# de/2009_01_15_angola-mit-ebola-um-die-ecke-sind-die-grenzen-geschlossen_.xml.gz
# sw/2009_01_angola-ebola-inapokaribia-mipaka-yafungwa_.xml.gz
(src)="1.1"> Angola : Mit Ebola um die Ecke sind die Grenzen geschlossen
(trg)="1.8">Kwa hiyo hatuna mamlaka au mamlaka ya kisheria kufikiria mara mbili juu ya hili.
(src)="1.2"> Auf Grund des erneuten Ausbruchs des Ebolafiebers hat die Regierung Angolas beschlossen , die Grenze in die Demokratische Repbulik Kongo ( DR Kongo ) zu schließen .
(trg)="2.1">Miaka miwili iliyopita, virusi hivyo, pia vikitokea kutokea Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, hasa kutokea kwenye jimbo la Kasai Magharibi, vilisababisha vifo vya watu wapatao 180.
(src)="1.3"> Damit soll eine Verbreitung des tödlichen Virus auf angolischem Gebiet verhindert werden .
(trg)="3.2">Sina tabia ya kufikiria kuhusu jambo hili, najikinga nyuma ya dhana kwamba siyo rahisi kwa ugonjwa kunikuta nikiwa sijajiandaa.
(src)="1.5"> Lunda Norte ist Anziehungspunkt für viele Gastarbeiter , da in diesem Teil des Landes viele Goldminen liegen .
(trg)="5.4">Pia kwa mujibu wa mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) nchini Angola, Diosdado Nsue-Micawg, inahisiwa kwamba ushikaji wa miili ya nyani waliokufa kwenye misitu ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo ndiyo chanzo cha kuibuka tena kwa ugonjwa huu.
(src)="1.6"> Nelo de Carcvalho schreibt in seinem Blog über die Beschränkungen an den Grenzen und die Herrausforderungen , mit denen sich die Regierung Angolas konfrontiert sieht :
(trg)="6.1">Hii ni mara ya nne kwa virusi vya ebola kuzuka ndani ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo tangu ulipoibuka kwa mara ya kwanza mwaka 1976.
# de/2009_01_25_afrikanische-blogs-fur-bloggies-2009-nominiert_.xml.gz
# sw/2009_01_blogu-za-afrika-zapendekezwa-kupokea-tuzo-ya-bloggies-2009_.xml.gz
(src)="1.1"> Afrikanische Blogs für Bloggies 2009 nominiert
(trg)="1.1">Blogu za Afrika Zapendekezwa Kupokea Tuzo ya Bloggies 2009
(src)="1.2"> Die Nominierungen für den neunten jährlichen Weblog-Award : Die " Bloggies " 2009 liefen vom 1 . bis 19 . Januar .
(trg)="1.2">Blogu zilizopendekezwa kwa ajili ya Mashindano ya Tisa ya Zawadi za Weblog: Mapendekezo ya blogu katika mashindano ya Bloggies ya 2009 yalifunguliwa tarehe 1 Januari na kufungwa tarehe 19 Januari.
(src)="1.3"> Nach Angaben der Awards-Website sind die Bloggies die ältesten Preise , die im Web vergeben werden , und die Blogleser nominieren die Kandidaten und wählen die Finalisten aus .
(trg)="1.3">Kwa mujibu wa tovuti ya waandalizi, mashindano hayo ya Bloggies ni mashindano ambayo yamedumu kwa muda mrefu zaidi mtandaoni, na mapendekezo, pamoja na uchaguaji wa washindani katika fainali, ni juu ya msomaji wa blogu.
(src)="1.4"> Die Gewinner erhalten jeweils 2009 US-Cent !
(trg)="1.4">Mshindi hupata senti 2,009 za Marekani!
(src)="2.1"> In der Kategorie " Bester afrikanischer Weblog " wurden fünf Blogs nominiert :
(trg)="2.1">Blogu tano zimependekezwa katika kinyang'anyiro cha blogu Bora Zaidi:
(src)="3.1"> Being Brazen : Ein südafrikanisches Blog .
(trg)="3.1">Blogu ya Being Brazen: Hii ni blogu iliyoko Afrika ya Kusini.
(src)="3.2"> Im Profil des Bloggers heißt es :
(trg)="3.2">Wasifu wa mwanablogu huyo unaelezwa:
(src)="3.3"> Ich bin um die 20 , etwas schräg und hänge gerne Tagträumen nach .
(src)="3.4"> Ich glaube an die Liebe , Gott , die Macht der Worte , Weltoffenheit und daran , dass Lachen die wahrscheinlich beste Medizin ist .
(trg)="3.3">Sitabiriki, huota ndoto za mchana, umri wangu ni katika miaka ya 20, ninaamini katika mapenzi, Mungu na nguvu ya maneno, nina mawazo huru na pengine kucheka ndio dawa bora kuliko zote.
(src)="3.5"> Ich schreibe , um bei Verstand zu bleiben .
(trg)="3.6">Ninaandika ili kuepuka wehu.
(src)="3.6"> Appfrica : Ein Internetportal , auf dem über aktuelle Neuigkeiten in den Gebieten Innovation , Bildung und Unternehmertum im Bereich Technologie in Afrika berichtet wird .
(trg)="3.7">Blogu ya AppAfrica: Hii ni tovuti ya habari mpya mpya zinazohusu ubunifu wa Kiafrika, elimu na ujasiriamali kwenye teknolojia:
(src)="4.1"> Glad To Be a Girl : Eine südafrikanische Bloggerin aus Johannesburg .
(trg)="4.1">Blogu ya Glad To Be A Girl: Ni mwanablogu wa Kiafrika ya Kusini anayekaa mjini Johannesburg.
(src)="5.1"> Ihr Profil :
(trg)="5.1">Wasifu wake:
(src)="5.3"> Ich bin die Bescheidenheit in Person ; ) Sarkasmus ist meine Waffe .
(trg)="5.3">Unyonge unanichirizika ndoo kwa ndoo :) kejeli ndiyo silaha yangu ninayoipenda.
(src)="5.4"> Christen , Moslems und Juden glauben an einen Gott mehr als ich .
(trg)="5.4">Wakristu, Waislamu & Wayahudi wanaamini katika Mungu mmoja zaidi ya yule ninayemuamini.
(src)="5.5"> West Africa Wins Always : Ein Blog von Pauline , eine Journalistin , die seit 2003 in der Elfenbeinküste lebt .
(trg)="5.5">Blogu ya West Africa Wins Always: Hii ni blogu ya mwanablogu Pauline, mwanahabari ambaye amekuwa akiishi nchini Ivory Coast tangu mwaka 2003.
(src)="6.1"> Last but not least - Scarlett Lion , eine Journalistin , die in Liberia lebt .
(trg)="6.1">Na blogu ya mwisho ni ile ya Scarlett Lion: Yeye ni mwanahabari aliyeko nchini Liberia.
(src)="7.1"> In ihren eigenen Worten :
(trg)="7.1">Kwa mujibu wa maneno yake mwenyewe:
(src)="7.2"> Fotografin , Autorin , Reporterin .
(trg)="7.2">Mpiga picha, mwandishi, ripota.
(src)="7.4"> Früher in Uganda , jetzt in Liberia .
(trg)="7.4">Awali katika nchi ya Uganda na sasa katika Liberia.
(src)="7.5"> In diesem Blog gibt es Kuriositäten , Zynismus und Kommentare .
(trg)="7.5">Blogu hii inakuletea udadisi na maoni.
(src)="7.6"> Und ein paar Fotos .
(trg)="7.6">Pamoja na picha.
(src)="7.7"> Es kann noch bis 2 . Februar abgestimmt werden und die Gewinner werden im März in Austin , Texas , USA beim South by Southwest Interactive Festival bekanntgegeben .
(trg)="7.7">Upigaji kura utafungwa tarehe 2 Februari na washindi watatangazwa mwezi Machi mjini Austin, Texas, huko Marekani katika Tamasha la South by South West Interactive.
# de/2009_01_08_palastina-_e2_80_9egaza-sucht-nicht-nach-einem-aspirin-fur-seine-blutige-wunde_e2_80_9c_.xml.gz
# sw/2009_01_palestina-gaza-haitafuti-aspirini-kwa-ajili-ya-kidonda-chake_.xml.gz
(src)="1.1"> Palästina : „ Gaza sucht nicht nach einem Aspirin für seine blutige Wunde “
(trg)="1.1">Palestina: Gaza Haitafuti Aspirini Kwa Ajili Ya Kidonda Chake
(src)="1.2"> Durch die Nutzung von Generatoren zur Stromgewinnung sind einige Palästinenser und ausländische Aktivisten noch in der Lage Berichte über die Situation im Gazastreifen raus zu senden .
(trg)="1.2">Wapalestina wachache na wanaharakati wakigeni bado wanaweza kutuma ripoti za kile kinachoendelea kwenye ukanda wa Gaza kwa kutumia umeme wa jenereta inapobidi.
(src)="1.3"> Hier sind einige Blog-Beiträge der letzten 24 Stunden .
(trg)="1.3">Zifuatazo ni jumbe za blogu katika masaa 24 yaliyopita.
(src)="2.1"> Prof. Said Abdelwahed , der an der Al-Azhar Universität Englisch unterrichtet , schreibt bei Moments of Gaza :
(trg)="2.1">Profesa Abdelwahed, ambaye anafundisha Kiingereza Chuo Kikuu cha Al-Azhar anaandika katika Moments of Gaza:
# de/2009_03_18_der-papst-in-kamerun-1-kontroverse-uber-aufraumaktionen-in-yaounde_.xml.gz
# sw/2009_03_papa-nchini-kameruni-1-utata-wa-safisha-safisha-jijini-yaounde_.xml.gz
(src)="1.1"> Der Papst in Kamerun ( 1 ) : Kontroverse über Aufräumaktionen in Yaoundé
(trg)="1.1">Papa Nchini Kameruni (1): Utata wa Safisha-safisha Jijini Yaounde
(src)="1.2"> Papst Benedikt XVI ist vom 17 . bis 20 . März in Kamerun zu Besuch .
(trg)="1.2">Papa Benedikti wa XVI anazuru Kameruni kuanzia tarehe 17 mpaka tarehe 20 Machi 2009.
(src)="1.3"> Das hat dazu geführt , dass die Regierung einige radikale Aufräummaßnahmen durchgeführt hat , wie Griet,Thorsten , Jara und Lisa bloggen :
(trg)="1.3">Ziara hii imepelekea serikali kuchukua hatua kali za usafi kama anavyoelezwa katika blogu ya Griet,Thorsten, Jara and Lisa:
(src)="2.1"> 1 Sämtliche kleinen Läden , Häuser , Verkaufsstände , die nicht hübsch genug aussehen , werden mithilfe großer Raupen zerstört .
(trg)="2.1">1.
(trg)="2.2">Maduka yote madogo, nyumba, vibanda vya wachuuzi ambavyo havina sura nzuri vianbomolewa na makatapila makubwa.
(src)="2.2"> Der LKW kommt vorbei , sieht sich deinen Stand/Haus/was-auch-immer an und wenn es dem Fahrer nicht gefällt , zerstört er es einfach samt dessen Inhalt .
(trg)="2.3">Malori hayo ya katapila yanafika, na kutazama kibanda/nyumba/au chochote ambacho dereva haridhishwi nacho, halafu anabomoa pamoja na vyote vilivyomo.
(src)="2.3"> Alles begann vor ca. einer Woche im Zentrum der Stadt .
(trg)="2.4">Hii ilianza kama wiki moja iliyopita katikati ya mji.
(src)="2.4"> Auf einmal gab es auf den Straßen keine Straßenhändler mehr , alle Läden am Postamt verschwanden usw. Das Ganze wurde nun bis zum Flughafen ausgeweitet .
(trg)="2.5">Ghafla jiji halikuwa na wachuuzi wa mitaani tena, maduka yote yaliyoko posta yalitoweka n.k.
(src)="3.2"> Allerdings NUR die Straße vom Flughafen ins Stadtzentrum .
(trg)="3.3">Lakini ni katika njia hiyo TU kutokea uwanja wa ndege mpaka katikati ya jiji.
(src)="4.1"> 3 Am Dienstag ( das ist gesichert , andere Tage müssen noch bestätigt werden ) wird die Straße zwischen Flughafen und Stadtzentrum gesperrt sein .
(trg)="4.2">Jumanne (kwa hakika, na siku nyingine zitathibitishwa) baranbara kati ya uwanja wa ndege na katikati ya jiji zitafungwa.
(src)="4.2"> Hinweis : Der Papst kommt abends an , aber die Straße muss schon ab dem FRÜHEN MORGEN gesperrt werden .
(trg)="4.3">Angalia: Papa atawasili wakati wa jioni, lakini barabara zitafungwa kuanzia ALFAJIRI.
(src)="4.3"> Es kommt also niemand zur Arbeit/nach Hause , zur Schule usw.
(trg)="4.4">Hivyo hakuna atakayeweza kwenda au kurudi kutoka kazini, shule n.k.
(src)="4.4"> Dieser Post verlinkt auf einen anderen Blog einer Expat-Familie , Sander Elke en Milan , auf dem es Fotos über die Zerstörung von Läden am Straßenrand von Yaoundé gibt .
(trg)="4.5">Makala hii kadhalika inaunganisha blogu nyingine ya familia ya mfanyakazi kutoka nje Sander Elke en Milan ambayo ina picha ya uharibifu wa maduka yaliyoko kandokando ya barabara kwenye mitaa ya Yaounde.
(src)="5.1"> Diese Zerstörung löste in den Blogs zweier anderer Expats in Kamerun eine Diskussion aus .
(trg)="5.1">Bomoabomoa hii imezua mjadala katika blogu za wafanyakazi wawili kutoka nje walioko Kameruni.
(src)="5.2"> Συγκακοπαθησον , ein Blog , das von einer Mission in Kamerun betrieben wird und in dem über die Veränderungen im Aussehen Yaoundés als Ergebnis des Papstbesuchs geschrieben wird .
(trg)="5.2">Blogu ya Συγκακοπαθησον inayoandikwa na mmisionari aliyeko Kameruni ilichapisha mabadiliko yatakayotokana na ujio wa Papa jijini Yaounde.
(src)="5.3"> Wie sehe ich also die ganze Sache ?
(trg)="5.3">Je nina mtazamo upi kuhusu suala hili?
(src)="5.4"> Es ist schön , dass die Stadt ein Facelift bekommt - alles sieht auf jeden Fall viel schöner aus und die großen Straßenlaternen machen das Fahren in der Nacht oder das Anhalten eines Taxis an der Hauptstraße so viel einfacher und sicherer - es ist allerdings schade , dass diese Aufräumaktion die Zerstörung der Lebensweise von Menschen bedeutet .
(trg)="5.4">Ni jambo zuri kwamba jiji linapata sura mpya - (safisha-safisha) inalifanya jiji lionekane zuri zaidi, na mataa ya barabarani yamerahisisha kuendesha magari usiku kadhalika kupata usafiri wa teksi kuwa rahisi na salama - lakini ni masikitiko kwamba safisha-safisha hii inamaanisha uharibifu wa namna ya watu wanavyoishi.
(src)="5.5"> Leider haben diese Leute die " Regeln " einfach ignoriert , einige davon absichtlich , und werden nun mit den Konsequenzen konfrontiert .
(trg)="5.5">Kwa bahati mbaya, hawa watu hawazifahamu "taratibu", wengine kwa kupenda, na hivi sasa wanakumbana na matokeo.
(src)="5.6"> Traurig ist , dass die Regierung offensichtlich damit zufrieden war , den Dingen ihren Lauf zu lassen ( möglicherweise seit 10 Jahren oder länger ) , bis etwas Großes passierte , wie etwa der Besuch des Papstes .
(trg)="5.6">Jambo la kusikitisha ni kuwa serikali ilikuwa imeridhika na kuachia mambo yaendelee kuwa yalivyo (pengine kwa miaka 10 au zaidi) mpaka jambo kubwa lilipotokea, kama vile ujio wa Papa.
(src)="5.7"> Wenn sie , sobald sich diese Strukturen zu bilden begannen , eingegriffen hätte , wäre die jetzige Art der Zerstörung der Lebensgrundlage von Menschen vermeidbar gewesen .
(trg)="5.7">Kama wangebomoa majengo yale pale tu yalipotojitokeza, pasingekuwa na uharibifu wa njia za kuishi za watu.
(src)="5.8"> Aber auch hier gilt , Gesetz ist immer noch Gesetz , auch wenn es nicht durchgesetzt wird .
(trg)="5.8">Lakini hata hivyo, nadhani sheria ni sheria hata kama haitekelezwi.
(src)="5.9"> Diese Ansicht wurde von einem in Großbritannien geborenen VSO-Volontär , der auf Our Man in Cameroon bloggt , nicht wirklich geteilt .
(trg)="5.9">Mtazamo huu haujapokelewa vizuri na mfanyakazi wa kujitolea wa VSO aliyezaliwa Uingereza ambaye anablogu katika blogu ya Our Man in Cameroon.
(src)="5.10"> Seine Reaktion in einem Post mit dem Titel Impossible Missionary ( Unmöglicher Missionar ) war einfach :
(trg)="5.10">Majibu yake katika makala iliyoitwa Impossible Missionary yalikuwa ni mepesi:
(src)="6.1"> Straßenstände sind hier eine Lebensart .
(trg)="6.1">Vibanda vya biashara vya mitaani ni njia ya maisha hapa.
(src)="6.2"> Es gibt sie überall .
(trg)="6.2">Vipo kila sehemu.
(src)="6.3"> Es ist einfach , zu sagen , sie seien illegal , sie bestehen jedoch teilweise aus solidem Material .
(trg)="6.3">Ni rahisi kusema kuwa vipo kinyume ya sheria lakini vinaweza kuwa ni majengo madhubuti.
(src)="6.4"> Dazu kommt , dass wenn sie tatsächlich illegal sind , ich mir vorstellen kann , dass sie nur deshalb geduldet wurden , weil irgendjemand , irgendwo regelmäßig ein paar tausend Franc Bestechungsgeld kassiert hat .
(trg)="6.4">La zaidi, kama vipo kinyume cha sheria nadhani vimeruhusiwa kuwepo kwa sababu kuna mtu, mahali fulani ambaye kila mara anachukua faranga elfu kadhaa kama rushwa.
(src)="7.1"> Die Menschen rackern sich hier ab .
(trg)="7.1">Watu wanahangaika hapa.
(src)="7.2"> Man kann davon ausgehen , dass aus diesen Buden nicht viel herausspringt , und in einem Land , in dem Unternehmen und das Unternehmertum an sich so schwach sind … nun , was für eine Art und Weise , das zu belohnen .
(trg)="7.2">Unaweza kusema kuwa majengo haya hayazalishi sana katika nchi kama hii ambapo juhudi na ujasiriamali viko chini mno… naam, ni njia iliyoje ya kuwatuza.
(src)="7.3"> Wenn ihr dem , was ich geschrieben haben , grundsätzlich zustimmt und die Sichtweise der Mission genauso ignorant findet wie ich , bitte ich euch , einen Kommentar zu hinterlassen .
(trg)="7.3">Ninakuomba, kama unakubaliana na niliyoyaandika na kama uafikiri kuwa mtazamo wa mmisionari ni wa kijinga, tafadhali acha maoni.
(src)="7.4"> Vielleicht nicht hier unten , sondern auf der Seite der Mission .
(trg)="7.4">Siyo hapa chini, bali katika blogu ya mmisionari.
(src)="7.5"> Leser haben dazu jedoch auch Kommentare auf dem Blog Our Man in Cameroon hinterlassen .
(trg)="7.5">Hata hivyo, wasomaji waliendelea kuandika maoni kuhusu habari hii kwenye blogu ya Our Man in Cameroon.
(src)="7.6"> Die Reaktionen schaukelten sich so hoch , dass Karis , die Frau des Missionars , begann , ihren Mann zu verteidigen :
(trg)="7.6">Maoni yalifikia kiwango ambapo Karis, mke wa mmisionari aliingilia kati ili kumtetea mume wake:
(src)="8.1"> Wow !
(trg)="8.1">Wow!
(src)="8.2"> Ich hätte nie gedacht , dass mein Mann einen solchen Aufruhr verursachen könnte .
(trg)="8.2">Sikujua kwamba mume wangu anaweza kusababisha mtafaruku wa namna hii.
(src)="8.3"> Ich glaube , manchmal denken wir , dass nur Leute unser Blog lesen , die uns kennen , und diese Leute wissen , wie zu verstehen ist , was wir schreiben , anstatt es Zeile für Zeile auseinanderzunehmen , ohne uns überhaupt zu kennen .
(trg)="8.3">Nadhani kuwa wakati mwingine huwa tunafikiri kuwa ni watu wanaotufahamu pekee ambao husoma blogu zetu na watu hao hufahamu jinsi ya kuchukulia yale tunayoyaandika badala ya kuyachambua mstari kwa mstari pasina kutufahamu hata chembe.
(src)="8.4"> Trav , vielen Dank für deine netten Worte .
(trg)="8.4">Trav, nakushukuru kwa maoni yako mazuri.
(src)="8.5"> Dad A , vielen Dank für den Humor .
(trg)="8.5">Dad A, nashukuru kwa utani wako.
(src)="8.6"> Du bringst mich immer zum lächeln .
(trg)="8.6">Kila mara huwa unanijaza tabasamu usoni kwangu.
(src)="8.7"> Ich wünschte nur , ihr alle , die ihr hier auf seinem Blog einen Kommentar hinterlassen habt , würdet meinen Mann kennen — ihr wäret nicht so hart dabei , Sätze auseinanderzunehmen .
(trg)="8.7">Ninatamani kuwa nyie wote mliotoa maoni hapa na kwenye blogu ya mume wangu mngekuwa mnamfahamu mume wangu - msingekuwa wakali namna hii wakati mkichambua sentensi zake.
(src)="9.1"> Er und ich haben viele Gespräche darüber geführt , wie schrecklich es ist , wie Menschen ihre Lebensgrundlage entzogen wird , und all das für ein paar Tage Papstbesuch .
(trg)="9.1">Mimi na yeye tumekuwa na mazungumzo mengi kuhusu ni jinsi gani njia za maisha za watu zimepokonywa na yote hayo kwa sababu tu ya ziara ya Papa kwa siku chache.
(src)="9.2"> Als wir am Montag in der Stadt waren und sahen , wie Habseligkeiten auf LKWs geworfen wurde , wurde mir schlecht .
(trg)="9.2">Tulipokuwa mjini jumatatu na kuona vitu vinavyotupwa kwenye magari ya mizigo, nilichefuka mpaka tumboni.
(src)="9.3"> Mehr als einmal sagten wir : " Aber wie werden diese Menschen heute Abend essen ?
(trg)="9.3">Zaidi ya mara moja tulijisemea, "je watu hawa watakula wapi usiku wa leo?
(src)="9.4"> Und am Tag danach und danach ? "
(trg)="9.4">Na siku inayofuata na inayofuata?"
(src)="9.5"> Es ist sogar noch schlimmer als das in …
(trg)="9.5">Tuliendelea zaidi ya hapo kwenye…
(src)="10.1"> Und dann heute sah ich ihn , wie er Menschen weiter unten in unserer Straße mit ihren Nähmaschinen , ihren Tische , ihren Taschen voll Habseligkeiten half , als die Regierung mit ihren Bulldozern anrückte .
(trg)="10.1">Na hivi leo, nilimuona akiwasaidia watu kuhamisha cherehani, meza na mapakacha ya makabrasha yao kuyapeleka mbali zaidi hapa barabarani kwetu wakati serikali ilipokuwa inakuja na magari ya kubomoa.
(src)="10.2"> Nein , das wurde wurde in diesem Post nicht ausreichend betont , um all unsere Gespräche und Taten zu zeigen , aber wow … das bedeutet nicht , dass mein Mann kein Mitgefühl für die Menschen hier hätte !
(trg)="10.2">Hapana, hilo halikusisitizwa katika makala hii ili kuonyesha mazungumzo na vitendo vyetu, lakini wow… hilo halimaanishi kuwa mume wangu hana hisia na watu wa hapa!
(src)="10.3"> Vielleicht kann ich ihn dazu überreden , einen neuen Post zu schreiben , aber ich bin mir nicht so sicher , denn es ist vielleicht besser , die Sache ruhen zu lassen , anstatt wieder zerrissen zu werden .
(trg)="10.3">Pengine ninaweza kumshawishi aandike makala nyingine, lakini sina hakika kwa sababu inaweza ikawa ni bora tu kuacha mambo kama yalivyo badala ya kufanya yachambuliwe tena.
(src)="10.4"> Ich höre an dieser Stelle wohl besser auf .
(trg)="10.4">Naona bora nikome.
(src)="10.5"> Eine Ehefrau , die sich auf die Seite Ihres Mannes stellt , gibt wohl kaum Anlass zum Umdenken .
(trg)="10.5">Mke kumuunga mkono mume wake hakutabadilisha akili za watu.
(src)="10.6"> Dieser Meinungsaustausch war hier noch nicht zu Ende .
(trg)="10.6">Majibizano hayo hayakuishia hapo.
(src)="10.7"> Dieser päpstliche Besuch nimmt innerhalb der Blogosphäre so manche Wendungen !
(trg)="10.7">Ziara hii ya Papa ina makeke mengi kwenye ulimwengu wa blogu!
# de/2009_03_20_der-papst-in-kamerun-2-von-priestern-korruption-und-politik_.xml.gz
# sw/2009_03_papa-nchini-kameruni-2-wazee-wa-kanisa-upotofu-na-siasa_.xml.gz
(src)="1.1"> Der Papst in Kamerun ( 2 ) : Von Priestern , Korruption und Politik
(trg)="1.1">Papa Nchini Kameruni (2): Wazee Wa Kanisa, Upotofu na Siasa
(src)="1.2"> Der Kamrun-Besuch des Oberhaupts der Römisch-Katholischen Kirche im März 2009 hat kamerunische Blogger dazu veranlasst , die Suchscheinwerfer auf die politischen Auswirkungen ( sollte es welche geben ) eines päpstlichen Besuchs wie diesen in dem Land zu richten .
(trg)="1.2">Ziara ya kiongozi wa Kanisa La Katoliki nchini Kameruni mwezi huu wa Machi 2009 imepelekea baadhi ya wanablogu wa Kikameruni kuelekeza tochi zao kwenye matokeo ya kisiasa (kama yapo) yatakayotokana na ziara hiyo ya Papa nchini humo.
(src)="1.3"> So bloggt beispielsweise Neba Fuh auf Voice of the Oppressed :
(trg)="1.3">Neba Fuh anayeblogu kwenye Voice of The Oppressed ni mmoja wa wanablogu hao:
(src)="1.4"> Der verstorbene Papst Johannes Paul II besuchte die Kameruner bereits zwei Mal und die Auswirkungen auf die ohnehin schon verarmte Bevölkerung war nichts weiter als religöse Euphorie auf Kosten ihrer persönlichen Abgaben und der Staatskasse .
(trg)="1.4">Mara mbili, Hayati Papa Yohane Paulo wa Pili alizuru Kameruni na matokeo ya ziara hizo kwa umma wa watu ambao ni masikini hayakuwa zaidi ya furaha ya kidini iliyowagharimu michango binafsi pamoja na ile ya hazina ya serikali.
(src)="1.5"> Die unbeantwortete Frage von Biyas repressiver Gesetzgebung sind immer noch unbeantwortet .
(trg)="1.5">Maswali yasiyo na majibu kuhusu vitendo vya ukandamizaji vya (rais) Biya yalibaki bila ya majibu.
(src)="1.6"> Aloysius Agendia , ein Journalist und Ex-Seminarist , scheint in einem Artikel mit dem Titel Papst Benedikts XVI Besuch in AFRIKA : Mehr als spirituelle Rhetorik vorzuschlagen , die Kirche solle von Staaten und Politikern gemachte Gesetze , die nicht im Interesse der Menschen sind , verurteilen , anstatt sich hinter diplomatischen Roben zu verschanzen :
(trg)="1.6">Aloysius Agendia, mwanahabari ambaye pia ni mseminari wa zamani katika makala aliyoipa kichwa cha Ziara ya Papa Benedikti wa XVI AFRIKA: zaidi ya kauli za kiroho inaonekana kwamba angependa Kanisa lipinge vitendo vya dola na vya wanasiasa ambavyo vinaharibu maslahi ya umma badala ya kuvivika majoho ya kidiplomasia:
(src)="1.7"> Wir verstehen die Kirche und den Vatikan als Staat und als religiöse Instanz mit allerdings politischer Konnotation , die in ihrer Herangehensweise manchmal diplomatisch sein muss .
(trg)="1.7">Tunalielewa Kanisa na Vatikani kama dola, kadhalika kama chombo cha dini, japokuwa lina maana pia ya kisiasa, na wakati mwingine linapaswa kuwa na diplomasia katika mtazamo wake.
(src)="1.8"> Meiner Meinung nach darf wahre Religion Ungerechtigkeit , Unterdrückung , Ausnutzung , Kolonialismus in all seinen Formen und anderen Lastern nicht gleichgültig gegenüberstehen .
(trg)="1.8">Kwa maoni yangu, dini ya kweli haipaswi kufumbia macho maovu, ukandamizaji, unyonyaji, ukoloni katika mifumo yake yote pamoja na maovu mengine.
(src)="1.9"> Die Katholische Kirche hat viel getan und tut immer noch viel , aber es gibt noch sehr viel mehr zu tun .
(trg)="1.9">Kanisa Katoliki limefanya mengi na linaendelea kufanya lakini mengi zaidi bado yanapaswa kufanywa.
(src)="1.10"> Diplomatie , obwohl sie auf ihre eigene Weise gut ist , darf für die Kirche jedoch nicht zu alltäglichen Mittel werden , denn die Dinge müssen beim Namen genannt werden .
(trg)="1.10">Hata hivyo, diplomasia hata kama ni nzuri katika namna yake, haitakiwi kutumika sana katika Kanisa kwa sababu, beleshi ni lazima liitwe beleshi.
(src)="1.11"> Beim Versuch , wichtige Themen ständig " dezent " anzusprechen , geht die Nachricht entweder verloren oder die Bedeutung/Wichtigkeit wird stark abgemildert .
(trg)="1.11">Katika kujaribu kutumia mbinu "laini" ili kufafanua masuala mazito, ujumbe huweza kupotea au maana/na umuhimu, unaweza kuchujwa sana.
(src)="1.12"> Kirchenführer dürfen nicht nur mit den Mächtigen , Reichen und Einflussreichen speisen .
(trg)="1.12">Viongozi wa kanisa hawapaswi kuchagua kufanya karamu na wale walio madarakani, matajiri na wenye nguvu.
(src)="1.13"> Sie müssen sich nicht notwendigerweise auf die Seite der Opposition stellen , sie sollten jedoch den Schwachen , Unterdrückten , Kranken etc. beistehen .
(trg)="1.13">Siyo lazima wawe na pamoja na wapinzani, lakini, inawabidi wasimame pamoja na wanyonge, wanaokandamizwa, wagonjwa n.k
(src)="1.14"> Ihm ist klar , was er vom Papst erwartet :
(trg)="1.14">Anajua wazi ni nini anachotegemea kutoka kwa Papa:
(src)="1.15"> Als spiritueller Führer , der Hoffnung repräsentiert , darf er uns nicht nur damit vertrösten , abzuwarten und zu hoffen .
(trg)="2.1">Kama kiongozi wa kiroho anayewakilisha matumaini, hatakiwi kutuambia tuendelee kungoja na kutumaini.
(src)="1.16"> Wir erwarten von ihm , mutig genug zu sein , bei denen , die die Hoffnung der Kameruner und Afrikaner zerstören wollen , zumindest Gefühle gegenüber Menschen und ihren Mitbürgern anzumahnen .
(trg)="2.2">Tunatumaini kuwa atakuwa na ujasiri wa kutosha kuwaaambia wale wanaokinza matumaini ya Wakameruni na Waafrika wawe angalau na hisia kwa wanaadamu wenzao au wananchi wenzao.
(src)="1.17"> Auf der anderen Seite fragt sich Voice of the Oppressed , ob der Klerus , besonders in Kamerun , moralisch so überlegen ist , um von denen , die das Land regieren , einen Wandel zu fordern , wenn er selbst kein leuchtendes Vorbild ist :
(trg)="2.3">Kwenye upande mwingine, Voice of the Oppressed anajiuliza kama wazee wa kanisa hasa wale wa Kameruni wana maadili ya kutaka mabadiliko kutoka kwa wale wanaotawala nchi wakati wao wenyewe sio mifano angavu:
(src)="2.1"> Was kann eine moralisch bereits verarmte Gesellschaft von einem Bischof oder Priester lernen , der in seiner Gemeinde wahllos Kinder zeugt ?
(trg)="3.1">Ni somo gani ambalo jamii iliyopotoka kimaadili inaweza kujifunza kutoka kwa askofu au padri ambaye anazaa watoto kiholela katika jamii yake?