# srp/OpwgB77Ev4JM.xml.gz
# swa/OpwgB77Ev4JM.xml.gz


(src)="1"> Ovo je mjesto gdje živim .
(src)="2"> Ja živim u Keniji , u južnom dijelu Nacionalnog parka Najrobi .
(trg)="1"> Hapo ndipo ninapoishi, naishi nchi ya kenya , kusini mwa mbuga ya wanyama ya Nairobi .

(src)="3"> Ovo u pozadini su krave moga oca , a iza krava , to je Nacionalni park Najrobi .
(src)="4"> Nacionalni park Najrobi nije ograđen na južnoj strani , što znači da divlje životinje kao što su zebre slobodno migriraju iz parka .
(src)="5"> Grabljivice poput lavova ih prate i ovo je ono što rade .
(trg)="2"> Hao ni ng' ombe wa baba yangu hapo nyuma , na nyuma ya ng' ombe hiyo ndiyo mbuga ya wanyama ya taifa iitwayo Nairobi mbuga ya wanyama ya Nairobi haina uzio upande wa kusini kiupana ina maana wanyama mwitu kama Pundamilia wanaondoka toka kwenye mbuga bila kipingamizi kwa hiyo wanyama wakali kama Simba huwafata na hiki ndicho huwa wanafanya

(src)="6"> One ubijaju našu stoku .
(trg)="3"> Wanaua mifugo yetu

(src)="7"> Ovo je jedna od krava koja je ubijena tokom noći , kada sam se probudio našao sam je mrtvu i osjećao sam se veoma loše , jer je to bio jedini bik kojeg smo imali .
(trg)="4"> Huyu ni mmoja wa ng' ombe ambaye aliuliwa nyakati za usiku , niliamka asubuhi na kukuta amekufa , nilijisikia vibaya sana , kwa sababu alikuwa ng' ombe dume pekee tuliyekuwa nae

(src)="8"> Moja zajednica , Masai , mi vjerujemo da dolazimo sa nebesa sa svim našim životinjama i svom zemljom za njih i zbog toga ih ovoliko cijenimo .
(trg)="5"> Jamii yangu, ya Maasai, tunaamini kwamba tumetokea mbinguni na wanyama wetu na ardhi yetu yote kuwachunga, na ndo maana tunawathamini sana

(src)="9"> Zato sam ja odrastao toliko mrzeći lavove .
(trg)="6"> Kwa hiyo nimekua nikiwachukia sana Simba

(src)="10"> Morani su ratnici koji štite našu zajednicu i stoku i oni su takođe uznemireni zbog ovog problema .
(trg)="7"> Morani ni vijana walinzi ambao wanalinda jamii yetu na mifugo pia na wao wanachukizwa na hili tatizo

(src)="11"> Oni ubijaju lavove .
(trg)="8"> Kwa hiyo wanaua Simba .

(src)="12"> Ovo je jedan od šest lavova koji je ubijen u Najrobiju .
(trg)="9"> Ni mmoja kati ya Simba sita waliouawa Nairobi

(src)="13"> I mislim da zbog ovoga Nacionalni park Najrobi ima malo lavova .
(trg)="10"> Na fikiri hii ndo maana mbuga ya wanyama ya Nairobi ina Simba wachache .

(src)="14"> Dječaci od šest od devet godina , u mojoj zajednici odgovorni su za krave svojih očeva , i to je ista stvar koja se meni dogodila .
(trg)="11"> Mvulana, kuanzia miaka sita hadi nane, katika jamii yangu ana jukumu kwa Ng' ombe za baba yake , na hiki pia ndicho kilichonipata mimi .

(src)="15"> Ja sam morao da nađem način da riješim ovaj problem .
(trg)="12"> Nilihitajika kutafuta njia ya kutatua hili tatizo .

(src)="16"> Prva ideja koju sam imao je da koristim vatru , jer sam mislio da se lavovi boje vatre .
(trg)="13"> Na wazo la kwanza nililolipata ni kutumia moto , sababu nilijua Simba wanaogopa moto .

(src)="17"> Ali sam shvatio da to zapravo nije pomoglo , jer je čak pomagalo lavovima da vide kroz štalu .
(trg)="14"> Lakini nikaja kugundua hiyo haikusaidia kiukweli sababu ilikuwa ikisaidia Simba kuona zizi la Ng' ombe

(src)="18"> Nijesam odustao .
(src)="19"> Nastavio sam .
(src)="20"> Sljedeća ideja je bila da koristim strašilo .
(trg)="15"> Kwa hiyo sikukata tamaa na niliendelea na wazo la pili nililopata lilikuwa kutumia mtu wa bandia nilijaribu kuwapumbaza Simba kufikiri nimesimama karibu na zizi la ng' ombe

(src)="22"> Ali lavovi su veoma pametni .
(src)="23"> ( Smijeh )
(trg)="16"> Lakini Simba wana akili sana( vicheko )

(src)="24"> Prvi dan bi došli , vidjeli strašilo , i vratili se , ali sljedeći dan , oni bi došli i rekli , ona stvar se ne mrda , uvjek je ovdje .
(src)="25"> ( Smijeh )
(trg)="17"> Watakuja siku ya kwanza wataona mtu bandia, wanarudi walipotoka .

(src)="26"> Onda uskoče i ubijaju životinje .
(src)="27"> Jedne noći sam šetao oko štale sa lampom , i tog dana lavovi nisu došli .
(trg)="18"> lakini siku ya pili, watakuja na kusema , hiki kitu hakihami hapa, kipo hapa muda wote( vicheko ) kwa hiyo anaruka na kuua simba . usiku mmoja, nilikuwa nikitembea kuzunguka zizi la ng' ombe nikiwa na kurunzi . na siku hiyo Simba hawakuja .

(src)="28"> I tada sam otkrio da se lavovi boje pokretnog svijetla .
(trg)="19"> Na niligundua Simba wanaogopa mwanga unaotembea .

(src)="29"> Pa sam dobio ideju .
(trg)="20"> Nikapata wazo .

(src)="30"> Još od kad sam bio mali , radio sam u svojoj sobi po cijeli dan , čak sam i rastavio majčin novi radio , i tog dana me skoro ubila , ali sam naučio dosta o elektronici .
(trg)="21"> Tangu nilipokuwa mtoto mdogo ,
(trg)="22"> Nilizoea kufanya kazi katika chumba changu siku nzima , na nilidiriki kutenganisha radio mpya ya mama yangu , na siku hiyo ilibaki kidogo aniue ,

(src)="31"> ( Smijeh )
(src)="32"> Uzeo sam stari akumulator , i relej .
(src)="33"> To je mali uređaj koji se nalazi u motociklu i to pomaže vozaču kada skreće lijevo ili desno .
(trg)="23"> lakini nilijifunza kuhusu vifaa vitumiavyo umeme( vicheko ) nilipata betri chakavu ya gari kasha la kuonesha uelekeo . ni kifaa kidogo kinapatikana kwenye pikipiki , na kinasaidia waendesha pikipiki wanapotaka kukata kona kulia au kushoto, kinawaka na kuzimika . nilipata swichi ambapo naweza kuwasha na kuzima taa . na hiyo ni kurunzi ndogo kutoka katika taa iliyovunjika . kwa hiyo niliunda kila kitu . kama uonavyo, sola inachaji betri , betri inapeleka umeme katika kuonesha uelekeo, ninaita transfoma . na kionesha uelekeo kinafanya taa inawaka kama unavoona, taa imeelekezwa kwa nje , sababu huko ndipo simba wanapotokea . na hivi ndivo inaonekana kwa Simba wanapokuja usiku mwanga unawaka na kuwapumbaza simba wakifikiri natembea katika zizi la ng' ombe ,

(src)="43"> Svijetlo trepće i prevari lavove kako bi mislili da ja šetam oko štale , ali ja spavam u svom krevetu .
(trg)="24"> lakini mimi nimelala katika kitanda changu .

(src)="44"> ( Smijeh ) ( Aplauz )
(trg)="25"> ( vicheko ) ( makofi )

(src)="45"> Hvala .
(trg)="26"> Asante .

(src)="46"> Postavio sam ovo u moju kuću prije dvije godine i od tada nijesmo imali problema sa lavovima .
(src)="47"> U susjednim kućama su čuli za ovu ideju .
(trg)="27"> Niliweka nyumbani kwetu miaka miwili iliyopita , na tangu hapo, hatujakumbana na tatizo lolote kuhusu simba . na nyumba za jirani walisikia kuhusu hili wazo

(src)="48"> Jedna od njih je bila ova baka .
(trg)="28"> Mmoja wao alikuwa huyu bibi .

(src)="49"> Imala je dosta životinja koje su pobili lavovi i pitala me je da postavim svijetla za nju .
(src)="50"> Rekao sam :
(src)="51"> " Da "
(trg)="29"> Alikuwa na wanyama wengi waliokuwa wakiuliwa na Simba , na aliniuliza kama naweza kumuwekea taa nikasema , " ndiyo " kwa hiyo niliweka taa, unaweza ona hapo nyuma, hizo ni taa za simba .

(src)="54"> Do sad , postavio sam ih u sedam kuća u mojoj zajednici i zaista rade .
(src)="55"> Moja ideja se sada koristi širom Kenije za plašenje ostalih grabljivica poput hijena i leoparda i takođe se koristi za tjeranje slonova od farme .
(src)="56"> Zbog ovog izuma imao sam sreće da dobijem stipendiju za jednu od najboljih škola u Keniji ,
(trg)="30"> Tabgu sasa, nimeweka taa katika katika nyumba saba katika jamii yangu , na zinafanya kazi vizuri . na wazo langu linatumika pia nchi ya Kenya yote . kuogopesha wanyama wengi wala nyama kama mbwa mwitu na chui . na pia inatumika kuogopesha tembo katika mashamba ya watu kutokana na uvumbuzi huu, nilibahatika kupata ufadhili wa masomo yangu . katika shule bora Kenya

(src)="57"> Međunarodnu školu Brukhaus , i veoma sam uzbuđen zbog ovoga .
(trg)="31"> Shule ya kimataifa ya Brookhouse . ninapendezwa sana na hili jambo .

(src)="58"> Moja nova škola se uključuje i pomaže prikupljanjem sredstava i razvijanjem svijesti .
(trg)="32"> Shule yangu inakuja na kusaidia . kwa kutoa michango ya kifedha na kuelimisha .

(src)="59"> Čak sam i doveo svoje prijatalje u zajednicu da instaliramo svijetla na kućama koje ih nemaju i učim ih kako da ih postavljaju .
(trg)="33"> Nimewachukua rafiki zangu kwenda katika jamii yangu , na tunaweka taa katika nyumba ambazo hazina, nawaelekeza jinsi ya kuziweka .

(src)="60"> Prije godinu dana bio sam samo dječak na pašnjacima koji čuva očeve krave , i gledao sam avione kako lete , i rekao sam sebi da ću jednog dana i ja biti unutra .
(src)="61"> I evo me danas .
(trg)="34"> Mwaka mmoja uliopita, nilikuwa kijana wa mbugani nikichunga ng' ombe za baba yangu . na nilikuwa nikiona ndege zinapaa tu , na niliiambia nafsi yangu " siku moja " , nitakuwa ndani ya hiyo ndege . na leo nipo hapa .

(src)="62"> Dobio sam šansu da prvi put dođem avionom za TED .
(trg)="35"> Nilipata nafasi ya kuja kwa ndege kwa mara ya kwanza kuja TED .

(src)="63"> Moj veliki san je da postanem avioinženjer i pilot kada porastem .
(trg)="36"> Hivyo, ndoto yangu ni kuwa mwandisi na mrusha ndege nikiwa mkubwa .

(src)="64"> Ranije sam mrzio lavove , ali sada moj izum čuva očeve krave od lavova i mi smo u mogućnosti da ostanemo uz lavove bez konflikta .
(trg)="37"> Nilizoea kuchukia Simba, lakini sasa kwa sababu ya uvumbuzi wangu unaokoa Ng' ombe wa baba yangu na Simba pia . tunaweza kaa na Simba bila ugomvi nao .

(src)="65"> Ashê olên .
(src)="66"> U mom jeziku znači , hvala vam puno .
(trg)="38"> Ashe olen . Ina maana Asante sana katika lugha yangu .

(src)="67"> ( Aplauz )
(trg)="39"> ( makofi )

(src)="69"> Nemaš predstavu koliko je uzbudljivo čuti priču kao što je tvoja .
(trg)="40"> Chris Anderson : Huwezi jua ni jinsi gani inavyofurahisha kusikia hadithi kama yako .

(src)="70"> Znači dobio si ovu stipendiju .
(src)="71"> Ričard Turere :
(src)="72"> Aha .
(trg)="41"> Kwa hiyo umepata ufadhili wa masomo . Richard Turere : Ndiyo .

(src)="73"> KA :
(src)="74"> Radiš i na drugim električnim izumima .
(trg)="42"> Chris Anderson : unafanyia kazi uvumbuzi wa vifa vya umeme .

(src)="75"> Šta je sljedeće na tvojoj listi ?
(trg)="43"> Kipi kinafata katika orodha yako ?

(src)="76"> RT :
(src)="77"> Moj sljedeći izum je , želim da napravim električnu ogradu .
(trg)="44"> Richard Turere : Uvumbuzi wangu unaofata ni ,

(src)="81"> Ja znam da su električne ograde već izumljene , ali želim da napravim svoju .
(trg)="45"> Nataka tengeneza uzio wenye umeme, Chris Anderson : Uzio wenye umeme ?
(trg)="46"> Richard Turere : Najua uzio wa umeme tayari umeshavumbuliwa ,
(trg)="47"> laikini natengeneza wa kwangu .

(src)="82"> ( Smijeh )
(trg)="48"> ( vicheko )

(src)="83"> KA :
(src)="84"> Već si probao jednom , zar ne , ti si - RT :
(trg)="49"> Chris Anderson : Umeshajaribu, si ndio ? , na, Richard Turere; Nishajaribu tayari

(src)="85"> Probao sam prije , ali sam prestao jer me je pecnula .
(src)="86"> ( Smijeh )
(trg)="50"> lakini niliacha sababu nilinaswa na umeme( vicheko )

(src)="87"> KA :
(src)="88"> U rovovima .
(src)="89"> Ričarde Turere , ti si nešto posebno .
(trg)="51"> Chris Anderson; Richard Turere, wewe ni mtu zaidi ya kawaida .

(src)="90"> Mi ćemo bodriti svaki tvoj korak , moj prijatelju .
(trg)="52"> Tutaendelea kuwa nawe katika kila hatua yako ya uvumbuzi, rafiki yangu .

(src)="91"> Hvala ti puno .
(src)="92"> RT :
(src)="93"> Hvala vam .
(trg)="53"> Asante sana . Richard Turere : Asante( makofi )

# srp/vdjxhYUHxwza.xml.gz
# swa/vdjxhYUHxwza.xml.gz


(src)="1"> Mislio sam da vam malo govorim o tome šta ja volim da pišem .
(trg)="1"> Nimeona niwaeleze kidogo kuhusu kile ninachopenda kuandika

(src)="2"> I volim da se zadubim u temu .
(trg)="2"> Napenda kujikita hasa katika mada zangu .

(src)="3"> Jednostavno , volim da utonem u to i postanem neka vrsta ljudskog zamorčeta .
(src)="4"> Posmatram svoj život kao niz eksperimenata .
(trg)="3"> Napenda kuzamia humo na kuwa kama nguruwe . ninaona maisha yangu kama mkusanyiko wa majaribio

(src)="5"> Tako , radio sam za " Eksquire " časopis i prije nekoliko godina , napisao sam članak pod nazivom " Moj spoljni život " , i unajmio tim ljudi u Bangloru , u Indiji , da žive moj život umjesto mene .
(trg)="4"> Nafanya kazi na Jarida la Esquire , na miaka michache iliyopita
(trg)="5"> Niliandika makala iliyoitwa " Maisha yangu kwenda kwa wengine " ambapo niliajiri watu katika mji wa Bangalore , India
(trg)="6"> Kuyaishi kwa niaba yangu

(src)="6"> Tako da su oni , odgovarali na moje email- ove .
(src)="7"> Javljali se na moj telefon .
(trg)="7"> Kwa hiyo walikuwa wanajibu barua pepe zangu walijibu simu zangu

(src)="8"> Raspravljali se sa mojom ženom umjesto mene , i čitali mom sinu priče za spavanje .
(trg)="8"> Waligombana na mke wangu kwa niaba yangu, na kumsomea hadithi mtoto wangu wa kiume ulikuwa ni mwezi mzuri sana wa maisha yangu

(src)="9"> To je bio najbolji mjesec u mom životu , zato što sam se samo odmarao , čitao knjige i gledao filmove .
(trg)="9"> Kwa sababu nilikaa tu nikisoma vitabu na kuangalia filamu

(src)="10"> To je bilo predivno iskustvo .
(trg)="10"> Hii ilikuwa hali nzuri sana

(src)="11"> Skorije , sam napisao članak za " Esquire " pod nazivom -- o radikalnoj iskrenosti .
(trg)="11"> Hivi karibuni , nimeandika makala kwa ajili ya jarida la Esquire
(trg)="12"> Kuhusu kuwa mwaminifu hasa

(src)="12"> I to je pokret u kom -- osnovao ga je psiholog u Virdžiniji , u kom se kaže da nikad , baš nikada ne smijete slagati , osim možda tokom pokera ili golfa , to su samo izuzeci .
(trg)="13"> Na huu ni muunganiko wa watu ulioanzishwa na mwanasaikolojia katika mji wa Virginia
(trg)="14"> Ambaye anasema usiseme uongo kabisa .
(trg)="15"> labda tu wakati unacheza kamari au mchezo wa golf .

(src)="13"> I više od toga , šta god vam je u mislima treba da kažete .
(trg)="16"> Na zaidi ya hapo , chochote kilicho katika ubongo wako kinatakiwa kitoke katika mdomo wako

(src)="14"> Tako da sam pokušao ovo mjesec dana
(trg)="17"> Niliamua kuwa nitajaribu kwa mwezi mmoja .

(src)="15"> To je bio najgori mjesec u mom životu .
(src)="16"> ( Smijeh )
(trg)="18"> Huu ulikuwa ni mwezi mbaya sana wa maisha yangu ( Vicheko )

(src)="17"> Ne preporučujem ovo uopšte .
(trg)="19"> Sipendekezi hatua hii kwa mtu yeyote

(src)="18"> Da vam malo približim ovo iskustvo , članak se zove " Mislim da si debela " .
(trg)="20"> Kukujulisha jinsi hali inavyokuwa ,
(trg)="21"> Makala iliitwa " Nafikiri wewe ni mnene " ( Vicheko )

(src)="20"> To je bilo teško .
(trg)="22"> Kwa hiyo, ilikuwa ngumu

(src)="21"> Moja najskorija knjiga -- prethodna se zvala " Znam sve " , i ona je o godini koju sam proveo čitajući enciklopediju " Britanika " od A do Z sa namjerom da naučim sve na svijetu , ili tačnije od Aak , to je vrsta istočno azijske muzike , pa sve do Zwyieka , što je -- pa , ne želim da kvarim kraj .
(trg)="23"> Kitabu cha karibuni , kitabu cha zamani kinaitwa " kujua yote "
(trg)="24"> Ulikuwa ni mwaka niliosoma kitabu cha Encyclopedia Britannica .
(trg)="25"> Kutokea mwanzo mpaka mwisho , katika nia yangu ya kujifunza kila kitu katika Dunia au pia kutoka A- ak ambao ni aina ya muziki kutoka Mashariki ya Asia .

(src)="22"> ( Smijeh )
(trg)="27"> ( Vicheko )

(src)="23"> Kraj ima uzbudljiv zaplet , kao u romanu O .
(src)="24"> Henrija , tako da ne želim da ga pokvarim .
(trg)="28"> Ina mabadiliko ya ajabu mwishoni kama kitabu cha hadithi cha Henry , kwa hiyo sitaki kuharibu .

(src)="25"> Ali taj volim , jer je to eksperiment o tome koliko informacija
(trg)="29"> lakini naipenda hiyo

(src)="26"> ljudski mozak može da primi .
(src)="27"> Mada , ako slušamo Kevina Kelija , ne moramo da pamtimo ništa .
(src)="28"> Sve možemo naći na Guglu .
(trg)="30"> Kwa sababu hili lilikuwa ni zoezi kuhusu taarifa kiasi gani . ubongo mmoja unaweza kuchukua , ingawa ukimsikiliza Kevin Kelly , hauhitaji kukumbuka chochote . unaweza ukaitafuta katika mtandao wa Google kwa hiyo nilipoteza muda kidogo hapo nayapenda majaribio kama hayo

(src)="30"> Volim te eksperimente , ali mislim da je najtemeljniji i najsudbonosniji eksperiment koji sam uradio moj najskoriji eksperiment , u kom sam proveo godinu dana pokušavajući da pratim pravila Biblije ,
(trg)="31"> lakini nadhani jaribio muhimu zaidi na lililobadilisha maisha yangu ni hili la karibuni , ambapo nilikaa mwaka moja nikijitahidi kufuata maelekezo ya Biblia

(src)="31"> " Godina života po Bibliji " .
(src)="32"> I uradio sam ovo iz dva razloga .
(trg)="32"> " Mwaka wa kuishi Kibiblia " na nilifanya hivi kwa sababu mbili

(src)="33"> Prvi je jer sam odrastao bez ikakve religije .
(trg)="33"> Kwanza , ni kwa sababu nilikua bila dini kabisa

(src)="34"> Kao što sam rekao u svojoj knjizi , ja sam Jevrej koliko je
(trg)="34"> Kama navyosema katika kitabu changu , ni Myahudi kama vile

(src)="35"> Oliv Garden , Italijan .
(src)="36"> ( Smijeh )
(trg)="35"> Kama vile bustani ya mizeituni ilivyo ya kiitaliano ( vicheko )

(src)="37"> Znači , nisam baš .
(trg)="36"> Kwa hiyo sio sana

(src)="38"> Ali sve sam se više interesovao za religiju .
(trg)="37"> Lakini nimevutiwa sana na dini

(src)="39"> Mislim da je ona jedno od bitnih pitanja našeg vremena , ili bar jedno od glavnih .
(trg)="38"> Na amini ni jambo muhimu sana kwa kipindi hiki moja muhimu kati ya mengi

(src)="40"> I imam sina .
(src)="41"> Želim da znam šta da ga naučim .
(src)="42"> Tako sam odlučio da zaronim u to , i pokušam da živim Bibliju .
(trg)="39"> Na nina mtoto wa kiume na nataka nijue jinsi ya kumfundisha . kwa hiyo nikaamua kuishi kwa kufuata Biblia