# fr/2008_08_18_691_.xml.gz
# sw/2008_08_angola-brazil-mshituko-na-utengano-wa-kitamaduni_.xml.gz


(src)="1.1"> Angola-Brésil : Un choc culturel
(trg)="1.1">Angola, Brazil: Mshituko na Utengano wa Kitamaduni

(src)="3.1"> Un esclave noir .
(trg)="8.6">Hata hivyo, tukio linakaribia.

(src)="4.1"> Bois sculpté polychrome de Luiz Paulino da Cunha .
(trg)="8.9">Siyo matajiri na wala siyo masikini.

(src)="5.1"> Photo de Children At Risk Foundation .
(trg)="8.10">Lakini hawako kwenye tabaka la kati pia.

(src)="6.3"> Selon l' Association des Entreprises Brésiliennes en Angola ( AEBRAN ) , le commerce entre eux a été multiplié par six entre 2002 et 2007 .
(trg)="3.3">Kwa mujibu wa Chama cha Makampuni ya KiBrazili nchini Angola (AEBRAN), biashara kati ya mataifa mawili haya imekuwa kwa mara sita zaidi tangu mwaka 2002.

(src)="7.1"> La présence des entreprises brésiliennes en Angola s' est aussi accrue avec cette augmentation du commerce , de 70 % ces cinq dernières années .
(trg)="4.1">Kutokana na kuongezeka huko kwa biashara, uwepo wa makampuni ya Brazili nchini Angola pia kumeongezeka.

(src)="7.2"> En conséquence , l' immigration de Brésiliens en Angola a également augmenté : on estime à environ 5 000 leur nombre .
(trg)="4.2">Kumepelekea, pia ongezeko la uhamiaji kutoka Brazili kwenda Angola kwa kadri ya asilimia 70 kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita.

(src)="7.3"> Ils travaillent surtout dans les secteurs du bâtiment et des travaux publics , des mines et de l' agriculture .
(trg)="4.3">Inakadiriwa kuwa kuna Wabrazili 5,000 waliosajiliwa nchini Angola haswa wanaojishughulisha na masuala ya ujenzi, uchimbaji madini na biashara za mazao ya kilimo.

(src)="7.4"> Ce phénomène nouveau , dans un pays historiquement plutôt habitué à l' émigration de l' autre côté de l' Atlantique , provoque inévitablement un choc culturel pour les Brésiliens expatriés comme pour les Angolais .
(trg)="4.4">Maendeleo haya mapya katika historia ya Angola, nchi iliyozoea kuwa na uhamiaji kuelekea ng'ambo nyingine ya Atlantiki, yanapelekea kwenye mtikisiko wa kiutamaduni usioweza kuepukika kwa wote, Wabrazili na Waangola pia.

(src)="8.1"> Pour l' illustrer , voici en intégralité deux articles , issus de deux blogs , qui montrent les points de vue différents des uns envers les autres , soulevant les problèmes de l' immigration , du racisme et du respect mutuel .
(trg)="5.1">Hapa chini kuna habari zilizopachikwa katika kurasa za blogu mbili zikionyesha mitazamo tofauti baina ya watu wawili kwa kuibua masuala muhimu kama uhamiaji, ubaguzi wa rangi, ukabila na heshima miongoni mwa watu.

(src)="8.2"> Surtout , ils montrent les relations complexes et diverses , avec leurs inévitables ressemblances et différences , entre ces peuples frères séparés par l' océan .
(trg)="5.2">Zaidi ya yote, wanabainisha mahusiano ya namna mbalimbali na yenye mchanganyiko - kwa kuwianisha yale yanayofanana na yanayotofautiana - miongoni mwa watoto hao waliotenganishwa na bahari wakati wa makuzi yao.

(src)="10.1"> Un esclave noir .
(trg)="8.6">Hata hivyo, tukio linakaribia.

(src)="11.1"> Bois sculpté polychrome de Luiz Paulino da Cunha .
(trg)="8.9">Siyo matajiri na wala siyo masikini.

(src)="12.1"> Photo de Children At Risk Foundation .
(trg)="8.10">Lakini hawako kwenye tabaka la kati pia.

(src)="13.1"> Migas , une Brésilienne qui vit à Luanda , écrit :
(trg)="10.2">Jijini Luanda, Kampuni za Brazil zinajihusisha na ubeberu wa Marekani.

(src)="14.1"> Le Noir a été déraciné de sa terre et vendu comme marchandise , asservi .
(trg)="11.1">Mtu mweusi aling'olewa kutoka katika ardhi yake na kuuzwa kama bidhaa, utumwani.

(src)="14.2"> Au Brésil il est arrivé comme esclave , objet ; il a quitté sa terre en tant qu' homme libre .
(trg)="11.2">Aliwasili nchini Brazili kama mtumwa, kifaa; kutoka katika ardhi yake alitoka kama mtu huru.

(src)="14.3"> Pendant le voyage , la traite , il a perdu sa personnalité , mais sa culture , son histoire , son paysage , ses expériences , sont venus avec lui .
(trg)="11.3">Wakati wa safari, safari ya utumwani, alipoteza utu wake, lakini utamaduni wake, historia yake, nchi yake, na uzoefu wake alikuja navyo.

(src)="15.1"> Trois siècles d' esclavage africain au Brésil ont influencé ce pays .
(trg)="12.1">Miaka 300 ya historia ya utumwa wa mtu mweusi nchini Brazili imeacha athari kubwa ndani ya nchi hiyo.

(src)="15.2"> Le Candomblé est l' une de ces influences , une religion remplie de beaucoup de secrets , de symboles et de rituels connus seulement des initiés , mais c' est aussi une partie essentielle de l' expression culturelle du Brésil .
(trg)="12.2">Candomblé ni mojawapo ya athari hizo, dini iliyojawa na siri nyingi, ishara za matambiko yanayofahamika tu kwa wanaopitipia matambiko hayo lakini pia ni ni sehemu muhimu ya utamaduni wa Brazili.

(src)="15.3"> Il n' y a pas de chiffres certains sur le nombre d' adeptes du Candomblé au Brésil .
(trg)="12.3">Hakuna idadi kamili kuhusiana na watu wangapi wanaabudu Candomblé.

(src)="15.4"> Les autorités estiment , de façon classique , qu' il y a plus de 300 000 lieux de culte consacrés aux religions afro-brésiliennes , parmi lesquelles le Candomblé .
(trg)="12.4">Serikali inakadiria, kihafidhina, kwamba kuna vituo zaidi ya 300,000 vya kuabudia imani za Wabrazili wenye asili ya Afrika, ambavyo vinajumuisha Candomblé.

(src)="15.5"> On pense qu' au moins un tiers des Brésiliens participe à l' un de ces cultes .
(trg)="12.5">Wanaoshiriki katika imani hizo wanadhaniwa kufikia angalau theluthi moja ya watu wote wa Brazili wanaokaribia milioni 170.

(src)="15.6"> Beaucoup pratiquent à la fois le Catholicisme et le Candomblé .
(trg)="12.6">Wengi wanaabudu katika Ukatoliki na Candomblé.

(src)="16.1"> Bahia , l' état brésilien qui a la plus forte proportion de Noirs , est le centre de cette religion , qui est proche de ses racines africaines , des traditions des Yorubas du Nigeria et des Bantous de l' Angola et du Congo .
(trg)="12.7">Bahia, jimbo ambalo lina asilimia kubwa zaidi ya watu weusi, ndiyo makao makuu ya dini hii, ambayo inafuata kwa karibu asili yake ya Kiafrika na hasa tamaduni za Kiyoruba za Nigeria na za Kibantu za Angola na Kongo.

(src)="16.2"> Les traditions des Yorubas , qui comprennent les noms des Orishas ( dieux du panthéon africain ) les plus employés habituellement , dominent .
(trg)="12.8">Tamaduni za Kiyoruba zinazojumuisha majina yanayotumika sana ya Orisha (miungu ya mahekalu ya Kiafrika), bado inatawala sana.

(src)="17.1"> Actuellement le Candomblé est reconnu officiellement et protégé par le Brésil .
(trg)="12.9">Hivi sasa Candomblé inatambulika rasmi na inalindwa na serikali ya Brazil.

(src)="17.2"> Mais à l' époque de l' esclavage , et encore pendant longtemps après son abolition en 1888 , la pratique du Candomblé était interdite par les autorités et par l' Église Catholique , et ses adeptes étaient sévèrement punis .
(trg)="12.10">Hata hivyo, enzi za utumwa na miongo mingine iliyofuata baada ya kukomeshwa kwa biashara hiyo ya watu nchini Brazil mwaka 1888, ibada za Candomblé zilipigwa marufuku na serikali na kanisa Katoliki, na wafuasi wake waliadhibiwa vikali.

# fr/2008_08_18_690_.xml.gz
# sw/2008_08_karibeani-radi-ya-bolt-yaipiga-beijing_.xml.gz


(src)="1.1"> Caraïbes : Bolt l' Eclair illumine Pékin
(trg)="1.1">Karibeani: Radi ya Bolt Yaipiga Beijing

(src)="2.1"> " Lightning Bolt ” , photo de hybridvigour .
(trg)="2.1">“Radi ya Bolt” - Picha na hybridvigour.

(src)="2.2"> Visitez sa galerie de photos .
(trg)="2.2">Tembelea mtiririko wa picha zake.

(src)="3.1"> Ce billet sera aussi rapide que le sprint de l' athlète jamaïcain Usain Bolt à l' épreuve des 100 mètres était bref et merveilleux , car nous blogueurs des Caraïbes n' avons toujours pas touché terre après son incroyable victoire .
(trg)="3.1">Ujumbe huu utakuwa mrefu kama ufupi wa mtoko wa Mjamaika Usain Bolt kuelekea chaki ya ukomo wa mbio za mita 100 na utukufu wa Olimpiki ulivyokuwa mfupi na mtamu - kwa sababu mabloga wa Karibiani bado hawajashuka kutoka kilele cha furaha ambacho kimeumbwa na ushindi wa Bolt.

(src)="3.2"> 9.69 est le chiffre magique qui a permis au sprinter de remporter la médaille d' or .
(trg)="3.2">9.69 ndiyo iliyokuwa namba ya bahati iliyompatia dhahabu mkimbiaji wa Kijamaika.

(src)="3.3"> 9.69 secondes .
(trg)="3.3">Sekunde 9.69.

(src)="3.4"> Et il a réussi à le faire , selon les mots du New York Times , “ loin devant ” ( by a mile )
(trg)="3.4">Na alifanya hivyo, Kwa mujibu wa nukuu katika gazeti la New York Times, 'kwa maili.'

(src)="4.1"> Comme si la performance de Bolt comme " homme le plus rapide du monde " ne suffisait pas , Richard Thompson , de Trinité-et-Tobago , qui avait fait forte impression plus tôt cette année aux championats NCAA et remporté l' or sur 100 et 60 mètres en salle , s' est placé second .
(trg)="4.1">Kana kwamba utawala wa kimahiri wa Bolt kwenye medani ya "binadamu mwenye mbio kuliko wote" haukutosha, Mtrinidadi Richard Thompson ambayeye alionyesha mvuto mwanzoni mwa mwaka katika mashindano ya NCAA, aliposhinda dhahabu kwenye mita 100 na mita 60 (kwenye viwanja vya ndani) alichukua ushindi wa kushangaza kwa kuchukua nafasi ya pili.

(src)="5.1"> Sur le service de micro-blog par téléphone mobile Twitter et sur le réseau social en ligne Facebook , les blogueurs des Caraïbes ont immédiatement répercuté l' événement , avec des commentaires tels que “ LA course des Jeux ” , en admettant qu' ils se sentaient " bien plus fier que d' habitude d' être Caribéens " .
(src)="5.2"> Voici une capture d' écran des différents commentaires sur Twitter ( en anglais ) :
(trg)="5.1">Twita na Facebook mara moja vikaingia mtamboni, huku mabloga wakiziita "mbio za Olimpiki" na kukiri kuwa "wanajivunia kuliko kawaida kuwa Wahindi wa Magharibi"

(src)="7.1"> La signification de cette double victoire pour les Caraïbes , dans l' une des plus prestigieuses épreuves des Jeux Olympiques , a bientôt pris tout son sens .
(trg)="7.1">Umuhimu wa Wakaribeani kushika nafasi ya kwanza na ya pili katika moja ya michuano mashuhuri ya michezo ya Olimpiki ulianza kuwaingia.

(src)="7.2"> C' est la première foisdepuis les J.O. de Montréal en 1976 ( quand Hasley Crawford , de Trinité-et-Tobago a obtenu la médaille d' or ) qu' un ressortissant des Antilles anglophones a remporté l' or sur le 100 mètres .
(trg)="7.2">Hii ilikuwa ni mara ya kwanza tangu mashindano ya mwaka 1976 kule Motreal (wakati Mtrinidadi Hasley Crawford alipochukua heshima ya juu) kwa Muhindi wa Magharibi kuleta nyumbani dhahabu katika mbio za mita 100.

(src)="7.3"> Tout aussi important est le faitt que six des huit finalistes viennent des territoires de la zone Caraïbes .
(trg)="7.3">Mafanikio mengine muhimu ni ukweli kwamba sita kati ya wanane waliofikia fainali hizo walikuwa wakitoka katika dola jirani.

(src)="7.4"> Selon les mots du blogueur jamaïcain Active Voice :
(trg)="7.4">Kwa maneno ya bloga wa Kijamaika Active Voice:

(src)="7.5"> En ce moment,on dirait que les Caraïbes détiennent le monopole sur l' athlétisme !
(trg)="7.5">Hivi sasa inaonekana kuwa Karibeani ndiyo inayotawala mashindano ya mbio!

(src)="7.6"> …tandis que le blog West Indies Cricket Blog ajoute :
(trg)="7.6">… wakati West Indies Criket Blog anaongeza:

(src)="7.7"> C' est la folie , des fêtes débridées , pour célébrer la victoire de Usain Bolt sur le 100 mètres aux JO et son nouveau record du monde de 9.69 secondes ( pulvérisant son propre record de 9.72 secondes ) .
(trg)="7.7">Ilikuwa patashika na chereko za kiwehu-wehu wakati Mjamaika Usain Bolt aliposhinda mbio za mita 100 katika Olimpiki katika rekodi ya sekunde 9.69 (alipojivunjia rekodi yake mwenyewe ya sekunde 9.72. kinachostaajabisha zaidi kuhusu namna alivyoshinda ni kuwa alianza kusherehekea kukiwa bado na mita 20 za kumalizia.

(src)="7.8"> Le plus surprenant , dans sa performance , est qu' il a commencé à se réjouir à vingt mètres de la ligne d' arrivée .
(trg)="7.8">Kabla kutoka mlangoni kwenda kujiunga na msafara wa magari uliokuwa ukiendelea huko Falmouth", naye pia anasema ushindi huu ulikuwa una maana maalum kwake pia, kwa vile anamfahamu Bolt kwa ukaribu:

(src)="7.9"> Avant de sortir pour se joindre aux files de voitures qui ont déferlé sur Falmouth , il écrit que cette victoire est très spéciale pour lui , car il connaît personnellement Bolt .
(trg)="7.11">Kabla ya ushindi, kuna mabloga wengine walikuwa wakitania kwamba "dawa kabambe" inayopelekea ushindi wa hali juu namna hii kutoka kwa Wajamaika ni ile Wahindi wa Magharibi wanayoiita "chakula cha buluu" - yaani vyakula kama magimbi na mizizi mingine mingine.

(src)="7.10"> Si Tyson Gay s' était qualifié , ils auraient trouvé que ça valait le coup , même si Gay s' était fait botter les fesses en direct par Usain Bolt ?
(trg)="8.2">Je kama Tyson Gay angefaulu katika kinyang'anyiro cha kupata nafasi kwenye fainali wangefikiria umuhimu wa kurusha matangazo hayo, japokuwa Gay angechabangwa vizuri na Bolt?

(src)="7.11"> Les raisins sont amers , en effet .
(src)="7.12"> Dommage que Asafa Powell n' ait pas décroché le bronze ... mais ça arrive .
(trg)="8.3">Simulizi ya "sizitaki mbichi hizi kwa kweli… Masikini Asafa powell hakupata hata shaba.. lakini ndiyo mambo yanavyokuwa mara nyingine.

(src)="7.13"> Allez , les Caraïbes !
(trg)="8.4">Haya peteni Wahindi wa Magharibi!!

(src)="7.14"> Nous sommes fiers de vous !
(trg)="8.5">Mnatutia majivuno!!

(src)="7.15"> Bien entendu , les messages triomphants ont continué à affluer sur les blogs .
(trg)="8.6">Ama kwa hakika, jumbe za kujivunia zinazidi kumiminika.

(src)="7.16"> Le Jamaïcain Stunner demande :
(trg)="8.7">Mjamaika Stunner anauliza:

(src)="7.17"> Comment pourrais -je ne pas me mêler à la foule de blogueurs qui saluent cette remarquable performance et le nouveau record du monde , merveilleusement exécutés par Usain Bolt ?
(trg)="8.8">Iweje nisijiunge na wimbi la mabloga wajivunaji wanaopongeza uvunjaji wa rekodi uliofanywa kistadi na Usain bolt?

(src)="7.18"> Le nouveau record est fantastique , mais ce qui est encore mieux , c' est que Usain Bolt a ralenti et commencé à se rejouir à partir , approximativement , des 80 mètres !
(trg)="8.9">Uvunjaji huo wa rekodi ulikuwa ni wa kustaajabisha lakini linalosisimua zaidi ni ukweli kwamba Bolt alipunguza kasi na kuanza kusherehekea ushindi wake takriban kwenye alama ya mita 80!

(src)="7.19"> Vous pouvez imaginer ce qu' aurait été le record du monde s' il n' avait pas ralenti ?
(trg)="8.11">Unaweza kufikiria ingekuwaje kama asingepunguza kasi?

(src)="7.20"> Les autres territoires des Antilles anglophone se sont vite joints au concert d' éloges .
(trg)="8.12">Mara tu kanda nzima (ya Karibeani) ikaanza kuchangia.

(src)="7.21"> Un blogueur de la Barbade , qui vit au Canada , Jdid écrit :
(trg)="8.13">Bloga wa Ki-Barbados aliye ughaibuni Jdid anasema:

(src)="7.22"> Ce type est vraiment bien nommé !
(trg)="8.14">Inakuwaje jina alilopewa linamstahili hivi huyu bwana?

(src)="7.23"> Bolt ! ( note de la traductrice : Bolt signifie éclair en anglais ) 9.69 secondes et il commencé à faire la fête aux 80 mètres .
(trg)="8.15">Bolt (mshale mfupi au radi kwa Kiswahili)!
(trg)="8.16">Sekunde 9.69 na alikuwa tayari anasherehekea alipofika mita 80.

(src)="7.24"> Félicitations !
(trg)="8.17">Hongera!

(src)="7.25"> Les pouces en l' air pour la Jamaïque !
(trg)="8.18">Jivuneni Jamaika!

(src)="7.26"> Hier soir , sur CBC ( Canada ) , il y avait un débat pour savoir comment la Jamaique a pu produire des athlètes aussi incroyables depuis des années …
(trg)="8.19">Jana usiku kwenye CBC (Kanada) walikuwa na mjadala kuhusu kwa nini Jamaika imetengeneza wakimbiaji wa kasi wa mbio fupi kwa miaka mingi…

(src)="7.27"> Moving back to Jamaica semble avoir une réponse :
(trg)="8.20">Bloga Moving Back To Jamaica inaonekana ana jawabu:

(src)="7.28"> S ' il y a bien une chose pour laquelle on peut compter sur nous Jamaïcains , c' est d' être fiers d' avoir la meilleure fabrique de sprinters du monde .
(trg)="8.21">Kama kuna jambo ambalo sisi Wajamaika tunaweza kutarajiwa, ni kufurahia ukweli kwamba tunacho kiwanda cha kutengeneza wakimbiaji kasi duniani.

(src)="7.29"> Ce que beaucoup ignorent , c' est qu' un facteur clé de nos succès est la rivalité intense qui existe entre nos lycées , à partir de l' âge de 11 ans , et qui se poursuit toute la vie .
(trg)="8.22">Wasichokijua wengi ni kwamba sababu kubwa ya mafanikio yetu ni ushindani mkali uliopo kwenye mashule yetu ya sekondari, ushindani ambao huanzia katika umri wa miaka 11 na kudumu maisha yote.

(src)="7.30"> Qu' il y ait un secret ou non , personne ne met en doute le talent de Bolt .
(trg)="8.23">Kuwepo kwa siri au la, hakuna shaka juu ya uwezo wa Bolt.

(src)="7.31"> Le blog Living in Barbados le surnomme “ L ' arme de destruction massive n°1 du monde " , tandis que le blogueur des îles Caïmanes Mad Bull l' appelle " la foudre " , et ajoute :
(trg)="8.24">Bloga Living in Barbados alimpachika jina mkimbiaji #1 duniani kama "silaha ya maangamizi", wakati bloga wa visiwa vya Cayman Mad Bull alimuita "radi iliyopakwa mafuta", na akaongeza:

(src)="7.32"> La seule chose , c' est le temps qu' il aurait pu faire ( on essaie d' imaginer ) s' il avait maintenu son effort pendant toute la course ? !
(trg)="8.25">Jambo moja tu ni kwamba, unaweza kufikiria ni muda gani angetumia kama angalikimbia kwa uwezo wake wote tangu mwanzo mpaka mwisho wa shindano?!

(src)="7.33"> Waou !
(trg)="8.26">Wow!

(src)="7.34"> Il a ralenti et commencé à se réjouir autour de la ligne des 75 mètres .
(trg)="8.27">Alifunga kazi na kuanza kusherehekea kuanzia takriban alipofika mita 75!

(src)="7.35"> J' aurais aimé qu' il continue à pédaler jusqu' au bout , juste pour voir de quoi le type est capable !
(trg)="8.28">Samahani, hakukaza nia mbio nzima, ili kwamba tujue lile ambalo ana uwezo wa kulifanya!

(src)="7.36"> Le blog de Trinité-et-Tobago Media Watch commente la course : “ Stupéfiant !
(trg)="8.29">Media Watch aliyeko Trinidad na Tobago waliliita shindano lile "la kustaajabisha!

(src)="7.37"> Fantastique !
(src)="7.38"> Electrique ! ” avant de critiquer la faiblesse de la couverture de l' événement au niveau local par MSN .
(src)="7.39"> Peut-être aurait dû se connecter à internet , où Andre Bagoo a couvert en temps réel la course sur son blog .
(trg)="8.30">Safi sana! lenye supaku za umeme!" kabla ya kuingia kwenye kuzikosoa huduma duni za vyombo vikuu vya habari katika kutangaza tukio hilo - pengine angekwenda kwenye mtandao, ambako bloga Andre Bagoo alikuwa akiblogu moja kwa moja shindano hilo.

(src)="8.1"> Les félicitations continuent à affluer de la Grenade , de Guyana et de Trinité-et-Tobago .
(trg)="9.1">Heko zilizidi kumiminika - kutoka Grenada, Guyana na Trinidad na Tobago.

(src)="9.1"> Après la déclaration du Premier ministre jamaïcain Bruce Golding , qui promet d' organiser un accueil digne de l' occasion pour le premier médaillé d' or des J.O. de Pékin , Usain Bolt , et toute l' équipe olympique “ , le blog Living Guyana suggère quelques façons de rendre hommage à l' exceptionnel athlète .
(trg)="10.1">Habari zikafika kwamba Waziri Mkuu wa Jamaika Bruce Golding ameahidi sherehe kubwa ya mapokezi kwa Mjamaika wa kwanza kutwaa medali ya dhahabu kwenye Olimpiki ya Beijing, Usain Bolt, pamoja na timu nzima ya Olimpiki, Bloga Living Guyana anapendekeza njia kadhaa za kumuenzi mwanaolimpiki huyu aliyetia fora:

(src)="9.2"> Si…Bruce Golding…a de la jugeotte , il devrait déclarer ce lundi jour férié national à la Jamaïque , rebaptiser le boulevard Knutsford " Voie rapide Usain Bolt " et instituer un " Jour Usain Bolt " les 16 août .
(trg)="10.2">Ikiwa… Bruce Golding… ana uwezo kidogo wa kufikiri angetoa tamko kuwa Jumatatu iwe sikukuu ya kitaifa nchini Jamaika, na angeubatiza mtaa wa Knutsford Boulevard, kama barabara kuu ya Usain bolt na angeamuru kuwa Agosti 16 ni siku ya Usain Bolt.

(src)="9.3"> Il devrait aussi offrir à Usain Bolt 9,69 miles carrés de terre en Jamaïque .
(trg)="10.3">Anapaswa kupewa ardhi, yenye ukubwa wa maili za mraba 9.69 nchini Jamaika.

(src)="9.4"> Et une maison aussi .
(trg)="10.4">Na nyumba vile vile.

(src)="9.5"> Tout le monde , cependant , n' est pas en admiration béate de " l' éclair " .
(trg)="10.5">Lakini si wote waliopigwa butwaa na "Radi ya Bolt".

(src)="9.6"> Living Guyana a répondu un peu sèchement au commentaire du reporter Matt Slater sur BBC Sport ' ( “ Est -ce que j' ai vraiment vu un type traverser la ligne d' arrivée de travers , battre le tambour sur son torse après avoir couru 100 mètres en 9.69 secondes ? ” ) par un très détaché “ Oh , oui Matt , tu as bien vu .
(trg)="10.6">Wakati bloga Living Guyana alijibu swali la BBC kurasa ya michezo na mwanahabari Matt Slatter kwenye Twita lililouliza "Je, ni kweli nimemuona mwanadamu anayekimbia upande upande, akijipigapiga kifua na aliyeweza kukimbia mita 100 kwa sekunde 9.69?
(trg)="10.7">Alimjibu pia kwa namna ya uhakika "Ah ni kweli Matt umemuona.

(src)="9.7"> Tes yeux ne t' ont pas trahi ” .
(trg)="10.8">Macho yako hayakukudanganya".

(src)="9.9"> J' espère que quelqu'un va lui rappeler qu' il est toujours un être humain .
(trg)="10.10">Natumaini kuna mtu atamkumbusha kuwa yeye bado ni mwanadamu.

(src)="9.10"> Les grosses têtes sont tolérées pendant un certain temps seulement , même si elles sont jamaicaines , et quelle que soit la vitesse à laquelle elles courent .
(trg)="10.11">Watu wenye kujidai huwa wanavumiliwa kwa mda fulani tu, hata kama ni Wajamaika, na hata wangekimbia kasi namna gani.

(src)="9.11"> La joie qu' exprime Living Guyana pour ses compatriotes caribéens est un peu ternie par sa déception pour la délégation olympique de Guyana .
(trg)="10.12">Katikati ya kufurahia ushindi wa wazalendo wenzake kutoka Karibeani, Living Guyana alijisikia kuwasononekea kundi la Olimpiki kutoka Guyana:

(src)="9.12"> Les deux pays des Caraïbes qui ont beaucoup investi dans l' athlétisme en récoltent maintenant les fruits et attirent l' attention du mond entier .
(trg)="10.13">Nchi mbili za Karibeani zilizowekeza vikubwa kwenye riadha zinaona matunda yake na zinafurahia kutambulika kwenye ulingo wa dunia.

(src)="9.13"> Ces deux pays ont des stades de niveau international , d' excellent programmes d' éducation physique , des coachs fantastiques…et d' autres athlètes de Guyana continueront à bombarder les JO sans sommation préalable .
(trg)="10.14">Nchi hizi mbili zina viwanja vinavyofaa kwa riadha, programu nzuri za riadha, wakufunzi wazuri… na katika habari nyingine wanariadha wa Guyana wanaendelea kutolewa kwenye michuano ya Olimpiki hata bila ya kutambulika.

(src)="9.14"> Mais rien ne peut vraiment gâcher la vague de bonheur qui submerge les Antilles anglophones , alors que deux de ses îles , à l' opposé l' une de l' autre dans l' archipel , ramènent à la maison l' or ET l' argent remportés dans l' une des plus prestigieuses épreuves olympiques .
(trg)="10.15">Hata hivyo, hakuna lililoweza kupunguza wimbi la furaha lililofunika Uhindi Magharibi wakati visiwa viwili vilivyoko kwenye ncha mbili tofauti za visiwa hivyo vilileta nyumbani dhahabu na fedha kutoka katika michuano ya juu ya Olimpiki ya 2008.

(src)="9.15"> La bonne nouvelle s' est répandue de Chine aux Caraïbes , des îles aux diaporas caribéennes dans le monde entier .
(trg)="10.16">Habari njema zimeenea kuanzia Uchina mpaka Karibeani, kutokea fukwe za visiwa mpaka ughaibuni na kila mahala.

(src)="9.16"> A Mi Ver , qui vit en Floride , traduit bien le sentiment de fierté et d' accomplissement de la région en racontant la conversation qu' elle a eu avec son père , quand celui -ci lui a téléphoné pour lui annoncer la bonne nouvelle :
(trg)="10.17">A Mi Ver, aishiye Florida, alikamata namna ya majivuno na mafanikio wakati aliporejea mazungumzo na baba yake, ambaye alimpigia simu kutokea Trinidad kumfahamisha yaliyojiri:

(src)="10.1"> “ J' ai décidé de pas respecter le code de la route aujourd'hui , parce que nous avons quelque chose à fêter " lui a annoncé son père .
(trg)="11.1">"Nimeamua kuvunja sheria leo hii kwa sababu tunasherehekea" mzee alisema, "ninakupigia wakati nikiendesha barabarani.

(src)="10.2"> “ Je t' appelle de mon portable , en conduisant sur l' autoroute .
(src)="10.3"> Usain Bolt de la Jamaïque a gagné la médaille d' or pour le cent mètres homme .
(src)="10.4"> Richard Thompson de Trinité a gagné la médaille d' argent , et les USA sont arrivés troisième " .
(trg)="11.2">Usain Bolt wa jamaika ameshinda dhahabu kwenye michuano ya mita 100 ya wanaume, Richard Thompson wa Trinidad amenyakua fedha na Marekani wameambulia ushindi wa tatu."

(src)="11.1"> Il avait l' air euphorique en racrochant .
(trg)="12.1">Anasikika mwenye furaha akipiga simu hivi.

(src)="11.2"> Cinq minutes plus tard , il rappelle :
(trg)="13.1">*Dakika tano baadaye*

(src)="12.1"> “ Hé , ” dit -il .
(trg)="14.1">"Aye" anasema mzee.

(src)="12.2"> “ Est -ce que je t' ai dit que les Caribéens sont les hommes les plus rapides du monde ? "
(trg)="14.2">"Hivi nimeshakueleza kuwa watu wawili kutoka Karibeani ndiyo wana kasi kuliko wote duniani?"

(src)="13.1"> “ Oui , je crois que tu me l' as dit .
(trg)="15.1">"Naam, nafikiri ulishaniambia."

(src)="14.1"> “ Ah bon , alors je racroche . ”
(trg)="16.1">"Sawa nakwenda."

(src)="15.1"> “ OK .
(trg)="17.1">"Sawa.

(src)="15.2"> Bye , papa .
(trg)="17.2">Kwa kheri, Baba.