# swa/1lIDsnsLfT0O.xml.gz
# zh/1lIDsnsLfT0O.xml.gz
(src)="1"> KIla kitu kinahusiana na kingine
(trg)="1"> 所 有 嘢 都 係 有 關 係 嘅
(src)="2"> Kama muhindi , nilikuzwa kujua hili
(trg)="2"> 作 為 一 個 辛 納 科 克 印 度 人 我 從 小 就 知 道 呢 一 點
(src)="3"> Sisi ni kabila dogo la wavuvi
(trg)="3"> 我 哋 喺 一 個 細 嘅 釣 魚 部 落
(src)="4"> Katika ncha ya kusini mashariki mwa kisiwa cha Long karibu na mji wa Southampton katika jiji la New York .
(trg)="4"> 就 近 紐 約 南 安 普 敦 、 長 島 嘅 東 南 部
(src)="5"> Nilipokuwa msichana mdogo ,
(trg)="5"> 我 細 嘅 時 候
(src)="6"> Babu yangu alinichukua kukaa naye juani katika wakati wa majira ya joto .
(trg)="6"> 我 爺 爺 會 喺 夏 天 帶 我 坐 喺 太 陽 之 下
(src)="7"> Hakukuwa na mawingu angani . na baada ya muda mfupi nikaanza kutoka jasho . na akanionyesha angani na kusema ,
(trg)="7"> 天 空 完 全 冇 雲
(trg)="8"> 過 咗 一 段 時 間 , 我 開 始 流 汗
(trg)="9"> 我 爺 爺 就 向 天 指 著 話 :
(src)="8"> " Angalia, unaona kile ?
(trg)="10"> 「 你 睇 下 , 見 唔 見 到 嗰 個 啊 ?
(src)="9"> Ile ni sehemu yako kule juu .
(trg)="11"> 嗰 個 就 係 你 嘅 一 部 分 。
(src)="10"> Yale ni maji yako yanayosaidia kutengeneza mawingu yanayokuwa mvua inayonywesha mimea ambayo inalisha wanyama . " katika utafiti wangu wa mambo haya ambayo yanaonyesha uhusiano katika maisha ,
(trg)="12"> 嗰 嚿 就 係 由 你 汗 水 形 成 嘅 雲 ,
(trg)="13"> 將 來 化 成 雨 來 灌 溉 植 物 , 同 養 動 物 。 」
(trg)="14"> 之 後 我 繼 續 探 索 大 自 然 裏 面 「 生 命 互 連 」 嘅 事 物
(src)="11"> Nilianza kukimbiza vimbunga mwaka 2008 baada ya binti yangu kusema , " Mama , ni lazima ufanye hivyo . " siku tatu baadaye, nikiendesha gari kwa kasi sana , nikajikuta nafuatilia aina moja ya wingu kubwa sana ,
(trg)="15"> 我 個 女 同 我 講 : 「 媽 媽 , 妳 應 該 去 追 風 」
(trg)="16"> 所 以 2 0 0 8 年 , 我 就 開 始 追 風
(trg)="17"> 因 此 我 三 日 之 後 , 渣 得 好 快
(src)="12"> lenye uwezo wa kutengeneza mvua ua mawe kubwa na vimbunga vya ajabu , ingawa ni asilimia mbili tu hufanya hivyo . mawingu haya yanaweza kuwa makubwa sana , mpaka maili 50 kwa upana na yanaweza yakaenda mpaka futi 65, 000 juu angani . yanaweza yakawa makubwa sana kiasi cha kuzuia mwanga wa mchana , kufanya ukisimama chini yake kuwa peusi sana .
(trg)="19"> 呢 種 巨 雲 能 夠 製 造 柚 咁 大 嘅 冰 雹
(trg)="20"> 同 壯 觀 嘅 龍 捲 風
(trg)="21"> 但 其 實 只 有 2 % 「 超 大 胞 」 落 到 大 冰 雹
(src)="13"> Kukimbiza vimbunga ni kitu chenye mguso wa kipekee . unakuta kuna upepo mnyevu wa joto unaopuliza mgongoni kwako haufu ya mchanga, ngano na majani . halafu pia kuna rangi mbalimbali katika mawingu ya mvua ya mawe , ya kijani na bluu . nimejifunza kuiheshimu radi .
(trg)="26"> 追 風 係 一 個 非 常 有 質 感 嘅 經 驗
(trg)="27"> 溫 暖 同 潮 濕 嘅 風 吹 著 你 嘅 背 脊
(trg)="28"> 泥 土 、 小 麥 、 青 草 和 帶 電 粒 子 帶 住 氣 味
(src)="14"> Nywele zangu zilikuwa hazijajikunja ziko moja kwa moja .
(trg)="32"> 因 為 我 嘅 頭 髮 以 前 係 直 㗎
(src)="15"> ( vicheko ) ninatania .
(trg)="33"> ( 笑 聲 )
(trg)="34"> 講 笑 咋
(src)="16"> ( vicheko ) kinachonifurahisha mimi kuhusu vimbunga hivi ni jinsi vinavyotembea, vinavyozunguka , na mawingu yenye vitu kama miale ya moto . yanakuwa ni madude yanayotisha huku yakipendeza pia . ninapoyapiga picha , nashindwa kujizuia kukumbuka mafundisho ya babu yangu . na ninasimama chini yake , naona sio tu wingu ,
(trg)="35"> ( 笑 聲 )
(trg)="36"> 真 正 令 我 興 奮 嘅 係 風 暴 嘅 動 態
(trg)="37"> 即 佢 哋 會 同 熔 岩 燈 形 狀 嘅 乳 狀 雲
(src)="17"> lakini na kuelewa pia nina bahati ya kushuhudia nguvu zile zile , mchakato ule ule , katika hali ndogo ambavyo vilitengeneza anga letu, mfumo wa jua, jua letu na hata sayari hii . na mahusiano yote yangu .
(trg)="44"> 我 仲 明 白 到 我 有 幸 目 睹 嘅 現 象
(trg)="45"> 係 由 製 造 我 哋 銀 河 、 太 陽 系 、 太 陽
(trg)="46"> 甚 至 我 哋 地 球 嘅 同 一 個 力 量 所 造 成
(src)="18"> Asante sana .
(trg)="48"> 所 以 全 部 嘢 都 係 有 關 嘅 。 多 謝
(src)="19"> ( Shangwe )
(trg)="49"> ( 掌 聲 )
# swa/BxmR4RDROuLr.xml.gz
# zh/BxmR4RDROuLr.xml.gz
(src)="1"> Unachofanya sasa hivi, wakati huu , kuna kitu kinakuua .
(trg)="1"> 你 哋 宜 家 做 緊 嘅 嘢 係 害 緊 你 哋
(src)="2"> Zaidi ya magari au mtandaoni au hata simu za mikononi ambazo huwa tunaziongelea teknolojia unayoitumia zaidi kila siku ni hii , makalio yako .
(trg)="2"> 就 算 車 , 或 者 網 路
(trg)="3"> 又 或 者 我 哋 一 直 講 緊 嘅 智 能 電 話 都 好
(trg)="4"> 你 每 日 用 佢 哋 嘅 次 數 都 唔 夠 呢 樣 咁 高
(src)="3"> Siku hizi watu wanakaa kwa wastani wa masaa 9 . 3 kwa siku , muda ambao ni zaidi ya ule tunaolala wa masaa 7 . 7 .
(trg)="6"> 今 日 , 人 平 均 每 天 坐 9 . 3 個 鐘
(trg)="7"> 呢 個 比 我 哋 嘅 瞓 覺 時 間 7 . 7 個 鐘 , 仲 要 多
(src)="4"> Kukaa imekuwa ni jambo la kawaida mno kiasi hatujiulizi, kuhusu muda mingi tunaotumia kukaa , na kwa kuwa kila mmoja wetu anafanya hivyo , hatuoni kuwa kufanya hivyo si sahihi . namna hii, kukaa kumekuwa uvutaji wa sigara wa kizazi chetu . na ukweli ni kuwa kuna madhara ya kiafya , ya kutisha, ukiondoa kiuno . vitu kama kansa ya matiti na utumbo mpana yanhusishwa na ukosefu wa mazoezi , asilimia kumi , katika zote hizo . asilimia sita kwa ajili ugonjwa wa moyo , asilimia saba kwa ajili ya kisukari namba 2 , ambacho ndicho baba yangu alichokufa nacho . takwimu hizi zinatakiwa zitushawishi kuinuka zaidi ,
(trg)="8"> 「 坐 」 係 難 以 置 信 嘅 普 遍
(trg)="9"> 因 為 所 有 人 都 做 緊 同 樣 嘅 嘢
(trg)="10"> 而 且 平 時 我 哋 冇 諗 過 我 哋 坐 咗 幾 耐
(src)="5"> lakini ukiwa kama , hazitakushawishi . kilichonifanya niinuke ilikuwa ni mahusiano ya kijamii .
(trg)="24"> 但 如 果 你 好 似 我 咁 仍 然 都 係 無 動 於 衷 嘅 話
(trg)="25"> 咁 社 交 就 係 令 你 同 我 活 動 嘅 原 因
(src)="6"> Mtu mmoja alinialika katika kikao ,
(trg)="26"> 人 哋 叫 我 參 加 一 個 會 議
(src)="7"> lakini hakuweza kunipatia nafasi katika chumba cha kawaida cha mikutano , na akasema ,
(trg)="27"> 但 係 安 排 唔 到 畀 我 入 去
(trg)="28"> 於 是 就 話
(src)="8"> " kesho nitafanya matembezi na mbwa wangu .
(trg)="29"> 「 我 聽 日 會 同 狗 仔 一 齊 散 步 , 你 會 嚟 嗎 ? 」
(src)="9"> Je unaweza kuja ? " ilionekana kama ni kitu cha ajabu kufanya , na katika kikao hiki cha kwanza , nakumbuka niliwaza ,
(trg)="30"> 咁 樣 聽 起 嚟 可 能 好 奇 怪
(trg)="31"> 但 係 , 我 記 得 第 一 次 開 會 嘅 時 候
(src)="10"> " itabidi niwe wa kwanza kuuliza swali la kwanza kwa sababu nilijua nitakuwa napumua sana wakati wa mazungumzo haya .
(trg)="32"> 我 同 自 己 講 「 我 要 問 下 個 問 題 」
(trg)="33"> 查 實 係 因 為 開 會 期 間 我 會 不 停 咁 氣 咳 同 普 通 咳
(src)="11"> lakini sasa, nimechukua wazo na limekuwa langu . kwa hiyo baada ya kwenda katika vikao vya kahawa au vyumba vya mikutano , nawaomba watu twende katika mikutano ya kutembea , kufikia umbali wa maili 20 hadi 30 kwa wiki . imebadilisha maisha yangu .
(trg)="34"> 而 我 又 唔 想 影 響 大 家
(trg)="35"> 想 早 啲 問 完 問 題 走
(trg)="36"> 所 以 , 我 決 定 與 其 飲 咖 啡 開 會
(src)="12"> lakini kabla , kilichotokea ilikuwa ni , nafikiri kama hivi , unaweza ukaangalia afya yako , au kuangalia majukumu yako , na moja lazima lichukue nafasi ya jingine .
(trg)="41"> 其 實 做 行 路 開 會 之 前
(trg)="42"> 我 曾 經 覺 得 健 康 同 工 作 不 可 兼 得
(trg)="43"> 無 可 能 兩 全 其 美
(src)="13"> lakini sasa , baada ya mamia ya maili za vikao hivi vya kutembea , nimejifunza vitu kadhaa .
(trg)="44"> 但 係 宜 家 , 經 過 幾 百 次 行 路 開 會 之 後
(trg)="45"> 我 學 到 一 啲 嘢
(src)="14"> Kwanza , kuna kitu hiki cha ajabu kuhusu kutoka katika mazoea , kunakosababisha usiwe na mawazo ya mazoea . kama ni mazingira au mazoezi , lakini inafanya kazi .
(trg)="46"> 首 先 , 我 哋 其 實 可 以 跳 出 傳 統 思 維 框 框
(trg)="47"> 做 未 做 過 嘅 嘢
(trg)="48"> 就 算 係 同 大 自 然 或 者 運 動 有 關 嘅 事 也 好
(src)="15"> Na pili , na labda muhimu zaidi , ni jinsi ambavyo kila mtu , wakastahimili matatizo hata kama hawako hivyo . na kama tutatua matatizo na kuiangalia dunia , kama ni katika utawala au biashara au mambo ya mazingira, utengenezaji wa ajira ,
(trg)="50"> 第 二 點 , 或 者 係 我 最 反 思 深 刻 嘅 一 點
(trg)="51"> 講 緊 我 哋 好 多 時 會 將 問 題 放 大 到 無 限 大
(trg)="52"> 而 啲 問 題 其 實 唔 係 我 哋 睇 到 嘅 咁 大
(src)="16"> labda tunaweza tukafikiri jinsi ya kuyaangalia upya matatizo haya . ili vitu vyote viwe sahihi . kwa sababu ilikuwa hivyo kuhusu wazo hili la kuongea na kutembea kwamba vitu vinaeza kufanyika na vikadumu . nilianza mazungumzo haya nikiongelea kuhus makalio , kwa hiyo nitamalizia kwa kusema tembea na ongea . tembea na ongea . utashangaa jinsi ambavyo hewa safi inasababisha mazungumzo safi , na katika hali hii , utaleta mawazo mapya katika maisha yako .
(trg)="55"> 包 括 政 治 、 商 業 、 環 境 、 就 業 方 面
(trg)="56"> 同 重 新 詮 釋 面 對 嘅 問 題
(trg)="57"> 令 佢 哋 正 反 兩 面 睇 起 嚟 都 正 確
(src)="17"> Asante .
(trg)="69"> 多 謝 大 家
(src)="18"> ( Makofi )
(trg)="70"> ( 掌 聲 )
# swa/WTG5QrL19LFu.xml.gz
# zh/WTG5QrL19LFu.xml.gz
(src)="1"> Hakuna kitu chenye nguvu zaidi ya wazo ambalo wakati wako sasa umewadia
(trg)="1"> 當 時 機 到 來 , 理 念 就 是 最 強 大 的 事 物
(trg)="2"> 此 時 此 刻 , 理 念 就 是 最 強 大 的 事 物
(src)="2"> Sasa hivi , kuna watu wengi zaidi katika mtandao wa facebook kuliko watu walikuwepo duniani miaka mia mbili iliopita
(trg)="3"> 現 金 , F a c e b o o k 上 的 人 口 比 2 0 0 年 世 界 人 口 還 要 多
(src)="3"> Lengo kubwa la ubinadamu ni kuuangana na kuwa pamoja na watu .
(trg)="4"> 人 類 渴 求 歸 屬 感 , 渴 求 與 人 連 繫
(src)="4"> Na sasa , tunaweza kuonana .
(src)="5"> Tunaweza kusikilizana .
(trg)="5"> 現 在 我 們 可 以 看 到 彼 此 , 聽 見 彼 此
(src)="6"> " Babu nakupenda ! "
(trg)="6"> 爺 爺 我 愛 你
(src)="7"> " Nakupenda ! "
(trg)="7"> 我 愛 你
(src)="8"> " Kwa nini .. kwa nini haipigi picha ? "
(trg)="8"> 為 什 麼 . . . . 為 什 麼 不 拍 張 照 片 ?
(src)="9"> Tunashirikiana kile tukipendacho na kinatukumbusha kile tulichonacho kwa pamoja .
(trg)="9"> 透 過 分 享 我 們 喜 愛 的 事 物 , 我 們 知 道 我 們 有 著 共 通 點
(src)="10"> " Alichimbuliwa akiwa hai na mzima baada ya siku saba na nusu .. '
(trg)="10"> 經 過 七 天 半 挖 出 了 生 還 者 並 且 依 舊 無 恙
(src)="11"> " Ukijiamini , utajua jinsi ya kuendesha baiskeli !
(src)="12"> Angalia na jifunze ! "
(trg)="11"> 如 果 你 相 信 你 自 己 , 你 就 會 知 道 如 何 騎 單 車 ! 出 發 吧 !
(src)="13"> " Kwa hiyo sasa kiufundi , zana zenu zipo tayari .
(src)="14"> Unaweza kutambua ? "
(trg)="12"> 現 在 裝 置 打 開 了 , 你 能 說 話 嗎 ?
(src)="15"> " Oh !
(src)="16"> Inafurahisha ! "
(trg)="13"> 哦 ! 真 是 令 人 興 奮 !
(src)="17"> Na huu uhusiano unabadilisha dunia inavyoenda .
(trg)="14"> 而 這 種 連 繫 正 在 改 變 這 個 世 界 的 運 作
(src)="18"> Serikali zinajitahidi kuendana na mabadaliko hayo .
(trg)="15"> 各 國 政 府 正 嘗 試 著 跟 上 步 伐
(trg)="16"> 現 在 我 們 可 以 嘗 到 自 由 的 滋 味