# sw/2008_08_angola-kuelekea-uchaguzi-unaosubiriwa-kwa-muda-mrefu_.xml.gz
# zht/2008_08_17_1280_.xml.gz


(src)="1.1">Angola: Kuelekea Uchaguzi Unaosubiriwa Kwa Muda Mrefu
(trg)="2.1"> 再過不到一個月 ,

(src)="1.2">Ni chini ya chini ya mwezi mmoja kwa Angola kabla ya kuingia zoezi linalosubiriwa zaidi katika aya za historia yake.
(trg)="2.4"> 安哥拉民眾今年終於能再度行使選舉權 ,

(src)="1.3">Miaka kumi na sita baada ya uchaguzi wake wa mwisho, Waangola kwa mara nyingine tena watapata fursa ya kutumia haki yao ya kupiga kura katika uchaguzi wa bunge,utakaofanyika kuanzia tarehe 5 mpaka 9 Septemba.
(trg)="2.5"> 於9月5日至6日投票選出國會議員 。
(trg)="3.1"> 整體氣氛平靜 ,
(trg)="3.2"> 但選民之間情緒各異 ,

(src)="2.1">Hali ni ya ukimya, japokuwa kuna hisia zinazotofautiana katika umma.
(trg)="3.3"> 有些富人打算出國 ,

(src)="2.2">Watu wanojiweza wanasema watakwenda ughaibuni; wengine wanatabasamu na kujihakikishia kwamba hakuna litakalotokea kwani Waangola hawataki tena vita na mateso; wakati wengine wanakimbilia madukani kunua vyakula, ikiwa muovu atalipa na mambo yataenda vibaya, kama ilivyotokea mwaka 1992.
(trg)="3.5"> 因為安哥拉人再也不想有戰爭與苦難 ;
(trg)="3.6"> 有些人忙著去商店添購主食 ,

(src)="3.1">Inapokuja kwa wafanyabiashara wa nje waishio Angola, wao hawakusudii kurudi kwenye nchi zao.
(trg)="3.9"> 引爆衝突與長達十年的內戰 ,

(src)="3.2">Jumii ya wafanya biashara inaamini kwamba kila kitu kitabaki kama kilivyo baada ya uchaguzi na kwamba hapana ulazima wa kubadilisha majukumu ya kikazi.
(trg)="3.10"> 該黨頗具群眾魅力的領導人Jonas Savimbi也因此身亡 。

(src)="4.1">Baada ya hatua za kwanza za uchaguzi, ambazo zilikuwa ghafiri na zenye athari mbaya, uchaguzi wa pili wa Bunge nchini Angola unakuja kwa kasi.
(trg)="4.2"> 企業界相信選後一切不會變 ,
(trg)="4.3"> 也毋需進行任何調整 ,

(src)="4.2">Kama mchakato huu, kwa wengi, ni sawa na matumaini mapya na kuimarika kwa demokrasia nchini kote, kwa wengine, walio sehemu za mashamba na kwa wale walio mikoani ambao waliteseka na ghasia, na matokeo ya vita vilivyojiri baada ya uchaguzi wa mwa 1992, nadhani bado kuna hisia za woga, kutokuwa na uhakika, mtazamo hasi pamoja na kutokuamini katika faida zitakazofikia maisha ya wananchi kutokana na mchakato huu.
(trg)="4.4"> Jotacê Carranca如此記錄當地氣氛 :
(trg)="4.5"> 經過前次令人遺憾又後果慘重的選舉之後 ,
(trg)="4.6"> 安哥拉第二次國會選舉很快就要舉行 ,

(src)="4.3">Katika maeneo haya kuna haja ya kufanya kazi ya kurahisisha mchakato mzima ili kwenda mbele zaidi ya vishawishi vya kisiasa, vionjo, vya kiutamaduni, vya kidini na vya kifilosofia.
(trg)="4.7"> 很多人認為此事代表著新希望到來 ,

(src)="4.4">Ni lazima tutetee na kuimarisha dhamira za watu na za jamii kwa ujumla.
(trg)="4.8"> 同時也將鞏固國內民主 ,

(src)="4.5">Rais wa Angola jose Eduardo Dos Santos ameshatoa rai ya kutaka utulivu na mpangilio siku za kupiga kura, alieleza kwamba "ni muhimu kuhakikisha kuwa usalama wa raia na ulinzi wa mali zao, kwa sababu usalama wa umma ni kipaumbele".
(trg)="4.9"> 但對鄉村地區民眾 ,
(trg)="4.10"> 以及對於那些受到1992年選後暴力直接影響地區的選民 ,

(src)="4.6">Kiongozi huyo aliongeza kwamba ni muhimu "kuheshimu mitazamo na fikra za wengine" bila kutumia " maneno au vitendo vya vurugu".
(trg)="4.11"> 他們的情緒交雜著恐懼 、 不安 、 悲觀 ,

(src)="5.1">Tunategemea kuwa wapiga kura milioni 8.3 watakuwa na mazingira yenye amani kwa upigaji kura na watafanya hivyo katika njia ya safi na inayoeleweka vyema.
(trg)="4.12"> 也不相信選舉會對所有民眾有福 ,

(src)="5.2">Kuna zaidi ya vituo 12 elfu vya kupigia kura katika dola ya kitaifa.
(trg)="4.13"> 我們在這些地區必須簡化程序 ,

(src)="5.3">Wkati huo huo, Angola tayari imo kwenye vuguvugu la kampeni linaoloendeshwa na vyama tisa vya kisiasa.
(trg)="4.17"> 因為社會秩序是選舉一大基礎 」 ,

(src)="5.4">Kwa taarifa zaidi kuhusu mlengo wa kila chama kati vyama hivyo vya siasa tafadhali tembelea blogu ya Eugenio Costa Almeida. .
(trg)="4.19"> 切勿使用 「 言語或肢體暴力 」 。

# sw/2008_08_pakistani-musharraf-aondoka-jengoni_.xml.gz
# zht/2008_08_19_1286_.xml.gz


(src)="1.1">Pakistani: Musharraf Aondoka Jengoni
(trg)="1.1"> 巴基斯坦 : 總統辭職

(src)="1.2">Imepita miaka nane, siku mia tatu na ushee tangu mapinduzi yasiyo ya kumwaga damu yaliyoongozwa na Jenerali wa Jeshi la Pakistani yalipofanyika na hivyo kumpokonya madaraka kiongozi fisadi Nawaz Sharif.
(trg)="2.2"> 由巴基斯坦軍方將領穆夏拉夫 ( Pervez Musharraf ) 策動和平政變 ,

(src)="1.4">Wakati huo raia wa Pakistani walisherehekea, lakini haikupita muda mrefu kabla watu hawajang’amua kuwa walikuwa tena kwenye janga wasilotaka, na kwa bahati mbaya ujaji huo polepole uligeuka kuwa utawala wa kidikteta usiotakikana.
(trg)="2.3"> 從當時貪腐的領導人夏立夫 ( Nawaz Sharif ) 手中取得政權 ,

(src)="1.5">Baada ya miezi mingi ya utawala wa mabavu, hivi majuzi kulitokea tukio la kumaliza utawala uliodumu muda wa miaka tisa kasoro siku sitini, na hapa Pakistani inafungua ukurasa mpya.
(trg)="2.5"> 那是條前往 「 開明溫和 」 願景的浪漫道路 ,

(src)="2.1">Ilionekana kama siku nyingine nchini Pakistani lakini mara iligeuka kuwa inayojijaza munkari na mara minong’ono ilianza kusambaa miongoni mwa raia wakati habari zilipoanza kusambaa.
(trg)="2.13"> 穆夏拉夫8年又305天的政權劃下句點 ,

(src)="2.2">Watu hao waligubikwa na mnong’ono mmoja baada ya mwingine kutoka katika taarifa zilizorushwa na vituo vya televisheni kwenda kwenye ujumbe mfupi wa maneno na hata barua pepe; ilikuwa kana kwamba majaaliwa ilikuwa yaamuliwe na kila mmoja wao.
(trg)="2.14"> 讓巴基斯坦展開新頁 。
(trg)="3.1"> 這本是尋常一日 ,
(trg)="3.2"> 但隨著新聞散播 、 流言四起 ,

(src)="4.1">Pervez Musharraf - Picha kwa hisani ya: Mtiririko wa picha za Flickr wa Mkutano wa Uchumi Duniani zilizo chini ya haki miliki huria kwa umma.
(trg)="3.5"> 民眾聽聞一個又一個傳言 ,

(src)="5.1">Kuaga huku kulikotawaliwa na machozi kulikofanya na Musharraf mnamo tarehe 18 Agosti mwaka huu kulikuja zikiwa zimepita siku nne tu tangu Taifa liadhimishe sherehe za miaka 61 ya Uhuru.
(trg)="3.6"> 彷彿你我之間 ,
(trg)="3.7"> 就要決定巴基斯坦的命運 ,

(src)="5.2">Ni katika hali ya tahadhari kubwa kwamba Pakistani inaadhimisha mwisho huu wa miaka tisa ya utawala wa familia hii.
(trg)="3.9"> 便總結傳言起伏情況 : 「 電話響起 ,

(src)="5.3">Hotuba yake ya mwisho ilijaa hasa kurejelea historia na hii ni kama ilivyonukuliwa na The Pakistani Spectator, yaani hasa kuelezea ni kwa namna gani alitumikia nchi na watu wake.
(trg)="3.17"> 也有人以陰謀論認為他會滲入司法系統 ,

(src)="6.1">Wanablogu wa KiPakistani walipokea taarifa hizi kwa hisia tofauti, wapo waliomshabikia kwa miluzi yenye kuashiria kwamba alikuwa ‘a Jolly Good Fellow’ (mtu mwema na mchangamfu), wakati huohuo washabiki wake waaminifu hawakukawia kumpigia mbija za kumpongeza, hata hivyo wapo waliochukua hali hii kwa tahadhari huku wakisherehekea kumalizika kwa utawala wa kidikteta.
(trg)="3.18"> 做最後反擊 ,
(trg)="3.19"> 結果卻是一篇很勇敢的辭職演說 ,
(trg)="3.20"> 在淚眼道別前丟出棄守的白毛巾 ,

(src)="6.2">Katika namna ya kukejeli, Yeah That Too alishirikisha maneno machache, Ammar kwa upande wake aliandika kuhusu namna ‘Mpambano mpya wa manyau’ unavyokaribia kuanza, Chowrangi anazungumizia mustakabali wa nchi ya Pakistani baada ya Musharraf, Psychotic Discourses anatupatia mwanga juu ya muundo mpya wa ‘Utawala wa Kishetani’ (Demon-cracy), wakati ambapo MB anatuchanganya zaidi kwa kuzungumizia hali hii kama moja ya mizunguko ya kisarakasi.
(trg)="3.21"> Siam 's Blog提到 : 「 穆夏拉夫面容沉重 ,
(trg)="3.22"> 背後掛著國旗與建國者像 」 對大眾說 : 「 我將我的未來交付人民手中 。

(src)="7.1">Swali kubwa kwa sasa linabaki kuwa endapo Musharraf anaruhusiwa kutafuta ukimbizi nje ya Pakistani au endapo atafikishwa mbele ya sheria ili kujibu tuhuma mbalimbali zinazomkabili.
(trg)="5.3"> 穆夏拉夫便於8月18日辭職 ,

(src)="7.2">Ama kwa hakika ni changamoto kubwa kwa Taifa la Pakistani na ambayo inaweza kuwa na matokeo mengi.
(trg)="8.1"> 有人揣測下一步是什麼 ,

(src)="8.1">Mtu anabaki kujiuliza, hivi nini kinafuata, hasa katika kipindi hiki ambapo kuna wanasiasa wenye matumaini ya kunyakua cheo hicho cha juu zaidi katika taifa hili, ambapo hata hivyo jukumu la kuiondoa nchi katika mkanganyiko huu mkubwa liko zaidi mabegani mwa Asif Zardari na Nawaz Sharif, ambapo wote wawili ni wanasiasa ambao hawakuchaguliwa lakini ambao wengi wanawawekea matumaini makubwa ya kuiondoa nchi hii kutoka katika lindi la vurugu ambamo imo kwa sasa.
(trg)="8.2"> 肯定有許多政治人物想爭取大位 ,
(trg)="8.3"> 不過要帶領國家脫離混亂情境 ,

# sw/2008_08_waziri-matatani-kwa-cheti-feki_.xml.gz
# zht/2008_08_27_1304_.xml.gz


(src)="1.1">Waziri matatani kwa cheti 'feki'
(trg)="1.1"> 伊朗 : 閣員博士學歷造假

(src)="1.2">Ali Kordan,Waziri wa Mambo ya Ndani wa Irani, Katika siku za hivi karibuni, ameshutumiwa vikali kwa kuonyesha Shahada 'feki' ya Udaktari (PhD) aliyodai kupata kutoka katika chuo kikuu chenye sifa kubwa duniani cha Oxford cha nchini Uingereza.
(trg)="2.1"> 伊朗新任內政部長Ali Kordan最近飽受抨擊 ,
(trg)="2.2"> 因為他的英國牛津大學博士學位證實偽造 ,

(src)="1.3">Tovuti mbalimbali, pamoja na ile ya kihafidhina wa Alef, zimechapisha picha ya cheti hicho 'feki' cha Kordan kinachoonyesha kwamba ametunukiwa Shahada ya Udaktari wa Heshima na Chuo Kikuu cha Oxford.
(trg)="2.3"> 包括保守派的Alef等多個網站都張貼所謂 「 牛津榮譽法學博士 」 證書掃描檔案 。

(src)="3.1">Alef inaonyesha makosa kadhaa ya kiuandishi yaliyojitokeza kwenye cheti hicho kinachodaiwa kuwa cha Oxford, kwa mfano, “to be benefitted from its scientific privileges”.
(trg)="4.3"> 例如 「 benefited 」 多了一個t ,

(src)="3.2">Pia neno“entitled” liliandikwa kimakosa “intitled”.
(trg)="4.4"> 「 entitled 」 也誤植為 「 intitled 」 。

(src)="4.1">Vilevile tovuti ya Alef imepandisha kwenye ukurasa wake faksi kadhaa ambazo iliandikiana na Chuo Kikuu cha Oxford kuhusiana na jambo hili.
(trg)="5.2"> 該網站在伊朗隨後遭到過濾阻擋 。

(src)="4.2">Baada ya hapo tovuti hiyo ilizuiwa kuonekana nchini Iran.
(trg)="6.1"> 伊朗政府介入調查本案同時 ,

(src)="5.1">Wakati ambapo mamlaka nchini Irani inafanya upelelezi kuhusiana na jambo hili, Chuo Kikuu cha Oxford kimetangaza kwamba hakina kumbukumbu kwamba Bwana Kordan alipata kuhitimu katika chuo hicho.
(trg)="6.2"> 牛津大學亦澄清並無Ali Kordan畢業於該校記錄 。

(src)="6.1">Mwanablogu wa Irani, Bwana Behi, anaandika:
(trg)="7.1"> 伊朗部落客Mr .

(src)="6.2">Rais Ahmadinejad amefanya muujiza mwingine.
(trg)="7.2"> Behi表示 :

(src)="6.3">Amemteua mtu anayedai kuwa na Shahada ya Udaktari katika Sheria kutoka Chuo Kikuu cha Oxford kama waziri wa mambo ya ndani!
(trg)="7.3"> 伊朗總統阿曼尼內賈德 ( Mahmoud Ahmadinejad ) 又創造一項奇蹟 : 他挑選的內政部長自稱是牛津大學法學博士 !

(src)="6.4">Yalipoibuliwa maswali kuhusu uhalisia wa shahada hiyo, huyo jamaa alijawa na jazba, alivitishia vyombo vya habari na kuonyesha cheti chake hiki.
(trg)="7.5"> 他便惱羞成怒 、 威脅媒體 ,

(src)="6.5">Cheti chenyewe kinatia mashaka makubwa na kinadhaniwa kuwa ni cha kughushi, tena kimejaa makosa ya kiuandishi na wakati huo huo majina yanayoonekana kwenye saini wala si ya yeyote miongoni mwa wanaofundisha katika Kitivo cha Sheria cha chuo hicho!
(trg)="7.6"> 還製造出這份文件堵住媒體之口 ,
(trg)="7.7"> 但這項證據實在太可疑 ,

(src)="6.6">Ikiwa Ahmadinejad anataka kughushi katika uchaguzi ujao, basi heri atafute mtu makini wa kumsaidia katika kugushi pasipo kugundulika kwa urahisi.
(trg)="7.11"> 最好選個至少懂得遮羞的人 ,

(src)="6.7">Lo, aibu kubwa hii!
(trg)="7.12"> 真是丟臉 !

(src)="6.8">Mohmmad Ali Abtahi, aliyekuwa Makamu wa Rais katika serikali ya kimageuzi na ambaye pia ni mwanablogu, anaandika kwamba enzi zake alipokuwa Naibu Waziri wa Utamaduni na Miongozo ya Kiislamu, aliwahi kukutana na afisa mmoja wa Irani ambaye aliwahi 'kununua' Shahada 'feki' ya Udaktari.
(trg)="7.13"> 改革派前副總統兼部落客Mohmmad Ali Abtahi提到 ,
(trg)="7.14"> 他過去擔任文化暨伊斯蘭指導部副部長時 ,

(src)="6.9">Abtahi anasema kwamba bei ya kununua cheti kama hicho ilikuwa ni karibu dola za Marekani 1000.
(trg)="8.1"> 另一位部落客Shirzad表示 ,

(src)="7.1">Mwanablogu mwingine, Shirzad , anadai kwamba kuna uwezekano mkubwa kuwa Ali Kordan hana hata shahada ya kwanza.
(trg)="8.2"> Ali Kordan似乎連學士證書都沒有 :

(src)="7.2">Mwanablogu huyu anaongeza:
(trg)="8.3"> 這代表他說謊多年 ,

(src)="7.3">Inamaanisha kwamba miaka yote hii waziri huyu ametumia udanganyifu kulipwa kama mtu mwenye Shahada ya Udaktari ...
(trg)="8.4"> 並以博士學歷領薪水 ,

(src)="7.4">Mmoja wa wasaidizi katika Bunge la Irani aliwahi kumuuliza Kordan: “Ulipataje Shahada yako ya Udaktari katika Sheria wakati wewe unadai kwamba uliandika Utafiti (Thesis) wako kuhusu Elimu ya Kiislamu?"
(trg)="8.5"> 一名國會議員質詢Kordan : 「 你說論文主題有關伊斯蘭教育 ,

(src)="7.5">"Je, ulifanya vipi utetezi wako wakati ambapo wewe huwezi kuzungumza Kiingereza?"
(trg)="8.6"> 那麼如何取得法律博士學位 ?

(src)="7.6">Kordan alijibu, "Nilikuwa na mfasiri."
(trg)="8.7"> 」 「 你如果不會說英文 ,

(src)="7.7">Mwanablogu Jomhour anaandika kwamba Rais wa Irani, Mahmoud Ahmadinejad alimtetea Waziri wake kwa kuuliza, "Je, ni nani aliye na haja na makaratasi haya yanayoweza kuchanwa (yasiyo na maana)!”
(trg)="8.12"> 伊朗總統仍為內政部長辯護 ,
(trg)="8.13"> 表示 「 我們不需要那些廢紙 !

(src)="8.1">Mwanablogu huyu anauliza:
(trg)="8.18"> .

(src)="8.2">Endapo vyeti havina maana, ni makaratasi yanayoweza kuchanwa wakati wowote, hivi basi kwa nini Waziri wa Ahmadinejad alijihangaisha kutafuta walau cheti hicho feki ... na hii si mara ya kwanza ambapo Rais Ahmadinejad anaita (anakebehi) nyaraka muhimu kuwa ni makaratasi yanayoweza kuchanwa wakati wowote kumaanisha kwamba hayana maana.
(trg)="8.20"> 這不是總統第一次稱官方文件為廢紙 ,
(trg)="8.21"> 之前聯合國決議反對伊朗核子計畫時 ,
(trg)="8.22"> 他也稱之為是無用的廢紙 。

(src)="8.3">Hapo mwanzo aliwahi kusema kuwa nyaraka zilizoonyesha msimamo wa Umoja wa Mataifa dhidi ya Mpango wa Nyuklia wa Irani kama makaratasi yasiyo na maana.
(trg)="8.23"> 總統的媒體顧問Ali Akbar Javanfekr表示 ,

(src)="8.4">Ali Akbar Javanfekr, Mshauri wa Rais Ahmadijad katika masuala ya mawasiliano na vyombo vya habari, anasema kwamba Wizara ya Sayansi itoe uamuzi kuhusu Shahada ya Udaktari ya Kordan na anapendekeza kwamba tusiingize au kuhusisha katika siasa mtazamo na maoni binafsi kuhusu suala hili.
(trg)="8.24"> 科學部應對Kordan的博士學歷認定做出裁決 ,
(trg)="8.25"> 並建議最好不要帶入太多個人政治見解 。

# sw/2008_09_paraguai-rais-lugo-kutopokea-mshahara_.xml.gz
# zht/2008_09_05_1328_.xml.gz


(src)="1.1">Paraguai: Rais Lugo Kutopokea Mshahara
(trg)="1.1"> 巴拉圭 : 總統放棄領月薪

(src)="1.3">"Sihitaji mshahara huo, ambao unapaswa kumilikiwa na masikini," alisema Lugo.
(trg)="2.3"> 這筆錢應屬於貧戶 」 ,

(src)="1.4">Mabloga nchini humo wanatofautiana mitazamo, wakati mmoja anausifu uamuzi huo, mwingine anajiuliza ni vipi Rais lugo atajilipia gharama binafsi za maisha.
(trg)="2.4"> 當地部落客對此看法不一 ,

(src)="2.2">Hata hivyo, Rodriguez anaangalia mambo tofauti:
(trg)="3.1"> Rescatar部落格的Carlos Rodríguez指出 ,

(src)="2.3">Katika tangazo la Lugo kusamehe mshara wake, tunaona ujumbe wake ni kwamba "sipo hapa kwa ajili ya pesa."
(trg)="3.8"> 希望傳達給我們的訊息是 : 「 我不是為錢而來 」 ,

(src)="2.4">Ni ujumbe ulio juu na wenye umuhimu mkubwa kwenye nchi ambayo asilimia kubwa ya wanasiasa, huingia kwenye nyanja hiyo kutafuta nguvu za kisiasa ambazo huwakisha kwenye nguvu za kiuchumi kwa muda mfupi inavyowezekana, kwa kuiba.
(trg)="3.9"> 厄瓜多有很大一部分的政治人物之所以爭取政治權力 ,

(src)="2.5">Hata hivyo, jorge Torres Romero wa Detras del Papel haoni mambo katika njia hiyo na anfikiri ulikuwa uamuzi usio makini:
(trg)="3.10"> 是為了能盡速掌控經濟權力竊取致富 ,

(src)="3.1">Siku baada ya tangazo la Lugo, wanahabari wachache waliuliza swali je ni nani ana hiyari ya kufuata mfano wa rais.
(trg)="3.11"> 因此盧戈這是件相當關鍵且偉大的訊息 。

(src)="3.2">Ni wazi, hakuna mmoja, Federico Franco (Makamu Mpya wa Rais), kwa mfano, alisema yeye ana familia ya kutunza na kwamba hataghairi haki yake ya kupokea mshahara.
(trg)="3.14"> 盧戈宣布放棄薪水後隔天 ,
(trg)="3.15"> 有些媒體詢問有誰會效法總統的作為 ?

(src)="3.3">Rais ataishi kwa kutumia nini?
(trg)="3.16"> 顯然沒有 ,

(src)="3.4">Nani atakayelipia gharama za mavazi yake, chakula chake, na gharama nyingine atakazozikabili?
(trg)="3.18"> 不會放棄工作領薪的合法權力 。

(src)="3.5">Je ana akiba kubwa kiasi hicho?
(trg)="3.19"> 放棄薪水之後 ,

(src)="3.6">Je ataishi kutokana na kodi ya mali zake?
(trg)="3.23"> 要怎麼付房租 ?

(src)="3.7">Je atajilipia kodi?
(trg)="3.24"> 他要納稅嗎 ?

(src)="3.8">Au atasubiri misaada, zawadi na mialiko kutoka kwa marafiki zake?
(trg)="3.27"> 依據創用CC原則使用

# sw/2008_09_angola-uchaguzi-katika-picha_.xml.gz
# zht/2008_09_06_1330_.xml.gz


(src)="1.1">Angola: Uchaguzi Katika Picha
(trg)="1.1"> 安哥拉 : 用照片說大選故事

(src)="1.2">Ijumaa hii ya tarehe 5 Septemba ilikuwa ni siku maalum katika Angola.
(trg)="2.1"> 2008年9月5日這天對安哥拉意義非凡 ,

(src)="1.3">Baada ya kampeni vuguvugu za uchaguzi, umma ulijawa shauku ya kupiga kura kwa ajili ya bunge jipya baada ya miaka 16.
(trg)="2.8"> 不過由於物流裝配延誤選票運送 ,

(src)="1.4">Kwa watu wengi, hii ilikuwa ni fursa yao ya kwanza kutumia haki yao ya kupiga kura.
(trg)="3.1"> 部落格圈對選舉的反應逐漸出現 ,

(src)="2.1">Wakati ambapo maoni yanaanza kujitokeza katika mtandao wa wanablogu, ripoti kamili iko njiani.Kwa sasa zifuatazo ni picha zinazoonyesha siku hiyo ya kihistoria, kama zinavyoorodheshwa na Jose Manuel Lima da Silva, mtumiaji wa huduma ya Flickr Kool2bBop, pamoja na nukuu zake:
(trg)="3.4"> 記錄這歷史性一刻的前幾天 ,
(trg)="3.5"> 照片由José Manuel Lima da Silva提供 ( Flickr帳號Kool2bBop ) ,
(trg)="3.6"> 以及他個人的圖說 :

(src)="2.2">Umoja wa Kitaifa.
(trg)="3.7"> 全國團結 ,

(src)="2.3">Angola inuonyesha ulimwengu kwamba, pamoja na tofauti zilizopo, ina wananchi wenye mshikamano.
(trg)="3.8"> 安哥拉向世界展現 ,

(src)="2.4">Watu wamoja na Taifa moja.
(trg)="3.9"> 容或存在差異 ,

(src)="2.5">Tunatumaini kuwa itakuwa hivi mpaka mwisho - moyo wa kitaifa!
(trg)="3.10"> 人民依然團結 ,

(src)="10.1">Kuna picha nyingi zaidi za siku hiyo kubwa kwenye tovuti za picha za Flickr za Tiago Sousa na Sam.
(trg)="3.12"> 同一國家 ,
(trg)="3.13"> 我們希望最終也能維持公共精神 !

(src)="10.2">Seyffert.
(trg)="3.15"> Seyffert的Flickr相簿裡 ,

(src)="11.1">Karibia watu milioni 8.3 wamejiandikisha kupiga kura, ili kuchagua wagombea zaidi ya 5,000 kutoka katika vyama 10 vya siasa na vile vya mseto.
(trg)="4.2"> 十個政黨與四個聯盟共推出超過5000名候選人 ,

(src)="11.2">Kuna jumla ya viti 220 vya bunge.
(trg)="4.3"> 角逐國會220個席次 。

# sw/2008_09_irani-redio-zamaneh-redio-ya-mabloga_.xml.gz
# zht/2008_09_12_1346_.xml.gz


(src)="1.1">Irani: Redio Zamaneh, Redio ya Mabloga
(trg)="1.1"> 伊朗 : 部落客的電台

(src)="1.2">Redio Zamaneh ni redio ya lugha ya kipersia yenye makao yake huko mjini Amsterdam.
(trg)="2.3"> 這個獨立廣播電台很有意思 ,

(src)="1.3">Zamaneh ni neno linalomaanisha "wakati" katika lugha hiyo.
(trg)="2.4"> 在荷蘭登記為非營利組織 ,

(src)="1.4">Redio Zamaneh (RZ) ni chombo huru cha utangazaji kilichosajiliwa kama asasi isiyo ya kiserikali huko Uholanzi, kikiwa na studio na makao yake makuu mjini Amsterdam.
(trg)="2.6"> 計畫統籌單位為荷蘭非政府組織Press Now 。

(src)="1.5">Mratibu wa redio hiyo ni Asasi isiyo ya kiserikali ya Kidachi ijulikanayo kama Press Now.
(trg)="2.7"> 電台約在兩年前成立 ,

(src)="1.6">Redio hiyo ilizinduliwa yapata miaka miwili iliyopita na imejipachika lahaja kwa jina la "redio ya mabloga".
(trg)="2.8"> 自稱是 「 部落客的廣播電台 」 。

(src)="2.1">Bloga na mpiga picha Kamran Ashtray, ambaye pia ni mkurugenzi wa mawasiliano na maendeleo anaeleza changamoto, matumaini, na mafanikio ya nyanja ya uanahabari wa kiraia wa Irani.
(trg)="3.1"> Kamran Ashtary是部落客 、 攝影師與電台溝通與發展部主任 ,

(src)="3.1">RZ inajiita Redio ya mabloga.
(trg)="4.1"> RZ自稱是部落客的廣播電台 ,

(src)="3.2">Kwa nini kauli mbiu hiyo?
(trg)="4.2"> 為何以此訴求 ?

(src)="3.3">Ni kwa kuiwango gani mabloga wameweza kushawishi muelekeo wa wa RZ?
(trg)="4.3"> RZ對部落客有何影響力 ?

(src)="4.1">Waandishi wengi wa habari nchini Irani wameanza kublogu kwa sababu magazeti mengi yanaendelea kughasiwa na kufungwa.
(trg)="4.10"> 與部落客聯繫再自然也不過 ,

(src)="4.2">Wengi wa wachangiaji wa Redio Zamaneh walikuwa na bado ni mabloga.
(trg)="4.11"> 自2006年8月成立以來 ,