# aym/2010_09_599.xml.gz
# sw/2010_07_niger-njaa-ya-kimya-kimya_.xml.gz


(src)="1.2"> Sahelenan manq ’ a pistäwi , janiw yatiyatakiti , jichhapachax Nigeranx 2.5 millones jaqinakaw manq ’ at pist ’ añan aynacht ’ atapxi .
(trg)="1.2">Janga la njaa ambalo kwa kiasi kikubwa haliripotiwi ipasavyo huko Sahel limechukua sura kubwa ya kutisha kufuatia kiasi cha watu milioni 2.5 nchini Naija hivi sasa kuathirika na uhaba wa chakula.

(src)="2.1"> Hombres ante el Desierto de Sahel de Nawal _ con licencia CC en Flickr
(trg)="2.1">Waume wakielekeza nyuso zao katika Jangwa la Sahel imepigwa na Nawal _kwa leseni ya Creative commons kwenye Flickr

(src)="3.1"> D. Evariste Ouédraogox ukjan qillqt ’ awayi , politikunakax Nigeranx manq ’ at pist ’ añ uchañ amtpxapuni :
(trg)="3.10">Mwitiko wa sasa wa janga la chakula, hata hivyo, unaonekana kuwa na kasi kubwa zaidi kuliko ilivyokuwa mwaka 2005.

# aym/2011_01_905.xml.gz
# sw/2011_01_dunia-ya-uarabu-_e2_80_9cacheni-kulia-juu-sudani_e2_80_9d_.xml.gz


(src)="1.1"> Mundo Árabe : " Sudán Markatx Jan Jachxapxamti "
(trg)="1.1">Dunia ya Uarabu: “Acheni Kulia Juu Sudani”

(src)="3.1"> Arabia Sauditatpachawa , Omar Alattasax jiskt ’ i :
(trg)="12.5">Je, hili linafanyika kwa kuipenda Sudani ama ni baraka kwa ajili ya kujitenga

# aym/2011_12_3462.xml.gz
# sw/2011_12_global-voices-changia-leo_.xml.gz


(src)="1.1"> Global Voices : Jichhür yanapt 'äwim churama
(trg)="1.1">Global Voices: Changia Leo

(src)="1.2"> 2011n marax online ukatakix muspakañawa .
(trg)="1.2">2011 umekuwa mwaka usio wa kawaida katika maudhui ya mtandaoni.

(src)="1.3"> Uraqpachan yanapt 'asirinakaruw jallallt 'ata , Global Voicesax marakanakan kuna jan walt 'awinakas utjkan uka yatiyawinakap uñt 'ayaskana .
(trg)="1.3">Global Voices imekuwepo pale wakati mapinduzi yalipotokea, wakati tawala za kidikteta zikianguka, na matokeo ya matumizi ya mtandao yaliposambaa katika miji na mitaa ya wachangiaji wetu wanaoripoti kutoka duniani kote.

(src)="3.2"> Ukax uñacht 'awinakax Global Voices ukaruw uñacht 'ayi , ukax yatiyirinakatx mä amtaskayawa .
(trg)="3.2">Picha inayotokana na kazi hiyo inaonyehsa wigo wa jumuiya ya Global Voices, na kuifanya iwe kazi ya sanaa inayoadhimisha mwaka muhimu katika historia na nguvu ya vyombo vya habari vya kiraia.

(src)="5.1"> Janiti mä póster munksta ukhaxa , yanapawix uñt 'ayatakiskaniwa .
(trg)="3.4">Agiza moja kwa ajili yako leo kupitia kiungo hiki.

(src)="6.1"> Global Voices ukax 500k inak qilqirinakana , jaqukipirinakan mä tamachäwiwa , uraqpachan yatiyawinakap uñt 'ayapxi .
(trg)="5.2">Michango ya mara kwa mara haitozwi kodi nchini Marekani, na inaweza kufanyika kupitia ukurasa wetu wa Kuchagia.

(src)="6.2"> Yanapt 'irinakasan jichhak video waraqt 'atanak uñjapxama :
(trg)="5.3">Tafadhali hakikisha unasambaza habari hizi kupitia mitandao yako!

(src)="8.1"> Global Voices : Khitinakapxtansa Global Voices ukax Vimeo ukana .
(trg)="6.2">Tazama video yetu mpya inayoonyesha picha na nukuu kutoka kwa baadhi ya wanaotuunga mkono:

(src)="9.1"> Global Voicesax uraqpachan chiqpach aruskipäwiwa , yanapäwinakamamp chikancht 'asiskakiñäniya .
(trg)="8.1">Global Voices iko katika kiini cha mazungumzo halisi ya kidunia, na mchango wako utatusaidia kutufanya tuendelee kuwa tulipo.

(src)="9.2"> ¡ Yuspajara !
(trg)="8.2">Asante sana!

# aym/2012_04_4031.xml.gz
# sw/2012_04_ajentina-dokumentari-kuhusu-wenyeji-wa-mjini-yatafuta-tafsiri-ya-maandishi_.xml.gz


(src)="1.1"> Argentina : Jach 'a markan indigenanakan jakasirinakxat qilqäwix subtítulos ukwa thaqhaski
(trg)="1.1">Ajentina: Dokumentari Kuhusu Wenyeji wa Mjini Yatafuta Tafsiri ya Maandishi

(src)="1.2"> Aka post ukax Indígenas ukan derechunapxtawa .
(trg)="1.2">Makala hii ni sehemu ya Habari zetu maalumu kuhusu Haki za Wenyeji.

(src)="2.1"> Runa Kuti , ukax Creative Commons uka licenciarjam qilqt ’ atawa Buenos Aires anqaxa markan indígenas ukat jutir jila kullakanakan jakawipxata , nayraqat uñt ’ ayasa , Argentina markan Qhichwa , aymara , mapuche ukat guaraní ukhamarak ingles arunakax utjki uka arunakan aka video waraqat subtitulación ukamp yanap ’ tasirinakwa thaqhaski .
(trg)="2.1">Dokumentari iitwayo Runa Kuti iliyoshirikishwa katika mradi wa Haki miliki wa “Creative Commons” kuhusu kutambuliwa kwa wananchi waliotokana na uzao wa wenyeji wa zamani walioishi mjini katika jiji la Buenos Aires, inatafuta watu wa kujitolea kusaidia kuiwekea video hiyo tafsiri ya maandishi kwenda katika lugha za asili za Ajentina kama ki-Quechua, ki-Aymara, -kiMapuche na ki-Guaraní pamoja na ki-Kiingereza.

(src)="3.1"> Blog qilqatapanx yanapt ’ asirinakaruw jawillt ’ i :
(trg)="3.1">Katika blogu yao, wameweka tangazo lao la kualika watu wanaopenda kujitolea:

# aym/2012_07_4418.xml.gz
# sw/2012_07_angalia-moja-kwa-moja-yanayojiri-sasa-hivi-katika-mkutano-wa-global-voices_.xml.gz


(src)="1.1"> Jichhpach Global Voices Jach ’ a Tantachäw Uñtam
(trg)="1.1">Angalia Moja kwa Moja Yanayojiri Sasa Hivi Katika Mkutano wa Global Voices

(src)="3.1"> Taqitak wakicht ’ at jach ’ a tantachäwiwa , akan 60 jach ’ a markat kimsa patakaniw akankapxi , askpachapinix 10-76 marankamaw blogero-nakamp yatt ’ ayirinakampix tanthaptapxi .
(trg)="3.1">Ni tukio la wazi linalowajumuisha washiriki 300 kutoka nchi 60 duniani, zaidi wanablogu na waandishi wa vyombo vya habari vya kiraia wenye umri kati ya miaka 18 hadi 76.

(src)="3.2"> Akan amtapax aka uraqpachan yatiyäwinakax kawkhakamas puri , ukat akax askit janich askïki ukanakat uñjañawa .
(trg)="3.2">Lengo la kongamano hili ni kujadili kuhusu upana na umuhimu wa vyombo vya habari za kiraia za mtandaoni ulimwenguni kote.

(src)="4.1"> Mirä , blog Tantachäwimp Twitter hashtag # GV2012-mp , uñakipt ’ am ukjarux aynachtuqin wiriyurak uñtama .
(trg)="4.1">Tafadhali tembelea Blogu ya Mkutano, ratiba,katika alama ishara ya Twita, #GV2012, na pia kutazama video ifuatayo.

(src)="4.2"> Yaqhip wakichäwin chaqt ’ anakapax payar jaljtayatawa , ukat Summit website video page uka payat ajlliñtakiw uñakiparakisma .
(trg)="4.2">Baadhi ya matukio yanaendeshwa kwa namna mbili, hivyo waweza kutembelea ukurasa maalumu wa video wa kongamano na kisha uchague kati ya namna hizo mbili.

(src)="5.1"> Watch live streaming video from globalvoices at livestream.com
(trg)="5.1">Angalia video za moja kwa moja kutoka Sauti za DUnia hapa livestream.com

(src)="6.1"> Livestream.com ukan globalvoices-at wiriy uñtam
(trg)="6.1">Sambaza taarifa hizi na kwa wengine!

(src)="7.1"> Yaqhanakar yatt ’ äyam
(trg)="7.1">Haa!

(src)="8.1"> Ukat Flickr-an kunrak jichha apsut jamuqanakax utjistu :
(trg)="7.2">Pia tuna picha nzuri za moja kwa moja katika mtandao wa Flickr.

# aym/2012_09_4456.xml.gz
# sw/2012_07_hispania-maandamano-ya-wachimbaji-madini-yaungwa-mkono-na-wananchi_.xml.gz


(src)="1.1"> España : minera ukar arxatañatak yanapt 'a : “ ¡ Uñt 'aychistuwa ! ”
(trg)="1.1">Hispania: Maandamano ya Wachimbaji Madini Yaungwa Mkono na Wananchi

(src)="1.2"> Waranq jaqinakax españa minirunakaruw yanapt ’ añatak thakir mistupxatayana .
(trg)="1.2">Makala haya ni sehemu ya habari zetu maalumu zaUlaya katika Migogoro.

(src)="2.1"> Uka katuqawirux “ Marcha Negra ” sutichapxi .
(trg)="2.1">Maelfu ya watu waliingia mitaani kwa lengo la kuwaunga mkono wachimbaji wa madini wa nchini Hispania, na walijumuika nao walipowasili katika jiji la Madridi baada ya wachimba madini hao kutembea kilomita 400 wakitokea kaskazini mwa Hispania.

(src)="2.2"> Ukanx jaqinakax walpin yanapt ’ asipxi .
(trg)="3.3">Wachimbaji hao walipatwa na mshangao kwa jinsi watu walivyojikusanya, jambo ambalo liliongeza chachu ya kile kinachojulikana katika mitandao ya kijamii kama #nocheminera (Usiku wa uchimbaji madini).

(src)="2.5"> Ukat # nocheminera. redex wal uñjatawa .
(trg)="3.4">Matembezi ya giza yakipita katikati ya jiji la Madrid.

(src)="3.1"> Marcha Negra Madrid marka taypit , Ismael Naranjot sarnaqäwi .
(trg)="3.5">Picha na Ismael Naranjo.

(src)="3.2"> Recorrido de la Marcha Negra por el centro de Madrid , por Ismael Naranjo Ist ’ at arunakax « ¡ taqi kunas wakisiriwa ! » , « ¡ p ’ iqinchapxipunistuwa ! » ukhamak « ¡ Akax jiwasan anatir tamawa ! » kunatix Eurocopan España anatirinakax atipapxarakitayna .
(trg)="4.1">Miongoni mwa misemo maarufu ilikuwa, “Ndio tunaweza!”, “Ndio, ndio, (wachimbaji hawa) wanatuwakilisha!” na “Huu ndio mfumo wetu” wakirejelea ushindi wa hivi karibuni wa nchi ya Hispania katika kinyang’anyiro cha michuano ya mpira wa miguu barani Ulaya ambapo nchi hii ilikuwa bingwa.

(src)="4.2"> Jupanakax yaqha sectoranakamp sanäni : 15M uñisirinaka , taqi maranir jaqinaka ukhamarak Españan taqituqinakan kipkachasipxana .
(trg)="5.2">Sekta nyingine nyingi ziliunga mkono maandamano hayo, ikiwa ni pamoja na wale wanaoipinga serikali kutoka katika maeneo mbalimbali ya Hispania.

(src)="4.3"> Uka uñjtawix España markan nayra uñjtawinakat wali thuqhtasiriwa .
(trg)="5.4">(Video na Juan Luis Sánchez):

(src)="6.1"> http : / / youtu.be / 6FeZXoupDIo
(trg)="6.1">http://youtu.be/6FeZXoupDIo

(src)="7.1"> Redes sociales ukan , walja jaqinakaw mineronakar iraqtaw ch ’ axwatak ch ’ amanchapxi , kunatix sectorax chhaqhtaspawa .
(trg)="7.1">Kupitia mitandao ya kijamii, watu wengi waliwahamasisha wachimbaji madini kuendelea kupinga hatua ya serikali kusitisha utoaji wa ruzuku kwa makampuni ya kuchimba madini, hatua mbayo ingeweza kusababisha kufa kwa sekta ya madini nchini humo.

(src)="7.3"> Nayrir uñjtawinakatjam , redenakaw jilpach yatiyawinak yatiyapxi .
(trg)="7.2">Idadi kubwa ya watumiaji wa Twita walieleza kupitia twiti zao katika alama ishara #yosoyminero (Mimi ni mchambaji wa madini).

(src)="7.4"> Kunatix usuarionakax mä # silenciomediático ukham ch ’ atapxi .
(trg)="7.3">Kama ilivyokuwa kwa maandamano yaliyotangulia, mitandao ya kijamii ndiyo iliyotumika kusambaza taarifa kwa kiasi kikubwa, hatua iliyosababishwa na kile watumiaji wake walichokiita #silenciomediático (kimya cha vyombo vikuu vya habari).

(src)="8.1"> Uka amtat minera uñjtawix marka taypin tunka mayan julio phaxsin alwat uñtasirakiwa .
(trg)="8.1">Maandamano haya ya kihistoria ya wachimbaji wa madini yalianza tena asubuhi ya Jumatano ya tarehe 11, Julai.

(src)="8.2"> Jan ukax , nayrir urutx ukürux janiw walikipunikanti , kunatix churt ’ awinak sayt ’ ayirinakamp uñjtawirinakamp walpin nuwasipxana .
(trg)="8.2">Hata hivyo, siku hii ilibadilika na kuwa ya misukosuko zaidi kuliko ile ya maandamano ya awali kutokana na waandamanaji hao kukabiliana vikali na polisi.

(src)="8.3"> Ukat paqallq tunk suxtan usuchjatanakamp tunka payan detenidonakamp uñstapxi .
(trg)="8.3">Zaidi ya watu 76 walijeruhiwa katika migogoro hiyo na takribani watu 10 waliwekwa kizuizini.

# aym/2012_07_4502.xml.gz
# sw/2012_07_tamko-la-uhuru-wa-mtandao-wa-intaneti_.xml.gz


(src)="1.1"> Libertad en Internet uka mayïwitak arsüwi
(trg)="1.1">Tamko la Uhuru wa Mtandao wa Intaneti

(src)="1.2"> Waljaniw uñt 'ayxapxi , uraqpachanx internet ukan qilqawinak uñt 'ayañxata .
(trg)="1.2">Kama ambavyo wengi wamebaini, ulimwengu uko katika wakati tete linapokuja suala la uhuru wa mtandaoni.

(src)="1.3"> Walja markanakanwa kamachinakax utt ’ ayasxi , red ukar janiw sañataki , ukhamakipansti chiqpach arsusax bloguerunakax sapakutiw jan walin jikxatasipxi .
(trg)="1.3">Katika nchi nyingi duniani kote, sheria mpya zimeendelea kuundwa kwa malengo ya kudhibiti mtandao, wakati huo huo wanablogu wakizidi kuwa katika hatari kwa kupaza sauti zao.

(src)="2.1"> Aka qhipa maransti , uraqpachan kunayman tamachawinakaw mayacht ’ asipxi , libertad en internet uka mayiñataki .
(trg)="2.1">Katika mwaka uliopita, mashirika duniani kote yameshikamana pamoja kuliko ilivyowahi kutokea kabla kupigania uhuru mtandaoni.

(src)="3.1"> Jichhakiw tamanakax mayacht ’ asipxi Declaración por la Libertad de Internet uka qilqt 'añataki , ukanx Global Voices Advocacy ukax nayrïr rixuntiriwa .
(trg)="3.1">Tukiyatambua hayo, vikundi kadhaa hivi karibuni viliungana kuunda Tamko la Uhuru wa Mtandao wa Intaneti, ambalo Mradi wa Kutetea Sauti za Dunia ulikuwa moja ya watiaji sahihi wa awali.

(src)="3.3"> Uka declaración qilqäwix manqhawjanw uñjasi .
(trg)="3.3">Hapa chini utapata andiko la awali la Tamko hilo.

(src)="3.4"> Declaración ukarux akanwa rixuntasma ( firmar ) ; ukapachparakiw kunayman tamanakatuqit chikancht ’ asispa , jisnäwa aka EFF , Access , ukatx Cheezburger ukanakana .
(trg)="3.4">Unaweza kutia saini kuunga mkono tamko hilo hapa; waweza pia kuiona kupitia mashirika mengineyo, ikiwa ni pamoja na EFF, Free Press, Shirika la Access na pia Cheezburger.

(src)="3.5"> QALLTÄWI
(trg)="3.5">DIBAJI

(src)="3.6"> Iinternet libre ukhamarak abierto ukax uraqapachanx mä aski luraspa .
(trg)="3.6">Tunaamini kwamba mtandao ulio huru na wazi waweza kufanya dunia iwe bora zaidi.

(src)="6.1"> Nänakar mayacht ’ asinipxanipxita internet ukax libre ukhamarak abierto ukham sarantaskañapatakiki .
(trg)="6.1">Ungana nasi kuufanya Mtandao wa intaneti kuwa huru na wazi.

(src)="6.2"> Iyawsäwi
(trg)="6.2">ILANI

(src)="6.3"> Internet ukax libre ukhamarak abierto ukhamañapatakiw arxatapxta .
(trg)="6.3">Tunasimama imara kudai mtandao huru na wazi.

(src)="8.1"> Arsusïwi : Internet ukax janiw jark ’ t ’ atakaspati .
(trg)="7.1">Tunaunga mkono michakato wazi na shirikishi ya kutengeneza sera ya mtandao na uanzishaji wa kanuni tano za msingi:

(src)="9.1"> Acceso : Redes ukanakanx acceso universal ukat iyawsawinak kunaw utjañapa .
(trg)="9.1">Upatikanaji: Kuza upatikanaji wa mitandao ya kasi na nafuu duniani kote.

(src)="11.2"> Machaq tecnologias uñt ’ atanakax janiw jark ’ t ’ atañapakiti .
(trg)="11.1">Ugunduzi: Kulinda uhuru wa kugundua na kuunda bila kulazimika kuomba idhini.

(src)="11.3"> Apanaqirinakan ( usuarios ) machaq uñstayäwinakapax janiw yanqhachatakaspati .
(trg)="11.2">Msizuie teknolijia mpya, na msiwaadhibu wagunduzi kwa vitendo vinavyofanywa na watumiaji wa teknolojia zao.

(src)="12.1"> Jark ’ äwi : Jark ’ äwir arxataña ukat jaqinakax kunjamti apnaqapk ukar uñjaña .
(trg)="12.1">Faragha: Kulinda faragha na kupigania uwezo wa kila mtu kudhibiti namna data na vifaa vyao vinavyotumika.

# aym/2012_08_4555.xml.gz
# sw/2012_07_tazama-picha-za-afghanistan-ambazo-huwa-huzioni_.xml.gz


(src)="1.1"> Afganistán markat jamuqatanak uñt 'ayasa
(trg)="1.1">Tazama Picha za Afghanistan Ambazo Huwa Huzioni

(src)="1.2"> Décadas de guerra ukatx terrorismo ukanakax uraqpachanx Afganistán markarux mä yanqhachir markakaspas ukjamw uñt 'ayi .
(trg)="1.4">Ripoti katika vyombo hivyo zinaonyesha picha za kuogofya ambazo husababisha watu wengi kughairi kabisa mpango wa kuitembelea nchi hiyo iliyoathirika vibaya na mapigano lakini kwa asili ikiwa ni nchi nzuri sana.

(src)="1.3"> Talibán markan 2001 maran jan walt 'äwir puritapatx wasitampiw sartxi .
(trg)="7.3">Lakini picha hizo kwa ujumla huwa zinaonyesha upande hasi wa mgogoro nchini humo.

(src)="1.4"> Jilpach yatiyirinakax Afganistan markatx kuna jan walt 'äwinakas utji ukat qilqapxi .
(trg)="7.6">Watoto wa nchi hiyo wakiwa tayari kuzungumza na Paras anayeondoka eneo hilo la kutua kwa Helkopta.

(src)="2.1"> Ukatw Antony Loveless , británico yatiyiri ( periodista ) ukat jamuq apsuri ( fotógrafo ) mayjt 'äwinakat uñt 'ayi .
(trg)="9.1">Alama ishara hiyo imekuwa maarufu kwa wale wanaosafiri kwenda Afghanistan kubadilishana picha ambazo watu nje ya nchi hiyo huziona mara chache katika vyombo vya habari.

(src)="2.2"> Llamayu phaxsitpach 2012 marata , Loveless ukax Twitter # TheAfghanistanYouNeverSee ukanw jamuqanak uñt 'ayäna .
(trg)="11.1">Hivi karibuni,Iqbal Ahmad Oruzgani, mpiga picha kutoka Afghanistan ameanza pia kuweka picha kwenye alama ishara hiyo hiyo ya mtandao wa twita kwa mtazamo tofauti.

(src)="3.1"> Global Voices ukamp aruskipasax Loveless jupax siwa :
(trg)="16.1">Akizungumza na Global Voices, Antony Loveless anasema:

# aym/2012_07_4430.xml.gz
# sw/2012_07_wananchi-wa-mexico-wanamchagua-rais-mpya_.xml.gz


(src)="1.1"> Mexicanonakax jilïr irpiripatakiw chhijllapxäna
(trg)="1.1">Wananchi wa Mexico Wanamchagua Rais Mpya

(src)="1.2"> Nayrïr uru willakakuti phaxsinxa , mexicanonakax urnanakar jilïr irpiritak chhijlliriw sarapxäna .
(trg)="1.2">Mnamo tarehe 1 Julai, Wa-Mexico walipiga kura kumchagua rais wao mpya.

(src)="1.4"> Kunapachati urna ukax jist ’ arasiwayxi ukapachatw cibernautanakax amuyunakapa uñjäwinakap yatiyañamp qallantapxäna .
(trg)="1.4">Punde tu kura zilipoanza kupigwa, watumiaji wa mtandao wa intaneti walianza kutoa mawazo na uzoefu wao.

(src)="2.1"> Twitter @ YONOFUI ukan apanaqirix chiqancht ’ änwa :
(trg)="2.1">Mtumiaji wa twita @YONOFUI alitoa uhakikisho:

# aym/2012_12_4774.xml.gz
# sw/2012_08_mgogoro-wa-umoja-wa-ulaya-kitabu-cha-kwanza-cha-global-voices-cha-kieletroni_.xml.gz


(src)="1.2"> Aka qillqatax Europa markax pisinkañankiw satak ukxatawa .
(trg)="1.1">Mgogoro wa Umoja wa Ulaya: Kitabu cha Kwanza cha Global Voices cha Kieletroni

(src)="2.1"> " Europa markax pisinkañankiwa " Global Voices uka amta ukankiwa mä suma aruskiptañataki aka ridis socialesl , kunatixa partisipxapxi nayrakaqat apsuwayapxi uka jaqinakaw jan wali pachanak jupankar wakt ´ i khaysa jaya markanakan .
(trg)="1.2">"Umoja wa Ulaya katika Mgogoro (EU in Crisis)" ni chapisho letu la kwanza katika Mradi wa Vitabu wa Global Voices na ambao unahusisha makala bora zaidi kuhusu mazungumzo ya kijamii, ushiriki na uhamasishaji unaopewa nguvu na raia wanaopitia nyakati ngumu za kubana matumizi katika bara la kale zaidi na kwingineko.

(src)="3.1"> Aka e-book utjiwa mä licencia
(trg)="3.1">Jalada la kitabu cha kielektroniki cha "Mgogoro wa Uchumi wa Umoja wa Ulaya"

(src)="4.1"> Creative Commons Attribution 3.0 ukankiwa kunatix disponible para descargarse kimsa kastanakawa utji :
(trg)="4.1">Kitabu hicho cha kielektroni kimetolewa kwa utaratibu wa Leseni ya Creative Commons Attribution 3.0 na kinapatikana kwa kukipakua kutoka mtandaoni katika mitindo mitatu tofauti:

(src)="5.1"> - PDF ( 3,2 MB )
(trg)="5.1">- PDF (3,2 MB)

(src)="6.1"> - ePub ( 3,2 MB )
(trg)="6.1">- ePub (3,2 MB)

(src)="7.1"> - Mobipocket ( 2,8 MB )
(trg)="7.1">- Ukubwa wa Mfukoni (2,8 MB)

(src)="8.1"> Cubierta del ebook " Europa en Crisis " .
(trg)="8.1">Kitabu hicho kinapatikana kikiwa na utangulizi halisi kabisa unaofafanua muktadha mpana zaidi kuhusu suala hili.

(src)="10.1"> Aka e-book ukax luphitawa mä herramienta flexible kunatix suma qhananchañataki ukamaraki aruskipt ´ añataki aka timanakata aka pachana .
(trg)="8.2">Kitabu hiki cha kieletroniki kina jumla ya makala 13 katika lugha ya Kiingereza (matoleo katika lugha nyingine yanaandaliwa).

(src)="11.1"> Aka julio de 2012 , jiwasan equipusax utjaraki 80 voluntarios kunatix 80 post aka ingles uka lurawayapxi ,
(trg)="10.1">Hadi kufikia mwezi Julai 2012, timu ya watu wetu wanaojitolea wapatao 80 waliandika zaidi ya makala 80 katika lugha ya Kiingereza, makala hizo pia zilitafsiriwa katika lugha nyingi mbalimbali.

(src)="12.1"> taqpachaw yakha arunakaru jaquqapxi .
(trg)="11.1">'Sad Euro walrus' emoticon

(src)="13.1"> Global Voices Books objetivupaxa " kunatix taqinuw medios ciudadanos kumpartsna jutir pachanakana " , kunjamatix subtitulunasu uyllart ´ asi , kunatix mä jach ´ a archivo Global Voices ukjamaraki aka pachanxa producción poliglota .
(trg)="12.1">Mradi wa Vitabu wa Global Voices unalenga "kushirikisha vyombo vya habari vya kiraia kwa ajili ya siku za baadaye", kama ambavyo kichwa chetu kidogo kinavyosomeka, kwa kutumia hifadhi kubwa ya GV na uzalishaji wake unaoendelea katika lugha nyingi mbalimbali.

(src)="14.1"> Amp suma , ¡ sapxam yaqhinakaru , uñakipt ´ am sitio web Global Voices Books ukat participapxama !
(trg)="13.1">Tafadhali eneza taarifa hii, tembelea tovuti ya Mradi wa Vitabu wa Global Voices na jihusishe!

# aym/2012_10_4942.xml.gz
# sw/2012_11_uharibifu-nchini-syria-katika-picha_.xml.gz


(src)="1.1"> Siria markan jan walt 'aw utjki ukan jamuqanakapa
(trg)="1.1">Uharibifu Nchini Syria Katika Picha

(src)="1.2"> Aka post ukax Siria markan 2011 / 12 ukan jan waltäwinak utjki ukxatawa .
(trg)="1.2">Makala hii ni sehemu ya habari zetu maalum kuhusiana na Mgogoro wa Syria 2011/12.

(src)="2.1"> Seria markan Fotógrafunakaxa , Siria markan jan walt 'äwinak utjki ukxat jamuqanak apst 'asin uñtayapxi .
(trg)="2.1">Wapiga picha wa Syria kutoka katika maeneo mbalimbali ya nchi wanafichua, kutuma sehemu mbalimbali na kuweka kumbukumbu ya machafuko katika picha zinazoonesha uharibifu uliotokea.

(src)="2.2"> Yatiyäw yatiyirinak taypix juk 'akiw yatisi .
(trg)="2.2">Pamoja na ufinyu wa vitendea kazi vya utoaji habari, habari zinazotoka Syria zinaonesha hali ya kutisha inayowakabili wananchi wa tabaka la chini kabisa na huku wakishuhudia nchi yao inavyoraruliwa na kuachwa vipande vipande.

(src)="2.3"> Uka jamuqanakax kunjamas jan walt 'äwinakax utji uka uñt 'ayañatakiwa .
(trg)="2.3">Pamoja na kuwa hakuna nyenzo za kuweza kuonesha picha hizo zinapatikana wapi wala idadi ya wahanga, zifuatazo ni baadhi ya picha chache zinazoonesha namna miundo mbinu na makazi ya watu yalivyo athiriwa.

(src)="3.1"> Walja futugrafos uñt 'atanakaw uñt 'ayapxi , Yazan Homsy uka Homs ukan jan walt 'ayatw uñt 'ayi .
(trg)="3.1">Miongoni mwa mamia ya wapiga picha, Yazan Homsy ‏ ametushirikisha matukio ya uharibifu wa makazi.

(src)="3.2"> Ukatx akham qillqt 'i :
(trg)="3.2">Anajitambulisha kama:

(src)="3.3"> @ YazanHomsY : Yazan Homsy , ukax Homs ukan yuqapawa , revolución seria markan activistapa Khalidya .
(trg)="3.3">@YazanHomsY: Yazan Homsy, mtoto wa jiji la Homs, mwanaharakati katika mageuzi ya Syria kutoka katika eneo la Khalidya .

(src)="3.4"> Revolución victoria ja ukax martirio uka jikxatañkama .
(trg)="3.4">Mapinduzi mpaka mafanikio au kufa kishahidi.

(src)="3.5"> Jupan Facebookapanw uñt 'ayi Homs uka marakan jach 'a utanak allthaptki uka .
(trg)="3.5">Alituma picha zake katika ukurasa wake wa Facebook, akielezea uharibifu wa majengo katika jiji la Homs.

(src)="3.6"> Akan pä jamuqax taqi iyawsatamp uñt 'ayatawa .
(trg)="4.1">Homs: siku 139 za kuzingirwa kwa majengo 14 jijini Homs.

(src)="4.1"> Homs : markanx 139 urunx 14 jach 'a utanakaw jan walt 'ayata uñjasïna .
(trg)="4.2">Ni miezi sita na wanajeshi wa Assad walitumia kila aina ya milipuko na mabomu ya kutupa katika kuharibu maeneo mbalimbali ya jiji la Homs yaliyokuwa yamezingirwa.

(src)="4.2"> Fuente : Facebook ukana Yazan Homsi .
(trg)="4.3">Chanzo: Ukurasa wa Facebook wa Yazan Homsi .

(src)="4.3"> Iyawsawimp apnaqata .
(trg)="4.4">Imetumiwa kwa ruhusa.

(src)="5.1"> Homs markan nayra qhathupa kunawsati bombardeat ukhamarak phichhantatäk ukhata .
(trg)="5.1">Soko la zamani jijini Homs baada ya kulipuliwa kwa bomu na kuunguzwa.