ḥaja )
(trg)="11"> Na jambo la kwanza ni shauku .
(src)="12"> Freeman Thomas yqul : " el-welɛa hiya elli tseyyerni . "
(trg)="12"> Freeman Thomas anasema , " Ninaendeshwa na shauku yangu . "
(src)="13"> Nas TED ydiru weš rahum ydiru laxaṭerš yebġu weš rahum ywasu ; mši ɛla jal el-drahem .
(trg)="13"> WanaTED hufanya yote kwa sababu ya upendo ; hawafanyi kwa ajili ya fedha .
(src)="14"> Carol Coletta tqul : " Madabiya nxelleṣ keš waḥed ġir beš neqder ndir weš rani nwasi . "
(trg)="14"> Carol Coletta anasema , " Ningelipa mtu kufanya ninachofanya . "
(src)="15"> W el-ḥeyya el-muhhima hiya : lakan tdirha b sebba 't el-rešqa , el-drahem yju waḥedhum .
(trg)="15"> Na jambo la kushangaza ni : ukifanya kwa upendo , pesa huja hata hivyo .
(src)="16.1"> Xedma !
(src)="16.2"> Rupert Murdoch qalli : " Kulši yji b el-thenbir . "
(trg)="16.1"> Kazi !
(trg)="16.2"> Rupert Murdoch aliniambia , " Yote ni kazi ngumu .
(src)="17.1"> Ḥetta ḥaja ma tji sahla .
(src)="17.2"> Beṣṣaḥ , netsella b el-bezzaf . "
(trg)="17.1"> Hakuna kitu kinakuja kwa urahisi .
(trg)="17.2"> Lakini ninaifurahia kazi yangu . "
(src)="18.1"> Qal tselya ?
(src)="18.2"> Rupert ?
(trg)="18.1"> Amesema furaha ?
(trg)="18.2"> Rupert ?
(src)="19.1"> Wah !
(src)="19.2"> Nas TED yetsellaw w huwa yexxedmu .
(src)="19.3"> W yhenbru .
(trg)="19.1"> Ndiyo !
(trg)="19.2"> ( Vicheko ) WanaTED hufurahia kazi zao .
(trg)="19.3"> Na hufanya kazi kwa bidii .
(src)="20"> Fhemt belli huma mši henbriyin .
(trg)="20"> Niligundua , sio workaholics .
(src)="21.1"> Huma meḍrubin ɛla el-xedma .
(src)="21.2"> Mliḥ - Mxeyyer !
(src)="21.3"> Alex Garden yqul : " Beš tkun najeḥ , dexxel rasek fi keš ḥaja
(trg)="21.1"> Ni workafrolics .
(trg)="21.2"> ( Vicheko ) Vyema !
(src)="22.1"> w redd ruḥek el-mxeyyer fiha . "
(src)="22.2"> Ma fiha ḥetta sḥur ; tmerren , tmerren , tmerren .
(trg)="22"> ( Makofi ) Alex Garden anasema , " Ili kufanikiwa , weka jitihada katika kitu kimoja na kuwa mtaalamu kwenye hilo . "
(src)="23"> W hiya gana Terkaz .
(trg)="24"> Na ni lengo .
(src)="24"> Norman Jewison qalli : " Fi mizi , kul ši merbuṭ b el-terkaz ntaɛek ɛla ḥaja weḥda . "
(trg)="25"> Norman Jewison aliniambia , " Nadhani huhusiana na kujishughulisha na jambo moja . "
(src)="25.1"> W zeyyer !
(src)="25.2"> David Gallo yqul , " Zeyyer ruḥek .
(trg)="26"> Na kukazana !
(src)="26"> F el-kor ntaɛek w fi ɛeqlek , yliqlek tzeyyer , tzeyyer w tzeyyer . "
(trg)="28"> Kimwili , kiakili , unapaswa kujisukuma , kujisukuma , kujisukuma . "
(src)="27"> Lazemlek tzeyyer ruḥek beš tbeɛɛed el-ḥešma w el-šekk fi datek .
(trg)="29"> Unahitaji kujisukuma kutoka katika aibu na mashaka .
(src)="28"> Goldie Hawn tqul : " Dima šekkit fi dati .
(trg)="30"> Goldie Hawn anasema , " Siku zote nilikuwa na mashaka .
(src)="29"> Ma kuntš mliḥa kima yelzem ; ma kuntš faṭna kima yelzem .
(trg)="31"> Sikuwa na ujuzi wakutosha ; Sikukuwa na kipaji cha kutosha .
(src)="30"> Ma ḥsebtš bellli ndirha . "
(trg)="32"> Sikufikiri ningeweza kufanikiwa . "
(src)="31"> Ḍerwek , mši dima sahla beš tzeyyer ruḥek , ɛla biha xtarɛu el-yemmayen .
(trg)="33"> Daima si rahisi kujisukuma , na ndiyo maana tuna mama .
(src)="32"> ( Ḍeḥk ) Frank Gehry -- Frank Gehry qalli : " ' Ana , yemma zeyretni . "
(trg)="34"> ( Vicheko ) ( Makofi ) Frank Gehry aliniambia , " Mama yangu alinisukuma . "
(src)="33.1"> Xdem w Dir mziyat !
(src)="33.2"> Sherwin Nuland yqul : " Kunt mezhar ki xdemt ṭbib . "
(trg)="35"> ( Vicheko ) Tumikia !
(src)="34"> Ḍerwek , bezzaf bzuza yqululi belli rahum ḥabin ywellu málin mlayen .
(trg)="37"> Watoto wengi wanataka kuwa mamilionea .
(src)="35"> W el-ḥaja el- 'ewla elli nqulhalhum hiya : " Ṣeḥḥa , ma teqderš texdem ruḥek ; lazelmek texdem ( w tdir mziya fi ) ġirek b ḥaja fiha qima ( fayda )
(trg)="38"> Jambo la kwanza ninalosema ni : " Sawa , vizuri huwezi kujihudumia mwenyewe ; unapaswa kutumikia wengine kitu cha thamani .
(src)="36"> Laxaṭerš hadi hiya el-sira elli el-nas twelli biha mrefḥa . "
(trg)="39"> Kwa sababu hiyo ndiyo njia watu hupata utajiri . "
(src)="37.1"> Fkar !
(src)="37.2"> Men nas TED , yqul Bill Gates : " Kanet ɛendi fekra :
(trg)="40"> Mawazo !
(src)="38"> nṭelleɛ el-šarika el- 'ewla ntaɛ el-baramej dyal el-ḥasub el-ṣġir
(trg)="41"> MwanaTED Bill Gates anasema , " Nilikuwa na wazo : kuanzisha kampuni ya kwanza ya programu za mikro-kompyuta . "
(src)="39"> Neqder nqul kanet fekra mxeyra .
(trg)="42"> Ningependa kusema ni wazo zuri sana .
(src)="40.1"> W ma fiha ḥetta sḥur f el-bdaɛ ( kreyativite ) ki el-waḥed yjib fkar -- hiya , ġir , ki ydir el-waḥed ṣwaleḥ sahlin .
(src)="40.2"> [ Smeɛ , Šuf , Kunek qerɛaji , Seqsi , Ḥell el-mašakil , Rbeṭ bin el-ṣwaleḥ ]
(trg)="43"> Na hakuna miujiza katika ubunifu wa mawazo mapya -- ni kufanya baadhi ya mambo rahisi sana .
(src)="41"> W nmedd šḥal men bayan .
(trg)="44"> Na ninatoa ushahidi mwingi .
(src)="42.1"> Ɛeṣṣeṣ !
(src)="42.2"> Joe Kraus yqul :
(trg)="45"> Stahimili !
(src)="43"> " el-teɛṣaṣ huwa el-sebba el- 'ewla elli txelli el-waḥed yenjeḥ . "
(trg)="46"> Joe Kraus anasema , " Ustahimilifu ni sababu namba moja ya mafanikio yetu . "
(src)="44.1"> Yliqlek tɛeṣṣeṣ mɛa kul xsara .
(src)="44.2"> Yliqlek tɛeṣṣeṣ mɛa el-CRAP ( xra , ḥbuba )
(trg)="47.1"> Unahitaji kustahimili unapofeli .
(trg)="47.2"> Unahitaji kustahimili misukosuko !
(src)="45"> elli bayen meɛnatu : " neqd , refḍ , bhalil w ḍeġṭ . "
(trg)="48"> Ambayo ni " Kukosolewa , Kukataliwa , Watu ovyo na Presha . "
(src)="46"> ( Ḍeḥk ) ' Amala el-jwab -- el-kbir , ntaɛ had el-swal ... sahel : Xelleṣ 4.000 ḥebba ( dollars ) and rwaḥ l TED .
(trg)="49"> ( Vicheko ) Hivyo , jibu kwa swali hili ni rahisi : Lipa dola 4,000 na uje kwenye TED .
(src)="47"> W ' ida ma nejjemtš , dir el-temn ṣwaleḥ -- w ṣeddeqni , hadu huma el-temn ṣwaleḥ el-kbar elli ywweṣlu l el-njaḥ .
(trg)="50"> ( Vicheko ) Au ukishindwa hilo , fanya mambo haya nane - na niamini , haya ni mambo makuu nane ambayo huleta mafanikio .
(src)="48"> Ṣeḥḥitu ya nas TED ɛla jal gaɛ el-intervyu ntaweɛkum !
(trg)="51"> Asanteni wanaTED kwa mahojiano yenu yote !