Dio è grande, glorioso, maestoso al di sopra di ogni cosa.
Mungu ni mkuu sana. Uweza wake ni mkuu kuliko vyote.
I cieli raccontano la sua potenza, il firmamento manifesta la sua meravigliosa creazione.
Aliumba mbingu na nchi na vyote ndani yao. Tukiangalia kila kitu Mungu alichofanya inashangaza.
Giorno dopo giorno, ci parlano di Lui, ed ogni notte lo fanno conoscere.
Kila kitu Mungu alichoumba kilikuwa chema.
Quando Dio creò i cieli, creò anche la terra, e dalla polvere della terra formò l'uomo e vi soffiò nelle narici un alito di vita.
Mungu aliumba mimea na wanyama. Kisha, akamfanya mtu kutoka udongo. Alimpulizia puani pumzi yake, na kumpa uhai.
Il Dio d'amore creò l'uomo e la donna a sua immagine perché potessero essere in relazione con lui.
Kisha Mungu alichukua ubavu mmoja wa Adamu, Na kutoka huo akamuumba mwanamke kuwa mke na mwenzi wake. Aliitwa Hawa.
Così in principio essi rispettavano e onoravano Dio e vivevano in armonia con Lui.
Mungu aliumba mwanaume na mwanamke, na baadhi ya sifa zake, ili waweze kufurahia uhusiano wa karibu naye.
E fu così, fino al giorno in cui Satana tentò la donna, per indurla a mangiare il frutto proibito.
Unaweza kula matunda yo yote ya miti katika bustani, kasoro mmoja. Ikiwa utakula tunda kutoka mti huo utakufa.
Lei lo diede all'uomo e anch'egli ne mangiò.
Siku moja Shetani alimjaribu Hawa, kula tunda lile.
Così facendo, l'umanità si ribellò a Dio e scelse di seguire la propria strada.
Alichukua lile tunda akala sehemu, na pia mumewe akala. Walifanya hivi kwa sababu walimwamini Shetani kuliko Mungu.
A causa di questo peccato l'uomo fu separato da Dio e cacciato dal giardino dell'Eden, ma Dio amava ancora l'umanità, il suo desiderio non era certo quello di essere separato da coloro che aveva creati.
Hivyo Mungu alimfukuza Adamu na Hawa kutoka bustani ya Edeni. Waliteseka kwa aibu hii, kwa sababu hawakumtii Mungu. Matokeo yake kwa Adamu na Hawa na uzao wao wote ni mateso na kifo.
Tuttavia come può Dio essere Santo e fonte della giustizia perfetta se non giudica l'umanità per i suoi peccati.
Aliendelea kuwapenda sana wanadamu. Alikuwa ameandaa njia kwa wao kurudi, na kuishi katika ushirika naye tena.
Nel suo Libro santo Dio rivela il suo piano per salvare il mondo dal giudizio.
Katika maandiko Mungu anaonyesha mpango wake wa kuokoa wanadamu, kutoka adhabu waliyostahili, kwa kuondoa dhambi yao na aibu.
Abramo fu uno dei primi a conoscere questo progetto.
Mungu alionyesha sehemu ya mpango huu kwa Abrahamu.
Abramo era un uomo giusto,
Mungu alimwahidi kumbariki na kubariki watu wa mataifa yote kupitia yeye.
Dio gli promise di benedirlo e di rendere i suoi discendenti numerosi come la sabbia del mare e le stelle del cielo.
Alimwahidi kumpa uzao mwingi kama mchanga wa bahari. Na nyota za angani.
Per metterlo alla prova, Dio chiese ad Abramo di sacrificare per Lui suo figlio.
Siku moja Mungu alimjaribu Abrahamu kuona kama angeweza kumtegemea na kutii amri zake.
Abramo ebbe fiducia in Dio e volle ubbidirgli.
Abrahamu alijua kwamba ilikuwa kupitia mtoto huyo mmoja Mungu alimwahidi kumpa uzao mwingi.
Ma nel momento in cui sollevò il coltello per uccidere suo figlio, l'angelo del Signore lo fermò, vide che Abramo temeva Dio e gli ubbidiva.
Abrahamu aliinua kisu chake, "Lakini Mungu alisema; usimdhuru mtoto. Najua kwamba unamcha Mungu, na uko tayari kunitii.
Subito dopo, Abramo vide un montone impigliato per le corna in un cespuglio e lo sacrificò come offerta a Dio al posto di suo figlio.
Kisha Abrahamu aliona kondoo karibu, amejishika pembe zake katika kichaka. Abrahamu alimchukua kondoo, na kumtoa sadaka kwa Mungu badala ya mtoto wake.
In questo modo, Dio mostrò ad Abramo che un agnello, o un animale simile, doveva essere ucciso per coprire anticipatamente il peccato, fino a quando Dio non avrebbe provveduto il sacrificio definitivo che avrebbe tolto i peccati dell'umanità.
Wakati Mungu alitoa kondoo kama sadaka, ili kufa badala ya mtoto wa Abrahamu. Alimwonyesha upendo wake mkuu kwa watu. Upendo wake ni kama upendo alionao baba kwa mtoto wake.
Così come il peccato, separava l'umanità da Dio, il sacrificio ristabiliva la loro relazione.
Kupitia tukio hili, Mungu alionyesha kwamba alipanga kutoa sadaka, ili kufa badala ya wanadamu.
Le Sacre Scritture parlano di colui che doveva venire per essere il sacrificio definitivo per i peccati del mondo.
Hapo zamani Mungu alionyesha kwa manabii kwamba, angemtuma mtu asiye na dhambi. Ili afe badala ya uzao wa Adamu. na kuiondoa dhambi na aibu yao.
Come il montone fu sacrificato al posto del figlio di Abramo, così Egli avrebbe preso il posto dell'uomo, affinché quest'ultimo potesse essere perdonato.
Kwa sadaka yake kuu, angefungua njia kwa wale ambao wanamwamini, na waishi katika ushirika na Mungu, katika Ufalme wa Mungu.
Il Messia colui che sarebbe venuto per riconciliare l'umanità con Dio una volta per tutte.
Manabii walimwita mtu huyu "Masihi".
I profeti hanno predetto in dettaglio molte cose riguardo al Messia centinaia di anni prima della sua venuta.
Nabii Daudi alisema kwamba Mungu angemwelezea Masihi, "Wewe ni Mwanangu". Manabii walitumia jina la "Mwana wa Mungu" kuelezea uhusiano wa karibu na Mungu.
Il profeta Isaia ha predetto la sua nascita miracolosa.
Na wajibu wake kama Mwokozi na Mfalme wa watu wote ulimwenguni.
Una vergine concepirà e partorirà un figlio;
Nabii Isaya alisema, "bikira atapata mimba na kuzaa mtoto".
le Scritture affermano anche che questo figlio è il Figlio di Dio. Questo miracolo è avvenuto grazie allo Spirito di Dio.
Mtoto wake ataitwa Emanueli, maana yake Mungu pamoja nasi.
Il profeta Michea ha predetto che il Messia sarebbe nato a Betlemme, mentre il profeta Zaccaria ha preannunciato che Egli avrebbe fatto il suo ingresso a Gerusalemme a dorso di un'asina e che Giuda, uno dei suoi discepoli, lo avrebbe tradito.
Manabii waliandika kwamba Masihi angezaliwa Bethlehemu. Na kwamba angeingia Yerusalemu kama Mfalme wao juu ya punda. Pia waliandika kwamba, rafiki wa karibu angemsaliti kwa vipande thelathini vya fedha.
Isaia ha profetizzato ciò che il Messia avrebbe fatto al momento della sua venuta:
Manabii walisema kwamba, Masihi angetoa maisha yake.
"Il Signore mi ha unto per recare una buona notizia agli umili, per fasciare quelli che hanno il cuore spezzato, per proclamare la libertà a quelli che sono schiavi e annunciare che è giunto il tempo in cui il Signore salverà il suo popolo."
Lakini Mungu angemfufua kutoka kwa wafu. Manabii pia walisema Masihi angekuja kama mwanadamu katika mawingu na kwamba Mungu angempa mamlaka juu ya mataifa yote milele.
Chi è dunque il Messia?
Miaka 2,000 iliyopita, mtu mmoja aliishi ulimwenguni, jina lake aliitwa Yesu.
Nel primo secolo venne un profeta chiamato Gesù, alcuni pensarono che fosse colui del quale parlavano i profeti, è possibile?
Je, maisha ya Yesu, yalitimiza kile manabii walisema kuhusu "Masihi"?
La sua vita ha adempiuto quello che è stato predetto?
Filamu hii yaonyesha Yesu ni nani, na baadhi ya mambo aliyosema na kufanya.
Gesù era più di un profeta?
Kama alivyoandikwa katika Maandiko.
Un attore recita il ruolo di Gesù, e benché nessun attore sia degno di un ruolo simile, questo film è stato girato affinché possiamo capire e trarre beneficio dalla vita di Gesù.
Katika filamu hii, kuna mwigizaji wa nafasi ya Yesu. Hakuna mtu ye yote anayestahili kufanya hivi. Lakini filamu hii imetengenezwa ili watu waweze kujua na kujifunza kuhusu maisha ya Yesu.
Caro Teofilo, ti scrivo un ordinato resoconto dei fatti che sono accaduti tra noi, affinché tu conosca la verità su tutte le cose che hai sentito.
Nimeona vema mimi nami kwa kuwa nimejitafutia usahihi wa mambo hayo yote tangu mwanzo kukuandikia kwa taratibu Toefilo mtukufu ili upate kujua hakika ya mambo yale uliyofundishwa.
Al tempo di Cesare Augusto, imperatore di Roma, e di Erode re della Giudea, Dio mando l'angelo Gabriele là dov'era Maria, una vergine del villaggio di Nazaret.
Siku zile Kaisari Agusto alipotawala Rumi na Herode mkuu akiwa mfalme wa Uyahudi, malaika Gabrieli alitumwa na Mungu kwenda mpaka mji wa Nazareti kumtembelea bikira. na bikira huyo aliitwa Mariamu.
Non temere, Maria perché hai trovato grazia presso Dio.
Usiogope Mariamu kwa maana umepata neema toka kwa Mungu.
Tu concepirai e darai alla luce un figlio, che chiamerai Gesù.
Tazama utachukua mimba, na kuzaa mtoto mwanamume na jina lake utamwita "Yesu".
Com'è possibile?
Itakuwaje?
Io sono vergine.
Sijui mume.
Lo Spirito Santo verrà su di te, per questo il bambino che avrai, sarà Santo, sarà chiamato Figlio di Dio, il suo regno non avrà mai fine.
Roho Mtakatifu atakujilia juu yako kwa sababu hiyo, kitakachozaliwa kitaitwa kitakatifu, Mwana wa Mungu, ufalme wake hautakuwa na mwisho.
E così Maria si mise in viaggio per far visita a sua cugina Elisabetta, anch'essa in attesa di un bambino.
Mariamu akasafiri kwenda mji wa Yuda kumwamkia binamu yake Elizabeti ambaye pia alipokea muujiza wa ujauzito.
Elisabetta!
Elizabeti !
Maria, cugina cara!
Mariamu ! Binamu Mariamu !
Tu sei la più benedetta tra le donne. E benedetto è il bambino che avrai.
Umebarikiwa wewe katika wanawake, naye uzao wa tumbo lako amebarikiwa.
Appena ho sentito il tuo saluto, il bambino che è dentro di me è saltato per la gioia.
Baada ya kusikia salamu zako, mtoto aliye ndani yangu, aliruka kwa furaha.
L'anima mia magnifica il Signore e il mio spirito esulta in Dio, in Dio mio Salvatore.
Moyo wangu wamwadhimisha Bwana, na roho yangu inamfurahia Mungu mwokozi wangu.
Da ora in poi tutte le generazioni mi chiameranno beata.
Tokea sasa vizazi vyote wataniita mbarikiwa.