# hi/2013_10_13_797_.xml.gz
# sw/2013_10_baa-la-njaa-nchini-haiti_.xml.gz


# hi/2013_10_27_841_.xml.gz
# sw/2013_10_namna-wanawake-nchini-india-wanavyoweza-kujilinda_.xml.gz


(src)="1.1"> भारत में महिलाएँ कैसे सुरक ् षित रह सकती हैं ।
(trg)="1.1">Namna Wanawake Nchini India Wanavyoweza Kujilinda

(src)="1.2"> भारत में महिलाओं के खिलाफ अपराध बढ ़ रहा है ।
(trg)="1.2">Ukatili dhidi ya wanawake umezidi kushika kasi nchini India.

(src)="1.3"> लेखिका और ब ् लॉगर शिल ् पा गर ् ग महिलाओं को सतर ् क और सुरक ् षित रहने के लिए कुछ सुझाव देती हैं ।
(trg)="1.3">Mwandishi na mwanablogu Shilpa Garg aweka bayana dondoo za namna ambavyo wanawake wanavyoweza kuchukua tahadhari na kujilinda.

# hi/2013_10_21_823_.xml.gz
# sw/2013_11_mradi-wa-hifadhi-ya-papa-nchini-thailand_.xml.gz


(src)="1.1"> थाईलैंड शार ् क संरक ् षण परियोजना
(trg)="1.1">Mradi wa Hifadhi ya Papa Nchini Thailand

(src)="1.2"> थाईलैंड मे शार ् क दिखाई देने की घटनाओ में 95 प ् रतिशत कमी प ् रकाश मे आने के बाद ई-शार ् क परियोजना का शुभारंभ थाईलैंड मे किया गया है ।
(trg)="1.2">Nchini Thailand eShark mradi ulizinduliwa katika mwanga wa taarifa ya kushuka kwa asilimia 95 drop katika kuonekana kwa papa nchini Thailand.

(src)="1.3"> थाईलैंड की ई-शार ् क परियोजना का इस ् तेमाल थाईलैंड मे शार ् क की घटती संख ् या के बारे मे जागरूकता बढ ़ ाने के लिए किया जाएगा ।
(trg)="1.3">Matokeo ya mradi wa eShark nchini Thailand utatumika kuleta ufahamu kwa kupungua kwa idadi ya papa nchini Thailand.

# hi/2013_12_22_924_.xml.gz
# sw/2013_12_hali-ya-uhuru-wa-dini-nchini-maldivi_.xml.gz


(src)="1.1"> मालद ् वीव में धार ् मिक स ् वतंत ् रता की स ् थिति
(trg)="1.1">Hali ya Uhuru wa Dini Nchini Maldivi

(src)="1.2"> मालद ् वीव उन देशों में की सूची में उपर है जहाँ की सरकारे धार ् मिक स ् वतंत ् रता नहीं देती हैं ।
(trg)="1.2">Maldivi ni miongoni mwa nchi za kwanza kwenye orodha ya serikali zinazozuia uhuru wa dini.

# hi/2017_04_29_1375_.xml.gz
# sw/2017_04_wataalam-wa-teknolojia-nchini-india-wanapambana-kubaini-ujumbe-bandia-unaoenezwa-whatsapp-na-facebook_.xml.gz


(src)="1.3"> 0 )
(trg)="5.1">1.

(src)="3.3"> हम किसी भी ज ् ञात लेखों की पुष ् टि इस करते हैं :
(trg)="5.2">Tunawasiliana na mtu/taasisi iliyotajwa kwenye posti husika

(src)="5.1"> - हम कैसे का करते हैं , check4spam .
(trg)="6.1">2.

(src)="5.3"> ( स ् पैम ) विश ् व 2017 में शीर ् ष 10 भ ् रष ् ट राजनीतिक दल : बीबीसी
(trg)="6.4">India inashuhudia ongezeko kubwa la matumizi ya mtandao wa intaneti, hata miongoni mwa wazee.

(src)="5.4"> भारत में इंटरनेट उपयोग तेजी से बढ ़ रहा है , यहां तक ​ ​ कि बुजुर ् गों के बीच भी ।
(trg)="6.5">Watumiaji wengi hawajui namna ya kutofautisha vyanzo vya habari vinavyoaminika na vile bandia au vya kitapeli.

(src)="5.6"> और उपयोगकर ् ता के डिवाइस से जानकारी चोरी करने के लिए क ् लिकबेट या ट ् रोजन हॉर ् स-नुमा सॉफ ़ ् टवेयर के खतरे हैं ।
(trg)="7.1">Bal Krishn Birla na Shammas Oliyath waliotengeneza tovuti hiyo ni magwiji wa programu wanaoishi kwenye jiji la Bengaluru nchini India.

(src)="8.2"> शम ् म ् स के अनुसार , उन ् हें सत ् यापन के लिए दिन में लगभग 100 संदेश प ् राप ् त होते हैं ।
(trg)="9.2">Kwa mujibu wa Shammas, takribani ujumbe 100 hutumwa kila siku kwa ajili ya uthibitisho.

(src)="10.1"> 1 .
(trg)="11.1">1.

(src)="10.2"> अपने फ ़ ोन पर + 9035067726 जोड ़ ें
(trg)="11.2">Hifadhi namba +9035067726 kwenye simu yako

(src)="11.1"> 2 .
(trg)="12.1">2.

(src)="11.2"> संदेहास ् पद सामग ् री की प ् रतिलिपि बनाएं
(trg)="12.2">Nukuu ujumbe usiokuwa na uhakika nao

(src)="12.1"> 3 .
(trg)="13.1">3.

(src)="12.3"> वे आपको बताएंगे कि क ् या यह नकली है या नहीं ।
(trg)="13.3">Watakuambia ikiwa ujumbe huo ni wa kughushi ama la.

(src)="13.1"> साइट को एक महीने में ५ लाख पेज व ् यूज मिलते हैं ।
(trg)="14.1">Mtandao huo hutembelewa na watu nusu milioni kwa mwezi.

# hi/2017_08_19_1537_.xml.gz
# sw/2017_08_mchora-vibonzo-vya-kisiasa-nchini-malaysia-zunar-aishitaki-polisi-kwa-kumkamata-kinyume-cha-sheria-na-kushikilia-vitabu_.xml.gz


(src)="1.1"> गैरकानूनी गिरफ ् तारी व पुस ् तकों की जब ् ती के लिए मलेशियाई राजनीतिक कार ् टूनिस ् ट ज ़ ुनार ने पुलिस पर मुकदमा ठोका
(trg)="1.1">Mchora Vibonzo vya Kisiasa Nchini Malaysia Zunar Aishitaki Polisi Kwa Kumkamata Kinyume cha Sheria na Kushikilia Vitabu

(src)="1.3"> फोटो ज ़ ुनार कार ् टूनिस ् ट फैन क ् लब के फेसबुक पेज से ।
(trg)="1.2">Zunar anaitaka polisi irudishe vitabu 1,187 na tisheti 103 walivyochukua wakati walipomkamata hapo Desemba 17, 2016.

(src)="2.1"> मलेशियाई कार ् टूनिस ् ट ज ़ ुलकिफ ़ ली एस .
(trg)="1.3">Picha kutoka Ukurasa wa Mashabiki wa Vibonzo wa Zunar.

(src)="2.3"> अनवरुल हक ़ , जो ज ़ ुनार के नाम से प ् रख ् यात हैं , ने पुलिस पर 17 दिसंबर , 2016 को उन ् हें गिरफ ् तार करने और कार ् टून की किताबें और टी-शर ् ट जब ् त करने के मामले पर मुकदमा दर ् ज किया है ।
(trg)="2.1">Mchora vibonzo wa Malaysia Zulkiflee S.M. Anwarul Haque, maarufu zaidi kama Zunar, amefungua kesi dhidi ya polisi kwa kumkamata na kuchukua vitabu vyake vya vibonzo na tisheti hapo Disemba 17, 2016.

(src)="3.1"> ज ़ ुनार ने अभियोग लगाया है कि पुलिस ने एक फंड रेसिंग आयोजन के दौरान उनकी अवैध रूप से गिरफ ् तारी कर कुल उनसे 1,187 पुस ् तकों और 103 टी-शर ् ट की ।
(trg)="3.1">Zunar anawatuhumu polisi kwa kumkamata bila kufuata sheria na kutaifisha jumla ya vitabu 1,187 na tisheti 103 wakati wa tamasha aliloliandaa ili kukutana na mashabiki wake na kukusanya fedha za kutunisha mfuko.

(src)="3.2"> उन ् होंने मामला दायर करने का कारण बताया :
(trg)="3.2">Anaelezea sababu za yeye kuchukua hatua za kisheria:

(src)="3.3"> मेरी पुस ् तकें प ् रतिबंधित नहीं हैं और मैं केवल फंड रेसिंग आयोजन के अतर ् गत अपने प ् रशंसकों को यह पुस ् तकें उन ् हें बेच रहा था ।
(trg)="3.3">Vitabu vyangu havijafungiwa na nilikuwa naviuza tu kwa mashabiki wangu wakati wa tukio la kukusanya fedha za kutunisha mfuko.

(src)="3.4"> इसमें गलत क ् या है ?
(trg)="3.4">Kuna tatizo gani hapo?

(src)="3.7"> राष ् ट ् रीय सुरक ् षा के नाम पर ज ़ ुनार की कई कार ् टून कितानें अधिकारियों ने जब ् त कर ली हैं ।
(trg)="3.6">Vitabu vingi vya vibonzo vya Zunar vimeshashikiliwa na mamlaka kwa madai ya kutishia usalama wa nchi.

(src)="3.8"> ज ़ ुनार ने एक प ् रेस स ् वतंत ् रता सेनानी के रूप में अपने देश में और बाहर भी मान ् यता प ् राप ् त की है ।
(trg)="3.7">Zunar amefahamika ndani na nje ya Malaysia kama mpigania uhuru wa habari.

(src)="3.9"> उन ् हें पत ् रकारों की सुरक ् षा करने वाली समिति , ह ् यूमन राइट ् स वॉच , और कार ् टूनिस ् ट राइट ् स नेटवर ् क इंटरनेशनल से सराहना भी मिली है ।
(trg)="3.8">Amepata tuzo ya utambulisho toka Shirika la Haki za Binadamu, Kamati ya Mtandao wa Kimataifa wa Kulinda Haki za Wanahabari na Wachora Vibonzo.

(src)="4.2"> उनसे छह घंटे तक पूछताछ की गई और पुलिस ने उन ् हें बताया कि " मेरी सभी पुस ् तकों पर प ् रतिबंध लगाने के लिए वे कानून लागू करेंगे ।
(trg)="5.1">Alihojiwa kwa masaa sita na aliachiwa baada ya polisi kumuambia kuwa "watatumia sheria kuvifungia vitabu vyake vyote.”

(src)="4.3"> " रिहा होने के तुरंत बाद उन ् होंने यह बयान जारी किया :
(trg)="5.2">Alitoa kauli hii muda mfupi baada ya kuachiliwa kwake:

(src)="4.4"> प ् रतिभा उपहार नहीं , बल ् कि एक जिम ् मेदारी है ।
(trg)="5.3">Ninapenda kutoa msimamo wangu: kipaji sio zawadi ila ni wajibu.

(src)="4.5"> भ ् रष ् टाचार और अन ् याय को बेनकाब करने के लिए कार ् टूनिस ् ट के रूप में मेरी जिम ् मेदारी है ।
(trg)="5.4">Ni wajibu wangu kama mchora vibonzo kufunua rushwa na matendo yasiyo haki.

(src)="4.6"> क ् या मुझे जेल से डर लगता है ?
(trg)="5.5">Je naogopa gereza?

(src)="4.7"> हाँ , लेकिन जिम ् मेदारी का भाव डर से बड़ा है ।
(trg)="5.6">Ndio, lakini wajibu ni mkubwa kuliko hofu hiyo.

(src)="4.9"> मैं अपनी स ् याही की आखिरी बूंद तक चित ् र बनाता रहूंगा ।
(trg)="5.8">Nitaendelea kuchora mpaka tone la mwisho la wino wangu.

(src)="4.10"> ज ़ ुनार संभवतः भ ् रष ् टाचार के उस घोटाले का जिक ् र कर रहे हैं जिसमें प ् रधान मंत ् री और एक सरकारी स ् वामित ् व वाली निवेश कंपनी 1MDB शामिल है ।
(trg)="5.9">Zunar anahusishwa na kashfa ya rushwa iliyomuhusisha waziri Mkuu na 1MDB, kampuni inayomilikiwa kwa ubia kati ya serikali na mtu binafsi.

(src)="4.11"> प ् रधान मंत ् री पर आरोप है कि 1MDB द ् वारा किए गए कथित असंतोषजनक लेनदेन के माध ् यम से 680 मिलियन अमरीकी डालर ( लगभग 4,524 करोड़ रुपये ) की हेरफेर की गई है ।
(trg)="6.1">Mwanasheria wa Zunar, N. Surendran, anasema kufungua kesi dhidi ya polisi inakusudia kuionya mamlaka kuhusu kukamata kwingine kusipo kwa kisheria:

(src)="5.1"> ज ़ ुनार के वकील एन सुरेंद ् रन ने कहा कि पुलिस के खिलाफ मामला दर ् ज करना इरादा अधिकारियों को इस तरह की अवैध गिरफ ् तारी के खिलाफ चेतावनी देना है :
(trg)="6.2">Hakutakuwa na uvumilivu kwa aina ya tabia hii isiyo ya kisheria dhidi ya mtu ambaye kosa lake pekee ni kuikosoa serikali.

(src)="5.3"> यह हर मलेशियाई का लोकतांत ् रिक अधिकार है ।
(trg)="6.4">Zunar anaishinikiza polisi warudishe vitabu vyake na tisheti