# id/2009_01_29_yunani-protes-keras-terhadap-pengiriman-senjata-menuju-israel_.xml.gz
# sw/2009_01_ugiriki-malalamiko-kuhusu-usafirishwaji-wa-silaha-kuelekea-israeli_.xml.gz


(src)="1.1"> Yunani : Protes Keras Terhadap Pengiriman Senjata Menuju Israel
(trg)="1.1"> Ugiriki : Malalamiko Kuhusu Usafirishwaji wa Silaha kuelekea Israeli

(src)="1.2"> Dengan adanya perang yang berkecamuk di Gaza , berita- berita yang muncul awal bulan ini , yang mengabarkan rencana pengiriman persenjataan dalam skala raksasa , produksi Amerika Serikat menuju Israel melalui pelabuhan laut swasta Yunani Astakos , telah membuat berang para blogger Yunani .
(trg)="1.2"> Wakati vita vikiendelea huko Gaza , taarifa zilizotolewa mwanzoni mwa mwezi kuhusu usafirishwaji wa shehena kubwa ya silaha kutoka Marekani kuelekea Israeli kupitia bandari ya Astakos huko Ugiriki zimezua kelele kutoka kwa wanablogu wa Kigiriki .

(src)="1.3"> Mereka , dengan menggunakan Twitter , berhasil mempelajari situasi ini dan memberi tekanan kepada pemerintah untuk menghentikan transfer tersebut .
(trg)="1.3"> Wanablogu hao walitumia huduma ya Twita kuchunguza swala hilo na kuitia shinikizo serikali ya Ugiriki kusimamisha usafirishwaji wa silaha hizo .

(src)="2.1"> Pengiriman persenjataan tersebut akhirnya ditunda setelah partai oposisi turut memberi tekanan kepada pemerintah berkuasa Yunani dan Amnesti Internasional menuntut embargo senjata .
(trg)="2.1"> Usafirishaji wa shehena hiyo ulisitishwa , wakati serikali ya Ugiriki ilipobanwa na vyama vya upinzani pamoja na Shirika la Msamaha Duniani lilipokuwa likitaka vikwazo vya uingizwaji wa silaha nchini Israeli vipitishwe .

(src)="3.1"> Pada mulanya , sumber resmi mempertanyakan artikel yang ditulis kantor berita Reuters pada tanggal 9 Januari .
(trg)="3.1"> Awali , vyanzo kutoka serikalini vilipingana na habari iliyotolewa tarehe 9 Januari na shirika la habari la Reuters .

(src)="3.2"> Namun artikel tersebut diangkat oleh para pengguna situs Twitter dan ditelaah oleh situs Indy.gr - situs cabang grup Indymedia Athens , yang menyediakan terjemahan artikel dalam bahasa Yunani .
(trg)="3.2"> Lakini watumiaji wa huduma ya Twita waliipata habari hiyo na kuipeleleza baada ya Indy.gr - tawi mojawapo la Indymedia Athens - kutoa tafsiri ya makala hiyo katika lugha ya Kigiriki .

(src)="4.1"> Ide untuk menyelenggarakan embargo pelabuhan laut swasta tersebut kemudian muncul dan " ditweetkan " ulang secara luas :
(trg)="6.1"> Kiungo hicho kilisababisha wizara itoe majibu rasmi kuwa suala la upitishwaji wa shehena hiyo ya silaha kwenye bandari ya Astakos au bandari nyingine yoyote nchini Ugiriki siyo " mada muhimu " kadhalika wizara hiyo pia ilikana kilichoripotiwa na vyombo vya habari .

(src)="4.2"> itsomp : http : / / is.gd / f8Wa Bisakah kita adakan embargo pada pelabuhan laut Astakos ?
(trg)="7.8"> Myrto_fenek : Usafirishwaji wa wa silaha kupitia bandari ya Astakos umesitishwa kutokana na mgogoro wa Gaza !

(src)="4.3"> Khusus kapal AS dan Israel ..
(trg)="7.9"> Bloga magicasland.com alitoa muhtasari wa matokeo :

(src)="4.4"> Beberapa pengguna Twitter juga mengirimkan pertanyaan langsung kepada pihak tim dunia maya Departemen Luar Negeri ( Deplu ) Yunani , yang juga memiliki akun Twitter :
(trg)="8.2"> Hili ni ombi jingine la usafirishwaji wa silaha , kwa ajili ya shehena kubwa zaidi , kwani chombo chenye uwezo wa chini wa kubeba tani 989 kilitakiwa .

# id/2009_02_24_kunjungan-hillary-clinton-ke-indonesia_.xml.gz
# sw/2009_02_clinton-azuru-indonesia_.xml.gz


(src)="1.1"> Kunjungan Hillary Clinton ke Indonesia
(trg)="1.1"> Clinton Azuru Indonesia

(src)="2.1"> Menteri Luar Negeri Amerika Serikat State Hillary Clinton tiba di Indonesia hari Rabu lalu .
(trg)="1.2"> Katibu wa Mambo ya Nje wa Marekani Hillary Clinton aliwasili nchini Indonesia Jumatano iliyopita .

(src)="2.2"> Dia menyatakan “ Peran Indonesia dalam menangani permasalahan dunia , termasuk terorisme , proteksionisme , perubahan iklim dan krisis ekonomi . ”
(trg)="1.3"> Alitilia mkazo " jukumu la Indonesia katika kudhibiti matatizo ya dunia , yanayojumuisha ugaidi , uchumi wa kujihami , mabadiliko ya hali ya hewa(kuongezeka kwa joto ) na matatizo ya kiuchumi . "

(src)="2.3"> Indonesia memiliki populasi umat Muslim terbesar dan merupakan negara demokrasi terbesar ketiga di dunia .
(trg)="1.4"> Indonesia ndio taifa kubwa la Kiislamu duniani na nchi ya tatu kwa ukubwa kati ya zile zinazoongozwa kidemokrasia .

(src)="3.1"> Selain berjumpa dengan pemimpin-pemimpin negara , Clinton juga menyempatkan diri untuk mengunjungi daerah kumuh di Jakarta .
(trg)="2.1"> Pamoja na kukutana na viongozi wa Indonesia , Clinton alipata muda wa kutembelea makazi ya watu masikini mjini Jakarta .

(src)="3.2"> Dia juga muncul dalam acara TV remaja .
(src)="4.1"> Hillary Clinton diwawancara Luna Maya dan Isyana Bagoes Oka dalam Talkshow Dahsyat
(trg)="2.2"> Kadhalika alitokea kwenye kipindi cha televisheni cha vijana .

(src)="5.1"> Everything Indonesia merasa bahwa kunjungan Clinton ke Indonesia menandai era baru kebijakan luar negeri Amerika Serikat :
(trg)="3.1"> Bloga Everything Indonesia anaamini kuwa ziara ya Clinton nchini Indonesia inafungua zama mpya ya sera ya nje ya Marekani :

(src)="5.2"> Kunjungan Menteri Luar Negeri Amerika Hillary Clinton ke Indonesia menandai mulainya era baru ketentuan luar negeri Amerika Serikat .
(trg)="3.2"> Ziara ya katibu wa Mambo ya Nje wa Marekani Clinton nchini Indonesia inafungua zama mpya za sera ya nje ya Marekani .

(src)="5.4"> Menurut pengamatan bloger Mbak Rita , Clinton nampak lebih muda kali ini :
(trg)="3.4"> Bloga Mbak Rita amegundua kwamba Clinton anaonekana kijana sana leo :

(src)="5.5"> “ Menurutku dia terlihat muda dan cantik , mungkin karena dia murah senyum selama kunjungannya di sini ... Beberapa orang yang muncul di beberapa acara talkshow yang membosankan menganggap bahwa sambutan Jakarta sedikit berlebihan menyikapi kunjungannya .
(src)="5.6"> Aku lega mengetahui bahwa hal itu tak terbukti benar . ”
(trg)="3.5"> " kwa kweli nafikiri anaonekana kijana na mrembo , pengine inatokana na tabasamu lake alilotoa wakati wa ziara yake hapa… Watu wengine katika kipindi cha maongezi cha televisheni nilichokitaja kabla walisema kwamba watu wa Jakarta walijawa jazba za bure kuhusu ziara yake .

(src)="5.7"> Devi Girsang terkejut dengan kemacetan Jakarta pada hari kedatangan Clinton :
(trg)="3.7"> Devi Girsang alishangazwa na hali ya barabarani siku aliyowasili Clinton :

(src)="6.1"> Sebagai warga Jakarta yang terbiasa dengan kemacetan , aku merasa agak panik bila jalanan lengang dan terkesan terbengkalai .
(trg)="4.1"> Kama mkazi wa Jakarta niliyozoea kukwama kwenye foleni za magari , huwa nafadhaika kama barabara zikiwa tulivu na zenye watu pungufu .

(src)="6.2"> Hanya dua hal yang akan terlintas dibenakku , adanya bom atau huru-hara .
(trg)="4.2"> Ni mambo mawili yaliyoingia akilini mwangu ; kuna vitisho vya mabomu au ghasia .

(src)="6.3"> Masih ingat kerusuhan Jakarta 1998 dan pemboman hotel Marriott 2003 , bukan ?
(trg)="4.3"> Unakumbuka machafuko ya Jakarta ya mwaka 1998 au shambulio la Hoteli ya Marriot la mwaka 2003 ?

(src)="6.4"> Jika ya , maka kuyakin kalian mengerti apa yang kumaksud .
(src)="6.5"> Sekitar pukul 2 siang hari ini , ternyata konvoi kunjungan Menlu Amerika Serikat Hillary Clinton yang menyebabkan lalu-lintas Jakarta dihentikan sejenak !
(trg)="4.4"> Umeshahamu namaanisha nini Majira ya saa 8 za mchana leo , iliondokea kuwa ni kuwasili kwa Katibu wa Mambo ya Nje wa Marekani mjini Jakarta ndio kulikosimamisha magari .

(src)="6.6"> Untungnya , baterai kamera digitalku masih tersisa untuk memotret beberapa foto .
(trg)="4.5"> Bahati yangu nilikuwa bado nina mawe kwenye kamera yangu ya kidijitali nikaweza kupiga picha kadhaa .

(src)="6.7"> Therry , mengomentari posting Devi Girsang , berandai-andai apabila Amerika Serikat telah mengirimkan Clinton palsu :
(trg)="4.6"> Katika safu ya maoni , Therry , anajiuliza kama Marekani ilimtuma Clinton wa uongo :

(src)="7.1"> Aku menonton pidato Hillary di TV dan mungkin hanya pendapatku , tapi perempuan itu tak mirip benar dengan Hillary .
(trg)="5.1"> Niliangalia hotuba aliyoitoa Clinton kwenye televisheni na sina hakika kama ni mimi tu , lakini yule mwanamke hafanani na Hillary .

(src)="7.2"> Aku mulai berpikir bahwa permerintah AS telah mengirim yang " aspal " untuk mengunjungi kita , soalnya dia kelihatan terlalu tua dan keibuan untuk seorang Hillary !
(trg)="5.2"> Naanza kufikiri kuwa serikali ya Marekani ilimtumia Clinton wa uongo , kwa sababu yule mwanamke anaonekana mzee sana na jimama kuwa Clinton wa kweli .

(src)="9.1"> Tidak semua orang senang dengan kunjungan Hillary Clinton di Indonesia .
(trg)="6.1"> Siyo kila mmoja aliyeshangilia ziara ya Hillary Clinton nchini Indonesia .

(src)="9.2"> Foto dari surat kabar Jakarta Today
(trg)="6.2"> Picha kutoka kwa Jakarta Today .

(src)="10.1"> Andreas Harsono berharap Clinton memperhatikan isu-isu seperti kebebasan beragama , kebebasan berekspresi dan reformasi militerselama kunjungannya :
(trg)="7.1"> Andreas Harsono alitaka Clinton aongelee masuala ya uhuru wa kidini , usawa katika sheria na mageuzi ya kijeshi wakati wa ziara yake :

(src)="11.1"> “ ( Clinton ) harusnya berhati-hati sebelum mengatakan bahwa warga Muslim di Indonesia " moderat " , seperti tamu negara lainnya .
(trg)="8.1"> " ( Clinton ) awe muangalifu na asiseme kuwa Waislamu wa Indonesia wana " siasa za wastani " kama wanavyosema wanadiplomasia wageni .

(src)="11.2"> Untuk pemeluk berbagai aliran kepercayaan di Indonesia hal tersebut amat tidak berguna , juga klise .
(trg)="8.2"> Kwa wanachama wa makundi ya kidini yanayokandamizwa nchini Indonesia , tamko hilo halina maana na ni kauli mbiu potofu .

(src)="12.1"> “ Keprihatinan mengenai berkurangnya toleransi antar umat beragama bukanlah satu-satunya isu HAM yang harus Clinton bicarakan dengan Presiden SBY .
(trg)="9.1"> " Mashaka ya ongezeko la kutokuvumiliana kidini sio suala pekee ambalo Clinton angeliongelea na Rais Susilo Bambang Yudhoyono .

(src)="12.2"> Kebebasan berekspresi juga merupakan kendala besar yang dihadapi negara kepulauan ini , dimana etnis minoritas mulai menunjukan protes mereka terhadap NKRI .
(trg)="9.2"> Uhuru wa kujieleza pia ni tatizo kubwa katika visiwa vidogo ambako makabila madogo yanaonyesha upinzani kwa dola ya Indonesia .

(src)="12.3"> Namun di Indonesia , aksi damai seperti mengibarkan bendera bukan bendera negara dapat mengakibatkan seseorang dipenjara dalam jangka waktu panjang .
(trg)="9.3"> Katika Indonesia , hata vitendo vya amani kama vile kupandisha bendera vinaweza kukupeleka jela kwa muda mrefu .

(src)="12.4"> “ Clinton mungkin tertarik untuk menyoroti hal-hal seperti kebebasan beragama , keadilan bagi ekspresi pribadi , dan reformasi militer , untuk mempererat hubungan AS-Indonesia .
(trg)="9.4"> Clinton anaweza kushawishika kupamba masuala kama uhuru wa kidini , usawa katika sheria na mageuzi ya kijeshi ili kuboresha uhusiano wa Marekani na Indonesia .

(src)="12.5"> Namun jika hanya itu yang dia ketengahkan , maka dia menyia-nyiakan kesempatan emas untuk mendatangkan perubahan berarti bagi warga Indonesia , yang memiliki sekelompok pemimpin yang perlu diberi tekanan untuk memahami pentingnya menghormati HAM warga negara . ”
(trg)="9.5"> Na kama akifanya hivyo , atapoteza fursa ya kubadilisha maisha ya watu wengi nchini Indonesia ambao wanataka serikali ishinikizwe kutambua haki zao .

(src)="12.6"> Melalui Twitter , berikut ini beberapa reaksi kedatangan Clinton :
(trg)="9.6"> Kupitia huduma ya Twita yafuatayo ni maoni yanayohusu ziara ya Clinton :

(src)="13.1"> waxinglyrical : seseorang bertanya , siapa sih Hillary Clinton ? ?
(trg)="10.1"> waxinglyrical : kuna mtu ameuliza hillary Clinton ni nani ?

(src)="14.1"> mirageinblue : ( aku ) lihat hillary clinton di lobi. dahsyat oplet : Obama Fans Club memprotes kedatangan Hillary Clinton di Jakarta , mereka hilang simpati padanya sejak kampanye presiden
(trg)="11.2"> Safi sana oplet : Klabu ya mashabiki wa Obama wanafanya maandamano kumopinga Hillary Clinton mjini Jakarta , wanasema hawampendi tangu wakati wa kugombea nafasi ya kugombea urais .

(src)="16.1"> Foto dari halaman Flickr Departemen Dalam Negeri Amerika Serikat
(trg)="12.1"> Picha kutoka ukurasa wa Flickr wa Idara ya Mambo ya Nje ya Marekani

# id/2009_02_21_dunia-2500-bahasa-terancam-punah_.xml.gz
# sw/2009_02_dunia-nzima-lugha-2500-zinapotea_.xml.gz


(src)="1.1"> Dunia : 2.500 Bahasa Terancam Punah
(trg)="1.1"> Dunia Nzima : Lugha 2,500 Zinapotea

(src)="2.1"> United Nations Educational , Scientific and Cultural Organization ( UNESCO ) meluncurkan peta interaktif yang menunjukkan 2.500 dari 6.000 bahasa berisiko punah .
(trg)="1.2"> Ramani shirikishi ya lugha zinazopotea , inayoonyesha lugha 2,500 kati ya 6,000 ambazo ziko hatarini , imezinduliwa na Shirika la Elimu , Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa ( UNESCO ) .

(src)="2.2"> Organisasi internasional tersebut mengajak pengguna internet untuk memberi bantuan berupa komentar guna mengembangkan sebuah projek pelestarian kebudayaan , yang telah mendapat dukungan dari para bloger yang prihatin mengenai isu tersebut .
(trg)="1.3"> Shirika hilo la kimataifa linawaomba watumiaji wachangie kwa kutuma maoni kwenye mradi huo ambao unawatia mashaka wanablogu wengi wenye nia ya kuhifadhi tamaduni .

(src)="3.1"> Atlas Bahasa-Bahasa yang Menghadapi Kepunahan UNESCO
(trg)="3.1"> Mkutubu , Iglesia Descalza anablogu :

(src)="4.1"> Iglesia Descalza , seorang pustakawan , menulis dalam blognya :
(src)="5.1"> Sebagai pecinta bahasa , aku terenyuh membaca laporan terkini yang dipresentasikan UNESCO mengenai berbagai bahasa dunia yang terancam punah .
(trg)="4.1"> Nikiwa mmojawapo wa watu wanaopenda lugha , ninasikitishwa ninaposoma habari zinazotoka wakati wa kutolewa kwa Kitabu kipya cha ramani ya lugha zilizo Hatarini kutoweka Duniani cha UNESCO .

(src)="5.2"> Menurut Atlas yang diumumkan menjelang Hari Internasional Bahasa Ibu ( 21 Februari ) tersebut , hampir 200 bahasa digunakan kurang dari 10 pembicara , dan 178 lainnya digunakan antara 10 hingga 50 pembicara .
(trg)="4.2"> Kwa mujibu wa kitabu hicho cha ramani , kilichozinduliwa kwenye mkesha wa Siku ya Kimataifa ya Lugha ( 21 Februari ) , karibu ya lugha 200 zina wazungumzaji pungufu ya 10 na lugha nyingine 178 zina wazungumzaji kati ya 10 na 50.

(src)="6.1"> Data tersebut juga menunjukan bahwa dari 6.000 bahasa yang dikenal dunia , 200 diantaranya telah punah perlahan dalam jangka waktu tiga generasi ; 538 bahasa masuk dalam kategori terancam , 632 sangat terancam , 607 berpotensi untuk menjadi terancam .
(trg)="5.1"> Takwimu zinaonyesha kuwa kati ya lugha 6,000 zilizopo sasa , zaidi ya 200 zimetoweka katika vizazi vitatu vilivyopita , 38 ziko hatarini kabisa , 502 ziko hatarini sana , 632 ziko hatarini bila ya shaka na 607 haziko salama .

(src)="7.1"> Sebuah bahasa lenyap , ketika si pengguna terakhir meninggal dunia .
(trg)="6.1"> Wazungumzaji wa mwisho wa lugha wanapofariki , na lugha pia hufariki .

(src)="7.2"> Bahasa Manx , yang digunakan di Isle of Man , hilang total ketika Ned Maddrell , pria terakhir yang mampu berbicara Manx meninggal dunia pada tahun 1974 .
(trg)="6.2"> Lugha ya Ki-Manx katika kisiwa cha Man ilitoweka mwaka 1974 wakati Ned Maddrell , mzungumzaji pekee wa lugha hiyo alipofariki wakati lugha ya Ki-eyak huko Alaska Marekani , ilikumbana na maangamizi mwaka jana kilipotokea kifo cha Marie Smith Jones .

(src)="8.1"> Kita hargai keberagaman biologis , budaya dan ras , juga perbedaan lingustik , karena kita telah terlalu banyak mengalah dan menyatukan diri ke dalam sebuah masyarakat besar yang homogen , putih dan berbahasa Inggris .
(trg)="7.1"> Inatubidi tuuenzi uwingi wa kibaiolojia , uwingi wa tamaduni na rangi za watu , pamoja na uwingi wa lugha kwa sababu tunapoteza mambo mengi mno kadiri tunavyozidi kumezwa na jamii moja kubwa nyeupe , inayoongea Kiingereza .

(src)="8.2"> Sementara bahasa-bahasa yang menghilang sebagian besar merupakan bahasa lokal yang kalah ketika berhadapan dengan globalisasi dan nasionalisme negara , Daniel Moving Out , sebuah blog yang ditulis oleh warga Portugal yang kini bermukim di Inggris , beranggapan bahwa tidak semua bahasa “ tak resmi ” menghadapi ancaman kepunahan :
(trg)="7.2"> Huku lugha zinazopotea nyingi zake ni zile za watu watu wa makabila wanaokumbwa na utandawazi na utaifa wa dola , Daniel Moving Out , blogu ya mwanablogu wa kireno anayeishi uingereza kwa sasa , inasema siyo lugha zote " zisizo rasmi " ambazo zinakufa .

(src)="9.1"> Bahasa Galicia , yang terdengar seperti bahasa campuran antara bahasa Spanyol dan Portugis , nyaris meyerupai dialek Portugis yang diperkaya dengan kata-kata dan aksen bahasa Spanyol .
(trg)="8.1"> Lugha ya Ki-Galisia inasikika kama vile ni mchanganyiko wa Kihispania na Kireno , kana kwamba ni lugha iliyotokana na Kireno na kuboreshwa na misamiati na lafudhi za Kihispania .

(src)="9.2"> Bahasa ini lahir pada abad pertengahan di wilayah Galicia-Portuguese , dan dipergunakan secara luas di propinsi Portucale .
(trg)="8.2"> Lugha hiyo asili yake ni Ki-Galisia na Kireno cha zama za kale , na ilikuwa ikizungumzwa katika jimbo lote la Portucale

(src)="10.1"> Minggu ini , UNESCO meluncurkan atlas dunia , Bahasa Galicia masih tergolong kuat dibandingkan dengan bahasa lainnya yang bukan merupakan bahasa utama negara dimanapun .
(trg)="9.1"> Wiki hii , kitabu cha ramani za lugha cha UNESCO kilitolewa , na kudai kwamba Ki-Galisia ni moja ya lugha zenye nguvu ambazo si lugha kuu katika nchi yoyote .

(src)="10.2"> Bahasa Galicia memperoleh dukungan dan perlindungan dari warga Kastilia ( Spanyol ) , karena bahasa ini mempunyai kedekatan geografis dengan Portugal .
(trg)="9.2"> Inalindwa na Ki-Kastilia ( Kihispania cha kawaida ) kutokana na kuwa karibu na Ureno kijiografia .

(src)="11.1"> Blog yang sama juga mencantumkan beberapa ringkasan buruk :
(trg)="10.1"> Blogu hiyo inaandika muhtasari wa takwimu mbaya zaidi :

(src)="12.1"> 199 bahasa memiliki kelompok pengguna kurang dari 12 orang .
(trg)="11.1"> Lugha 199 zina wazungumzaji wa asili pungufu ya kumi na wawili .

(src)="12.2"> Di Indonesia , terdapat 4 orang pengguna bahasa Lengilu yang masih hidup dan menggunakan bahasa ini untuk berkomunikasi diantara mereka ; Bahasa Karaim di Ukraina kini hanya digunakan oleh 6 orang .
(trg)="11.2"> Katika Indonesia , wazungumzaji 4 waliobakia wa Ki-lengilu wanaongea miongoni mwao ; Ki-Karaim nchini Ukraine kinatunzwa na watu 6 tu .

(src)="12.3"> Lebih dari 200 bahasa berbeda telah menghilang perlahan dalam jangka waktu 3 generasi terakhir .
(trg)="11.3"> Zaidi ya lugha 200 nyingine zimetoweka katika vizazi 3 vilivyopita .

(src)="12.4"> Bahasa Manx , dari Isle of Man , bagian dari Inggris meninggal bersama dengan pengguna bahasa terakhir tersebut pada tahun 1974 .
(trg)="11.4"> Ki-Manx , kutoka Kisiwa cha Man , hapa uingereza kilitokomea na mzungumzaji wake pekee mwaka 1974.

(src)="12.5"> Namun tidak semua orang prihatin dengan menghilangnya berbagai bahasa .
(trg)="11.5"> Lakini si kila mmoja anayejali kupotea kwa lugha .

(src)="12.6"> Mengomentari TED blog , Magnus Lindkvist mengatakan :
(trg)="11.6"> Akitoa maoni kwenye blogu ya TED blog , Magnus Lindkvist anasema :

(src)="12.7"> Mengapa kita memaksakan bahasa-bahasa purba yang mungkin orang-orang tak ingin menggunakannya lagi ?
(trg)="11.7"> kwa nini tunaendelea kuzikumbatia lugha za kale ambazo hakuna anyetaka kuziongea tena ?

(src)="12.8"> Bagaimana dengan bagasa programing yang banyak tumbuh di beberapa dekade terakhir ?
(trg)="11.8"> Vipi kuhusu mamia ya lugha mpya za 'Ki-programu ' ( agh. kwenye tarakilishi ) ambazo zimechepuka katika miongo iliyopita ?

(src)="12.9"> Atau dengan pelbagai variasi bahasa Inggris yang diadaptasikan dan dipadukan oleh banyak orang diseluruh dunia , sehingga muncul varian baru ?
(trg)="11.9"> Au aina mbalimbali za Kiingereza ambazo watu wanazipokea na " kuzichanganya tena " na kuzifanya zao wenyewew duniani kote ?

(src)="12.10"> Bahasa-bahasa tersebutlah yang memiliki kekuatan untuk bertahan dibandingkan dengan Manx dan Tirahi .
(trg)="11.10"> Hizi ni lugha za kweli na zinaonyesha uwezo zaidi ya Ki-Manx na Ki-Tirahi .

(src)="12.11"> Abdullah Waheed , pengguna bahasa Dhivehi – bahasa “ resmi ” Maladewa yang juga tak memiliki banyak pengguna — menjelaskan pentingnya pelestarian bahasa :
(trg)="11.11"> Abdullah Waheed , mzungumzaji asilia wa Ki-Dhivehi - lugha " rasmi " ambayo haina wazungumzaji wengi visiwani Maldives - anafafanua katika mfano mmoja ni kwa nini uhifadhi wa lugha ni muhimu :

(src)="13.1"> Bahasa Dhivehi amat penting sebagai identitas Maladewa sebagai masyarakat dan negara , karena bahasa tersebut satu-satunya ciri khas yang kita miliki dan sedikit dimengerti oleh kaum lain .
(trg)="12.1"> Lugha ya Ki-Dhivehi ni ya muhimu sana kwa utambuzi wa watu wa Maldive kama watu na pia kama nchi , kwa sababu hilo ndilo jambo pekee tunaloshiriki wote na ambalo ni wengine wachache tu wanalo .

(src)="13.2"> Bahasa merupakan faktor strategis dalam kemajuan yang berkesinambungan dan hal penyelarasan urusan dalam negeri kita .
(trg)="12.2"> Ni moja mkakati wa muhumi tunapoelekea kwenye maendeleo endelevu na uratibu muwafaka wa mambo yetu .

(src)="13.3"> Bahasa Dhivehi bukanlah bahasa kesusasteraan , namun bahasa yang dekat dengan jalur hidup sosial , ekonomi , dan budaya .
(trg)="13.1"> Mbali ya kuwa ni kitengo kilichotengwa kwa ajili ya waandishi peke yake , Ki-Dhiveli kipo katikati ya ya maisha yote ya kijamii , kiuchumi na kitamaduni .

(src)="13.4"> Dhivehi penting bagi kita .
(trg)="13.2"> Ki-Dhiveli kinatuhusu sote .

(src)="13.5"> Penting apabila kita ingin mengangkat indahnya perbedaan kebudayaan , dan memerangi kebutahurufan ; bahasa ini penting untuk peningkatan kualitas pendidikan , termasuk pendidikan di taman bermain .
(trg)="13.3"> Kinatuhusu pale tunapotaka kutangaza uwingi wa tamaduni , na kupigana na ujinga , na kinahusu kiwango cha elimu , pamoja na ufundishaji katika miaka ya mwanzo ya elimu .

(src)="13.6"> Penting juga dalam hal memperjuangan pengikutsertaan sosial , dalam hal kreativitas , kemajuan ekonomis dan pelestarian pengetahuan masyarakat pribumi .
(trg)="13.4"> Kinahusu katika mapambano kwa ajili ya ujumuishaji wa jamii , kwa ajili ya ubunifu , maendeleo ya kiuchumi na kulinda ufahamu wa watu wa makabila .

# id/2009_03_19_indonesia-perceraian-dan-poligami_.xml.gz
# sw/2009_02_indonesia-talaka-na-ndoa-za-mitala_.xml.gz


(src)="1.1"> Indonesia : Perceraian dan Poligami
(trg)="1.1"> Indonesia : Talaka na Ndoa za Mitala

(src)="1.2"> Saya merasa bersalah menulis tentang perceraian dan poligami pada saat hari Valentine .
(trg)="1.2"> Najihisi nina hatia ninapoandika kuhusu talaka na ndoa za mitala wakati wa siku ya wapendanao ya Valentino .

(src)="1.3"> Akan tetapi dua topik yang tidak pantas disebutkan ini juga realita dari cinta dan hubungan .
(trg)="1.3"> Lakini mada hizi zisizotamkika ni ukweli wa mapenzi na mahusiano .

(src)="1.4"> Di Indonesia , semakin banyak wanita yang menceraikan suami mereka karena poligami .
(trg)="1.4"> Katika Indonesia , wanawake wengi wanawataliki waume zao kwa sababu ya mitala .

(src)="2.1"> Dokumen menunjukkan bahwa pada 2006 terdapat hampir 1.000 kasus perceraian karena suami menikahi wanita lain .
(trg)="2.1"> Takwimu zinaonyesha kuwa mwaka 2006 kulikuwa na karibu ya kesi 1000 za talaka zilizotokana na mume kuoa mke mwingine .

(src)="2.2"> Pernikahan poligami juga meningkat - Yayasan Lembaga Bantuan Hukum Perempuan Indonesia untuk Keadilan menerima 87 laporan poligami pada tahun 2008 , meningkat dari 16 pada tahun 2007 .
(trg)="2.2"> Ndoa za mitala pia zinaongezeka - Asasi ya Msaada wa Sheria ya Jumuiya ya Haki za Wanawake wa Indonesia ilipokea taarifa 87 za mitala mwaka 2008 , ongezeko kutoka taarifa 16 katika mwaka 2007.

(src)="3.1"> Semakin banyak wanita dalam pernikahan poligami yang menjadi lebih tegas akan hak-hak mereka .
(trg)="3.1"> Wanawake zaidi walio katika ndoa za mitala wanaanza kusisitizia haki zao .

(src)="3.2"> Abdul Khalik menulis untuk The Jakarta Post mengutip pandangan kaum terpelajar tentang isu ini :
(trg)="3.2"> Abdul Khalik anayeandika kwenye The Jarkata Post ananukuu mitazamo ya wanazuoni kuhusu suala hili :

(src)="4.1"> Direktur Jenderal Bimas Islam Departemen Agama Nasaruddin Umar : “ Terjadi banyak peningkatan perceraian yang signifikan karena wanita-wanita telah menolak poligami pada beberapa tahun terakhir . "
(trg)="4.1"> Mkurugenzi Mkuu wa miongozo ya Kiislamu katika Wizara ya Mambo ya Dini , Nasaruddin Umar : " Kumekuwepo na ongezeko kubwa la talaka kwa sababu wanawake wameanza kupinga ndoa za mitala katika miaka ya karibuni . "

(src)="4.2"> Mahasiswi muslim Siti Musdah Mulia : “ Data menunjukkan bahwa wanita-wanita sekarang berani untuk memperjuangkan hak-haknya dan menolak dominasi laki-laki .
(trg)="4.2"> Mwanazuoni wa Kiislamu Siti Musdah Mulia : " Takwimu zinaonyesha kuwa wanawake hivi sasa wanathubutu kupigania haki zao na kupinga utawala wa wanaume .

(src)="4.3"> Sekarang mereka mengatakan , ‘ Apa gunanya melanjutkan suatu pernikahan jika saya tidak bahagia ' ”
(trg)="4.3"> Hivi sasa wanasema , 'ina maana gani kuendelea na ndoa wakati ninasononeka ' "

(src)="4.4"> Secara umum perceraian meningkat di Indonesia dalam sepuluh tahun terakhir .
(trg)="4.4"> Kwa ujumla talaka zimeongezeka katika Indonesia kwenye mwongo mmoja uliopita .

(src)="4.5"> Sebuah berita awal bulan ini mengkonfirmasi kecenderungan ini ; dan pasangan-pasangan juga berpisah karena perbedaan politik :
(trg)="4.5"> Habari moja mwanzoni mwa mwezi huu ilithibitisha mwelekeo huu ; na kadhalika wanandoa wanatengana kutokana na tofauti za kisiasa :

(src)="5.1"> Angka perceraian melonjak dari rata-rata 20.000 per tahun menjadi lebih dari 200.000 per tahun selama sepuluh tahun Percaya atau tidak , beberapa pasangan memutuskan untuk bercerai karena suami dan istri mempunyai pandangan berbeda akan isu politik .
(trg)="5.1"> Wastani wa talaka ulipanda kutoka 20,000 kwa mwaka kufikia zaidi ya 200,000 kwa mwaka katika kipindi cha miaka kumi .
(trg)="5.2"> Amini usiamini , wanandoa wengine huamua kutengana kwa sababu mume na mke wana mwelekeo tofauti kuhusu masuala ya siasa .

(src)="5.2"> Hal ini belum pernah terjadi sebelumnya , " kata Umar .
(trg)="5.3"> Hili halikuwahi kutokea hapo awali , " alisema Umar .

(src)="5.3"> Pada 2005 , 105 pasangan menyebut perbedaan politik sebagai sumber perpisahan mereka tetapi angka ini melonjak menjadi 502 pasangan pada 2006 .
(trg)="5.4"> Mwaka 2005 , wanandoa 105 walitaja tofauti za kisiasa kama sababu ya kuachana lakini idadi hii iliongezeka kufikia wanandoa 502 mwaka 2006.

(src)="5.4"> Angka untuk 2007 dan 2008 belum dihitung .
(trg)="5.5"> Takwimu za mwaka 2007 na 2008 hazijajumlishwa bado .

(src)="5.5"> Pejabat itu mengatakan 90 persen pernikahan antara masyarakat yang berbeda agama berakhir pada perceraian
(trg)="5.6"> Ofisa huyo alisema asilimia 90 ya ndoa kati watu wa dini tofauti huisha kwa talaka .

(src)="5.6"> Indonesia Matters mengutip sebuah studi pada tahun 2007 tentang penyebab perceraian :
(trg)="5.7"> Indonesian Matters inanukuu ripoti ya mwaka 2007 kuhusu sababu za talaka :

(src)="5.7"> Penyebab utama perceraian , kata sebuah laporan dari Komisi Nasional Perlindungan Anak ( Komnas PA ) , adalah tekanan ekonomi ( 23 % ) , diikuti oleh pertengkaran domestik ( 19 % ) , ketidakcocokan ( 19 % ) , campur tangan saudara ( 14 % ) , kekerasan ( 12 % ) , perzinaan ( 8 % ) , and masalah seksual ( 3.6 % ) .
(trg)="5.8"> Ripoti ya Tume ya Taifa ya Kulinda Watoto ( Komnas PA ) inasema kuwa sababu kubwa za talaka ni mashinikizo ya kiuchumi ( asilimia 23 ) , ikifuatiwa na ugomvi katika unyumba ( asilimia 19 ) , kutopatana ( asilimia 19 ) kuingiliwa na ndugu ( asilimia 14 ) , vurugu ( asilimia 12 ) , uzinzi ( asilimia 8 ) na matatizo ya kingono ( asilimia 3.6 ) .

(src)="5.8"> Akan tetapi angka ini hanya berdasarkan atas 109 kasus
(trg)="5.9"> Takwimu hizi , hata hivyo , zimekusanywa kutoka katika kesi 109 tu

(src)="5.9"> Sebuah artikel pada tahun 2008 mengutip penyebab perceraian :
(trg)="5.10"> Makala moja ya mwaka 2008 inanukuu sababu za talaka kama ifuatavyo :

(src)="6.1"> ketidakcocokan ( karena perzinahan ) - 54000 kasus
(trg)="6.1"> kutopatana ( kutokana na uzinzi ) - kesi 54000

(src)="7.1"> ketidak harmonisan - 46000
(trg)="7.1"> Kutoelewana - 46000