# sr/2008_10_medunarodne-oci-uprte-u-izbore-u-sad_.xml.gz
# sw/2008_10_macho-ya-kimataifa-kwenye-uchaguzi-wa-marekani_.xml.gz


(src)="1.1"> Oči međunarodne javnosti uprte u izbore u SAD | Globalni Glasovi na srpskom
(trg)="1.2">Kadiri uchaguzi wa Marekani unavyokaribia, ndivyo kadiri macho ya kimataifa yanavyozidi kuelekezwa katika sera za nje za taifa hilo na wagombea wakuu.

(src)="1.3"> Projekti kao što su Current TV 's Kolektivno novinarstvo and Global Voices ' Glasovi bez glasanja preuzeli su zadatke da sakupe informacije i daju globalno viđenje na lokalno pitanje .
(trg)="1.3">Kazimiradi kama vile ile ya Collective Journalism inayofanywa na Current TV (Uandishi wa Habari wa Umma wa Current TV) na Global Voices' Voices Without Votes (Mradi wa Global Voices - Sauti Zisizo na Kura) zimechukua jukumu la kukusanya taarifa na kuzipa mtazamo wa kimataifa katika masuala ya ndani ya sehemu fulani tu ulimwenguni.

(src)="2.1"> Program Current TV 's Kolektivno novinarstvo započeo je serije video reportaža o tome kako ostatak sveta vidi Sjedinjene Države .
(trg)="2.1">Programu ya Collective Journalism inayorushwa na Current TV imeanzisha mfululizo wa ripoti za video zinaoonyesha maoni ya watu wengine ulimwenguni kuhusu Marekani.

(src)="2.2"> U Pogledu iz drugog ugla , ljudi iz mnogih država iznose njihove poglede u vezi sa spoljnom politikom , ratom u Iraku , situacijom u Iranu i pominju koga bi oni želeli da vide kao budućeg predsednika SAD .
(trg)="2.2">Katika programu ya The View from Over There (Mtazamo Kutoka Kwingineko) watu kutoka mataifa mbalimbali wanatoa maoni yao kuhusu sera ya nje, vita vya Iraki, hali tete juu ya Irani na kumtaja ni nani wangependa awe rais anayefuata wa Marekani.

(src)="2.3"> Ti video intervjui su ponekad na drugim jezicima , ali su titlovi na engleskom .
(trg)="2.3">Mahojiano hayo ya video mara nyingine huwa katika lugha mbalimbali, lakini hewekewa tafsiri zake katika Kiingereza.

(src)="2.4"> Ovaj video snimak takođe sadrži i delove iz nekih drugih programa koji se odnose na izbore 2008 u SAD ali su oni usmereni na inostranu perspektivu .
(trg)="8.1">Video hii pia inatumia vipande vya video vinavyoonyesha Uchaguzi wa Marekani 2008, lakini hasa vile vinavyokazia mtazamo wa kigeni.

(src)="2.5"> Ovo je nešto što Global Voices i Reuters za sada rade u " Glasovi bez glasanja " : sakupljanje mišljenja o izborima iz različitih delova sveta .
(trg)="8.2">Hili ni jambo moja ambalo Global Voices na Shirika la Reuters wamekuwa wakifanya kwa kitambo fulani kupitia programu ya Voices Without Votes: kwa kukusanya maoni kutoka pande zote za ulimwengu juu ya uchaguzi wa Marekani.

(src)="2.7"> Sledeći zadatak Current TV " s Collective journalism biće da pruži širi pogled na emigrantsku politiku SAD .
(trg)="9.1">Programu ifuatayo ya Collective Journalism inayotolewa na Current TV katika kazi zake itakuwa ni mtazamo wa dunia nzima juu ya sera za Marekani za uhamiaji.

# sr/2009_01_srednji-istok-i-severna-afrika-reakcije-povodom-obamine-inauguracije_.xml.gz
# sw/2009_01_mena-maoni-wakati-wa-kuapishwa-obama_.xml.gz


(src)="1.1"> Srednji Istok i Severna Afrika : Reakcije povodom Obamine inauguracije | Globalni Glasovi na srpskom
(trg)="1.1">MENA: Maoni Wakati Wa Kuapishwa Obama

(src)="1.2"> Polaganje zakletve Baraka Obame kao 44. predsednika SAD predstavlja istorijski trenutak .
(trg)="1.2">Tukio la kihistoria limetokea Marekani leo wakati Barack Obama alipoapishwa kuwa rais wa 44.

(src)="2.1"> Dok je podrška arapskog sveta Obami bledela tokom poslednjih nekoliko meseci nakon izbora njegovog kabineta i zbog ćutanja tokom napada Izraela na Gazu , blogeri iz Severne Afrike i sa Srednjeg Istoka još uvek imaju mnogo toga da kažu .
(trg)="1.3">Wakati kuungwa mkono kwa Obama kati ya Waarabu kumekuwa kukipungua katika miezi michache iliyopita kufuatia uteuzi wake wa baraza la mawaziri na ukimya wake kuhusu mashambulio ya Israeli huko Gaza, wanablogu wa Mashariki ya Kati na Afrika ya Kaskazini wanayo mengi ya kusema.

(src)="3.1"> Jedan Sirijac u Londonu prikazuje vremenski okvir izraelskih napada u poslednjih nekoliko nedelja , i primećuje :
(trg)="2.1">Bloga A Syrian in London anaorodhesha matukio ya wiki chache zilizopita wakati wa mashambulizi ya Israeli, halafu anaeleza:

(src)="4.1"> Još od Kenedija , a neki kažu nikada ranije , nijedan američki predsednik nije imao toliku pažnju širom sveta i ni od koga se nije toliko očekivalo .
(trg)="3.1">Hapajatokea mwingine tangu Kennedy, na wengine wanasema hakuna rais mwingine wa Marekani aliyewahi kuwa na mvuto pamoja na matumaini makubwa, kutoka duniani kote, kwenye mabega yake.

(src)="4.2"> U govoru povodom inauguracije , predsednik Obama je rekao :
(trg)="3.2">Katika hotuba yake ya kuapishwa, Rais obama alisema:

(src)="5.1"> " mi smo izabrali nadu umesto straha , jedinstvo umesto konflikta i nesloge "
(trg)="4.1">"tumechagua matumaini dhidi ya hofu, umoja wa nia dhidi ya migogoro na kutoelewana"

(src)="7.1"> " Ako želimo da reafirmišemo našu veličanstvenu naciju , jasno nam je da nam to neće biti poklonjeno .
(trg)="6.1">"Katika kutilia mkazo ukuu wa taifa letu, tunaelewa kwamba ukuu si haki yetu ya kupewa hivi hivi tu.

(src)="7.2"> To se mora zaslužiti . "
(trg)="6.2">Ni lazima tuupiganie."

(src)="8.1"> " kao lažan , mi odbijamo izbor između naše bezbednosti i naših ideala "
(trg)="7.1">" chaguo ama la usalama wetu au maadili yetu, ni la uongo na tunalikataa"

(src)="9.1"> Da li smemo da žalimo za mrtvima ?
(trg)="8.1">"Je tunathubutu kuomboleza wafu?

(src)="9.2"> Da li smemo da se nadamo životu ?
(trg)="8.2">"Je tunaweza kuwa na matumaini kwa wale wanaoishi?

(src)="9.3"> Jar of Juice , bloger iz Dubajia , oseća da je nešto nedostajalo u Obaminom govoru :
(trg)="8.3">Bloga Jar of Justice aliyeko Dubai, anadhani kwamba hotuba ya Obama ilikuwa na mapungufu:

(src)="10.1"> Kada sam pomislio da je Obamin govor brilijantan - on se nije ustezao da pomene " Muslimane " ali je sa mukom pokušavao da zvuči iskreno kada se " zahvalio " imbecilu o kojem od danas nećemo govoriti - mislim da je ovde izostao suštinski element ... ...
(src)="10.2"> Ali pretpostavljam da se Obama neće srozati na to da više značaja da toj budali nego što je to bilo potrebno u njegovom diplomatskom govoru .
(trg)="9.1">Pamoja na kufikiri kwamba hotuba ya Obama ilikuwa nzuri - hakusita pale aliposema 'Waislamu" lakini alijitahidi sana kuonekana mkweli pale "alipomshukuru" yule mpumbavu ambaye hatutamzungumzia tena baada ya leo - nafikiri kulikuwa na jambo muhimu lililokosekana kwenye htukio hili… … lakini ninahisi kuwa Obama hatajishusha na kumhusisha yule mjinga zaidi ya ishara tu ya kidplomasia kwenye hotuba yake.

(src)="10.3"> Laila Lalami , blogerka iz Maroka koja živi u Sjedinjenim Državama , priznaje da je glasala za Obamu , ima malo vše nade i drago joj je da je došao Obamain dan :
(trg)="9.2">Bloga wa Kimoroko Laila Lalami, ambaye ni mkazi wa marekani ambye anakiri kumpigia kura Obama, kidogo ana matumaini zaidi na kuridhika kuwa siku ya Obama imewadia:

(src)="11.1"> Drago mi je da je ovaj dan došao .
(trg)="10.1">Nimeridhika kwamba siku ya Obama imewadia.

(src)="11.2"> Pre osam godina glasala sam za Ralfa Nejdera zato što sam mislila da zaista nije bilo velikih razlika između Demokrata i Republikanaca u vezi s najvažnijim pitanjima .
(trg)="10.2">Miaka minane iliyopita, nilimpigia kura Ralph Nader kwa sababu nilifikiri kuwa hapakuwa na tofauti kubwa kati ya vyama vya Democrat an Republicanm kwenye masuala muhimu.

(src)="11.3"> Ali posle debakla u Floridi , i odluke Vrhovnog suda , i Predsedništva koje je usledilo , naučila sam jednostavnu lekciju : nisu svi političari jednaki .
(trg)="10.3">Lakini baada ya upuuzi uliotokea Florida, maamuzi ya Mahakama ya Rufaa, na urais dhaifu uliofuatia, nilijifunza somo moja: Si kweli kuwa wanasiasa wote wako sawa.

(src)="11.4"> Postoje neki koji su tako netalentovani , tako nepristupačni zajednici , razumu , bez sažaljenja , tako da predstavljaju ruglo .
(trg)="10.4">Kuna wengine ambao hawana vipaji, hawaguswi na busara zilizo wazi, ambao hawana huruma kiasi kwamba wanaifanya ofisi ya rais kuwa ni kitu cha mzaha.

(src)="11.5"> Pretpostavljam da sam takođe cinična kada kažem da očekujem krupne razlike u državnoj politici ali sam još uvek pod utiskom ove posebne promene , dolaskom Baraka Obame i odlaskom Džordža Buša .
(trg)="10.5">Nadhani hivi sasa situmaini kama kutakuwa na tofauti kubwa katika sera za serikali, hata hivyo bado ninajawa na shauku kwenye haya mabadiliko, kwa Barack obama, na kwa kuondoka kwa George W. Bush.

(src)="11.6"> Obamini marokanski fanovi još uvek aktivno učestvuju u organizovanju toga da se prvo obraćanje Predsednika Obame van SAD-a obavi u Rabatu .
(trg)="10.6">Washabiki wa Kimoroko wa Obama bado wanaendelea kupiga kampeni ya kumtaka rais Obama atoe hotuba yake ya kwanza nje ya nchi nchini Moroko.

# sr/2009_01_grcka-protest-povodom-isporuke-naoruzanja-izraelu_.xml.gz
# sw/2009_01_ugiriki-malalamiko-kuhusu-usafirishwaji-wa-silaha-kuelekea-israeli_.xml.gz


(src)="1.1"> Grčka : Protest povodom isporuke naoružanja Izraelu | Globalni Glasovi na srpskom
(trg)="4.2">itsomp: http://is.gd/f8Wa Je tunaweza kuandaa vikwazo kwenye bandari ya Astakos?

(src)="1.2"> Dok besni rat u Gazi , ranije ovog meseca , objavljena je vest o povlačenju izuzetno velike isporuke oružja Izraelu od strane Sjedinjenih Država koja je trebalo da bude obavljena preko jedne privatne luke u Astakosu u Grčkoj .
(trg)="6.1">Kiungo hicho kilisababisha wizara itoe majibu rasmi kuwa suala la upitishwaji wa shehena hiyo ya silaha kwenye bandari ya Astakos au bandari nyingine yoyote nchini Ugiriki siyo "mada muhimu" kadhalika wizara hiyo pia ilikana kilichoripotiwa na vyombo vya habari.

(src)="1.3"> Ta vest je izazvala buku među grčkim blogerima .
(trg)="7.3">Shehena hiyo ipo na inasubiri mkandarasi wa kuisafirisha

(src)="1.4"> Iskoristili su Twitter da to istraže i izvrše pritisak na Vladu da zaustavi transfer .
(trg)="7.4">Pia watumiaji wa twita waliendelea kutia shinikizo, bila kujali maelezo yanayopinga ukweli huo kutoka kwa serikali:

(src)="3.1"> Službeni izvori su prvo osporavali tu priču koju je prenela medjunarodna agencija Reuters 09. januara .
(trg)="7.8">Myrto_fenek: Usafirishwaji wa wa silaha kupitia bandari ya Astakos umesitishwa kutokana na mgogoro wa Gaza!

(src)="3.2"> Medjutim , skinuli su je korisnici Twitter-a i istražili je nakon što je Indy.gr - jedan izdanak grupe Indymedia Athens - obezbedila prevod ovog članka na grčki .
(trg)="8.2">Hili ni ombi jingine la usafirishwaji wa silaha, kwa ajili ya shehena kubwa zaidi, kwani chombo chenye uwezo wa chini wa kubeba tani 989 kilitakiwa.

(src)="4.1"> Bilo je predloženo da se organizuje embargo luke a ta ideja je široko rasprostranjena posredstvom Twitter-a :
(trg)="9.2">Niangalia maombi hayo kwa kutumia zana ya utafiti ya Google kwenye mtandao wa Intaneti.

# sr/2009_02_madagaskar-u-marsu-do-predsednicke-palate-ubijeno-vise-od-25-ljudi_.xml.gz
# sw/2009_02_madagaska-zaidi-ya-25-wauwawa-katika-maandamano-kuelekea-ikulu_.xml.gz


(src)="1.1"> Madagaskar : u maršu do predsedničke palate ubijeno više od 25 ljudi | Globalni Glasovi na srpskom
(trg)="1.1">Madagaska: Zaidi ya 25 Wauwawa Katika Maandamano Kuelekea Ikulu

(src)="1.2"> Pogledajte našu posebnu stranu koja pokriva Borbu za Vlast na Madagaskaru .
(trg)="1.2">Angalia ukurasa wa habari maalum kuhusu Mapambano ya kugombea nguvu za kiasiasa Madagaska.

(src)="2.1"> Najmanje 25 ljudi je danas ubijeno u glavnom gradu Madagaskara Antananarivo-u tokom marša do predsednikove palate na koji je pozvao gradonačelnik Andry Rajoelina , nakon što se , na političkom skupu , proglasio za vođu nove tranzicione vlade .
(trg)="2.1">Watu wapatao 25 walipigwa risasi na kuuwawa leo katika mji mkuu wa Madagaska, Antananarivo, wakati wa maandamano ya kuelekea ikulu ya nchi hiyo yaliyoitishwa na meya wa jiji Andry Rajoelina baada ya kujitangaza kama kiongozi wa serikali mpya ya mpito katika mkutano wa hadhara wa kisiasa.

(src)="2.2"> Proteklih nedelja , borba oko vlasti između gradonačelnika i predsednika Marca Ravalomanana dovela je do nasilja i pljačkanja .
(trg)="2.2">Katika majuma yaliyopita, ugombeaji wa nguvu za kisiasa kati ya Meya na Rais Marc Ravolamanana kumesababisha ghasia na uporaji.

(src)="3.1"> Političko okupljanje je održano u centru Antananarivo u podne po lokalnom vremenu .
(trg)="3.1">Mkutano huo wa kisiasa ulifanyika katikati ya Mji wa Antananarivo majira ya mchana, saa za Madagaska.

(src)="3.2"> Rajoelina je najavio obrazovanje nove tranzicione vlade , na čelu sa njim , uprkos činjenici da aktuelna vlada još uvek obavlja svoju dužnost .
(trg)="3.2">Rajoelina alitangaza kuundwa kwa serikali ya mpito, na yeye mwenyewe akiwa kiongozi wa serikali, bila kujali ukweli kwamba serikali iliyopo sasa bado inashikilia nafasi hiyo.

(src)="3.3"> Pozvao je svoje pristalice na marš do predsednikove palate u Ambohitsorohitra .
(trg)="3.3">Aliwataka watu wanaomuunga mkono waandamane kuelekea ikulu iliyopo Ambohitsorohitra.

(src)="4.1"> Kada je velika grupa stigla do palate , delegacija je ušla u palatu u 14 : 46 po lokalnom vremenu .
(trg)="4.1">Wakati umati mkubwa ulipowasili ikulu, wajumbe waliingia kwenye kasri majira ya saa 8:46.

(src)="4.2"> Tada su ispaljeni meci .
(trg)="4.2">Ni wakati huu ambapo risasi zilirushwa.

(src)="4.3"> Lokalna tvitersfera i drugi blogeri su izvestili :
(trg)="4.3">Watumaiaji wa twita waliokuwapo na wanablogu wengine waliripoti:

(src)="7.1"> Oko 15 : 40 po lokalnom vremenu , pucnjava je još trajala .
(trg)="7.1">Hadi majira ya saa 9:40 alasiri, risasi bado zilikuwa zinapigwa.

(src)="8.1"> Dok nacionalna televizija prikazuje slike , novinske agencije ( Reuters , Al Jazeera ) su objavile da je smrtno stradalo 25 ljudi .
(trg)="8.1">Habari rasmi (kwa mujibu wa Reuters, Al Jazeera) zinaeleza kuwa vifo vinafikia 25 kwa kadiri ya picha zinavyozidi kumiminika kwenye Televisheni ya taifa.

(src)="8.2"> BBC i AFP su do sada izvestili da ima samo 5 poginulih .
(trg)="8.2">BBC na AFP viliripoti vifo 5 tu.

(src)="8.3"> Ovde se nalaze online izveštaji na francuskom jeziku .
(trg)="8.3">Habari kama zinavyotokea (katika wakati halisi) mtandaoni zinapatikana kwa lugha ya Kifaransa hapa.

(src)="9.1"> Ovo je pretraga tvitera uživo za “ # madagascar ” koju su ljudi koristili tokom poslednjih nedelja političkih tenzija i povremenog nasilja .
(trg)="9.1">Kuna kurasa za kutafiti za twita “#madagascar”, ambalo ndio neno-kiini ambalo watu wamekuwa wakilitumia wakati wote katika majuma yaliyopita ambayo yalijaa fukuto la kisiasa na ghasia za hapa na pale.

# sr/2009_04_iran-nova-godina-pocinje-sa-obaminom-porukom_.xml.gz
# sw/2009_04_irani-mwaka-mpya-waanza-na-ujumbe-kutoka-kwa-obama_.xml.gz


(src)="1.1"> Iran : Nova godina počinje sa Obaminom porukom | Globalni Glasovi na srpskom
(trg)="1.1">Irani: Mwaka Mpya Waanza na Ujumbe Kutoka Kwa Obama

(src)="3.1"> Ove godine , Nova godina u Iranu je počela iznenađujućom porukom američkog predsednika Baraka Obame koju je uputio iranskom narodu i , prvi put , liderima Islamske republike , a u kojoj je pozvao na novi početak između dve države .
(trg)="2.1">Mwaka huu, sherehe za mwaka mpya wa Ki-Irani zilianza na ujumbe usiotarajiwa kutoka kwa rais wa Marekani Barak Obama, uliolekezwa kwa watu wa Irani na kwa mara ya kwanza, kwa viongozi wa Jamhuri ya Kiislamu, ujumbe huo ulitoa rai ya kuanza upya kati ya nchi hizo mbili.

(src)="3.2"> Nekoliko blogera je reagovalo na ovu poruku , a neki vide novu eru posle 30 godina svađa i cenkanja između dve države .
(trg)="2.2">Wanablogu kadhaa wametoa maoni kuhusu ujumbe huo, na wengine wanaanza kuziona zama mpya baada ya zaidi ya miaka 30 ya misukosuko kati ya mataifa haya mawili.

(src)="4.1"> Mohammad Ali Abtahi , bivši iranski potpredsednik , smatra Obaminu poruku veoma značajnom i kaže :
(trg)="3.1">Mohammad Ali Abtahi, makamu wa rais wa zamani, anadhani ujumbe wa Obama ni wa muhimu sana na anaandika:

(src)="4.2"> Da je Obama govorio kao Buš i smatrao Iran za pretnju , iranska nacionalna televizija bi to emitovala nekoliko puta .
(trg)="3.10">kama Obama angeongea kama Bush na kuitathmini Irani kama tishio, Idhaa ya Televisheni ya Taifa ingetangaza mara kadhaa.

(src)="4.3"> Blogerka podseća da je Bušov čuveni govor u kome je Iran nazvao članicom osovine zla bio emitovan na nacionalnoj televiziji nekoliko puta .
(trg)="3.11">Mwanablogu huyu anatukumbusha ile hotuba ya mashuhuri ya Bush ambayo aliita Irani mwanachama wa kundi la waovu ilitangazwa mara kadhaa kwenye televisheni ya taifa.

(src)="4.4"> Zandegieh Sagi smatra ( fa ) Obaminu poruku veoma pozitivnom i nečim što iranski narod zaslužuje .
(trg)="3.12">Zandgieh Sagi ameuita ujumbe wa Obama kama ujumbe chanya na jambo ambalo linawastahili watu wa Irani.

(src)="4.5"> Bloger kaže da prva stvar koju iranska vlada može da uradi jeste da koristi odgovarajući politički jezik .
(trg)="3.13">Mwanablogu huyu anasema kuwa jambo la kwanza ambalo serikali ya Irani inaweza kulifanya ni kutumia lugha inayofaa kisiasa.

(src)="5.1"> U “ Pogledu ” iz Irana čitamo :
(trg)="4.1">Katika blogu ya In View from Iran tunasoma:

# sr/2009_11_egipat-egipatski-bloger-narucuje-vestacki-himen_.xml.gz
# sw/2009_11_misri-mwanablogu-wa-kiume-aagizia-bikra-ya-bandia_.xml.gz


(src)="1.1"> Egipat : Egipatski bloger naručuje veštački himen | Globalni Glasovi na srpskom
(trg)="1.1">Misri: Mwanablogu wa Kiume Aagizia Bikra ya Bandia

(src)="1.2"> Kada je radio Holandija objavio jedan arapski prevod o pakovanju veštačkog himena nevinosti , kada su novine Youm7 najavile da će ovaj proizvod biti dostupan na Egipatskom tržištu za LE 83 , kada su konzervativni članovi parlamenta želeli da ga zabrane , a da se svaki izvoznik istera iz zemlje ili da mu se odseče glava , i kada je to izazvalo veliku buku u egipatskoj blogosferi , Mohamed Al Rahhal je morao da kupi jedan .
(trg)="1.2">Wakati Redio ya Uholanzi ilporusha hewani tafsiri ya Kiarabu kuhusu Zana ya Kutengeneza Bikira ya Bandia, pale gazeti la Youm7 lilipotangaza kuwa bidhaa hiyo itaanza kupatikana kwenye soko la Misri, wabunge wahafidhina huko Misri walitaka bidhaa hiyo izuiwe na muagizaji yeyote afukuzwe nchini au akatwe kichwa, na habari hiyo ilipozua kelele kwenye ulimwengu wa blogu wa Misri, Mohamed Al Rahhal alinunua zana hiyo maalum ya kutengeneza bikira ya bandia.

(src)="2.1"> Kada je otišao da preuzme svoj paket u pošti :
(trg)="2.1">Wakati alipokwenda kuchukua kifurushi chake ofisi ya posta:

(src)="3.1"> On im je rekao da je to " kinematografska šminka " i odneo proizvod kući .
(trg)="4.1">Aliwaeleza kuwa ni “vipodozi vya wacheza sinema” na kuichukua bidhaa ile nyumbani:

(src)="5.2"> Smeštena u vaginu pre seksa , plastika se malo stvrdne i popuca u toku snošaja .
(trg)="5.2">Kikiwekwa ukeni kabla ya kujamiiana, plastiki hiyo huganda kidogo, na hupasuka wakati wa tendo.

(src)="5.3"> Nekoliko kapi " krvi " će uprljati posteljinu , čuvajući " čast " žene , njene porodice i društva .
(trg)="5.3">Matone machache ya “damu” huchafua shuka, na kutunza “heshima” ya mwanamke, familia yake au jamii yake.

(src)="7.1"> Da li stvarno funkcioniše ili ne ja ne mogu da odgovorim .
(trg)="5.4">Kama fanya kazi au la siwezi kujibu.

(src)="7.2"> Potpuno odsustvo medicinskih informacija o proizvodu , kao i onlajn optužbe da ovaj proizvod može izazvati infekcije , čine me nevoljnim da ga dam dobrovoljcu na testiranje .
(trg)="5.5">Kutokuwepo kabisa kwa maelezo ya kitaalamu kwenye bidhaa hiyo, pamoja na shutuma mtandaoni kuwa bidhaa hii inaweza kusababisha magonjwa, vilinifanya nisite kumpoatia mtu atakayejitolea kufanya jaribio.

(src)="7.4"> Uz sve nevolje koje Egipat danas ima , rast troškova života , predsednik koji je na vlasti već 28 godina sa sinom koji pretenduje da ga nasledi , itd . , čemu sva ova halabuka oko himena , pravog ili lažnog ?
(trg)="5.6">Mona El Tahawy hakupendezwea na jinsi Wamisri walivyopamba moto na kuguswa juu ya bikira bandia pamoja na matatizo yote Wamisri wanayoyakabili siku hizi – gharama za maisha zinazopanda, rais aliye madarakani kwa miaka 28 ambaye mwanawe anaelekea kumrithi, nk. – kelele zote za nini juu ya bikira, iwe ya kweli au ya bandia?

(src)="8.1"> Dobrodošli u licemerje i poricanje , koji zajedno lupaju na srce konzervativnih religioznih pogleda na žene i nevinost .
(trg)="6.1">Karibuni kwenye unafiki na kujidanganya ambavyo kwa pamoja vinadunda katikati ya roho mitazamo ya kihafidhina ya kidini juu ya wanawake na uadilifu katika kufanya mapenzi.

(src)="8.2"> A kada je Egipat u pitanju , taj konzervatizam se podjednako odnosi i na Muslimane i na Hrišćane .
(trg)="6.2">Na katika shauri la Misri, uhafidhina huo upokatika mizani sawa kote, kwa Waislamu na Wakristu.

(src)="9.1"> Kao Musliman , znam da Kuran propoveda čednost za žene i muškarce , ali konzervativna opsesija ženama znači da se samo od žena očekuje da se povinuju zabrani vanbračnog seksa .
(trg)="7.1">Kama Muislamu, ninajua kuwa Qur’an inahubiri uadilifu katika kufanya mapenzi kwa wanaume na wanawake, lakini kushupaliwa huku kwa wanawake na wahafidhina kunamaanisha kuwa ni wanawake tu ambao wanatarajiwa kuzingatia makatazo juu ngono nje ya ndoa.

(src)="9.2"> Ova opsesija devičanstvom je plitka u najboljem slučaju i smrtna u najgorem .
(trg)="7.2">Huku kushupaliwa kwa bikira kumekosa kina zaidi ya yote na kuna hali ya umauti zaidi.

(src)="11.1"> Mohamed El Rahhal snažno osuđuje :
(trg)="9.3">Uadilifu unatafsiriwa vibaya zaidi na maumbile.

# sr/2010_02_bolivijabivsa-mis-bolivije-kandidat-za-guvernera-regije-beni_.xml.gz
# sw/2010_01_bolivia-mshindi-wa-zamani-wa-mashindano-ya-urembo-atangazwa-kugombea-ugavana-wa-jimbo-la-beni_.xml.gz


(src)="1.1"> Bolivija : bivša Mis Bolivije kandidat za guvernera regije Beni | Globalni Glasovi na srpskom
(trg)="1.1">Bolivia: Mshindi wa Zamani wa Mashindano ya Urembo Atangazwa Kugombea Ugavana wa Jimbo la Beni

(src)="1.2"> Vest da će predsednik Bolivije , Evo Morales , da kandiduje bivšu misicu Bolivije , Džesiku Džordan Jessica Jordan , 25 , za funkciju guvernera regije Beni , kao predstavnika Pokreta za socijalizam ( MAS ) , je izgledala kao zakasnela šala na Dan bezazlenih ( Bolivijska verzija 1.Aprila ) .
(trg)="1.2">Kwa wengi, taarifa ya kuwa rais wa Bolivia Evo Morales angemtaja aliyekuwa mshindi wa urembo nchini Bolivia Jessica Jordan, 25 kuwa mgombea ugavana kwa tiketi ya Chama Cha Ujamaa (MAS) ilichukuliwa kama masihara ya Siku ya Wasio na Hatia ( ambayo ni sawa na Siku ya Wajinga Duniani nchini Bolivia).

(src)="1.4"> Pošto se prašina malo spustila , i blogeri su intervenisali na tu temu .
(trg)="1.3">Hata hivyo tangazo hilo liliporasimishwa katika mkutano na wanahabari uliotangazwa moja kwa moja kwenye televisheni, watu waliitikia mara moja kwenye twita, kadhalika yakaandikwa maoni kuhusu maoni yaliyotolewa.

(src)="2.1"> Fotografija Džesike Džordan , koju je fotografisao Hugo Miranda , objavljena po autorizaciji .
(trg)="2.1">Picha ya Jessica Jordan iliyopigwa na Hugo Miranda na kutumika kwa ruksa maalum

(src)="3.1"> Prva mišljenja na Tweetter-u su iskazala nevericu u odnosu na mogućnost da se jedna bivša misica kandiduje i bude izabrana na tako visok položaj .
(trg)="3.1">Maoni ya awali kwenye Twita yalikuwa ni ya kutoamini kwamba aliyekuwa mshindi wa urembo angependekezwa kushiriki uchaguzi katika ngazi ya juu namna hii.

(src)="3.2"> Diego Arrázola ( @ darrazola ) piše :
(trg)="3.2">Diego Arrazola (@darrazola) aliandika:

# sr/2010_01_senegal-nudi-besplatno-zemljiste-prezivelim-haicanima_.xml.gz
# sw/2010_01_senegal-yatoa-ardhi-ya-bure-kwa-walionusurika-na-tetemeko-la-ardhi_.xml.gz


(src)="1.1"> Senegal nudi besplatno zemljište preživelim Haićanima | Globalni Glasovi na srpskom
(trg)="1.1">Senegal Yatoa Ardhi ya Bure kwa Walionusurika na Tetemeko la Ardhi

(src)="2.1"> Predsednik Wade , fotografisan na Svetskom ekonomskom forumu 2002 godine , želi da pokloni preživelim Haićanima zemlju u Senegal-u ( izvor : Wikipedia )
(trg)="2.1">Rais Wade, akiwa katika Mkutano wa Dunia wa uchumi 2002, anataka kuwapatia ardhi ya bure walionusurika na tetemeko la ardhi (picha na: Wikipedia)

(src)="3.1"> Odmah nakon katastrofalnog zemljotresa političari i gradjani iz celog sveta , su požurili da se pridruže izlivu solidarnosti prema Haitiju .
(src)="3.2"> Siromašne Zemlje , uključujući mnoge afričke zemlje , ne čine izuzetak .
(trg)="3.1">Baada ya tetemeko la ardhi, wanasiasa na raia duniani kote wanagombania kujiunga na harakati za mshikamano zinazomiminika kwa ajili ya Haiti, na nchi maskini, zikijumuishwa nyingi zilizoko barani Afrika, hazijapitwa.

(src)="3.3"> Ruanda , Liberija , Južna Afrika , Gabon , Nigerija i mnoge druge zemlje su već obećale finansijsku pomoć .
(trg)="3.2">Rwanda, Liberia, Afrika Kusini, Gabon, Naijeria na nyingine nyingi zimekwishatoa ahadi za misaada ya fedha.

(src)="3.4"> Medjutim , istakao se , Senegalski predsednik , 84-godišnji Abdoulaye Wade .
(trg)="3.3">Hata hivyo, ni rais wa Senegal mwenye umri wa miaka 84, Abdoulaye Wade, ambaye anatawala vichwa vya habari.

(src)="3.5"> Shodno onome što je potvrdio jedan eksponent , Wade je ponudio besplatni komad zemlje svakome ko je preživeo zemljotres a koji želi da se “ vrati korenima ” .
(trg)="3.4">Kwa mujibu wa msemaji, Wade ametoa ardhi ya bure kwa Mu-Haiti yeyote aliyenusurika na tetemeko na ambaye “atapenda kurejea kwenye asili yake.”

(src)="3.6"> On-line je ova ponuda , bila prihvaćena sa skoro opštim ruganjem .
(trg)="3.5">Kwenye wavuti, tangazo hilo limepokelewa na watu wengi kwa kejeli.

(src)="4.1"> I pored toga što Blog Politique au Senegal , još uvek treba da komentariše i ponudu Wade-a i sam zemljotres , objavljen je i to pre izjave Wade-a , a koji se odnosi na značaj solidarnosti “ od Juga prema Jugu “ : sledeći komentar Doktora El Hadji Malick Ndiaye
(trg)="4.1">Japokuwa blogu ya Blog Politique au Senegal haijatoa maoni yake kuhusu pendekezo la rais Wade wala kuhusu tetemeko la ardhi, blogu hiyo ilituma maoni ya Dkt.
(trg)="4.2">El hadji Malick Ndiaye juu ya umuhimu wa mshikamano baina ya nchi za kusini, ambayo yalichapishwa kabla ya Wade kutoa tangazo lake:

(src)="5.1"> … Kako je u stanju Dakar , koji još uvek ima i ne može da reši sopstvene probleme ( a kojih nije ni malo ) , kao što su oni koji se odnose na kanalizaciju i urbanizam , i čija periferija pluta po baruštinama nataloženim godinama , da ponudi smeštaj jednom narodu ili celoj naciji koja se nalazi na drugom kraju sveta ? .... .
(trg)="5.1">… Dakar, ambayo inashindwa kushika kasi na kutatua matatizo yake mengi yanayohusiana na majitaka na mipango miji, ambayo vitongoji vyake vinaelea katika maji ya mafuriko yaliyotokea miaka mingi iliyopita, kwa uwezo gani itaweza kuwachukua watu au nchi nzima kutoka ng’ambo nyingine ya dunia?...

(src)="5.2"> Abdoulaye Wade , u svom gestu solidarnosti i pan-afrikanizma , nudi da se Haiti iseli , i time zaboravlja da dobročinstvo polazi od sopstvene kuće . … Abdoulaye Wade , nostalgičar XIX veka , veruje da je Marcus Garvey , još živ i da je pokret “ Back to Africa ” još uvek aktuelan .
(trg)="5.2">Abdoulaye Wade, katika kuonyesha mshikamano na Uafrika (PanAfricanism), anatoa pendekezo la kupunguza watu Haiti, na kusahau kuwa wema huanzia nyumbani… … Abdoulaye Wade, mwenye kupenda sana kumbukumbu za karne ya 19, anaamini kuwa Marcus Garvey bado yu hai, na kwamba harakati za “Kurudi Afrika” bado zina maana.

(src)="5.3"> Pre ili kasnije će nam reći i to , da je Ku Klux Klan prouzrokovao zemljotres na Haitiju … … .svaka nacija ima sopstvene nesreće .
(trg)="5.3">Siku moja hatimaye atatuambia kuwa walikuwa ni Wabaguzoi wa Ku Klux Klan ambao waliitetemesha dunia kule Haiti. .. kila nchi ina majanga yake.

(src)="5.4"> Haiti ima svoje , koje bude mnogo sažaljenja , ali mi imamo naše , isto mnogo štetne kao i zemljotres , kao što su izjave jednog predsednika koji ima problema da ostane po strani , i čije su intervencije izvor kontroverzija .
(trg)="5.4">Haiti ina majanga yake, ambayo yanasababisha moyo wa huruma, na sisi tuna majanga yetu, ambayo hufanya uharibifu sawa tu na ule wa tetemeko, matamko kama haya ya rais ambaye anashindwa kuwa mbali na mitafaruku, na ambaye rekodi yake ni chanzo zha utata.

(src)="5.5"> Po onome , što je rekao i ponovio Predsednik , narod Haitija , “ ima pravo na afričko tlo ” .
(trg)="5.5">Watu wa Haiti, kama ilivyoelezwa na rais ‘ Wana haki katika ardhi ya Afrika”.

(src)="5.6"> Pitamo se , da li neko od njih , to stvarno i želi .
(trg)="5.6">Swali linabaki, ikiwa wataitaka (ardhi hiyo).

(src)="5.7"> PascaleBoulerie , čitaoc tak2.00221.info piše :
(trg)="5.7">PascaleBoulerie, msomaji katika tak2.00221.info anaandika:

# sr/2010_03_cile-zemljotres-jacine-8-8-rihterove-skale-pogodio-cile_.xml.gz
# sw/2010_02_chile-tetemeko-kubwa-la-ardhi-lenye-ukubwa-wa-8-8-laikumba-chile_.xml.gz


(src)="1.1"> Čile : Zemljotres jačine 8.8 Rihterove skale pogodio Čile | Globalni Glasovi na srpskom
(trg)="1.1">Chile: Tetemeko Kubwa la Ardhi lenye Ukubwa wa 8.8 Laikumba Chile

(src)="2.1"> Ujutru u 3 : 34 h , po lokalnom vremenu , zemljotres jačine 8.8 pogodio je obalu Maule regiona u Čileu .
(trg)="1.2">Saa 9:34 usiku kwa saa za Chile, tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 8.8 liliukumba mwambao wa eneo la Maule nchini Chile.

(src)="2.2"> Zemljotres se osetio i u glavnom gradu Santiago koji se nalazi 325 km od epicentra .
(trg)="1.3">Tetemeko hilo liliutetemesha mji mkuu wa Santiago uliopo Kilomita 325 kutoka katika kiini cha tetemeko hilo.

(src)="2.3"> Prijavljene su ogromne štete po čitavoj zemlji a broj žrtava nastavlja da raste .
(trg)="1.4">Uharibifu mkubwa umeripotiwa nchin nzima, na idadi ya waliofariki inazidi kwenda juu.

(src)="2.4"> Tokom dana osećali su se i naknadni potresi u regionu .
(trg)="1.5">Kwa siku nzima, matetemeko madogo madogo yaliyofuatia yalilitetemesha eneo hilo.