# sw/2008_08_angola-kuelekea-uchaguzi-unaosubiriwa-kwa-muda-mrefu_.xml.gz
# zhs/2008_08_17_1272_.xml.gz


(src)="1.1"> Angola : Kuelekea Uchaguzi Unaosubiriwa Kwa Muda Mrefu
(trg)="1.1"> 安哥拉 : 选举倒数时刻

(src)="1.2"> Ni chini ya chini ya mwezi mmoja kwa Angola kabla ya kuingia zoezi linalosubiriwa zaidi katika aya za historia yake .
(trg)="1.5"> 安哥拉民众今年终于能再度行使选举权 ,

(src)="1.3"> Miaka kumi na sita baada ya uchaguzi wake wa mwisho , Waangola kwa mara nyingine tena watapata fursa ya kutumia haki yao ya kupiga kura katika uchaguzi wa bunge , utakaofanyika kuanzia tarehe 5 mpaka 9 Septemba .
(trg)="1.6"> 于9月5日至6日投票选出国会议员 。
(trg)="2.1"> 整体气氛平静 ,
(trg)="2.2"> 但选民之间情绪各异 ,

(src)="2.1"> Hali ni ya ukimya , japokuwa kuna hisia zinazotofautiana katika umma .
(trg)="2.3"> 有些富人打算出国 ,

(src)="2.2"> Watu wanojiweza wanasema watakwenda ughaibuni ; wengine wanatabasamu na kujihakikishia kwamba hakuna litakalotokea kwani Waangola hawataki tena vita na mateso ; wakati wengine wanakimbilia madukani kunua vyakula , ikiwa muovu atalipa na mambo yataenda vibaya , kama ilivyotokea mwaka 1992.
(trg)="2.4"> 有些人微笑保证绝不会出事 ,
(trg)="2.5"> 因为安哥拉人再也不想有战争与苦难 ;

(src)="2.3"> Kama itakumbukwa , wakati ule chama kikubwa cha upinzani , UNITA , kilishindana katika uchaguzi na mapigano yalizuka , yakapelekea kuibuka tena kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe ambavyo vilimalizika miaka kumi baadaye , na kifo cha kiongozi mwenye mvuto mkubwa wa chama hicho , Jonas Savimbi .
(trg)="2.8"> 当时最大在野党UNITA抗议选举结果 ,
(trg)="2.9"> 引爆冲突与长达十年的内战 ,

(src)="3.1"> Inapokuja kwa wafanyabiashara wa nje waishio Angola , wao hawakusudii kurudi kwenye nchi zao .
(trg)="2.10"> 该党颇具群众魅力的领导人Jonas Savimbi也因此身亡 。

(src)="3.2"> Jumii ya wafanya biashara inaamini kwamba kila kitu kitabaki kama kilivyo baada ya uchaguzi na kwamba hapana ulazima wa kubadilisha majukumu ya kikazi .
(trg)="3.1"> 在安哥拉的外商则不打算返回母国 ,

(src)="4.1"> Baada ya hatua za kwanza za uchaguzi , ambazo zilikuwa ghafiri na zenye athari mbaya , uchaguzi wa pili wa Bunge nchini Angola unakuja kwa kasi .
(trg)="3.4"> Jotacê Carranca如此记录当地气氛 :
(trg)="3.5"> 经过前次令人遗憾又后果惨重的选举之后 ,

(src)="4.2"> Kama mchakato huu , kwa wengi , ni sawa na matumaini mapya na kuimarika kwa demokrasia nchini kote , kwa wengine , walio sehemu za mashamba na kwa wale walio mikoani ambao waliteseka na ghasia , na matokeo ya vita vilivyojiri baada ya uchaguzi wa mwa 1992 , nadhani bado kuna hisia za woga , kutokuwa na uhakika , mtazamo hasi pamoja na kutokuamini katika faida zitakazofikia maisha ya wananchi kutokana na mchakato huu .
(trg)="3.6"> 安哥拉第二次国会选举很快就要举行 ,

(src)="4.3"> Katika maeneo haya kuna haja ya kufanya kazi ya kurahisisha mchakato mzima ili kwenda mbele zaidi ya vishawishi vya kisiasa , vionjo , vya kiutamaduni , vya kidini na vya kifilosofia .
(trg)="3.7"> 很多人认为此事代表着新希望到来 ,

(src)="4.4"> Ni lazima tutetee na kuimarisha dhamira za watu na za jamii kwa ujumla .
(trg)="3.8"> 同时也将巩固国内民主 ,

(src)="4.5"> Rais wa Angola jose Eduardo Dos Santos ameshatoa rai ya kutaka utulivu na mpangilio siku za kupiga kura , alieleza kwamba " ni muhimu kuhakikisha kuwa usalama wa raia na ulinzi wa mali zao , kwa sababu usalama wa umma ni kipaumbele " .
(trg)="3.10"> 以及对于那些受到1992年选后暴力直接影响地区的选民 ,

(src)="4.6"> Kiongozi huyo aliongeza kwamba ni muhimu " kuheshimu mitazamo na fikra za wengine " bila kutumia " maneno au vitendo vya vurugu " .
(trg)="3.12"> 也不相信选举会对所有民众有福 ,

(src)="5.1"> Tunategemea kuwa wapiga kura milioni 8.3 watakuwa na mazingira yenye amani kwa upigaji kura na watafanya hivyo katika njia ya safi na inayoeleweka vyema .
(trg)="3.14"> 超越政治 、 美学 、 文化 、 宗教与哲学影响 ,

(src)="5.2"> Kuna zaidi ya vituo 12 elfu vya kupigia kura katika dola ya kitaifa .
(trg)="3.15"> 推动社会与个人意识 。

(src)="5.4"> Kwa taarifa zaidi kuhusu mlengo wa kila chama kati vyama hivyo vya siasa tafadhali tembelea blogu ya Eugenio Costa Almeida . .
(trg)="3.19"> 切勿使用 「 言语或肢体暴力 」 。

# sw/2008_08_pakistani-musharraf-aondoka-jengoni_.xml.gz
# zhs/2008_08_19_1278_.xml.gz


(src)="1.1"> Pakistani : Musharraf Aondoka Jengoni
(trg)="1.1"> 巴基斯坦 : 总统辞职

(src)="1.2"> Imepita miaka nane , siku mia tatu na ushee tangu mapinduzi yasiyo ya kumwaga damu yaliyoongozwa na Jenerali wa Jeshi la Pakistani yalipofanyika na hivyo kumpokonya madaraka kiongozi fisadi Nawaz Sharif .
(trg)="1.3"> 由巴基斯坦军方将领穆夏拉夫 ( Pervez Musharraf ) 策动和平政变 ,

(src)="1.4"> Wakati huo raia wa Pakistani walisherehekea , lakini haikupita muda mrefu kabla watu hawajang’amua kuwa walikuwa tena kwenye janga wasilotaka, na kwa bahati mbaya ujaji huo polepole uligeuka kuwa utawala wa kidikteta usiotakikana.
(trg)="1.4"> 从当时贪腐的领导人夏立夫 ( Nawaz Sharif ) 手中取得政权 ,

(src)="1.5"> Baada ya miezi mingi ya utawala wa mabavu , hivi majuzi kulitokea tukio la kumaliza utawala uliodumu muda wa miaka tisa kasoro siku sitini , na hapa Pakistani inafungua ukurasa mpya .
(trg)="1.14"> 穆夏拉夫8年又305天的政权划下句点 ,

(src)="2.2"> Watu hao waligubikwa na mnong’ono mmoja baada ya mwingine kutoka katika taarifa zilizorushwa na vituo vya televisheni kwenda kwenye ujumbe mfupi wa maneno na hata barua pepe; ilikuwa kana kwamba majaaliwa ilikuwa yaamuliwe na kila mmoja wao.
(trg)="2.3"> 人们的肾上腺素也高潮迭起 ,
(trg)="2.4"> 从电视新闻 、 手机简讯与电子邮件 ,
(trg)="2.5"> 民众听闻一个又一个传言 ,

(src)="2.3"> Gazeti tando moja linalokwenda kwa jina la linatupa muhtasari makini kuhusu msukumo wa minong’ono hiyo katika sentenso moja: 'Simu inaita – Mushy anaondolewa madarakani kwa manufaa ya umma … tazama GEO (kituo kimoja cha televisheni) … SASA hivi' Wapo waliotuaminisha kwamba huyu jamaa anayekwenda zake angejaribu kujitetea ili abaki madarakani, wapo waliotabiri kwamba huenda angerejesha mfumo wa mahakama kama njia yake pekee ya kujinusuru na kulipiza kisasi; kinyume chake hali imegeuka kuwa hotuba ya kuagia, akiachia mambo mbele ya watu wake wa karibu waliokuwa wakilengwalengwa na machozi, hali ambayo tunahabarishwa kupitia kwamba ‘akiwa amevaa uso usio na tabasamu Musharraf, huku akipepewa na bendera za Pakistani nyuma yake na picha ya ‘mwanzilishi’ wa taifa hili aliishia kusema “Naweka hatma yangu mikononi mwa umma.”
(trg)="2.21"> Siam 's Blog提到 : 「 穆夏拉夫面容沉重 ,
(trg)="2.22"> 背后挂着国旗与建国者像 」 对大众说 : 「 我将我的未来交付人民手中 。
(trg)="2.23"> 」

(src)="4.1"> Pervez Musharraf - Picha kwa hisani ya : Mtiririko wa picha za Flickr wa Mkutano wa Uchumi Duniani zilizo chini ya haki miliki huria kwa umma .
(trg)="4.1"> 穆夏拉夫 - 图片来源 : 世界经济论坛Flickr图片集 ,

(src)="5.1"> Kuaga huku kulikotawaliwa na machozi kulikofanya na Musharraf mnamo tarehe 18 Agosti mwaka huu kulikuja zikiwa zimepita siku nne tu tangu Taifa liadhimishe sherehe za miaka 61 ya Uhuru .
(trg)="5.3"> 穆夏拉夫便于8月18日辞职 ,
(trg)="5.4"> 巴基斯坦谨慎地记下近九年王朝的句点 ,

(src)="5.2"> Ni katika hali ya tahadhari kubwa kwamba Pakistani inaadhimisha mwisho huu wa miaka tisa ya utawala wa familia hii .
(trg)="6.3"> 认为他是个好人 ,

(src)="5.3"> Hotuba yake ya mwisho ilijaa hasa kurejelea historia na hii ni kama ilivyonukuliwa na The Pakistani Spectator , yaani hasa kuelezea ni kwa namna gani alitumikia nchi na watu wake .
(trg)="6.4"> 也有些坚定支持者为他起身喝采 ,

(src)="6.1"> Wanablogu wa KiPakistani walipokea taarifa hizi kwa hisia tofauti , wapo waliomshabikia kwa miluzi yenye kuashiria kwamba alikuwa ‘ a Jolly Good Fellow’ ( mtu mwema na mchangamfu ) , wakati huohuo washabiki wake waaminifu hawakukawia kumpigia mbija za kumpongeza , hata hivyo wapo waliochukua hali hii kwa tahadhari huku wakisherehekea kumalizika kwa utawala wa kidikteta .
(trg)="6.5"> 不过多数人都小心翼翼地庆祝独裁时代告终 ,

(src)="6.2"> Katika namna ya kukejeli , Yeah That Too alishirikisha maneno machache , Ammar kwa upande wake aliandika kuhusu namna ‘ Mpambano mpya wa manyau’ unavyokaribia kuanza , Chowrangi anazungumizia mustakabali wa nchi ya Pakistani baada ya Musharraf , Psychotic Discourses anatupatia mwanga juu ya muundo mpya wa ‘ Utawala wa Kishetani’ ( Demon-cracy ) , wakati ambapo MB anatuchanganya zaidi kwa kuzungumizia hali hii kama moja ya mizunguko ya kisarakasi .
(trg)="6.6"> Yeah That too语带嘲讽地说了些话 ;
(trg)="6.7"> Annar则说新的争斗准备开始 ;
(trg)="6.8"> Chowrangi谈到国家后穆夏拉夫时代 ;

(src)="7.1"> Swali kubwa kwa sasa linabaki kuwa endapo Musharraf anaruhusiwa kutafuta ukimbizi nje ya Pakistani au endapo atafikishwa mbele ya sheria ili kujibu tuhuma mbalimbali zinazomkabili .
(trg)="6.9"> Psychotic Discourses指出新型态的邪恶民主 ;

(src)="7.2"> Ama kwa hakika ni changamoto kubwa kwa Taifa la Pakistani na ambayo inaweza kuwa na matokeo mengi .
(trg)="7.4"> 面对各种对他的指控 ,

(src)="8.1"> Mtu anabaki kujiuliza , hivi nini kinafuata , hasa katika kipindi hiki ambapo kuna wanasiasa wenye matumaini ya kunyakua cheo hicho cha juu zaidi katika taifa hili , ambapo hata hivyo jukumu la kuiondoa nchi katika mkanganyiko huu mkubwa liko zaidi mabegani mwa Asif Zardari na Nawaz Sharif , ambapo wote wawili ni wanasiasa ambao hawakuchaguliwa lakini ambao wengi wanawawekea matumaini makubwa ya kuiondoa nchi hii kutoka katika lindi la vurugu ambamo imo kwa sasa .
(trg)="8.3"> 不过要带领国家脱离混乱情境 ,
(trg)="8.4"> 札达里 ( Asif Zardari ) 与夏立夫两位政党领袖责任相等 ,
(trg)="8.5"> 两人未经民选 ,

# sw/2008_08_waziri-matatani-kwa-cheti-feki_.xml.gz
# zhs/2008_08_27_1296_.xml.gz


(src)="1.1"> Waziri matatani kwa cheti 'feki '
(trg)="1.1"> 伊朗 : 阁员博士学历造假

(src)="1.2"> Ali Kordan , Waziri wa Mambo ya Ndani wa Irani , Katika siku za hivi karibuni , ameshutumiwa vikali kwa kuonyesha Shahada 'feki ' ya Udaktari ( PhD ) aliyodai kupata kutoka katika chuo kikuu chenye sifa kubwa duniani cha Oxford cha nchini Uingereza .
(trg)="1.2"> 伊朗新任内政部长Ali Kordan最近饱受抨击 ,
(trg)="1.3"> 因为他的英国牛津大学博士学位证实伪造 ,

(src)="1.3"> Tovuti mbalimbali , pamoja na ile ya kihafidhina wa Alef , zimechapisha picha ya cheti hicho 'feki ' cha Kordan kinachoonyesha kwamba ametunukiwa Shahada ya Udaktari wa Heshima na Chuo Kikuu cha Oxford .
(trg)="3.2"> 这张所谓的牛津证书上有数个文法错误 ,

(src)="3.1"> Alef inaonyesha makosa kadhaa ya kiuandishi yaliyojitokeza kwenye cheti hicho kinachodaiwa kuwa cha Oxford , kwa mfano , “ to be benefitted from its scientific privileges” .
(trg)="3.3"> 例如 「 benefited 」 多了一个t ,

(src)="3.2"> Pia neno“entitled” liliandikwa kimakosa “intitled”.
(trg)="3.4"> 「 entitled 」 也误植为 「 intitled 」 。

(src)="4.1"> Vilevile tovuti ya Alef imepandisha kwenye ukurasa wake faksi kadhaa ambazo iliandikiana na Chuo Kikuu cha Oxford kuhusiana na jambo hili .
(trg)="4.1"> Alef也公布与牛津大学就此事交涉的数张传真 ,

(src)="4.2"> Baada ya hapo tovuti hiyo ilizuiwa kuonekana nchini Iran .
(trg)="5.1"> 伊朗政府介入调查本案同时 ,

(src)="5.1"> Wakati ambapo mamlaka nchini Irani inafanya upelelezi kuhusiana na jambo hili , Chuo Kikuu cha Oxford kimetangaza kwamba hakina kumbukumbu kwamba Bwana Kordan alipata kuhitimu katika chuo hicho .
(trg)="6.3"> 伊朗总统阿曼尼内贾德 ( Mahmoud Ahmadinejad ) 又创造一项奇迹 : 他挑选的内政部长自称是牛津大学法学博士 !

(src)="6.1"> Mwanablogu wa Irani , Bwana Behi , anaandika :
(trg)="6.8"> 不仅有文法错误 ,

(src)="6.2"> Rais Ahmadinejad amefanya muujiza mwingine .
(trg)="6.12"> 真是丢脸 !

(src)="6.3"> Amemteua mtu anayedai kuwa na Shahada ya Udaktari katika Sheria kutoka Chuo Kikuu cha Oxford kama waziri wa mambo ya ndani !
(trg)="6.13"> 改革派前副总统兼博客Mohmmad Ali Abtahi提到 ,

(src)="6.4"> Yalipoibuliwa maswali kuhusu uhalisia wa shahada hiyo , huyo jamaa alijawa na jazba , alivitishia vyombo vya habari na kuonyesha cheti chake hiki .
(trg)="6.14"> 他过去担任文化暨伊斯兰指导部副部长时 ,

(src)="6.5"> Cheti chenyewe kinatia mashaka makubwa na kinadhaniwa kuwa ni cha kughushi , tena kimejaa makosa ya kiuandishi na wakati huo huo majina yanayoonekana kwenye saini wala si ya yeyote miongoni mwa wanaofundisha katika Kitivo cha Sheria cha chuo hicho !
(trg)="6.15"> 便曾遇过官员花钱买博士学位 ,
(trg)="6.16"> 据悉买文凭代价约1000美元 。
(trg)="7.1"> 另一位博客Shirzad表示 ,

(src)="6.6"> Ikiwa Ahmadinejad anataka kughushi katika uchaguzi ujao , basi heri atafute mtu makini wa kumsaidia katika kugushi pasipo kugundulika kwa urahisi .
(trg)="7.2"> Ali Kordan似乎连学士证书都没有 :

(src)="6.7"> Lo , aibu kubwa hii !
(trg)="7.3"> 这代表他说谎多年 ,

(src)="6.8"> Mohmmad Ali Abtahi , aliyekuwa Makamu wa Rais katika serikali ya kimageuzi na ambaye pia ni mwanablogu , anaandika kwamba enzi zake alipokuwa Naibu Waziri wa Utamaduni na Miongozo ya Kiislamu , aliwahi kukutana na afisa mmoja wa Irani ambaye aliwahi 'kununua ' Shahada 'feki ' ya Udaktari .
(trg)="7.4"> 并以博士学历领薪水 ,
(trg)="7.5"> 一名国会议员质询Kordan : 「 你说论文主题有关伊斯兰教育 ,

(src)="6.9"> Abtahi anasema kwamba bei ya kununua cheti kama hicho ilikuwa ni karibu dola za Marekani 1000.
(trg)="7.6"> 那么如何取得法律博士学位 ?

(src)="7.1"> Mwanablogu mwingine , Shirzad , anadai kwamba kuna uwezekano mkubwa kuwa Ali Kordan hana hata shahada ya kwanza .
(trg)="7.7"> 」 「 你如果不会说英文 ,

(src)="7.2"> Mwanablogu huyu anaongeza :
(trg)="7.8"> 怎么通过口试 ?

(src)="7.3"> Inamaanisha kwamba miaka yote hii waziri huyu ametumia udanganyifu kulipwa kama mtu mwenye Shahada ya Udaktari ...
(trg)="7.9"> 」 Kordan回答 : 「 我有翻译员 。

(src)="7.4"> Mmoja wa wasaidizi katika Bunge la Irani aliwahi kumuuliza Kordan : “ Ulipataje Shahada yako ya Udaktari katika Sheria wakati wewe unadai kwamba uliandika Utafiti ( Thesis ) wako kuhusu Elimu ya Kiislamu ? "
(trg)="7.10"> 」
(trg)="7.11"> Jomhour说 ,
(trg)="7.12"> 伊朗总统仍为内政部长辩护 ,

(src)="7.5"> " Je , ulifanya vipi utetezi wako wakati ambapo wewe huwezi kuzungumza Kiingereza ? "
(trg)="7.13"> 表示 「 我们不需要那些废纸 !

(src)="7.6"> Kordan alijibu , " Nilikuwa na mfasiri . "
(trg)="7.16"> 若学历无用 、 是废纸 ,

(src)="7.7"> Mwanablogu Jomhour anaandika kwamba Rais wa Irani , Mahmoud Ahmadinejad alimtetea Waziri wake kwa kuuliza , " Je , ni nani aliye na haja na makaratasi haya yanayoweza kuchanwa ( yasiyo na maana ) !”
(trg)="7.17"> 为何部长要佯装成握有证书 .

(src)="8.1"> Mwanablogu huyu anauliza :
(trg)="7.18"> .

(src)="8.2"> Endapo vyeti havina maana , ni makaratasi yanayoweza kuchanwa wakati wowote , hivi basi kwa nini Waziri wa Ahmadinejad alijihangaisha kutafuta walau cheti hicho feki ... na hii si mara ya kwanza ambapo Rais Ahmadinejad anaita ( anakebehi ) nyaraka muhimu kuwa ni makaratasi yanayoweza kuchanwa wakati wowote kumaanisha kwamba hayana maana .
(trg)="7.20"> 这不是总统第一次称官方文件为废纸 ,
(trg)="7.21"> 之前联合国决议反对伊朗核子计划时 ,

(src)="8.3"> Hapo mwanzo aliwahi kusema kuwa nyaraka zilizoonyesha msimamo wa Umoja wa Mataifa dhidi ya Mpango wa Nyuklia wa Irani kama makaratasi yasiyo na maana .
(trg)="7.22"> 他也称之为是无用的废纸 。

(src)="8.4"> Ali Akbar Javanfekr , Mshauri wa Rais Ahmadijad katika masuala ya mawasiliano na vyombo vya habari , anasema kwamba Wizara ya Sayansi itoe uamuzi kuhusu Shahada ya Udaktari ya Kordan na anapendekeza kwamba tusiingize au kuhusisha katika siasa mtazamo na maoni binafsi kuhusu suala hili .
(trg)="7.23"> 总统的媒体顾问Ali Akbar Javanfekr表示 ,
(trg)="7.24"> 科学部应对Kordan的博士学历认定做出裁决 ,

# sw/2008_09_paraguai-rais-lugo-kutopokea-mshahara_.xml.gz
# zhs/2008_09_05_1320_.xml.gz


(src)="1.1"> Paraguai : Rais Lugo Kutopokea Mshahara
(trg)="1.1"> 巴拉圭 : 总统放弃领月薪

(src)="1.2"> Utawala wa Rais Ferdinand Lugo umeanza na tangazo kuwa hatapokea mshahara wake wa mwezi .
(trg)="1.3"> 便宣布将放弃月薪 : 「 我不需要这份月薪 ,

(src)="1.3"> " Sihitaji mshahara huo , ambao unapaswa kumilikiwa na masikini , " alisema Lugo .
(trg)="1.4"> 这笔钱应属于贫户 」 ,

(src)="1.4"> Mabloga nchini humo wanatofautiana mitazamo , wakati mmoja anausifu uamuzi huo , mwingine anajiuliza ni vipi Rais lugo atajilipia gharama binafsi za maisha .
(trg)="2.4"> 其他人则怀疑卢戈会否动用总统职权下的预备经费 ,

(src)="2.2"> Hata hivyo , Rodriguez anaangalia mambo tofauti :
(trg)="2.6"> 在目前情况下 ,

(src)="2.3"> Katika tangazo la Lugo kusamehe mshara wake , tunaona ujumbe wake ni kwamba " sipo hapa kwa ajili ya pesa . "
(trg)="2.7"> 卢戈宣布放弃薪水 ,

(src)="2.4"> Ni ujumbe ulio juu na wenye umuhimu mkubwa kwenye nchi ambayo asilimia kubwa ya wanasiasa , huingia kwenye nyanja hiyo kutafuta nguvu za kisiasa ambazo huwakisha kwenye nguvu za kiuchumi kwa muda mfupi inavyowezekana , kwa kuiba .
(trg)="2.8"> 希望传达给我们的讯息是 : 「 我不是为钱而来 」 ,

(src)="2.5"> Hata hivyo , jorge Torres Romero wa Detras del Papel haoni mambo katika njia hiyo na anfikiri ulikuwa uamuzi usio makini :
(trg)="2.10"> 是为了能尽速掌控经济权力窃取致富 ,

(src)="3.1"> Siku baada ya tangazo la Lugo , wanahabari wachache waliuliza swali je ni nani ana hiyari ya kufuata mfano wa rais .
(trg)="3.1"> 卢戈宣布放弃薪水后隔天 ,
(trg)="3.2"> 有些媒体询问有谁会效法总统的作为 ?

(src)="3.2"> Ni wazi , hakuna mmoja , Federico Franco ( Makamu Mpya wa Rais ) , kwa mfano , alisema yeye ana familia ya kutunza na kwamba hataghairi haki yake ya kupokea mshahara .
(trg)="3.4"> 例如新任副总统法兰哥 ( Federico Franco ) 表示自己有家庭要照顾 ,

(src)="3.3"> Rais ataishi kwa kutumia nini ?
(trg)="3.5"> 不会放弃工作领薪的合法权力 。

(src)="3.5"> Je ana akiba kubwa kiasi hicho ?
(trg)="3.6"> 放弃薪水之后 ,

(src)="3.6"> Je ataishi kutokana na kodi ya mali zake ?
(trg)="3.10"> 要怎么付房租 ?

(src)="3.7"> Je atajilipia kodi ?
(trg)="3.11"> 他要纳税吗 ?

(src)="3.8"> Au atasubiri misaada , zawadi na mialiko kutoka kwa marafiki zake ?
(trg)="3.14"> 依据创用CC原则使用

# sw/2008_09_angola-uchaguzi-katika-picha_.xml.gz
# zhs/2008_09_06_1322_.xml.gz


(src)="1.1"> Angola : Uchaguzi Katika Picha
(trg)="1.1"> 安哥拉 : 用照片说大选故事

(src)="1.2"> Ijumaa hii ya tarehe 5 Septemba ilikuwa ni siku maalum katika Angola .
(trg)="1.6"> 对许多人而言 ,

(src)="1.3"> Baada ya kampeni vuguvugu za uchaguzi , umma ulijawa shauku ya kupiga kura kwa ajili ya bunge jipya baada ya miaka 16.
(trg)="1.7"> 这是他们人生初次行使投票权 ,

(src)="1.4"> Kwa watu wengi , hii ilikuwa ni fursa yao ya kwanza kutumia haki yao ya kupiga kura .
(trg)="1.9"> 不过由于物流装配延误选票运送 ,

(src)="2.1"> Wakati ambapo maoni yanaanza kujitokeza katika mtandao wa wanablogu , ripoti kamili iko njiani . Kwa sasa zifuatazo ni picha zinazoonyesha siku hiyo ya kihistoria , kama zinavyoorodheshwa na Jose Manuel Lima da Silva , mtumiaji wa huduma ya Flickr Kool2bBop , pamoja na nukuu zake :
(trg)="1.10"> 首都罗安达 ( Luanda ) 共320个投票所在9月6日才投票 。
(trg)="2.1"> 博客圈对选举的反应逐渐出现 ,

(src)="2.2"> Umoja wa Kitaifa .
(trg)="2.7"> 全国团结 ,

(src)="2.3"> Angola inuonyesha ulimwengu kwamba , pamoja na tofauti zilizopo , ina wananchi wenye mshikamano .
(trg)="2.8"> 安哥拉向世界展现 ,
(trg)="2.9"> 容或存在差异 ,
(trg)="2.10"> 人民依然团结 ,

(src)="2.4"> Watu wamoja na Taifa moja .
(trg)="2.11"> 同一民族 ,

(src)="2.5"> Tunatumaini kuwa itakuwa hivi mpaka mwisho - moyo wa kitaifa !
(trg)="2.12"> 同一国家 ,

(src)="10.1"> Kuna picha nyingi zaidi za siku hiyo kubwa kwenye tovuti za picha za Flickr za Tiago Sousa na Sam .
(trg)="10.3"> 还有更多选举当天的照片 。

(src)="11.1"> Karibia watu milioni 8.3 wamejiandikisha kupiga kura , ili kuchagua wagombea zaidi ya 5,000 kutoka katika vyama 10 vya siasa na vile vya mseto .
(trg)="11.2"> 十个政党与四个联盟共推出超过5000名候选人 ,

(src)="11.2"> Kuna jumla ya viti 220 vya bunge .
(trg)="11.3"> 角逐国会220个席次 。

# sw/2008_09_irani-redio-zamaneh-redio-ya-mabloga_.xml.gz
# zhs/2008_09_12_1338_.xml.gz


(src)="1.1"> Irani : Redio Zamaneh , Redio ya Mabloga
(trg)="1.1"> 伊朗 : 博客的电台

(src)="1.2"> Redio Zamaneh ni redio ya lugha ya kipersia yenye makao yake huko mjini Amsterdam .
(trg)="2.4"> 在荷兰登记为非营利组织 ,

(src)="1.3"> Zamaneh ni neno linalomaanisha " wakati " katika lugha hiyo .
(trg)="2.5"> 总部与录音室位在阿姆斯特丹 ,

(src)="1.4"> Redio Zamaneh ( RZ ) ni chombo huru cha utangazaji kilichosajiliwa kama asasi isiyo ya kiserikali huko Uholanzi , kikiwa na studio na makao yake makuu mjini Amsterdam .
(trg)="2.6"> 计划统筹单位为荷兰非政府组织Press Now 。

(src)="1.5"> Mratibu wa redio hiyo ni Asasi isiyo ya kiserikali ya Kidachi ijulikanayo kama Press Now .
(trg)="2.7"> 电台约在两年前成立 ,

(src)="1.6"> Redio hiyo ilizinduliwa yapata miaka miwili iliyopita na imejipachika lahaja kwa jina la " redio ya mabloga " .
(trg)="2.8"> 自称是 「 博客的广播电台 」 。

(src)="2.1"> Bloga na mpiga picha Kamran Ashtray , ambaye pia ni mkurugenzi wa mawasiliano na maendeleo anaeleza changamoto , matumaini , na mafanikio ya nyanja ya uanahabari wa kiraia wa Irani .
(trg)="3.1"> Kamran Ashtary是博客 、 摄影师与电台沟通与发展部主任 ,

(src)="3.1"> RZ inajiita Redio ya mabloga .
(trg)="4.1"> RZ自称是博客的广播电台 ,

(src)="3.3"> Ni kwa kuiwango gani mabloga wameweza kushawishi muelekeo wa wa RZ ?
(trg)="4.2"> 为何以此诉求 ?

(src)="4.1"> Waandishi wengi wa habari nchini Irani wameanza kublogu kwa sababu magazeti mengi yanaendelea kughasiwa na kufungwa .
(trg)="4.3"> RZ对博客有何影响力 ?

(src)="4.2"> Wengi wa wachangiaji wa Redio Zamaneh walikuwa na bado ni mabloga .
(trg)="4.4"> 由于许多报纸不断遭到骚扰与关闭 ,

(src)="4.3"> Mkurugenzi wetu , Mehdi jami , alianza kublogu kwa miaka kadhaa kabla ya kujiunga na Redio Zamaneh .
(trg)="4.5"> 很多伊朗记者转向博客进行沟通 ,

(src)="5.1"> Kwa kuwa sera ya habari ya Redio Zamaneh imejikita kewenye uandishi wa kiraia , kuwafikia mabloga ilikuwa ni jambo la wazi .
(trg)="4.6"> 多数RZ的参与者过去与现在都是博客 ,