# ase/HTaK8SKkNvVy.xml.gz
# swa/HTaK8SKkNvVy.xml.gz


(src)="1"> [ STANFORD UNIVERSITY www . stanford . edu ]
(trg)="1"> [ Chuo Kikuu cha Stanford www . stanford . edu ]

(src)="2"> Announcer :
(trg)="2"> Mtangazaji :

(src)="3"> This program is brought to you by Stanford University .
(trg)="3"> Kipindi hiki kimewaletea na Chuo Kikuu cha Stanford .

(src)="4"> Please visit us at stanford . edu
(trg)="4"> Tafadhali wasiliana nasi kwa stanford . edu

(src)="5"> [ APPLAUSE ]
(trg)="5"> [ upigaji makofi ]

(src)="6"> Thank you
(trg)="6"> Steve Jobs :
(trg)="7"> Asanteni

(src)="7"> [ Steve Jobs - CEO , Apple and Pixar Animation ]
(trg)="8"> [ Steve Jobs - Mkurugenzi Mkuu Apple na Pixar Animation ]

(src)="8"> I 'm honored to be with you today for a commencement from one of the finest universities in the world .
(trg)="9"> Ni heshima kwangu kuwepo na nyinyi katika sherehe ya mahafali ya kutunuku shahada kutoka katika chuo kikuu ambacho ni kimojawapo bora katika dunia nzima .

(src)="9"> [ CHEERING ]
(trg)="10"> [ ukelele wa kufurahia ]

(src)="10"> Truth be told , I never graduated from college and this is the closest I' ve ever gotten the college graduation .
(trg)="11"> Kusema kweli mimi sijatunukiwa shahada ya chuo kikuu na hii ni mara yangu ya kwanza kuhudhuria mahafali yoyote .

(src)="11"> [ LAUGHTER ]
(trg)="12"> [ vicheko ]

(src)="12"> Today , I want to tell you three stories from my life .
(src)="13"> That 's it :
(trg)="13"> Leo naomba niwasimulie visa vitatu vilivyotokea maishani mwangu .

(src)="14"> No big ideal , just three stories .
(trg)="14"> Vitatu tu , basi .

(src)="15"> The first story is about connecting the dots .
(trg)="15"> Cha kwanza ni juu ya kuunganisha nukta .

(src)="16"> I dropped out of Reed College after the first 6 months , but then stayed around as the drop- in for another 18 months or so before I really quit .
(trg)="16"> Niliacha masomo katika Chuo cha Reed baada ya muda wa miezi sita za kwanza katika mwaka wa kwanza , halafu nikakaa kama mgeni kwa muda wa miezi kumi na nane hivi kabla ya kusimamisha masomo kabisa .

(src)="17"> So why did I drop out ?
(trg)="17"> Kwa nini niliacha masomo ?

(src)="18"> It stared before I was born .
(trg)="18"> Sababu inatangulia kuzaliwa kwangu .

(src)="19"> My biological mother was a young , unwed graduate student , and she decided it to put me up for adoption .
(trg)="19"> Mama mzazi yangu alikuwa msichana hajaolewa alikuwa akitimiza shahada ya uzamili akaamua niwe mtoto wa kupanga .

(src)="20"> She felt very strongly that I should be adopted by college graduates , so everything was all set for me to be adopted at birth by a lawyer and his wife ..
(trg)="20"> Alikuwa na msimamo wa dhati nilelewe na watu waliotimiza shahada ya chuo kikuu .
(trg)="21"> Kwa hivyo mpango ukafanyika niasiliwe na mwanasheria na mkewe .

(src)="21"> Except that when I popped out they decided at the last minute that they really wanted a girl .
(trg)="22"> Isipokuwa nilipoibuka mtoto wa kiume dakika la mwisho wakaamua wanataka mtoto wa kike .

(src)="22"> So my parents , who were on a waiting list , got a call in the middle of the night asking :
(trg)="23"> Kwa hivyo wazazi wangu walioandikwa katika orodha ya wanaosubiri kumwasili mtoto walipigiwa simu usiku wa manane na wakaulizwa :

(src)="23"> " We 've gotten an unexpected baby boy ; do you want him ? " They said :
(trg)="24"> " Tumepata mtoto wa kiume asiyetarajiwa ; mnamtaka ? "
(trg)="25"> Wakajibu :

(src)="24"> " Of course . "
(trg)="26"> " Bila shaka . "

(src)="25"> My biological found out later that my mother had never graduated from college and that my father had never graduated from high school .
(trg)="27"> Baadaye mama mzazi yangu aligundua mama yangu alikuwa hajamaliza chuo kikuu huku mumewe baba yangu hajamaliza shule ya sekondari .

(src)="26"> She refused to sign the final adoption papers .
(trg)="28"> Akakataa kutia sahihi hati maalum ya kuasiliwa .

(src)="27"> She only relented a few months later when my parents promised that I would go to college .
(trg)="29"> Baada ya miezi michache kupita akakubali shingo upande kutokana na ahadi ya wazazi wapya ya kuwa mimi nitasoma chuo kikuu .

(src)="28"> This was the start in my life .
(trg)="30"> Hayo ndiyo yalikuwa mwanzo wa maisha yangu .

(src)="29"> And 17 years later I did go to the college .
(trg)="31"> Baada ya miaka kumi na saba kupita nilianza chuo kikuu lakini katika ushamba wangu nikachagua chuo ghali karibu sawa na Stanford .

(src)="30"> But I naively chose the college that was almost as expencise as Stanford , and all of my working- class parents saving were being spent on my college tuition .
(trg)="32"> Pesa zote za akiba ya wazazi wangu tabaka yao ya wafanya kazi , zilitumika kulipia ada zangu za chuo kikuu .

(src)="31"> After 6 months , I couldn 't see the value in it .
(trg)="33"> Baada ya muda wa miezi sita sikuona thamani ya masomo hayo .

(src)="32"> I have no idea what I wanted to do with my life and no idea how college was going to help me figure it out .
(trg)="34"> Sikuwa na mpango wa maisha mbali na uwezo wa chuo kunisaidia katika kufafanua mpango upi unanifaa zaidi .

(src)="33"> And here I was spending all the money my parents had saved their entire life .
(trg)="35"> Huku nikitumia pesa zote za akiba ya maisha ya wazazi wangu .

(src)="34"> So I decided to drop out and trust that it would all work out OK .
(trg)="36"> Basi nikakata shauri kuachana na masomo nikiamini mambo yatakuwa shwari .

(src)="35"> It was pretty scary at the time , but looking back it was a one of the best decisions I have made .
(trg)="37"> Wasiwasi ilinikumba wakati huohuo lakini sasa nikilitafakari shauri hilo ni miongoni mwa yale bora katika maisha yangu .

(src)="36"> [ LAUGHTER ]
(trg)="38"> [ vicheko ]

(src)="37"> The minute I dropped out I could stop taking the required classes that didn 't interest me . and begin dropping in on the ones that looked far more interesting .
(trg)="39"> Pindi tu nilipoachana sikulazimishwa kuchukua madarasa yale ambayo hayakunivutia .
(trg)="40"> Nikaenda kwa yale yaliyovutia kwangu .

(src)="38"> It wasn 't all romantic .
(trg)="41"> Sikuwa na maisha ya starehe .

(src)="39"> I didn 't have a dorm room , so I slept on the floor in friend 's rooms .
(trg)="42"> Sikuwa na chumba katika bweni .
(trg)="43"> Ilibidi nilale sakafuni katika vyumba vya marafiki .

(src)="40"> I returned coke bottles for the 5ยข deposits to buy food with .
(trg)="44"> Nilikuwa nikiokota chupa kupata senti za kununulia chakula .

(src)="41"> And I would walk the 7 miles across town every Sunday night to get one good meal a week at the Hare Krishna temple
(trg)="45"> Kila Jumapili mimi hutembeza maili saba ili nipata lishe maalum katika hekalu ya Wahindi wafuasi wa dini ya Hare Krishna .

(src)="42"> I loved it .
(trg)="46"> Niliipenda mno .

(src)="43"> And much of what I stumbled into by following my curiosity and intuinition turned out to be priceless later on .
(trg)="47"> Mengi niliyowahi kutokana na upekuzi wangu pamoja na uwezo wangu kuelewa yakawa adimu nyakati za baadaye .

(src)="44"> Let me give you one example :
(trg)="48"> Hebu , nitoe mfano mmoja :

(src)="45"> Reed College at that time offered perhaps the best calligraphy instruction in the country .
(trg)="49"> Wakati huo Chuo cha Reed kilikuwa na ufundisho bora wa utaalamu wa maandiko kuliko vyuo vyote vingine nchini .

(src)="46"> Throughout the campus every poster , every label on every drawer , was beutifully hand- calligraphed .
(trg)="50"> Kwenye eneo la chuo kila tangazo , kila kitambulisho kwenye mitoto ya meza kilichorwa vizuri sana .

(src)="47"> Because I was dropped out and didn 't have to take the normal classes , I decided to take a calligraphy class to learn how to do this .
(trg)="51"> Kwa sababu nimeshajitoa masomoni sikulazimishwa kuchukua madarasa yanayotakiwa na nikaamua kuchukua darasa la utaalamu wa maandiko nijifunze jinsi ya kufanya .

(src)="48"> I learned about serif and san serif typefaces , about varying the amount of space between different letter combinations , about what makes grat typography great .
(trg)="52"> Nilijifunza aina za chapa mifano ni serif na sans serif , juu ya upimaji nafasi katikati ya michanganyiko tofauti ya herufi , na juu ya ukamilifu wa utaalamu wa maandiko , kitu gani kinaleta ukamilifu .

(src)="49"> It was beautiful , historical , artistically subtle in a way that science can 't capture , and found it fascinating .
(trg)="53"> Kujifunza huko kulikuwa kuzuri , kwenye usanaa usio na kujivuna mbali na mazingira ya kisayansi , kwangu mimi nilivutiwa kupindukia .

(src)="50"> None of this had even a hope of any practical application in my life
(trg)="54"> Sikuwa na matumaini ya kuyatumia masomo hayo katika kazi nitakayofanya ,

(src)="51"> But ten years later when we was designing the first Macintosh computer , it all came back to me .
(trg)="55"> Lakini baada ya muda wa miaka kumi kupita tulipokuwa tunabunia tarakilishi ya kwanza aina ya Mactintosh nikafikiria upya mafundisho hayo .

(src)="52"> And we designed it all ino the Mac .
(src)="53"> It was the first computer with beautiful typography .
(trg)="56"> Tulitumia kabisa katika ubunaji wa Mac ambayo ilikuwa tarakilishi ya kwanza kuwa na utaalamu mzuri wa maandiko .

(src)="54"> If I had never dropped in on that single course in college , the Mac would have never had multiple typefaces or proportionally spaced fonts .
(trg)="57"> Nisingeli kuwa mgeni katika darasa hilo nilipokuwa ninahangaika kwenye chuo , tarakilishi iitwayo Mac haikungali kuwa na aina nyingi za herufi wala herufi zenye uwiano wa nafasi za katikati zao .

(src)="55"> And since Windows just copied the Mac , it 's likely that no personal computer would have them .
(trg)="58"> Na kwa sababu Windows iliiga Mac haielekei tarakilishi za kibinafisi zozote zingekuwa nazo kamwe .

(src)="56"> [ LAUGHTER AND APPLAUSE ]
(trg)="59"> [ vicheko na upigaji makofi ]

(src)="57"> If I have never dropped out , I would have never dropped in on this calligraphy class , and personal computers might not have the wonderful typography that they do .
(trg)="60"> Nisipongeliachana na masomo singalipitia darasa lile la utaalamu wa maandiko . matokeo yake tarakilishi ya kibinafsi hazingekuwa na vivutio kiasi zinazokuwa nazo .

(src)="58"> Of course , it was impossible to connect the dots looking forward when I was in college .
(trg)="61"> Bila shaka ilikuwa haiwezekani kuunganisha nukta zitakazokuja mambo ya usoni nilipokuwa chuoni .

(src)="59"> But it was very , very clear when you looking backward 10 years later .
(trg)="62"> Lakini mambo yakadhihirika kweupe nikirudia nyuma baada ya muda wa miaka kumi kupita .

(src)="60"> Again , you can 't connect the dots looking foward ; you can only connect them looking backwards .
(trg)="63"> Kutia mkazo kauli hiyo , huwezi kuunganisha nukta za mambo ya usoni ; ni zile tu zilizokwisha fanyika ambazo zinaweza kuzingatiwa ziunganishwe ,

(src)="61"> So you have to trust that the dots will somehow connec in your future .
(trg)="64"> Lazima uamini nukta za baadaye zitaunganika katika maisha yako ya baadaye .

(src)="62"> You have to trust in something - your gut , destiny , life , karma , whatever .
(trg)="65"> Sharti uwe na uaminifu wa huenda moyo wako , majaliwa , maisha , hulka zako , na kadhalika .

(src)="63"> Because beliving that the dots will connect down the road will give you the confidence to follow your heart , even when it leads you off the well- worn path , and that will make all the difference .
(trg)="66"> Kwa sababu kuamini nukta zitaunganika baadaye kutakutilia moyo na imani kupiga njia uliyoinyoshea wewe mwenyewe .
(trg)="67"> Hata ukifuata njia isiyo ya kawaida , uaminifu ndio utakunyoshea .

(src)="64"> My second story is about love and loss .
(trg)="68"> Kisa changu cha pili ni juu ya upendo na kukosa upendo .

(src)="65"> I was lucky - I found what I loved to do early in life ,
(trg)="69"> Mimi nilibahatika - nilipata kujua ninavyopenda kufanya nikiwa bado mvulana .

(src)="66"> Woz and I started Apple in my parent 's garage when I was 20 .
(trg)="70"> Mimi pamoja na rafiki yangu jina lake Woz tulianzisha kampuni la Apple kwenye kibanda cha gari nyumbani kwao wazazi wangu na mimi nikiwa na umri wa miaka ishirini .

(src)="67"> We worked hard , and in 10 years Apple had grown from just two of us in a garage into a $2 billion company with over 4000 employees .
(trg)="71"> Tulifanya kazi kwa bidii na baada ya muda wa miaka kumi kampuni ya Apple iliyoanzia na watu wawili sisi tukiwa kwenye kibanda , ilikua kupata thamani ya dola bilioni mbili ikiwa na waajiriwa zaidi ya elfu nne .

(src)="68"> We 'd just released our fiinest creation - the Macintosh - a year earlier , and I 'd just turned 30 .
(trg)="72"> Tulikuwa tumetoa maumbile yetu bora - Macintosh , mwaka mmoja kabla , nami nikipata umri wa miaka thelathini .

(src)="69"> And then I got fired .
(trg)="73"> Kisha nikafukuzwa kazini .

(src)="70"> How can you get fired from a company you started ?
(trg)="74"> Je , inawezaje kufukuzwa kutoka kampuni uliyoanzisha wewe mwenyewe ?

(src)="71"> Well , as Apple grew we hired someone who I thought very talented to run the company with me , and for the first year or so things went well .
(trg)="75"> Basi kama kampuni ya Apple ilivyoendelea kukua tukaajiri mtu mwenye kipaji kizuri kuongoza kampuni akiwa na mimi , na mwaka wa kwanza mambo yakawa shwari .

(src)="72"> But then our visions of future began to diverge and eventually we had a falling out .
(trg)="76"> Halafu baada ya hapo mitazamo yetu ikaanza kutengana hatimaye tukafarakana .

(src)="73"> When we did , our Board of Directors sided with him .
(trg)="77"> Tulipofarakana baraza letu la wakurugenzi wakamuunga mkono yeye .

(src)="74"> And so at 30 I was out .
(src)="75"> And very publicly out .
(trg)="78"> Kwa hivyo nikiwa na umri wa miaka thelathini nilifukuzwa kazi bayana ikatangazwa kwenye magazeti .

(src)="76"> What had been the focus of my entire adult life was gone , and it was devastating .
(trg)="79"> Kitu kilichokuwa kitovu cha maisha yangu nikiwa mtu mzima kimekwisha , nami nikadhoofika .

(src)="77"> I really didn 't know what to do for a few months .
(trg)="80"> Kwa muda wa miezi michache , kweli nilikuwa sikujua la kufanya .

(src)="78"> I felt that I had let the previous generation of entrepreneurs down - that I had dropped the baton as it was being passed to me .
(trg)="81"> Niliona nimewasikitisha wale wajasiriamali wa kizazi kilichotangulia - nikashindwa kubeba amali ilyonipasa niibebe .

(src)="79"> I met with David Packard and Bob Noyce and tried to apologize for screwing up so badly .
(trg)="82"> Tulikutana na David Packard pamoja na Bob Noyce nikaomba radhi kwa kuharibu mambo .

(src)="80"> I was a very public failure , and I even thought about running away from the Valley .
(trg)="83"> Kushindwa kwangu kulijulikana na wengi hata nilifikiri kukimbia Bonde .

(src)="81"> But something slowly began to drawn on me - I still loved what I did .
(trg)="84"> Lakini katika mwendo polepole nilitanabahi ya kuwa bado niliipenda kazi yangu .

(src)="82"> The turn of events as Apple had not changed that one bit .
(src)="83"> I been rejected , but I was still in love .
(trg)="85"> Mambo yaleyale ya mabadiliko pale Apple hayajaubadilisha upendo wangu hata kidogo .

(src)="84"> And so I dicided to star over .
(trg)="86"> Kwa hivyo basi nikaamua kuanzia upya .

(src)="85"> I didn 't see it then , but it turned out that getting fired from Apple was the best thing that could have ever happened to me .
(trg)="87"> Sikufahamu wakati huohuo mambo yakawa kufukuzwa kwangu Apple kulinifanyia mema kwa kiwango cha juu .

(src)="86"> The heaviness of being successful was replaced by the lightness of being a beginner again , less sure about everything .
(trg)="88"> Uzito ulionitwisha wa kufaulu kwangu ulichukuliwa na urahisi wa kuwepo mwanzoni kwa mara nyingine , nikiwaza na kuwazua .

(src)="87"> It freed me to enter one of the most creative periods of my life .
(trg)="89"> Niliachiliwa huru kuanzisha muda wa ubunaji ulionufaika zaidi katika maisha yangu yote .

(src)="88"> During the next five years , I started a company named NeXT , another company named Pixar , and fell in love with an amazing woman who would become my wife .
(trg)="90"> Katika miaka mitano iliyofuata nilianzisha kampuni jina lake , NeXT , nyingine jina lake Pixar , nikampenda kwa dhati mwanamke wa aina yake akawa mke wangu .

(src)="89"> Pixar went on to create the world 's first computer aminated feature film , Toy Story , and is now the most successful animation studio in the world .
(trg)="91"> Kampuni Pixar ikabunia sinema ya tarakilishi ya katuni hai ya kwanza katika dunia iitwao Toy Story halafu sasa Pixar imefaulu kushinda kampuni za katuni hai zote katika dunia .

(src)="90"> [ APPLAUSE AND CHEERING ]
(trg)="92"> [ upigaji makofi na ukelele wa kufurahia ]

(src)="91"> In a remarkable turn of events , Apple bought NeXT and I returned to Apple .
(src)="92"> And the technology we was developed at NeXT is at the heart of Apple 's current renaissance .
(trg)="93"> Katika mabadiliko hayo ya matukio yasiyo na kifani , kampuni ya Apple ilinunua kampuni ya NeXT nami nikarudia Apple , huku teknolojia iliyoundwa kampuni ya NeXT ikawa chimbuko la mvuvumko wa Apple wa leo hii .

(src)="93"> And Laurene and I have a wonderful family together .
(trg)="94"> Isitoshe mimi pamoja na mke wangu tumebarikiwa na familia nzuri mno .

(src)="94"> I 'm pretty sure none of this would have happed if I hadn 't been fired from Apple .
(trg)="95"> Nina hakika mambo hayo yote hakungalifanikiwa endapo mimi nisipongelifukuzwa kazi Apple .

(src)="95"> It was awful tasting medicine , but I guess the patient needed it .
(trg)="96"> Ilikuwa dawa chungu kabisa lakini nakisia mimi nikiwa mgonjwa niliihitaji .

(src)="96"> Sometime life can hit you in the head with a brick .
(trg)="97"> Wakati mwingine unapigwa kichwani na maisha .

(src)="97"> Don 't lose faith .
(trg)="98"> Usipoteze imani .

(src)="98"> I 'm convinced that the only thing that kept me going was that I loved what I did .
(trg)="99"> Mimi ninaamini ndio upendo wa kazi yangu ulionisukuma niendelee nayo .

(src)="99"> You 've got find what you love .
(src)="100"> And that is as true for work as it is for your lovers .
(trg)="100"> Huna budi kutafuta lile unayolipenda ama ni kazi au wapenzi wako .

(src)="101"> Your work is going to fill a large part of your life , and the only way to be truly satisfied is to do what you believe is the great work .
(trg)="101"> Kazi yako hula sehemu kubwa sana ya maisha yako , njia pekee kuridhika nayo ni kufanya ile unayoamini ni kazi muhimu mno .

(src)="102"> And the only way to do great work is to love what you do .
(trg)="102"> Pia njia ya pekee katika kufanya kazi muhimu mno ni kupenda unayoifanya .

(src)="103"> If you haven 't found it yet , keep looking and don 't settle .
(trg)="103"> Endapo bado hujaikuta , endelea kuitafuta usikubali kwa shingo upande .

(src)="104"> As with all matters of the heart , you 'll when you find it .
(trg)="104"> Kama yalivyo katika mambo ya mapenzi , utafahamu ndipo utakapoikuta .

(src)="105"> And like any great relationship , it just better and better as the years roll on .
(trg)="105"> Na kama yalivyo katika uhusiano wa kimapenzi kila ukipita wakati , nao unaendelea kuboreka .

(src)="106"> So keep looking .
(src)="107"> Don 't settle .
(trg)="106"> Kwa hivyo endelea kuitafuta usikubali kwa shingo upande .