# cs/2014_03_101.xml.gz
# sw/2014_03_maandishi-ya-facebook-kukosoa-kuivamia-crimea-yamgharimu-mwandishi-ajira_.xml.gz
(src)="1.1"> Novinář propuštěn za facebookový status kritizující okupaci Krymu
(trg)="1.1"> Maandishi ya Facebook Kukosoa Kuivamia Crimea Yamgharimu Mwandishi Ajira
(src)="1.3"> Zdroj neznámý .
(trg)="1.4"> Picha isiyojulikana imewekwa mtandaoni na nani
(src)="2.1"> Zatímco lidé stále mluví o cenzuře ruských médií a internetu ze strany vlády , je ve skutečnosti mnohem běžnější , že k cenzuře dochází na mnohem nižší úrovni zpravodajských agentur , a to prakticky dobrovolně .
(trg)="2.1"> Wakati watu wakikijadili kitendo cha serikali ya Urusi kudhibiti vyombo vya habari pamoja na mtandao wa intaneti nchini Urusi , sasa imekuwa ni kawaida kabisa vitendo wa udhibiti wa jinsi hiyo kufanyika kwa ngazi za chini , kama vile mashirika ya habari .
(src)="2.2"> Jeden příklad za všechny — jeden novinář z Permu byl nedávno propuštěn za umístění relativně nevinného ( přestože poněkud jízlivého ) blogového příspěvku na svoji Facebookovou stránku .
(trg)="2.2"> Kuna tukio la hivi karibuni zaidi ambapo mwandishi wa habari wa Pem alitimuliwa kazi kwa kunukuu maandishi yaliyokuwa yameandikwa kwenye blogu moja na kuyaweka kwenye ukurasa wake wa mtandao wa Facebook kwa namna ya kawaida sana .
(src)="3.1"> Původní článek by napsán 4. března 2014 Romanem Romaněnkem z Vologodské oblasti .
(trg)="3.1"> Bandiko la awali liliandikwa na Roman Romanenko wa Vologodsk , mnamo Machi 4 , 2014.
(src)="3.2"> V něm Romaněnko , také mediální pracovník , ironicky žádá Putina o " okupaci " Vologodské oblasti v zájmu ochrany práv zde žijících " rusky mluvících " občanů .
(trg)="3.2"> Kwenye bandiko hilo , Romanenko , ambaye naye anafanya kazi ya uandishi wa habari , aliandika maandishi makali akitoa mwito kwa Putin 'kulikalia ' Jimbo la Vologodsk , ili kulinda haki za watu 'wanaozungumza Kirusi ' wanaoishi eneo hilo .
(src)="3.3"> Romaněnko přitom samozřejmě odkazuje na údajnou ruskou okupaci Krymského poloostrova ( v době psaní této zprávy ruští vedoucí představitelé nadále popírají přítomnost ruských vojsk na Krymu mimo ruské základny ) .
(trg)="3.3"> Romanenko alikuwa , kwa hakika , akirejea madai ya Urusi kuvamia eneo la Crimea ( ingawa maafisa wa serikali ya Urusi bado wnakanusha uwepo wa vikosi vya kijeshi kule ) .
(src)="3.4"> Konkrétně napsal :
(trg)="3.4"> Kwa uwazi kabisa aliandika :
(src)="3.5"> My všichni zde jsme rusky mluvícími občany a naše práva jsou významně porušována .
(trg)="3.5"> Sisi sote ni watu tunaoongea Kirusi hapa , na haki zetu zinapuuzwa .
(src)="3.7"> Ostýchavě žádáme , zda by bylo možné použít tyto prostředky pro stabilizaci životní úrovně ve Vologodské oblasti .
(trg)="3.7"> Hatusiti kuuliza : je si vizuri fedha hizi zikatumika kuboresha maisha ya watu wa Jimbo la Vologodsk ?
(src)="3.8"> Protože naše oblast je tak těžce zadlužená , že nám již nezbývají peníze na cokoli .
(trg)="3.8"> Kwa sababu jimbo hilo liko kwenye madeni mengi , hatuna fedha kwa ajili ya chochote .
(src)="3.9"> A opravdu potřebujeme mosty , cesty , sportovní střediska , průmyslové objekty , nová pracovní místa ...
(trg)="3.9"> Na tunahitaji madaraja , barabara , michezo , maendeleo ya viwanja , maeneo mapya ya kazi ...
(src)="3.10"> Alexandr Jerenko , novinář z Permu , umístil tento článek na svou Facebookovou zeď , přičemž zaměnil jméno Vologodské oblasti za své rodné město .
(trg)="3.10"> Alexander Erenko , mwandishi kutoka Perm , alinukuu maandishi hayo na kuyaweka kwenye ukurasa wake wa Facebook , na akabadilisha maelezo yake ya alikozaliwa kuwa Vologodsk .
(src)="3.11"> Ačkoli byl tento příspěvek sdílen pouze 44krát , na rozdíl od 3323 sdílení Romaněnkova originálu , dostal se zjevně k některému z Jerenkových nadřízených .
(trg)="3.11"> Ingawa alichokiandika kilinukuliwa mara 44 pekee , ukilinganisha na mara 3,323 ambapo bandiko la awali la Romanenko lilinukuliwa , maneno hayo yalimwingiza matatani na mmoja wapo wa wakuu wake wa kazi .
(src)="4.1"> Romaněnko nebyl mezitím jediným , kdo upozornil na rozpor mezi tím , jak se Moskva chystá chovat k občanům Krymu , a tím , jak se chová k občanům vlastním .
(trg)="4.1"> Wakati huo huo , Romenenko hakuwa mtu peke aliyeleta mtazamo wa tofauti wa namna gani Moscow inaonekana kuwatendea raia wa Crimea , na namna gani inashughulika na wananchi wake nyumbani .
(src)="4.2"> Následující tweet blogerky Iriny Petrové byl přeposlán ( " retweetován " ) tisíckrát , dokonce i vůdcem opozice Alexejem Navalným , přestože ten je v současné době v domácím vězení , formálně bez možnosti komunikovat se světem :
(trg)="4.2"> Twiti hii kutoka kwa mwanablogu Irina Petrova ilisambaa kwa kadri ya mara 1000 , na kiongozi wa upinzani Alexey Navalny akiwa ni mmoja wapo wa walioisambaza ( hata kama bado anatumikia kifungo cha nyumbani na kimsingi haruhusiwi kuonana na watu ) :
(src)="4.3"> Gubernátor Moskevské oblasti vyčlení 40 milionů rublů z oblastního rozpočtu pro rekonstrukci krymských nemocnic .
(trg)="4.3"> Gavana wa Jimbo la Moscow atatenga Ruble za Urusi milioni 40 kutoka kwenye bajeti ya jimbo hilo kukarabati hospitali huko Crimea .
(src)="4.4"> No do háje ! !
(trg)="4.4"> Ukichaa huu ! ! !
(src)="4.5"> Byl už někdy v nemocnicích mimo Moskvu ? ? ?
(trg)="4.5"> Hivi amewahi kwenda kwenye hospitali za Jimbo la Moscow ? ? ?
# cs/2014_03_236.xml.gz
# sw/2014_03_mwanablogu-wa-misri-alaa-abdel-fattah-aachiwa-kwa-dhamana_.xml.gz
(src)="1.1"> Egyptský bloger Alaa Abd El Fattah propuštěn na kauci
(trg)="1.1"> Mwanablogu wa Misri Alaa Abdel Fattah Aachiwa kwa Dhamana
(src)="1.2"> Hned po svém propuštění padl Alaa Abd El Fattah do náruče své ženy a objal se také s přáteli a aktivisty , kteří netrpělivě čekali před káhirskou policejní stanicí .
(src)="2.1"> Známý egyptský bloger strávil za mřížemi 115 dní bez soudního procesu a byl nakonec propuštěn na kauci 23. března 2014 .
(trg)="1.2"> Mwanablogu anayeheshimika nchini Misri Alaa Abdel-Fattah amechiwa kwa dhamana akisubiri mashitaka leo -baada ya kukaa gerezani kwa siku 115 akidaiwa kuvunja sheria mpya ya kuzuia maandamano .
(src)="2.2"> Před soudem stane 6. dubna .
(trg)="2.1"> Kwa muda wote huu , Abdel Fattah amekuwa gerezani bila kesi yake kusikilizwa .
(src)="4.1"> Toto video , umístěné na YouTube Mahmoudem Salmanim , ukazuje , jak rodina a přátelé vítají Abd El Fattaha , který právě opustil policejní stanici :
(trg)="3.1"> Video hii , iliyowekwa na Mahmoud Salmani inamwonyesha Abdel Fattah akikaribishw ana familia na marafiki zake baada ya kuondoka kwenye kituo cha polisi :
(src)="6.2"> " Budeme pokračovat ... "
(trg)="4.3"> Ni kweli tulifanywa wajinga baadae , lakini tutaendelea .
(src)="6.5"> Doko označuje v egyptském dialektu barvu ve spreji .
(trg)="4.4"> Doko ni rangi ya kupulizilia kwa lafudhi ya Kimisri .
(src)="7.1"> Kromě Abd El Fattaha byl dnes propuštěn i Ahmed Abdel Rahman , který kolem protestu náhodou procházel .
(trg)="5.1"> Zaidi ya Abdel Fattah , Ahmed Abdel Rahman pia aliachiliwa leo .
(src)="7.2"> Byl zatčen společně s Abd El Fattahem , protože pomáhal jedné mladé ženě , kterou obtěžovala policie .
(trg)="5.2"> Abdel Rahman , aliyekuwa mpita njia tu wakati wa maandamano , alikamatwa pamoja na Abdel Fattah , alipokuwa akiwasaidia wasichana waliokuwa wanadhalilishwa na polisi .
(src)="8.1"> Na Twitteru byly oslavy v plném proudu .
(trg)="6.1"> Kwenye mtandao wa twita , vifijo vilitamalaki .
(src)="8.2"> Ahdaf Souief , teta Abdela Fattaha , zvolala :
(trg)="7.1"> Ahdaf Souief , shangazi wa Abdel Fattah , anasema kwa furaha :
(src)="8.3"> Twitter bouří radostí z propuštění @ alaa .
(trg)="7.2"> Mtandao wa twita unalipuka kwa furaha kufuatia kuachiliwa kwa Alaa .
(src)="8.4"> Můj laptop si potřebuje odpočinout .
(trg)="7.3"> Kompyuta yangu ndogo inahitaji mapumziko
(src)="8.5"> Mona Seif , sestra Abdela Fattaha , oslavila bratrovo propuštění slovy :
(trg)="7.4"> Mona Seif , dada wa Abdel Fattah , alifurahia kuachiliwa kwa kaka yake akisema :
(src)="8.6"> Alaa a Ahmed jsou na svobodě ..
(src)="8.7"> Tohle je ta nejlepší věta na světě
(trg)="7.5"> Alaa na Ahmed wamerudi mtaani ... Hii ni sentensi nzito kuliko zote duniani
(src)="8.8"> Navzdory příkazu k propuštění musela rodina Abdela Fattaha čekat mnoho hodin před policejní stanicí , než ho mohla vyzvednout .
(trg)="7.6"> Pamoja na hati ya kuachiwa kwake , familia ya Abdel Fattah ilisubirishwa kwa masaa nje ya kituo cha polisi ili kumchukua .
(src)="8.9"> Seif popisuje tyto komplikace :
(trg)="7.7"> Seif anaelezea tabu waliyokumbana nayo :
(src)="8.10"> Čekáme před policejním ústředím a nechápeme , proč došlo ke zdržení .
(trg)="7.8"> Tumekuwa tukisubiri nje ya makao makuu ya polisi na hatuelewi sababu ya kuchelewa huku .
(src)="8.11"> Volají nám nějací novináři a říkají , že podle jejich zdrojů budou propuštěni až zítra .
(trg)="7.9"> Baadhi ya waandishi wanatupigia simu kutuambia kuwa vyanzo vyao vya habari vinasema ataachiliwa kesho
(src)="8.12"> A dodala :
(trg)="8.1"> Na anaongeza :
(src)="8.13"> Kauce byla zaplacena a vyřešili jsme všechny formality se státním zastupitelstvím a policií .
(src)="8.14"> Ahmed Abdelrahman opustil policejní auto a zůstal dlouho na stanici .
(trg)="8.2"> Dhamana imelipwa na tumemaliza urasimu wote na Mwendesha Mashitaka wa Serikali na kituo cha pilisi na Ahmed Abdelrahman ameshuka kwenye gari la polisi na amekuwa kwenye kituo cha polisi kwa muda mrefu .
(src)="8.16"> Případ byl odročen na 6. dubna .
(trg)="8.3"> Kwa nini kuna ucheleweshaji na kwa nini kuna vikwazo vingi kwa kila hatua ?
# cs/2014_03_119.xml.gz
# sw/2014_03_siku-100-gerezani-bila-mashitaka-simulizi-la-alaa-abd-el-fattah_.xml.gz
(src)="1.1"> 100 dní ve vězení bez soudního procesu : Alaa Abd El Fattah a jeho příběh
(trg)="1.1"> Siku 100 Gerezani Bila Mashitaka : Simulizi la Alaa Abd El Fattah
(src)="1.2"> Prominentní egyptský bloger Alaa Abd El Fattah strávil 8. března ve vazbě již 100 dní a stále čeká na soudní proces .
(trg)="1.2"> Mwanablogu maarufu nchini Misri Alaa Abd El Fattah alimalizia siku yake ya 100 katika gereza bila ya kufunguliwa mashitaka leo .
(src)="1.3"> El Fattah byl 28. listopadu 2013 zbit a zatčen ve svém domě v Káhiře a následně obviněn z " organizování protestu skupiny ´ No to Military Trials for Civilians ´ ( Řekněme ne vojenským soudům pro civilisty ) " dva dny před svým uvězněním .
(trg)="1.3"> Abd El Fattah alipigwa kikatili na kukamatwa kutoka nyumbani kwake Cairo Novemba 26 , 2013 na kutuhumiwa kwa " kuandaa maandamano ya Tunapinga Mashitaka ya kijeshi kwa raia " siku mbili kabla ya kukamatwa kwake .
(src)="2.1"> Rasha Abdulla , autorka GV Advocacy a známá Abd El Fattaha , píše :
(trg)="2.1"> Kwa mujibu wa Rasha Abdulla , mwandishi wa Kitengo la Utetezi cha GV ambaye pia ni rafiki wa karibu wa Abd El Fattah :
(src)="3.2"> Dva dny před protestem byl schválen zákon , který vyžaduje od organizátorů protestů předložit ministerstvu vnitra " logistické " detaily protestu .
(trg)="3.2"> Siku mbili kabla ya maandamano , wabunge walipitisha sheria inayohitaji waandaaji maandamano yoyote kuwasilisha taarifa kuhusu kusudio la kuandamana kwa Wizara ya Mambo ya Ndani .
(src)="4.1"> Tento konkrétní protest byl organizován hnutím " No to Military Trials for Civilians " , které založila Mona Seif .
(trg)="5.1"> Maandamano hayo yaliandaliwa na kikundi kinachopinga kuendeshwa kwa mashitaka ya kijeshi kwa raia , kampeni iliyoanzishwa na Mona Seif lakini ambayo hata hivyo kaka yake Alaa hakuwa mwanachama .
(src)="4.2"> Její bratr Alaa se v této skupině neangažuje .
(trg)="5.2"> Kikundi hicho kimetoa taarifa kwa vyombo vya habari kudai kuhusika na maandamano hayo .
(src)="4.3"> Hnutí vydalo tiskové prohlášení , ve kterém se přihlásilo k organizaci protestu , svou zodpovědnost za protest převzalo také ve zprávě , kterou poslalo státnímu zástupci .
(trg)="5.3"> Wanachama wa kikundi hicho pia waliwasilisha ripoti kwa mwendesha mashitaka ya umma kudai uwajibikaji kwa tukio hilo .
(src)="4.4"> Protesty z 26. listopadu se zasazovaly o to , aby bylo do nové ústavy dodáno zrušení vojenských soudů pro civilisty .
(src)="4.5"> O této ústavě se bude hlasovat během tohoto měsíce .
(trg)="5.4"> Maandamano , ambayo yalifanyika Novemba 26 , yakitoa wito kwa ajili ya kusitishwa kwa uendeshaji wa mashitaka ya kijeshi kwa raia wa kawaida katika katiba mpya ambayo wananchi wa Misri wataipigia kura baadaye mwezi huu .
(src)="4.6"> Protesty byly násilně rozehnány policií asi půl hodiny po jejich začátku .
(trg)="5.5"> Maandamano yalitawanywa kwa ukatili na polisi takribani nusu saa baada ya kuanza .
(src)="4.7"> Policie zadržela 11 žen ( většina z nich byla členkami skupiny " No to Military Trials for Civilians " ) a 24 mužů .
(trg)="5.6"> Polisi waliwaweka kizuizini wanawake 11 , wengi wao wanachama wa kundi hilo la kupinga mashitaka ya kijeshi kwa raia , na wanaume 24.
(src)="4.8"> Ženy zůstaly ve vazbě několik hodin , během kterých byly bity a některé z nich také sexuálně obtěžovány .
(trg)="5.7"> Wanawake , ambao wote walipigwa na ambao baadhi yao walibakwa wangali kizuizini , walishikiliwa kwa masaa kadhaa .
(src)="4.9"> Poté byly naloženy do policejních aut a po půlnoci vysazeny v poušti .
(trg)="5.8"> Baada ya hapo walilazimishwa kusafiri kwa gari la polisi na kutelekezwa jangwani baada ya usiku wa manane .
(src)="4.10"> Muži byli zadržováni týden , nyní jsou propuštěni ( kromě Ahmeda Abdel Rahmana ) a vyšetřováni na svobodě .
(trg)="5.9"> Wanaume waliwekwa kizuizini kwa juma zima na sasa wote wameachiliwa huru ( isipokuwa mmoja , Ahmed Abdel Rahman ) akisubiri uchunguzi wa kipolisi .
(src)="4.11"> Alaa byl zadržen dva dny po protestu , kdy do jeho domu vpadla policie a obvinila ho z organizace protestu .
(trg)="5.10"> Alaa alitiwa kizuizini baada ya polisi kuvamia nyumba yake siku mbili baadaye na kutuhumiwa kuandaa maandamano .
(src)="4.12"> Policie takto postupovala navzdory skutečnosti , že Alaa čekal 26. listopadu celý večer před policejní stanicí , kde byla zadržována jeho sestra — odešel až poté , co jeho sestru vyzvedli přátele z pouště , kam byla odvezena policií .
(trg)="5.11"> Madai hayo yalitokea licha ya Alaa kusubiri nje ya kituo cha polisi ambapo dada yake alikuwa kizuizini Novemba 26 jioni yote mpaka yeye alipochukuliwa na marafiki baada ya polisi kumrusha yeye na wenzake jangwani na kutelekezwa .
(src)="4.13"> Ačkoli Alaa i Ahmed Abdel Rahman byli zadržováni déle než měsíc a čekají na proces , datum soudního přelíčení nebylo dosud určeno .
(trg)="5.12"> Ingawa wote Alaa na Ahmed Abdel Rahman wamekuwa kizuizini kwa zaidi ya mwezi wakisubiri uchunguzi , hakuna tarehe iliyopangwa na mahakama kwa ajili ya kusikiliza kesi .
(src)="4.14"> Situace zůstává i dnes ( 5. březen 2014 ) stále stejná .
(trg)="5.13"> Hali bado ni sawa leo .
(src)="4.15"> Datum soudního přelíčení nebylo dosud určeno — 100 dní po jeho zatčení .
(trg)="5.14"> Tarehe ya mahakama bado haijawekwa - siku 100 baada ya kukamatwa kwake .
(src)="4.16"> Pod účtem " Tahrir Diaries " se na YouTube objevilo následující video , aby připomnělo 100-denní výročí zatčení Abd El Fattaha .
(src)="5.1"> Je na něm Manal Hassan a popisuje , co se stalo jejímu muži Abd El Fattahovi .
(trg)="5.15"> Blogu ya Kumbukumbu za Tahrir Diaries iliweka video hii kwenye mtandao wa YouTube kuadhimisha siku 100 ya kukamatwa kwa Abd El Fattah .
(src)="5.2"> Také v něm vystupuje členka " No to Military Trials for Civilians " Nazly Hassan , která popisuje , jakým utrpením prošel Ahmed Abdul Rahman , kolemjdoucí , který se během protestu slušně zeptal policie , proč bije a sexuálně obtěžuje demonstrantky .
(trg)="6.1"> Inamwelezea Manal Hassan , anayeelezea kile kilichotokea kwa mumewe Abd El Fattah , na Nazly Hassan mwanachama wa Kikundi cha kupinga Mashitaka ya kijeshi kwa raia , ambaye anaonyesha matatizo aliyokabiliana nayo Ahmed Abdul Rahman , mpita njia ambaye aliyewauliza polisi kwa upole akiwa kwenye maandamano kwa nini walikuwa wakiwapiga na kuwabaka wanawake washiriki .
# cs/2014_04_404.xml.gz
# sw/2014_04_kikundi-cha-boko-haram-chaendeleza-vitendo-vya-kigaidi-nchini-nigeria_.xml.gz
(src)="1.1"> Nigérie : Džihádistická skupina Boko Haram stupňuje své vražedné násilí
(trg)="1.1"> Kikundi cha Boko Haram Chaendeleza Vitendo Vya Kigaidi Nchini Nigeria
(src)="1.2"> Z parkoviště policejní stanice v nigerijském městě Abuja stoupají kouř a plameny , k zodpovědnosti za tento sebevražedný bombový útok se přihlásila skupina Boko Haram .
(trg)="1.2"> Majuma ya hivi karibuni , kundi la Boko Haram limeendeleza kampeni yake ya kutekeleza mauaji kwa kuwachinja raia wa Nigeria wasio na hatia .
(src)="2.1"> Nigérie válčí s Boko Haram , džihádistickým teroristickým hnutím , které operuje v severovýchodní Nigérii , severním Kamerunu a Nigeru a které je zodpovědné za tisíce mrtvých v posledních několika letech .
(trg)="1.4"> Kundi la Boko Haram pia linahusishwa na mlipuko wa bomu katika kituo cha mabasi uliotokea katika mji wa Nyanya uliopo katika jiji la Abuja , mlipuko uliopelekea zaidi ya watu 70 kupoteza maisha .
(src)="3.1"> V uplynulých týdnech vystupňovala tato skupina své akce proti nevinným a zoufalým Nigerijcům .
(trg)="2.1"> Siku chache zilizopita , kundi hili liliwateka nyara wasichana wanaokadiriwa kufikia 100 wa sekondari ya wasichana inayomilikiwa na serikali iliyopo Chibok , takribani kilometa 130 magharibi mwa Maiduguri kaskazini mashariki mwa Nigeria .
(src)="3.2"> Minulý týden její členové zabili přes tucet studentů , kteří jeli skládat vstupní zkoušky na univerzitu v Borno ( severovýchodní oblast Nigérie ) .
(trg)="3.1"> Picha hapa chini inaonesha mlipuko mkubwa kuwahi kutokea katika historia ya nchi ya Nigeria .
(trg)="3.2"> Boko Haram walidai kuhusika na ulipuaji wa bomu hilo :
(src)="3.3"> Hnutí Boko Haram je také podezřelé z bombového útoku na autobusovou zastávku v Nyanya , předměstí hlavního města Abuja , při kterém bylo zabito přes 70 lidí .
(src)="4.1"> Před několika dny unesla tato skupina asi 100 dívek z Vládní střední školy ( Government Girls Secondary School ) v Chiboku v severovýchodní Nigérii , přibližně 130 kilometrů od Maiduguri .
(trg)="5.3"> Nchi ya Nigeria inapambana na Boko Haram , kundi la kigaidi la kiislam linaloamini katika vita vya jihadi lililo na makazi yake kaskazini magharibi mwa Nigeria , kaskazini mwa Camerron na huko Niger , kundi lililokwishaua maelfu ya watu kwa kipindi cha miaka kadhaa iliyopita .
(src)="5.1"> Loni spustili příslušníci Boko Haram palbu na studenty Vysoké školy zemědělské v Yobe a zastřelili desítky studentů ve věku od 18 do 22 let , kteří spali na koleji .
(trg)="6.1"> Wiki iliyopita , Boko Haram waliwafyatulia risasi wanafunzi katika chuo cha kilimo kilichopo katika jimbo la Yobe , waliwaua kwa risasi makumi mawili ya wanafunzi waliokuwa na umri wa kati ya miaka 18 na 22 waliokuwa wamelala katika bweni lao .
(src)="5.2"> Vraždění této organizace do roku 2012 je podrobně rozebráno v této zprávě .
(trg)="6.2"> A Mfululizo wa mauaji yaliyotekelezwa kuanzia mwaka 2012 umefafanuliwa vizuri katika makala haya .
(src)="6.1"> Mnoho nigerijských internetových aktivistů , kteří jsou šokováni nejnovější vlnou zločinu , míní , že za zhoršující se bezpečnostní situaci v zemi nese vinu prezident Goodluck Jonathan :
(trg)="7.1"> Watumiaji wengi wa mtandao nchini Nigeria wameshitushwa sana na ukatili huu wa hivi karibuni , wamemlaumu sana Rais Goodluck Jonathan kwa kutokomeza hali ya utulivu nchini :
(src)="6.2"> Zatímco se federální vláda a její šéfové bezpečnosti zdokonalují ve psaní kondolenčních projevů , Boko Haram nadále roste ...
(trg)="8.1"> Wakati serikali kuu na maafisa wake wa usalama wakiwa ni mahiri kabisa wa kuandika hotuba nzuri za kuomboleza , kundi la BOKO HARAM linaendelea tuu kujiimarisha . — Aaliyah ( @TalesMallory ) April 16 , 2014
(src)="6.3"> Jiní si myslí , že prezident nedělá dost :
(trg)="8.3"> Wengine wanafikiri kwamba Rais hajaweza kufanya kile alichopaswa kukifanya :
(src)="6.4"> Boko Haram si dělá , co chce , a prezident se zaobírá pošetilými volebními projevy .
(trg)="9.1"> Boko Haram wanatekeleza mauaji kana kwamba wanarudisha fadhila na Rais anaendelea tuu na hotuba zake za kampeni zisizo na maana yoyote .
(src)="6.5"> Ta nezodpovědnost , to darebáctví jsou neuvěřitelné !
(trg)="9.4"> Kutokuwajibika , uhuni usioelezeka !
(src)="6.6"> @ toluogunlesi pochválil nigerijského poradce pro bezpečnostní otázky , plukovníka Sambo Dasukiho :
(trg)="9.5"> @toluogunlesi alimmwagia sifa mshauri wa Masuala ya Ulinzi wa nchi Kanali Sambo Dasuki :
(src)="6.7"> Dasuki spustil minulý měsíc působivou antiteroristickou strategii , za kterou si zaslouží respekt .
(trg)="10.1"> Ashukuriwe ndugu Dasuki kwani mwezi uliopita alizindua mkakati mzuri kabisa wa kukabiliana na magaidi .
(src)="6.8"> Kéž by prezentace mohly zachraňovat životy | http : / / t.co / 43eHCCBDwP
(trg)="10.3"> Ashukuriwe ndugu Dasuki kwani mwezi uliopita alizindua mkakati mzuri kabisa wa kukabiliana na magaidi .
(src)="6.9"> Henry Bature Okelue se ptal , kdo financuje Boko Haram :
(trg)="10.5"> Ni nani anayewawezesha kifedha Boko Haram , aliuliza Henry Bature Okelue :
(src)="6.10"> Doufám , že nám vláda jednoho dne oznámí , že odhalila sponzora a vedoucí osobnost v pozadí Boko Haram .
(trg)="11.2"> Ni matumaini yangu kuwa , siku moja serikali itatujulisha ni nani anayewafadhili kifedha na kuratibu mikakati ya Boko Haram .
(src)="6.11"> Nigerijské státy , ve kterých působí Boko Haram .
(trg)="11.3"> Majimbo ya Nigeria ambayo Boko Haram huendeshea shughuli zao .
(src)="6.12"> Obrázek publikován v rámci licence Creative Commons uživatelem Wikipedie s přezdívkou Bohr .
(trg)="11.4"> Picha ilitumiwa kwa mamlaka ya Creative Commons na mtumiaji wa Wikipedia , Bohr .
(src)="7.1"> Jeden uživatel Twitteru vyzval k vyvraždění všech členů Boko Haram :
(trg)="12.1"> Mtumiaji mmoja wa Twita alipendekeza wanachama wote wa Boko Haram wachinjwe :
(src)="7.2"> Vražda je v tomto případě jediným přijatelným řešením .
(trg)="13.3"> Ni hofu kubwa kwa mauaji na huzuni kuu kwa wahanga :
(src)="7.3"> Každý jednotlivý člen Boko Haram by měl být zabit .
(trg)="14.3"> # Kitendo cha BokoHaram kuwateka nyara wasichana 100 girls ni cha kuchukiza mno .
(src)="7.4"> Hrůza ze zabíjení a utrpení obětí :
(trg)="14.4"> Goodluck Jonathan lazima sasa atangaze vita rasmi dhidi ya BokoHaram .
(src)="7.6"> Únos 100 dívek skupinou Boko Haram je ohavnost .
(trg)="14.6"> Kitendo cha BokoHaram kuwateka nyara wasichana 100 girls ni cha kuchukiza mno .
(src)="7.7"> Goodluck Jonathan musí nyní vyhlásit absolutní válku Boko Haram .
(trg)="14.7"> Goodluck Jonathan lazima sasa atangaze vita rasmi dhidi ya BokoHaram .
(src)="7.8"> Vymazat je z povrchu zemského .
(trg)="14.8"> Wafutiliwe mbali kabisa .
(src)="7.9"> @ onigabby1 uvažoval , zda Nigérie ještě existuje :
(trg)="14.9"> @onigabby1 anajiuliza kama Nigeria bado ipo :
(src)="7.10"> Je Nigérie stále ještě Nigérií ?
(trg)="15.1"> Hivi Nigeria bado ni Nigeria ?
(src)="7.11"> Nebo spolkovou republikou Boko Haram ?
(trg)="15.2"> Au ni shirikisho la jamhuri ya boko haram .
(src)="7.12"> Upřímnou soustrast obětí bombového útoku .
(trg)="15.4"> Hivi Nigeria bado ni Nigeria ?
(src)="7.13"> Jaké je řešení ?
(trg)="15.5"> Au ni shirikisho la jamhuri ya boko haram .
(src)="7.14"> " @ 9ja _ travel : řešení tohoto terorismu ze strany Boko Haram ? "
(trg)="16.1"> " @9ja_travel : Kuna utatuzi wa ugaidi wa Boko haram ? " Kwa kweli hakuna suluhisho , kinachowezekana ni kupunguza mfululizo wa mashambulizi yao . — kolawole olawole ( @kholarr_ola ) April 16 , 2014
(src)="7.15"> Tady skutečně není žádné řešení , můžeme pouze zredukovat rozsah jejich aktivit .
(trg)="16.2"> Kuna utatuzi wa ugaidi wa Boko haram ? " Kwa kweli hakuna suluhisho , kinachowezekana ni kupunguza mfululizo wa mashambulizi yao .
(src)="7.16"> @ LovBwise vyzval aktivisty k protestu :
(trg)="16.3"> @LovBwise awataka wanaharakati kuandamana :
(src)="7.17"> Aktivisté na Twitteru , mohli bychom prosím tento víkend protestovat proti sponzorům Boko Haram ?
(trg)="17.2"> Kuna utatuzi wa ugaidi wa Boko haram ? " Kwa kweli hakuna suluhisho , kinachowezekana ni kupunguza mfululizo wa mashambulizi yao .
(src)="7.18"> @ opinion _ river zaujal uvážlivý postoj :
(trg)="18.2"> Kundi hili lilikuwepo hata kabla hajaingia madarakani .
(src)="7.19"> Prezident Goodluck Jonathan nevytvořil Boko Haram .
(trg)="18.4"> Rais Goodluck Jonathan siyo chanzo cha Boko-Haram .
(src)="7.20"> Tato sekta existovala předtím , než nastoupil k moci .
(trg)="18.5"> Kundi hili lilikuwepo hata kabla hajaingia madarakani .