# bg/2012_03_130.xml.gz
# sw/2012_02_habari-za-ulimwengu-mikesha-ya-mshikamano-na-wanatibeti_.xml.gz


(src)="1.1"> По света : бдения за солидарност с тибетците
(trg)="1.1">Habari za Ulimwengu: Mikesha ya Mshikamano na Wanatibeti

(src)="3.1"> Карта на бденията в солидарност с Тибет , 8 февруари 2012
(trg)="1.2">Tangu mwanzoni mwa Februari 2012, kumekuwa na mikesha kadhaa duniani kuonyesha ushikamano na Wanatibeti kufuatia mwito wa Kalong Tripa Dkt.

(src)="4.1"> " Още от инвазията в Тибет , китайското правителство твърди , че иска да създаде социалистически рай .
(trg)="1.3">Lobsang Sangay.Kwa vile tarehe 22 Februari ni sikukuu ya kukaribisha mwaka mpya Tibet, wanaharakati wamekuwa wakitoa wito wa duru mpya ya harakati za mshikamano.

(src)="4.3"> Тибет е почти затворен .
(trg)="1.4">Ramani inayoonyesha kesha za kuonyesha ushikanamo na Wanatibeti tarehe 8 Februari, 2012.

(src)="6.3"> Ръководството в Пекин трябва да знае , че да убиваш собствените си ‘ членове на семейството ’ е в директно нарушение на международните и китайски закони , и подобни действия ще хвърлят сянка още повече върху моралната легитимност на Китай и нейното положение в международните отношения . "
(trg)="1.5">Nchini Tibet, kuanzia tarehe 27 Februari 2009 hadi 19 Februari 2012, Wanatibeti 23 wamejichoma ili kushinikiza uhuru Tibet, pamoja na kurudi kwa Dalai Lama.

(src)="10.2"> В допълнение , повече от 240 души се записват за Молитвения фестивал , за да изразят солидарност с тибетците :
(trg)="1.7">Chini ya mazingira kandamizi huko Tibet, kujichoma ndiyo tendo la mwisho la upinzani usiotumia fujo.

(src)="11.2"> 15 от тях са загубили живота си .
(trg)="1.8">Swala la Tibet linaonekana kuwa mbali nasi, lakini kama binadamu, haimaanishi kuwa hatuwezi kufanya kitu.

(src)="11.4"> Тибетският въпрос изглежда далечен за нас , но , като човешки същества , не означава , че не можем да направим нещо .
(trg)="3.2">Kufuata imani yao, pia sisi tutawasha taa kwa Wanatibeti wote waliojitia moto na kujichoma, na pia tutaiombea nchi ya Tibet.

(src)="12.2"> Следвайки това вярване , ние също би трябвало да запалим свещ за тибетците , които са се самозапалили , и да се помолим за Тибет .
(trg)="4.1">*Maelezo ya Ziada: Mwandishi ameongezwa kama mojawapo ya wenyeji wa tukio la "Butter Lamp Pray Event" katika Facebook.

(src)="13.1"> * Допълнителна информация : авторът на оригиналния постинг е домакин на Facebook събитието " Butter Lamp Pray " .
(trg)="5.1">Picha inaonyesha maandamano ya kila mwaka yanayojulikana kama 'Tibet Freedom March' katikati mwa jiji la London.

(src)="14.1"> Снимките по-горе са от Годишния марш за Свободен Тибет в центъра на Лондон , Великобритания , лиценз Sinister Pictures в Demotix .
(trg)="5.2">Ulipigwa na sinister pictures , na hati miliki ni ya Demotix (12/03/11).

# bg/2012_03_359.xml.gz
# sw/2012_03_baada-ya-kony-2012-what-i-love-about-africa-yanyakua-mazungumzo_.xml.gz


(src)="1.1"> След Kony 2012 , “ Африка : нещата , които обичам ”
(trg)="1.1">Baada ya Kony 2012, "What I Love About Africa" Yanyakua Mazungumzo

(src)="1.2"> Тази публикация е част от нашето отразяване на Kony 2012 .
(trg)="23.1">Mwanablogu kutoka Cote d'Ivoire, Théophile Kouamouo aliuliza mnamo mwaka 2008 :

(src)="4.2"> Освен това , много африканци смятат , че широко разпространената история е центрирана около нещо негативно и игнорира положителните промени и развитие на континента .
(trg)="4.2">Zaidi ya hiyo, kampeni lenyewe lilijishughulisha na kuchanga pesa kwa shirikisho lililoanzisha kampeni lenyewe badala ya kuwawezesha watu walioathiriwa na vita hivyo kujiendeleza.

(src)="5.1"> Като противовес , много хора започват да публикуват коментари в Туитър относно “ нещата , които обичат относно Африка ” с хаштаг #WhatILoveAboutAfrica .
(trg)="6.1">Ili kukabiliana na hali hii, watu wengi wameanza kuandika hadithi na kadalika katika Twitter kusema ni nini haswa wanapenda kuhusu Afrika, wakitumia maneno #WhatILoveAboutAfrica.

(src)="6.1"> Африка , нещата , които обичам - международно от Семхар Арайя - @Semhar
(trg)="7.1">#WhatILoveAboutAfrica ilivyoenea duniani: Picha kwa hisani ya Semhar Araia - @Semhar

(src)="7.2"> Коментарите им може да видите отразени във видеото на Ал Джазира .
(trg)="8.1">Hatua hii, iliyoongozwa na Semhar Araia , mwanablogu katika Diaspora African Women Network (Shirika la Wanawake Walio Ugenini), ilianza kuenea duniani katika Twitter tarehe 13 Machi 2012.

(src)="8.1"> “ Ако хората в тези държави ги е грижа за нас , те не биха носили тениски със снимки на Джоузеф Кони , по каквито и да е причини ” казва един от интервюираните .
(trg)="10.1">Ilhali hakuna anayepinga umuhimu wa kuonyesha uhalifu uliotendwa na Jeshi la Kony, lijulikanalo kama LRA, ripoti zifuatazo kutoka kwa raia wa kawaida zaeleza jinsi mjadala huu ni zaidi ya mawazo matupu yanayoenezwa kutumia mtandao, au meme kwa Kiingereza, lakini ni vita vya kukomboa mawazo na mtazamo wa walimwengu kuhusu bara zima.

(src)="11.1"> Кампанията да се заговори за позитивните страни на Африка събира доста внимание и в социалните среди .
(trg)="12.1">"Kama watu walio katika nchi hizo wanatujali, hawatavaa shati zilizo na picha za Joseph Kony kwa nia yoyote", alisema mwanaume mmoja aliyehojiwa.

(src)="13.1"> @mwanabibi : #WhatILoveAboutAfrica Младоста !
(trg)="12.2">"Huko ni kusherehekea kuteseka kwetu."

(src)="20.1"> Африка е дълбоко под кожата ми .
(trg)="13.1">"Kuna watu fulani, shirika fulani linalotaka kutafuta pesa kwa kutumia ghasia iliyofanyika Kaskazini mwa Uganda", Mganda mwingine katika onyesho lingine alisema.

(src)="20.2"> Африка е гласовете в главата ми .
(trg)="14.1">Kampeni la kuonyesha upande mzuri wa Afrika pia umeimarishwa katika mtandao.

(src)="21.1"> Тя е красива и силна и има това много да сподели , да даде , тя ме вдъхновява и аз я обичам истински , безумно и дълбоко .
(trg)="14.2">Mwanafunzi kutoka Amerika anayependa Afrika, Karen Killenberg, alikusanya vichapisho vichache alivyovipenda kuhusu jinsi watu wanavyopenda Afrika, na pia anamanukuu mwanablogu Tatenda Muranda katika Twitter kuhusu sababu zake za kuandika:

(src)="22.1"> Тя е бита и синя и понякога пречупена , и аз я обичам дори още повече .
(trg)="16.1">Wakati umefika kwetu kueneza enzi ya matumaini kupitia maneno na vitendo.

(src)="23.1"> Тя винаги е била в съзнанието и сърцето ми .
(src)="24.1"> Не е толкова , че аз избирам да блогвам за Африка , по-скоро не мога да не го правя .
(trg)="16.2">Mwanahabari Paula Rogo kutoka Kenya alikusanya na kuhariri "maandishi bora na mabaya" kuhusu mazungumzo ya vitu ambavyo watu wanapenda kuhusu Afrika, ama "WhatIloveAboutAfrica".

(src)="26.1"> Това е още една причина защо пиша за Африка : за да сбъдна това желание .
(trg)="16.3">Yafuatayo ni maandishi kadhaa ambayo yalikusanywa:
(trg)="17.1">@mwanabibi: #WhatILoveAboutAfrica The youth!

(src)="27.1"> Сокари от Black Looks добавя :
(trg)="17.2">Hopeful, optimistic and innovative

(src)="28.3"> Тя е богата , като дух и тяло .
(trg)="18.1">"Ninachopenda kuhusu Afrika ni vijana!

(src)="30.2"> Биняванга Уайнайна пише известно си есе “ Как да пишем за Африка ” през 2005 .
(trg)="18.2">Wana matumaini, matarajio na ni wabunifu pia"

(src)="30.3"> Есето се превръща във видеото “ Как да НЕ пишем за Африка ” , коментирано от актьора Джимон Хоунсоу :
(trg)="19.1">"Ninachopenda kuhusu Afrika ni ustahimilivu, ushujaa, uhuru wa vyombo vya habari hata wakipata vitisho"

(src)="31.1"> В контекста на дългата и трудна борба за представянето на позитивните страни на континента , въпросът е защо е толкова трудно да се промени глобалното отношение и защо то е важно за толкова много хора .
(trg)="20.1">"Jinsi walivyo wabunifu, kwa mfano kutuma pesa kwa kutumia simu za mkononi, kukusanya habari inayotumiwa kutengeneza ramani ya sehemu ambako kuna ghasia, hizo ndizo nizipendazo kuhusu Afrika

(src)="32.2"> Той твърди , че доверието е основно условие за инвестициите в Африка и че едно по-добро разбиране на цялата сложност и мнообразност на континента са нужни .
(trg)="20.2">Ramani ya Afrika iliyo na maandishi ya washiriki wa Barcamp Africa, mwezi wa Oktoba 2008, kutoka kwa picha za Maneno kwenye Flickr photostream

(src)="33.1"> Джордж Кимбъл е казал : „ Единственото тъмно нещо относно Африка е нашето невежество относно нея ” .
(trg)="21.1">Vita vya kale kusimulia hadithi ya Afrika

(src)="33.3"> Първият мит , който трябва да развенчаем , е , че Африка е ЕДНА държава .
(trg)="22.1">Kunyakua jinsi hadithi na habari za Kiafrika zitakavyosimuliwa kupitia mikondo ya mtandao si jitihada mpya.

(src)="33.4"> Тя е съставена от 53 държави .
(src)="33.5"> Затова , които говорим за „ инвестиране в Африка ” , не казваме нищо , защото в това няма смисъл ” .
(trg)="22.2">Mwaka wa 2007, kampeni kama hii ilienea kupitia mikondo ya mtandao barani Afrika, wakati wanablogu mashuhuri waliwakaribisha wanablogu wenzao kutoa maoni yao kuhusu "Kwa Nini Naandika Blogu Kuhusu Afrika".

(src)="46.1"> Тази публикация е част от нашето отразяване на Kony 2012 .
(trg)="23.1">Mwanablogu kutoka Cote d'Ivoire, Théophile Kouamouo aliuliza mnamo mwaka 2008 :

# bg/2012_03_114.xml.gz
# sw/2012_03_iran-wachora-katuni-wamkalia-kooni-khatami-kwa-kupiga-kura_.xml.gz


(src)="1.1"> Иран : карикатуристи се гневят на участието на Хатами в парламентарните избори
(trg)="1.1">Iran: Wachora katuni 'wamkalia kooni' Khatami kwa kupiga kura

(src)="2.1"> Как можеш да се окажеш “ най-големият губещ ” само защото си се решил да дадеш гласа си на избори ?
(trg)="1.2">Unawezaje kuwa “mkosaji mkuu” katika uchaguzi kwa kule tu kupiga kura yako?

(src)="2.2"> Може би Мохаммад Хатами , бившият реформистки президент на Иран , може да отговори на този въпрос .
(trg)="1.3">Labda Mohammad Khatami, Rais mwanamageuzi wa zamani wa Iran anaweza kulijibu hili.

(src)="3.1"> Хатами гласува по време на парламентарните избори , проведени на 2 март , петък , игнорирайки предварителните условия , които той сам си постави за своето участие : " Свобода за политическите затворници и създаване на свободна атмосфера за всеки и всички групи , властите да уважават Конституцията и създаването на логистика за провеждането на честни и свободни избори . "
(trg)="2.1">Khatami alipiga kura kwenye uchaguzi wa bunge siku ya Ijumaa, Machi 2, 2012 akigeuka apizo ambalo yeye mwenyewe aliliweka hapo siku za nyuma ambapo kinyume na kutekelezwa kwa apizo hilo basi asingeshiriki kupiga kura: “Uhuru wa wafungwa na kutengeneza mazingira huru kwa kila mmoja na makundi yote, serikali inayoheshimu Katiba na kutengenezwa kwa mfumo unaodhibiti upigaji kura ulio huru na wa haki.”

(src)="4.1"> Като се имат предвид призивите за бойкотиране на изборите , много реформисти се разочароваха от това да видят как Хатами се отрича от думите си .
(trg)="3.1">Kufuatia miito kutoka kwa watu wengi ya kutaka kususiwa kwa uchaguzi, wanamageuzi wengi walihuzunishwa kuona Khatami akikigeuka kiapo chake mwenyewe.

(src)="5.1"> По-късно той оправда действията си , като изрази надежда , че неговият глас няма да наруши " реформистката солидарност " .
(trg)="4.1">Baadae alijaribu kutetea kitendo chake hicho akieleza matumaini yake kwamba kupiga kwake kura hakukuvuruga "mshikamano wa mageuzi".

(src)="5.2"> Хатами подчерта още ( английски ) " сложността " на вътрешното положение и международните отношения , и призова за " разбиране на това сложно положение от всеки " .
(trg)="4.2">Aliripotiwa kusisitiza "hali tete" wa hali ya ndani na ya kimataifa na kutoa wito kwa kila mmoja "kuelewa hali tete iliyopo".

(src)="6.1"> Няколко саркастични карикатури , публикувани в интернет , показват гнева и разочарованието от популярния доскоро Хатами. .
(trg)="5.1">Katuni nyingi za kebehi zilizochapishwa mtandaoni zinaonyesha hasira na kukatishwa tamaa na kiongozi Khatami ambaye kipindi fulani alikuwa kipenzi cha watu.

(src)="7.1"> Nikahang , водещ карикатурист и блогър , счита ( фарси ) , че Хатами пренебрегва кръвопролитията по време на протеста от 2009 г. срещу режима .
(trg)="6.1">Nikahang, ambaye ni mchora katuni anayeongoza na pia mwanablogu, alichukulia kwamba Khatami alikuwa amepuuza umwagaji damu uliotokea mwaka 2009 kufuatia maandamano dhidi ya utawala ulio madarakani.

(src)="9.1"> Мана Нейестани , друг известен карикатурист , показва ( фарси ) човек , който разбива прозорец в главата на Хатами .
(trg)="8.1">Mwanakatuni mwingine gwiji, Mana Neyestani, anaonyesha mtu anayepasua kioo kwenye kichwa cha Khatami.

(src)="12.1"> Анонимен карикатурист , публикуващ в сайта Khodnevis.org ( фарси ) също зае позиция в кампанията " карикатури против Хатами " с тази карикатура :
(trg)="11.1">Mchora katuni mwingine ambaye hakutajwa jina aliyekuwa kama mchora katuni aliyekaribishwa kwenye Khodnevis.org naye alishiriki kwenye kampeni ya "katuni za kumpinga Khatami" akiingiza mchoro huu:

# bg/2012_03_141.xml.gz
# sw/2012_03_palestina-gaza-yashambuliwa-watu-12-wauwawa-na-wengine-wengi-kujeruhiwa_.xml.gz


(src)="1.1"> Палестина : Въздушни удари по Газа
(trg)="1.1">Palestina: Gaza yashambuliwa, watu 12 wauwawa na wengine wengi kujeruhiwa

(src)="2.1"> През нощта на 9-ти срещу 10-ти март , израелски самолети атакуваха цели на територията на Ивицата Газа , като жертвите от ударите са най-малко 12 и над 20 ранени .
(trg)="1.2">Usiku kucha wa Machi 9 hadi asubuhi ya Machi 10, 2012, ndege za kivita za Israeli zilifanya mashambulizi kwa kuchagua maeneo kwenye Ukanda wa Gaza, na kuua takribani watu 12 na kuacha wengine 20 wakiwa majeruhi.

(src)="3.1"> В следобеда на 9 март , Зухейр Ал-Кайси , генерален секретар на Народните комитети за съпротива , е убит по време на нападението над град Газа , заедно със своя помощник Абу Ахмад Ханани .
(trg)="2.1">Mchana wa Machi 9, Zuheir al-Qaysi, katibu mkuu wa chama cha (PRC) Popular Resistance Committees , aliuawa pamoja na msaidizi wake Abu Ahmad Hanani kutokana na mashambulizi hayo ya Israel kwenye Jiji la Gaza.

(src)="3.2"> Ханани , който е от Наблус , бе депортиран в Газа , като част от размяната на затворници преди няколко месеца .
(trg)="2.2">Hanani alitokea Nablus kwa asili na alihamishiwa Gaza kama mmoja wa wafungwa walioachiwa huru katika mpango wa kubadilishana wafungwa miezi michache iliyopita.

(src)="4.2"> Жертви няма .
(trg)="3.2">Israel ilijibu mapigo kwa mashambulizi makali ya angani yaliyoilenga Gaza na kuacha maiti wapatao kumi na wawili kwa mara moja.

(src)="4.4"> Някои доклади посочват , че убитите са 15 .
(trg)="3.4">Ripoti nyingine zinataja kuwa watu kumi na watano walipoteza maisha yao.

(src)="5.1"> Израелски самолети удрят град Газа .
(trg)="4.1">Mji wa Gaza ukipigwa mabomu na madege ya kijeshi ya Israel.

(src)="5.2"> Снимка от Twitter , @journeytogaza .
(trg)="4.2">Picha ya Mtumiaji wa twita aitwaye @journeytogaza

(src)="6.1"> Активисти от Газа реагираха на атаките в Twitter :
(trg)="5.1">Watumiaji wa Mtandao waishio Gaza waliitikia mashambulizi hayo kwenye Twita:

(src)="7.1"> @ectomorfo : Молете се за хората на Газа .
(trg)="5.3">@ectomorfo: Ombea watu wa Gaza.

(src)="7.2"> Няма ток , малко лекарства , няма газ .
(trg)="5.4">Hakuna umeme, kuna dawa kidogo, hakuna gesi.

(src)="7.3"> А сега те ни бомбардират от всички страни . #Israel #GazaUnderAttack
(trg)="5.5">Na sasa wanapigwa mabomu kutokea pande zote na #Israel. #GazaUnderAttack

(src)="9.1"> @Omar_Gaza : 18 минути без нито една експлозия !
(trg)="5.6">@Omar_Gaza: Dakika 18 bila milipuko!

(src)="9.2"> Предпазливо мълчание ?
(trg)="5.8">Yamekwisha?

(src)="9.3"> Това ли е всичко ? 18 minutes with no explosions !
(trg)="5.9">Au niendelee kubana pumzi zangu kwa woga? #GazaMassacre #GazaUnderAttack

(src)="9.4"> Cautious silence ? is it over ?
(trg)="5.10">@najlashawa:sijui nimewezaje kuendelea kuchapa maandishi haya.

(src)="9.5"> Мога ли да поема дъх ? #GazaMassacre #GazaUnderAttack
(trg)="5.11">Sauti ilikuwa KUBWA! #GAzaUnderAttack

(src)="11.1"> @imNadZ : Добре дошли в Газа .
(trg)="5.12">@imNadZ: Karibu #Gaza.

(src)="11.2"> Където изгревът са експлозиите .
(trg)="5.13">Ambapo mwanga wake unatokana na mabomu.

(src)="11.3"> Където птиците са самолети F-16 .
(trg)="5.14">Ndege zinazotumika ni aina ya F16.

(src)="13.1"> Тази атака идва в момента на променливи регионални и политически съюзи .
(trg)="5.15">Shambulio hili linakuja wakati wa kuhamisha ushirika wa kimaeneo na kisiasa.

(src)="13.2"> Миналата седмица , в светлината на увеличаваща се перспектива за американско-израелска война срещу Иран , официални лица от Хамас обявиха , че Хамас няма да подкрепи Иран в случай на удар по Иран .
(trg)="5.16">Juma lililopita, kwa kuongezeka kwa uwezekano wa vita ya Marekani na Israel dhidi ya Iran, maafisa wawili wa juu wa Hamas walitangaza kwamba Hamasi haitajihusisha na itaiunga mkono Iran ikitokea Israel itashambulia.

(src)="13.3"> Хамас също така обяви , че подкрепя бунта на сирийците срещу Асад .
(trg)="5.17">Hamas pia walitangaza kuwaunga mkono watu wa Syria katika mapambano yao dhidi ya Assad.

# bg/2012_03_347.xml.gz
# sw/2012_04_congo-drc-video-zasaidia-kumtia-hatiani-thomas-lubanga-kwa-uhalifu-wa-kivita_.xml.gz


(src)="1.1"> ДР Конго : видео материали подпомагат осъждането на Томас Лубанга за военни престъпления
(trg)="1.1">Congo (DRC): Video zasaidia kumtia hatiani Thomas Lubanga kwa uhalifu wa kivita

(src)="1.2"> Този текст е базиран на информация , първоначално публикувана от WITNESS .
(trg)="1.2">Makala hii inatokana na maudhui yaliyochapishwa kwanza kupitia kampeni ya kukusanya ushahidi wa picha za video inayoitwa WITNESS.

(src)="2.1"> На 4 март 2012 Международния криминален съд призна Томас Лубанга , бивш бунтовнически лидер от източно Конго , за виновен за използване на деца във въоръжените конфликти – военно престъпление .
(trg)="2.2">Hii ni hatua kubwa muhimu katika historia ya utafutaji haki kimataifa, kwa wahanga walio nchini Kongo (DRC) na kwa mpango wa matumizi ya picha za video kwa ajili ya kuleta mabadiliko.

(src)="3.1"> В източно Конго , където гражданската война е взела повече от 4 милиона живота , често деца ( повечето 6 годишни ) са „ набирани ” от военни организации и учени да убиват .
(trg)="3.1">Huko Kongo Mashariki, ambapo vita vya wenyewe kwa wenyewe vimesababisha vifo vya zaidi ya watu milioni nne, watoto wadogo, wengine hadi miaka sita tu, walipatiwa mafunzo ya kijeshi na kufundishwa kuua.

(src)="3.2"> Предполага се , че деца , между 8 и 16 годишна възраст , са около 60 поцента от участващите в бойните действия в региона .
(trg)="3.2">Inakadiriwa kwamba watoto, wengi wakiwa kati ya miaka minane na 16, wanakaribia asilimia 60 ya wapiganaji katika eneo hilo.

(src)="4.2"> Видеото разказва историята на Мафиле и Януари , две малки момичета набрани като участници в армията .
(trg)="4.2">Inasimulia tukio la Mafille na January, wasichana wawili ambao walipewa mfunzo ya kivita.

(src)="4.3"> Видеото разглежда влиянието и последствията на набирането на деца на семействата и на общността като цяло .
(trg)="4.3">Picha hizo za video zinaonyesha madhara yanayotokea katika familia na jamii kwa ujumla kutokana na kuwafunza watoto mambo ya kivita.

(src)="5.1"> Членът на WITNESS , Букени Уарузи , който е родом от източна ДРК и активист за човешките права , присъстваше в Хага , за да чуе присъдата .
(trg)="5.1">Mmoja wa wafanyakazi wa kampeni hiyo ya WITNESS, Bukeni Waruzi, anayetokea Kongo Mashariki, ambaye pia ni mtetezi wa muda mrefu wa haki za binadamu, alikuwa mjini The Hague kusikiliza hukumu hiyo.

(src)="5.2"> Той се включи в серия въпроси и отговори с журналисти след присъдата на 14 март , коментиращ и важността на видеото в делото .
(trg)="5.2">Alishiriki pia katika kipindi cha Maswali na Majibu na waandishi wa habari kufuatia hukumu hiyo mnamo Machi 14 akieleza pamoja na mambo mengine umuhimu wa picha za video katika uendeshaji mashitaka.

(src)="6.1"> Във видеото качено от WITNESS в YouTube на 13 март , ден преди обявяването на присъдата , Букени говори с Маделейн , бившо дете-войник от източна ДРК , която е демобилизирал , когато тя е на 15 и впоследствие е и осиновил .
(trg)="6.1">Katika video hii hapa chini, iliyowekwa na kampeni ya WITNESS katika You Tube mnamo tarehe 13 Machi, siku moja kabla ya hukumu, Bukeni anazungumza na Madeleine, mtoto aliyepata kuwa “askari” huko Kongo Mashariki, ambapo alifanya mbinu za kumwondoa msichana huko kutoka kwenye vikosi vya wapiganaji akiwa na umri wa miaka 15 na kisha kumwasili.

(src)="6.2"> През 2003 тя свидетелства пред ООН , за да сподели опита си като дете-войник .
(trg)="6.2">Mwaka 2007, alitoa ushuhuda wake kama askari mtoto mbele ya Umoja wa Mataifa.

(src)="7.1"> Букени и Маделейн обсъждат техните надежди за делото срещу Лубанга и се надяват справедливост да бъде въздадена за всички деца войници по света .
(trg)="7.1">Bukeni na Madeleine wanajadili matumaini yao kufuatia matokeo ya shitaka la Lubanga na wanatumaini haki itachukua mkondo wake kwa askari watoto popote walipo.

(src)="8.1"> Повече информация за Букени и работата на организацията WITNESS ' относно децата войници , може да намерите тук .
(trg)="7.2">Unaweza kupata habari zaidi kuhusu kazi ya Bukeni na kampeni ya WITNESS kuhusu askari watoto kwa kutazama hapa. here.

# bg/2012_06_2331.xml.gz
# sw/2012_06_kenya-habari-za-mlipuko-jijini-nairobi-zatawala-mijadala-ya-twita_.xml.gz


(src)="1.1"> Кения : Взрив разтресе Найроби , придоби популярност в Twitter
(trg)="1.1">Kenya: Habari za Mlipuko Jijini Nairobi Zatawala Mijadala ya Twita

(src)="1.2"> Всички препратки са към текстове на английски , освен ако е обозначен друг език .
(trg)="1.2">Mlipuko unaodhaniwa kuwa ni bomu umesababisha madhara katika moja ya barabara kuu za Nairobi, Moi avenue, katika mji mkuu huo wa Kenya mchana wa Jumatatu.

(src)="2.2"> Първоначалните изследвания показват , че взрива е изникнал заради електрическа неизправност в тази зона .
(trg)="1.3">Uchunguzi wa awali unaonyesha kwamba mlipuko huo ulitokana na hitilafu ya umeme kwenye eneo hilo.

(src)="2.3"> Началникът на полицията в Кения опроверга слуховете за бомбени атаки , свързани с Ал-Шабаб ( бълг . ) .
(trg)="1.4">Kamishna wa polisi wa nchi hiyo amekanusha tetesi kwamba mlipuko huo umetokana na shambulio la bomu linalohusishwa na kikundi cha kigaidi cha Al-Shabaab.

(src)="2.4"> В страната има редица бомбени и гранатни атаки заради военните й нападения в Сомалия срещу Ал-Шабаб , наречени " Операция Линда Нчи " ( " Операция Защита на страната " на суахили ) .
(trg)="2.1">Kenya imekumbwa na mfululizo wa mabomu tangu majeshi ya nchi hiyo yaingie Somalia kupambana na kikundi cha kigaidi cha Al Shabaab kwa kile kiichoitwa “Operesheni Linda Nchi”.

(src)="3.1"> В Twitter , интернет гражданите използваха хаш-таговете #NairobiBlast ( #НайробиВзрив ) и #MoiAvenueBlast ( #МоиАвенюВзрив ) , за да обсъдят трагедията и споделят информация .
(trg)="3.1">Kwenye mtandao wa twita, watumiaji wamekuwa wakijadili tukio hilo na kubadilishana taarifa kupitia alama ya #NairobiBlast na #MoiAvenueBlast.

(src)="4.1"> Мястото на взрива в Найроби .
(trg)="4.1">Eneo la mlipuko jijini Nairobi.

(src)="4.2"> Снимка , споделена в Twitpic от @JoeWMuchiri .
(trg)="4.2">Picha imewekwa kwenye mtandao wa twitpic na @JoeWMuchiri

(src)="5.1"> Моля , стойте настрана
(trg)="5.1">Tafadhali kaa mbali:

(src)="5.2"> @__RamzZy__ : Освен ако не сте от пресата , ако си нямате работа , моля стойте настрана от мястото на произшествието .
(trg)="5.2">@__RamzZy__: Kama wewe si mwandishi wa habari, kama huna shughuli inayokulazimu kuwa karibu na eneo la tukio, kaa mbali.

(src)="5.3"> Оставете полицията и спасителната служба да си вършат работата . #MoiAvenueBlast
(trg)="5.3">Waache polisi na timu za uokoaji kufanya kazi zao. #MoiAvenueBlast

(src)="5.4"> @cobbo3 : Опасно е за хората да се събират на ул.
(trg)="5.4">@cobbo3: Ni hatari kwa watu kukusanyika kwenye mtaa wa Moi na Kimathi baada ya mlipuko huo.

(src)="5.6"> Ако е терористична атака , обикновено след първата бомба следва втората , която да удари тълпите .
(trg)="5.5">Ikiwa mlipuko huo ni shambulio la kigaidi, mara nyingi bomu la pili laweza kulipuka kuangamiza maelfu

(src)="5.7"> Отговорност на медиите
(trg)="5.6">Wajibu wa vyombo vya habari:

(src)="5.8"> @jaydab : @mckenziecnn , очакваме да видим и чуем какво ще кажете за #nairobiblast .
(trg)="6.1">@jaydab: @mckenziecnn, tunasubiri kuona na kusikia mtakachosema kuhusu mlipuko huu.

(src)="5.9"> Съобщавайте фактите такива каквито са и не преувеличавайте .
(trg)="6.2">Tujuzeni hali ilivyo na sio kutia chumvi.