# sw/2008_10_macho-ya-kimataifa-kwenye-uchaguzi-wa-marekani_.xml.gz
# ur/2008_10_17_8_.xml.gz
(src)="1.1">Macho ya Kimataifa kwenye Uchaguzi wa Marekani
(trg)="1.1"> امریکی انتخاب پر بین الاقوامی نظر
(src)="1.2">Kadiri uchaguzi wa Marekani unavyokaribia, ndivyo kadiri macho ya kimataifa yanavyozidi kuelekezwa katika sera za nje za taifa hilo na wagombea wakuu.
(trg)="1.2"> جیسا کہ امریکی انتخابات بہت قریب ہیں ، امریکہ کی غیر ملکی پالیسیوں اور امیدواران پر بین الاقوامی توجہ بڑھ چکی ہے ۔
(src)="1.3">Kazimiradi kama vile ile ya Collective Journalism inayofanywa na Current TV (Uandishi wa Habari wa Umma wa Current TV) na Global Voices' Voices Without Votes (Mradi wa Global Voices - Sauti Zisizo na Kura) zimechukua jukumu la kukusanya taarifa na kuzipa mtazamo wa kimataifa katika masuala ya ndani ya sehemu fulani tu ulimwenguni.
(trg)="1.3"> منصوبے جیسا کہ کرنٹ ٹی وی کی مجموعی صحافت اور گلوبل وائسز کا ووٹوں کے بغیر آوازیں نے دنیا بھر کے نظریے کو مقامی معاملات پر لانے اور اسکے بارے میں معلومات اکٹھا کرنے کا زمہ لیا ہے ۔
(src)="2.1">Programu ya Collective Journalism inayorushwa na Current TV imeanzisha mfululizo wa ripoti za video zinaoonyesha maoni ya watu wengine ulimwenguni kuhusu Marekani.
(trg)="2.1"> کرنٹ ٹی وی کے مجموعی صحافت پروگرام نے ویڈیو کے زریعے آگاہی دینے کا سلسلہ شروع کیا ہے کہ باقی کی دنیا امریکہ کے بارے میں کیا نظریہ رکھتی ہے ۔
(src)="2.2">Katika programu ya The View from Over There (Mtazamo Kutoka Kwingineko) watu kutoka mataifa mbalimbali wanatoa maoni yao kuhusu sera ya nje, vita vya Iraki, hali tete juu ya Irani na kumtaja ni nani wangependa awe rais anayefuata wa Marekani.
(trg)="2.2"> وہاں کے نظریے سے مختلف ممالک کے بہت سے لوگ غیر ملکی پالیسیوں پر ، ایراق میں جنگ پر ، ایران کی صورتحال پر ، اپنے نظریات لکھتے ہیں ۔
(src)="2.3">Mahojiano hayo ya video mara nyingine huwa katika lugha mbalimbali, lakini hewekewa tafsiri zake katika Kiingereza.
(trg)="2.4"> یہ ویڈیو بعض اوقات مختلف زبانوں میں ہے لیکن اسکا انگریزی ترجمہ کیا جا چکا ہے ۔
(src)="8.1">Video hii pia inatumia vipande vya video vinavyoonyesha Uchaguzi wa Marekani 2008, lakini hasa vile vinavyokazia mtazamo wa kigeni.
(trg)="6.1"> اس ویڈیو میں امریکی انتخابات ۲۰۰۸ ء پر دوسرے شوز کے مناظر بھی دکھائے گئے ہیں ، لیکن اس دفعہ توجہ غیر ملکی معاملات پر ہے ۔
(src)="8.2">Hili ni jambo moja ambalo Global Voices na Shirika la Reuters wamekuwa wakifanya kwa kitambo fulani kupitia programu ya Voices Without Votes: kwa kukusanya maoni kutoka pande zote za ulimwengu juu ya uchaguzi wa Marekani.
(trg)="6.2"> یہ وہ ہے جو گلوبل وائسز اور روٹرز کچھ عرصے سے آوازیں بغیر ووٹس پر کرتے رہے ہیں : جس میں سیارے بھر سے امریکی انتخابات پر آراء اکٹھا کرنا شامل ہے ۔
(src)="8.3">Kama kuna taarifa ungependa kutuma kwenye programu hii, unaweza kufanya hivyo hapa.
(trg)="6.3"> اگر آپ بھی اپنا کوئی مضمون بھجوانا چاہتے ہیں تو آپ یہاں کر سکتے ہیں ۔
(src)="9.1">Programu ifuatayo ya Collective Journalism inayotolewa na Current TV katika kazi zake itakuwa ni mtazamo wa dunia nzima juu ya sera za Marekani za uhamiaji.
(trg)="7.1"> کرنٹ ٹی وی کی اگلی مجموعی صحافت پر مشتمل اسائنمنٹ امریکی امیگریشن پالیسیوں پر دنیا بھر کے نظریات پر ہو گی ۔
# sw/2010_07_uganda-wanablogu-washtushwa-na-milipuko-ya-mabomu_.xml.gz
# ur/2010_07_13_103_.xml.gz
(src)="1.1">Uganda: Wanablogu Washtushwa na Milipuko ya Mabomu
(trg)="1.1"> یوگنڈا : بلاگرز کا دھماکوں پر ردعمل
(src)="1.2">Mashabiki wa soka kote ulimwenguni walikusanyika kwenye kumbi za baa na migahawa ili kushuhudia mechi ya fainali za Kombe la Dunia usiku wa Jumapili iliyopita.
(trg)="1.2"> فٹ بال کے پرستار کل رات کو ورلڈ کپ کا فائنل کھیل دیکھنے کے لئے بار اور دنیا بھرکے ہوٹلوں میں جمع تھے ۔
(src)="1.3">Nchini Uganda usherehekeaji huu ulikatishwa pale milipuko ya mabomu iliposambaratisha maeneo mawili maarufu kwa sherehe za mpaka majogoo jijini Kampala, mji mkuu wa nchi hiyo.
(trg)="1.3"> یوگنڈا میں ، ان تقریبات میں رکاوٹ پیدا ہو گئی جب ملک کے دارالحکومت کمپالا میں دو مقبول نائٹ لائف جگہوں پر دھماکے ہوئے ۔
(src)="2.1">Mpaka sasa vyombo vya habari nchini Uganda vimeripoti vifo zaidi ya 70, huku dazeni kwa dazeni wakiwa wamejeruhiwa vibaya kutokana na milipuko hiyo.
(trg)="2.1"> یوگنڈن میڈیا دھماکے میں مزید درجن زخمیوں کے ساتھ چالیس سے زیادہ کی اموات پر ابھی تک رپورٹ کر رہا ہے ۔
(src)="2.4">Kundi hilo limepongeza kutokea kwa milipuko hiyo lakini hakikusema kama kinahusika nayo ama hapana.
(trg)="3.1"> گروپ نے ان حملوں کو سراہا لیکن ان کی ذمہ داری قبول نہیں کی ۔
(src)="3.1">Waathirika wa milipuko miwili ya kutisha ya mabomu jijini Kampala wakisubiri kupatiwa huduma katika Hospitali ya Mulago.
(trg)="4.1"> کمپالا میں دو مہلک بم دھماکوں کے متاثرین ملاگو ہسپتال میں علاج کے لئے انتظار کررہے ہیں ۔
(src)="3.2">Picha ilipigwa na Trevor Snapp.
(trg)="4.2"> ٹریور سنیپ کی طرف سے فوٹو ۔
(src)="3.3">Picha hii imetumiwa kwa ruhusa ya aliyeipiga
(trg)="4.3"> جو کہ فوٹوگرافر کی اجازت سے استعمال کی گئی ۔
(src)="4.1">Mwanablogu wa Uganda Gay Uganda anaandika:
(trg)="5.1"> یوگنڈا کے بلاگر گے یوگنڈا لکھتے ہیں ۔
(src)="5.1">Uganda imeshambuliwa.
(trg)="6.1"> یوگنڈا پر حملہ ہوا ۔
(src)="5.2">Kwa kusema kweli ni ubinadamu ndiyo ulioshambuliwa.
(trg)="6.2"> واقعی ، اس پر حملہ کیا انسانیت ہے ۔
(src)="5.3">Je, nani anaweza kuthubutu kuwa na furaha kufuatia ukatili mkubwa kama huu?
(trg)="6.3"> کس کی ایسے ظلم پر خوش ہو نے کی ہمت ہے ؟ ظاہری طور پر ، صومالی عسکریت پسند خوش ہیں ۔
(src)="5.5">Wanafurahi kwa sababu wanapambana na vikosi vya Umoja wa Afrika nchini Somali, vikosi hivyo vimewazuria wapiganaji hao kuanzisha dola la Kiislamu lenye kuongozwa na Sharia ya Kiislamu.
(trg)="7.1"> کیونکہ وہ صومالیہ میں افریقی یونین کے فوجیوں سے لڑ رہے ہیں ، جنہوں نے شرعی قوانین کے تحت ایک اسلامی ریاست کے قیام سے انہیں روک دیا ۔
(src)="6.1">….Ninachokiona ni raia wenzangu, binadamu ambao kikubwa walichokuwa wanakifanya ni kutazama mechi ya kandanda ambapo wengi wao wameuawa na wengine kujeruhiwa, wamefanyiwa hivyo kwa fikra na njozi ambazo pengine wala hawakuwahi kuziwazia, yaani vitendo ambavyo wala hawawezi kuvitawala au kuwa na ushawishi navyo.
(trg)="7.2"> میں نے ملک کے ساتھیوں کو دیکھا ، انسان جو کچھ برا نہیں دیکھ رہے تھے سوائے ایک فٹبال میچ کے ۔
(trg)="7.3"> جو کے مارے گئے اور معذور ہو گئے ، آدرشوں کے نام پر ، جسکے بارے ، میں انہوں نے سوچا بھی نہیں تھا ۔
(src)="7.1">Ernest Bazanye anatahadharisha kwamba pengine watu wasifanye haraka kuhukumu kwamba nani hasa alitega na kulipua mabomu hayo, bado ni mapema mno:
(trg)="7.5"> ارنسٹ بزانے جلدی نتائج اخز کرنے کے خلاف انتباہ کرتا ہے کہ کس نے اتنی جلدی بم سیٹ کیے
(src)="7.2">Ni mapema mno kusema nani anahusika na kwa nini, hata kama kuna minong'ono huko nje ya nchi kwamba kitendo hicho cha kuua watu kwa mabomu kilifanywa na kundi la Al-Shahab, ambalo ni kundi la magaidi huko Somalia.
(trg)="8.1"> یہ کہنا جلدی ہوگا کہ کون زمہ دار ہے اور کیوں ، اور اگرچہ غیر ملکیوں کا خیال یہ ہے کہ یہ خود کش امام شہاب ، کی طرف سے پیش کیا گیا بم دھماکوں کا ایک جوڑا تھا ، صومالیہ کی دہشت گرد تنظیم ۔
(src)="7.3">Bila shaka mpaka sasa tumeshakomaa vya kutosha kuelewa kwamba kwa kawaida ukweli hauji haraka hivyo, kwamba bado ni mapema mno.
(trg)="8.3"> کہ جلد ہی اور یہ کہ کوئی بھی نتیجہ اب وقت سے پہلے ہوگا ۔
(src)="7.4">Trevor Snapp, ambaye ni mpiga picha mtengeneza makala za maoni na anayeishi Kampala, alikwenda Hospitali ya Mulago, mahali ambapo waathirika wengi wa mabomu hayo walipelekwa mara baada ya milipuko. anaandika:
(trg)="9.1"> ٹریور سنیپ ، کمپالا میں رہنے والا ایک دستاویزی فلم فوٹوگرافر ، بم دھماکوں کے بعد مولاگہ ہسپتال میں تھا ، جہاں متاثرین کو لے جایا گیا وہ لکھتے ہیں ۔
(src)="7.5">Wanafamilia walimiminika kuelekea sehemu ya mapokezi wakati ambapo madaktari na miili iliyojaa damu walikimbizwa na kutolewa katika chumba cha upasuaji.
(trg)="10.2"> جبکہ ڈاکٹروں اور خون میں لت پت جسموں کو اندر اور سرجری سے باہر لایا گیا ۔
(src)="7.6">Katika ukumbi wa kuelekea chumba cha upasuaji kulikuwa na mwili umelala sakafuni, damu zilikuwa zikimiminika kutoka kichwani, ilikuwa vigumu kusema kama alikuwa bado yungali hai au alikwishakufa.
(trg)="10.3"> سرجری کے دالان میں منزل پر ایک شخص کی بوڈی رکھی تھی اس کے سر سے خون بہہ رہا تھا ، یہ جاننا مشکل تھا کہ وہ زندہ ہے یا مر گیا ۔
(src)="7.8">Miili yote ilikuwa ya vijana.
(trg)="10.6"> وہ سب نوجوان تھے ۔
(src)="7.9">Wanablogu wengi wameshtushwa kwamba milipuko hiyo imetokea Kampala, jiji ambalo linafahamika kwamba ni moja ya majiji makuu yaliyo salama zaidi barani Afrika.
(trg)="11.1"> بہت سے بلاگر حیران ہیں کہ کمپالا میں ہوئے بم دھماکے ، جو کہ بڑے پیمانے پر افریقہ کے سب سے محفوظ دارلحکومت شہروں میں سے ایک کے طور پر جانا جاتا ہے ۔
(src)="7.10">Joshua Goldstein, a mwandishi wa zamani wa Global Voices ambaye aliwahi kuishi Kampala, anaelezea maeneo mawili ambapo milipuko ilifanyika:
(trg)="11.2"> جوشوا گولڈسٹین ، گلوبل وائسز کے سابق مصنف جو کمپالا میں رہتے تھے ، اان جگہوں کو بیان کرتے ہیں جہاں بم دھماکے ہوئے تھے ۔
(src)="8.1">Klabu ya Mchezo wa Rugbi ya Kampala ni Baa iliyo na eneo kubwa la wazi, iko pembezoni mwa kiwanja, mahali hapa wanapenda sana kuja wanafunzi wa vyuo ambao huja hapo kurandaranda na marafiki zao.
(trg)="12.1"> کمپالا کا رگبی کلب ایک وسیع بار ہے ، پچ کے قریب ، جہاں کمپالا کالج کے طالب علم اپنے بہت سے دوستوں کے ساتھ گھومنے آتے ہیں ۔
(src)="8.2">Kama Uganda ingekuwa na makundi fulani ya kiitikadi basi hapa ndiyo mahali ambapo wangefika kufanya sherehe zao.
(trg)="12.2"> اگر یوگنڈا میں برادریاں ہوتیں ، تو یہ وہ جگہ ہوتی جہاں لوگ پارٹیز کرتے ۔
(src)="9.2">Mgahawa, upo upande wa juu wa kiasi cha nusu dazeni au zaidi kidogo ya mighahawa ya Ki-Ethiopia ndani ya kiasi cha mita 500, ipo katikati ya makutano ya Barabara ya Ggaba na ile ya Tank Hill.
(trg)="12.3"> یہاں پر زبردست مقرر نیل ڈرنک کے ساتھ دھماکے دار ہپ ہاپ کاپس منظر ہوتا ہے ویکینڈز پر یہ ٹیم رگبی کامیچ دیکھتے ہیں ، اور طوق سے سورج کی تپش کو روکتے ہیں
(src)="9.3">Nyakati za Mchana waandishi wa habari wa Ki-Ethiopia waliokimbia kwao hupoteza wakati wao kwa kutafuna miraa na kubadilishana habari za matukio ya siku hiyo.
(trg)="13.7"> دوپہر میں ، ایتھوپیا کے مخالف صحافیوں نے اپنے جلا وطنی کے دن مرا چباتےہوئے اور دن کی خبروں پر بحث کرتے ہوئے گزارے ۔
(src)="9.4">Nyakati za usiku, eneo lote huchangamka kwa mwanga wa taa zinazotoka kwenye baa na mitoko ya usiku.
(trg)="13.8"> رات میں ، بار اور رقص پارٹیوں سے پڑوسیوں کے گھر روشن ہوتے ہیں .
(src)="10.1">Sleek anaandika:
(trg)="14.1"> سلیک لکھتے ہیں
(src)="11.1">Kutoa picha kamili kwa tukio hili zima, nitasema kwamba mpaka sasa, Kampala imekuwa moja ya sehemu zile ambazo mtu anaweza kutembea mpaka hata saa 9 usiku kutoka upande mmoja wa mji hadi mwingine.
(trg)="15.2"> میں بات کروں گا کہ اب تک ، کمپالا ان جگہوں میں سے ایک رہ چکی ہے جہاں صبح تین بجے تک ، کوئی بھی شہر کے ایک سرے سے دوسرے سرے تک چھل قدمی کر سکتا ہے ۔
(src)="11.3">Lakini pamoja na hayo bado mtu anamudu kwenda sehemu ya burudani na kulipa walau Shilingi za Uganda 5,000 ili kujipatia bia.
(trg)="15.10"> اور ہم اس قدر جگہ کو پر کر دیتے ہیں کہ ہمیں اپنی ڈرنک حاصل کرنے کے لیے جھگڑنا پڑتا ہے ۔
(src)="12.1">Na kisha mara unasikia milipuko ya mabomu ...
(trg)="15.11"> اور وہ ایک عام سا اڈا ہے ۔
# sw/2010_11_mexico-mwanamke-wa-miaka-20-ni-mkuu-mpya-wa-polisi-katika-mji-wa-kaskazini-mwa-mexico_.xml.gz
# ur/2010_10_27_255_.xml.gz
(src)="1.1">Mexico: Mwanamke wa Miaka 20 ni Mkuu Mpya wa Polisi katika Mji wa Kaskazini mwa Mexico
(trg)="1.1"> میکسیکو : 20 سالہ عورت شمالی میکسیکو ٹاؤن کی نئی پولیس سربراہ ہے
(src)="2.1">Jina lake ni Marisol Valles García na amepewa jina la mwanamke jasiri kuliko wote nchini Mexico" .
(trg)="1.2"> اسکا نام ماریسل والس ہے اور وہ میکسیکو میں ” بہادر عورت “ کے طور پہ بلائی جاتی ہے ۔
(src)="3.1">Valles García ni mwanamke aliyeolewa mwenye umri wa miaka 20 ambaye anasoma mwaka wa mwisho wa masomo ya makosa ya jinai na uhalifu; vile vile ni mkuu mpya wa polisi wa Práxedis, Chihuahua.
(trg)="2.1"> ماریسل والس بیس سالہ شادی شدہ عورت ہے جو کہ کریمینولوجی کے آخری سال کی تعلیم حاصل کر رہی ہے ۔
(src)="3.2">Práxedis ipo umbali wa kilometa 100 (maili 62) kutoka Ciudad Juárez, mji wenye uhalifu zaidi nchini Mexico.
(trg)="2.3"> پریکسڈس ، دور سییوداد جورز سے 100 کلومیٹر ( 62 میل ) کے ارد گرد واقع ہے ، جو کہ میکسیکو کا سب سے زیادہ پر تشدد شہرہے ۔
(src)="4.1">Lakini, Kwa nini alipewa kazi muhimu kama hii?
(trg)="3.1"> لیکن ، اسے یہ اہم کام کیوں دیا گیا ؟ رچرڈ گریبمن اپنے بلاگ دی میکس فائلز میں صورت حال بیان کرتا ہے :
(src)="5.1">Mgombea pekee aliyejitokeza kuliongoza jeshi la ulinzi wa jamii alikuwa Marisol Valles García, mwanafunzi wa miaka 20 anayesomea elimu ya makosa ya jinai na uhalifu.
(trg)="4.1"> سیکیورٹی فورس کو کمانڈ کرنے کے لیے صرف ایک ہی امیدوار جس نے آگے قدم بڑھایا بیس سالہ کریمنولوجی کی طالبعلم ، ماریسل والس گریشیا تھی ۔
(src)="5.2">Mkuu wa polisi mpya (na mwenye uri mdogo kuliko wote nchini Mexico) anayesimamia kitengo ambacho kinaweza kutoa zamu mbili za askari wa kulinda doria katika kila jamii.
(trg)="4.2"> شہر میں نئی ماسٹر ( اور میکسیکو میں سب سے کم عمر کے پولیس سربراہ ) جو کہ ایک چھوٹے سے سیکشن کی دیکھ بھال کرتی ۔
(src)="6.1">Cristhian García, mwanablogu wa Mexico mwenye umri wa miaka 21 ametoa maoni yake juu ya suala hilo:
(trg)="5.1"> کریسٹن گریشیا ، ایک اکیس سالہ میکسیکو کی بلاگر نے اس عنوان ( ای ایس ) پہ تبصرہ کیا :
(src)="6.2">#HerooftheWeek tuzo iende kwa binti wa miaka 20 Marisol Valles Garcia, Mwanafunzi wa Kriminolojia ambaye ni mkuu wa polisi wa Guadalupe, nchini Mexico…
(trg)="8.1"> ہفتے کے # ہیرو کا ایوارڈ بیس سالہ واریسل والس گریشیا کو ملتا ہے ، ایک کریمنولوجی کی طالبعلم جو کہ میکسیکو ، گوڈالوپ میں پولیس کی سربراہ بن چکی ہے ۔
(src)="6.3">Laura Ruíz (@YoSoyBereNice), fwa Veracruz, México alichangia kwa maoni haya:
(trg)="11.1"> اس موضوع پر اداکار ٹام کروز کے اکاؤنٹ پر بھی بحث کی گئی ، ( @ TomCruise ) :
(src)="6.4">Marisol Valles Garcia mwenye umri wa miaka 20 ni shujaa wa kweli akiwa kama mkuu wa polisi kwenye mji wenye uhalifu wa hali ya juu sana nchini Mexico.
(trg)="11.2"> بیس سالہ واریسل والس میکسکو کے بہت ہی پر تشدد قصبے کی پولیس سربراہ ہونے کے ناطے ایک اصل زندگی کی ہیرو ہیں ۔
(src)="6.5">Tumuunge mkono: http://bit.ly/ata0wm
(trg)="11.3"> آئیں اسکے ساتھ تعاون کریں : http : / / bit .
(src)="7.1">Mwisho, katika blogu ya Hermosillo kupitia Periodista Digital , tukio hili limeandikwa na Valles García ametajwa kuwa ni mtu wa kujivunia sana katika eneo lake:
(trg)="12.1"> کسی شک کے بغیر ، چیھوحاسے اس خوبصورت اور حوصلہ مند عورت کا کارنامہ اسکے علاقہ کو ایک خوبصورت لقب دیتا ہے ۔
# sw/2011_01_dunia-ya-uarabu-_e2_80_9cacheni-kulia-juu-sudani_e2_80_9d_.xml.gz
# ur/2011_01_10_349_.xml.gz
(src)="1.1">Dunia ya Uarabu: “Acheni Kulia Juu Sudani”
(trg)="1.1"> عرب ممالک : " سوڈان پر رونا بند کرو "
(src)="1.2">Kura ya maoni kwa ajili ya uhuru wa Sudani ya Kusini leo imeiweka nchi hiyo kwenye uangalizi wa karibu miongoni mwa watumiaji wa twita wa Kiarabu.
(trg)="1.2"> سوڈان میں آج آزادی ریفرنڈم ، نے ملک کو عرب ٹویٹرسفیر میں راڈار پر رکھ دیا ۔
(src)="1.3">Kuanzia Saudia mpaka Palestina, watumiaji Twita wa Kiarabu wanajadiliana kuhusu mshikamano, kugawanyika na rasili mali za Sudani.
(trg)="1.3"> سعودی عرب سے فلسطین تک ، عرب ٹویپس سوڈان کے اتحاد ، تقسیم ، اور وسائل پر بحث کر رہےہیں ۔
(src)="4.1">Na anahitimisha:
(trg)="5.1"> اور پھر یہ اخز کرتے ہیں :
(src)="6.1">Bader Aujan, kutoka Saudi Arabia pia, ana mtazamo chanya kuhusu mustakabali (wa Sudani):
(trg)="7.1"> بدر اوجان بھی سعودی عرب سے ، مستقبل کے بارے میں مثبت ہے :
(src)="8.1">Halafu anaongeza:
(trg)="9.1"> وہ مزید کہتا ہے :
(src)="9.1">Ujerumani ni mfano mzuri wa namna nchi zilizowahi kujitenga siku moja zilikuja kuungana tena kwa amani. #Sudan haiwezi kuwa tofauti katika hili!
(trg)="10.1"> جرمنی ایک بڑی مثال ہے کہ کیسے الگ ممالک ایک نہ ایک دن امن سے دوبارہ واپس مل جاتے ہیں ۔
(src)="10.2">Kulikuwa na mapigano ya miaka 26 ambapo ninyi mlinyamaza.
(trg)="10.2"> # سوڈان مستثنی نہیں ہے !
(src)="10.3">Tafadhali endelezeni kimya chenu leo.
(trg)="11.2"> عزیز عرب بھائیو !
(src)="11.1">Mpalestina Bahaa AlKayyali anaombea umoja wa Sudani الوحدة للسودان... الوحدة #Sudan Umoja kwa Sudani…umoja
(trg)="11.3"> براہ مہربانی ، سوڈان پر ایک موضوع باندھنا اور رونا بند کرو ۔
(src)="12.1">Wakati kutoka Jordani, Ali Dahmash anaonesha Rasilimali zenye utajiri za Sudani:
(trg)="11.4"> جب 26 سال تک کی جنگ تھی جس میں آپ چپ تھے .
(src)="12.2">Hivi mnafahamu kwamba asilimia 70 ya uzalishaji wa Mafuta ya Sudani yako kusini?
(trg)="11.6"> فلسطینی بہا الکیالی ایک متحد سوڈان کے لئے دعا کرتا ہے :
(src)="12.5">Je, hili linafanyika kwa kuipenda Sudani ama ni baraka kwa ajili ya kujitenga
(trg)="13.1"> اور واپس سعودی عرب میں ، بندر بن نیف ، حیران ہوتا ہے :
# sw/2011_01_sudani-kura-ya-maoni-ya-sudani-ya-kusini-katika-picha_.xml.gz
# ur/2011_01_11_354_.xml.gz
(src)="1.1">Sudani: Kura ya Maoni ya Sudani ya Kusini katika Picha
(trg)="1.1"> سوڈان : تصاویر میں جنوبی سوڈان کے ریفرنڈم
(src)="1.2">Kura ya maoni inaendelea kupigwa huko Kusini mwa Sudani tangu tarehe 9 mpaka 15 Januari 2011 kuamua iwapo sehemu hiyo ya kusini itaendelea kubaki kuwa sehemu ya Sudani ama iwe nchi huru inayojitegemea.
(trg)="1.2"> ریفرنڈم فی الحال جنوبی سوڈان میں2011 ءمیں 9 جنوری سے15 جنوری تک ہونگے ۔
(trg)="1.3"> یہ فیصلہ کرنے کے لیے کہ ، جنوبی حصہ سوڈان رہے گا یا آزاد ریاست رہے گا ۔
(src)="1.3">Hizi ni picha zinazoweka kumbukumbu muhimu ya kihistoria ya kura hiyo ya maoni katika Sudani ya Kusini.
(trg)="1.4"> یہ تصاویر جنوبی سوڈان کے تاریخی ریفرنڈم کی دستاویزکاری کر رہی ہیں ۔
(src)="2.1">Tazama kidole changu:
(trg)="2.1"> میری انگلی کی طرف دیکھو :
(src)="3.1">Mwanamke katika Sudani ya Kusini akionyesha kidole chake kilichochonfywa wino.
(trg)="4.1"> ایک عورت جنوبی سوڈان میں ووٹ کرنے کے بعد اپنی مارک انگلی دکھا رہی ہے ۔
(src)="3.2">Picha kwa hisani ya Suleiman Abdullahi (http://upiu.com/)
(trg)="4.2"> سلیمان ( http : / / upiu .
(src)="4.1">Safari ndefu kwenda kupiga kura:
(trg)="4.3"> com / ) عبداللہ کی تصویر شائستگی ۔
(src)="5.1">Safari ndefu kwenda kupiga kura: Picha kwa hisani ya Alun McDonald
(trg)="5.1"> ووٹ کرنے کے لیے لمبی واک :
(src)="6.1">Bendera mpya ya Sudani ya Kusini.
(trg)="7.2"> الن مکڈونلڈ کی تصویر شائستگی ۔
(src)="7.1">Bendera mpya ya Sudani ya Kusini.
(trg)="8.2"> الن مکڈونلڈ کی تصویر شائستگی ۔
(src)="9.2">Picha kwa hisani ya Kamati ya Kimataifa ya Uokoaji.
(trg)="26.3"> بین الاقوامی ریسکیو کمیٹی کی تصویر شائستگی ۔
(src)="11.1">Runinga ya Sudani ya Kusini haiwezi kuandika neno “Piga kura sasa” kwa kiarabu: Hapa waliandika صويت badala ya صوت .
(trg)="9.4"> لال — آزادی کے لئے خون بہانا ، سبز — زمین ، بلیو — دریا کا پانی ، دریائے نیل میں گولڈ اسٹار — جنوبی سوڈان کی ریاستوں کا اتحاد ۔
(src)="11.2">Picha kwa hisani ya Sate3
(trg)="11.2"> گیلیو پیٹروکا کی تصویر شائستگی ۔
(src)="12.1">Namna ya kuweka alama kwenye karatasi ya kura:
(trg)="12.1"> آزادی کے لیے لمبا انتظار ۔
(src)="13.1">Namna ya kuweka alama kwenye karatasi ya upigaji kura ya maoni
(trg)="14.1"> ووٹرز گھنٹوں کے لیے لائن میں امن سے کھڑے رہے ۔
(src)="14.1">Wakusubiri kupiga kura kwa ajili ya uhuru:
(trg)="14.2"> بین الاقوامی ریسکیو کوم کی تصویر شائستگی ۔
(src)="15.1">Wasudani ya Kusini wakisubiri kupiga kura kwa ajili ya kujipatia uhuru.
(trg)="17.2"> صوت کی بجائے صویت ، ایس کی تصویر شائستگی ۔
(src)="15.2">Picha kwa hisani ya David McKenzie
(trg)="18.1"> بیلٹ کو کیسے مارک کریں :
(src)="16.1">Karatasi ya kupigia kura:
(trg)="20.1"> آزادی کے لیے ووٹ کرنے کا انتظار کر رہے ہیں :
(src)="17.1">Karatasi ya kupigia kura ambayo Wasudani ya Kusini wanaitumia kupigia kura zao.
(trg)="22.1"> جنوبی سوڈانی آزادی کے لیے ووٹ کرنے کا انتظار کر رہے ہیں ۔
(src)="17.2">Picha kwa hisani ya Usamah
(trg)="22.2"> ڈیوڈ میکینزی کی تصویر شائستگی ۔
(src)="18.1">Unaweza kuniletea kiti?:
(trg)="23.1"> ووٹنگ کارڈز :
(src)="19.1">Mistari ilikuwa mirefu.
(trg)="26.1"> قطار بہت لمبی تھی ۔
(src)="19.2">Watu walifika na viti vyao.
(trg)="26.2"> لوگ کرسیاں لے آئے ۔
(src)="19.3">Picha kwa hisani ya Kamati ya Kimataifa ya Uokoaji.
(trg)="26.3"> بین الاقوامی ریسکیو کمیٹی کی تصویر شائستگی ۔
# sw/2012_07_misri-waandamanaji-watuma-ujumbe-dhidi-ya-udhalilishaji-wa-kijinsia_.xml.gz
# ur/2012_07_19_651_.xml.gz
(src)="1.1">Misri: Waandamanaji Watuma Ujumbe Dhidi ya Udhalilishaji wa Kijinsia.
(trg)="1.2"> اس صفحہ پر تمام بیرونی لنکس انگریزی زبان میں ہیں ۔
(src)="1.2">Nchini Misri, udhalilishaji wa kijinsia ni tatizo kubwa, na ndilo jambo linaloongozwa kupingwa na Wamisri.
(trg)="2.2"> ۴ جولائی کو قائرہ کی نصر سٹی میں جوان مصریوں نے اپنا احتجاج ریکارڈ کروایا ۔
(src)="1.3">Maandamano yalifanywa na vijana wadogo wa Misri, wasichana kwa wavulana katika mji mdogo wa Nasr jijini Cairo mnamo tarehe 4 Julai kwa lengo la kutuma ujumbe kupinga udhalilishaji wa kijinsia.
(trg)="3.1"> جب سے عرب انقلاب کا آغاز ہوا تھا ، مصریوں نے انٹرنٹ پر اور آف لائن ، دونوں طریقوں سے جنسی تشدد اور تعصب کی پرزور مذمت کی ۔
(src)="2.1">Tangu mapinduzi yalipofanyika, Wamisri wanaotumia mtandao wa intaneti na wasiotumia mtandao wa intaneti wamekuwa wakisimama imara kupinga udhalilishaji wa kijinsia pamoja na machafuko yatokanayo na kutokujali usawa wa binadamu.
(trg)="3.2"> جون میں جنسی تشدد کے خلاف مارچ پر حملہ کیا گیا ، مگر اس برای کے خلاف جنگ آج بھی جاری ہے ۔
(src)="2.2">Mwezi Juni matembezi ya kupinga udhalilishaji wa kijinsia yalishambuliwa.
(trg)="7.1"> " مجھے اپنے لڑکی ہونے پر شرم نہیں "