16. 本当にわれは,イスラエルの子孫に啓典と英知と預言の天分を授け,様々の善い給養を与え,また諸民族よりも卓越させた。
Na hakika tuliwapa Wana wa Israili Kitabu na hukumu na Unabii, na tukawaruzuku vitu vizuri vizuri, na tukawafadhilisha kuliko walimwengu wote.
預言者が,アッラーの御命令を行うのは妨げない。
Manabii hawakuuza Neno la Allah.
誰が天と地を創造したのか。
Au wao wameziumba mbingu na ardhi?
それぞれどんな仕事(しごと)をしているのかのぞいてみましょう。
Hebu angalia jinsi kila mmoja wao kazi.
かれは不信心者たちのために,痛ましい懲罰を備えられる。
Na amewaandalia makafiri adhabu chungu."
本当に現世の生活においても,また証人たちが(証に)立つ日においても,われは必ずわが使徒たちと信仰する者たちを助ける。
“Hakika bila shaka, Sisi tunawanusuru Mitume wetu na walio amini katika uhai wa duniani na siku watakapo simama Mashahidi.”
本当にアッラーは 御好みになられたことを定められる。
Kwa yakini Mwenyezi Mungu hufanya apendavyo.
7 もしアッラーが御望みなら,かれらを一つのウンマになされたであろう。
Na lau kuwa Mwenyezi Mungu angeli penda wasinge fanya hayo.
赦免である「赦し」があるのです。
Mwingi wa kusamehe (na) Mwingi wa kurehemu.”
16.本当にわれは、イスラエルの子孫に啓典と英知と預言の天分を授け、様々の善い給養を与え、また諸民族よりも卓越させた。
Na hakika tuliwapa Wana wa Israili Kitabu na hukumu na Unabii, na tukawaruzuku vitu vizuri vizuri, na tukawafadhilisha kuliko walimwengu wote.
疑いもなく,アッラーはかれらの隠すことと,現わすことを知っておられる。
Bila shaka Mwenyezi Mungu anayajua wanayoyaficha na wanayoyadhihirisha.
“も しあなたがかれらに、「誰が天と地を創造し、太陽と月を服従させるか。
“Na ukiwauliza; Nani aliye umba mbingu na ardhi na akafanya jua na mwezi kuti'ii amri yake?
だからあなたがたは(真理を)知った上は、(唯一なる)アッラーの外に同じような神があるなどと唱えてはならない。
Wala msifanye kuwa kuna mungu mwengine pamoja na Mwenyezi Mungu.
かれは慈悲深く寛容であられる。
Mwingi wa kusamehe (na) Mwingi wa kurehemu.”
31.本当に天にあり地にある凡てのものは、アッラーの有である。
Jueni kuwa hakika ni vya Mwenyezi Mungu vilivyomo mbinguni na ardhini.
本当にアッラーは寛容にしてよく罪を赦される。
Na Mwenyezi Mungu ni Mwingi wa kusamehe (na) Mwingi wa kurehemu.
これは不信者の報いである。
Namna hivi ndivyo yalivyo malipo ya makafiri.
『これはアッラーから下ったものだ。
Na hayo ni sahali kwa Mwenyezi Mungu.
「本当の導きは,アッラーの御導きである。
Ni hakika kwamba njia ya Mwenyezi Mungu ni njia ya kweli.
またアッラーと一緒に,外のどんな神にも祈ってはならない。
Basi usimwombe mungu mwingine pamoja na Mwenyezi Mungu ukawa miongoni mwa watakao adhibiwa.
アッラーの譴責は必ず不信心者の上に下るであろう。
“Basi laana ya Allah ipo juu ya makafiri.”(Sura ya 2: Aya ya 89)
「わたしの子孫よ,アッラーはあなたがたのために,この教えを選ばれた。
Ndio ewe mwanangu, kwa hakika Alitambua Mwenyezi Mungu fadhila zake kwake.
アッラー以外にイラーは存在しない。
Hali hakuna mungu ila Mwenyezi Mungu Mmoja (tu peke yake).
51 同様にかれら以前の者も,使徒がかれらにやって来る度に,「魔術師か,または気違いだ。
“Basi ndio hivyo hivyo, hakuwajia kabla yao Mtume ila walisema: Huyu ni mchawi au mwendawazimu.”
ユダヤ教徒とキリスト教徒を「啓典の民」とするのはそのため。
Kwa kauli hii watakuwa wanaingia watu wa Kitabu,ambao ni Mayahudi na Wakristo.
61. もしあなたがかれらに,「誰が天と地を創造し,太陽と月を服従させるか。
“Na ukiwauliza; Nani aliye umba mbingu na ardhi na akafanya jua na mwezi kuti'ii amri yake?
「イエスは彼らに近づいてきて言われた,『わたしは,天においても地においても,いっさいの権威を授けられた。
“Yesu akaja, akawaambia,” Nimepewa nguvu zote mbingu na duniani.
赦すもののみが赦されるのである。
Mwingi wa kusamehe (na) Mwingi wa kurehemu.”
イブラーヒーム(平安を)は、アッラーを信じ、アッラーに祈願したのである。
"Abrahamu alimwamini Mungu, na ikahesabiwa kwake kuwa haki."
その御方は、御望みの者に女児を、また御望みの者に男児を授けられる。
Anampa Amtakaye watoto wa kike na Anampa Amtakaye watoto wa kiume”.
76. 且つて,われはかれらに懲罰を加えたが,かれらはなお,主にへり下ることなく,素直に嘆願しない。
Na hakika tuliwatia katika adhabu; lakini hawakuelekea kwa Mola wao Mlezi wala hawakunyenyekea.
『あなたがもし、これからわたしたちを御救いになれば、わたしたちは必ず感謝を捧げる。
Ukituokoa katika haya, bila shaka tutakuwa miongoni mwa wanaoshukuru.
“これはわれらがアブラハムに授け、その民を説得するために述べた確証であった。
Na hizo ndizo hoja Zetu Tulizompa Ibraahiym kuhojiana na watu wake.
感謝する者(信じる者)になるか、信じない者になるか、と。
Ama ni mwenye kushukuru, au mwenye kukufuru”.
本当にアッラーは御望みの者を導かれる。
Na Mwenyezi Mungu humwongoza amtakaye kwenye njia iliyonyooka.
かれこそ天と地の創造者である。
Yeye (Allah) ndiye Muumba wa mbingu na ardhi....
「あなたの近親者に警告しなさい。
Na uwaonye jamaa zako wa karibu.
35. かれらは,「アッラーの外に神はありません。
"Hakika wao walipokuwa wakiambiwa, hapana Mungu (Mwingine) ila Mwenyezi Mungu wao Hupinga."
アッラーは御心に叶う者に、際限なく与える。
Na Mwenyezi Mungu humzidishia amtakaye.
”すると(タルハは)言いました:“(預言者は)アッラーの書(クルアーン)でもって遺言されたのだ。
Alimjibu akisema: “Kitabu cha Allah, Qur’ani.”
裁定は、只アッラーに属する。
Hapana hukumu ila ya Mwenyezi Mungu tu.
「・・・アッラーからの御光と、明瞭な啓典が今正に、お前たちの許に下ったのである。
Bila ya shaka imekujieni kutoka kwa Mwenyezi Mungu nuru na kitabu chenye kubainisha (kila kitu)(TMQ 5:15)
51. われは以前イブラーヒームに,方正な行いを授けた。
Tunao ushauri huo uliofuatwa na Ibrahimu muda mrefu kabla ya wakati huu.
وَلِلَّهِ مُلْكُ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ ۖ وَإِلَى اللَّهِ الْمَصِيرُ ( 42 ) 天と地の大権はアッラーの有であり,アッラーに(凡てのものの)帰り所はあるのである。
Na ni wa Mwenyezi Mungu ufalme wa mbingu na ardhi, na kwa Mwenyezi Mungu ndio marejeo ya wote.
「・・・何故、お前たちは、アッラーの御赦しを請わないのか。
Kwa nini hamuombi msamaha kwa Mwenyezi Mungu ili mpate kurehemewa?
アッラーは、イブラーヒーム(平安を)の心からの祈願に応えられた。
Mwenyezi Mungu aliijibu dua ya Ibrahim AS.
思うに、アッラーの懲罰が厳しいからである。
Mwenyezi Mungu aliwaandalia adhabu kali.
13. またアードの民も,フィルアウンも,ルートの同胞も,
Na Adi na Fir’auni na watu wa Luti.
そのことのためにわれはイスラエルの子孫に対し,掟を定めた。
Na tukakifanya kuwa ni uongofu kwa Wana wa Israili.
「慈悲あまねく慈悲深いアラーの御名において。
Kwa Jina La Mwenyezi Mungu Mwingi Wa Rehema Mwenye Kurehemu