# ro/2015_01_142.xml.gz
# sw/2015_01_pamoja-na-wapiga-kura-kutilia-shaka-sera-zake-croatia-yapata-rais-mwanamke_.xml.gz


(src)="1.1"> Croația face istorie cu prima femeie președinte , dar politica ei îngrijorează o parte din electorat
(trg)="1.1"> Pamoja na Wapiga Kura Kutilia Shaka Sera Zake , Croatia Yapata Rais Mwanamke

(src)="1.2"> Kolinda Grabar Kitarović : " Hahaha , toată lumea zice că nu ne înțelegem , dar între timp , noi ne simțim bine ” Ivo Jospović 's răspunde : " Mulțumesc !
(trg)="1.2"> Kolinda Grabar Kitarović : " Hahaha , kila mmoja anasema kuwa hatuwezi kusonga mbele , na wakati huo huo tunaji .”

(src)="3.1"> Grabar Kitarović a câștigat lupta strânsă cu președintele Ivo Jospović , în al doilea tur de scrutin din ianuarie 2015 , obținând 50.74 % din voturi , potrivit rezultatelor preliminare .
(trg)="3.1"> Grabar Kitarović alipata ushindi katika mazingira ya upinzani mkali kutoka kwa Rais aliyemaliza muda wake , katika duru ya pili ya uchaguzi uliofanyika January 2015 , akijizolea asilimia 50.74 ya kura zote , kwa mujibu wa taarifa za matokeo ya awali .

(src)="3.2"> Ea va fi inaugurată pe 18 februarie , 2015 .
(trg)="3.2"> Ataapishwa rasmi tarehe 18 Februari , 2015.

(src)="4.1"> Ca prima femeie președinte a Croației și ca al patrulea președinte de la obținerea independenței , ea își va lăsa fără îndoială amprenta asupra țării și a regiunii .
(trg)="4.1"> Kama Rais wa kwanza mwanamke nchini Croatia , na Rais wa nne wa kuchaguliwa tangu nchi hii ijipatie uhuru wake , bila shaka yoyote ataweka historia kwa nchi yake na ukanda wa Jumuia ya Ulaya .

(src)="4.2"> Dar în ciuda victoriei sale istorice , mulți dintre acei cetățeni care ar fi preferat un alt reprezentant politic , își fac griji în legătură cu felul în care nevoile și părerile lor vor fi reprezentate de noua conducătoare .
(trg)="4.2"> Pamoja na ushindi wake wa kihistoria , raia wengi ambao wangalipendelea Rais tofauti na yeye , wanaonesha hofu yao ni kwa namna gani mawazo na mahitaji yao yatatekelezwa na Rais huyu katika kipindi cha uongozi wake .

(src)="5.1"> " Domnule profesor , testul s-a terminat , dar Bosnia încă scrie ! " Această imagine a circulat peste tot după alegerile prezidențiale din Croația .
(trg)="5.1"> " Mwalimu , mtihani umemalizika , lakini Bosnia anaendelea kuandika ! " ujumbe huu umesambaa kwa kiasi kukubwa kufuatia duru ya pili ya uchaguzi .

(src)="5.2"> Diaspora este adesea acuzată pentru favoritismul lor față de partidele de dreapta , în condițiile în care ei nu locuiesc în Croația și nu plătesc taxe .
(trg)="5.2"> Jumuia ya watu wanaoishi nje ya nchi mara nyingi hutakiwa kupigia kura vyama vya mrengo wa kulia , pamoja na kuwa watu hawa hawaishi nchini Crotia na wala kutozwa kodi .

(src)="6.2"> Țara este puternic divizată între opiniile politice de stânga și de dreapta , iar ea l-a învins pe Josipović la o diferență de câteva mii de voturi .
(trg)="6.2"> Nchi hii ina mpasuko mkubwa miongoni mwa makundi mawili ya siasa za kati-kushoto na kati-kulia , na alifanikiwa kumshinda mpinzani wake , Josipović kwa tofauti ya elfu kadhaa tu za kura .

(src)="7.3"> În ochii multora , Josipović nu a făcut multe pentru Croați în timpul mandatului său .
(trg)="7.2"> Kwa mtazamo wa wapiga kura wengi , Josipović alipokuwa Rais , hakuweza kutimiza mambo mengi waliyoyataka watu wa Crotia .

(src)="8.1"> Drumul către un al doilea tur de scrutin
(trg)="8.1"> Kuelekea duru ya pili ya uchaguzi

(src)="9.1"> Se pare că a fost o luptă murdară și costisitoare .
(trg)="9.1"> Harakati za uchaguzi zinaonekana kuwa ziligubikwa na udanganyifu na matumizi makubwa ya fedha .

(src)="9.3"> Președintele nu poate fi ales decât dacă obține mai mult de 50 % din voturi .
(trg)="9.3"> Rais hawezi kutangazwa hadi pale mgombea atakapopata zaidi ya asilimia 50 ya kura zote .

(src)="10.1"> Deoarece niciunul din cei patru nu a reușit să obțină mai mult de 50 % din voturi ( numai 47.14 % din electorat a votat în primul tur ) , Grabar Kitarović and Josipovićau au continuat lupta pe 11 ianuarie . .
(trg)="11.2"> Hata hivyo , pamoja na kiasi kikubwa cha fedha kutumiwa kwenye kampeni , madaraka ya uRais kwa hakika ni machache katika serikali ya Crotia , ambapo Rais kimsingi anakuwa kama muwakilishi ndani na nje ya nchi pamoja na kushughulikia mambo ya sherehe kama vile kuwatunuku watu mashuhuri .

(src)="13.1"> Grabar Kitarović este favorizată de electoratul de dreapta și de diaspora , în special de cei care locuiesc în Bosnia-Herzegovina .
(trg)="11.6"> Kati ya Ivo Josipovića na Kolinda Grabar Kitarović ninaweza tu kuchagua karatasi kura zisizo sahihi. #izboriprh #izbori2014

(src)="14.1"> Croația a fost mereu divizată din punct de vedere politic , dar se pare că acest fenomen a ajuns la apogeu în prezent .
(trg)="11.7"> Kinachosikitisha zaidi ni kuwa tukio hili la kihistoria , katika nchi yenye misingi ya mfumo dume , bila shaka halichukuliwi kama ushindi kwa yeyote awateteao wanawake . #izboriprh

(src)="16.1"> O națiune este formată din oameni , iar oamenii din Croația au ales-o pe Kolinda Grabar Kitarović ca viitorul lor președinte , așa cum trebuie să se întample într-o țară democratică .
(trg)="12.1"> Taifa linajengwa na watu , na watu wa Crotia wameshamchagua Kolinda Grabar Kitarović kama Rais wao anayefuata , na kama jinsi inavyopaswa kufanyika katika nchi yenye demokrasia .

(src)="16.2"> Timpul va demonstra cât de benefică va fi alegerea poporului pentru această țară .
(trg)="12.2"> Wakati ndio utakaosema kiwango cha umahiri wa chaguo la watu katika kuijenga nchi ya Croatia .

# ro/2015_06_366.xml.gz
# sw/2015_05_mjamzito-wa-miaka-11-agoma-kutoa-mimba-nchini-uruguay_.xml.gz


(src)="1.1"> O fată din Uruguay , însărcinată la vârsta de 11 ani , a refuzat avortul
(trg)="1.2"> Kugoma kwa mjamzito wa miaka 11 kutoa mimba kumesababisha utata .

(src)="1.3"> Am scris recent despre o fată de aproximativ 10 ani din Paraguay care a rămas însărcinată după ce a fost violată de tatăl ei vitreg și care nu a putut face avort din cauza legilor stricte din țară .
(trg)="1.3"> Hivi karibuniTuliandika kuhusu msichana wa miaka 10 aliyekuwa mjamzito nchini Paraguay kwa kudaiwa kubakwa na baba yake wa kambo na namna alivyoshindwa kutoa mimba hiyo kwa sababu sheria za nchi hiyo zinazuia utoaji wa mimba .

(src)="2.2"> Bărbatul a fost arestat și va fi anchetat pentru viol , au declarat oficialii din Uruguay pentru France-Presse .
(trg)="2.2"> Mwanaume huyu kwa sasa yuko kizuizini na anashitakiwa kwa makosa ya ubakaji , wanasema maafisa wa Uruguay walipozungumza na Agence France-Presse .

(src)="3.1"> Membrii familiei , doctorii , organizațiile sociale și Mass Media au încurajat-o pe fată să avorteze .
(trg)="3.1"> Wanafamilia , madaktari , mashirika ya kijamii , na vyombo vya habari vimemshawishi msichana huyu kuitoa mimba hiyo .

(src)="3.3"> Însă răspunsul primit nu a fost unul favorabil :
(trg)="3.3"> Majibu , hata hivyo , hayajawaridhisha :

(src)="3.4"> Nu există riscuri nici pentru copil , nici pentru bebeluș , deci nu o putem forța să avorteze , a afirmat directorul INAU , Monica Silva .
(trg)="3.4">“ Hakuna hatari yoyote kwa maisha yake wala mtoto , kwa hiyo hatuwezi kumlazimisha kutoa ujauzito huo , " mkurugenzi wa INAU , Monica Silva , alisema .

# ro/2015_05_299.xml.gz
# sw/2015_05_tamko-global-voices-yatoa-wito-wa-kuimarishwa-kwa-usalama-wa-wanablogu-wa-bangladesh_.xml.gz


(src)="1.1"> STATEMENT : Global Voices cere măsuri de siguranță pentru bloggerii din Bangladesh
(trg)="1.1"> TAMKO : Global Voices Yatoa Wito wa Kuimarishwa kwa Usalama wa Wanablogu wa Bangladesh

(src)="1.2"> " Cine e următorul ? "
(trg)="1.2"> " Nani atafuata ? " michoro ya wanablogu wa Bangladesh waliouawa .

(src)="2.1"> Comunitatea Global Voices atrage atenția comunității internaționale asupra situației alarmante a bloggerilor din Bangladesh .
(trg)="2.1"> Jumuia ya Global Voices yaitaka jamii ya kimataifa kutupia jicho hali tete ya usalama inayowakabili wanablogu wa Bangladeshi .

(src)="2.2"> Unii bloggeri au fost omorâți , alții au fost atacați , supuși amenințărilor cu moartea și excluși de extremiștii religioși din cauza ideilor promovate de ei .
(trg)="2.2"> Wanablogu wameshauawa , na wengine wengi wamesha shambuliwa , wakijikuta kwenye vitisho vya kuuawa na pia kutengwa na wahafidhina kutokana na mambao wanayoaandika .

(src)="2.3"> Numai anul acesta , 3 bloggeri au fost asasinați în public .
(trg)="2.3"> Kwa mwaka huu peke yake , wanablogu watatu waliuawa mbele ya hadhara .

(src)="4.1"> Ateii au aceleași drepturi ca și ceilalți cetățeni din Bangladesh .
(trg)="4.1"> Wapagani wana haki sawa na raia wengine wa nchini Bangladesh .

(src)="4.2"> Conform legislației naționale , orice persoană care are intenții “ premeditate ” sau “ malițioase ” de a răni “ sentimente religioase ” poate fi reclamată .
(trg)="4.2"> Kwa mujibu wa sheria ya nchi , mtu yeyote aliye na madhumuni “ thabiti” au “ kushukiwa” “ kudhuru hisia za kiimani” anaweza kuhukumiwa .

(src)="4.4"> În ciuda acestui fapt , guvernul secular al Bangladeshului nu a făcut nimic să descurajeze atacurile sau să aducă acei criminali în justiție .
(trg)="4.4"> Hata hivyo , serikali ya kidini ya Bangladesh hadi sasa imeweka juhudi hafifu sana za kukemea mashambulizi haya au kuwafikisha wauaji kwenye vyombo vya sheria .

(src)="5.1"> Acești bloggeri nu susțineau și nici nu săvârșeau violențe .
(trg)="5.1"> Wanablogu hawa hawakuwa wakiunga mkono au kujihusisha kwenye machafuko hayo .

(src)="5.2"> Scriau despre climatul politic complex și adesea tendențios din Bangladesh și despre importanța susținerii drepturilor omului .
(trg)="5.2"> Walikuwa wakiandika kwa maoni yao kuhusiana na hali tete ya kisiasa ya Bangladesh pamoja na umuhimu wa kuweka kipau mbele haki za binadamu .

(src)="5.3"> Ei își exersau dreptul la libera exprimare , existent în Constituția țării și în doctrina internațională a drepturilor omului din care Bangladesh face parte .
(trg)="5.3"> Walikuwa wakitumia haki yao ya uhuru wa kujieleza , whuku wakilindwa na katiba ya taifa lao pamoja na Sheria ya kimataifa ya haki za binadamu ambayo Bangladesh ni mwanachama .

(src)="6.1"> Global Voices este o comunitate de bloggeri , activiși , scriitori și translatori din 137 de țări .
(trg)="6.1"> Global Voices ni jumuia ya wanablogu , wanaharakati , waandishi , na watafisi kutoka katika nchi 137.

(src)="6.2"> Dreptul universal la libertatea de exprimare este fundamental în misiunea noastră .
(trg)="6.2"> Haki ya binadamu ya kimataifa ya uhuru wa kujieleza ndiyo kipau mbele chetu katika dira yetu .

(src)="6.3"> Noi împărtășim știri din jurul lumii care au fost mai puțin promovate și apărăm dreptul tuturor de a se exprima liber și fără teamă .
(trg)="6.3"> Tunasambaza habari zisizopewa kipaumbele kutoka katika katika pande zote za dunia pamoja na kutetea haki ya kila mmoja ya kujieleza kwa uhuru bila ya hofu .

(src)="7.1"> Printre cei 84 de indivizi de pe listă , se află prieteni și colaboratori ai comunității Global Voices .
(trg)="7.1"> Miongoni mwa wanablogu hao , watu 84 katika listi hii ni marafiki na wachangiaji wa jumuia ya Global Voices .

(src)="7.2"> Există , de asemenea , bloggeri și activiști care nu sunt pe listă , dar sunt în pericol din cauza activismului online .
(trg)="7.2"> Pia , wapo wanablogu pamoja na wanaharakati wa mtandaoni ambao hawapo katika listi hiyo , lakini wapo katika hali hatarishi kutokana na uandishi na uanaharakati wao .

(src)="8.2"> Rugăm , de asemenea , aliații noștri din comunitatea internațională care luptă pentru drepturile omului , să se alăture cauzei noastre și să ne ajute să îi păstram în siguranță pe cei care se află în pericol .
(trg)="8.3"> Na pia , tunawaomba washirika wetu wote wa jamii ya kimataifa ya kutetea haki za binadamu kutuunga mkono ikiwa ni pamoja na kusaidia kuimarisha usalama wa watu wote walio katika mazingira hatarishi .

# ro/2015_07_417.xml.gz
# sw/2015_07_kwenye-jiji-lenye-machafuko-zaidi-duniani-wasanii-wa-uchoraji-kuta-watumia-silaha-zao-vizuri_.xml.gz


(src)="1.1"> În cel mai violent oraș din lume , artiștii Graffiti își folosesc " armele " în scopul binelui
(trg)="1.1"> Kwenye Jiji Lenye Machafuko Zaidi Duniani , Wasanii wa Uchoraji Kuta Watumia 'Silaha zao ' Vizuri

(src)="1.2"> Artistul Rei Blinky in San Pedro Sula , Honduras .
(trg)="1.2"> Msanii wa uchoraji kuta , Rei Blinky akiwa kazini huko San Pedro Sula , Honduras .

(src)="1.3"> Credit : Nathaniel Janowitz .
(trg)="1.3"> Shukrani kwa : Nathaniel Janowitz .

(src)="1.4"> Folosită cu permisiunea PRI
(trg)="1.4"> Imetumiwa kwa ruhusa ya PRI .

(src)="3.1"> Garduri de sârmă ghimpată , străzi pustii , agenți de pază înarmați .
(trg)="3.1"> Uzio wa seng'enge , mitaa mitupu , na walinda usalama wakiwa na bunduki .

(src)="3.2"> Pare o scenă dintr-un film distopic , dar nu e așa .
(trg)="3.2"> Ni kama vile kipande cha filamu ya dystopia , lakini siyo filamu .

(src)="3.3"> Este vorba de San Pedro Sula , orașul din Honduras care a fost desemnat ca fiind cel mai periculos din lume pentru patru ani la rând .
(trg)="3.3"> Hii ni San Pedro Sula , Honduras , jiji ambalo limetajwa kuwa na machafuko kuliko jiji lingine lolote duniani kwa miaka minne mfululizo .

(src)="4.1"> În ultimul timp , San Pedro Sula încercă să-și creeze o imagine puțin mai optimistă , să devină un loc plin de artă .
(trg)="4.1"> Hivi karibuni , jiji la San Pedro Sula limejaribu kujijengea jina lenye matumaini mema . tried to make a much more optimistic name for itself : mahali palipo shamiri kwa sanaa .

(src)="4.2"> Acest lucru se datorează artiștilor graffiti , care au au colorat pereții orașului în culori vii .
(trg)="4.2"> Shukrani ziwaendee wasanii wa uchoraji kuta ambao picha zao za ukutani za kupendeza zinaonekana maeneo mbalimbali ya jiji .

(src)="5.1"> Artistul Rei Blinky este ceea ce journalistul Nathaniel Janowitz numește un " pionier " al mișcării artistice care își face simțită prezența în tot orașul .
(trg)="5.1"> Msanii wa uchoraji kuta , Rei Blinky ndiye haswa mwandishi wa habari Nathaniel Janowitz anamhesabu kuwa ndiye " mwanzilishi " wa harakati hizi kupitia sanaa iliyoenea maeneo mbalimbali ya Jiji .

(src)="5.2"> Blinky a fost primul artist care s-a aventurat pe străzile practic pustii .
(trg)="5.2"> Blinky ndiye msanii wa kwanza kuvinjari kwenye mitaa ambayo kwa kiasi kikubwa ilikuwa imekimbiwa na watu .

(src)="5.3"> Senzația de oraș-fantomă este în strânsă legătură cu găștile periculoase ale orașului .
(trg)="5.3"> Hisia mbaya dhidi ya jiji hili zinahusishwa na magenge ya kihalifu .

(src)="5.4"> " Nu știi niciodată când o confruntare între găști ar putea izbucni .
(trg)="5.4"> " Huwezi kufahamu ni wakati gani kurushiana risasi kunaweza kutokea kati ya genge moja na jingine .

(src)="5.5"> Poți să treci pur și simplu pe stradă și să încasezi un glonte , " spune Janowitz .
(trg)="5.5"> Kwa hiyo , unaweza kujikuta umepigwa risasi wakati unatembea mtaani , " anasema Janowitz .

(src)="6.1"> Dar nu numai gangsterii domină străzile , acum și arta graffiti este omniprezentă .
(trg)="6.1"> Siyo tu magenge haya yanatawala mitaa , hata na uchoraji wa kuta pia umechukua nafasi katika mitaani .

(src)="6.2"> Blinky a reușit această schimbare prin stilul său unic pe care Janowitz îl numește " artă-pop indigenă . "
(trg)="6.2"> Blinky alifanya mageuzi makubwa kwa kuja na namna yake mpya ambayo Janowitz anaiita " pop-art indigenous . "

(src)="6.4"> " E unul din acei artiști cărora le recunoști picturile instant , știi imediat că e vorba despre Rei Blinky .
(trg)="6.4"> " Huyu ni mmoja wa wale wasanii ambao ukipitia kazi zake utajua tu kuwa ni yuleyule Rei Blinky . Hakuna mwingine kama yeye " anasema Janowitz .

(src)="6.5"> Nu există altul ca el . " adaugă Janowitz .
(trg)="7.1"> Blinky amefungua njia ya wasanii wengine wengi kujiunga naye .

(src)="7.2"> " Mișcarea s-a dezvoltat considerabil , iar decorul artistic din oraș înflorește , " declară Janowitz .
(trg)="7.2"> " Harakati hizi zimeshaenea kwa kiasi kikubwa , kuna michoro mingi ya kuvutia sana jijini " , anasema Janowitz .

(src)="7.3"> Mulți alți artiști au devenit cunoscuți în arta stradală : Baruc , care aduce un omagiu femeilor din Honduras prin picturile sale și Carloc Badia , care combină mai multe tehnici ale artei vizuale .
(trg)="7.3"> Wasanii wengi wengine wamejizolea umaarufu kwenye mitaa mbalimbali : Baruc , katika kazi zake , anawapa wanawake wa honduras nafasi kubwa , wakati Carlos Badia rbrbs anaandaa kazi zake katika maudhui tofauti tofauti .

(src)="8.1"> " Se pare că oamenii din San Pedro Sula refuză să trăiască în frică în ciuda pericolului și criminalității excesive .
(trg)="8.1"> " Inaonekana kuwa watu wa San Pedro Sula , wanatambua kuwa uwepo wa magenge ya wahalifu ni tatizo lililo dhahiri , wanatambua pia hawawezi kuishi maisha ya hofu vile vile .

(src)="8.2"> Trebuie să își dorească să iasă pe străzi și să lupte pentru pace " spune Janowitz .
(trg)="8.2"> Hivyo , wanalazimika kwenda mitaani na kuitafuta amani kwa njia ya utulivu , " anasema Janowitz .

(src)="8.3"> " Dacă nu au dorința sau capabilitatea de a lupta cu arme împotriva răufăcătorilor , vor trebui să folosească pensula . "
(trg)="8.3"> " Kama hawapo tayari au hawana vitendea kazi ili waende kudai amani kwa bunduki , wataenda na vishungi vya kupaka rangi . "

(src)="9.1"> Artiștii graffiti speră să poată ajunge la tineriii din San Pedro Sula , mulți dintre care preferă să părăsească orașul decât să rămână în acea atmosferă violentă .
(trg)="9.1"> Wasanii wa uchoraji kuta wana mategemeo ya kuwafikia vijana wadogo wa San Pedro Sula , wengi wao wakifanya juhudi za kulikimbia jiji kuliko kuendelea kuishi kwenye jiji lenye ghasia .

(src)="9.2"> " Copiii din oraș trăiesc cu impresia că dacă nu te alături găștilor , trebuie să fugi , " adaugă Janowitz .
(trg)="9.2"> " Kwa sasa , inaonekana idadi kubwa ya watoto jijini , kama siyo kujiunga na magenge basi wanachagua kukimbia , " anasema Janowitz .

(src)="9.4"> Janowitz spune că scopul principl al artiștilor este de a lucra cu copiii , de a-i îndepărta de străzi și de a-i învăța artă .
(trg)="9.4"> Janowitz anasema kuwa , moja ya malengo yao makubwa ni kufanya kazi na watoto , kuwatoa mitaani na kuwafundisha sanaa .

(src)="10.1"> Blinky a început să-și promoveze arta internațional .
(trg)="10.1"> Blinky ameanza kusambaza sanaa yake nje ya Honduras .

(src)="10.2"> Datorită lui și a celorlalți artiști , Janowitz consideră că ceva pozitiv ar putea rezulta din orașul San Pedro Sula.Janowitz are încredere că Blinky va ajunge un artist de succes .
(trg)="10.2"> Shukrani zimwendee yeye pamoja na wasanii wenzake , Janowitz anasema kuwa , kuna mengi mazuri yataanza kuonekana San Pedro Sula .

(src)="10.3"> Opera lui Blinky este specială , zice acesta , fiindcă : " O poți vedea pe un perete , dar și în Louvre .
(trg)="10.4"> Kazi ya Blinky ni ya kipekee , anasema hivi kwa kuwa , " kazi yake inaweza kuonekana ukutani au kwenye luva .

(src)="10.4"> Atât de talentat este . "
(trg)="10.5"> Yeye ni aina ya wasanii wazuri kabisa . "

# ro/2015_11_647.xml.gz
# sw/2015_11_gv-face-kuhusu-beirut-na-paris-kwa-nini-majanga-mengine-yanatangazwa-zaidi-kuliko-mengine_.xml.gz


(src)="1.1"> GV Face : Beirut şi Paris , sau de ce unele tragedii atrag atenţia mondială şi altele nu ?
(trg)="1.1"> GV Face : Kuhusu Beirut na Paris , Kwa nini Majanga Mengine Yanatangazwa Zaidi Kuliko Mengine ?

(src)="1.2"> " Unele persoane sunt globale în timp ce altele rămân locale , regionale , " etnice " .
(trg)="1.2"> 'Kwa nini maiti nyingine ni mali ya dunia nzima , wakati maiti nyingine ni za maeneo husika pekee ? '

(src)="3.1"> Global Voices este o comunitate fără frontiere care înglobează mai mult de 1400 de voluntari : scriitori , analişti , experţi media şi traducători .
(trg)="3.1"> Global Voices ni jamii isiyo na mipaka , kwa sehemu kubwa jumuiya ya watu wanaojitolea yenye waandishi , wachambuzi , wataalamu wa uandishi wa mtandaoni na wafasiri wapatao 1400.

(src)="3.2"> Ne-am stabilit o agendă de ştiri care construieşte punţi , înţelegere globală şi prietenii care depăşesc frontierele .
(trg)="3.2"> Tunaanzisha mijadala ya kihabari inayojenga madaraja , uelewa wa masuala ya kidunia na mahusiano ya kirafiki .

(src)="3.3"> Ne concentrăm pe poveştile comunităţilor marginalizate sau reprezentate rău .
(trg)="3.3"> Tunalenga kusimulia habari za jamii zinazopuuzwa na zinazopuuzwa .

(src)="4.1"> După atacurile din Paris , de pe 13 noiembrie , Joey a scris un articol intitulat " Străzile Parisului îmi sunt la fel de cunoscute ca cele din Beirut " care a devenit viral :
(trg)="4.1"> Baada ya mashambulio ya Paris mnamo Novemba 13 , Joey ameandika makala yenye kichwa cha habari , " Mitaa ya Paris Inavyonikumbusha Mitaa ya Beirut " , ambayo imesomwa sana mtandaoni :

(src)="4.2"> Provin dintr-o comunitate francofonă din Liban .
(trg)="5.1"> Ninatoka katika jamii iliyoendelea kidogo pale Lebanon .

(src)="4.3"> Asta înseamnă că mereu am privit Franţa ca a doua casă .
(trg)="5.2"> Kwa kuwa lugha yetu ni Kifaransa , nimejikuta nikiiona nchi ya Ufaransa kama nyumbani kwetu .

(src)="4.4"> Străzile Parisului îmi sunt la fel de familiare ca cele din Beirut .
(trg)="5.3"> Mitaa ya Ufaransa ninaifahamu sana kama ninavyoifahamu Beirut .

(src)="4.5"> Am fost în Paris acum câteva zile .
(trg)="5.4"> Nilikuwa Paris siku chache tu zilizopita .

(src)="5.1"> Au fost două nopţi îngrozitoare dominate de violenţă .
(trg)="6.1"> Siku mbili hizi zimekuwa za kutisha sana .

(src)="5.2"> Prima a luat vieţile a peste 40 de persoane în Beirut iar a doua a peste 120 de oameni în Paris .
(trg)="6.2"> Siku ya kwanza ilishuhudia vifo vya watu zaidi ya 40 mjini Beirut ; usiku wa siku ya pili maisha ya zaidi ya watu 120 jijini Paris yalikatishwa .

(src)="6.1"> Este destul de evident pentru mine că pentru lumea întreagă morţii noştri , din Beirut , nu contează la fel de mult ca cei din Paris .
(trg)="7.1"> Kwangu , inaonekana wazi kwamba kwa dunia yetu , vifo vya watu mjini Beirut havijagusa hisia za watu kama ilivyotokea kwa vifo vilivyotokea jijini Paris .

(src)="7.1"> Noi nu avem un buton de siguranţă pe Facebook .
(trg)="8.1"> Hatujapata kile kitufe cha ‘ salama’ kwenye mtandao wa Facebook .

(src)="7.2"> Noi nu primim declaraţii în miez de noapte de la cei mai puternici oameni ai planetei şi de la milioanele de utilizatori online .
(trg)="8.2"> Hatujapata salamu za pole zilizotolewa usiku wa manane kutoka kwa watu maarufu zaidi duniani pamoja na mamilioni ya watumiaji wa mtandao .

(src)="8.1"> Noi nu schimbăm strategii politice care afectează vieţile nenumărate a refugiaţilor nevinovaţi .
(trg)="9.1"> Hatukubadilisha sera zitakazoathiri maisha ya wakimbizi wasio na hatia ambao idadi yao haifahamiki .

(src)="9.1"> Nu ar putea fi mai clar de atât .
(trg)="10.1"> Hali hii haieleweki kabisa .

(src)="9.2"> Şi o spun fără nici un resentiment , doar cu tristeţe .
(trg)="10.2"> Ninayasema haya bila chuki wala hasira yoyote , isipokuwa huzuni .

(src)="9.4"> Studentă fiind , s-a mutat din Argentina în Paris acum şapte ani .
(trg)="10.4"> Laura alihamia Paris miaka saba iliyopita akitokea Venezueelza kama mwanafunzi .

(src)="9.5"> În articolul " După atacurile din Paris : Pentru a exista unitate , nu trebuie să fim imparţiali " , ea declară :
(trg)="10.5"> Kwenye makala ya , " Baada ya Mashambuzi la Paris : Ili Uwe Mshikamano Kweli , Haupaswi Kuwa Nusunusu " , anaandika :

(src)="9.6"> De când am ajuns în Paris am urmărit discuţiile nesfârşite despre origini , culoarea pielii , trecut şi credinţe .
(trg)="10.7"> Sehemu ya utafiti wangu imejikita kwenye -mada ya ajabu kabisa- uelewa wa tamaduni za wengine .

(src)="9.9"> Spun asta fiindcă se pare că împărţirea lumii în " noi " şi " ei " nu este de ajutor şi niciodată nu a fost .
(trg)="10.8"> Mazungumzo haya yamejaa hisia , kwa hiyo wakati mwingine yanafanya watu wajisikie vibaya . hata hivyo , mijadala hiyo ni ya muhimu .
(trg)="10.9"> Na nayasema haya kwa sababu inavyoonekana kuigawa dunia kwa maneno kama " sisi " na " wao " hayatusaidii .

(src)="9.11"> Astfel învăţăm să ne vedem pe " noi " şi pe " alţii " , lentila prin care am studiat istoria şi am urmărit ştirile .
(trg)="10.12"> Na hivyo ndivyo tunavyojifunza kujiona kama " sisi " na " wengine " , na tunajifunza historia na kutazama taarifa za habari kwa jicho hili .

(src)="9.12"> " Noi " şi " ei " .
(trg)="10.13"> " Sisi " na " wao " .

(src)="9.13"> " Aici " şi " departe " .
(trg)="10.14"> " Hapa " na " mbali " .

(src)="10.2"> Momentul pentru discuţii globale asupra atacurilor , a libertăţii de exprimare , a empatiei şi a islamofobiei nu este atunci când tragediile lovesc ci dinainte de asta , atunci când domneşte raţiunea .
(trg)="11.1"> Wakati wa kufanya mijadala ya maana kidunia kuhusu mashambulizi ya kigaidi , uhuru wa kujieleza , kujali wengine na Hofu ya Uislamu sio pale majanga yanapotokea lakini kabla , tena yapaswa kuwa wakati vichwa vyetu vimetulia .

(src)="10.4"> Poate nu este momentul cel mai bun , dar atunci când publicul este atent avem oportunitatea să reformulăm conversaţiile pentru milioane de cititori din lumea întreagă .
(trg)="11.3"> Wakati muafaka unaweza usiwepo , lakini tunayo fursa , kama waandishi wa habari kutengeneza aina ya mijadala yenye tija kwa maelfu ya wasomaji wetu duniani kote , hasa pale wanapokuwa wanafuatilia kwa makini .