# ar/2008_10_21_909_.xml.gz
# sw/2008_10_afrika-ya-kusini-vvu-na-ukimwi-na-mabadiliko-ya-sera_.xml.gz


(src)="1.1"> جنوب أفريقيا : حقبة جديدة في الصراع ضد مرض الإيدز وفيروس نقص المناعة البشرية المكتسبة ؟
(trg)="1.1">Afrika ya Kusini: VVU na UKIMWI na mabadiliko ya sera

(src)="1.2"> عيّنت باربارة هوغان في أواخر أيلول / سبتمبر كوزيرة جديدة للصحة في جنوب أفريقيا من قبل الرئيس الانتقالي كجاليما موتلانثيه ، بعد إقالة سلفها المثير للجدل مانتو تشابالالا-مسيمانغ .
(trg)="2.1">Mwishoni mwa mwezi Septemba, Barbara Hogan, aliteuliwa na Rais wa mpito Kgalema Motlanthe kuwa waziri mpya wa afya wa Afrika ya Kusini, akichukua nafasi ya mtangulizi wake mwenye utata mwingi, Manto Tshabalala-Msimang.

(src)="1.3"> ويأمل الناشطون في مجال الإيدز والعديد من مواطني جنوب أفريقيا أن تكون هذه الحركة إشارة على التغيير في سياسات الحكومة المتعلقة بهذا المرض .
(trg)="2.2">Wanaharakati wa masuala ya UKIMWI na raia wengi wa Afrika ya Kusini wana matumaini makubwa kwamba hatua hii huenda ikaashiria mabadiliko ya sera za serikali kuhusu suala la VVU na UKIMWI.

(src)="2.1"> وفي الماضي انتقدت هوغان بشكل علني موقف الرئيس السابق ثابو مبيكي وسياساته المتعلقة بالإيدز وفيروسه .
(trg)="3.2">Tangu kuteuliwa kwake kuwa waziri wa afya, amebadili mwelekeo wa serikali iliyopita kuhusu VVU na UKIMWI na kuapa

(src)="2.2"> وهناك حوالي 5 .
(trg)="5.1">Siku za nyuma Hogan alipata kumkosoa waziwazi Rais wa zamani Thabo Mbeki na msimamo wake juu ya sera ya VVU na UKIMWI.

(src)="2.3"> 7 مليون شخص يعيشون مع فيروس نقص المناعة البشرية في جنوب أفريقيا وتوفي 350,000 شخص من المرض في العام الماضي ( حوالي 1,000 شخض يومياً ) .
(trg)="5.2">Wastani wa watu milioni 5.7 nchini Afrika ya Kusini wanasemekana kuishi na VVU na kiasi cha watu 350,000 walifariki kutokana na UKIMWI mwaka jana nchini humo (wastani wa watu 1,000 kila siku).

(src)="2.4"> وكان يلام تشابالالا-مسيمانغ على سوء الاستجابة لمشكلة الإيدز في جنوب أفريقيا .
(trg)="5.3">Kwa upande mwingine Tshabalala-Msimang amelaumiwa vikali kwa kutofanya juhudi za kutosha kukabili tatizo la VVU na UKIMWI nchini humo.

(src)="2.5"> حيث كان يروج وزير الصحة السابق لجذر الشمندر والثوم وأطعمة أخرى كعلاج للإيدز ، مما دفع الناس لتلقيبه بالدكتور جذر الشمندر ، وقد وجهت له التهم بخلق الارتباك حول العقارات المضادة للفيروسات .
(trg)="5.4">Waziri huyo wa zamani wa afya alihamasisha matumizi ya vyakula kama vile beetroot, vitunguu saumu na vinginevyo kama tiba ya VVU na UKIMWI, jambo lililosababisha watu kumbatiza jina la "Dkt Beetroot", na zaidi ameshutumiwa kwa kusababisha mkanganyo kuhusu matumizi ya dawa za kurefusha maisha (ARV).

(src)="3.1"> ويصف ستيفين في تدوينة على irreverence تشابالالا-مسيمانغ بمدعاة للإحراج على صعيد وطني ويصف هوغان بأنها بارقة أمل .
(trg)="6.1">Stephen, akiandika kwenye tovuti ya irreverence, alimuita Tshabalala-Msimang kama aibu ya taifa na papo hapo akimwita Hogan kama tumaini lililorejea.

(src)="3.2"> شياران باركر والذي يدون في Ciaran ’ s Peculier Blog يتوسع في شرح آراء تشابالالا-مسيمانغ الغريبة :
(trg)="6.2">Ciaran Parker, akitumia blogu yake ya Ciaran’s Peculier Blog, anafafanua kuhusu msimamo wa Tshabalala-Msimang usiokubaliwa na wengi:

(src)="4.1"> وبينما صرح كجاليما موتلانثيه عن رغبته في السعي وراء الاستمرارية فقد تخلص من بعض وزراء مبيكي المثيرين للجدل ، وكان على رأس هؤلاء وزير الصحة الدكتور مانتو تشابالالا-مسيمانغ ، المخطط الرئيسي لسياسات مبيكي المتجاهلة لمرض الإيدز .
(trg)="7.1">“Ingawa Kgalema Motlanthe ameahidi kutoleta mabadiliko makubwa, bado ameatosa baadhi wa mawaziri wenye utata mkubwa waliokuwa kwenye serikali ya Mbeki.
(trg)="7.2">Mmoja wao akiwa ni Waziri wa Afya, Dkt Manto
(trg)="8.1">Tshabalala-Msimang, aliyekuwa mwananadharia mkubwa katika hoja ya Mbeki ya sera za kukana uwepo wa UKIMWI.

(src)="5.1"> رفضت حكومة مبيكي الاعتراف بدور فيروس نقص المناعة في انتشار مرض الإيدز ، ووزير صحة تلك الحكومة صرح أن العقارات المضادة للفيروسات ، والتي أظهرت فاعليتها في مكافحة المرض ، كانت مكلفة جداً .
(trg)="8.2">Serikali ya Mbeki ilikataa katakata kuona uhusiano uliopo kati ya VVU na UKIMWI, na waziri wake wa afya alijenga hoja kwamba hata dawa za kurefusha maisha, ambazo kwa kweli zimeonyesha kusaidia katika juhudi za kukabili gonjwa hili, zilikuwa ghali mno ...

(src)="5.2"> .
(src)="5.3"> وتمت محاربة العاملين في المهن الطبية في جنوب أفريقيا الذين عارضوا بشكل علني نظريات الوزير الغريبة .
(trg)="8.3">Wataalamu wa afya wanaofanya kazi nchini Afrika ya Kusini na ambao walipingana waziwazi na nadharia za kushangaza za waziri huyu walijikuta wakifanywa kuwa wahanga."

(src)="5.4"> وقالت هوغان بشكل علني في وقت سابق من هذا الأسبوع في افتتاح مؤتمر لقاح الإيدز 2008 في كيب تاون أن فيروس نقص المناعة البشرية يسبب مرض الإيدز ويجب علاجه باستخدام الطب التقليدي ، وأضافت قائلة أن الحكومة ملتزمة بالعمل على زيادة برامج منع انتقال الفيروس من الأم إلى الجنين ، وأكدت على الحاجة الملحة لتطوير لقاح فعال لللإيدز .
(trg)="8.4">Mapema juma lililopita, wakati wa uzinduzi wa mkutano juu ya Chanjo ya UKIMWI ya Kimataifa ya 2008 (International AIDS Vaccine 2008) huko Cape Town, Hogan, alitangaza hadharani kwamba VVU husababisha UKIMWI na kwamba ni lazima kukabiliana nao kwa kutumia dawa za hospitalini.
(trg)="8.5">Pia alieleza kwamba serikali ilikuwa na nia ya dhati
(trg)="9.1">kuongeza nguvu katika programu za kuzuia uambukizaji wa kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto, dawa zinazozuia akina mama wajawazito wenye VVU kuwapatia watoto wao ambao hawajazaliwa maambukizo na kueleza kwamba chango madhubuti ya VVU ilikuwa ikihitajika mno.

(src)="6.1"> وعبر العديد من العلماء والناشطين والمدونين عن ارتياحهم وفرحتهم بعد الخطاب الذي ألقته هوغان .
(trg)="10.1">Wanasayansi, wanaharakati na wanablogu wengi wameeleza furaha yao kufuatia hotuba iliyotolewa na Hogan.

(src)="6.2"> حيث قال Haley في تدوينة على adventures as an ambassadorial scholar :
(trg)="10.2">Haley, akiblogu katika tovuti inayoitwa ujasura kama mwanafunzi balozi, ana hili la kusema:

(src)="6.3"> يستغرب معظم الأشخاص الذين أتحدث إليهم أن يقوم مسؤولون حكوميون في حكومة منتخبة ديموقراطياً بانكار فكرة .
(src)="6.4"> .
(trg)="10.3">“Kusema kweli, watu wengi ninaozungumza nao wanashangazwa na jambo hili - kwamba maafisa wa serikali waliochaguliwa kwa njia za kidemokrasi wanakana fikra ... kwamba ...

(src)="6.6"> .
(src)="6.7"> أن فيروس نقص المناعة البشرية يسبب الإيدز .
(trg)="10.4">VVU husababisha UKIMWI.

(src)="6.12"> ويضيف راي هارتلي في تدوينة على The Times , South Africa :
(trg)="10.6">Ray Hartley, anayeandika katika The Times, Afrika ya Kusini, anablogu akiongeza:

(src)="7.1"> " نعرف بأن فيروس نقص المناعة البشرية يسبب الإيدز " بهذه الكلمات أنهت وزيرة الصحة بارابارة هوغان عقداً مخزياً من إنكار الإيدز كلف الجنوب أفريقيين أرواحاً لا تعد ولا تحصى وسبب تهميش حاملي هذا الفيروس .
(trg)="11.2">Kwa kauli hii, Waziri wa Afya, Barbara Hogan, amehitimisha muongo mzima wa aibu ya kukana uwepo wa UKIMWI jambo ambalo limeigharimu Afrika ya Kusini idadi isiyohesabika ya maisha ya binadamu, wakati huohuo wale waliokuwa wakiishi na VVU wakiishia kuishi kana kwamba kwenye kivuli chao wenyewe.”

(src)="7.2"> من الصعب أن نحدد كم هو عدد الأشخاص الذين عانوا بسبب سياسات الحكومة السابقة ، و لكن حملة العمل من أجل العلاج قالت أنه قد توفي مليونا جنوب أفريقي خلال فترة رئاسة مبيكي وأنه كان بالإمكان تجنب 300,000 وفاة على الأقل لو أنه التزم بأبسط المتطلبات الدستورية .
(trg)="11.3">Ni vigumu kueleza idadi kamili ya watu walioathiriwa na sera zilizopita juu ya VVU na UKIMWI, lakini Shirika la Treatment Action Campaign (TAC) (Kampeni ya Kutetea Tiba) linakadiria kwamba kiasi cha raia milioni mbili wa Afrika ya Kusini walikufa kutokana na kuugua UKIMWI katika kipindi ambapo Mbeki alikuwa madarakani, na kwamba walau jumla ya vifo 300,000 vingeweza kuepukwa endapo tu angetimiza baadhi ya mambo ya msingi ya kikatiba.

(src)="8.1"> يقول بعض المدونين أن أيدي كل من مبيكي وتشابالالا-مسيمانغ ملطخة بالدماء .
(trg)="11.4">Baadhi ya wanablogu wanasema kwamba wote wawili, Mbeki na Tshabalala-Msimang wametapakaa damu mikononi mwao.

(src)="8.3"> ، مبيكي بشكل أكبر :
(trg)="11.5">Soneka Kamuhuza, anayeandika kupitia blogu ya Things That Make You Go Mmmh! anamshutumu vikali Mbeki.

(src)="8.4"> لقد لعبت لا مبالاتهم الفكرية ، وقصر نظرهم المتعمد وتظاهرهم بالبساطة بشكل عام دوراً خطيراً ساعد في استمرارية انتشار الوباء .
(trg)="11.6">“Umawazo mgando wao , umbumbumbu wa kukusudia na kujitia kwao kuwa wanyofu kulichochea tu uendelevu wa janga hili.

(src)="8.7"> يقدر اليوم أن جنوب أفريقيا لديها أعلى عدد من الناس المصابين بفيروس نقص المناعة البشرية في العالم .
(trg)="11.8">Hivi sasa inakadiriwa kwamba Afrika ya Kusini inaongoza duniani kwa kuwa na idadi kubwa ya watu wanaoishi na VVU.

(src)="8.8"> بشكل ما أنا أرى أن مبيكي سبب هذا كله .
(trg)="11.9">Kwa namna fulani, naona ushawishi wa Mbeki katika jambo hili ...

(src)="8.9"> .
(src)="8.10"> .
(src)="8.11"> في بلد غني بالثروات الطبيعية ، حرم مبيكي أهم ثروة فيه ، ألا وهي الناس ، من فرصة هامة للتقدم في الصراع مع الإيدز .
(trg)="11.10">Katika nchi ambayo ina utajiri mkubwa wa maliasili, amehadaa rasilimali watu iliyo muhimu sana, kwa kuwanyima fursa ya watu kuamua na kuanza kupambana na tatizo hili la UKIMWI kikamilifu.”

(src)="8.12"> يأمل العديد من الناس أن تستطيع هوغان التخفيف من هذا الضرر .
(trg)="11.11">Wengi wanaamini kwamba Hogan atarekebisha mambo yaliyoharibika kwa sehemu fulani.

(src)="8.13"> تدوينة في peripheries تشير إلى أن العديد من الناس يعتقدون أن فترة إنكار الإيدز المدعومة سياسياً قد انتهت .
(trg)="11.12">Makala katika Peripheries inaonyesha kwamba watu wanatarajia kwamba wakati wa kuwa na ukanaji wa UKIMWI huku ukipewa nguvu na msukumo wa kisiasa nchini Afrika ya Kusini tayari umefikia kikomo.

(src)="8.14"> إلا أن بعض الأشخاص الآخرين يبقون حذرين .
(trg)="11.13">Hata hivyo, wapo ambao hawako kupaparikia mambo haraka hivyo.

(src)="8.15"> يقول BillyC في معرض تعليقه على تدوينة فيThe Times , South Africa :
(trg)="11.14">BillyC, akitoa maoni yake juu ya makala iliyoandikwa katika The Times, la Afrika ya Kusini anasema:

(src)="8.16"> أمام باربارة هوغان مهمة صعبة جداً لإصلاح الضرر المميت الذي تعرضت له الرعاية الصحية في عهد مانتو .
(trg)="11.15">“Barbara Hogan ana kazi kubwa mbele yake ili kurekebisha mambo ambayo kwa kiasi fulani tayari amekwishasababisha madhara kwa mfumo wa afya katika uangalizi wa Manto.

(src)="8.18"> هذا سيتطلب سنوات من العمل المضني الجاد والشجاع لنستعيد نظام الرعاية الصحية بشكل فعال .
(trg)="11.18">Itachukua miaka mingi ya kazi ngumu, yenye kujaa ujasiri na unyoofu ili kuturejesha katika mfumo wa afya ulio wa heshima na wenye ufanisi.

(src)="8.19"> يمكننا فقط أن نتمنى لهوغان حظاً جيداً ، فهي ستحتاجه .
(trg)="11.20">Kusema kweli anaihitaji.”

(src)="8.20"> صورة شرائط الإيدز الجنوب أفريقية من mvcorks على Flickr .
(trg)="11.21">Picha ya Utepe wa Ukimwi wa Afrika ya Kusini imetoka kwa mvcorks katika mtandao wa picha wa Flickr.

# ar/2008_10_29_928_.xml.gz
# sw/2008_10_chile-mkutano-wa-mccain-na-pinochet-mwaka-1985_.xml.gz


(src)="1.1"> تشيلي : اجتماع ماكين مع بينوشيه في عام 1985
(trg)="1.1">Chile: Mkutano wa McCain na Pinochet Mwaka 1985

(src)="1.2"> في عام 1985 قام عضو في الكونجرس الأمريكي اسمه جون ماكين بالسفر إلى تشيلي والتقى بالدكتاتور أوغستو بينوشيه ومسؤولين حكوميين آخرين .
(trg)="1.2">Mwaka 1985, Mbunge wa bunge la Marekani aitwaye John Mccain alizuru nchini Chile na kukutana na mtawala wa kiimla Augusto Pinochet, akiwa na viongozi wengine wa serikali.

(src)="1.3"> وكشف الصحفي جون دينجس عن هذا الاجتماع الذي لم يذكر في وسائل الإعلام سابقاً ، ونشر ما اكتشفه في مدونته CIPER وأيضاُ في Huffington Post ، حيث قام بالكتابة عن جون ماكين " الذي انتقد بشدة فكرة الجلوس مع الدكتاتوريين بدون شروط مسبقة ، بينما يبدو أن هذا هو ما فعله بالضبط .
(trg)="1.3">Mkutano huo ambao haujawahi kuripotiwa hapo awali umewekwa wazi na mwandishi wa habari John Dinges, ambaye amechapisha habari hiyo kwenye blogu yake CIPHER , kadhalika katika blogu ya Huffington Post, ambako huwa anaandika masuala yanayomhusu John McCain "ambaye amekuwa akishutumu vikali dhana ya kuketi na watawala wa kiimla bila ya masharti yoyote, inaonekana kuwa alifanya hivyo na "Pinochet, mmoja wa watawala wakiukaji wa haki za binaadamu ambaye anashutumiwa kuua zaidi ya raia 3,000 na kuwasweka gerezani makumi ya maelfu wengine"

(src)="1.4"> " مع " بينوشيه ، الذي اشتهر بكونه من أسوأ من خرقوا حقوق الإنسان حيث كان مسؤولاً عن قتل أكثر من 3,000 مدني وسجن العشرات من الآلاف الآخرين " .
(trg)="3.2">Mlipuko wa bomu kwenye gari sehemu za Sheridan Cirlce katika mji mkuu wa Marekani ulielezewa wakati huo kama moja ya tendo la kuchefua zaidi katika ugaidi wa kimataifa ambalo limewahi kufanywa na taifa la nje katika ardhi ya Marekani.

(src)="2.1"> ويكتب المدون التشيلي خوان غييرمو تيهيدا عن بعض تفاصيل هذا الاجتماع :
(trg)="4.1">Mabloga wengi wa kutoka Marekani ya Kusini na Chile wanaichapa makala ya John Dinges, kama njia ya kusambaza habari hiyo.

# ar/2009_01_08_1005_.xml.gz
# sw/2009_01_palestina-mawasiliano-na-gaza_.xml.gz


(src)="1.1"> فلسطين : التواصل مع غزّة
(trg)="1.1">Palestina: Mawasiliano na Gaza

(src)="2.1"> في الظروف الطبيعية ورغم نسبة القدرة العالية على القراءة والكتابة ، فإن نسبة استخدام شبكة الانترنت في فلسطين لا تتجاوز الـ 15 بالمئة ( قطاع غزّة والضفة الغربية ) .
(trg)="1.2">Katika mazingira ya kawaida bila kiwango kikubwa cha wanaojua kusoma, usambaaji wa intaneti husimama kati ya asilimia 13 mpka asilimia 15 (Gaza na Ukingo wa Magharibi kwa pamoja).

(src)="2.2"> الهجوم على غزّة على أيّ حال تسبب بانخفاض قدرة الوصول إلى الانترنت بشكل كبير .
(trg)="1.3">Kutokana na mashambulizi yanayoendelea huko huko Gaza, uwezo wa kutumia intaneti umepungua sana.

(src)="2.3"> على الرغم من وجود عدد من المدونين ما زالوا ينقلون الأخبار من قلب غزّة ، العديد من المواطنين لجأوا إلى الرسائل النصية أو اجراء مكالمات هاتفية بعيدة على أمل أن تنقل قصصهم إلى العالم .
(trg)="1.4">Japokuwa kuna idadi ndogo ya wanablogu wanaoandika moja kwa moja kutokea Gaza, wakazi wengine wengi wanatumia ujumbe wa maandishi wa simu za mkononi pamoja na simu nje ya nchi katika matumaini kwamba ushahidi wao utapata sehemu ya kuelezwa.

(src)="3.1"> محمّد ، المتواجد في الضفة الغربية ، ينقل أخبار غزّة منذ عدة أيام ، وكانت نشرته الأولى في التاسع والعشرين من كانون الأول ، حيث يخبرنا :
(trg)="2.1">Mohammad wa KABOBfest, maybe anaishi Ukingo wa Magharibi, amekuwa akiripoti kuhusu Gaza kwa siku kadhaa sasa.
(trg)="2.2">Katika ujumbe wake wa kwanza wa tarehe 29 Desemba, anatuambia:

(src)="4.1"> أردت أن أتصل بأعمامي وأن أطمئن عليهم وعلى عائلاتهم ، ولكنني لم أتمكن من فعل ذلك طوال اليوم ، شعرت بالخوف الشديد من معرفة الحالة التي يمكن أن يكونوا بها .
(trg)="3.1">Nilitaka kuwapigia simu wajomba zangu ili kuwajulia hali wao na familia zao, sikuweza kwa siku nzima.

(src)="4.2"> لكنّ عندما تمكنت من الاتصال بهم ، شعرت بالسرور .
(trg)="3.3">Lakini nilipopiga simu,nilipata mshangao mzuri.

(src)="5.1"> عمّي جاسم أخبرني بأن الأمور أفضل هذا اليوم ، ما زال هناك خوف لكنّ الناس بدأت تستعيد نفسها ، تمكنّا من امتصاص صدمة الهجوم الأول ، وهذا ما يساعدنا على تجاوز اليوم .
(trg)="4.1">Mjomba wangu Jasim aliniambia mambo yalikuwa mazuri zaidi leo, japo kulikuwa na hofu lakini watu wameanza kupata ahueni.

(src)="5.2"> وقال بأنّ السماء كانت هادئة لما يقارب النصف ساعة فوق خان يونس ، لكنّ السفن الحربية تضرب الشاطىء .
(trg)="4.2">Tumeweza kuhimili mshtuko wa shambulio la kwanza, alisema, na hiyo imetusaidia kustahimili hii leo.

(src)="6.1"> صوته كان قوياً ، كما كان عندما اعتدت أن أتكلم معه في أيّ وقت قبل حدوث المجزرة ، وأخبرني بأن لا أقلق كثيراً .
(trg)="4.3">Alisema anga imekuwa kimya kwa muda wa saa moja na nusu hivi huko Khan Younis, lakini meli za kivita zilikuwa zinaendelea kushambulia sehemu za mwambao.Sauti yake likuwa imara, kama vile ilivyokuwa wakati wowote kabla ya mauaji kuanza, na aliniambia nisihofu sana.

(src)="7.1"> ليس لديهم كهرباء كالعادة ، فأخبرته عن المظاهرات والصدامات في الضفة الغربية والدعم المتدفق من حول العالم .
(trg)="4.4">Hawakuwa na umeme kama kawaida, nikamueleza juu ya maandamano na ghasia zinazotokea Ukingo wa Magharibi na mvua za kuungwa mkono zinazomwagika duniani kote.

(src)="7.2"> أخبرته بأنه لم ينساهم أحد ، وكان ردّه بأن أصلّي لهم قدر ما أستطيع .
(trg)="4.6">Wanawe wadogo walikuwa bado wamelala, lakini binti zake, Haneen na Yaqeen walikuwa bado wapo macho.

(src)="7.4"> اتصلت بعدها بعمّي محمود ، البارحة أخبرني بأنه ينتظر الموت .
(trg)="4.9">Jana aliniambia kuwa anasubiri kifo.

(src)="7.5"> حيث اتصل الجيش الاسرائيلي معه وأخبره بأنهم سيقومون بقصف منزله خلال بضعة دقائق .
(trg)="4.10">Waisraeli walimpigia simu na kumwambia kuwa wangeipiga mabomu nyumba yake katika dakika chache.

(src)="7.6"> لقد جعلنا ذلك جميعاً في رعب شديد ، لكنه اليوم أخبرني بأنه من الواضح بأنّ الجيش الاسرائيلي أرسل تلك الرسائل لعشرات الآلاف من المنازل .
(trg)="4.11">Alituacha sote tukiogopa, lakini leo alituambia kuwa kumbe Waisraeli waliwapigia simu za namna hiyo kwenye makumi ya maelfu ya nyumba.

(src)="7.7"> إنه تكتيك ساديّ وقاسي ، صمم لارهاب مئات آلاف المدنيين داخل منازلهم .
(trg)="4.12">Ni mbinu ya utesi na ukatili, iliyoundwa ili kuwagaidi makumi ya mjaelfu ya raia wakiwa majumbani mwao.

(src)="8.1"> لكنّ أمله خاب لاحقاً .
(trg)="4.13">Lakini matumaini haya mara yalitoweka.

(src)="8.2"> في الثالث من كانون الثاني ، كتب محمد مرة أخرى :
(trg)="4.14">Mnamo tarehe 3, Januari, Mohammed aliripoti tena:

(src)="9.1"> تمكنت من الوصول مرة أخرى إلى عمّي محمد في مدينة غزّة .
(trg)="4.15">Nimeweza kumfikia mjomba wangu Mahmood kwa mara nyingine tena mjini Gaza.

(src)="9.2"> وخلال المكالمة الهاتفية ، كنت أسمع صوت انفجار كلّ عشرين ثانية أو أقل .
(trg)="4.16">Wakati wote tuliokuwa tukiongea kwenye simu, mlipukjo ulisikika kila baada sekunde kama 20 hivi.

(src)="10.1"> في برودة الليل القارسة ، الرعب هو الوحيد الذي يلفّ أهلّ غزّة ، وخصوصاً مدينة غزّة .
(trg)="4.17">Katika baridi kali ya usiku, vitisho vinawafunika watu wa Gaza, na hasa ndani ya jiji la Gaza.

(src)="10.2"> صوت اطلاق النار والانفجارات تؤطر سماء موشحة بالسواد التي يملأها ضجيج الطائرات الحربية وهجمات المروحيات .
(trg)="4.18">Milio ya bunduki na milipuko inaiwamba mandhari ya anga jeusi yenye miungurumo ya ndege za kijeshi zisizoonekana na pia helikopta za kijeshi.

(src)="11.1"> لا أحد يعلم مالذي يتم ضربه ، أخبرني عمّي بأنّ الانفجارات طالت جميع الأرجاء من حولهم ، بالقرب منهم أو بعيداً عنهم ، من جميع الجوانب ، والاذاعة المحلية ، التي كانت حتى الآن ممتازة في التقرير عن ماذا يحدث على الأرض ، لم تتمكن من تحديد ماهية الأهداف التي يتم استهدافها .
(trg)="4.19">Hakuna anayejua ni nini kinachopigwa.
(trg)="4.20">Mjomba wangu nananiambia kumekuwa na milipuko katika sehemu zote zinazowazunguka, Karibu na mbali, kutoka kila upande, hata idhaa ya redio yao, ambayo imekuwa ikifanya kazi nzuri ya kuwaeleza ni nini kinachoendelea, haiwezi tena kueleza kwa hakika ni nini kinacholengwa na kupigwa.

(src)="11.2"> لا أحد متأكد فيما إذا كانت الغارات تستهدف المنازل ، أو المساجد ، أو حتى المناطق المقصوفة سابقاً ، لذلك لا أحد يدرك إن كان هناك تغيير في التكتيك ان حدث .
(trg)="4.21">Hakuna anyejua kama mashumbulizi hayo ya anga yazilenga nyumba za watu, majengo, miskiti au sehemu ambazo zilishashambuliwa awali, kwa hiyo hakuna nayejua kama mbinu zimebadilika au la.

(src)="11.3"> في الحرب ، سواء بالنسبة للمدنيين أو الجنود ، لا يوجد شيء أكثر رعب من أن لا تعرف .
(trg)="4.22">Katika vita, kwa raia kama vile ilivyo kwa wanajeshi, hakuna linalotisha zaidi kama kutokujua.

(src)="11.4"> في تدوينة ثالثة ، يفصّل اتصالاته مع العديد من أفراد العائلة من حول غزّة ، ويقارن الوضع على الأرض من مدينة غزّة إلى خان يونس ، ويصف اتصاله مع زوجة عمه :
(trg)="4.23">Katika ujumbe wake wa tatu, anasimulia kwa undani mazungumzo ya simu na wanafamlia wake walioko Gaza, akilinganisha hali ilivyo kutokea jijini Gaza mpaka Khan Younis.

(src)="12.1"> لقد تكلمت مع أريج مجدداً .
(trg)="4.25">Niliongea tena na Areej.

(src)="12.2"> وقد هدأت بطريقة ما ، لكنها مع ذلك تبدو خائفة للغاية ، وسألتها عن الصغار ، قالت بأن الطفل يزيد نائم بجانبها .
(trg)="4.26">Amepoa kwa kiasi Fulani, lakini alikuwa bado na hofu.
(trg)="4.27">Nilimuuliza kuhusu watoto.
(trg)="4.28">Akasema, mtoto, Yazeed, alikuwa amelala pembeni yake.

(src)="12.3"> دينا أيضاً كانت نائمة ، وقد طلبت أمهم من ندى وهيا أن يذهبوا إلى غرفتهم ، حيث من الممكن أن يكون ذلك أكثر أمناً .
(trg)="4.29">Dina pia alikuwa amelala, na mama yao amewaambia Nada na Haya kwenda chumbani kwao ambako panaweza kuwa salama zaidi.

(src)="13.1"> سألتهم إذا كانوا يشعرون بالدفء والنوافذ مفتوحة بشكل دائم أمام الرياح ، وردّت بأنهم عندما ينامون يرتدون ما أمكنهم من اللباس ، ثم يلتحفون بأكثر عدد ممكن من الأغطية ، لكن خلال النهار والمساء يشعرون بالبرد الشديد .
(trg)="4.30">Nilimuuliza ikiwa wapata joto ikiwa madirisha yao yako wazi wakati wote yakipitisha upepo, akaniambia wakati wakilala wanajifunika na na tabaka nyingi za mablanketi kadiri inavyowezekana, lakini wakati wa mchana na jioni baridi si kali sana.

(src)="13.2"> سألتها حول أدهم ، ابنها ذو الـ 11 سنة ، ردّت بأنه فرد ألعابه على نور شمعتين صغيرتين ويحاول اللعب رغم البرد ، والرعب ، والقصف ، والموت ، والصدمة ، يحاول أن يلعب بألعاب الليغو والسيارات ، وبعض من ألعاب الجنود .
(trg)="4.31">Nilmuuliza kuhusu Adham, mwanawe mwenye umri wa miaka 11.
(trg)="4.32">Aliniambia kuwa mwanawe amewasha mishumaa miwili na amesambaza wanasesere wake anajaribu kucheza, pamoja na baridi na hofu na makombora na vifo na athari.

(src)="13.3"> لم أحاول سؤالها عن ماذا يفعل بالجنود ، لم أكن أريد أن أعلم .
(trg)="4.33">Alikuwa na vifaa vya kuchezea vya Lego, na magari pamoja na sanamu za wanajeshi.

(src)="14.1"> بنت بطوطة من البحرين وهي محررة في أصوات عالمية ، عائشة سالدانها كانت تنشر تحديثات من أصدقائها في غزّة .
(trg)="4.36">Mwandishi wa Global Voices Ayesha Saldanha wa blogu ya Bint Battuta wa Bahrain pia amekuwa akipandisha makala kutoka kwa marafiki zake walioko Gaza.

(src)="14.2"> وقد كانت رسالة صديقها حسن عبر سلسلة من الرسائل القصيرة اليوم :
(trg)="4.37">Ujumbe wa leo wa SMS kutoka kwa rafiki yake Hasan una mstari wa mwisho unaoleza wazi:

(src)="15.1"> 6 : 30 صباحاً : " لا الخطوط الأرضية ولا الكهرباء يعملان .
(trg)="5.1">12.30 asubuhi: Si simu ya ndani wala ya umeme vinavyofanya kazi.

(src)="15.3"> ربما يكونوا بالقرب منّا ، لا نعلم .
(trg)="6.1">2.20 asubuhi: "Bado havijafika karibu.

(src)="16.1"> 8 : 20 صباحاً : " ما زالوا غير قريبين ، أتمنى ذلك ، اذا استمرت الكهرباء منقطعة كما في غزّة ، لن نتمكن ، ما زلت أحاول الاتصال مع أختي أو ارسال رسالة لها لكن دون جدوى "
(trg)="6.3">Kama umeme ukiendelea hivi kama gaza hatutaweza.
(trg)="6.4">Najaribu kumpigia simu au kumuandikia ujumbe wa simu ya mkononi dada yangu bila mafanikio"

(src)="17.1"> 1 .
(src)="17.2"> 30 مساء : " سألتني زوجتي ، لماذا أعبس .
(trg)="7.1">7.30 mchana: "mke wangu kaniuliza kwa nini nakunja sura.

(src)="17.4"> بعد أن أصبحت حاجات منزلنا اليوم كثيرة ، من دواء ، طعام ، أدوات تنظيف ، قررت النزول للسوق ، على الرغم من أنهم استهدفوا سوقاً في غزّة ، وقتلوا خمسة وجرحوا مجموعة من الناس ، دخلت السوق وقد ضربت الاف16 منزلين بالقرب من السوق .
(trg)="7.6">Waliua watu 5 na kujeruhi kundi la watu.
(trg)="7.7">Nilipoingia tu sokoni ndege ya F-16 ikazipiga nyumba 2 karibu kabisa na soko.
(trg)="7.8">Kila mtu alifikiri kama nilivyofikiri mimi.

(src)="17.5"> شعر الجميع مثلي ، امّا السوق أو المسجد ، شعرت بالرعب .
(trg)="7.9">Kama sio soko basi itakuwa Msikiti.

(src)="17.6"> اشتريت نصف حاجيتنا ، وهرعت للمنزل .
(trg)="7.11">Nikanunua nusu tu ya mahitaji yetu na kuharakia nyumbani.

(src)="17.7"> وفي الطريق قاموا بضرب منزل آخر بالقرب من منزلي .
(trg)="7.12">Wakati niko njiani wakapiga nyumba nyingine karibu na nyumba yangu.

(src)="17.8"> الدبابات قصفت بلا هوادة الليلة الماضية ، لقد شعرنا بقلق شديد " .
(trg)="7.13">Vifaru vilipiga sana jana usiku mapaka tukawa tunaogopa.

(src)="17.9"> 6 : 30 مساء : " في حال ساءت الأوضاع ، سأضع بطاقة خطّي في جوّال زوجتي ، طائرة الـ اف16 تقصف حالياً ، وصوت سيارة الاسعاف يدوي في الأرجاء ، كلّ يوم أسوأ من الذي قبله "
(trg)="7.14">12.30 jioni: " kama mambo yataendelea kuwa mabaya nitaitia kadi yangu ya simu kwenye simu ya mke wangu.
(trg)="7.15">Ndege za F-16 zinapiga hivi sasa.

# ar/2009_01_07_1002_.xml.gz
# sw/2009_01_palestina-shule-ya-umoja-wa-mataifa-yashambuliwa-na-makombora-ya-israeli-zaidi-ya-40-wafariki_.xml.gz


(src)="1.1"> فلسطين : مدرسة للأمم المتحدة ضُربت بقذائف اسرائيلية ، تسببت بمقتل أكثر من 40 شخصاً
(trg)="1.1">Palestina: Shule ya Umoja wa Mataifa Yashambuliwa na Makombora ya Israeli, Zaidi ya 40 wafariki

(src)="2.1"> تقريباً في الساعة السادسة ، صرّحت الجزيرة الانكليزية بأن مدرسة تابعة للأمم المتحدة تم ضربها بقذيفتين من قذائف الدبابات وذلك عندما انفجرتا في محيط المدرسة ، المدرسة وهي موجودة في جباليا ، تم تهيئتها لتكون ملجأ لأهل غزّة الذين شُرّدوا أو قاموا باخلاء منازلهم .
(trg)="1.2">Takriban majira ya saa 12 za jioni (GMT +2), Idhaa ya Kiingereza ya Al Jazeera iliripoti kuwa shule moja ya Umoja wa Mataifa ilipigwa wakati makombora mawili ya vifaru yalipolipuka nje ya shule hiyo.

(src)="2.3"> com ) بأنّ احداثيات مدارس الأمم المتحدة قد سُلّمت للجيش الاسرائيلي مسبقاً .
(trg)="1.4">Kwa mujibu wa idhaa ya Kiingereza ya Al Jazeera, zaidi ya watu 40 wameuawa.

(src)="3.1"> الفلسطيني قام بالاشارة بسرعة إلى الحادثة :
(src)="4.1"> العناصر الطبية قالت بأنّ عدد الضحايا الذين سقطوا جراء الضربة الاسرائيلية على مدرسة الأمم المتحدة في غزّة ، ارتفع إلى 30 .
(trg)="1.5">Katika idhaa ya televisheni ya Kiingereza ya Al Jazeera (inayopatikana duniani kote kupitia Livestation.com) ilitangazwa kuwa jeshi la Israeli, IDF limepewa ramani za setilaiti, GPS, za mashule ya Umoja wa Mataifa.

(src)="5.1"> وقد كانت الضربة على بعد 10 أمتار من المدرسة في شمالي غزّة ، وكانت الضربة الثانية هي القاتلة في الهجوم على مدرسة الأمم المتحدة خلال الساعات القليلة الماضية .
(trg)="3.1">Waganga na maafisa wa afya wanasema idadi ya waliofariki kutokana na shambulio hilo la anga la Israeli nje ya shule ya Umoja wa Mataifa kwenye ukanda wa Gaza imefikia 30.

(src)="6.1"> مدير المشفى بسّام أبو ورد ، أكدّ أنّ الضربة الثانية هي التي تسببت بقتل 30 فلسطيني .
(trg)="4.1">Shambulio hilo lilitokea kama yadi 10 hivi (mita) nje ya shule huko kaskazini mwa Gaza.

(src)="7.1"> في كلتا الحالتين ، المدارس تستعمل كملجأ للسكان الذين شُرّدوا بسبب الاعتداءات الاسرائيلية .
(trg)="4.2">Ni shambulio la pili la Israeli lililopiga shule ya Umoja wa mataifa katika masaa machache yaliyopita.

(src)="8.1"> مسؤول رفيع في هيئة الاغاثة في الأمم المتحدة ، أدان هذا العنف وطالب بالتحقيق .
(trg)="5.1">Mkurugenzi wa hospitali Bassa Abu Warda alithibitisha vifo 30 kutokana na shambulio la pili.

(src)="8.2"> اسرائيل لم تعلّق على الحدث .
(trg)="6.1">Katika mashambulio yote mawili, shule hizo zilitumiwa kama hifadhi ya watu waliopoteza makazi yao kutokana na mashambulizi ya Israeli.

(src)="9.2"> قُتل 40 شخصاً الآن جراء القصف الاسرائيلي لمدرسة الأمم المتحدة في غزّة .
(trg)="7.1">Afisa mmoja wa ngazi za juu wa Umoja wa Mataifa amelaani unyama huo na kutaka uchunguzi ufanywe.

(src)="9.3"> حيث تم منح 400 فلسطيني الملجأ هناك من قبل الأمم المتحدة .
(trg)="7.2">Israeli haijatoa maoni yoyote.

(src)="10.1"> مستخدم تويتر دومينيس-كامب-بيل من لندن ردّ بقوّة على الخبر أيضاً :
(trg)="7.3">Blogu ya Syria News Wire kadhalika iliripoti kwa haraka ikieleza:

(src)="12.1"> وننتهي مع مستخدم تويتر هالو-فكتي الذي عبر عن صدمته حول قلة ردود الفعل القوية :
(trg)="7.6">Mtumiaji wa huduma ya Twita domoniccampbell, aliyeko mjini London, alitoa maoni makali kuhusiana na taarifa hiyo:

(src)="13.1"> الترجمة للصورة بالأعلى : بانتظار احتجاج عنيف للمجتمع الدولي - انها مدرسة تابعة للأمم المتحدة في غزّة ، هذا جنون مطلق !
(trg)="9.1">Mtumiaji wa Twita wa Kifini haloefekti anaelezea kustushwa kwake na uhaba wa shutma kuhusu shambulio hilo:

# ar/2009_01_24_1012_.xml.gz
# sw/2009_01_ugiriki-malalamiko-kuhusu-usafirishwaji-wa-silaha-kuelekea-israeli_.xml.gz


(src)="1.1"> اليونان : استنكار شحنة الأسلحة إلى إسرائيل
(trg)="1.1">Ugiriki: Malalamiko Kuhusu Usafirishwaji wa Silaha kuelekea Israeli

(src)="1.2"> مع اشتعال الحرب في غزة ، أظهرت التقارير الإخبارية في وقت سابق هذا الشهر إرسال شحنة أسلحة أضخم من المعتاد مرسلة من الولايات المتحدة إلى إسرائيل عن طريق مرفأ استاكوس اليوناني الخاص ، وهذا سبّب هياج المدونين اليونانيين .
(trg)="1.2">Wakati vita vikiendelea huko Gaza, taarifa zilizotolewa mwanzoni mwa mwezi kuhusu usafirishwaji wa shehena kubwa ya silaha kutoka Marekani kuelekea Israeli kupitia bandari ya Astakos huko Ugiriki zimezua kelele kutoka kwa wanablogu wa Kigiriki.