# sw/2016_07_shule-moja-nchini-timor-leste-kuwapiga-faini-wanafunzi-wanatakaoongea-lugha-rasmi-ya-wenyeji_.xml.gz
# tet/2016_09_13_221_.xml.gz
(src)="1.1">Shule Moja Nchini Timor-Lesté Kuwapiga Faini Wanafunzi Wanatakaoongea Lugha Rasmi ya Wenyeji
(trg)="1.1"> " Se 'e ma 'ak la hatene koalia Portugez diak liu nonok " , dehan diretora Eskola Bazika
(src)="1.2">"Kama mwanafunzi ataongea lugha ya Kitetumi atapigwa faini ya dola moja.”
(trg)="1.2"> " Estudante Ko 'alia Tetun Multa Dollar 1 ″ .
(src)="1.3">Picha na: Timor Post, Toleo la Julai 13
(trg)="1.3"> Foto : Edisão de 13 jullo 2016 jornal Timor Post
(src)="2.1">Bodi ya Shule ya Msingi Fatumeta katika kitongoji cha Dili imeamua kuweka sheria zitakazo wabana wanafunzi watakaoongea lugha nyingine tofauti na Kireno ikiwemo Kitetumi wawapo katika mazingira ya shuleni.
(trg)="2.1"> Diresaun Eskola Bazika Sentral Fatumeta , iha Dili , aplika regra ida nebe bandu estudante sira ko 'alia lian lokal ka lian materna iha estabelesimentu ensinu nia laran so autoriza unika lian Portugez .
(src)="3.1">Kutoka kwa gazeti la Timor Post, mkurugenzi wa shule hiyo Fernanda Belo, anasema kuwa wanafunzi ni lazima waongee Kireno pekee wawapo shuleni.
(trg)="3.1"> Tuir jornal Timor Post , diretora Eskola ne 'e , Fernanda Belo , defende katak so bele ko 'alia Portugez no " se ma 'ak la hatene ko 'alia , di 'ak liu nonok " , dehan , jornal ne 'e .
(src)="3.3">Kwa mujibu wa gazeti hilo, mwanafunzi akikamatwa akizungumza lugha tofauti na Kireno "atapigwa faini".
(trg)="3.2"> Notisia refere katak kazu alunu sira ko 'alia lian seluk , nebe la 'os lian portuguez , " sira selu multa " .
(src)="3.4">Ikiwa imeandikwa Kitetumi, gazeti la Timor Post limemnukuu Belo akisema kuwa:
(trg)="4.1"> Iha artigu , hakerek iha lian Tetun , Fernanda Belo deklara tuir nune 'e :
(src)="3.5">Tumeeleza hii sheria kwa wazazi na tumeweka msimamo kuwa wanafunzi hawataongea Kitetumi, kila mmoja lazima aongee Kireno.
(trg)="4.3"> Diretora eskola ne 'e sublinha katak regra ne 'e estabelese tiha ona ho konsentimentu inan-aman sira no enkaregadu edukasaun alunu sira .
(src)="3.6">Kama mwanafunzi ataongea Kitetumi atapigwa faini ya dola moja.
(trg)="4.4"> Professora justifika aplikasaun multa ne 'e ho forma atu tulun alunu sira ko 'alia Portugez .
(src)="5.2">Muongo mmoja baadaye, tafiti zinaonesha kuwa ni asilimia 15% pekee ya watundio wanaoongea Kireno:
(trg)="5.3"> Por todo o território falam-se cerca de 20 línguas e dialetos para além do Indonésio .
(src)="5.4">Kwa nchi nzima kuna karibu lugha 20 tofauti zinazozungumzwa ukijumuisha na Kiindonesia.
(trg)="5.6"> Iha rai-laran timor-oan sira ko 'alia hamutuk lian rua-nulu ( 20 ) no dialetu para alende bahasa indonesia .
(src)="5.5">Asilimia 15% tu ya watu ndio wanaozungumza Kireno.
(trg)="5.7"> So 15 % deit husi populasaun mak ko 'alia Portugez .
(src)="5.6">Pamoja na hayo, inaonesha kuwa sheria za shule ya Msingi ya Fatumeta zinavunja sheria za nchi katika ufundishaji.
(trg)="5.8"> Maske nune 'e , regra aplikada husi diretora eskola leno kontra lei ensinu iha Timor-Leste .
(src)="5.7">Raisi wa Alola Foundation na balozi wa matumaini mema kwa ajili ya masuala ya elimu Kirsty Sword Gusmao,ameiambia Global Voices kuwa taratibu za kuwapiga faini wanafunzi wanaoongea Kitetumi zimepitiwa:
(trg)="5.9"> Prezidente Fundasaun Alola no Embaixadora Boa Vontade ba assuntu sira edukasaun nian , Kirsty Sword Gusmão , promete ba Global Voices - iha dadalia liu husi Facebook - verifika lejitimidade situasaun ne 'e tamba :
(src)="5.8">Nitalipeleka jambo hilo kwa Naibu Waziri wa Elimu ya Msingi kwa sababu sheria hii haiendani na sheria za Mtaala wa Elimu ya Msingi .
(trg)="5.10"> Ha 'u sei refere asuntu ida ne 'e ba Sra Vice-Ministra Ensinu Báziku tanba regra / sansaun hanesan ne 'e la han malu ho Dekreto Lei kona-ba Kurrikulu Foun Ensinu Baziku nian .
(src)="5.9">Picha ya Kirsty Sword Gusmão.
(trg)="6.1"> Kirsty Sword Gusmão .
(src)="6.1">Gusmão anaelezea kuwa:
(trg)="6.2"> Foto publika ho autorizasaun .
(src)="6.3">Iishi milele lugha ya Kitetumi!
(trg)="6.6"> 14-2 no 3 ) Viva lian-Tetun !
(src)="6.6">Kwanza kabisa tunatakiwa tuthibitishe hali halisi katika shule hii, lakini mimi binafsi sihafikiani na taratibu za shule zinazozuia wanafunzi kuzungumza lugha wanayotaka kuitumia katika mazingira ya shule, nje ya darasa.
(trg)="6.9"> Penso que primeiro há que confirmar qual é a situação real nesta escola , mas eu , pessoalmente , não concordo com políticas escolares que proíbam os alunos de falarem a língua que quiserem no recinto escolar , fora da aula .
(src)="6.7">Na zinaweza kuwepo familia ambazo hazina namna ya kulipia faini hizo.
(trg)="6.10"> E pode haver também famílias sem possibilidades económicas de pagar estas multas .
(src)="6.8">Lakini nadhani sio kwa nia mbaya Mkuu wa Shule na waalimu wanapojaribu kutekeleza sheria hiyo.
(trg)="6.11"> Mas creio que não é com má intenção que alguns diretores e professores tentam implementar medidas destas .
(src)="6.12">Na hili, katika siku za karibuni, limesababisha mtindo mpya unaotufanya tutafakari kulikoni.
(trg)="6.17"> Maibe fiar katak la 'os ho intensaun a 'at husi diretor no professor balun koko implementa medidas ne 'e .
(src)="6.17">Nae Rais wa Baraza la Habari la Timor-Lestè ndugu Virgilio da Silva Guterres anasema kuwa mapendekezo ya kufundisha sayansi lazima yajitokeze:
(trg)="6.23"> Nunee viola direitu estudante nian hodi expresa no aprende iha lian nb fasil no tulun sira atu aprende kontiudu siensia nb lais .
(src)="6.18">Je, shule ya Fatumeta ilikusudiwa kuwa shule ya lugha ya Kireno?
(trg)="6.24"> Virgilio da Silva Guterres , Presidente ba Concelho Imprensa Timor-Leste dehan :
(src)="6.19">Lengo la shule hiyo ni kufundisha sayansi.
(trg)="6.26"> Eskola nia objetivu nee atu aprende siensia .
(src)="6.21">Hatuwezi kuwatumia au kuwahusisha watoto na taratibu ambazo zilishatumika kabla.
(trg)="6.28"> Ita labele uza labarik sira nudar objetu retaliasaun ba regra sira nebe uluk aplika ba ita .
(src)="6.23">Nimemwagiza mkuu wa shule kuiondoa sheria hii.
(trg)="6.31"> Husu Diretora eskola revoga regra nee .
(src)="6.27">Wanaogopa kuhamishiwa katika shule ambazo hawapendi kwenda pia.
(trg)="6.34"> Em tão , buat hotu lakon deit iha anin leten : ) .
(src)="6.28">Kwa hiyo "moshi nenda juu" ingawa kuna hadithi nyingi.
(trg)="6.35"> Istoria barak , so que ita mos hanoin ru-rua fali atu halo qeicha .
(src)="6.31">Taarifa hizi za Timor Post zimekuwa za manufaa sana kwa jamii ya wa-Timor.
(trg)="6.37"> Reaksaun ba notisia iha jornal Timor Post iha impaktu maka 'as ba timoroan sira .
(src)="6.32">Kuwapiga wanafunzi faini kwa sababu ya kuongea Kitetumi imeleta mshtuko mkubwa miongoni mwa jamii kwa sababu Kitetumi ni moja kati ya lugha rasmi nchini.
(trg)="6.38"> Leitor sira hakfodak no indignadu ho eskola ne 'e nia aksaun tamba Tetun mos lian ofisial Timor-Leste nian , no multa ba aluno sira mos " exajeru " .