# ko/2010_11_457.xml.gz
# sw/2010_11_haiti-video-inayookoa-maisha_.xml.gz


(src)="1.1"> 아이티 : 생명을 살리는 비디오
(trg)="1.1">Haiti: Video Inayookoa Maisha

(src)="1.4"> 10월 19일 첫 콜레라가 발병한 이후로 수백 명의 아이티인들이 사망했고 지금 수천 이상이 입원해 있다 .
(trg)="1.3">Jan Gurley amezuru Haiti mara mbili tangu lilipotokea tememeko la ardhi la Januari 12 ili kuwahudumia watu kwa kujitolea.

(src)="1.7"> 이미 2월 쯤에 아이티에서 사회적으로 설사에 대해서 상당한 부정적 시각이 나타났어요 .
(trg)="1.5">Unaweza kufariki ndani ya masaa 3, huku maji yote mwilini yakitoka kwa njia ya choo.

(src)="1.8"> 그리 놀랄일도 아니죠- 수 백명의 사람들이 화장실도 없는 주차장에서 살았던 걸 감안하면요 .
(trg)="1.6">Kijamii, nchini Haiti, nilibaini mnamo mwezi Februari kuwa tayari kulikwishakuwa na unyanyapaa mkubwa unaoambatana na ugonjwa wa kuharisha.

(src)="1.9"> 그리고 지금 아이티에는 국제 구호 ( 단체 ) 사람 들이 콜레라를 아이티에 들여왔다는 우려가 돌고 있어요 .
(trg)="1.7">Haistaajabishi, kwa kweli, kama ukifikiria ukweli wa kuishi kwenye maegesho ya magari bila ya maliwato huku ukiwa umezungukwa na mamia ya watu.

(src)="1.11"> 구알리 의사는 온라인 상으로 경구 수분 공급 치료 ( oral rehydration therapy : ORT ) 대한 지도용 비디오를 찾아 다녔다 .
(trg)="1.9">Doc Gurley alitafuta kwenye mtandao video ya maelekezo ya jinsi ya kujiongezea maji mwilini kwa njia ya kinywa (ORT) ambayo angeliwaachia wafanyakazi wenzake pamoja na wagonjwa.

(src)="1.12"> 그녀는 이 비디오를 아이티 동료와 환자들에게 남기고 오려고 하는데 , 이는 경구 수분 공급 치료의 경우 이에 대한 기본적 지식만 있어도 목숨을 살릴 수 있기 때문이다 .
(trg)="1.10">Ufahamu wa jinsi jinsi ya kujiongezea maji mwilini (ORT) unaweza kuokoa maisha, kwani vifo vingi vinavyotokana na kipindupindu hutokana na kupoteza maji mwilini.

(src)="1.14"> 구알리 의사는 그녀의 독자들에게 아이티에서도 비디오는 정보를 퍼트리는 효과적인 도구가 될 수있다고 상기시키며 : " 거기 사람들은 핸드폰과 문자를 사용할 수 있고 , 모든 이들이 이메일 주소를 가지고 있어요 .
(trg)="1.11">Doc Gurley anawakumbusha wasomaji wake kwamba hata nchini Haiti video inaweza kuwa zana yenye ufanisi mkubwa katika kueneza habari: "Huko watu wanazo simu za mkononi zenye uwezo wa kutuma ujumbe wa maandishi, na kila mmoja ana anwani ya barua pepe.

(src)="1.15"> 구호 ( 단체 ) 사람들은 스마트 폰을 가지고 있기 때문에 비디오를 보여줄 수도 있어요 .
(trg)="1.12">Wafanyakazi wa mashirika ya misaada wanazo simu zenye akili (simu za kisasa zaidi) ambazo zinaweza kuonyesha video, na watu huko Haiti, kama ilivyo hapa, wanapenda kukusanyika na kuangalia skrini ndogo."

(src)="1.16"> 여기 어떤 사람들과 마찬 가지로 여기 사람들도 ' 한데 모여서 조그만 스크린을 통해 화면을 보는 걸 ' 아주 좋아합니다 .
(trg)="2.1">Wakati utafiti wake wa kwwenye mtandao uliposhindwa kuambulia chochote bali video moja tu kwa lugha ya KiHausa pamoja na nyingine za matangazo ya biashara yaliyojificha yanayotangaza vinywaji vya aina ya Getorade, Doc Gurley aliwakusanya marafiki wachache pamoja na kutengeneza video inayoonekana hapo chini.

(src)="2.4"> 이 비디오는 아무 것도 없는 상황에서 어떻게 구강 수분 보충염 ( Oral Rehydration salts ) 를 사용할 수 있는 지 보여준다 .
(trg)="2.2">Kwa kiasi kikubwa haina maneno, na hivyo kuifanya kuwa sawia kwa matumizi katika nchi yoyote, na inaonyesha jinsi ya kutengeza chumvi za kurejesha maji mwilini "kwa kutumia vifaa ambavyo mtu anayeishi katika jiji la bati anaweza kuvipata", pamoja na chupa za maji na vifuniko vyake:

# ko/2010_11_511.xml.gz
# sw/2010_11_myanmar-hatimaye-suu-kyi-amekuwa-huru_.xml.gz


(src)="1.1"> 미얀마 : 아웅산 수치 드디어 석방
(trg)="1.1">Myanmar: Hatimaye Suu Kyi Amekuwa Huru

(src)="1.3"> 이제 그녀는 자유다 .
(trg)="1.2">Amekuwa kifungoni kwa miaka 15 katika miaka 21 iliyopita, lakini hivi sasa hatimaye yuko huru.

(src)="2.2"> 이 비디오는 수치가 그녀의 호수변 자택 앞에서 지지자들에게 손을 흔들어 주는 장면을 보여준다 .
(trg)="2.2">Video hii inawaonyesha mashabiki wa Suu Kyi waliokuwa wakipunga mikono mbele ya nyumba yake iliyoko kando ya ziwa.

(src)="3.1"> Vimeo 의 DVBTV English 가 제공한 아웅산 수치 석방 비디오 .
(trg)="4.1">AUNG SAN SUU KYI AACHIWA kutoka DVBTV English kupitia Vimeo.

(src)="4.2"> 보도에 따르면 수치 여사는 그 날 정오에 석방 서류에 서명을 한 것으로 알려졌다 .
(trg)="5.1">Habari zilisambaa Alhamisi iliyopita kwamba Suu Kyi angeachiwa mwishoni mwa juma mnamo tarehe ambayo kifungo chake cha nyumbani kingeisha.

(src)="4.4"> 금요일에는 양곤시에 있는 NLD 당사 앞에서 500 이상의 사람들이 모여서 수치 여사의 석방을 기다렸다고 한다 .
(trg)="5.3">Siku ya Ijumaa, kulikuwa na umati wa watu 500 au zaidi waliokusanyika mbele ya ofisi za NLD mjini Yangon, wote wakiwa wanasubiri kuachiwa kwa Suu Kyi.

(src)="4.5"> 당 본사 앞에 걸린 깃발은 " 오늘은 수치 여사님의 석방일 " 이라고 적혀있었다 .
(trg)="5.4">Bango lililokuwa mbele ya makao makuu hayo lilisomeka " Leo ni Siku ya Kuachiwa Kwake ".

(src)="5.1"> 수치 여사의 석방에 임박해 버마의 최고 법원이 금요일 가택 연금에 대한 여사의 최종 변론을 기각 함에 따라 잠시 석방 여부가 불투명해져 사람들을 불안하게 만들기도 했다 .
(trg)="7.1">Mategemo ya uhuru wa Suu Kyi yalitiliwa mashaka baada ya mahakama ya juu nchini Burma kukataa rufaa yake ya mwisho dhidi ya kifungo cha nyumbani Ijumaa, na kuwafanya watu wawe na wasiwasi kuwa angeachiwa au la.

(src)="5.2"> 그 와중 여사의 아들인 킴 아리스 ( Kim Aris ) 의 미얀마 방문 비자가 통과 되었다고 한다 .
(trg)="8.1">Wakati huo huo, inasemekana kuwa viza ya Kim Aris, mwanawe Aung San Suu Kyi iliidhinishwa ili aweze kuzuru Myanmar.

(src)="6.1"> 이제 수치 여사는 드디어 자유다 .
(trg)="9.1">Kwamba hivi sasa hatimaye Suu Kyi yuko huru, tovuti huru ya habari The Irrawaddy inawataka wasomaji wake kuwasilisha mapendekezo na mawazo mbalimbali kwa Suu Kyi

(src)="8.1"> 노벨 평화상 수상자인 수치 여사의 석방에 전 세계가 함께 기뻐하고 있다 .
(trg)="11.1">Dunia ilifurahi wakati Suu Kyi, ambaye ni mshindi wa Tuzo ya Nobeli, alipoachiwa huru kutoka kifungo cha nyumbani.

(src)="8.2"> 트위터 사용자들은 # aungsansuukyi 해쉬태그를 사용해서 수치 여사의 석방을 축하하는 세계적 담화에 참여했다 .
(trg)="11.2">Watumiaji wa Twita walitumia alama ya #aungsansuukyi wakati walipojiunga na mazungumzo ya ulimwengu mzima uliokuwa ukisherehekea uhuru wa Suu Kyi.

# ko/2011_03_1356.xml.gz
# sw/2011_04_bahrain-waandishi-wa-habari-wazuiwa-kuingia-wakiwa-uwanja-wa-ndege_.xml.gz


(src)="1.1"> 바레인 : 기자들 , 입국을 저지당하다
(trg)="1.1">Bahrain: Waandishi wa Habari Wazuiwa Kuingia Wakiwa Uwanja wa Ndege

(src)="2.1"> 그 날 오후 , 난 카타르 도하에서 내가 한 때 고국이라고 불렀던 섬나라에서 무슨 일이 벌어지고 있는지 알아보기 위해 비행기를 탔다 .
(trg)="2.1">Bahrain iliingia kwenye vurugu kubwa zilizoambatana na polisi kutumia nguvu dhidi ya waandamanaji waliopiga kambi katika eneo muhimu la wazi linalohusudiwa sana liitwalo Lulu Jumatano iliyopita.

(src)="2.2"> 몇 시간 후 , 난 공항 밖으로 나가지도 못한 채 도하로 돌아가는 비행기에 탄 나 자신을 발견했다 .
(trg)="3.1">Mchana wa siku hiyo nilipanda ndege inayotoka Doha, nchini Qatar, kwenda Bahrain, kwa upande mmoja nikitaka kujionea mwenyewe nini kilikuwa kikitokea katika nchi hii ya kisiwa ambayo ilipata kuwa nyumbani kwangu.

(src)="4.3"> 0 ) .
(trg)="3.2">Saa kadhaa baadaye nilijikuta kwenye ndege ya kurudi Doha, baada ya kunyimwa ruhusa ya kupita pale uwanja wa ndege.

(src)="6.1"> @ omarc : 오자마자 바레인 이민국 측에서 대기하라고 하는군요 .
(trg)="5.3">@omarc: Ala! twita kupitia ujumbe mfupi wa maneno hazifanyi kazi ... nipo uwanja wa ndege wa Doha, kuelekea Bahrain.

(src)="6.2"> 왜인지는 알 수가 없습니다 .
(src)="6.3"> 빨리 이유를 듣기를 기다리고 있습니다 .
(src)="6.4"> .
(trg)="5.4">Nina imani tutajionea kwa macho yetu kama kweli serikali inawazuia watu kuingia

(src)="8.1"> @ omarc : 바레인 이민국 안에서 1시간 째 , 그들은 내 직장에 대해 묻고 있습니다 .
(src)="8.2"> .
(trg)="5.8">@omarc: Nipo uhamiaji hapa Bahrain kwa saa 1, wananiuliza ninfanya kazi kwa nani...

(src)="8.5"> " " 네 , 혹시 문제라도 있나요 ?
(trg)="5.9">"Uliwahi kufanya kazi Al Jazeera, au siyo?"

(src)="8.6"> " " 아니요 , 아닙니다 .
(trg)="5.10">Ndiyo, je, kuna tatizo?

(src)="9.2"> 영국 , 프랑스 그리고 일본 기자들도 같이 기다리고 있습니다 .
(trg)="5.13">Waandishi wa habari kutoka Uingereza, Ufaransa na Japani nao pia wapo wameketi.

(src)="10.2"> 전 계속 기다리고 있구요 .
(src)="10.3"> .
(src)="10.4"> .
(trg)="5.14">@omarc: Wanawake wanaofanya kazi Ch 4 & wale wa Redio Ufaransa (mmoja baada ya mwingine) na yule kijana Mjapani wameruhusiwa kuingia Bahrain.

(src)="12.8"> # 바레인
(trg)="8.2">@realrogerbird: @omarc Tunakuombea usalama

(src)="17.1"> @ omarc : 바레인 이민국에서 대기한지 3시간 째-이제 그들은 이 곳은 방문자들을 받지 않으며 , 마나마는 위험하므로 귀국해야 한다는군요 .
(trg)="7.2">@omarc: Ni saa ya tatu bado nipo uhamiaji Bahrain - sasa wanasema kwamba wageni hawaruhusiwi kuingia nchini, Manama si salama, na sina budi kurudi nyumbani.

(src)="18.1"> @ omarc : 바레인 이민국 관리들은 입국 불가 결정을 내린 것에 대한 사과를 받아달라면서 , " 2,3일이면 괜찮아질 것 '이라고 했습니다 .
(trg)="7.3">@omarc: Maofisa wa uhamiaji wa Bahrain wananitaka radhi kwa kutoniruhusu kuingia nchini humo, lakini wanasema, "mambo yatakuwa shwari baada ya siku 2 hadi 3″.

(src)="20.1"> 바레인 이민국에서 , 난 인터넷에 접속할 수 없었기때문에 SMS를 이용해 실시간 트윗을 했다 .
(trg)="7.6">Nikiwa pale kwenye dawati la uhamiaji Bahrain, sikuwa na mawasiliano ya intaneti, badala yake niliendelea kutuma twita kupitia ujumbe mfupi wa siku kutokea palepale.

(src)="20.2"> 도하에 다시 돌아오자마자 , 난 내 트윗들에 대한 다양한 반응들을 볼 수 있었다 .
(trg)="7.7">Baada ya kuwasili Doha, nilikuta msururu wa miitiko ya twita kuhusu tukio lililonipata,

(src)="20.3"> 댓글들은 우려하기도 했다 :
(trg)="8.1">zikitoka kwa wale walioguswa:

(src)="20.5"> # 바레인
(trg)="8.2">@realrogerbird: @omarc Tunakuombea usalama

(src)="21.1"> 회의적인 시각도 있었다 :
(trg)="8.3">Zikitoka kwa waungaji mkono:

(src)="24.1"> 아주 무례한 사람도 있었다 :
(trg)="8.4">@nabeelalmahari: @omarc nakutakia heri rafiki yangu, tunatumaini mtafaulu

(src)="25.1"> @ HubiBahrain : @ omarc 못 알아듣겠냐 ?
(trg)="8.5">@bhrabroad: @omarc tunaweza kukupa taarifa zote unazotaka hapo uwanja wa ndege #Bahrain

(src)="26.1"> 날 도우려 했던 사람들에게 감사를 표하며 , 이런 어려운 상황에서도 바레인 이야기를 다루려하는 현지의 기자들에게 행운을 빈다 .
(trg)="9.1">Unaweza kusoma nakala iliyo katika muundo wa simulizi ya habari hii kupitia Boing Boing, na vilevile seti kamili ta twita & miitiko kupitia Doha News.

# ko/2011_04_1472.xml.gz
# sw/2011_04_misri-mubarak-awekwa-kizuizini_.xml.gz


(src)="1.1"> 이집트 : 감옥 수감 중인 무바라크
(trg)="1.1">Misri: Mubarak awekwa Kizuizini

(src)="1.2"> 글로벌 보이스 특집 보도 2011년 이집트 혁명 글 입니다 .
(trg)="1.2">Makala hii ni sehemu ya habari maalumu tunazowaletea kuhusu Mapinduzi ya Misri ya Mwaka 2011.

(src)="3.1"> 몇 달 전만하더라도 이집트 인들은 당시 대통령이었던 무바라크가 감옥에 들어가 있는 모습을 보기를 희망하면서도 이 희망이 어느 날 갑자기 사실이 될 것이라고 믿지는 못했다 .
(trg)="2.1">Miezi michache tu iliyopita, raia wengi wa Misri walitamani sana kumwona aliyekuwa rais wa nchi hiyo, Rais Mubarak, akitupwa jela, hata hivyo, pengine ni wachache miongoni mwao waliofikiri kwa uhakika kabisa kwamba siku moja jambo hili lingetimia.

(src)="3.2"> 그러나 올 4월 13일 , 이집트인들은 무바라크의 감옥 수감 소식으로 아침을 맞게 되었다 .
(trg)="3.1">Hata hivyo, mnamo Jumatano ya tarehe 13 Aprili, 2011, raia wa Misri waliamka na mapema asubuhi ya siku hiyohiyo kukutana na habari zinazohusu Mubaraka kutupwa kizuizini.

(src)="3.3"> 이집트 시민들은 소셜 미디어 상에 이 순간을 기록했다 .
(trg)="3.2">Hapa chini tunawaletea jinsi habari hizi zilivyopokelewa katika ulimwengu wa uandishi wa habari wa Kijmii miongoni mwa Wamisri.

(src)="4.1"> 독재자의 수감을 축하하며
(trg)="4.1">Kusherehekea kutiwa nguvuni kwa dikteta

(src)="6.1"> 이집트인 작가 이브라힘 파르갈리 ( Ibrahim Farghali ) 는 무바라크의 수감 순간을 인류가 처음으로 우주에 사람을 보낸 순간에 비교했다 : .
(src)="6.2"> .
(trg)="5.1">Mwandishi wa Misri, Ibrahim Farghali, alilinganisha wakati huo na wakati ule kulipokuwa na habari za mtu wa kwanza kufika katika anga za juu: ...

(src)="9.2"> 그리고 오늘 , 이집트는 전 대통령 호스니 무바라크의 감옥으로의 여정을 축하했다 .
(trg)="7.2">Na leo, Misri inasherehekea tukio la aliyekuwa rais, Hosni Mubarak, kuanza safari ya kwenda gerezani.

(src)="12.1"> 제이노비아는 이어 무바라크는 시위대를 학살하고 공적 자금을 착복한 혐의를 받고 있지만 그가 여태껏 건강상의 이유로 병원에 머물었다고 전했다 .
(trg)="8.1">Tuna matumaini kwamba siku moja Misri isherehekee mafanikio kama hayo ya ulimwengu uliondelea, na tunatumaini kwamba hata wakati huo ule moyo wa mapinduzi utaendelea kuwepo mitaani.

(src)="12.2"> 아들인 알라아 무바라크와 가말 무바라크는 아버지와 동일한 혐의를 받고 있다 .
(trg)="10.2">Alaa na Gamal Mubarak wanakabiliwa na mashtaka kama hayo ya baba yao.

(src)="13.1"> 사람들의 반응
(trg)="11.1">Jinsi watu waliyopokea

(src)="15.1"> Mubarak Before and After Jan25 Revolution , illustration by Carlos Latuff
(trg)="13.1">Michoro ya kumwonyesha Mubarak Kabla na Baada ya Mapinduzi ya Januari 25, imechorwa na Carlos Latuff

(src)="17.1"> 몇 주 전 , 토라 감옥 ( Torah ) 은 부바라크의 아들들뿐 아니라 무바라크 정권의 주요 인사들을 맞게 되었다 .
(trg)="15.1">Katika majuma machache yaliyopita, Gereza la Torah liligeuka siyo tu kuwa makazi ya watoto wa Mubarak, lakini pia limekuwa makazi ya nguzo (watu) wengi tu waliokuwa katika utawala wa Mubarak.

(src)="17.3"> 이 공화국 시민들은 자유를 요구하고 있습니다 .
(trg)="15.2">Kupitia Twita, watu hawakuiachia fursa ya kufanyia mzaha jambo hili: @MAkhnoukh: Habari za hivi punde: Gereza la Torah hivi sasa linaitwa Jamhuri ya Torah na raia wake wanadai uhuru.

(src)="18.1"> 무바라크와 그의 가족 ( 수잔 무바라크 , 알라아 무바라크 , 가말 무바라크와 그의 부인카디자 ) 와 그의 정권 인사들 ( Fathi Sorour , Safwat El-Sharif와 Ahmed Nazif ) 의 가짜 트위터 계정이 여러 개 생기면서 시민들은 그들을 비꼬았다 .
(trg)="16.1">Akaunti za uongo kadhaa za Twita za Mubarak, familia yake (Suzanne Mubarak, Alaa Mubarak, Gamal Mubarak na mkewe Khadija), na za watu katika utawala wake (Fathi Sorour, Safwat El-Sharif na Ahmed Nazif) zimetengenezwa ili kuwakebehi.

(src)="19.1"> Car carrying banners in celebration of the detention of Mubarak , posted on Yfrog .
(trg)="17.1">Picha ya gari likiwa limebandikwa matangazo ya kusherehekea kutiwa kizuizini kwa Mubarak, na kutumwa katika posted on Yfrog.

(src)="20.1"> 이러한 정황과 아메드 헤이만 ( Ahmed Hayman ) 이 정리한 무바라크의 실정 리스트에도 불구하고 몇몇 사람들은 아직 전 대통령에 대한 연민을 갖고 있는 듯 하다 : @ MontuEssam : 일이 돌아가는 모습을 보고 있자니 나 자신이 이집트인 이란 사실이 불행하다고 느낀다 .
(trg)="18.1">Hatimaye, pamoja na yote haya, na licha ya orodha ya upingaji wa mafanikio ya Mubarak kama ilivyoandikwa na Ahmed Hayman, bado kuna wanaomwonea huruma rais huyo wa zamani: @MontuEssam: Ninaapa kwa Mungu, hivi sasa ninajisikia mwenye huzuni kwa kuwa raia wa Misri, hasa kwa sababu ya yale ninayoyashuhudia sasa.

(src)="20.2"> 어쩌다가 이집트 인들이 이 정도의 증오를 달고 살고 , 복수를 하고자 하는 사람이 되었을까 .
(trg)="18.2">Inakuwaje kwamba watu wa Misri wamebeba chuki nyingi kiasi hiki, na wanataka kulipiza kisasi!

(src)="20.3"> 도대체 무슨 일이 일어나고 있는 것일까 ?
(trg)="18.3">Kuna nini?

(src)="20.4"> 우리가 그정도로 나쁜 사람들일까 .
(trg)="18.4">Je, sisi kweli ni wabaya kiasi hicho?

(src)="21.1"> 글로벌 보이스 특집 보도 2011년 이집트 혁명 글 입니다 .
(trg)="19.1">Makala hii ni sehemu ya habari maalumu tunazowaletea kuhusu Mapinduzi ya Misri ya Mwaka 2011.

# ko/2011_03_1285.xml.gz
# sw/2011_04_tetemeko-kubwa-kuwahi-kutokea-nchini-japani_.xml.gz


(src)="1.1"> 일본 관측 역사상 가장 큰 지진
(trg)="1.1">Tetemeko kubwa kuwahi kutokea nchini Japani

(src)="1.2"> 글로벌 보이스 특집 보도 2011년 일본 지진의 글 입니다
(trg)="1.2">Makala hii ni sehemu ya habari maalumu za Tetemeko la Japani 2011.

(src)="3.3"> kr )
(trg)="2.1">Picha kutoka Machi 11 iliyotumwa na @mitsu_1024 (kupitia wikitree.co.kr)

(src)="4.3"> 이는 일본 관측 역사상 가장 큰 지진이다 .
(trg)="3.1">Siku ya Ijumaa, Machi 11, 2011 saa 8:46:23 mchana saa za Japani, tetemeko lenye vipimo vya tetemeko 8.9 liliikumba Japani, lilikiwa kubwa kuwahi kuripotiwa katika historia ya Japani.

(src)="6.1"> 현재 일본 트위터 공간에서 사용하고 있는 해쉬태그는 # sendai와 # jishin이며 해쉬태그 # prayforjapan는 영문 트위터 공간에서 일본을 위한 기도를 보내는 용도로 사용된다 .
(trg)="5.1">Alama za twita zinazotumiwa na watumiaji wa twita nchini Japani ni #sendai na #jishin. #prayforjapan inatumiwa kutuma maombi kwa lugha ya kiingereza katika mtandao wa Twita.

(src)="8.1"> @ asahi _ chousa는 :
(trg)="7.1">@asahi_chousa:

# ko/2012_02_3036.xml.gz
# sw/2012_02_habari-za-ulimwengu-mikesha-ya-mshikamano-na-wanatibeti_.xml.gz


(src)="1.1"> 전세계 : 티베트인과의 밤샘 기도
(trg)="1.1">Habari za Ulimwengu: Mikesha ya Mshikamano na Wanatibeti

(src)="4.1"> 나는 중국 정부가 티베트인 시위대와 분신자살한 이들의 외침을 듣기를 촉구합니다 .
(trg)="1.2">Tangu mwanzoni mwa Februari 2012, kumekuwa na mikesha kadhaa duniani kuonyesha ushikamano na Wanatibeti kufuatia mwito wa Kalong Tripa Dkt.

(src)="5.1"> 아래는 아이오와 머스카틴에서 2월 15일 촬영된 유튜브 비디오이다 :
(trg)="1.4">Ramani inayoonyesha kesha za kuonyesha ushikanamo na Wanatibeti tarehe 8 Februari, 2012.

(src)="6.2"> 또한 240명이 넘는 사람들이 티베트인들과의 결속을 보이기 위해 버터 등불 기도 행사 * 에 신청했다 .
(trg)="1.5">Nchini Tibet, kuanzia tarehe 27 Februari 2009 hadi 19 Februari 2012, Wanatibeti 23 wamejichoma ili kushinikiza uhuru Tibet, pamoja na kurudi kwa Dalai Lama.

(src)="7.2"> 이 중 15명이 목숨을 잃었습니다 .
(trg)="1.6">Kati ya hao, watu 15 walifariki.

(src)="7.3"> 티베트의 억압적인 환경에서 , 몸에 불을 붙이는 행위는 비폭력 시위의 정점과 같은 행위입니다 .
(trg)="1.8">Swala la Tibet linaonekana kuwa mbali nasi, lakini kama binadamu, haimaanishi kuwa hatuwezi kufanya kitu.

(src)="7.4"> 티베트의 상황은 우리와 먼 이야기같지만 , 같은 인간으로써 우리가 아무 것도 할 수 없다는 뜻은 아닙니다 .
(trg)="3.1">Mojawapo ya mila za Wabuda wa Tibet ni kuchoma siagi katika taa, ambayo huonyesha nuru ya hekima na kutoa pepo mbaya.

(src)="7.6"> 티베트 불교도들의 영적 지도행위 중 하나는 지혜의 발현과 나쁜 카르마 정화를 상징하는 불 켜진 버터 등불을 주는 것입니다 .
(trg)="4.1">*Maelezo ya Ziada: Mwandishi ameongezwa kama mojawapo ya wenyeji wa tukio la "Butter Lamp Pray Event" katika Facebook.

(src)="8.1"> * 추가 : 글쓴이는 버터 등불 기도 페이스북 행사의 주최자로도 추가되었습니다 .
(trg)="5.1">Picha inaonyesha maandamano ya kila mwaka yanayojulikana kama 'Tibet Freedom March' katikati mwa jiji la London.

(src)="9.3"> ( 12 / 03 / 11 ) .
(trg)="5.2">Ulipigwa na sinister pictures , na hati miliki ni ya Demotix (12/03/11).

# ko/2012_03_3111.xml.gz
# sw/2012_03_iran-wanawake-wapinga-jinamizi-la-vita_.xml.gz


(src)="1.1"> 이란 : 전쟁이라는 이름의 괴물에 반대하는 여성들
(trg)="1.1">Iran: Wanawake wapinga 'Jinamizi la Vita'

(src)="1.2"> Woman = Man , Source : Khodnevis
(trg)="1.2">Mwanamke=Mwanaume, Chanzo: Khodnevis

(src)="2.1"> 이란의 이슬람정권은 30년이 넘게 국제여성의 날을 간과해왔다 .
(trg)="2.1">Utawala wa Kiislamu wa Iran umepuuza Siku ya Wanawake Duniani kwa zaidi ya miongo mitatu.

(src)="2.3"> 그러나 매년 이란의 여성들은 현실과 가상 , 두 곳 모두에서 여전히 여성의 날을 기념하고있다 .
(trg)="2.3">Lakini kila mwaka wanawake wa ki-Iran iwe kwa uwazi ama kificho bado wanasherehekea siku yao hiyo.

(src)="4.1"> 이들은 이렇게 말하고 있다 :
(trg)="4.1">Wanaharakati hawa wanasema::

(src)="4.2"> 전쟁은 단지 폭탄이나 우리들의 집이 파괴되는 것이 아니다 .
(trg)="4.2">Vita si tu mabomu na uharibifu wa nyumba zetu.

(src)="4.5"> 우리는 이 괴물에 의해 조용히 희생되고 싶지 않다 .
(trg)="4.5">Hatutaki kuwa waathirika walio kimya kwa jinamizi hili.

(src)="4.6"> 거리에서 우리 요구를 나타낼 수도 , 이 날을 기념할 기회마저도 박탈된 상황이지만 , 2012년 3월 8일 , 우리는 이 기회를 통해서 우리의 전쟁 반대 의사를 말하려고 한다 .
(trg)="4.6">Wakati tumenyimwa fursa ya kusherehekea siku ya Machi 8, 2012 au kuonyesha matakwa yetu mitaani, tumechukua fursa hii kusema kwamba tunapinga vikali vita na kila moja ya filamu hizi fupi inaeleza sababu zetu za kufanya upinzani huo.

(src)="4.8"> 전쟁 사진 뒷 면에 가려진 현실
(trg)="4.7">Ukweli nyuma ya picha za vita

(src)="7.1"> 전쟁은 여성들에게 상처를 남긴다 .
(trg)="5.1">Hakuna onyo kwa watoto

(src)="8.1"> 전쟁은 진짜 괴물 같은 존재이다 .
(trg)="8.1">Vita huacha makovu kwa wanawake

(src)="8.2"> 그러나 불행하게도 독재 정부와 감옥도 마찬가지다 .
(trg)="9.1">Vita ni jinamizi la kweli, lakini bahati mbaya vilevile ndivyo ulivyo udikteta na gereza.

(src)="8.3"> 이란인 블로거 자르치 ( Jaarchi ) 는 47명의 여성이 그들의 사회적 , 정치적 활동 때문에 투옥되었다는 것을 우리에게 상기시키고 있다 .
(trg)="9.2">Mwanablogu wa ki-Iran Jaarchi anatukumbusha kwamba wanawake wamefungwa nchini Iran kwa sababu ya harakati zao za kijamii na kisiasa.

# ko/2012_06_3300.xml.gz
# sw/2012_06_lesotho-uchaguzi-wa-amani-ambao-hukuusikia_.xml.gz


(src)="1.1"> 레소토 : 당신이 들어보지 못한 평화적 선거
(trg)="1.1">Lesotho: Uchaguzi wa amani ambao hukuusikia

(src)="1.2"> 지난 일요일 레소토 ( Lesotho ) 에서 평화적인 의회선거가 열렸다 .
(trg)="1.2">Lesotho ilifanya uchaguzi wa wabunge kwa amani siku ya Jumapili.

(src)="1.3"> 파카리타 모시실리 ( Pakalitha Mosisil ) 국무 총리의 집권당 민주 국희는 최다 득표를 기록했지만 선거를 이기기 위한 과반수를 넘기진 못했다 .
(trg)="1.3">Chama kinachotawala nchini humo, Democratic Congress cha Waziri Mkuu Pakalitha Mosisili kilishinda kwa asilimia kubwa ya kura lakini kikishindwa kuvuka nusu ya kura.

(src)="1.4"> 레소토의 야당들은 새 정부를 설립하기 위해 연합을 만들었다 .
(trg)="1.4">Vyama vya upinzani vya nchini humo vimeungana kwa makusudi ya kuunda serikali.