# mg/2008_08_07_1220_.xml.gz
# sw/2008_08_korea-wajibu-wa-kitaifa-wachuana-na-dhamiri_.xml.gz


(src)="1.1"> Korea : Fanompoam-pirenena sy fandavana raharaha miaramila
(trg)="1.1"> Korea : Wajibu wa Kitaifa Wachuana na Dhamiri

(src)="1.2"> Tsy niverina tany amin 'ny vondro-tafika nisy azy ny zatovolahy iray manatontosa ny raharaha miaramilany any amin 'ny polisy rehefa avy nahazo fialantsasatra kely ary nanambara ny adin-tsaina mahazo azy ( ho fandavana ny raharaha miaramila ) .
(trg)="5.1"> Lee Kil Joon alitangaza kushitakiwa na dhamiri kutoana na kitendo cha kutumia nguvu ili kuzuia tukio la mkesha wa uwashaji mishumaa . Alisema kwamba alijiuliza maswali mengi baada ya kusikia amri kutoka kwa kamanda wake ikisema 'wapigeni pasipo kuonekana ' wakati wa mkesha wa kuwasha mishumaa katika uzuiaji wa raia na askari kwa kutumia mabavu .

(src)="1.3"> Araka ny nolazainy dia mahatsiaro tena ho meloka izy taorian 'ny fandravana fihetsiketseham-panoherana iray amin 'ny alalan 'ny fijoroana an-dalambe mitana labozia .
(trg)="9.1"> Hata hivyo , katika nafasi yake kama askari hana fursa ya kueleza waziwazi vile anavyofikiri .

(src)="1.4"> Maro ny namaly ny fanapaha-keviny , izay manipaka goverinemanta sy midika ho tsy fahatontosana ny raharaha miaramila .
(trg)="13.4"> Nafikiri jambo la maana hapa ni kwamba aweke wazi mambo yote ya kishenzi na kisha arejee kwenye kikosi chake cha jeshi .

(src)="2.1"> Miresaka momba ity lohahevitra ity ny mpiserasera iray .
(trg)="16.3"> It Hii ni kinyume cha Katiba ibara za 24 - 25.

# mg/2008_09_06_1002_.xml.gz
# sw/2008_09_angola-uchaguzi-katika-picha_.xml.gz


(src)="1.1"> Angola : Fifidianana an-tsary maro
(trg)="1.1"> Angola : Uchaguzi Katika Picha

(src)="1.2"> Andro manokana ho an 'i Angola ny andron 'ny zoma 05 Septambra .
(trg)="1.2"> Ijumaa hii ya tarehe 5 Septemba ilikuwa ni siku maalum katika Angola .

(src)="1.3"> Nazoto hifidy ireo mpikambana vaovao ao amin 'ny Parilemanta tao anatin 'ny 16 taona izao ny vahoaka taorian 'ny fampielezan-kevitra mafotaka iny .
(trg)="1.3"> Baada ya kampeni vuguvugu za uchaguzi , umma ulijawa shauku ya kupiga kura kwa ajili ya bunge jipya baada ya miaka 16.

(src)="1.4"> Ity moa no fotoana voalohany ho an 'ny maro hanararaotany mampiasa ny zony hifidy .
(trg)="1.4"> Kwa watu wengi , hii ilikuwa ni fursa yao ya kwanza kutumia haki yao ya kupiga kura .

(src)="1.5"> Namonjy ny biraom-pifidianana mahatratra 12 000 eo ho eo ampilaminana ny maro , saingy mbola mitohy moa ny fifidianana ho an 'ny biraom-pifidianana mahatratra 320 ao an-drenivohitra Luanda , noho ny olana teo amin 'ny fitaovana omaly izay niteraka ny fanemorana ny famoahana ny vatom-pifidianana .
(trg)="1.5"> Wengi wa watu hao walikwenda kwa amani kwenye vituo vipatavyo 12 , 000 vya kupigia kura , ingawa upigaji kura huo utaendelea katika vituo 320 vilivyoko Luanda kutokana na matatizo ya kimipango yaliyosababisha uchelevu wa makasha ya kura jijini humo .

(src)="2.1"> Efa manomboka miseho lany ato amin 'ny tontolom-bolongana moa ny fanehoan-kevitra sy ny tatitra samihafa , ary efa feno tokoa izany .
(src)="2.2"> Na izany aza dia indreto misy sary vitsivitsy maneho fa manantantara ity andro ity , sary misoratra amin 'i José Manuel Lima da Silva , mpampiasa ny Flickr antsoina hoe Kool2bBop , dia manome izao fanamarihana izao :
(trg)="2.1"> Wakati ambapo maoni yanaanza kujitokeza katika mtandao wa wanablogu , ripoti kamili iko njiani . Kwa sasa zifuatazo ni picha zinazoonyesha siku hiyo ya kihistoria , kama zinavyoorodheshwa na Jose Manuel Lima da Silva , mtumiaji wa huduma ya Flickr Kool2bBop , pamoja na nukuu zake :

# mg/2008_08_15_1249_.xml.gz
# sw/2008_09_nia-ya-mwanablogu-mmoja-kumsaidia-mtoto-kamba-huko-madagaska_.xml.gz


(src)="1.1"> Fikirizan 'ny mpitoraka blaogy iray hanampy an 'i Baby Kamba
(trg)="1.1"> Nia ya Mwanablogu Mmoja Kumsaidia Mtoto Kamba huko Madagaska

(src)="1.2"> Raha miezaka ianao manaraka vaovao momba an 'i Madagasikara , dia angamba mamaky matetika ny Madagascar Tribune .
(trg)="1.2"> Ikiwa unataka kwenda sambamba na habari mpya mpya kutoka Madagaska , inawezekana kabisa ukawa ni msomaji wa Madagascar Tribune .

(src)="1.3"> Ary raha nanao famandrihana ianao , dia namaky angamba vaovao nosoratan 'i Herimanda R momba ny fandidiana tsy dia fanao ary vita soa aman-tsara nataon 'ny departemantan 'ny neorochirurgie teo amin 'ny hopitaly Ravoahangy tamin 'ny fahafolon 'ny volana Jona .
(trg)="1.3"> Na kama wewe ni mdau wa gazeti hilo , hivi karibuni yawezekana ulishakutana na habari iliyoandikwa na mwandishi wa habari Herimanda R kuhusu upasuaji wa maradhi ya nadra na mafanikio yake ambao ulifanyika katika kitengo cha tabibu za mishipa ya fahamu cha Hospitali ya Ravoahangi mnamo tarehe 10 Juni .

(src)="1.4"> Herintaona i Tombotsara Antefindrazana , fantatra mandrakizay ho " Baby Kamba " ho an 'ny mpitoraka blaogy eran-tany , vao teraka izy dia nisy ny " frontal-nasal meningoencephalitis " , izay nahatonga bontsina lehibe nivoaka teo anelanelan 'ny masony roa , araky ny hita eto amin 'ity sary ity :
(trg)="1.4"> Mtoto wa mwaka mmoja Tombotsara Ambinindrazana , ambaye milele atajulikana kwa jina la " mtoto Kamba " ndani ya jamii ya wanablogu duniani , alizaliwa na hitilafu nadra sana katika sehemu ya mbele ya viungo vya pua meningoencephalitis , hitilafu iliyosababisha uvimbe mkubwa kujitokeza kwenye paji lake la uso , kama inavyoonekana pichani :

(src)="3.1"> Nisy lahatsoratra nivoaka tao amin 'ny Midi Madagasikara nilaza fa hatramin 'izay dia vao 37 monja ny olona nisy meningoencephalitis hita tao amin 'ny hopitaly Ravoahangy .
(trg)="3.1"> Makala kutoka katika jarida la Midi Madagasikara inadokeza kwamba ni kesi 37 tu ambazo zimeshawahi kutokea katika hospitali ya Ravoahangy .

(src)="3.2"> Fa ny tsy voalazan 'ireo lahatsoratra roa ireo kosa dia ny tantara niantombohan 'ny fanavotana an 'i Kamba : ny ezak 'i Diana Chamia , mpitoraka blaogy vao 18 taona fotsiny , nikiry nitady fanampiana ho an 'i Kamba tamin 'ny alalan 'ny lahatsoratra iray niseho tao amin 'ny blaoginy ary nitondra ny lohateny hoe " Ampio aho hanampy azy " .
(trg)="3.2"> Lakini jambo ambalo makala zote hazikulielezea ni la mazingira ya kusisimua yanayoambatana na habari hii ya kijana mwanablogu pinduani mwenye umri wa miaka 18 , Diana Chamia , ambaye ndiye alikuwa wa kwanza kuelimisha umma juu ya hali ya mtoto kamba katika ujumbe wa blogu yake aliouita " Nisaidieni ili niwasaidie wengine "

(src)="5.1"> Diana Chamia hita sary miaraka amin 'ny Kamba talohan 'ny fandidiana , izay vita vokatry ny asa mafy nataon 'i Diana .
(trg)="5.1"> Diana Chamina pichani , akiwa na mtoto Kamba kabla ya upasuliwaji ambao ulifanikishwa kwa juhudi za Diana .

(src)="6.1"> Diana , mpianatra fanaovana gazety any Mahajanga , Madagasikara , dia nianatra fitorahana blaogy tamin 'ny Foko Madagascar , nahazo vatsy tamin 'i Rising Voices .
(trg)="6.1"> Diana , kijana mwanafunzi wa uandishi wa habari huko Mahajanga , Madagaska , alijifunza kublogu katika warsha ya uandishi wa kiraia iliyoandaliwa na Foko Madagascar , asasi iliyofadhiliwa na mradi wa Sauti Zinazoinukia ( Rising Voices ) .

(src)="6.2"> Ireo olona hafa mpitoraka blaogy tany Mahajanga dia isan 'izany ry Cylnice , Jombilo , Lomelle , Mielmanja , Rondro , Tonkataly , Ysiastella , sy Zouboon .
(trg)="6.2"> Wanblogu wengine kutoka mahajanga ni Cylnice , Jombilo , Lomelle , Mielmanja , Rondro , Tonkataly , Ysiastella pamoja na Zouboon .

(src)="8.1"> Mpitoraka blaogy avy amin 'ny Foko Blog Club any Mahajanga , io i Diana miakanjo mainty eo afovoany .
(trg)="8.1"> Mabloga kutoka kilabu cha kublogu cha Foko huko Mahajanga , wakiwa na Diana alivalia nyeusi katikati .

(src)="9.1"> Fa i Diana no nanapaka hevitra hampiasa ny blaoginy ho fitaovana fanaovana asa soa sosialy .
(trg)="9.1"> Lakini ni Diana ndiye aliamua kuitumia blogu yake kama ulingo wa harakati za kijamii .

(src)="9.2"> Araka ny tantarainy ao amin 'ny toraka blaogy tamin 'ny April 19 , dia hitany voalohany i Kamba sy ny reniny izay mpitondra tena , Philomène Georgine , raha variana loatra izy ka nilaozan 'ny bisy ' fitaterana ' .
(trg)="9.2"> Kama navyoeleza katika ujumbe wake wa tarehe 19 mwezi wa nne , Diana alikutana na mtoto kamba na mama yake , Philomène Georgine , baada ya kupitiliza kituo chake cha basi cha kawaida baada ya kupitiwa na mawazo .

(src)="9.3"> " Naka ny bisy faha 5 avy any an-trano aho ho any amin 'ny Bazar Mahabibo , fa very saina , sa koa angaha efa lahatry ny zaza , ka adinoko ny nidina teo amin 'ny fidinako mahazatra .
(trg)="9.3"> Nilipanda basi nambari 5 kutokea nyumbani kuelekea soko la Mahabibo , lakini nilikuwa nimejawa mawazo au pengine ilikuwa ni hatima tu ya kukutana na huyu mtoto .

(src)="9.4"> Efa tery amin 'ny tranobe an-tanàna aho vao tonga saina .
(trg)="9.5"> Tulikuwa tayari katika kituo cha jengo la jiji ndipo nilipogundua nimekosea .

(src)="9.5"> Teo am-piverenana ho any an-tsena , dia nahita ity ramatoa ity aho , mibaby zaza kely iray , mitrotro iray eo aloha , ary kitapo mena lehibe iray eo an-tsaviliny .
(trg)="9.6"> Wakati nikirudi kuelekea sokoni , nikamuona huyu mama aliyekuwa amebeba mtoto mgongoni , na mwingine mikononi na mfuko mkubwa mwekundo begani .

(src)="9.6"> Ilay zaza trotroiny dia notakonany lamba maitso .
(trg)="9.7"> Huyu aliyekuwa mbele alikuwa amezibwa na na sari ya kijani .

(src)="9.7"> Nanontany tena aho hoe maninona no rakofana kanefa mafana be i Mahajanga .
(trg)="9.8"> ( Nikajiuliza inakuwaje anamsitiri mtoto namna ile katika hali ya hewa ya joto kali la Majunga ) .

(src)="9.8"> Nisy rivotra be , dia hitako ny tarehin 'ilay zazakely . "
(trg)="9.9"> Upepo ulipopiga ukaonyesha sura ya mtoto .

(src)="9.9"> Dia manohy i Diana mitantara ny fifaneraserany tamin 'i Philomène izay miezaka mafy kanefa tsy mahita fika hanaovana ilay fandidiana hanesorana ilay vonto lehibe eo amin 'ny handrin 'ny zanany .
(trg)="9.10"> Diana anaendelea kuelezea maongezi yake na Philomène , ambaye , pamoja na jitihada zote , hakuwa amefanikiwa kupata msaada kwa ajili ya upasuaji ili kuondoa uvimbe ule mkubwa uliokuwa kwenye paji la uso la mwanawe .

(src)="9.10"> Io andro io i Diana dia nivoady fa hitady izay hanampiana an 'i Kamba mba ho zaza toy ny rehetra izy , tsy hojeren 'ny mpandalo hafahafa intsony , fijery izay efa lasa nahazatra ny reniny .
(trg)="9.11"> Siku ile ile Diana alijiwekea nadhiri kwamba atafanya jitihada zitakazomuwezesha Kamba kupasuliwa ili naye apate makuuzi kama watoto wengine bila ya kutupiwatupiwa macho na wapita njia , hali ambayo mama yake alikwishaizowea .

(src)="10.1"> Nandritry ny volana vitsy taty aoriana dia nantsoin 'i Diana ny mpitoraka blaogy Malagasy maro hanampy azy .
(trg)="10.1"> Kwa miezi michache iliyofuatia Diana aliwahamasisha wanblogu wenzie ili wamsaidie katika wito wake .

(src)="10.2"> FOKO iray manontolo nanampy an 'i Diana namorona ny " Zaza sy Vavy Gasy " ( " Ho an 'ny vehivavy sy zaza Malagasy " ) , pejy Internet miteny anglisy sy frantsay natao hanaovana fanampiana sy fitadiavana vatsy hanaovana ilay fandidiana lafo be hanesorana ny vonto eo amin 'ny handrin 'i Kamba .
(trg)="10.2"> Kundi zima la mradi wa kublogu wa Foko wakaitikia wito na kumsaidia Diana kuanzisha Zaza sy Vavy Gasy ( " Kwa mama wa Ki-Malagasy na mwanawe " ) , tovuti ya lugha mbili yenye lengo la kuongeza misaada na ufadhili kwa ajili ya upasuaji aghali utakaoondoa uvimbe kwenye paji la uso la Kamba .

(src)="10.3"> Nisy koa pejy Facebook nakarina tamin 'izany .
(trg)="10.3"> Kadhalika ukurasa wa Facebook pia ulianzishwa .

(src)="11.1"> Ny ezak 'i Diana dia voatantara tsara ao amin 'i blaogin 'i Joan Razafimaharo , miasa ao amin 'i Foko , ary koa ao amin 'ny fitorahana blaogy iombonana , Malagasy Miray .
(trg)="11.1"> Kampeni hiyo ndefu ya Diana imeandikwa na kuorodheshwa vyema na mratibu wa mradi wa Foko , Joan Razafimaharo , kwanza katika blogu yake binafsi , na pia katika blogu ya jumuiya ya kitaifa ya wanablogu Malagasy Miray .

(src)="12.1"> Tany Canada , i Jean Razafimandambo , Malagasy mpitady ravinahitra , ary mifanerasera matetika amin 'i Mahajanga , dia nijery Internet ny andro nahaterahan 'ny zafikeliny , ary nahita ny blaogin 'i Diana .
(src)="12.2"> Araka ny nolazain-dRazafindambo monina any Ottawa ,
(trg)="12.1"> Wakati huo huo huko nchini Kanada , Jean Razafindambo , mtaalamu muhamiaji wa Ki-Malagasy mwenye mizizi imara huko Mahajanga alikuwa akiperuzi kwenye mtandao wa intaneti siku hiyo ambayo mjukuu wake wa kiume alikuwa amezaliwa , na ndiyo alipokumbana na blogu ya Diana .

(src)="12.3"> Nahatsiaro ny zafikeliko aho , izay salama tokoa , ary raha i Kamba moa no zafikeliko , dia inona no ho ataoko ?
(trg)="12.2"> Kama Razafindambo alivyolieleza jarida la the Ottawa Citizen , " Nilimfikiria mjukuu wangu , alikuwa ni mwenye afya , na kama ( Kamba ) angalikuwa mjukuu wangu , ningefanya nini ? "

(src)="12.4"> Nampian 'ny namana , mpiara miasa ary koa olon-tsy fantatra malala tanana sy fo i Jean sy i Bako vadiny ary nahazo efa ho $ 1500 ho an 'ny fandidiana an 'i Kamba , raha nanao ny hazakazaka lavitra ezaka tao Ottawa tamin 'ny volana May .
(trg)="12.3"> Kwa msaada wa wafanyakazi wenzake na watu baki , Jean na mkewe baku walichangisha karibu ya dola 1500 kwa kukimbia nusu-mbio ndefu za mji wa Ottawa ajili ya matibabu ya Kamba mnamo mwezi wa tano .

(src)="14.1"> sary nindramina tamin 'i Avylavitra
(trg)="14.1"> Mtoto Kamba akipona vizuri .

(src)="15.1"> Araka ny hitanao ao amin 'io sary io , dia miverina tsara ny fahasalaman 'i Kamba , indrindra moa fa tena fandidiana henjana ( mihoatry ny adiny valo ) .
(trg)="15.1"> Kama unavyoona pichani hapo juu , mtoto kmaba anapona vilivyo ikizingatiwa kuwa upasuaji wake ulikuwa nyeti ( ulichukua zaidi ya masaa 8 ) .

(src)="15.2"> Ilay fandidiana dia tsy ho nisy mihitsy raha tsy nisy ny fitiavana be sy fikirizan 'i Diana .
(trg)="15.2"> Upasuaji ule usingewezekana kutokea ghairi ya moyo mwema na jitihada zisizokoma za Diana .

(src)="15.3"> Impiry moa isika no nandalo olona iray mila fanampiana , nefa kosa nanome tsiny fotsiny ny fitondrana hoe tsy ampy ny fitsaboana na koa ny trano omeny hipetrahana ?
(trg)="15.3"> Ni mara ngapi tunawapita watu wanaohitaji msaada na kuilaumu tu serikali kwa kutotoa huduma nzuri za afya na makazi ?

(src)="15.4"> Dia avy eo isika anefa manohy ny lalantsika .
(trg)="15.4"> Ikesha tunatembea mbele .

(src)="15.5"> Fa i Diana tsy nandalo fotsiny .
(trg)="15.5"> Lakini Diana hakupita .

(src)="15.6"> Blaogy iray fotsiny sy fikirizana no azy , fa kosa nanovàny mandrakizay ny fiainan 'ny ankizy lahikely izay fantatr 'izao tontolo izao ho Baby Kamba amin 'izao fotoana izao .
(trg)="15.6"> Bila silaha nyingine zaidi ya blogu na nia yake , ameweza kubadilisha milele maisha ya mtoto ambaye amejulikana duniani kama mtoto kamba .

(src)="15.7"> Afaka mihaino mivantana an 'i Philomene , renin 'i Kamba sy i Diana ianao ao amin 'ity video ity .
(trg)="15.7"> Unaweza kusikiliza moja kwa moja kutoka kwa mama yake Kamba , Philomene na kutoka kwa Diana mwenyewe katika filamu ifuatayo yenye vielelezo katika kiingereza .

# mg/2008_08_19_1258_.xml.gz
# sw/2008_09_paraguai-kuapishwa-kwa-lugo-kwenye-flickr_.xml.gz


(src)="1.1"> Paragoay : Sary tamin 'ny fandraisan 'ny filoha ny fahefana ao amin 'ny Flickr
(trg)="1.1"> Paraguai : Kuapishwa Kwa Lugo Kwenye Flickr

(src)="1.2"> Tamin 'ny faha-15 Aogositra lasa teo no nanao fihanihanana i Fernando Lugo , Eveka Katolika taloha ary lasa filoham-pirenena ao Paragoay .
(trg)="1.2"> Askofu wa zamani wa kanisa Katoliki , Fernando Lugo , hivi karibuni aliapishwa kama rais mpya wa Paraguai , tarehe 15 Agosti .

(src)="1.3"> Nampientana ny vahoaka paragoaiana , na ny any an-toerana na ireo monina any ivelany izao fandraisan 'ny filoha ny toerany izao .
(trg)="1.3"> Kuibuka kwake kukamata uongozi kumewasisimua WaParaguai walio nyumbani na walio ughaibuni .

(src)="1.4"> Misy sary ao amin 'ny flickr ho an 'ireo tsy afaka nanotrona ny lanonana tany Asuncion .
(trg)="1.4"> Kwa wale ambao walishindwa kuwepo kwenye mji mkuu wa Asuncion kushuhudia sherehe , picha zinaweza kupatikana katika ukurasa rasmi wa picha za kiongozi huyo kwenye Flickr .

(src)="2.1"> Tamin 'ny fotoanan 'ny fampielezan-kevitra tamin 'ny volana Janoary 2008 no niatombohan 'izao ezaka hitahirizana ny fivoahana sy ny hetsika ataon 'i Lugo izao .
(trg)="2.1"> Juhudi za kuorodhesha nyendo na shughuli za Lugo zilianza wakati wa kampeni yake mwezi Januari 2008.

(src)="2.2"> Efa mananika ny 2500 ny sary ary samy arovan 'ny Creative Commons daholo .
(src)="2.3"> Hotohizana izao fampiasana ny citizen media izao mandritra ny fotoana hitondrany .
(trg)="2.2"> Hivi sasa karibia picha 2,500 zilizo katika haki miliki za huria kwa umma , inatarajiwa kuwa matumizi ya chombo hiki cha habari yataendelezwa hata wakati wa serikali yake mpya .

(src)="3.1"> Nandritra ny andro maromaro izao dia hita tamin 'ny sary ny nametrahana azy ho filoha ny hafaliana noho ity tranga manan-tantara ity .
(trg)="3.1"> Katika siku chache zilizopita , picha za lugo wakati wa kuapishwa kwake zimeonyesha msisimko wa tukio hili la kihistoria .

(src)="6.1"> Tamin 'ny fihanihanan 'i Lugo .
(trg)="5.1"> Wakati wa Kuapishwa .

(src)="6.2"> Sary nalain 'ny Fernando Lugo APC , ary ampiasaina araka ny fanomezan-dalan 'ny Creative Commons .
(trg)="16.2"> Picha na Fernando Lugo zilizo chini ya haki miliki huria kwa umma .

(src)="9.1"> Hugo Chavez avy ao Venezoela sy Lugo .
(trg)="8.1"> Hugo Chavez wa Venezuela na Lugo .

(src)="9.2"> Sary nalain 'ny Fernando Lugo APC , ary ampiasaina araka ny fanomezan-dalan 'ny Creative Commons .
(trg)="16.2"> Picha na Fernando Lugo zilizo chini ya haki miliki huria kwa umma .

(src)="11.2"> Sary nalain 'ny Fernando Lugo APC , ary ampiasaina araka ny fanomezan-dalan 'ny Creative Commons .
(trg)="16.2"> Picha na Fernando Lugo zilizo chini ya haki miliki huria kwa umma .

(src)="13.2"> Sary nalain 'ny Fernando Lugo APC , ary ampiasaina araka ny fanomezan-dalan 'ny Creative Commons .
(trg)="16.2"> Picha na Fernando Lugo zilizo chini ya haki miliki huria kwa umma .

(src)="15.2"> Sary nalain 'ny Fernando Lugo APC , ary ampiasaina araka ny fanomezan-dalan 'ny Creative Commons .
(trg)="16.2"> Picha na Fernando Lugo zilizo chini ya haki miliki huria kwa umma .

(src)="16.2"> Sary nalain 'ny Fernando Lugo APC , ary ampiasaina araka ny fanomezan-dalan 'ny Creative Commons .
(trg)="16.2"> Picha na Fernando Lugo zilizo chini ya haki miliki huria kwa umma .

# mg/2008_09_13_1297_.xml.gz
# sw/2008_10_madagascar-kuishi-ughaibuni-hubadili-uhusiano_.xml.gz


(src)="1.1"> Madagasikara : Manova olona ny mipetraka Andafy
(trg)="1.1"> Madagascar : Kuishi ughaibuni hubadili uhusiano

(src)="1.2"> Tamin 'ny lahatsoratra nivoaka tamin 'ny volana Marsa no nanoratan 'ny mpahay toekarena William Easterly sy Yaw Nyarko izay nanamarika fa mahatratra 81 isanjaton 'ny vola raisin 'ny olona mipetraka amin 'ny firenena iray Afrikana atsimon 'i Sahara ny vola fandefan 'ireo nifindra monina.Efa niadian-kevitra tanatin 'ny tontolom-bolongana Malagasy ihany koa tany aloha tany ny anjara toeran 'ireo Malagasy any ampielezana amin 'ny fampandrosoana an 'i Madagasikara .
(trg)="1.2"> Katika makala iliyochapishwa mwezi Machi , wachumi William Easterly na Yaw Nyarko wanaeleza kwamba katika nchi zilizo chini ya Jangwa la Sahara , kiasi cha fedha kinachotumwa na wahamiaji wanaotoka bara hilo ni wastani wa asilimia 81 ya misaada ya fedha kutoka nchi za kigeni kwa kila nchi .

(src)="1.3"> Vao niadian 'ny mpamaham-bolongana hevitra ihany koa ny fiovan 'ny fihetsiky ny Malagasy miaina any Andafy sy ny fahasimban 'ny fifandraisan 'izy ireny amin 'ny tapaka sy ny namana eto an-toerana .
(trg)="2.1"> Dhima ya waMadagascar walio nchi za mbali kwa maendeleo ya nchi yao imewahi kujadiliwa hapo kabla katika ulimwengu wa wanablogu wa Madagascar .

(src)="2.1"> News2dago no mitantara ny fitotongan 'ny fifandraisana ananany tamin 'ny namana tena akaiky azy tany ampianarana satria nifindra nankany Firantsa io namany io :
(trg)="2.2"> Hivi karibuni wanablogu walijadili athari ya kuishi ughaibuni kwa mienendo ya WaMadagascar na jinsi mabadiliko hayo yanavyoathiri uhusiano na marafiki na ndugu zao walio nyumbani .

(src)="2.2"> “ Nisy ranamana izay niray dabilio tamiko ary tena akama be mihitsy izy io tany @ taona 1992 tany ho any izahay no nihaona farany rehefa azo moa ny Bacc dia nanam-bitana ranamana ka lasa tany frantsa nanohy ny fianarany .
(trg)="3.1"> News2dago anasimulia ni kwa namna gani alipoteza urafiki wa karibu aliokuwa na rafiki yake mmoja wa tangu enzi za shule .
(trg)="3.2"> Anaeleza kwamba uhusiano wao ulififia polepole mara tu baada ya rafiki yake kuondoka kwenda zake Ufaransa :

(src)="2.3"> Ny tena moa dia teto @ tanana ihany safidy moa io tsy misy omena tsiny mihitsy .
(trg)="3.3"> Nilikuwa na uhusiano mzuri na rafiki yangu tangu tulipokuwa madarasa ya juu ya sekondari .

(src)="2.4"> Nivadika teny ihany ny volana sy ny taona tsy dia henoheno intsony ranamana taty aorina fa misy inona ary olona sendra nahalala azy no niteny tamiko oe nanam-bady izy !
(trg)="3.5"> Mara ya mwisho kumtia machoni ilikuwa mwaka 1992 wakati wa mahafali ya kumaliza elimu ya sekondari na kutunukiwa cheti .

(src)="2.5"> Ny tena moa manoratra email ihany fa tsy misy valiny intsony e ! ”
(trg)="3.6"> Rafiki yangu alipata bahati ya kuendelea na masomo ya juu nchini Ufaransa .

(src)="2.6"> Nampian 'i News2dago moa fa afaka nianatra ho any Firantsa ihany koa ny tenany tamin 'ny taona 2005 fa rehefa nieritreritra lalina izy dia naleony ihany nijanona .
(trg)="3.11"> News2dago anaongeza kwamba yeye pia alipata fursa ya kusafiri kwenda Ufaransa mwaka 2005 , lakini baada ya kutafakari vyema aliamua kubaki nyumbani .

(src)="2.7"> Nambarany ary ny antony : Very be dia be ny fifaneraserana any Firantsa , samy maka ho azy ny olona any , tsy misy namana ilalaovana belaoty intsony , naleony nananganany tetikasa teto an-toerana ihany ny vola tokony nandehanana tany .
(src)="2.8"> “ Izay no tsara kokoa toy izay tahaka an-dry zalahy manana dipilaoma maro dia maro . ”
(src)="3.1"> Hoy manko izy :
(trg)="3.12"> Anataja baadhi ya sababu za kufanya hivyo : udugu hupotea miongoni mwa WaMadagascar mara baada ya kufika Ufaransa , kila mmoja anakuwa na lwake , hakuna kukutana ili kucheza mchezo wa karata , pia alitumia pesa ambazo zingemuwezesha kwenda ughaibuni ili kuusimamisha mradi anaoufanya sasa .

(src)="3.2"> “ Ny namana taloha ary ity toa mody fanina izany satria niantso azy efa in-3 aho t @ izany fotoana izany dia noraisiny t @ voalohany nandeha ny resaka ary natsidiko ny teny hoe “ hibôsy kely any @ lisany any lesy aho raha sitram-po ny Tompo a ” , “ hay ve hoy ranamana ” , “ miantso anla ihany aho rehefa tena tapa-kevitra e ” .
(trg)="3.13"> " Ni afadhali kufanya hivi kuliko kushughulika na watu walio ughaibuni na vyeti vyao vya mbwembwe vya elimu . "
(trg)="4.1"> Anaongeza :

(src)="3.3"> Nanomboka teo dia lasa messagerie vocal foana ny finday-n 'ilay ranamana ”
(trg)="4.2"> Kuna kipindi nilimpigia simu ili tupige soga na kujikumbusha mambo ya zamani .

(src)="3.4"> Mifandraika amin 'izany ihany dia nolazain 'i news2dago fa nisy zanaky ny mpiray tampo taminy vavy iray nitodi-doha teto Madagasikara fa hatao mariazy amin 'ny namany izay Malagasy ihany koa nifanena taminy tany .
(trg)="4.3"> Nilimwambia kwamba Mungu akipenda , huenda nitakuja huko kufanya kazi na kuwa mmoja wenu .

(src)="3.5"> Efa niomanany avokoa ny zava-drehetra , hatramin 'ny nitondra mpaka sary matihanina avy any Firantsa .
(trg)="4.5"> Tangu nilipomweleza hayo , kila nikimpigia nakutana na ujumbe wa kunitaka kuacha ujumbe wa sauti .

(src)="3.6"> Niangavy ny hampiasa ny aterinetony tao an-tranony izy ireo hikarakaran 'izy ireo ny fiovana rivotra nankany Mahajangà , ary dia tsy nandalo nanao veloma akory izy ireo rehefa niverina nankany Firantsa indray .
(trg)="4.6"> Katika habari inayohusiana na hiyo , news2dago alisema kwamba mpwa wake alirejea Madagascar kutokea Ufaransa ili kufunga ndoa na Mmadagascar mwenzake aliyekutana naye ughaibuni .

(src)="3.7"> Tena manova olona tokoa ny miaina any andafy .
(trg)="4.10"> Ama kwa hakika kuishi ughaibuni hubadilisha watu .

(src)="4.1"> Raha namaly ity tantara ity moa Ravatorano dia nilaza fa tsy ny mpiray firenena monina any andafy ihany no manana izany tsy firaharahiana na mody fanina amin 'ny namana izany .
(trg)="5.1"> Akieleza kuguswa na taarifa hiyo , Ravatorano anaamini kwamba tabia ya kujifanya kutojali au kuwapuuza marafiki wa zamani haipo tu miongoni mwa raia wa nchi moja ughaibuni .

(src)="4.2"> Na izany aza dia nolazainy fa fanajana kely indrindra ny manaja ny olona izay nanampy anao .
(trg)="5.2"> Hata hivyo , anaamini kwamba ni jambo stahiki kuonyesha heshima kwa watu waliokusaidia .

(src)="4.3"> Namazivazy i Simp hoe : ” Mamindrà fo azy fa olombelona ihany izy … Ny soa atao levenambola hoy izy ary ny ratsy atao loza mihantona . ”
(trg)="5.3"> Simp alidakia kishabiki : " Wasameheni kwani wao ni binadamu tu ... matendo mema ndiyo mbegu za bahati njema na matendo maovu ni kama jambia la hukumu la Damocles . "

(src)="5.1"> lehilahytsyresy indray no manome ny anton 'izay mety hanadinoana ilay fisakaizana akaiky izay ( mg ) :
(trg)="6.1"> lehilahytsyresy anajaribu kutoa maelezo ya sababu kwa nini watu wanatelekeza urafiki wa kweli kwa ajili ya urafiki wa kutumiana ( mg ) :

(src)="5.2"> “ Rehefa voaporitra mafy ao anaty fiaraha-monina gejain 'ny concurrence ady-saritaka isan 'andro isan ' andro izy , dia normal raha toa ka raiki-tapisaka ao an-tsainy koa izay fomba fisainana “ namana-raha-misy-patsa ” izay , mba hahafahany mi-survivre .
(trg)="6.2">“ Wamadagaska wanapobinywa na ukweli wa maisha ya ughaibuni , , ushindani mkali na maisha yaliyojaa madhila mengi kila siku , kwa hiyo ni jambo la kawaida kwamba mtazamo wa " ni rafiki ikiwa ni tajiri " utawale , maana mtazamo huu ni muhimu ili mtu upate kuishi .

(src)="5.3"> Rehefa avy eo koa anefa , dia tsy afaka intsony ilay toetra ka na dia ny havana koa aza , dia lasa anaovana “ havako-raha-misy-patsa ” .
(trg)="6.3"> Kwa bahati mbaya , tabia hiyo huwaingia mno watu kiasi kwamba mtazamo huo huutumia hata dhidi ya ndugu zao , na hatimaye anakuwa ndugu wa kweli endapo tu ni " mtu aliye nazo " .

# mg/2009_01_21_1506_.xml.gz
# sw/2009_01_angola-ebola-inapokaribia-mipaka-yafungwa_.xml.gz


(src)="1.1"> Angola : Mananontanona ny Ebola , nakatona ny sisintany
(trg)="1.1"> Angola : Ebola Inapokaribia , Mipaka yafungwa

(src)="1.2"> Vokatry ny fipariahan 'ny otrik 'aretina Ebola any amin 'ny Repoblika Demokratikan 'i Congo indray , ny governemanta Angoley dia nanapa-kevitra ny hanidy ny sisin-tany manasaraka ny tany roa tonta , mba hisakana ilay otrik 'aretina mahafaty tsy hiditra any amin 'ny faritr 'i Angola. izany no nahatonga ny hetsika fifindra-monina nahazatra teo anelanelan 'i Luanda Norte ( faritany avaratra-atsinanan 'ny firenena ) sy ny Repoblika Demokratikan 'i Congo avy hatrany dia naato .
(trg)="1.2"> Kutokana na kuzuka tena kwa virusi vya Ebola katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo , serikali ya Angola imeamua kufunga mpaka kati ya nchi hizo mbili , katika jaribio la kuzuia kuingia kwa virusi hivyo hatari katika himaya ya taifa hilo . , Hivyo kusitisha mara moja uhamiaji wa kawaida unaoendelea kati ya Lunda Norte ( jimbo lililoko kaskazini mashariki ya nchi ) na Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo .

(src)="1.3"> Marihana fa ny faritanin 'i Luanda Norte dia toerana fitrandraham-bolamena , toerana mahasintona ny mpiasa mpifindra monina .
(trg)="1.3"> Lazima izingatiwe kwamba jimbo la Lunda Norte ni sehemu ya migodi ya dhahabu , anyowavuta wafanyakazi wengi wahamiaji .

(src)="1.4"> Nelo de Carvalho dia manoratra any anatin 'ny blaoginy do Nelo Ativado ny momba ny fepetra arahana eny amin 'ny sisin-tany ary ny fanamby izay hatrehan 'ny Governemanta :
(trg)="1.4"> Nelo de Carvalho anaandika katika blog do Nelo Ativado kuhusu vizingiti vilivyoko kwenye mpaka huo na changamoto ambazo serikali inazikabili :

# mg/2009_01_23_1527_.xml.gz
# sw/2009_01_blogu-za-afrika-zapendekezwa-kupokea-tuzo-ya-bloggies-2009_.xml.gz


(src)="1.1"> Bolongana Afrikana voafantina ho @ Bloggies 2009
(trg)="1.1"> Blogu za Afrika Zapendekezwa Kupokea Tuzo ya Bloggies 2009

(src)="2.1"> Nisokatra tamin 'ny voalohany volana janoary ary nikatona tamin 'ny 19 janoary teo ny fifantenana fahasivy ny loka fanolotra isan-taona : The 2009 Bloggies .
(trg)="1.2"> Blogu zilizopendekezwa kwa ajili ya Mashindano ya Tisa ya Zawadi za Weblog : Mapendekezo ya blogu katika mashindano ya Bloggies ya 2009 yalifunguliwa tarehe 1 Januari na kufungwa tarehe 19 Januari .

(src)="2.2"> Araka ny nolazain 'ny vohikala mampanao ny fifaninanana dia ny Bloggies no fifaninanana lavitr 'ezaka indrindra amin 'ny resaka Web , ary anjaran 'ny mpamaky ny bolongana avokoa no mifantina sy mifidy izay hiatrika ny famaranana .
(trg)="1.3"> Kwa mujibu wa tovuti ya waandalizi , mashindano hayo ya Bloggies ni mashindano ambayo yamedumu kwa muda mrefu zaidi mtandaoni , na mapendekezo , pamoja na uchaguaji wa washindani katika fainali , ni juu ya msomaji wa blogu .

(src)="2.3"> Ny loka ho an 'izay mandresy moa dia 2,009 US cents !
(trg)="1.4"> Mshindi hupata senti 2,009 za Marekani !

(src)="3.1"> Bolongana 5 no voafantina ao amin 'ny sokajin 'ny Best African Weblog ( bolongana Afrikana tsara indrindra ) :
(trg)="2.1"> Blogu tano zimependekezwa katika kinyang'anyiro cha blogu Bora Zaidi :

(src)="4.1"> Being Brazen : Avy ao Afrika Atsimo .
(trg)="3.1"> Blogu ya Being Brazen : Hii ni blogu iliyoko Afrika ya Kusini .

(src)="4.2"> Mivaky toy izao ny mombamomba ny mpamaham-bolongana :
(trg)="3.2"> Wasifu wa mwanablogu huyo unaelezwa :

(src)="4.3"> Hafahafa aho , mpanonofy atoandro , mihoatra ny 20 taona mino ny fitiavana , an 'Andriamanitra , ny herin 'ny teny , manana saina mivelatra ary ny hehy angamba no fitsaboana tsara indrindra .
(trg)="3.3"> Sitabiriki , huota ndoto za mchana , umri wangu ni katika miaka ya 20 , ninaamini katika mapenzi , Mungu na nguvu ya maneno , nina mawazo huru na pengine kucheka ndio dawa bora kuliko zote .