# it/2010_08_austria-i-social-media-infiammano-la-protesta-studentesca-nelle-universita_.xml.gz
# sw/2009_12_austria-jinsi-nyenzo-za-habari-za-kijamii-_e2_80_9czinavyoviwashia-moto-vyuo-vikuu_e2_80_9d_.xml.gz


(src)="1.1"> Austria : social media , strumento principe per le proteste studentesche ?
(trg)="1.1"> Austria : Jinsi Nyenzo Za Habari Za Kijamii “ Zinavyoviwashia Moto Vyuo Vikuu”

(src)="1.2"> Questo post risale al dicembre 2009 , quando alcune università europee sono state occupate dagli studenti per protestare contro le politiche di riduzione dei finanziamenti all' istruzione e il rallentamento del cosiddetto Processo di Bologna , la riforma del sistema di istruzione superiore istituito tra i Paesi dell' Unione Europea .
(trg)="1.2"> Je , ulijua kwamba katika wakati huu vyuo vikuu vingi kote Ulaya vinakaliwa na wanafunzi ?
(trg)="1.3"> Maelfu ya wanafunzi hao wanalala , wanapika , wanafanya mijadala na sherehe kwenye kumbi za mikusanyiko kuandamana wakipinga kutolewa kwa ruzuku ndogo kwa mfumo wa elimu na kile kinachoitwa mchakato wa Bologna , sera ya elimu ya Umoja wa Ulaya .

(src)="2.1"> Mentre le proteste proseguono in vari istituti , rimane significativo il fatto che queste non sono state coordinate centralmente da associazioni studentesche , ma interamente organizzate " dal basso " con l' aiuto dei social media via Internet .
(trg)="2.1"> Kilicho cha tofauti kuhusu maandamano haya ni ukweli kwamba hayakuratibiwa na vyama vya wanafunzi lakini yameandaliwa kwa kuanzia chini kwenda juu , kwa msaada wa vyombo vya habari vya kijamii mtandaoni .

(src)="3.1"> Tutto è iniziato a Vienna il 22 ottobre 2009 , quando un piccolo gruppo di studenti ha organizzato un flashmob di protesta in centro città , per poi dirigersi all' Università di Vienna dove ha spontaneamente occupato l' Aula Magna .
(trg)="3.1"> Yote hii ilianzia Vienna , Austria , tarehe 22 Oktoba , ambapo kikundi kidogo cha wanafunzi walikutana ili kufanya maonyesho ya kushtua katikati ya jiji kwa ajili ya kupinga , na baada ya hapo wakaelekea kwenye Chuo Kikuu cha Vienna ambapo walijaza kwa haraka na bila kupanga Ukumbi wa kukutania .

(src)="3.2"> All' arrivo della polizia , la notizia dell' occupazione era già circolata su Twitter , mobilitando così talmente tanti sostenitori che è risultato quasi impossibile sgombrare l' aula .
(trg)="3.2"> Wakati polisi wanawasili , habari za tukio hilo zilikuwa zimesambaa tayari kwenye Twita , zikihamasisha waungaji mkono wengi zaidi kiasi kwamba haikuwezekana kuwaondoa katika ukumbi .

(src)="4.1"> Il sito web Unsereuni.at
(trg)="5.1"> Tovuti ya Unsereuni

(src)="5.1"> In pochi giorni , gli occupanti , con loro stessa sorpresa , hanno messo in piedi una notevole struttura organizzativa : mobilitazioni e comunicazioni sono state organizzate attraverso gli " hashtag " di Twitter #unibrennt e #unsereuni ( " università a fuoco " e " la nostra università " ) .
(trg)="6.1"> Ndani ya siku chache , waandamanaji hao waliofanya makazi – kwa msahangao wao – waliusimika muundo wa uongozi makini : Uhamasishaji na mawasiliano yalifanyika kwa njia ya alama hii ya Twita : #unibrennt na #unsereuni (“ Chuo Cikuu kwawaka moto” na “ Chuo chetu Kikuu” )

(src)="6.1"> È stato creato anche un webcast attivo 24 ore su 24 dall' Aula Magna .
(trg)="7.1"> Matangazo ya mtandaoni kwa masaa 24 kutokea kwenye ukumbi huo yalizinduliwa .

(src)="6.2"> I compiti logistici , dal cucinare al pulire , sono stati gestiti attraverso un wiki , e un sito web permetteva di comunicare con il pubblico .
(trg)="7.2"> Majukumu ya kiutawala kuanzia kupika mpaka kufanya usafi yalitengenezwa kwa kupitia wiki na yaliwasilishwa kwa umma kwa njia ya wavuti .

(src)="6.3"> Twitter , blog e Facebook ( 32.400 fan ad oggi ) sono stati utilizzati per diffondere la notizia .
(trg)="7.3"> Twita , Blogu na Facebook ( mashabiki 32 , 400 mpaka sasa ) walitumika kusambaza ujumbe .

(src)="7.1"> Tutto ciò ha avuto due effetti :
(trg)="8.1"> Hili lilikuwa na matokeo mawili :

(src)="8.1"> - Per la prima volta proteste di queste proporzioni non hanno avuto bisogno dei mezzi di comunicazione di massa per mobilitare sostenitori .
(trg)="9.1"> -Kwa mara ya kwanza waandamanaji wa kiwango hiki hawakuhitaji kuungwa mkono na vyombo vya habari vya kale kwa ajili ya uhamasishaji .

(src)="8.2"> Infatti , in meno di una settimana dall' inizio della proteste , oltre 20.000 manifestanti hanno scorazzato per le vie di Vienna , anticipando ogni notizia diffusa dai media .
(trg)="9.2"> Ndani ya juma moja baada ya kuanza kwa maandamano , zaidi ya waandamanaji 20,000 walivamia mitaa ya Vienna , wakitangulia kabla ya habari za vyombo vya habari vya kale .

(src)="8.3"> I contatti con gli organi di informazione sono stati ridotti al minimo indispensabile , cosa che ha creato molta confusione .
(trg)="9.3"> Mawasiliano ya Vyombo vya habari yalikuwa kwa kiasi cha kuwa kidogo sana ( jambo ambalo lilisababisha mkanganyiko mkubwa ) .

(src)="8.4"> Gli studenti semplicemente non ne hanno avuto bisogno e , dato che la protesta non aveva alcuna gerarchia , c'è stata una penuria di portavoce .
(trg)="9.4"> Wanafunzi hawakuhitaji chombo chochote cha habari cha kale na kwa sababu waandamanaji hawakuwa na ngazi za kiuongozi , na pia palikuwa na upungufu wa wasemaji wakuu .

(src)="9.1"> - Inoltre , dato che chiunque poteva seguire cosa stesse succedendo all' interno dell' Aula Magna ( il canale straming ha registrato un milione di utenti in un mese ) , la stampa scandalistica non ha potuto etichettare i manifestanti come rivoltosi o estremisti .
(trg)="10.1"> -Pili , kwa sababu kila mmoja aliweza kufuatilia kilichokuwa kinaendelea ndani ya Ukumbi wa kukutania ( matangazo ya mtandaoni yalipata watazamaji nusu milioni ndani ya mwezi mmoja ) ilisababisha vyombo vya habari kushindwa kuwapachika jina waandamanaji kama wafanya ghasia au watu wenye msimamo mkali .

(src)="9.2"> Troppe persone sapevano che non era così .
(trg)="10.2"> Watu wengi walijua haikuwa kweli .

(src)="9.3"> Il potere di influenzare l' opinione pubblica sembra essere passato di mano .
(trg)="10.3"> Nguvu ya kutoa maoni imegeuka .

(src)="10.1"> Ben presto le proteste hanno contagiato altre città universitarie in Austria e all' estero .
(src)="10.2"> Ad oggi , a meno di un mese e mezzo dalle prime manifestazioni , quasi 100 università in Austria , Germania , Svizzera , Albania , Serbia , Francia , Italia , Croazia e Olanda sono state occupate o hanno visto altre forme di protesta di massa .
(trg)="11.1"> Mara maandamano yaliambukizwa kwenye Vyuo Vikuu vya miji mingine nchini Austria na nje ya nchi : Leo , kwa chini ya mwezi mmoja na nusu baada ya maandamano ya kwanza , kadri ya vyuo vikuu 100 nchini Austria , Ujerumani , Uswisi , Albania , Serbia , Ufaransa , Italia , Kroashia , na Uholanzi vimekaliwa ama vimeshuhudia namna nyingine ya uandamanaji mkubwa .

(src)="11.1"> Gerald Bäck , su Bäck Blog , che è attivo nel campo dell' osservazione dei media , ha rilevato che la portata approssimativa dei tweet , in termini di numero di follower , è stata pari a 386.860 .
(trg)="12.1"> Gerald Bäck wa Bäck Blog , anayefanya kazi ya biashara ya uangalizi wa vyombo vya habari , aligundua kuwa idadi kuu ya maingizo ya Twita , yaani idadi maalumu ya wafuatiliaji yanayoipata wao , ilikuwa 386,860 .

(src)="11.2"> La sua analisi chiarisce quali siano stati i fondamentali fattori di influenza , quali indirizzi web e gli hashtag hashtag maggiormente linkati e usati .
(trg)="12.2"> Uchambuzi wake unaonyesha akina nani walikuwa wahamasishaji wakuu , anuani za URL zilizounganishwa zaidi kwenye alama zipi ( hashtags ) za Twita zilitumika zaidi .

(src)="12.1"> Nel suo blog smime , Michael Schuster , specialista di analisi semantiche , ha fornito una panoramica della copertura dell' evento sui mezzi di comunicazione tradizionali .
(trg)="13.1"> Katika Blogu yake , smime , Michael Schuster ambaye ni mtaalamu wa teknolojia ya kublogu na mchambuzi wa muundo wa lugha , alichangia kwenye mapitio ya namna “ vyombo vya habari vya kale” vilivyoripoti matukio hayo .

(src)="12.2"> Ha registrato 2.700 articoli e identificato quattro correnti durate approssimativamente una settimana ciascuna : " La protesta inizia " , " la protesta continua " , " la protesta si allarga " e , di recente , " ok , adesso basta " .
(trg)="13.2"> Alihesabu , makala 2,700 na kutambua miendelezo minne iliyokuwa ikiachiana zamu kwa takribani juma moja kila mmoja : “ Maandamano yafanyika” , “ Maandamano yaendelea” , “ Maandamano yasambaa” , na hivi majuzi , “ Sawa , imetosha sasa .”

(src)="13.1"> Luca Hammer di 2-Blog , studente e ideatore tecnico delle attività viennesi in Rete , ha pubblicato un rapporto dettagliato di come i wiki , Twitter e il canale webcast siano stati usati per far funzionare le cose .
(trg)="14.1"> Luca Hammer wa blogu ya 2-Blog , mwanafunzi na mtaalamu wa nyuma ya pazia wa harakati za mtandaoni mjini Vienna , amechapisha taarifa ya namna matangazo ya wiki , Twita na matangazo ya mtandaoni yalitumika kufanya mambo yaende .

(src)="14.1"> Sembra che il caso di #unibrennt possa diventare una pietra miliare per la trasformazione della politica austriaca attraverso l' uso dei social media online .
(trg)="15.1"> Inaonekana kama suala la #unibrennt linaweza kuwa hatua ya awali ya mabadiliko ya siasa za Austria kwa matumizi ya nyenzo za kijamii za mtandaoni .

(src)="14.2"> I mezzi di comunicazione tradizionali e le strutture politiche hanno manifestato molta attenzione , ma anche incertezza , e il movimento è riuscito anche a creare uno spirito di responsabilizzazione degli studenti e dei leader digitali .
(trg)="15.2"> Suala hili limejenga uelewa mpana – na hata kuchanganyikiwa – baina ya miundo iliyopo ya vyombo vya habari na siasa , na kujenga ari ya kuwezeshwa miongoni mwa wanafunzi na viongozi wa kidijitali .

# it/2010_04_balcani-le-somiglianze-tra-facebook-e-il-partito-comunista-yugoslavo_.xml.gz
# sw/2010_04_nchi-za-balkani-ufanano-baina-ya-facebook-na-chama-cha-kikomunisti-cha-yugoslavia_.xml.gz


(src)="1.1"> Balcani : le somiglianze tra Facebook e il Partito comunista yugoslavo ...
(trg)="1.1"> Nchi za Balkani : Ufanano Baina ya Facebook na Chama cha Kikomunisti cha Yugoslavia

(src)="1.2"> Nel consueto stile ironico che lo contraddistingue , Sead Dzigal offre una lista di similitudini tra Facebook e il Partito comunista yugoslavo :
(trg)="1.2"> Kwa desturi yake ya ucheshi , Sead Dzigal ametoa orodha ya Ufanano baina ya Facebook na Chama cha Kikomunisti cha Yugoslavia ( CPY ) :

(src)="1.3"> Facebook - social network .
(src)="2.1"> PCY - network socialista .
(trg)="1.3"> Facebook – ni mtandao wa wanajamii

(src)="2.2"> Se non sei un membro di Facebook non sei nessuno .
(src)="3.1"> Se non sei un membro del Partito comunista yugoslavo non sei nessuno .
(trg)="2.1"> CPY – ni mtandao wa wajamaa Kama sio mwanachama wa Facebook – Huna maana kwao

(src)="3.2"> Tutti su Facebook sono tuoi amici , anche se la metà di loro non li conosci .
(trg)="3.1"> Kama si mwanachama wa CPY – Huna maana kwao Kila mtu kwenye Facebook ni rafiki yako , japo kuwa huwajui nusu yao .

(src)="4.1"> Nel Partito comunista yugoslavo tutti sono tuoi compagni* , anche se la metà di loro non li conosci .
(trg)="4.1"> Kila mwana CPY ni swahiba wako , * japo huwajui zaidi ya nusu yao .

(src)="4.2"> Su Facebook sostieni varie attività e cause senza bisogno di muovere un dito .
(trg)="4.2"> Katika Facebook unashabikia matukio mbalimbali bila hata kuinua kidole chako .

(src)="5.1"> Nel Partito comunista yugoslavo sei membro di un' infinità di commissioni , consigli , assemblee senza bisogno di muovere un dito .
(trg)="5.1"> Katika CPY we ni mjumbe wa kamati na makusanyiko lukuki bila hata ya kunyanyua kidole chako .

(src)="5.2"> Su Facebook hai FarmVille .
(trg)="5.2"> Kwenye Facebook kuna mchezo wa mashamba ,

(src)="6.1"> Nel Partito comunista yugoslavo hai zadrugas e di riforma agraria .
(src)="6.2"> Su Facebook hai " mi piace " ,
(trg)="6.1"> katika CPY kuna zadrugas na sera mpya ya ardhi . kwenye Facebook utajipatia “ Like ,” ( naipenda )

(src)="7.1"> Nel Partito comunista yugoslavo hai " Lunga vita compagno… ! ! !” .
(trg)="7.1"> kwenye CPY unajipatia “ Long live comrade… ! ! !” ( maisha marefu swahiba ) Facebook – mara nyingi huingilia faragha yako ,

(src)="7.2"> Facebook spesso invade la tua privacy .
(trg)="8.1"> CPY - mara nyingi huingilia faragha yako .

(src)="8.1"> Il Partito comunista yugoslavo spesso invade la tua privacy .
(src)="9.1"> .aNTI reagisce con un commento , utilizzando una frase spesso attribuita a Vaclav Havel :
(trg)="9.2"> Makala hii imejaa maoni yaliyozoeleka na ni propaganda za wapinga ukomunisti .

(src)="9.3"> L' unica cosa peggiore dei comunisti sono gli anti-comunisti .
(trg)="9.3"> Kitu pekee kibaya katika hili ni kwamba wakomunisti wenyewe ni wapinga ukomunisti .

(src)="9.4"> Recenzent è d' accordo , e tentando di dimostrare quanto siano sbagliati i pregiudizi anti-comunisti dei giorni nostri riguardo a quanto le cose siano cambiate , annota :
(trg)="9.4"> Recenzent anakubali na anajaribu kuonesha jinsi wapinga ukomunisti wa sasa walivyo na mtazamo usio sahihi kwajinsi mabadiliko yanayojitokeza , anakumbusha :

(src)="9.5"> Una volta i media erano controllati dal partito .
(trg)="9.5"> Vyombo vya habari vilikuwa vikimilikiwa na vyama vya siasa .

(src)="9.6"> Oggi essi possono essere a favore o contro il Governo , ma sono comunque controllati dai partiti .
(trg)="9.6"> Siku hizi vinaweza kuwa kwa niaba ya Serikali au vipinga Serikali , lakini bado vinamailikiwa na vyama vya siasa .

(src)="9.7"> Niente di più facile per ottenere un lavoro che essere membro di un partito politico .
(trg)="9.7"> Utapata kazi kirahisi zaidi ilimradi tu ni mwanachama wa chama cha siasa , haialishi chama hicho ni CPY , SDSM or VMRO-DPMNE .

(src)="9.8"> Non importa se sia il Partito comunista yugoslavo , SDSM o VMRO-DPMNE .
(trg)="10.2"> Vyama pia hupigana na waandishi kwa nadharia za kihasidi .

(src)="10.1"> E fa poi notare che il “ sostegno” passivo a varie azioni rimane anche oggi il modo di fare dei partiti , così come combattere i dissidenti facendo leva su teorie cospiratrici .
(trg)="11.1"> * maneno swahiba na rafiki yamekuwa na maana sawa katika lugha za kislavik , kama Kimasedonia , Kiserbia , Kikroashia , Kiboznia…..

# it/2010_05_mozambico-aiuti-con-il-contagocce_.xml.gz
# sw/2010_05_msumbiji-kasheshe-la-misaada_.xml.gz


(src)="1.1"> Mozambico : aiuti con il contagocce per via delle scarse capacità governative
(trg)="1.1"> Msumbiji : Kasheshe la Misaada

(src)="1.2"> Il Mozambico fa affidamento sull' aiuto in denaro di altri governi per incrementare il bilancio dello Stato e rendere così possibile l' erogazione di servizi legati alla sanità e all' educazione .
(trg)="1.2"> Msumbiji inategemea fedha kutoka serikali nyingine ambazo zinatoa msaada moja kwa moja kwenye bajeti yake ya Taifa , kuwezesha huduma muhimu kama afya na elimu .

(src)="2.1"> La relazione tra i Paesi " donatori " e il Mozambico , rimasto nelle mani di un forte partito che di fatto governa il Paese , ha avuto i suoi alti e bassi nel corso degli anni .
(trg)="2.1"> Uhusiano kati ya nchi ‘ wafadhili’ , na serikali ya Msumbiji , ambayo bado inaendelea kuwa chini ya mikono ya chama tawala chenye nguvu , umekuwa unayumba yumba kwa miaka kadhaa .

(src)="2.2"> D' altronde tali Paesi sono alquanto diversi , dall' Europa , al Nord America , all' Asia , e raramente hanno agito con unità d' intenti .
(trg)="2.2"> Na nchi wafidhili zinatofautiana , kuanzia Ulaya , Marekani Kaskazini na Asia , na kwa nadra sana hutenda kwa kauli moja .

(src)="3.1"> Dalla fine degli anni Novanta i Paesi donatori hanno ripetutamente richiesto le prove che chiarissero la misura dei miglioramenti nella " governance " - rispetto al livello della corruzione , delle responsabilità degli organi governativi e dell' applicazione delle leggi .
(trg)="3.1"> Tangu mwishoni mwa miaka ya 1990 , nchi wafadhili nyingi kila mara zimekuwa zikidai ushahidi wa kuboreshwa kwa “ utawala” – katika kile ambacho kinahusiana na ufisadi , uboreshwaji katika uwajibikaji na utawala wa sheria .

(src)="3.2"> Tali richieste sono state rivolte tramite documenti sottoscritti tra gli stessi donatori e il Paese africano .
(trg)="3.2"> Madai haya yaliwekwa bayana katika mikataba kati ya nchi wafadhili na Msumbiji .

(src)="4.1"> Gli omicidi di due importanti esponenti impegnati in attività investigative sulla corruzione avvenuti nel 2000 e nel 2001 sono rimasti irrisolti .
(trg)="4.1"> Mauaji ya watu wawili mashuhuri waliokuwa wakipeleleza ufisadi mwaka 2000 na 2001 yanaendelea kutotatuliwa katika macho ya nchi wafadhili .

(src)="4.2"> Il recente processo per appropriazione indebita per milioni di dollari di denaro pubblico , dove sono coinvolti i manager dell' aeroporto del Mozambico , un' impresa statale , non fa altro che ricordare la continua presenza della corruzione e vede implicate importanti cariche dello Stato .
(trg)="4.2"> Kesi za hivi karibuni za mameneja wa viwanja vya ndege vya Msumbiji , kufujwa kwa mamilioni ya dola ya fedha za taifa vilikumbusha kuwa ufisadi unaendelea kutokea katika ngazi za juu .

(src)="5.1"> Cooperazione internazionale allo sviluppo . Foto di Sida su Flickr con licenza Creative Commons
(trg)="5.1"> Picha kutoka kwa mtumiaji wa Flickr Sida - Shirika la Maendeleo na Ushirikiano wa Kimataifa la Sweden

(src)="6.1"> Eppure , questo va detto , finché la Svezia non decise di ridurre i propri contributi al budget mozambicano , molte delle tensioni tra i Paesi donatori e il governo locale erano rimaste nascoste al pubblico .
(trg)="6.1"> Hata hivyo , ni sawa kusema kuwa , mpaka Sweden ilipoamua kwamba itapunguza msaada wake kwenye bajeti ya msumbiji mwaka jana , misuguano kati ya nchi wafadhili na na serikali inayopokea viliendelea kubaki ndani ya milango iliyofungwa .

(src)="6.2"> Poi , le elezioni presidenziali dello scorso anno hanno acuito le tensioni quando i donatori hanno messo in dubbio il modo di gestire la tornata elettorale .
(trg)="6.2"> Na kwa nyongeza , uchaguzi wa rais wa mwaka jana pia ulipandisha misuguano hiyo hadharani , kwani wafadhili walihoji jinsi uchaguzi ulivyoendeshwa .

(src)="7.1"> Joseph Hanlon , da anni esperto delle tematiche mozambicane , giornalista e professore alla Open University , dedica un' intera sezione del suo sito web a tali questioni , documentando il cosidetto " sciopero dei donatori " del 2010.
(trg)="7.1"> Joseph Hanlon , mchambuzi wa muda mrefu wa masuala ya Msumbiji , mwanahabari na Profesa katika Chuo Kikuu cha Wazi , ametoa sehemu nzima katika tovuti yake kuorodhesha “ mgomo wa wafadhili” wa 2010.

(src)="7.2"> Eccone uno stralcio :
(trg)="7.2"> Ameatoa muhtasari Unaoeleza kuwa wafadhili wa bajeti

(src)="7.3"> L' anno scorso i donatori che finora avevano sostenuto il bilancio del Mozambico ( G19 ) hanno inviato due lettere al governo per chiedere rapidi cambiamenti nelle riforme legislative , nell' affrontare la corruzione , sui conflitti d' interessi e sulla sovrapposizione di fatto tra il partito Frelimo e lo Stato .
(trg)="7.3"> ( G19 ) walituma barua mbili kwa serikali mnamo Disemba 2009 , wakidai hatua za haraka kurekebisha sheria za uchaguzi , rushwa , migongano ya kimaslahi , na kuingiliana kati ya chama cha Frelimo na serikali .

(src)="7.4"> Intanto i contributi economici sono stati sospesi .
(trg)="7.4"> Msaada wa bajeti ulisitishwa .

(src)="7.5"> Il 5 febbraio 2010 , Aiuba Cuereneia , ministro per la Pianificazione e lo Sviluppo e maggior negoziatore per il proprio governo con i Paesi donatori , ha inviato una lettera di replica al G19 nella quale ha esposto la posizione del suo governo e ha ammesso alcune mancanze I successivi negoziati avviati ai primi di marzo hanno portato all' accordo annunciato il 24 marzo e alla ripresa del flusso di denaro .
(trg)="7.5"> Mnamo tarehe 5 Februari 2010 Aiuba Cuereneia , Waziri wa Mipango na Maendeleo na mjumbe wa serikali anayeshauriana na wafadhili , alituma majibu kwa G19 , iliyoeleza msimamo wa serikali na kutoa masharti nafuu .
(trg)="7.6"> Mapatano ya mwanzoni mwa mwezi Machi yalipelekea makubaliano yaliyotangazwa tarehe 24 Machi na kuanza tena kwa mtiririko wa fedha .

(src)="7.6"> Edígio Vaz ha dato il via a un dibattito nella blogosfera locale sulla recente interruzione dei rapporti tra le nazioni donatrici e il suo governo :
(trg)="7.7"> Edigio Vaz alianzisha mjadala katika ulimwengu wa blogu za Msumbiji mwezi Machi juu ya kuvunjika kwa mawasiliano hivi karibuni kati ya mataifa wafadhili na serikali yake

# it/2010_07_18-luglio-mandela-day-buon-compleanno-madiba_.xml.gz
# sw/2010_07_afrika-ya-kusini-dakika-67-za-mabadikio-siku-ya-mandela_.xml.gz


(src)="1.1"> 18 luglio , Mandela Day : buon compleanno , Madiba !
(trg)="1.1"> Afrika ya Kusini : Dakika 67 za Mabadikio - Siku ya Mandela

(src)="1.2"> Nelson Mandela . Fonte : www.ambassadors.net
(src)="2.1"> Molti sanno che Nelson Mandela ha trascorso 27 anni della sua vita nel carcere di Robben Island , appena fuori CapeTown , in Sud Africa .
(trg)="1.2"> Nelson Mandela Chanzo:www.ambassadors.netWatu wengi wanafahamu kwamba Nelson Mandela katika maisha yake alitumikia kifungo cha miaka 27 jela kule katika Kisiwa cha Robben nchini Afrika ya Kusini .

(src)="2.2"> Quel che tanti invece non sanno è che Madiba ( nomignolo con cui viene affettuosamente chiamato nel Paese ) ha lottato per 67 anni contro razzismo e povertà .
(trg)="1.3"> Kitu ambacho watu wengi hawajui ni kwamba Madiba ( kama ambavyo wengi wanapenda kumwita huko Afrika ya Kusini ) alitumia miaka 67 ya maisha yake katika kupiga vita ubaguzi wa rangi na umaskini .

(src)="2.3"> Oggi , domenica 18 luglio 2010 , l' ex presidente sufricano compie 92 anni , e negli ultimi 16 anni i connazionali hanno celebrato il compleanno di Madiba sempre con grande passione ed entusiasmo .
(trg)="1.4"> Jumapili hii Julai 18 2010 , Rais huyu wa Zamani atatimiza miaka 92.
(trg)="1.5"> Kwa miaka 16 iliyopita , raia wa Afrika ya Kusini wamekuwa wakisherehekea siku kuu hii ya kuzaliwa Madiba kwa shauku na hamasa motomoto .

(src)="2.4"> Nel 2002 fu lo stesso Mandela a lanciare una campagna globale di consapevolezza e prevenzione sull' HIV/ AIDS nel giorno del suo compleanno , nota come 46664 , il suo numero di matricola nel carcere di Robben Island .
(trg)="1.6"> Mnamo mwaka 2002 , Nelson Mandela mwenyewe alitumia siku hii kuzindua kampeni yake ya ulimwengu mzima kuhamasisha welewa na kupiga vita tatizo la VVU/ UKIMWI , kameni hiyo inajulikana kama 46664.

(src)="3.1"> Nel 2009 , il successo della campagna 46664 e gli eventi annessi , si trasformarono in quello che oggi è noto come il “ Mandela Day” , una giornata in cui persone di varie parti del mondo dedicano 67 minuti a creare un mondo migliore per tutti .
(trg)="2.1"> Mnamo mwaka 2009 , mafanikio ya kampeni na sherehe hizo za 46664 zilipiga hatua ya juu zaidi na kuwa kile kinachofahamika kama “ Mandela Day” , yaani " Siku ya Mandela " , ambayo ni siku wanayotumia watu kila mahali duniani kutoa dakika 67 kwa ajili ya kupafanya duniani kuwa mahali bora zaidi pa kuishi .

(src)="3.2"> Spiegano gli organizzatori :
(trg)="2.2"> Waandaaji walieleza hivi :

(src)="3.3"> Avevamo deciso che non poteva esserci nulla di più adatto che celebrare ogni anno il compleanno di Madiba con una giornata dedicata all' attività che ne ha caratterizzato la vita , tramite le sue organizzazioni di beneficienza , e assicurare così durata perenne a quanto aveva fatto .
(trg)="2.3"> Uamuzi ulifikiwa kwamba kusingekuwa na namna nyingine iliyo bora zaidi ya kusherehekea siku ya kuzaliwa Madiba kila mwaka zaidi ya kuwa na siku ambayo itatengwa maalumu kumkumbuka kwa kazi aliyofanya maishani mwake na kwa shughuli za asasi yake ya hisani na kuhakikisha kwamba urithi aliotuachia unaendelea daima .

(src)="3.4"> Il Mandela Day del 2009 ha registrato un successo clamoroso in Sud Africa .
(trg)="2.4"> Siku ya Mandela ya mwaka 2009 ilikuwa yenye mafanikio makubwa sana nchini Afrika ya Kusini .

(src)="3.5"> A tal punto che quello del 2010 sarà il primo Nelson Mandela Day di carattere internazionale , come segnala Joburg :
(trg)="2.5"> Ilikuwa yenye mafanikio kiasi hicho kwamba tarehe hii katika mwaka 2010 itakuwa ndiyo ya kwanza katika Siku ya Nelson Mandela ya Kimataifa kama Joburg anavyoripoti :

(src)="3.6"> Il 18 luglio 2010 sarà il primo Nelson Mandela International Day .
(src)="3.7"> Le Nazioni Unite , nel novembre 2009 , hanno infatti approvato una risoluzione che dichiara il 18 luglio giornata internazionale dedicata ad attività umanitarie .
(trg)="2.6"> Itakuwa ndiyo Siku Kimataifa ya Nelson Mandela ya kwanza tangu Umoja wa Mataifa ulipopitisha azimio mwezi Novemba mwaka 2009 , likiitangaza tarehe 18 Julai kwamba ni siku inayotengwa kwa ajili ya shughuli za kuimarisha utu .

(src)="3.8"> È la prima volta che l' ONU ha dedicato un giorno internazionale a un singolo individuo riconoscendo in lui un simbolo di speranza per coloro che sono oppressi e messi ai margini .
(trg)="2.7"> Ni mara ya kwanza kabisa ambapo taasisi hiyo kubwa duniani imetangaza siku ya kimataifa kwa jina la mtu binafsi , likimtambua mtu huyo kama alama ya matumaini hasa kwa wale wanaokangamizwa na kutengwa .

(src)="3.9"> Sebbene la giornata sarà celebrata in tutto il mondo , è stata scelta Madrid , in Spagna , per ospitare il concerto che celebrerà ufficialmente il primo Nelson Mandela International Day , dove parteciperà fra gli altri BB King .
(trg)="2.8"> Ingawa siku hiyo itasherehekewa kote ulimwenguni , Madrid , mji mkuu wa Hispania , umechaguliwa kuwa wenyeji wa tamasha kubwa la kusherehekea Siku ya Kimataifa ya kwanza ya Nelson Mandela , na BB King anatarajiwa kutumbuiza .

(src)="4.1"> Anche New York ospiterà un concerto celebrativo , mentre un' installazione che celebra la vita e le azioni di Nelson Mandela è stata realizzata nel Grand Central Terminal per ricordare il Mandela Day 46664.
(trg)="3.2"> Tukibaki hapo New York , kazi ya kutundika ya sanaa inayosherehekea maisha na urithi wa Nelson Mandela iliwekwa hadharani katika Kituo Kikuu cha jiji la New York kwa heshim ya Mandela Day 46664.

(src)="4.2"> L' installazione mostra sei parole in movimento illuminate in 3-D : agire , ascoltare , guidare , unire , imparare e parlare .
(trg)="3.3"> Tangazo hilo linaonyesha maneno sita yanayotoa mwanga mzuri wa rangi wa pande 3 : tenda , sikiliza , ongoza , unganisha , jifunze na sema .

(src)="4.3"> La parte anteriore di ogni parola mostra messaggi chiave che rivelano i valori di Mandela ed ispirano i visitatori a impegnarsi concretamente .
(trg)="3.4"> Mbele ya kila neno kuna ujumbe unaoonyesha aliyothamini Nelson Mandela , ujumbe unaowahamasisha wasafiri wanaopita hapo kutenda .

(src)="5.1"> La Nelson Mandela Foundation informa :
(trg)="4.1"> Taasisi ya Nelson Mandela inaripoti :

(src)="5.2"> In Italia , il Consiglio comunale di Firenze , in collaborazione con il Mandela Forum , ha realizzato un video su Mandela , che verrà trasmesso insieme al film Invictus al Mandela Forum e nei cinema all' aperto di Firenze .
(trg)="4.2"> Nchini Italia , Halmashauri ya Jiji la Firenze , kwa kushirikiana na Jukwaa la Mandela , wameandaa onyesho la picha za video kuhusu Mandela , sinema na Siku ya Mandela , vyote hivyo vitarushwa katika Jukwaa la Mandela na vilevile katika eneo la wazi la kuonyeshea sinema la Florence .

(src)="5.3"> Il Consiglio comunale è impegnato a sostenere il Mandela Day e incoraggia tutti i cittadini a prendere parte al movimento globale anche per gli anni a venire sottoscrivendo una risoluzione a sostegno del Mandela Day .
(trg)="4.3"> Halmashauri ya Jiji la Firenze imejitolea kusaidia Siku ya Mandela na kuhamasisha raia wa Florence kujihusisha katika vuguvugu hili la ulimwengu kwa ajili ya kutenda wema kwa kutia sahihi katika makubaliano yanayounga mkono kuwepo kwa Siku ya Mandela .

(src)="5.4"> L' appello di Mandela all' azione è stato recepito anche a Cuba :
(trg)="4.4"> Wito wa Mandela wa kutenda pia umesikika kule Cuba :

(src)="5.5"> La commissione per le Relazioni Estere del parlamento cubano oggi ha approvato , in seduta straordinaria , una risoluzione per commemorare il 18 luglio di ogni anno l' International Day di Nelson Mandela .
(trg)="4.5"> Tume ya Uhusiano wa Kimataifa ya Bunge la Cuba leo , katika kikao cha dharura , imepitisha uamuzi wa kusherehekea Julai 18 kama Siku ya Kimataifa ya Nelson Mandela .

(src)="5.6"> I cittadini sudafricani hanno accolto l' appello a dedicare 67 minuti della loro giornata a migliorare la vita dei concittadini .
(trg)="4.6"> Raia wa Afrika ya kUsini nao wameitikia wito wa kutumia dakika 67 za siku yao ili kukuza ubora wa maisha nchini humo .

(src)="5.7"> Una serie di attività sono state programmate in varie parti del Paese e ognuno può dedicarvi attività volontaria in ogni momento .
(trg)="4.7"> Shughuli mbalimbali zimeandaliwa nchini kote ambapo watu watajitolea muda wao .

(src)="6.1"> Il pastore MosaSono chiede :
(trg)="5.1"> PastorMosaSono anauliza :

(src)="6.2"> Chi viene con noi a Chris Hani Bara domani @08h30 per una campagna di pulizia per i 67 minuti del Mandela Day ?
(trg)="5.2"> Je , nani atajiunga na sisi pale Chris Hani Bara kesho saa @02h30 asubuhi kwa muda wa dakika 67 katika Siku ya Mandela katika kampeni ya kufanya usafi ?

(src)="6.3"> MuffinMegain fa sapere :
(trg)="5.3"> MuffinMegain anaeleza kwa msisitizo :

(src)="6.4"> Celebreremo il Mandela Day domenica allo Zoo Lake aiutando a pulire il luogo dove viviamo !
(trg)="5.4"> Tutakuwa tukisherehekea Siku ya Mandela siku ya Jumapili pale kwenye Zoo ya Lake na tutakuwa tukisaidia kufanya usafi katika jumuiya yetu !

(src)="6.5"> Un blogger di Hope Blog dice che il Mandela Day non dovrebbe essere considerato una vacanza :
(trg)="5.5"> Mwanablogu katika Hope Blog anasema kwamba tuamue kuifanya siku ya Mandela kuwa Siku ya Mapumziko :

(src)="7.1"> Ognuno di noi può fare un piccolo passo e i nostri sforzi collettivi possono davvero cambiare il mondo .
(trg)="6.1"> Kila mmoja wetu anaweza kuleta tofauti chanya , hata kama ni kidogo , na tukiweka zote hizo pamoja tunaweza kweli kuleta mabadiliko ulimwengui .

(src)="7.2"> Il Nelson Mandela Day non è una vacanza , è un giorno in cui possiamo ritrovarci tutti insieme nell' azione .
(trg)="6.2"> Siku ya Nelson Mandela siyo siku ya mapumziko - ni siku ambayo sisi sote hatuna budi kuungana na kutenda .

(src)="7.3"> Aiutaci a condividere la visione di Nelson Mandela per un futuro migliore per tutti , fai qualcosa di concreto in questo weekend e parla di noi sulla tua pagina Facebook .
(trg)="7.1"> Tusaidiane katika kueneza ndoto ya Nelson Mandela ya baadaye iliyo bora kwa wote , shiriki katika shughuli fulani mwisho wa juma hili , na utueleze kuhusu shughuli hiyo kupitia ukurasa wa Facebook .

(src)="7.4"> Ti serve qualche idea ?
(trg)="7.2"> Je , unataka kutiwa matumaini ?

(src)="7.5"> Il nostro staff di volontari è pronto a condividere le proposte anche su Facebook dove ci sono 67 idee su come cambiare il mondo in meglio .
(trg)="7.3"> Wafanyakazi wetu watakuwa wakijitolea juhudi zao kwa ajili ya Nelson Mandela hata kupitia ukurasa wa Facebook , na hapa kuna fikra 67 za namna ya kuubadili ulimwengu .

(src)="7.6"> Così alcuni agricoltori a Stellenbosch , in Sud Africa , onoreranno il Mandela Day :
(trg)="8.1"> Hivi ndivyo wafanyakazi wa mashambani huko Stellenbosch , Afrika ya kusini , watakavyoienzi Siku ya Mandela :

(src)="8.1"> Gli agricoltori della zona hanno esortato un gruppo di volontari a trascorrere con loro 67 minuti domenica per celebrare l' International Mandela Day .
(trg)="9.1"> Wafanyakazi wa mashambani wametoa wito kwa watu wa kujitolea kufanya nao kazi kwa dakika 67 siku ya Jumapili katika kusherehekea Siku ya Kimataifa ya Nelson Mandela .

(src)="9.1"> Il gruppo " Donne in agricoltura " ha destinato un pezzo di terra a donne senza lavoro , dando loro la possibilità di portare del cibo in tavola .
(trg)="10.1"> Kundi la " Wanawake walio Mashambani " limetenga kipande cha ardhi kwa ajili ya wanawake wafanyakazi wasio na ajira , wakiwapa fursa ya kupata chakula kidogo cha kuweka mezani .

(src)="9.2"> L' iniziativa ha lo scopo di alleviare la discriminazione di genere all' interno del settore agricolo .
(trg)="11.1"> Kusudi la vuguvugu hilo ni kupunguza ubaguzi wa kijinsia katika sekta ya kilimo .