Screditando alcune parti della parola per qualsiasi motivo, invertiamo il processo.
Kupunguza sehemu ya neno kwa sababu yoyote ni kubadili mchakato huu.

I servizi di autobus ad altre parti dell’isola sono disponibili presso lo stesso capolinea.
Bus huduma na sehemu nyingine za kisiwa zinapatikana kutoka terminus huo.

I servizi di autobus che coprono altre zone dell'isola sono disponibili presso la stazione stessa.
Bus huduma na sehemu nyingine za kisiwa zinapatikana kutoka terminus huo.

23 E la guarnigione dei Filistei uscì ad occupare il passo di Micmas.
23 Na jeshi la Wafilisti wakatoka hata mwanya wa Mikmashi.

La vostra presenza nel loro cuore,
uwepo wako katika nyoyo zao,

Quanti preferiscono un solo sistema religioso rispetto a un altro o — ancor peggio — affermano di conoscere una verità assoluta sono considerati di mente gretta, ignoranti o perfino bigotti.
Wale wanaopendelea mfumo mmoja wa imani kuliko mwingine au kusema kuwa ufahamu wa ukweli wote umechukuliwa kuwa wa mafikira finyu, bila ufahamu wo wote, au hata kuwa ya ukole.”

9Mentre scendevano dal monte, ordinò loro di non raccontare ad alcuno ciò che avevano visto, se non dopo che il Figlio dell’uomo fosse risorto dai morti.
9 Na walipokuwa wakishuka mlimani aliwakataza wasimweleze mtu waliyoyaona, hata Mwana wa Adamu atakapokuwa amefufuka katika wafu.

19 Allora sorse di nuovo una divisione tra i Giudei per queste parole.
19 Kukawa tena na mafarakano kati ya Wayahudi kwa sababu ya maneno haya.

19 Perciò nacque di nuovo dissensione tra i Giudei, per queste parole.
19 Kukawa tena na mafarakano kati ya Wayahudi kwa sababu ya maneno haya.

L'aria viene riscaldata (in inverno) in due o più passaggi prima di soffiare le premesse:
Hii hewa ni joto (katika majira ya baridi) katika hatua mbili au zaidi kabla ya kupiga majengo:

I suoi libri guideranno sicuramente tutti a rinascere.
Vitabu vyake kwa hakika vitawaongoza watu wote kuweza kuzaliwa upya mara ya pili.

5 Schiavi, obbedite ai vostri padroni secondo la carne con timore e tremore, con semplicità di spirito, come a Cristo,
Enyi watumwa, watiini mabwana zenu hapa duniani kwa hofu na tetemeko; fanyeni hivyo kwa unyofu wa moyo kana kwamba mnamtumikia Kristo.

Vendiamo 500 scatole di vini di qualità superiore (Merlot, Cabernet e Sauvignon) di origine sudafri...
Sisi kuuza masanduku 500 ya vin ubora mkuu (Merlot, Cabernet Sauvignon na) wenye asili ya Afrika Kus... Kusoma zaidi

Un ragionamento simile si potrebbe basare su ciò che Gesù credeva e insegnava, dato che Lui ha dimostrato di essere Dio (o almeno che era approvato da Dio) attraverso la sua nascita miracolosa, la sua vita ed il miracolo della sua risurrezione.
Hoja kama hiyo itakuwa sawa na imani na mafundisho ya Yesu Kristo, ambaye imeonekana kuwa alikuwa Mungu (au angalau kitu cha mwisho kuithinishwa na Mungu) kwa kuzaliwa kwake kwa muujiza, maisha, na muujiza wa ufufuo wake. Mungu hawezi nena uongo au kudanganywa, kwa hivyo, chenye Yesu aliamini na kufundisha ni kweli.

Profezie: Ezechiele 34 non è un capitolo dove Dio denuncia i leader d'Israele come falsi pastori verso il popolo di Dio.
Ishara: Ezekieli 34 ni sura ambayo Mungu anatangaza kwamba viongozi wa Israeli kuwa wachungaji wa uongo kwa ajili ya huduma zao mbovu kwa watu wake.

6 Bosheth, e rispose:"Sono io una testa di cane che tenga da Giuda? Oggi io do prova di benevolenza, verso la casa di Saul tuo padre, verso i suoi fratelli ed i suoi amici, non t’ho dato nelle mani di Davide, e proprio oggi tu mi rimproveri il fallo commesso con questa donna!
8 Basi Abneri akakasirika kwa maneno ya Ishboshethi, akasema, Je! Mimi ni kichwa cha mbwa, aliye wa Yuda? Hata leo hivi nawafanyia fadhili nyumba ya Sauli babako, na ndugu zake, na rafiki zake, nisikutie wewe mkononi mwa Daudi; nawe hata hivyo wanitia hatiani leo kwa mwanamke huyu.

8 Abner si adirò forte per le parole di Jsh-Bosheth, e rispose: ‘Sono io una testa di cane che tenga da Giuda? Oggi io do prova di benevolenza, verso la casa di Saul tuo padre, verso i suoi fratelli ed i suoi amici, non t’ho dato nelle mani di Davide, e proprio oggi tu mi rimproveri il fallo commesso con questa donna!
8 Basi Abneri akakasirika kwa maneno ya Ishboshethi, akasema, Je! Mimi ni kichwa cha mbwa, aliye wa Yuda? Hata leo hivi nawafanyia fadhili nyumba ya Sauli babako, na ndugu zake, na rafiki zake, nisikutie wewe mkononi mwa Daudi; nawe hata hivyo wanitia hatiani leo kwa mwanamke huyu.

3:8 Abner si adirò forte per le parole di Jsh-Bosheth, e rispose: "Sono io una testa di cane che tenga da Giuda? Oggi io do prova di benevolenza, verso la casa di Saul tuo padre, verso i suoi fratelli ed i suoi amici, non t’ho dato nelle mani di Davide, e proprio oggi tu mi rimproveri il fallo commesso con questa donna!
8 Basi Abneri akakasirika kwa maneno ya Ishboshethi, akasema, Je! Mimi ni kichwa cha mbwa, aliye wa Yuda? Hata leo hivi nawafanyia fadhili nyumba ya Sauli babako, na ndugu zake, na rafiki zake, nisikutie wewe mkononi mwa Daudi; nawe hata hivyo wanitia hatiani leo kwa mwanamke huyu.

Davide pregò per ottenere misericordia e perdono, quando peccò (Salmo 51:1-2).
Daudi aliomba kwa huruma na msamaha wakati yeye alitenda dhambi (Zaburi 51:1-2).

41 Chi prepara al corvo il suo pasto, quando i suoi nati gridano verso Dio e vagano qua e là per mancanza di cibo?
41 Ni nani anayempatia kunguru chakula, Makinda yake wanapomlilia Mungu, Na kutanga-tanga kwa kutindikiwa na chakula?

15 Quando Jezebel venne a sapere che Naboth era stato lapidato ed era morto, disse ad Achab: "Lèvati e prendi possesso della vigna di Naboth di Jezreel, che egli rifiutò di darti per denaro, perché Naboth non vive più ma è morto".
15 Ikawa Yezebeli aliposikia ya kwamba Nabothi amepigwa kwa mawe na kufa, Yezebeli akamwambia Ahabu, Inuka, ulitamalaki shamba la mizabibu la Nabothi Myezreeli, alilokataa kukupa kwa fedha, maana Nabothi hako hai, lakini amekufa.

15Appena Gezabele sentì che Nabot era stato lapidato ed era morto, disse ad Acab: «Su, prendi possesso della vigna di Nabot di Izreèl, il quale ha rifiutato di dartela in cambio di denaro, perché Nabot non vive più, è morto».
15 Ikawa Yezebeli aliposikia ya kwamba Nabothi amepigwa kwa mawe na kufa, Yezebeli akamwambia Ahabu, Inuka, ulitamalaki shamba la mizabibu la Nabothi Myezreeli, alilokataa kukupa kwa fedha, maana Nabothi hako hai, lakini amekufa.

Allora lo condussero fuori dalla Acab: «Àlzati, prendi possesso della vigna di Nabot d’Izreel, che egli rifiutò di darti per denaro; poiché Nabot non vive più, è morto».
15 Ikawa Yezebeli aliposikia ya kwamba Nabothi amepigwa kwa mawe na kufa, Yezebeli akamwambia Ahabu, Inuka, ulitamalaki shamba la mizabibu la Nabothi Myezreeli, alilokataa kukupa kwa fedha, maana Nabothi hako hai, lakini amekufa.

15 Quando Izebel ebbe udito che Naboth era stato lapidato ed era morto, disse ad Achab:"Lèvati, prendi possesso della vigna di Naboth d’Izreel, ch’egli rifiutò di darti per danaro; giacché Naboth non vive più, è morto".
15 Ikawa Yezebeli aliposikia ya kwamba Nabothi amepigwa kwa mawe na kufa, Yezebeli akamwambia Ahabu, Inuka, ulitamalaki shamba la mizabibu la Nabothi Myezreeli, alilokataa kukupa kwa fedha, maana Nabothi hako hai, lakini amekufa.

Poi mandarono a dire a Izebel: «Naboth è stato lapidato ed è morto». Quando Izebel ebbe udito che Naboth era stato lapidato ed era morto, disse ad Achab: «Lèvati, prendi possesso della vigna di Naboth d’Izreel, ch’egli rifiutò di darti per danaro; giacché Naboth non vive più, è morto».
15 Ikawa Yezebeli aliposikia ya kwamba Nabothi amepigwa kwa mawe na kufa, Yezebeli akamwambia Ahabu, Inuka, ulitamalaki shamba la mizabibu la Nabothi Myezreeli, alilokataa kukupa kwa fedha, maana Nabothi hako hai, lakini amekufa.

15 Perché se rifiutate di seguirlo, egli continuerà a lasciare Israele nel deserto, e voi farete perire tutto questo popolo".
15 Kwa kuwa mkigeuka msimwandame, yeye atawaacha tena nyikani; nanyi mtawaangamiza watu hawa wote.

15 Perché, se voi vi sviate da lui, egli continuerà a lasciare Israele nel deserto, e voi farete perire tutto questo popolo'.
15 Kwa kuwa mkigeuka msimwandame, yeye atawaacha tena nyikani; nanyi mtawaangamiza watu hawa wote.

15 Perché, se voi vi sviate da lui, egli continuerà a lasciare Israele nel deserto, e voi farete perire tutto questo popolo’.
15 Kwa kuwa mkigeuka msimwandame, yeye atawaacha tena nyikani; nanyi mtawaangamiza watu hawa wote.

Numeri 32:15 Perché se voi vi sviate da lui, egli continuerà a lasciare Israele nel deserto e voi farete perire tutto questo popolo».
15 Kwa kuwa mkigeuka msimwandame, yeye atawaacha tena nyikani; nanyi mtawaangamiza watu hawa wote.

15 Perciocchè, se voi vi stornate di dietro a lui, egli seguiterà a lasciarlo nel deserto; e così farete perir tutto questo popolo.
15 Kwa kuwa mkigeuka msimwandame, yeye atawaacha tena nyikani; nanyi mtawaangamiza watu hawa wote.

15 Perché se voi non volete pił seguirlo, il Signore continuerą a lasciarlo nel deserto e voi farete perire tutto questo popolo».
15 Kwa kuwa mkigeuka msimwandame, yeye atawaacha tena nyikani; nanyi mtawaangamiza watu hawa wote.

41 Chiunque vi darà da bere un bicchiere d'acqua nel mio nome perché siete di Cristo, vi dico in verità che non perderà la sua ricompensa.
Mtu yeyote atakeyewapeni kikombe cha maji ya kunywa kwa sababu ninyi ni watu wake Kristo, hakika hatakosa kupata tuzo lake.

7 e non date requie a lui, finch’egli non abbia ristabilito Gerusalemme, e n’abbia fatta la lode di tutta la terra".
7 wala msimwache akae kimya, mpaka atakapoufanya imara Yerusalemu, na kuufanya kuwa sifa duniani.

Al contrario, il secondo tipo di paura non è per nulla benefico.
Hata hivyo, aina ya pili ya hofu iliotajwa katika Biblia haina faida wakati wote.

33 E le altre bestie consacrate furono seicento buoi, e tremila montoni.
33 Na vitu vitakatifu vilikuwa ng'ombe mia sita, na kondoo elfu tatu.

Amico/a mio/a, per quanto vadano male le cose nella tua vita, c’è un Dio d’amore che sta aspettando che tu Gli permetta di farti da guida nel tuo tunnel di disperazione verso la Sua meravigliosa luce.
Rafiki yangu,haijalishi mambo ni mabaya kiasi gani maishani mwako,kuna Mungu wa upendo anayekungojea. Mruhusu akuongoze kuvuka hali hiyo ya kukata tamaa na akufikishe katika uhalisi wa nuru yake.

35 Tutto questo ti è stato mostrato, affinché riconosca che l’Eterno è DIO e che non v’è alcun altro fuori di lui.
35 Wewe umeonyeshwa haya, ili upate kujua ya kuwa Bwana ndiye Mungu, hapana mwingine ila yeye.

35 A te sono state fatte veder queste cose, acciocchè tu conosca che il Signore è l’Iddio, e che non ve n’è alcun altro fuor che lui.
35 Wewe umeonyeshwa haya, ili upate kujua ya kuwa Bwana ndiye Mungu, hapana mwingine ila yeye.

35Tu sei stato fatto spettatore di queste cose, perché tu sappia che il Signore è Dio e che non ve n’è altri fuori di lui.
35 Wewe umeonyeshwa haya, ili upate kujua ya kuwa Bwana ndiye Mungu, hapana mwingine ila yeye.

4:35 Tu sei stato fatto testimone di queste cose affinché tu riconosca che l’Eterno è Dio, e che non ve n’è altri fuori di lui.
35 Wewe umeonyeshwa haya, ili upate kujua ya kuwa Bwana ndiye Mungu, hapana mwingine ila yeye.

5Al tempo di Erode, re della Giudea, vi era un sacerdote di nome Zaccaria, della classe di Abia, che aveva in moglie una discendente di Aronne, di nome Elisabetta.
5 Zamani za Herode, mfalme wa Uyahudi, palikuwa na kuhani mmoja, jina lake Zakaria, wa zamu ya Abiya, na mkewe alikuwa mmojawapo wa uzao wa Haruni, jina lake Elisabeti.

5 Ai giorni di Erode, re della Giudea, vi era un certo sacerdote di nome Zaccaria, della classe di Abia; sua moglie era discendente da Aaronne e si chiamava Elisabetta.
5 Zamani za Herode, mfalme wa Uyahudi, palikuwa na kuhani mmoja, jina lake Zakaria, wa zamu ya Abiya, na mkewe alikuwa mmojawapo wa uzao wa Haruni, jina lake Elisabeti.

4 perché ti possa rendere conto della solidità degli insegnamenti che hai ricevuto. 5 Al tempo di Erode, re della Giudea, c'era un sacerdote chiamato Zaccaria, della classe di Abìa, e aveva in moglie una discendente di Aronne chiamata Elisabetta.
5 Zamani za Herode, mfalme wa Uyahudi, palikuwa na kuhani mmoja, jina lake Zakaria, wa zamu ya Abiya, na mkewe alikuwa mmojawapo wa uzao wa Haruni, jina lake Elisabeti.

Allora Manoah si rese conto che quello era l'Angelo dell'Eterno.
Ndipo Manoa alipojua ya kwamba ndiye malaika wa Bwana.

Allora Manoah riconobbe che quello era l’angelo dell’Eterno.
Ndipo Manoa alipojua ya kwamba ndiye malaika wa Bwana.

Può riferirsi al periodo di 24 ore impiegato dalla terra per ruotare intorno al suo asse (“ci sono 24 ore nel giorno”).
Yaweza maanisha kipindi cha muda wa saa 24 ambao dunia inachukua mzunguko kwenye mhimili wake (kwa mfano, "kuna masaa 24 kwa siku").

4 cioè tremila talenti d’oro, d’oro d’Ofir, e settemila talenti d’argento purissimo, per rivestirne le pareti delle sale:
4 yaani, talanta elfu tatu za dhahabu, za dhahabu ya Ofiri, na talanta elfu saba za fedha iliyosafika, ya kuzifunikiza kuta za nyumba;

4 cioè tremila talenti d’oro, d’oro di Ofir, e settemila talenti d’argento purissimo, per rivestirne le pareti delle sale:
4 yaani, talanta elfu tatu za dhahabu, za dhahabu ya Ofiri, na talanta elfu saba za fedha iliyosafika, ya kuzifunikiza kuta za nyumba;

Dio vieta a Davide di costruire il tempio a Gerusalemme, promettendogli invece 4 cose: 1) Un figlio di Davide avrebbe regnato dopo di lui; 2) Suo figlio avrebbe costruito il tempio; 3) Sul suo trono si sarebbe per sempre succeduta la sua discendenza; 4) Dio avrebbe garantito per sempre la Sua misericordia sulla casa di Davide (2 Samuele 7:4-16).
Mpango wa Daudi wa kujenga hekalu katika Yerusalemu unakataliwa na Mungu, ambaye kisha anamuahidi Daudi mambo yafuatayo: 1) Daudi atakuwa na mwana ambaye atatawala baada yake; 2) Mwana wa Daudi atajenga hekalu; 3) Kiti cha enzi kinachotawaliwa na ukoo wa Daudi kitakuwa imara milele; na 4) Mungu kamwe hataondoa huruma yake kutoka kwa nyumba ya Daudi (2 Samweli 7: 4-16).

Le idee della libertà di coscienza e della libertà di religione furono soltanto l'espressione del dominio della libera concorrenza nel campo della coscienza.
Mawazo ya uhuru wa dini na uhuru wa itikadi, yalikuwa yakionyesha utawala wa mashindano huru tu, katika mambo ya elimu.