# pt/2008_08_19_angola-brasil-um-choque-cultural_.xml.gz
# sw/2008_08_angola-brazil-mshituko-na-utengano-wa-kitamaduni_.xml.gz


(src)="1.1"> Angola , Brasil : Um choque cultural
(trg)="1.1">Angola, Brazil: Mshituko na Utengano wa Kitamaduni

(src)="3.1"> Escravo em madeira esculpido por Luiz Paulino da Cunha .
(trg)="2.1">Kinyago cha mtumwa mweusi kilichochongwa na Luiz Paulino da Cunha.

(src)="3.2"> Foto do Children At Risk Foundation
(trg)="9.1">Mtoto wa miaka 12 Naomi Leonardo de Queiros, Picha kwa hisani ya Asasi ya Watoto Walio Hatarini.

(src)="4.3"> De acordo com a Associação de Empresas Brasileiras em Angola ( AEBRAN ) , os negócios entre os dois países cresceram seis vezes desde 2002 .
(trg)="3.3">Kwa mujibu wa Chama cha Makampuni ya KiBrazili nchini Angola (AEBRAN), biashara kati ya mataifa mawili haya imekuwa kwa mara sita zaidi tangu mwaka 2002.

(src)="5.1"> Com o fortalecimento dos negócios , a presença de empresas brasileiras em solo angolano também cresceu .
(trg)="4.1">Kutokana na kuongezeka huko kwa biashara, uwepo wa makampuni ya Brazili nchini Angola pia kumeongezeka.

(src)="5.2"> E como consequência , a imigração do Brasil para a Angola também aumentou - em 70 % nos últimos cinco anos .
(trg)="4.2">Kumepelekea, pia ongezeko la uhamiaji kutoka Brazili kwenda Angola kwa kadri ya asilimia 70 kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita.

(src)="5.3"> Estima-se que 5.000 brasileiros estejam registrados em Angola , a maioria deles trabalhando para empresas dos setores de construção , mineração e agricultura .
(trg)="4.3">Inakadiriwa kuwa kuna Wabrazili 5,000 waliosajiliwa nchini Angola haswa wanaojishughulisha na masuala ya ujenzi, uchimbaji madini na biashara za mazao ya kilimo.

(src)="5.4"> Esse novo capítulo na história de Angola , país estava mais acostumado com imigração no sentido oposto do Atlântico , leva a um inevitável choque cultural , tanto para brasileiros quanto para angolanos .
(trg)="4.4">Maendeleo haya mapya katika historia ya Angola, nchi iliyozoea kuwa na uhamiaji kuelekea ng'ambo nyingine ya Atlantiki, yanapelekea kwenye mtikisiko wa kiutamaduni usioweza kuepukika kwa wote, Wabrazili na Waangola pia.

(src)="6.1"> Veja abaixo duas postagens completas , que mostram perspectivas diferentes de um povo lançando um olhar sobre o outro , levantando questões sobre imigração , racismo , etnicidade e respeito mútuo .
(trg)="5.1">Hapa chini kuna habari zilizopachikwa katika kurasa za blogu mbili zikionyesha mitazamo tofauti baina ya watu wawili kwa kuibua masuala muhimu kama uhamiaji, ubaguzi wa rangi, ukabila na heshima miongoni mwa watu.

(src)="6.2"> Acima de tudo , elas ilustram um relacionamento complexo e amplo - com todas as inevitáveis similaridades e diferenças - entre esses dois irmãos que crescem separados por um oceano .
(trg)="5.2">Zaidi ya yote, wanabainisha mahusiano ya namna mbalimbali na yenye mchanganyiko - kwa kuwianisha yale yanayofanana na yanayotofautiana - miongoni mwa watoto hao waliotenganishwa na bahari wakati wa makuzi yao.

(src)="8.1"> Escravo em madeira esculpido por Luiz Paulino da Cunha .
(trg)="7.1">Kinyago cha mtumwa mweusi kilichochongwa na Luiz Paulino da Cunha.

(src)="8.2"> Foto do Children At Risk Foundation
(trg)="9.1">Mtoto wa miaka 12 Naomi Leonardo de Queiros, Picha kwa hisani ya Asasi ya Watoto Walio Hatarini.

(src)="10.2"> Optimista de que os episódios de violência do passado não voltarão a acontecer .
(trg)="8.3">Nina matumaini kwamba matukio ya vurumai yaliyowahi kutokea huko nyuma hayatatokea tena.

(src)="10.3"> Qualquer um é unânime em concordar que o país precisa de paz para prosseguir com o crescimento económico , desenvolvimento , qualidade de vida dos cidadãos .
(trg)="8.4">Kila mmoja anakubaliana kuwa taifa linahitaji amani ili kuweza kufuatilia makuzi ya uchumi, maendeleo, hali bora ya maisha.

(src)="10.4"> Talvez este último seja o objectivo mais “ esquecido ” .
(trg)="8.5">Labda maisha bora ni lengo lililokwishasahaulika.

(src)="10.5"> Contudo , o acontecimento aproxima-se .
(trg)="8.6">Hata hivyo, tukio linakaribia.

(src)="10.6"> 5 de Setembro foi a data escolhida e qualquer um está com muita expectativa .
(src)="10.7"> Angolano ou estrangeiro .
(trg)="8.7">Septemba 5 ni siku iliyochaguliwa na kila mmoja anasubiri kwa hamu awe raia wa Angola au wa nje.

(src)="12.1"> Vivo num condomínio em que sou a única estrangeira .
(src)="12.2"> Todos os outros vizinhos são negros , pertencentes a uma classe que eu não consigo identificar .
(trg)="8.8">Ninaishi katika eneo ambalo mimi peke yangu ni mgeni kutoka nje ya nchi. wengine wote ni watu weusi, waliopo katika tabaka ambalo siwezi kujitambulisha nalo.

(src)="12.3"> Não são ricos nem pobres .
(trg)="8.9">Siyo matajiri na wala siyo masikini.

(src)="12.4"> Mas também não são classe média .
(trg)="8.10">Lakini hawako kwenye tabaka la kati pia.

(src)="12.5"> Eu diria que são mais pobres do que ricos , segundo os meus padrões .
(trg)="8.11">Naweza kusema ni masikini zaidi kuliko matajiri, kwa mujibu wa viwango vyangu.

(src)="12.6"> Mas , são ricos o suficiente para terem água nos reservatórios , gerador , carros e comida na mesa .
(trg)="8.12">Hata hivyo, ni matajiri kiasi kuweza kuwa na hifadhi za maji, majenereta, magari na vyakula katika meza zao.

(src)="12.7"> Num dos últimos fins-de-semana , houve festa numa das casas do condomínio .
(trg)="8.13">Katika moja ya wikiendi zilizopita, kulikuwa na sherehe katika kaya mojawapo.

(src)="12.8"> Ao que parece , um aniversário .
(trg)="8.14">Ilikuwa ni hafla ya kuadhimisha kuzaliwa.

(src)="12.9"> Arrependi-me da minha opção em ficar em casa , nessa noite de Sábado .
(trg)="8.15">Ninajuta kushinda nyumbani siku hiyo.

(src)="14.1"> A festa prolongou-se até de madrugada com o DJ a esmerar-se na escolha das músicas .
(trg)="8.16">Hafla hiyo iliendelea mpaka mapambazuko na mcheza santuri (DJ) alichagua miziki kabambe.

(src)="14.2"> Para meu desespero já que tinha decidido ficar em casa para dormir cedo .
(trg)="8.17">Nilijijutia kwa sababu nilikuwa nimekwishaamua kubaki nyumbani na kulala mapema.

(src)="14.3"> Depois de chegar das compras , por volta das 10h da noite , vi que no meu lugar de estacionamento tinha outro carro .
(trg)="8.18">Baada ya kurejea nyumbani nikitokea dukani majira ya saa nne hivi usiku, nikaona gari moja likiwa limeegesha katika sehemu yangu ya maegesho.

(src)="14.4"> Não pedi para tirarem mas antes , para darem um “ jeitinho ” ( à boa maneira do Norte ) para que pudessem ficar os dois .
(src)="14.5"> O meu e o do convidado .
(trg)="8.19">Sikuwaambia waondoe gari lao, lakini nikatafuta "suluhisho la haraka" (katika desturi nzuri ya kaskazini) ili kwamba yaendelee kuwepo pale. langu na lile la mgeni.

(src)="14.6"> O convidado , nitidamente bêbado , mandou-me esperar e voltou à festa , supostamente em busca da chave .
(trg)="8.20">Mgeni, ambaye ni wazi alikuwa amelewa, aliniacha nikisubiri na akarejea kwenye hafla, kwa madai ya kutafuta funguo za gari.

(src)="14.7"> Minutos depois , tinha-se esquecido do meu pedido e já dançava junto com os outros .
(trg)="8.21">Dakika chache baadaye, alisahau ombi langu na alikuwa akisakata muziki wa dansi na watu wengine.

(src)="16.1"> Consegui resolver a questão de outra forma mas , confesso que não gostei da atitude .
(trg)="8.22">Nilimudu kukabiliana na suala lile angalau kidogo, lakini ni lazima nikiri sikupenda tabia yao.

(src)="16.2"> Esta história ilustra a minha verdadeira preocupação .
(trg)="8.23">Habari hii inabainisha hofu zangu.

(src)="16.3"> Não tenho dúvidas que as eleições vão dar lugar a muita bebedeira , festa , comportamentos exagerados .
(trg)="8.24">Sina shaka kwamba uchaguzi utaleta kiwango kikubwa cha ulevi, hafla kadhaa na tabia za hovyo.

(src)="16.4"> E isso preocupa-me .
(trg)="8.25">Na hilo linanitia hofu miye.

(src)="16.5"> Se até agora nunca tinha sentido desconforto por morar num local onde a minha casa é a única de “ brancos ” , nessa noite percebi que as “ biricocas ” podem desencadear episódios desconfortáveis mesmo em locais onde nos sentimos bem .
(src)="18.1"> Escravo em madeira esculpido por Luiz Paulino da Cunha .
(trg)="8.26">Kama mpaka sasa sijapata kuhisi kukosa raha kwa kuishi kwenye maeneo ambayo nyumba yangu pekee ndiyo makazi ya mtu mweupe, niligundua usiku ule kwamba hafla zinazochangamshwa na pombe zinaweza kuleta matukio ya usumbufu, hata katika sehemu tunazojihisi vyema.

(src)="18.2"> Foto do Children At Risk Foundation
(trg)="9.1">Mtoto wa miaka 12 Naomi Leonardo de Queiros, Picha kwa hisani ya Asasi ya Watoto Walio Hatarini.

(src)="19.1"> Segue abaixo uma perspectiva diferente , sobre outra festa e o novo cenário migratório , por Gil Gonçalves , cidadão angolano :
(trg)="10.1">Hapa chini kuna mtizamo tofauti, kuhusu hafla nyingine na taswira nzima ya uhamiaji huu mpya na Gil Gonçalves , raia wa Angola:

(src)="20.1"> Em Luanda , as empresas brasileiras praticam o subimperialismo americano .
(trg)="10.2">Jijini Luanda, Kampuni za Brazil zinajihusisha na ubeberu wa Marekani.

(src)="20.2"> O Brasil é uma colónia dos EUA .
(trg)="10.3">Brazil ni koloni la Marekani.

(src)="20.3"> Muitos … mas mesmo muitos brasileiros chegaram , chegam a Luanda , como sardinhas enlatadas .
(trg)="10.4">Wengi, kwa kweli raia wengi wa Brazili wameshawasili na wanazidi kuwasili Luanda kama samaki wa kopo.

(src)="21.1"> Na Movicel , empresa de telecomunicações onde detêm as garras no marketing , mandam vir os seus irmãos e irmãs , como técnicos altamente especializados .
(trg)="10.5">Kule Movicel, kuna kampuni ya mawasiliano ambako wanashikilia imara idara ya masoko, wanawaleta kaka na dada zao kama vile ni wataalamu wenye ujuzi wa juu wa masuala ya teknolojia.

(src)="21.2"> Os luandenses ensinam-nos a trabalhar , pois os pobres chegam aqui analfabetos .
(trg)="10.6">Watu wa Luanda ndiyo wanawafundisha jinsi ya kufanya kazi, kwa sababu masikini watu hao wamefika hapa wakiwa hawajui kusoma.

(src)="21.3"> No Brasil parece não existirem universidades , ou então as existentes não funcionam .
(trg)="10.7">Nchini Brazili inaonekana kama vile hakuna Vyuo Vikuu au kama vipo basi havifanyi kazi.

(src)="21.4"> Ganham milhares de dólares , com direito a milhares de mordomias .
(trg)="10.8">Wanapata mishahara katika maalfu ya dola za kimarekani na wana haki ya kupata maalfu marupurupu ya anasa.

(src)="21.5"> E os luandenses míseros dólares .
(trg)="10.9">Na wa-Luanda wanalipwa dola kiduchu.

(src)="21.6"> Há que manter o legado colonial .
(trg)="10.10">Mfumo wa kikoloni lazima udumishwe.

(src)="21.7"> Brasileiros e brasileiras infestaram um hotel , é só deles e delas .
(trg)="10.11">Wanaume na wanawake wa Kibrazili wamevamia hoteli, iko kwa ajili ya miliki yao tu.

(src)="21.8"> Elas fumam bwe , parecem vulcões em permanente actividade .
(trg)="10.12">Wanavuta sana (sigara), wanfanana na volkeno inayolipuka wakati wote.

(src)="21.9"> De vez em quando dão festa no terraço .
(trg)="10.13">Kila mara wanaangusha pati kwenye kiwambaza.

(src)="21.10"> Como bons analfabetos sociais imprimem desalmado som musical que permite aos colonizados luandenses não dormirem .
(trg)="10.14">Kama watu wasio na elimu ya masuala ya kijamii wanapiga wanaporomosha miziki miovu inayowakosesha usingizi watwana wa Luanda.

(src)="21.11"> Eles e elas não sabem , fingem não saberem , que em Luanda poluição sonora é crime .
(src)="21.12"> Estrangeiros que não respeitam as leis do país de acolhimento tem direito à expulsão .
(trg)="10.15">Hawajui, wanajifanya hawajui , kwamba jijini Luanda uchafuzi wa mazingira kwa kupiga kelele ni kinyume cha sheria na ni kosa la jinai., Wageni wasioheshimu sheria za nchi walizofikia wanastahili kutimuliwa.

(src)="21.13"> Mas como isto é deles e de alguns amigos luandenses …
(trg)="10.16">Lakini kwa kuwa inamilikiwa nao na baadhi ya marafiki zao kutoka Luanda…

(src)="21.14"> O espanto nisto tudo é que eles e elas “ brasileirada ” são todos … brancos e brancas .
(trg)="10.17">Cha kushangaza katika yote haya ni kwamba Wabrazil… wote ni weupe.

(src)="21.15"> Cadê os negros ?
(trg)="10.18">Wako wapi wanaume weusi?

(src)="21.16"> As negras ?
(trg)="10.19">Wananawake weusi?

(src)="21.17"> Fugiram para o quilombo do Zumbi dos Palmares ?
(trg)="10.20">Je wamekimbia kutoka Zumbi quilombo?

(src)="21.18"> Foram deportados para um campo de concentração nazi ?
(trg)="10.21">Hivi walipelekwa katika makambi ya ya maangamizi ya Nazi?

(src)="21.19"> Esconderam-nos na floresta do Amazonas ?
(trg)="10.22">Au wamejificha katika misitu ya Amazoni?

(src)="21.20"> Exterminaram-nos ?
(trg)="10.23">Au wameangamizwa?

(src)="21.21"> Estão proscritos ?
(trg)="10.24">Je hivi hawatakiwi au ni haramu?

(src)="21.22"> Enfeitam algum jardim zoológico ?
(trg)="10.25">Au wanapamba maonyesho ya wanyama mwitu?

(src)="21.23"> Deitaram-nos ao mar ?
(trg)="10.26">Au wametupwa baharini?

(src)="21.24"> Porque não tem a coragem de afirmar publicamente que negro brasileiro não existe no Brasil !
(trg)="10.27">Kwanini pasiwe na ujasiri wa kusema hadharani kwamba hakuna Wabrazili weusi huko Brazili!

(src)="22.1"> As imagens que ilustram esse artigo são do álbum Symbols and Symbolism do Flickr de Children At Risk Foundation e usadas sob licença do Creative Commons .
(trg)="10.28">Picha inayoelezea kisa hiki zinatoka katika mtandao wa picha wa Symbols and Symbolism Flickr photo set kwa hisani Asasi ya Watoto Wanaoishi katika Mazingira Hatari na unatumiwa chini ya leseni ya mfumo Huru wa Haki Miliki.

(src)="22.2"> Elas retratam a história dos 300 anos de escravidão no Brasil e o impacto do período no país , especialmente no legado do Candomblé .
(trg)="10.29">Zinaonyesha picha za historia ya miaka 300 ya utumwa nchini Brazil na athari zake ndani ya nchi hiyo, kama vile urithi wa Candomblé.

(src)="22.3"> Abaixo , a legenda :
(trg)="10.30">Hapa chini ni maelezo ya picha hiyo:

(src)="23.1"> O negro foi arrancado de sua terra e vendido como mercadoria , escravizado .
(trg)="11.1">Mtu mweusi aling'olewa kutoka katika ardhi yake na kuuzwa kama bidhaa, utumwani.

(src)="23.2"> No Brasil , ele chegou como escravo , objeto ; de sua terra ele partiu como um homem livre .
(trg)="11.2">Aliwasili nchini Brazili kama mtumwa, kifaa; kutoka katika ardhi yake alitoka kama mtu huru.

(src)="23.3"> Durante a viagem , o tráfego de escravos , ele perdeu a sua personalidade , mas a sua cultura , sua história , sua paisagem , suas experiências vieram com ele .
(trg)="11.3">Wakati wa safari, safari ya utumwani, alipoteza utu wake, lakini utamaduni wake, historia yake, nchi yake, na uzoefu wake alikuja navyo.

(src)="24.1"> A história dos 300 anos de escravidão negra no Brasil impactou aquele país .
(trg)="12.1">Miaka 300 ya historia ya utumwa wa mtu mweusi nchini Brazili imeacha athari kubwa ndani ya nchi hiyo.

(src)="24.2"> O Candomblé é um desses impactos , uma religião cheia de segredos , símbolos e rituais que são conhecidos não apenas por iniciados , mas são também parte vital da expressão cultural no Brasil .
(trg)="12.2">Candomblé ni mojawapo ya athari hizo, dini iliyojawa na siri nyingi, ishara za matambiko yanayofahamika tu kwa wanaopitipia matambiko hayo lakini pia ni ni sehemu muhimu ya utamaduni wa Brazili.

(src)="24.3"> Não há números definitivos sobre quantas pessoas no Brasil seguem o Candomblé .
(trg)="12.3">Hakuna idadi kamili kuhusiana na watu wangapi wanaabudu Candomblé.

(src)="24.4"> O governo estima , conservadoramente , que haja no Brasil mais de 300 mil centros de culto de religiões afro-brasileiras , que incluem o Candomblé .
(trg)="12.4">Serikali inakadiria, kihafidhina, kwamba kuna vituo zaidi ya 300,000 vya kuabudia imani za Wabrazili wenye asili ya Afrika, ambavyo vinajumuisha Candomblé.

(src)="24.5"> Estima-se que os participantes dessas religiões cheguem a , pelo menos , um terço dos 170 milhões de habitantes no Brasil .
(trg)="12.5">Wanaoshiriki katika imani hizo wanadhaniwa kufikia angalau theluthi moja ya watu wote wa Brazili wanaokaribia milioni 170.

(src)="24.6"> Muitos práticam tanto o Catolicismo quanto o Candomblé .
(trg)="12.6">Wengi wanaabudu katika Ukatoliki na Candomblé.

(src)="24.7"> A Bahia , estado com o maior percentual de negros , é a capital desta religião , que acompanha atentamente as suas raízes e tradições africanas entre o povo Yorubá da Nigéria e do povo Banto de Angola e do Congo .
(trg)="12.7">Bahia, jimbo ambalo lina asilimia kubwa zaidi ya watu weusi, ndiyo makao makuu ya dini hii, ambayo inafuata kwa karibu asili yake ya Kiafrika na hasa tamaduni za Kiyoruba za Nigeria na za Kibantu za Angola na Kongo.

(src)="24.8"> As tradições do Yorubá , incluindo os orixás ( deuses do panteão africano ) mais comumente usados , predominam .
(trg)="12.8">Tamaduni za Kiyoruba zinazojumuisha majina yanayotumika sana ya Orisha (miungu ya mahekalu ya Kiafrika), bado inatawala sana.

(src)="24.9"> Hoje o Candomblé é oficialmente reconhecido e protegido pelo governo do Brasil .
(trg)="12.9">Hivi sasa Candomblé inatambulika rasmi na inalindwa na serikali ya Brazil.

(src)="24.10"> No entanto , durante o período da escravidão e por muitas décadas após a sua abolição no Brasil , em 1888 , as práticas do Candomblé foram proibidas pelo governo e pela Igreja Católica , e seus praticantes foram severamente punidos .
(trg)="12.10">Hata hivyo, enzi za utumwa na miongo mingine iliyofuata baada ya kukomeshwa kwa biashara hiyo ya watu nchini Brazil mwaka 1888, ibada za Candomblé zilipigwa marufuku na serikali na kanisa Katoliki, na wafuasi wake waliadhibiwa vikali.

# pt/2008_08_09_angola-contagem-regressiva-para-as-eleicoes_.xml.gz
# sw/2008_08_angola-kuelekea-uchaguzi-unaosubiriwa-kwa-muda-mrefu_.xml.gz


(src)="1.1"> Angola : Expectativa na contagem regressiva para as eleições
(trg)="1.1">Angola: Kuelekea Uchaguzi Unaosubiriwa Kwa Muda Mrefu

(src)="1.2"> Falta menos de um mês para que Angola viva um dos episódios mais esperados da sua história .
(trg)="1.2">Ni chini ya chini ya mwezi mmoja kwa Angola kabla ya kuingia zoezi linalosubiriwa zaidi katika aya za historia yake.

(src)="1.3"> Dezasseis anos depois , os angolanos terão a oportunidade de exercer o seu direito de voto nas próximas eleições legislativas a decorrer de 5 a 6 de Setembro .
(trg)="1.3">Miaka kumi na sita baada ya uchaguzi wake wa mwisho, Waangola kwa mara nyingine tena watapata fursa ya kutumia haki yao ya kupiga kura katika uchaguzi wa bunge,utakaofanyika kuanzia tarehe 5 mpaka 9 Septemba.

(src)="2.1"> O ambiente é de tranquilidade , embora existam sentimentos diversos entre a população .
(trg)="2.1">Hali ni ya ukimya, japokuwa kuna hisia zinazotofautiana katika umma.

(src)="2.2"> Os mais abastados dizem que vão para o estrangeiro , outros sorriem e garantem que nada vai acontecer já que os angolanos não querem mais guerra e sofrimento e outros ainda acorrem às lojas a fim de comprarem bens de primeira necessidade , não vá o diabo tecê-las e as coisas dêem para o torto como aconteceu em 1992 .
(trg)="2.2">Watu wanojiweza wanasema watakwenda ughaibuni; wengine wanatabasamu na kujihakikishia kwamba hakuna litakalotokea kwani Waangola hawataki tena vita na mateso; wakati wengine wanakimbilia madukani kunua vyakula, ikiwa muovu atalipa na mambo yataenda vibaya, kama ilivyotokea mwaka 1992.

(src)="2.3"> É de recordar que na época a UNITA - maior partido da oposição - contestou os votos , o que levou ao reacender da guerra civil que teve o seu término dez anos depois , com a morte do carismático líder daquele partido , Jonas Savimbi .
(trg)="2.3">Kama itakumbukwa, wakati ule chama kikubwa cha upinzani, UNITA, kilishindana katika uchaguzi na mapigano yalizuka, yakapelekea kuibuka tena kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe ambavyo vilimalizika miaka kumi baadaye, na kifo cha kiongozi mwenye mvuto mkubwa wa chama hicho, Jonas Savimbi.

(src)="3.1"> Em relação aos empresários estrangeiros sediados em Angola , não existe a intenção por parte destes em voltar aos países de origem .
(trg)="3.1">Inapokuja kwa wafanyabiashara wa nje waishio Angola, wao hawakusudii kurudi kwenye nchi zao.

(src)="3.2"> Entre a comunidade empresarial existe a certeza de que tudo permanecerá na mesma após as eleições e que não será necessário mudar os compromissos profissionais .
(trg)="3.2">Jumii ya wafanya biashara inaamini kwamba kila kitu kitabaki kama kilivyo baada ya uchaguzi na kwamba hapana ulazima wa kubadilisha majukumu ya kikazi.

(src)="3.3"> Jotacê Carranca tece a seguinte opinião :
(trg)="3.3">Jotace Carranca anatoa tahmini ya hali ilivyo:

(src)="3.4"> “ depois do primeiro processo eleitoral que foi completamente frustrante e traumatizante , aproxima-se a passos largos as segundas eleições legislativas em Angola .
(trg)="4.1">Baada ya hatua za kwanza za uchaguzi, ambazo zilikuwa ghafiri na zenye athari mbaya, uchaguzi wa pili wa Bunge nchini Angola unakuja kwa kasi.

(src)="3.5"> Se para muitos este processo é o renovar de esperanças e sinónimo da consolidação da democracia em todo o país , para outros , nas zonas rurais e naquelas províncias que sofreram de forma violenta , directa e dramática as consequências da guerra pós-eleitoral de 1992 , penso que prevalece um sentimento de medo , insegurança , pessimismo e incredibilidade em relação aos benefícios que este processo pode trazer para a vida de todos os cidadãos .
(trg)="4.2">Kama mchakato huu, kwa wengi, ni sawa na matumaini mapya na kuimarika kwa demokrasia nchini kote, kwa wengine, walio sehemu za mashamba na kwa wale walio mikoani ambao waliteseka na ghasia, na matokeo ya vita vilivyojiri baada ya uchaguzi wa mwa 1992, nadhani bado kuna hisia za woga, kutokuwa na uhakika, mtazamo hasi pamoja na kutokuamini katika faida zitakazofikia maisha ya wananchi kutokana na mchakato huu.

(src)="3.6"> Nestas zonas há a necessidade de se fazer um valoroso trabalho de descomplexar , um processo que tem influência para além da política , estética , cultura , religiosa e filosófica .
(src)="3.7"> Há que transmitir a consciência social e individual .
(trg)="4.3">Katika maeneo haya kuna haja ya kufanya kazi ya kurahisisha mchakato mzima ili kwenda mbele zaidi ya vishawishi vya kisiasa, vionjo, vya kiutamaduni, vya kidini na vya kifilosofia.

(src)="3.12"> Ele possui uma posição central no grupo a que pertence e isto garante-lhe melhores condições de recepção das informações e difusão de opiniões ” .
(trg)="4.4">Ni lazima tutetee na kuimarisha dhamira za watu na za jamii kwa ujumla.

(src)="3.13"> O presidente angolano José Eduardo dos Santos já veio a público apelar à calma e à organização em dias de voto , afirmando que “ é fundamental que seja completamente garantida a segurança dos cidadãos e a protecção dos seus bens , pois a ordem pública é uma condição indispensável ” .
(trg)="4.5">Rais wa Angola jose Eduardo Dos Santos ameshatoa rai ya kutaka utulivu na mpangilio siku za kupiga kura, alieleza kwamba "ni muhimu kuhakikisha kuwa usalama wa raia na ulinzi wa mali zao, kwa sababu usalama wa umma ni kipaumbele".

(src)="3.14"> O dirigente acrescentou ainda que é necessário haver “ respeito pela opinião e ideias alheias ” sem ser necessário o uso de “ violência verbal ou física ” .
(trg)="4.6">Kiongozi huyo aliongeza kwamba ni muhimu "kuheshimu mitazamo na fikra za wengine" bila kutumia " maneno au vitendo vya vurugu".

(src)="4.1"> Esperemos pois que os cerca de 8,3 milhões de eleitores possam votar num ambiente ordeiro e perfeitamente lúcidos em relação ao voto .
(trg)="5.1">Tunategemea kuwa wapiga kura milioni 8.3 watakuwa na mazingira yenye amani kwa upigaji kura na watafanya hivyo katika njia ya safi na inayoeleweka vyema.

(src)="4.2"> Existem mais de 12 mil assembleias de voto disseminadas por todo o território nacional .
(trg)="5.2">Kuna zaidi ya vituo 12 elfu vya kupigia kura katika dola ya kitaifa.

(src)="4.3"> Entretanto Angola vive já a todo o gás a campanha eleitoral levada a cabo pelos nove partidos .
(trg)="5.3">Wkati huo huo, Angola tayari imo kwenye vuguvugu la kampeni linaoloendeshwa na vyama tisa vya kisiasa.