# hr/ND3008696/ND3008696.xml.gz
# sw/ND3008696/ND3008696.xml.gz


(src)="s4.1"> Ako unosite proizvode od mesa ili mliječne proizvode iz zemalja izvan EU , postoji opasnost unošenja zaraznih bolesti životinja .
(trg)="s4.1"> Ukiingiza nyama ama bidhaa zozote zile ziambatanazo na maziwa ndani ya nchi za umojawa ulaya utakuwa kwamba unahatalisha wanyama na magonjwa hatali yayonayo wadhuru kutoka nje .

(src)="s5.1"> Ako ne prijavite takve proizvode , možete biti novčano kažnjeni ili kazneno gonjeni .
(trg)="s5.1"> Hatua za kisheria zitachukuliwa ama kutozwa faini iwapo mtu yeyote atapatikana na hizo bidhaa bila ya kibali ama idhini .

(src)="s6.1"> Takvi proizvodi će biti zaplijenjeni i uništeni prilikom dolaska
(trg)="s6.1"> Hizo bidhaa zitatwaliwa na kuharibiwa mara zishikwapo zikiingia .

(src)="s7.1"> Međutim , dozvoljeno je unošenje malih količina za osobnu potrošnju iz Andore , Farskih otoka , Grenlanda , Hrvatske , Islanda , Liechteinsteina , Norveške , San Marina i Švicarske
(trg)="s7.1"> Lakini , unaweza kiingia na kiasi kindogo tu cha matumizi ya kibinafsi kutoka nchi zifuatazo:- Andorra , Korasia , Visiwa Via Faeroe , Greenland , Iceland , Lietchtenstein , Norway , San Marino na Uswisi .

# hr/ND4602961/ND4602961.xml.gz
# sw/ND4602961/ND4602961.xml.gz


(src)="s4.1"> Ne dopustite zarazne životinjske bolesti uđu u Europsku uniju !
(trg)="s4.1"> Usiingize ugonjwa wa kuambukiza wanyama katika nchi za Umoja wa Ulaya

(src)="s5.1"> Proizvodi životinjskog podrijetla mogu sadržavati patogene uzročnike zaraznih bolesti kod životinja
(trg)="s5.1"> Chakula kutoka kwa wanyama , chaweza kusababisha magonjwa ya kuambukiza wanyama wengine

(src)="s6.1"> Uvoz proizvoda životinjskog podrijetla u Europsku uniju podliježe strogim procedurama i veterinarskoj kontroli
(trg)="s6.1"> Kuna utaritibu maalum wa uingizaji katika Umoja wa nchi za Ulaya wa chakula kilichotengenezwa kutoka kwa wanyama , hauna budi kufanyiwa uchunguzi wa makini na waganga wa wanyama