# sh/WTG5QrL19LFu.xml.gz
# swa/WTG5QrL19LFu.xml.gz


(src)="1"> Ništa nije moćnije od ideje čije vrijeme je došlo sada
(trg)="1"> Hakuna kitu chenye nguvu zaidi ya wazo ambalo wakati wako sasa umewadia

(src)="2"> U ovom trenutku , više je ljudi na facebooku nego što je bilo na planeti prije 200 godina .
(trg)="2"> Sasa hivi , kuna watu wengi zaidi katika mtandao wa facebook kuliko watu walikuwepo duniani miaka mia mbili iliopita

(src)="3"> Ljudska najveća želja jest da se zbliže i pripadaju .
(trg)="3"> Lengo kubwa la ubinadamu ni kuuangana na kuwa pamoja na watu .

(src)="4"> I sada , mi vidimo jedni druge .
(trg)="4"> Na sasa , tunaweza kuonana .

(src)="5"> Mi čujemo jedni druge .
(trg)="5"> Tunaweza kusikilizana .

(src)="6"> " Djede , volim te ! "
(trg)="6"> " Babu nakupenda ! "

(src)="7"> " Volim te ! "
(trg)="7"> " Nakupenda ! "

(src)="8"> " Zašto ... zašto neće da fotografira ? "
(trg)="8"> " Kwa nini .. kwa nini haipigi picha ? "

(src)="9"> Dijelimo ono što volimo i to nas podsjeća na ono što nam je svima zajedničko .
(trg)="9"> Tunashirikiana kile tukipendacho na kinatukumbusha kile tulichonacho kwa pamoja .

(src)="10"> " Izvučen živ i zdrav nakon sedam i pol dana ... "
(trg)="10"> " Alichimbuliwa akiwa hai na mzima baada ya siku saba na nusu .. '

(src)="11"> " Ako vjeruješ u sebe znat ćeš kako voziti bicikl !
(trg)="11"> " Ukijiamini , utajua jinsi ya kuendesha baiskeli !

(src)="12"> Gledaj i uči ! "
(trg)="12"> Angalia na jifunze ! "

(src)="13"> " Tehnički , tvoj aparat je sada uključen .
(trg)="13"> " Kwa hiyo sasa kiufundi , zana zenu zipo tayari .

(src)="14"> Čuješ li ? "
(trg)="14"> Unaweza kutambua ? "

(src)="15"> " Oh !
(trg)="15"> " Oh !

(src)="16"> Uzbuđujuće je ! "
(trg)="16"> Inafurahisha ! "

(src)="17"> I ta veza mijenja način na koji svijet funkcionira .
(trg)="17"> Na huu uhusiano unabadilisha dunia inavyoenda .

(src)="18"> Vlade pokušavaju držati korak .
(src)="19"> Sada možemo testirati slobodu .
(trg)="18"> Serikali zinajitahidi kuendana na mabadaliko hayo .

# sh/ojf67DWmMPaA.xml.gz
# swa/ojf67DWmMPaA.xml.gz


(src)="1"> Ja sam vrlo , vrlo srećan da sam okružen nekima od naj -- svetla zaista smetaju mojim očima i odbijaju se o moje naočare .
(trg)="1"> nina furaha kubwa kuwa kati ya mwanga unasumbua sana macho yangu na unaakisiwa katika miwani yangu

(src)="2"> Ja sam vrlo srećan i počastvovan da sam okružen vrlo , vrlo inovativnim i inteligentnim ljudima .
(src)="3"> Slušao sam prethodna tri govornika , i pogodite šta se dogodilo ?
(src)="4"> Sve što sam nameravao reći , oni su to već rekli ovde , i to izgleda i zvuči kao da nemam ništa drugo za reći .
(trg)="2"> Ni furaha na heshima kwangu kuwa kati ya watu wabunifu na wenye ufahamu wa hali ya juu nimewasikiliza wazungumzaji watatu waliopita na jaribu kufikiri nini kilichotokea ? kila kitu nilichopanga kuzungumza wameshakiongea , na inaonekana sasa ni kama sina chochote cha kuongea ( vicheko )

(src)="6"> Ali postoji izreka u mom narodu da ako populjak ostavi drvo bez reči , taj populjak je mlad .
(src)="7"> Pa ću ja -- pošto nisam mlad i vrlo sam star -- ipak nešto reći .
(src)="8"> Održavamo ovu konferenciju u veoma povoljnom trenutku jer druga konferencija se održava u Berlinu .
(trg)="3"> lakini kuna msemo katika jamii yangu kuwa kama jani likidondoka kutoka mtini bila kusema chochote basi jani hilo ni changa kwa hiyo kwa kuwa si mchanga nami nina umri mkubwa sana bado nitaongea kitu tunaandaa mkutano huu katika wakati ambao umejaa fursa nyingi kwa kuwa mkutano mwingine unafanyika katika mji wa Berlin( Ujerumani ) na huu ni mkutano wa G8 mkutano huu wa G8 , unapendekeza kuwa ufumbuzi wa matatizo ya Afrika ni ongezeko maradufu la misaada , hatua ambayo inafanana na mpango wa Marshall bahati mbaya ni kuwa mimi siamini katika mpango huu wa Marshall kwanza , kwa sababu faida za mpango huu wa Marshall zimeongezwa chumvi . waliopokea msaada mkubwa kupitia mpango huu walikuwa ni ujerumani na ufaransa , na msaada huu ulikuwa ni asilimia 2 . 5 tu ya pato lao la taifa( GDP ) kwa wastani nchi yoyote Afrika inapokea misaada kutoka nje kufikia kiwango cha asilimia 13 , 15 ya pato la taifa , huu ni uhamishaji wa rasilimali za kiuchumi mkubwa sana kutoka nchi tajiri kwenda nchi maskini

(src)="15"> Ali želim reći da postoje dve stvari koje su nam potrebne za spajanje .
(src)="16"> Kako mediji pokrivaju Afriku na Zapadu , i posledice toga .
(src)="17"> Prikazujući očaj , bespomoćnost i beznadje , mediji govore istinu o Africi , i ništa osim istine .
(trg)="4"> lakini kuna vitu viwili ambavyo tunahitaji kuviunganisha navyo ni jinsi vyombo vya habari vinavyoionyesha Afrika katika nchi za magharibi na madhara yake kwa kuonyesha majonzi , matatizo na ukosefu wa matumaini vyombo vya habari vinaonyesha ukweli kuhusu Afrika, na si vinginevyo zaidi ya ukweli .

(src)="18"> Medjutim , mediji nam ne govore celu istinu .
(src)="19"> Zato što očaj , gradjanski rat , glad i oskudica , iako su deo i breme naše afričke realnosti , nisu jedina realnost .
(trg)="5"> lakini vyombo vya habari havielezi ukweli wote . kwa sababu huzuni, vita vya wenyewe kwa wenyewe na njaa ingawa ni sehemu ya ukweli kuhusu Afrika

(src)="20"> I drugo , to su delići realnosti .
(src)="21"> Afrika ima 53 nacije .
(trg)="6"> lakini sio ukweli pekee na pili ni sehemu ndogo sana ya ukweli bara la Afrika lina mataifa 53

(src)="22"> Imamo gradjanski rat u samo šest zemalja , što znači da mediji pokrivaju samo šest zemalja .
(trg)="7"> lakini tuna vita vya wenyewe kwa wenyewe katika nchi sita tu , hii inamaanisha kwamba vyombo vya habari vinaonyesha nchi sita tu

(src)="23"> Afrika ima velike mogucnosti koje nikad ne prodju kroz mrežu očaja i bespomoćnosti koje Zapadni mediji u velikoj meri prezentuju svojoj publici .
(trg)="8"> Afrika ina fursa nyingi ambazo hazijatolewa katika mzunguko wa matatizo na kukosa msaada ambao vyombo vya habari vya magharibi vinaonyesha kwa watazamaji wao

(src)="24"> Ali efekat te prezentacije je da apeluje na saučešće .
(src)="25"> Apeluje na sažaljenje ; apeluje na nešto što se zove milosrdje .
(src)="26"> I , kao posledica , zapadni pogled na afričke ekonomske dileme je pogrešno formulisan .
(trg)="9"> lakini madhara ya hali hii ni kuwa inaleta hali ya huruma inaleta hali ya huruma na kusaidia kwa hiyo mwonekano kwa nchi za magharibi kuhusu matatizo ya kiuchumi ya afrika unakuwa mbaya mwonekano huu mbaya ni zao la mawazo kuwa afrika ni sehemu ya matatizo tuifanyie nini ? tupeleke chakula kwa wenye njaa tupeleke madawa kwa wagonjwa tupeleke majeshi ya kulinda amani kuwalinda wanaokabiliwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe . na katika hali hii afrika imenyang 'anywa kujitegemea yenyewe nataka kusema kuwa ni muhimu kuelewa kuwa afrika ina udhaifu wa msingi

(src)="34"> No , jednako , poseduje mogućnosti i mnogo potencijala .
(src)="35"> Mi moramo preformulisati izazov sa kojim se Afrika suočava od izazova očaja , očaj koji se zove smanjenje siromaštva , do izazova nade .
(src)="36"> Mi to formulišemo kao izazov nade , i to je vredna tvorevina .
(trg)="10"> lakini pia ina fursa nyingi na uwezo mkubwa tunahitaji kubadilisha fikra kuhusu changamoto zinazoikabili Afrika kutoka changamoto za matatizo matatizo yanayoitwa upunguzaji wa umaskini kuwa changamoto ya matumaini tunahitaji kuonyesha kuwa ni changamoto ya matumaini changamoto inayowakabili wote wanaoipenda Afrika siyo changamoto ya kupunguza umaskini bali ni changamoto ya kutengeneza mafanikio ni mpaka tutakapobadilisha vitu hivi viwili ukisema Waafrika ni maskini na wanahitahitaji kupunguza umaskini utakuwa na ushirika wa kimataifa wenye nia ya kusaidia ukiingia afrika na nini ? dawa kwa ajili ya maskini, msaada wa chakula kwa ajili ya wenye njaa na walinda amani kwa wale wanaokabiliwa na vita za wenyewe kwa wenyewe na mwisho vitu hivi vyote havisaidii chochote kwa sababu unatibu dalili na sio chanzo cha msingi cha matatizo ya Afrika kumpeleka mtu shule na kumpatia dawa mabibi na mabwana , hakutengenezi mafanikio kwa ajili yao mafanikio yanatokana na kipato, kipato kinachokuja kutokana na kupata fursa ya biashara yenye faida au ajira inayolipa vizuri kwa hiyo tunaapoanza kuongelea kutengeneza mafanikio katika Afrika changamoto yetu ya pili itakuwa ni , ni kina nani ambao ni mawakala wa utengenezaji wa mafanikio katika jamii yoyote ni wajasiriamali .. [ haileweki ] .... alituambia kuwa siku zote asilimia 4 ya watu, lakini asilimia 16 ni waigaji

(src)="47"> Ali oni takodje uspevaju u poslu preduzetništva .
(src)="48"> Pa gde bi smo trebali ulagati novac ?
(src)="49"> Moramo ulagati novac tamo gde može produktivno rasti .
(trg)="11"> lakini pia wanafanikiwa katika ujasiriamali kwa hiyo tuwekeze pesa zetu wapi sasa ? tunahitaji kuwekeza pesa zetu pale ambapo itazaa wezesha uwekezeji binafsi Afrika, uwekezaji kutoka ndani na nje wezesha taasisi za utafiti , kwa sababu maarifa ni sehemu muhimu ya utengenezaji wa mafanikio