Petro.
彼得


Hukuweza kuesha pamoja nami hata kwa saa moja ?
你难道不能和我一起守望一小时吗

Mwalimu, ni nini kimekukuta ?
主人 你发生什么事了

Je, niwaite wengine, Mwalimu?
我是否该去叫唤其他人 主人

Hapana, Yohana. Sitaki wanione hivi.
不要 约翰 我不想让人看见我这个样子

Je, uko hatarini? Je, tukimbie, Mwalimu?
你有危险吗 我们是否该逃走 主人

Kaa hapa.
留下 守望

Tazama ombeni.
祷告

Ana shida gani?
他怎么了

Anaonekana mwenye hofu.
他好像很害怕

Alizungumza juu ya hatari wakati tunakula ...
吃饭时他说过会有危险

Alitaja usaliti na...
他提到说有人背叛 还有

Thelathini.
30元

Thelathini, Yuda.
30元 犹大

Hayo yalikuwa makubaliano kati yangu... nawe?
那是我和你都同意的 对吧

Wapi?
在哪里

Yuko wapi?
他在哪里

Nisikilize, Baba.
天父 聆听我祷告

Inuka, unitetee.
求你兴起 保护我

Niokoe na hila walizopanga.
从他们为我设下的陷阱中救拔我

Unaamini kweli kwamba mwanadamu mmoja anaweza kubeba mzigo wa dhambi za watu wote?
你真的相信 他能承受 所有罪的重担

Unilinde, Ee Bwana.
主啊 保护我

Ninakutumaini Wewe.
我信靠你

Kwako nakimbilia.
你是我藏身处

Hakuna mwanadamu anayeweza kubeba mzigo huu Nakuambia.
我告诉你 没有人能承担这个担子

Ni mzito mno.
这担子太沉重了

Kuokoa roho zao ni gharama kubwa sana.
拯救所有人的灵魂代价太高了

Hakuna mtu. Milele.
没人能做到

Hapana.
没有

Haitowezekana Kamwe.
绝不可能的

Baba, unaweza kufanya mambo yote.
父啊 你是无所不能的

Ikiwezekana, kikombe hiki kiniepuke
倘若可行 不要叫这杯临到我

Lakini mapenzi yako yatimie na si mapenzi yangu.
然而 不要照我的意思 只要照你的意思

Baba yako ni nani?
谁是你的天父

Wewe ni nani?
你是谁

Mnamtafuta nani?
你们找谁

Tunamtafuta Yesu wa Nazareti.
我们找拿撒勒人耶稣

Mimi ndiye.
我就是

Salamu, Mwalimu!
嗨 老师

Yuda wamsaliti Mwana wa Adamu kwa kumbusu?
犹大 你用亲吻做暗号 来出卖人子吗

Petro!
彼得

Rudisha upanga wako!
收刀入鞘

Wale waishio kwa upanga, watakufa kwa upanga.
凡动刀的必死在刀下

Rudisha upanga wako!
放下刀

Malko! Simama!
马丘斯 起来

Tumemkamata. Twende!
我们逮到他了 走吧

Nini, Maria? Ni nini?
怎么啦 马利亚 怎么啦

Sikiliza...


"Kwa nini usiku huu upo tofauti?"
今夜为何与其他夜不同

"Kwa sababu hapo awali tulikuwa watumwa ...
因为我们以前是奴隶