# mlg/xgMu78fdzfR3.xml.gz
# swa/xgMu78fdzfR3.xml.gz


(src)="1"> Ireo olona manodidina antsika dia afaka manampy amin 'ny fanatsarana ny fiainatsika .
(trg)="1"> Kuna njia nyingi ambazo watu wanaotuzunguka wanaweza kuboresha maisha yetu

(src)="2"> Tsy afaka hifanerasera amin 'ireo mpifanila- bodirindrina rehetra isika , ka maro noho izany ny anatra tsy voampita , na dia samy mampiasa ireo toerana faobe ary isika .
(trg)="2"> Hatuonani na jirani zetu kwa hiyo maarifa mengi yanashindwa kusambaa pamoja na kwamba wote tunashiriki sehemu zile zile za jamii yote

(src)="3"> Nandritra ny taona maro dia nanandrana fomba ahafahana mifandray amin 'ireo mpiray tanàna aminà toerana faobe aho , amin 'ny alalan´ny peta- drindrina sy ny " pochoir " ary ny tsaoka .
(trg)="3"> Kwa hiyo miaka michache iliyopita , nimejaribu kutafuta njia za kushirikiana zaidi na majirani zangu katika maeneo ya jamii yote
(trg)="4"> Kwa kutumia vifaa rahisi kama stika , karatasi nyembamba na chaki

(src)="4"> Ireo tetikasa ireo dia teraka rehefa avy nanontany tena aho hoe , toy ny hoe firy amin 'ireo mpiray tanàna amiko no mandoa hofan- trano ?
(trg)="5"> Mipango hii ilitokana na maswali niliyokuwa nayo kama
(trg)="6"> Ni kiasi gani majirani zangu wanalipa kwa ajili ya nyumba zao ?

(src)="5"> ( Hehy ) Ahoana no ahafahantsika mampindrana na mindrana zavatra ka tsy mandondona am- baravaran 'ny hafa amin 'ny fotoana tsy mety ?
(trg)="7"> ( Vicheko ) Je ni jinsi gani tunaweza kuazimishana vitu vingi zaidi bila kugonga katika milango wakati usio mzuri ?

(src)="6"> Ahoana no fomba hifampizarantsika ireo tsiahin´ ireo trano tsy misy mipetraka intsony , sy mba hanomezana endrika tsara kokoa ny tanàna ?
(trg)="8"> Je tunawezaje kushirikishana kumbukumbu zetu zaidi za majengo yetu yaliyotelekezwa na kuyaelewa zaidi mazingira yetu

(src)="7"> Ary ahoana koa no hifampizarantsika fanantenana ho an' ireo trano fampirantiana goana , ka ahazoan 'ny besinimaro mitaratra ny filantsika sy ny nofintsika ankehitriny ?
(trg)="9"> Ni vipi tunaweza kushirikishana matumaini yetu zaidi . kuhusu maduka yasiyo na watu , ili jamii zetu ziendane na mahitahi yetu na ndoto zetu ?

(src)="8"> Monina ao Nouvelles- Orléans aho izao , ary tiako Nouvelles- Orléans .
(trg)="10"> Sasa naishi New Orleans ,
(trg)="11"> Ninaipenda New Orleans

(src)="9"> Milamina ery ny fanahiko mahita ireo hazo goavambe toy ny " chêne " , mampialoka ireo mpifankatia , ireo mamolava ary ireo mpanonofinofy efa nandritra ny zato taona izay , sady matoky kokoa ny tanàn- dehibe manome lanja ny mozika aho .
(src)="10"> ( Hehy )
(trg)="12"> Nafsi yangu inaburudishwa na miti mikubwa ya mwalo inayowafunika wapenzi, walevi na watu wanaowaza mambo makubwa kwa mamia ya miaka , na nauamini mji ambao wakati wote una njia kwa ajili ya muziki

(src)="11"> Mieritreritra aho fa isaky ny misy olona mihevina , dia misy fety ao Nouvelle- Orléans .
(trg)="13"> Nahisi kama kila wakati ambapo mtu atakuwa anakoroma ,
(trg)="14"> New Orleans kuna gwaride . ( Vicheko )

(src)="13"> Io tanàn- dehibe io no manana maritrano tsara indrindra eto an- tany , nefa izy koa no manana trano haolo betsaka indrindra eto Amerika .
(trg)="15"> Mji huu una baadhi ya majengo ambayo ni mazuri sana katika dunia, lakini pia una namba kubwa ya majengo yaliyotelekezwa katika nchi ya Marekani

(src)="14"> Monina eo akaikin 'io trano io aho , dia nieritreritra aho hoe ahoana no ataoko hanatsarana io toerana io mba hanome endrika ny tanàna , ary koa nieritreritra zavatra hafa aho izay nanova ny fiainako mandrakizay .
(trg)="16"> Ninaishi karibu na nyumba hii , na nilifikiri ni jinsi gani ninavyoweza kuifanya kuwa sehemu nzuri kwa ajili mtaa wangu , na pia niliwaza kuhusu kitu kingine ambacho kilibadilisha maisha yangu milele

(src)="15"> Tamin 'ny 2009 , nodimandry izay olona akaiky ahy izay .
(trg)="17"> Mwaka 2009, nilifiwa na mtu ambaye nilimpenda sana ,

(src)="16"> Joan no anarany , toy ny reniko no fandraisako azy , ary tampoka tamiko sy tsy nampoiziko ny nahafatesany .
(trg)="18"> Jina lake ni Joan, na alikuwa ni mama yangu
(trg)="19"> Kifo chake kilikuwa cha ghafla bila kutarajiwa

(src)="17"> Dia lasa saina momban 'ny fahafatesana aho , sy ny hoe tokony hahay hisaotra noho ireo andro rehetra niainako aho , ary nampisokatra ny saiko izany momba ny zavatra manan- danja rehetra amin 'ny fiainako manomboka izao .
(trg)="20"> Niliwaza sana kuhusu kifo na hii ilinifanya nijae moyo wa shukrani kwa muda nilio nao na ilinisaidia kuangalia vizuri vitu vyenye maana katika maisha yangu kwa sasa .

(src)="18"> Ka miady ho an 'io tanjona io aho amin 'ny fiainako andavanandro .
(trg)="21"> Lakini napata shida kudumu katika hali hii katika maisha yangu ya kila siku .

(src)="19"> Hitako fa mora voafangoky ny fiainana isika , ka manadino ny tena manan- danja marina .
(trg)="22"> Nahisi ni rahisi kusongwa na matukio ya kila siku , na kusahau mambo ya maana hasa kwako .

(src)="20"> Noho izany, noho ny fanampian 'ireo namana tranainy sy vaovao dia novaiko ny ilan 'ilay trano io haolo ho lasa solaitra be ary tamin 'ny " pochoir " no nandokoana ireo fehezanteny manao hoe : " Alohan 'ny hahafatesako , te - ... "
(trg)="23"> Kwa hiyo kwa msaada wa marafiki wa zamani na wapya ,
(trg)="24"> Niligeuza upande wa nyumba hii iliyotelekezwa na kuwa ubao mkubwa sanana kuuwekea karatasi nyembamba na sentensi ambayo ilitakiwa ijazwe ikisema
(trg)="25"> " Kabla sijafa, nataka

(src)="21"> Ireo olona rehetra mandalo eo dia afaka mandray tsaoka , mieritreritra ny fiainany ary manoratra ireo hetahetany manokana eo amin 'io toerana io .
(trg)="26"> Kwa hiyo kila aliyepita aangeweza kuchukua chaki , kutafakari maisha yake, na kutoa mawazo yake katika eneo la wazi sikujua niwaze nini kuhusu jaribio hili

(src)="22"> Mbola tsy fantatro izay ho fivoaran 'ity andrana ity , kanefa ny ampitso ihany dia feno tanteraka ilay rindrina , ary nitohy hatrany ny famenoana azy teo .
(trg)="27"> lakini mpaka siku iliyofuata , ukuta wote ulijaa na uliendelea kukua . na ningependa nitawashirikisha vitu vichache ambavyo watu waliandika katika ubao huu .

(src)="23"> Hampiseho hafatra vitsivitsy nosoratan 'ny olona teo amin 'io rindrina io aho . " Alohan 'ny hahafatesaka , te- hotsaraina amin 'ny asa jiolahi- tsambo aho . " ( Hehy )
(src)="24"> " Alohan 'ny hahafatesako , te- hanitsaka ny tsipiky ny daty iraisampirenena aho . " " Alohan 'ny hahafatesako , hihira manoloana olona an- tapitrisany aho . "
(trg)="28"> " Kabla ya kufa, ningependa nishitakiwe kwa uharamia . " ( Vicheko ) . " Kabla ya kufa, nataka kusafiri kuufuata mstari wa kimataifa wa tarehe "

(src)="25"> " Alohan 'ny hahafatesako , tsy maintsy mamboly hazo aho . "
(trg)="30"> " Kabla ya kufa, nataka nipande mti . "

(src)="26"> " Alohan 'ny hahafatesako , te- hiaina tsy misy fifandraisana aho . "
(trg)="31"> " Kabla ya kufa, nataka niishe bila kutegemea umeme . "

(src)="27"> " Alohan 'ny hahafatesako , te- hamihina azy indray mandeha farany aho . "
(trg)="32"> " Kabla ya kufa, nataka nimkumbatie tena kwa mara nyingine . "

(src)="28"> " Alohan 'ny hahafatesako , tsy maintsy hanavotra olona aho . "
(trg)="33"> " Kabla ya kufa, nataka niwe askari wa farasi . "

(src)="29"> " Alohan 'ny hahafatesako , te- hijanona amin 'ny maha- izaho ahy hatrany aho . "
(trg)="34"> " Kabla ya kufa, nataka kuwa peke yangu . "

(src)="30"> Io toerana tsy misy mpiraharaha io zao lasa mampivelatra , ireo fanantenana sy nofinofin 'ny olona dia nisy nampihomehy ahy , nisy nampitomany ahy , ary koa nanambitamby ahy tamin 'ireo fotoan- tsarotra .
(trg)="35"> Kwa hiyo sehemu hii iliyotelekezwa ikageuka kuwa sehememu ya matengenezo , matumaini na maono ya watu ilinifanya nicheke , nilie na kwa njia hii walinifariji katika wakati wangu mgumu .

(src)="31"> Ny zava- dehibe dia ny fahalalana fa tsy irery isika .
(trg)="36"> Ni kwa ajili ya kujua kuwa hauko peke yako .

(src)="32"> Ahafahana mifankafantatra tamin 'ireo mpifanila- bodirindrina io tamin 'ny fomba vaovao sy mahafinaritra .
(src)="33"> Fanomezana toerana ny fieritreretana sy fandinihana lalina izao , sy fitadidiana ireo tena manan- danja rehefa mitombo sy miova isika .
(src)="34"> Tamin 'ny herintaona no nataoko io tetikasa io ary naharay hafatra an- jatony tamin 'ireo olona liana te- hanangana rindrina toa io any amin 'ny fokontaniny aho , noho izany izaho sy ireo mpiara- miasa amiko dia nanamboatra " kit " ary ankehitriny firenena maro no efa ahitana rindrina toa io toy ny any Afrika Atsimo , Kazakhstan , any Aostralia , any Argentine sy ny maro hafa .
(trg)="37"> Ni kwa ajili ya majirani zetu kwa njia mpya na za kupendeza ni kwa aajili ya kuwa na nafasi ya kutafakari na kuwaza yale unayoyapenda kuwa nayo na kukumbuka ni nini hasa ambacho ni cha muhimu kwa wengi wetu kadiri tunavyokua na kubadilika nilifanya hivi mwaka jana , na nikaanza kupokea mamia ya jumbe kutoka kwa watu ambao walitaka kutengeneza mbao na kuta kama hii katika jamii zao , kwa hiyo washirika wangu na mimi tukatengeneza boksi la vifaa vinavyohitajika kwa ajili ya kazi hii na kwa sasa kuta kama hii zimetengenezwa sehemu mbalimbali duniani ,

(src)="35"> Isika miaraka dia afaka mampiseho fa ny toerana andalambe dia fitaovana lehibe ahafahana maneho hevitra sy mifampizara izany amin 'ny hafa .
(trg)="41"> Pamoja, tumeonyesha jinsi sehemu za wazi zinavyoweza kuwa na uwezo mkubwa kama tutapewa nafasi ya kuongea na kushirikishana .

(src)="36"> Ireo zavatra roa sarobidy ananantsika dia ny fotoana sy ny fifandraisana amin 'ny hafa .
(trg)="42"> Vitu vya thamani zaidi tulivyo navyo ni muda na mahusiano yetu na watu wengine

(src)="37"> Vanimpotoana mahabetsaka ny rendrarendra izao , zava- dehibe anefa ny fitazonana tanjona sy fitadidiana hatrany fa fohy ary malemy ny fiainana .
(trg)="43"> Katika wakati huu ambao kuna mambo mengi ya kututoa katika mambo muhimu ,
(trg)="44"> Ni muhimu sana kutafuta njia za kudumu katika mambo muhimu na kukumbuka kuwa maisha ni mafupi na mepesi

(src)="38"> Matahotra hiresaka momban 'ny fahafatesana isika , na tsy te- hieritreritra izany mihitsy aza , kanefa mahatsapa aho fa ny fiomanana amin 'ny fahafatesana dia isan 'ny fandraisana andraikitra lehibe afaka ataontsika .
(src)="39"> Ny fieritreretana ny fahafatesana vao mainka manazava ny fiainana .
(trg)="45"> Mara nyingi tunavunjwa moyo kuongelea kuhusu kifo au kuwaza kuhusu kifo, lakini nimetambua kuwa kujiandaa na kifo ni moja kati ya vitu vya kukujenga sana kufikiri kuhusu kifo , kunayafafanua maisha yako .

(src)="40"> Ireo toerana hifandraisantsika dia ahafahana mitaratra ny zava- dehibe amin 'ny maha- singan 'olona sy amin 'ny fiaraha- monina koa .
(src)="41"> Misy fitaovana maro ahafahana mizara fanantenana , ahiahy ary tantara , afaka manampy antsika ireo olona manodidina antsika amin 'ny fanavaozana ireo toerana tsizarizary ahafahana manatsara ny fiainana .
(trg)="46"> Maeneo ya wazi na jamii yote yanaweza yakaonyesha ni kitu gani muhimu kwetu kwa mtu mmoja mmoja na kama jamii , na tukiwa na njia nyingi za kushirikishana matumaini , hofu na hadithi zetu , watu wanaotuzunguka sio tu wanaweza kutusaidia kufanya maeneo haya kuwa mazuri , lakini wakaishi vizuri pia .

(src)="43"> ( Tehaka ) ( Tehaka )
(trg)="47"> Asante . ( Makofi ) ( Makofi )

(src)="44"> Misaotra .
(src)="45"> ( Tehaka ) ( Tehaka )
(trg)="48"> Asante . ( Makofi ) ( Makofi )