# ca/2010_04_el-dia-dada-lovelace-celebracio-de-les-dones-per-la-tecnologia-i-la-transparencia-arreu-del-mon_.xml.gz
# sw/2010_03_siku-ya-ada-lovelace-kuwapongeza-wanawake-wanajishughulisha-kupigania-teknolojia-na-uwazi-ulimwenguni_.xml.gz


(src)="1.1"> El Dia d ' Ada Lovelace : celebració de les dones per la tecnologia i la transparència al món
(trg)="1.1">Siku ya Ada Lovelace: Kuwapongeza Wanawake Wanajishughulisha Kupigania Teknolojia na Uwazi Ulimwenguni

(src)="1.2"> Inspirats per l ' entrada de l ' Ellen Miller al bloc de la Fundació Sunlight , que destaca la feina de dones que fan servir la tecnologia per promoure la transparència als Estats Units , hem decidit engrossir la llista parlant d ' unes quantesdones de tot el món involucrades en l ' ús de la tecnologia per fer els governs més transparents i responsables .
(trg)="1.2">Wazo hili likiwa linashajiishwa na makala ya Ellen Miller iliyotoka katika blogu ya Sunlight Foundation, ambayo inaelezea kazi za wanawake wanaotumia teknolojia ili kuhamasisha uwazi huko Marekani.
(trg)="1.3">Kwa hiyo tuliamua kuongeza kwenye orodha hiyo kwa kuwaelezea wanawake kadhaa kutoka sehemu mbalimbali ulimwenguni wanaotumia teknolojia kuzishinikiza serikali kuwa wazi na zinazowajibika zaidi.

(src)="1.3"> Els perfils següents , els ha escriut i documentat Renata Avila , la cap de Creative Commons Guatemala , directora de Primer Palabra i la nostra investigadora de l ' Amèrica Llatina de parla hispana a la Xarxa de la Tecnologia per la Transparència .
(trg)="1.4">Maelezo yafuatayo yaliandikwa na kutafitiwa na Renata Avila, ambaye ni kiongozi wa Creative Commons huko Guatemala, pia ni Mkurugenzi wa Primer Palabra, na ni mtafiti wetu wa lugha ya Kihispania huko Latini Amerika kuhusu Mtandao wa Teknolojia wa Kutetea Uwazi.

(src)="2.1"> A Mèxic , Irma Eréndida Sandoval encapçala un laboratori que documenta la corrupció i investiga les millors polítiques de transparència .
(trg)="2.1">Huko Meksiko, Irma Eréndida Sandoval, anaongoza maabara ya kuhifadhi nyaraka juu ya ufisadi na kutafiti kuhusu sera zilizo bora zaidi za uwazi.

(src)="2.2"> El Laboratori de Documentació i Anàlisi de la Corrupció i la Transparència a la Universitat Nacional Autònoma de Mèxic ( UNAM ) és una de les institucions més prestigioses a l ' Amèrica Llatina .
(trg)="2.2">“Laboratorio de Documentación y Análisis de la Corrupción y la Transparencia” katika UNAM, the Autonomous National Mexican University, ni moja ya taasisi zinazoheshimika sana katika Latini Amerika.

(src)="3.1"> A Islàndia , la parlamentària Birgitta Jónsdóttir promou la Iniciativa Islandesa pels Mitjans Moderns , una proposta per crear un refugi mundial segur per al periodisme d ' investigació a Islàndia , que pretén millorar la llibertat d ' expressió i la transparència a tot el món protegint els organismes de control i els delators de la censura i la difamació .
(trg)="3.1">Kule Iceland, mbunge Birgitta Jónsdóttir anapigia chapuo Vuguvugu linalojulikana kama Icelandic Modern Media Initiative, ambalo ni pendekezo la mbingu iliyo salama wa ajili ya uandishi wa habari za upelelezi nchini humo, jambo ambalo anaamini kuwa litakuza uhuru wa kujieleza na uwazi ulimwenguni kote kwa kutoa kinga kwa makundi yanayopigia kelele maovu na wanaojitolea kuanika maovu hasa kinga dhidi ya vikwazo vya kudaiwa fidia.

(src)="4.1"> És important no sols aprovar bones lleis per promoure la transparència i l ' obertura , sinó també que protegeixin un país lliure de tornar-se menys transparent .
(trg)="4.1">Ni muhimu siyo tu kupitisha sheria nzuri ili kuhamasisha uwazi na uwekaji bayana wa mambo bali pia kukinga nchi iliyo huru isije ikawa isiyoonekana sana.

(src)="4.2"> Una activista alemanya , Franziska Heine , va engegar la petició electrònica més reeixida de la història d ' Alemanya , amb l ' objectiu de prevenir una llei que havia de donar a la policia el dret de crear i mantenir llistes de censura amb webs que serien blocades pels proveïdors d ' internet .
(trg)="4.2">Mwanaharakati kutoka Ujerumani, Franziska Heine, alianzisha upigiaji debe unaofikiriwa kuwa wenye mafanikio zaidi katika historia ya Ujerumani, na huo ulikuwa na lengo la kuzuia sheria ambayo ingewapa askari polisi wa Ujerumani haki ya kutengeneza na kutunza orodha ya vikwazo hasa kuhusu tovuti ambazo zingezuiliwa na Makampuni ya Kijerumani ya Kutoa Huduma za Intaneti.

(src)="4.3"> La van signar més de 134.000 persones .
(trg)="4.3">Upigiaji debe huo ulitiwa saini zaidi ya mara 134,000.

(src)="4.4"> Franziska forma part del moviment anticensura i està involucrada en activitats i organitzacions que lluiten contra la vigilància , l ' extracció de dades i més amenaces als drets civils .
(trg)="4.4">Franziska ni sehemu ya vuguvugu linalopinga ubanaji wa vyombo vya habari na anajishughulisha na mambo mbalimbali na asasi mbalimbalizinazopambana na ufuatiliaji, upekenyuzi, ubanaji katika kupeana habari ambavyo vyote vinatishia haki za kiraia.

(src)="5.1"> Però amb bones lleis i ciutadans proactius no n ' hi ha prou .
(trg)="5.1">Lakini sheria nzuri na raia wanaojituma kudai haki zao bado havitoshi; nyenzo pia ni muhimu ili kuwawezesha wanawake sehemu mbalimbali duniani kuchukua hatua ili kuhamasisha uwazi.

(src)="5.2"> També és important que hi hagi lleis que permetin a les dones de tot el món entrar en acció i promoure la transparència .
(trg)="5.3">Yeye hubuni na kuendeleza mifumo iliyo na mkabala wa kijamii na pia huhamasisha uwekaji bayana wa mambo katika tovuti yake ya Sin Dominio.

(src)="6.1"> Mercedes de Freitas , de Veneçuela , és la directora executiva de Transparencia Venezuela , la secció local de Transparency International i extreballadora d ' Ashoka Changemaker per la seva tasca en la promoció de la participació cívica per fer augmentar la responsabilitat del govern .
(trg)="7.1">Mercedes de Freitas wa kutoka Venezuela ni Mkurugenzi Mkuu wa Transparencia Venezuela, ambayo ni tawi la taasisi ya Kimataifa ya Uwazi, Transparency International, na pia alipata kuwa mwanachama wa Ashoka Changemaker kutokana na kazi yake ya kuhamasisha ushiriki wa kiraia na kukuza uwajibikaji wa serikali.

(src)="7.1"> Són , segurament , sols uns quants exemples de dones de tot el món que fan servir ara mateix la tecnologia per lluitar contra la corrupció , millorar l ' actuació de les institucions i crear més bones polítiques per involucrar els ciutadans i demanar responsabilitats als funcionaris públics .
(trg)="8.1">Hii ni mifano michache tu ya wanawake duniani wanaotumia teknolojia ili kupambana na ufisadi, kukuza utendaji wa taasisi, na kutengeneza sera bora zaidi za kuwahusisha raia na papo hapo kuwafanya watendaji wa serikali kuwajibika.

(src)="7.2"> Tal com apunta un article recent d ' Alexandra Starr , tant el camp de la tecnologia com el del govern han exclòs durant molt de temps les dones de la participació , malgrat el seu impressionant historial d ' intents per acostar-se tant a la política com a la tecnologia amb més realisme i tacte que els seus companys homes .
(trg)="8.2">Kama ambavyo makala ya hivi karibuni ya Alexandra Starr inavyoeleza, maeneo yote haya mawili ya teknolojia na serikali yamewatenga wanawake katika ushiriki pamoja na ukweli kwamba wamekuwa na rekodi nzuri ya kushughulikia sera na teknolojia kwa njia iliyo yakinifu zaidi na kwa mbinu za hali ya juu kuliko wanaume walio wengi.

(src)="8.1"> Les companyies de software i els parlaments del món encara són dominats majoritàriament per homes , però això canvia ràpidament gràcies a una nova generació de dones tecnòlogues , activistes i polítiques .
(trg)="9.1">Kampuni za utengenezaji mifumo inayoendesha kompyuta na majengo ya mabunge sehemu mbalimbali duniani bado yanatawaliwa na wanaume, lakini jambo hili sasa linabadilika kwa kasi kubwa, yote ni kwa sababu ya kizazi kipya cha wanawake wanateknolojia, wanaharakati na wanasiasa.

(src)="8.2"> Seria injust si no es destaqués la feina de les nostres investigadores i ressenyadores de recerques , que s ' ha de dir que han demostrat ser les membres més treballadores del nostre equip a la Xarxa de la Tecnologia per la Transparència .
(trg)="9.2">Sitakuwa nimetenda haki kama sitataja kazi za watafiti wetu wa kike na watafiti wakosoaji ambao, hatuna budi kusema, wamejidhibitisha kuwa wachapa kazi hodari miongoni mwa wanachama wa timu yetu ya Mtandao wa Teknolojia wa Kutetea Uwazi.

(src)="9.1"> Renata Avila , que ha escrit els perfils de totes les dones esmentades en aquest article , és advocada , activista pels drets humans , la líder regional de Creative Commons Guatemala i la directora de Primer Palabra .
(trg)="10.1">Renata Avila, ambaye ndiye aliyeandika taarifa/maelezo ya wanawake wote hao hapo juu, yeye ni mwanasheria, mwanaharakati wa haki za binadamu, kiongozi wa Creative Commons huko Guatemala, na mkurugenzi wa Primer Palabra.

(src)="9.2"> Ha treballat amb la Rigoberta Menchu Tum Foundation , la Universitat de Harvard , Public Voice i Dones en Seguretat Internacional .
(trg)="10.2">Amewahi kufanya kazi na Taasisi ya Rigoberta Menchu Tum, Chuo Kikuu cha Harvard, Sauti ya Umma (the Public Voice), na Wanawake katika Usalama wa Kimataifa (Women in International Security).

(src)="9.3"> El seu Twitter és : @ avilarenata
(trg)="10.3">Unaweza kumpata katika Twita: @avilarenata.

(src)="10.2"> Alhora , dirigeix la Xarxa de Joves Cambodjans pel Canvi , que mobilitza joves activistes de tot el país .
(trg)="11.1">Sopheap Chak ni mhitimu wa masomo ya amani katika Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Japan.

(src)="10.3"> Anteriorment havia estat delegada de defensa al Centre Cabodjà pels Drets Humans ( CCHR ) , on ajudava a dirigir la Black Box Campaign per lluitar contra la corrupció policíaca a Cambodja .
(trg)="11.2">Kwa sasa hivi anaongoza Mtandao wa Vijana wa Kikambodia wa Mabadiliko (the Cambodian Youth Network for Change), ambao umeundwa na wanaharakati vijana nchini humo.

(src)="10.4"> El seu Twitter és : @ jusminesophia
(trg)="11.4">Anapatikana kwa Twita: @jusminesophia.

(src)="11.1"> Rebekah Heacock actualment és candidata de màster a l ' Escola Universitària d ' Afers Internacionals i Públics de Columbia ( SIPA ) , on estudia la relació entre les TIC i el desenvolupament i edita el bloc de la SIPA , The Morningside Post .
(trg)="12.1">Rebekah Heacock ambaye hivi sasa anafanya masomo ya shahada ya uzamiri katika Chuo Kikuu cha Columbia kinachoshughulika na Masuala ya Kimataifa na ya Umma, yeye pale anasoma uhusiano kati ya masuala ya Taarifa, Mawasiliano na Teknolojia (ICT) na maendeleo.

(src)="11.2"> Anteriorment vivia i treballava a Uganda , on va codesenvolupar i dirigir una sèrie de conferències sobre el desenvolupament de la postguerra per a estudiants universitaris d ' Amèrica i l ' Àfrica .
(trg)="12.3">Aliwaji kuishi na kufanya kazi nchini Uganda, Afrika ya Mashariki, ambapo wa kushirikiana na mtu mwingine aliandaa na kuongoza mfululizo wa makongamano kuhusu maendeleo baada ya vita kwa ajili ya wanafunzi wa vyuo vya Marekani na Afrika.

(src)="11.3"> El seu Twitter és : @ rebekahredux
(trg)="12.4">Anapatikana kwa Twita: @rebekahredux.

(src)="12.1"> Manuella Maia Ribeiro s ' ha graduat recentment en Gestió de Polítiques Públiques a la Universitat de São Paulo , al Brasil .
(trg)="14.1">Manuella Maia Ribeiro ni mhitimu wa hivi karibuni kutoka Chuo Kikuu cha São Paulo alikosoma Menejimenti ya Sera ya Umma.

(src)="12.2"> Des del 2007 ha investigat la manera com els governs poden promoure la transparència , la responsabilitat i la participació a través de l ' ús de les tecnologies de la informació i la comunicació .
(trg)="14.2">Tangu mwaka 2007 amekuwa akitafiti jinsi serikali zinavyohamasisha uwazi, uwajibikaji na ushrikishaji kwa kupitia teknolojia za habari na mawasiliano.

(src)="12.3"> El seu Twitter és : @ manuellamr
(trg)="14.3">Anapatikana katika Twita: @manuellamr.

(src)="13.1"> Namita Singh és una investigadora i assessora centrada en els mitjans participatius .
(trg)="16.1">Namita Singh ni mtafiti na mshauri anayechunguza vyombo vya habari shirikishi.

(src)="13.2"> Ha estudiat els mitjans de massa i la comunicació de massa a la Universitat de Delhi , a l ' Índia , i té un màster d ' Arts en Treball Social de l ' Institut Tata de Ciències Socials de Mumbai .
(trg)="16.2">Alisomea vyombo vya habari na mawasiliano ya umma katika Chuo Kikuu cha Delhi na ana shahada ya Uzamiri katika Sanaa kuhusu Sayansi ya Jamii kutoka katika Taasisi ya Tata inayotoa Sayansi ya Jamii huko Mumbai.

(src)="13.3"> La Namita començarà aviat el seu doctorat al Regne Unit sobre els processos i l ' impacte dels vídeos participatius .
(trg)="16.3">Namita anatarajia kuanza masomo yake ya Shahada ya Uzamivu (Ph.D) ya Utafiti huko Uingereza kuhusu michakato na taathira ya video shirikishi.

(src)="13.4"> El seu Twitter és : @ namitasingh
(trg)="16.4">Anapatikana kwa Twita: @namitasingh.

(src)="14.1"> Carrie Yang és una estudiant de postgrau que estudia nous mitjans a la Universitat Xinesa de Hong Kong .
(trg)="18.1">Carrie Yang ni mwanafunzi aliyefanya masomo ya baada ya shahada ya kwanza kuhusu vyombo vya habari vipya katika Chuo Kikuu cha Kichina cha Hong Kong.

(src)="14.2"> La seva recerca se centra en el periodisme ciutadà i el desenvolupament de productes dels nous mitjans .
(trg)="18.2">Mwelekeo wa utafiti wake uko katika uandishi wa habari wa kiraia na maendeleo ya vyombo vipya vya habari.

(src)="14.3"> Va estudiar anglès a la Universitat Guangdong d ' Estudis Estrangers a Guangzhou , a la Xina .
(trg)="18.3">Alisoma somo la Kiingereza katika Chuo Kikuu cha Guangdong ambacho ni Chuo cha Mambo Ya Nje huko Guangzhou, China.

(src)="14.4"> El seu Twitter és : @ Carrie _ Young
(trg)="18.4">Anapatikan kupitia Twita: @Carrie_Young.

(src)="15.1"> Sylwia Presley és una blocaire , fotògrafa i activista apassionada pel màrqueting del sector no lucratiu als mitjans socials , i els mitjans socials per al canvi social .
(trg)="19.1">Sylwia Presley ni mwanablogu, mpiga picha na mwanaharakati anayependelea kufuatilia utafuatji masoko wa vyombo vya habari vya kijamii ambavyo kwa ajili ya sekta zisizo za kutengeneza faida na vyombo vya habari vya kijamii kwa ajili ya kuleta mabadiliko katika jamii.

(src)="15.3"> El seu Twitter és : @ presleysylwia
(trg)="19.3">Anapatikana katika Twita: @presleysylwia.

(src)="16.1"> Aparna Ray és una assessora en investigació qualitativa independent de professió , amb un gran interès per les persones , les cultures , les comunitats i els mitjans i el programari social .
(trg)="20.1">Aparna Ray kwa taaluma yeye ni mshauri anayejitegemea kuhusu utafiti yakinifu na anapenda sana kujifunza kuhusu watu, tamaduni, jamii na vyombo vya habari vya kijamii pamoja na mifumo ya kompyuta ya kijamii.

(src)="16.2"> Escriu tant en anglès com en blanga , la seva llengua materna , i cobreix els blocs en bangla a Global Voices .
(trg)="20.2">Anaandika katika Kiingereza na KiBangla (hiyo ya pili ikiwa ndiyo lugha aliyozaliwa nayo), na kwa hiyo hushughulikia makala za KiBangla katika Global Voices.

(src)="16.3"> El seu Twitter és : @ aparnaray
(trg)="20.3">Anapatikan kwa njia ya Twita: @aparnaray.

(src)="17.1"> Laura Vidal és una veneçolana que estudia Ciències de l ' Educació a París , França .
(trg)="22.1">Laura Vidal ni raia wa Venezuelea anayesomea Elimu ya Sayansi huko Parisi, Ufaransa.

(src)="17.2"> Escriu un bloc a Sacando la Lengua sobre llengües , literatura i interaccions a la societat , i creu fermament que cada cultura és única i important , i considera que l ' estudi de les cultures és com un mirall de la nostra pròpia cultura .
(trg)="22.2">Yeye huendesha blogu inayoitwa Sacando la Lengua inayohusu lugha, fasihi na miingiliano ya watu katika Jamii, na anaamini kabisa kwamba kila utamaduni ni wa pekee na ni muhimu sana, na kwamba tukijifunza tamaduni hizo tunapata kujiona wenyewe vizuri zaidi.

(src)="18.1"> Coneixeu més dones que treballin en els camps de la tecnologia i la transparència ?
(trg)="23.1">Je, unawafahamu wanawake wengine wanaofanya kazi katika maeneo ya teknolojia na uwazi?

(src)="18.2"> Si us plau , deixeu les seves webs , blocs i comptes de Twitter a la secció de comentaris .
(trg)="23.2">Tafadhali tuunganishe na tovuti zao, blogu, na anwani zao za Twita kupitia sehemu iliyo hapa chini!

# ca/2012_01_costa-divori-quan-la-premsa-viola-els-drets-dautor_.xml.gz
# sw/2012_01_ivory-coast-mjadala-mkali-dhidi-ya-chombo-cha-habari-kilichotumia-picha-za-mwanablogu-bila-ruhusa_.xml.gz


(src)="1.1"> Costa d ' Ivori : quan la premsa viola els drets d ' autor
(trg)="1.1">Ivory Coast: Mjadala Mkali dhidi ya Chombo cha Habari kilichotumia Picha za Mwanablogu Bila Ruhusa

(src)="1.2"> Les festes de cap d ' any de 2011 a la Costa d ' Ivori han estat diferents de les d ' anys anteriors .
(trg)="1.2">Sikukuu ya Noeli ya mwaka 2011 nchini Ivory Coast ilikuwa tofauti na zile za miaka iliyopita.

(src)="1.3"> Vuit mesos després del canvi de règim , les autoritats ho han volgut destacar amb decoracions inusuals al país i mitjançant l ' organització d ' uns grans focs artificials els dies 30 i 31 de desembre del 2011 .
(trg)="1.3">Miezi nane tangu kubadilika kwa utawala, serikali ilitaka kuiadhimisha sikukuu hii kwa mapambo mapya kabisa ya Noeli nchini humo na kwa kuandaa maonyesho makubwa ya milipuko ya fataki mnamo Desemba 30-31, 2011.

(src)="5.1"> Un cop es va difondre el missatge de l ' Edit Brou , la comunitat blocaire ivoriana va transmetre el cas com també ho va fer Yoyo , una altra blocaire que porta els periodistes ivorians cap a una lluita pel reconeixement i el respecte de la seva feina :
(src)="5.2"> Des d ' ahir , la decepció es llegeix en molts comentaris que fan referència als periodistes de la premsa escrita de la Costa d ' Ivori .
(trg)="2.1">Wananchi wengi wa Ivory Coast walitoka kwenda kushuhudia burudani hizi pamoja na teknolojia inayotumika, na kila mtu aliondoka na picha za ukumbusho.

(src)="7.6"> Llavors el maquetista va anar a tafanejar per Facebook i va trobar aquesta foto .
(src)="7.7"> Sento no haver esmentat l ' autor , però com que aquesta imatge era de domini públic i es va fer sense ànim de lucre , què cal pagar ?
(src)="7.8"> Sento no haver esmentat l ' autor de la fotografia .
(trg)="2.2">Kama huo ulikuwa ni uzoefu mzuri kwa wapiga picha hawa wasio na utaalamu mkubwa, basi haikuwa hivyo kwa Audrey Carlalie .

(src)="7.15"> Abidjan.net simplement ha retirat les fotos del seu lloc web .
(src)="7.16"> L ' Intelligent d ' Abidjan va proposar la compensació següent : tornar a publicar la foto amb el nom de l ' autora , a l ' interior del diari , però no a la primera pàgina , una col · laboració perquè les fotos siguin remunerades i l ' enviament durant UN MES de la versió en pdf del diari a Carlalie .
(src)="7.17"> Abans d ' això , aquest diari va fer unes quantes intervencions a la xarxa que mereixen ser analitzades , sens dubte en un altre article .
(trg)="2.3">Mwanafunzi huyu mdogo wa ki-Ivory Coast, mpiga picha mwenye taaluma hiyo ambaye hukodiwa kwa muda maalumu, aliziona picha zake za milipuko ya fataki zikiwa zimechapishwa na magazeti fulani ya nchi hiyo na hata kwenye mtandao maarufu zaidi wa kukusanya habari nchini humo –pasipo ruhusa yake.

(src)="7.18"> Carlalie , que ha contactat amb assessors jurídics , no pot fer més declaracions del tema , però l ' última vegada que hi vaig parlar els altres òrgans de premsa no havien respost els seus intents de comunicació .
(trg)="3.1">Hakuchelewa kulalamika kwenye ukurasa wake wa Facebook, na muda mfupi baadae zogo zikatapakaa kwenye blogu na mitandao mingine ya kijamii.
(trg)="4.1">Mwanablogu huyo wa Ivory Coast Edith Brou anaanzisha habari hiyo kwenye
(trg)="5.1">blogu yake na anaeleza:

# ca/2012_02_global-pregaries-solidaries-per-donar-suport-als-tibetans_.xml.gz
# sw/2012_02_habari-za-ulimwengu-mikesha-ya-mshikamano-na-wanatibeti_.xml.gz


(src)="1.1"> Global : pregàries solidàries per donar suport als tibetans
(trg)="1.1">Habari za Ulimwengu: Mikesha ya Mshikamano na Wanatibeti

(src)="1.2"> Des del principi de febrer de 2012 han tingut lloc actes a tot el món per expressar la solidaritat amb els tibetans , a petició del kalong tripa ( càrrec semblant al de primer ministre ) Dr .
(trg)="1.2">Tangu mwanzoni mwa Februari 2012, kumekuwa na mikesha kadhaa duniani kuonyesha ushikamano na Wanatibeti kufuatia mwito wa Kalong Tripa Dkt.

(src)="1.4"> Com que el 22 de febrer comença l ' Any Nou tibetà , els activistes demanen una altra onada d ' actes solidaris .
(trg)="1.3">Lobsang Sangay.Kwa vile tarehe 22 Februari ni sikukuu ya kukaribisha mwaka mpya Tibet, wanaharakati wamekuwa wakitoa wito wa duru mpya ya harakati za mshikamano.

(src)="2.1"> El comunicat de Lobsang Sagay es pot trobar a YouTube .
(trg)="1.4">Ramani inayoonyesha kesha za kuonyesha ushikanamo na Wanatibeti tarehe 8 Februari, 2012.

(src)="2.2"> A continuació en mostrem una part , transcrit :
(src)="3.1"> Mapa de concentracions a escala mundial en solidaritat amb els tibetans que van tenir lloc el 8 de febrer de 2012 .
(src)="4.1"> Des de la invasió del Tibet , el govern xinès ha reivindicat que intenta crear un paradís socialista .
(trg)="1.5">Nchini Tibet, kuanzia tarehe 27 Februari 2009 hadi 19 Februari 2012, Wanatibeti 23 wamejichoma ili kushinikiza uhuru Tibet, pamoja na kurudi kwa Dalai Lama.

(src)="4.3"> En definitiva , el Tibet està pràcticament bloquejat .
(trg)="1.6">Kati ya hao, watu 15 walifariki.

(src)="4.4"> Ara s ' ha negat l ' entrada als estrangers que vulguin viatjar pel Tibet i , a més , tota la regió es troba sota una llei marcial no declarada .
(src)="5.1"> Demano als dirigents xinesos que facin cas dels crits dels manifestants tibetans i d ' aquells que s ' han autoimmolat .
(trg)="1.7">Chini ya mazingira kandamizi huko Tibet, kujichoma ndiyo tendo la mwisho la upinzani usiotumia fujo.

(src)="5.2"> A través de la violència i la matança no podran solucionar mai els autèntics problemes dels tibetans , ni tampoc podran tornar l ' estabilitat al Tibet .
(src)="5.3"> L ' única manera de solucionar el problema del Tibet i , així , tornar a portar-hi una pau duradora és respectant els drets dels tibetans i dialogant .
(trg)="1.8">Swala la Tibet linaonekana kuwa mbali nasi, lakini kama binadamu, haimaanishi kuwa hatuwezi kufanya kitu.

(src)="5.7"> Els dirigents de la Xina haurien de saber que matar els " membres de la seva família " és , sens dubte , una violació de les lleis internacionals i xineses i que , això , suscitarà més dubtes sobre la legitimitat moral de la Xina i sobre la seva posició en afers mundials .
(trg)="3.1">Mojawapo ya mila za Wabuda wa Tibet ni kuchoma siagi katika taa, ambayo huonyesha nuru ya hekima na kutoa pepo mbaya.

(src)="8.1"> Al Tibet , entre el 27 de febrer de 2009 i el 19 de febrer de 2012 , vint-i-tres tibetans s ' han autoimmolat ( quinze dels quals han perdut la vida ) per reclamar un Tibet lliure i exigir la tornada del dalai-lama .
(src)="8.2"> Sota les circumstàncies repressives que viu el Tibet , l ' autoimmolació s ' ha convertit en l ' últim acte de manifestació sense violència .
(trg)="3.2">Kufuata imani yao, pia sisi tutawasha taa kwa Wanatibeti wote waliojitia moto na kujichoma, na pia tutaiombea nchi ya Tibet.

(src)="8.3"> Encara que la qüestió del Tibet sembla que queda molt lluny de nosaltres , sí que hi podem fer alguna cosa : com a mínim , podem resar pels que hi han perdut la vida .
(trg)="4.1">*Maelezo ya Ziada: Mwandishi ameongezwa kama mojawapo ya wenyeji wa tukio la "Butter Lamp Pray Event" katika Facebook.

(src)="8.5"> Segons aquesta creença , tots hauríem d ' encendre ciris en record dels tibetans que s ' han autoimmolat i pregar pel Tibet .
(trg)="5.1">Picha inaonyesha maandamano ya kila mwaka yanayojulikana kama 'Tibet Freedom March' katikati mwa jiji la London.

(src)="9.1"> * Nota : l ' autor ha afegit un enllaç amb l ' esdeveniment publicat a Facebook .
(src)="10.1"> La imatge destacada en miniatura mostra la Marxa per la Llibertat del Tibet que va tenir lloc al centre de Londres , Anglaterra , feta per Sinister Pictures , copyright Demotix ( 12-03-2011 ) .
(trg)="5.2">Ulipigwa na sinister pictures , na hati miliki ni ya Demotix (12/03/11).

# ca/2012_03_video-en-defensa-dels-drets-humans_.xml.gz
# sw/2012_03_dondoo-za-video-utetezi-wa-haki-za-binadamu_.xml.gz


(src)="1.1"> Vídeo , en Defensa dels Drets Humans
(trg)="1.1">Dondoo za Video: Utetezi wa haki za binadamu

(src)="2.1"> Moltes històries amb vídeos d ' aquest més s ' han centrat en les violacions dels drets humans i les mesures que s ' estan prenent per parlar sobre els abusos i intentar protegir les minories i comunitats desfavorides .
(trg)="1.2">Mwezi huu habari kadhaa kupitia video zimejikita kwenye ukiukwaji wa haki za binadamu na hatua zinazochukuliwa kupaza sauti dhidi ya vitendo hivyo na jitihada za kuyalinda makundi ya watu wanaoonewa na jamii zilizo masikini.

(src)="2.2"> Feu clic a través de les històries per mirar més vídeos i aprendre més sobre cada cas .
(trg)="1.3">Bofya kwenye habari inayohusika kuona video zaidi na kujifunza juu ya masuala hayo.

(src)="3.1"> Dret a la vida i la no discriminació
(trg)="2.1">Haki ya kuishi na kutokunyanyaswa

(src)="4.1"> Guatemala : Parlem del Genocidi de les Dones Indígines
(trg)="3.1">Guatemala: Kupaza sauti dhidi ya Mauaji ya wanawake wenyeji wa nchi hiyo

(src)="5.1"> Gràcies a moltes activistes els tribunals internacionals que siguen els processos contra Guatemala tindran en compte la violència a que les dones indígines es van enfrontar per més que 36 anys .
(trg)="4.2">Tunaamini zitazingatia matumizi ya nguvu waliyokumbana nayo wanawake wenyeji kwa zaidi ya miaka 36, ambapo walikuwa waathirika kwa sababu tu ya kuwa wanawake na kwa sababu ya kuwa wenyeji.

(src)="6.1"> Un documental i diversos testimonis de vídeos expliquen les seves històries grades , històries que es va mantenir en silenci per la discriminació a que les víctimes s ' enfrontaven a les seves comunitats i la seva por de venjança .
(trg)="5.1">Simulizi hilo la kina pamoja na shuhuda kadhaa za video vinasimulia masaibu ya kutisha waliyoyapitia, masimulizi ambayo kwa sababu ya unyanyasaji waliokumbana nao waathirika hao kwenye jamii zao na hofu ya adhabu wengi wao walinyamaza kwa miongo kadhaa.

(src)="7.1"> Lliutant per a la diversitat sexual
(trg)="6.1">Kupigania tofauti za mitizamo ya kimapenzi

(src)="8.1"> Uganda : torna el projecte de llei contra els homosexuals
(trg)="7.1">Uganda: Muswada wa kupinga ushoga ambao hautazimwa

(src)="9.1"> S ' ha presentat de nou per votar a Uganda el mateix projecte de llei que es va presentar el 2009 :
(trg)="8.1">Muswada uleule uliokuwa umewasilishwa mwaka 2009 umejitokeza tena kwa ajili ya kupigiwa kura nchini Uganda:

(src)="10.1"> Uganda ha tornar al polèmic projecte de llei contra els homosexuals .
(trg)="8.2">Uganda imeuwasilisha mezani kwa mara nyingine tena muswada wenye utata unaopinga ushoga.

(src)="10.2"> Membre del parliament d ' Uganda , David Bahati , que va proposar el projecte el 2009 ha considerat tornant a presentar-lo però amb alguns canvis .
(trg)="8.3">Mbunge wa ki-Ganda, David Bahati, aliyetoa hoja ya muswada huo mwaka 2009 kwa mara nyingine amefikiria kuurudisha tena muswada huo wa kikatili lakini ukiwa na mabadiliko kadhaa.

(src)="10.3"> Afirma haver exclòs la pena de mort i la detenció de membres de la família que neguen d ' informar dels homosexuals a les autoritats .
(trg)="8.4">Anadai kuondoa kipengele cha hukumu ya kifo na kile kilichopendekeza kuwafunga wanafamilia watakaoshindwa kutoa taarifa za vitendo vya kishoga kwenye mamlaka zinazohusika.

(src)="11.1"> Però , sota més escrutini s ' ha notat que no ha canviat el projecte de llei res , i que queda exactament igual com el 2009 .
(trg)="8.5">Hata hivyo, baada ya kufanyiwa upembuzi zaidi imeonekana kwamba hakuna mabadiliko yaliyofanyika kwenye mswada huo, na bado uko vilevile kama ulivyowasilishwa mwaka 2009.

(src)="11.2"> El següent vídeo explica l ' impacte que el projecte tindrà en la comunitat LGBT i també en les seves famílies i amics :
(trg)="8.6">Video ifuatayo inaeleza athari za mswada huu kwa jamii ya mashoga (LGBT) pamoja na familia na marafiki zao:

(src)="13.1"> Hong Kong : Vídeos Contra la Intimidació Homofòbica a les Escoles
(trg)="9.1">Hong Kong: Video dhidi ya uzomeaji shuleni unaofanywa na watu wanaochukia ushoga

(src)="14.1"> A Hong Kong , estudiants a les escoltes admeten que alguns estudiants sufren de la intimidació i la discriminació , aleshores una organització ha posat en marxa una campanya per crear consciència sobre la qüestió , centrant-se en produir vídeos en línea d ' entrevistes amb estudiants sexualment diverses i expertes en el tema .
(trg)="10.1">Nchini Hong Kong, wanafunzi katika shule wanakiri kwamba wanafunzi mashoga wanazomewa na kunyanyaswa, kwa hiyo kuna shirika limeanzisha kampeni ya kukuza uelewa wa suala hili, wakijikita zaidi kwenye kuandaa video zenye mahojiano na wanafunzi wenye mihemuko tofauti ya kimapenzi pamoja na wataalamu katika mada zinazohusika.

(src)="15.1"> Dret a l ' educació
(trg)="11.1">Haki ya kupata Elimu

(src)="17.1"> Espanya : violentes càrregues contra policials contra estudiants a València
(trg)="12.1">Uhispania: Matumizi ya nguvu ya Polisi dhidi ya wanafunzi mjini Valencia

(src)="18.1"> i
(trg)="13.1">na

(src)="19.1"> Espanya : Campanya Contra els Estudiants Segueix a València
(trg)="14.1">Uhispania: Mapambano makubwa dhidi ya wanafunzi yaendelea mjini Valencia

(src)="20.1"> A València , nens en edat escolar van decidir protestar retallades pressupostàries que havien afectat les seves escoles , forçant-los portat mantes per la falta d ' escalfament , durant el que ha estat un hivern particularment fred a Europa .
(trg)="15.1">Mjini Valencia, wanafunzi wameamua kuandamana kupinga kupungua kwa bajeti kwa kuwa kunaathiri shule zao.
(trg)="15.2">Imefika mahali wanalazimika kwenda na mablanketi kwa sababu ya kukosekana kwa vipasha joto, katika msimu huu wa baridi kali barani Ulaya.

(src)="20.2"> La polícia va reaccionar a les protestes amb violència amb estudiants ferits i detinguts ; s ' ha gravat diversos vídeos mostrant abusos contra menors d ' edat , dones , i la gent gran :
(trg)="15.3">Polisi wamewashambulia waandamanaji wakitumia nguvu kupita kiasi na kuwajeruhi baadhi yao huku wakiwatupa mahabusu wengine; video vyingi zinaonyesha kudhalilishwa kwa makundi ya watu wanaonyanyasika, wanawake na wazee.

(src)="21.1"> Pocs dies desprès de la repressió brutal de la policia a l ' Institut d ' Educació Secundària Lluís Vives a València , els estudiants han estat de nou els blancs d ' abusos de la polícia a una protesta pacífica en que protestaven , precisament , contra la violència policial .
(trg)="15.4">Siku chache baada ya mapambano makali ya polisi katika taasisi ya Elimu ya Sekondari ya Luis Vives mjini Valencia , wanafunzi wamekuwa ndio shabaha ya vipigo, kusukumwa na ghasia kutoka kwa polisi wakati wakiwa katika maandamano ya amani, kwa kweli, wakiandamana kupinga ghasia za polisi.

(src)="21.2"> Aquest cop , la repressió va començar per la tarda amb una força inesperada .
(trg)="15.5">Wakati huu mapigano yalianza mchana kwa nguvu isiyotarajiwa.

(src)="22.1"> Dret a casa
(trg)="15.6">Haki ya kuwa na nyumba

(src)="24.1"> Brasil : Comunitat Quilombo a Bahia en Punt de Ser Desallotjat
(trg)="16.1">Brazil: Jamii ya Quilombo huko Bahia nusura Itoweshwe

(src)="25.1"> Una de les comunitats descendent d ' esclaus a Brasil , Quilombo Rio dos Macacos , on viuen aproximadament 50 famílies , té una data de desallotjament : 4 març 2012 .
(trg)="18.1">Moja wapo ya jamii zilizotokana na uzao wa kale wa kitumwa nchini Brazil, Quilombo Rio dos Macacos, ambapo kadri ya familia 50 zinaishi, wapatiwa tarehe kamili ya kuondolewa: Machi 4, 2012.

(src)="25.2"> La demanda de la terra vé de la Marina de Brasil , que té la intenció d ' ampliar una residència pels seus oficials a aquell territori , l ' àrea de frontera entre Salvador i Simões Filho , estat de Bahia ...
(src)="25.3"> Descendents de pobles originals d ' Àfrica que , durant el colonialisme , van ser capturats i portats a Brasil per convertir-se en esclaus , els Quilombolas ara es consideren en peril de tornen a perdre les seves cases , malgrat el seu dret a la terra on viuen que està consagrat en la constitució .
(trg)="18.2">Dai la kuwanyang’anya ardhi linakuja kutoka kwa jeshi la Brazil, ambalo linakusudia kuongeza makazi kwa maafisa wake katika eneo hilo, mpakani mwa eneo la Salvado na Simoes Filho, katika jimbo la Bahia… Uzao wa watu wa asili ya Afrika ambao wakati wa ukoloni, walichukuliwa kutoka kwenye nchi yao kuwa watumwa nchini Brazil, wa-Quilmbola sasa wanajiona kwenye tishio jingine la kupoteza nyumba zao, pamoja na haki waliyonayo ya kumiliki ardhi wanayoishi inayolindwa na katiba ya nchi.

(src)="25.4"> Aquest breu documental mostra la situació a que els Quilombolas s ’ estan enfrontant : els fa por sortir de les seves cases , sense poder de moure lliberament i preoccupant-se pel seu benestar , les seves famílies i les seves cases .
(trg)="18.3">Simulizi hili fupi la video linaonyesha hali wanayokabiliana nayo wa-Quilombola: wanaoogopa kupoteza nyumba zao, wakishindwa kuhama kwa uhuru wakihofia usalama wao, familia na nyumba zao.

(src)="26.1"> Colòmbia : Periodista Ciutadà Ameneçat Pel Seu Vídeo Viral
(trg)="19.1">: mwandishi wa Kiraia Atishiwa kufuatia video aliyotumiwa pasipo ridhaa yake

(src)="27.1"> Un vídeo de la resposta violenta del govern contra manifestants pacífics posant-se de peu contra el desviament d ’ un rio de la seva comunitat per la construcció d ' una presa ha donat lloc a amenaces de mort contra el periodista ciutadà .
(trg)="20.1">Video hiyo iliyotengenezwa kwa ghasia zilizosababishwa na serikali dhidi ya waandamanaji waliosimama kidete kupinga kuchepushwa kwa mto kwenye jamii yao ili kupisha ujenzi wa bwawa umesabaisha mwandishi wa kiraia kupokea tishio la kuuawa.

(src)="28.1"> Brasil : El Sistema Penitenciari Deficient de les Amèriques
(trg)="21.1">Brazil: Mfumo wa Kimarekani wa Magereza wenye mapungufu

(src)="29.1"> Els esdeveniments recents a presons de l ' Amèrica Llatina que van costa la vida de centeners de presos han donat lloc a investigacions de la situació d ' habitatge i l ' amuntegament a que s ' enfronta a molts centres penitenciaris , i els observadors estan analitzant si són tragèdies a punt de passar .
(trg)="23.1">Matukio ya hivi karibuni katika magereza ya Amerika ya Kusini yanayogharimu maisha ya mamia ya wafungwa yamesababisha watu kuyaangalia mazingira ya kuishi na kujazana mno kunakoyakabili magereza hayo, na kuainisha iwapo kuna majanga yanayongoja kutokea.