# eo/2013_12_861.xml.gz
# sw/2012_08_mfumo-wa-kipekee-wa-kuwapa-watoto-majina-wa-nchini-myanmar-burma_.xml.gz


(src)="1.1"> La unika nomsistemo de Birmo
(trg)="1.1"> Mfumo wa Kipekee wa Kuwapa watoto Majina wa Nchini Myanmar ( Burma ) .

(src)="1.2"> Ĉiufoje kiam birmano malkaŝas ke li aŭ ŝi ne havas familinomon , eksterlandanoj kutime demandas kial .
(trg)="1.2"> Pale mtu wa Burma anaposema kuwa hana jina la ukoo , wageni huwa wanashangaa ni kwa nini .

(src)="1.3"> Birmo povas esti unu el la tre malmultaj landoj en la mondo , kie almenaŭ 90 procentoj el la loĝantaro ne havas familian nomon .
(trg)="1.3"> Myanmar inaweza kuwa ni miongoni mwa nchi chache duniani ambamo hadi asilimia 90 ya watu wake hawana majina ya ukoo .

(src)="1.4"> La anoj de la sama familio povas havi tute malsamajn nomojn kaj la nombro de vortoj en ĉiu nomo povas varii grande .
(trg)="1.4"> Watu wa familia moja wanaweza kuwa na majina yasiyofanana kabisa na idadi ya maneno kwa kila jina inaweza kuwa na utofauti mkubwa kabisa .

(src)="2.1"> WhatIsMyanmar skribas pri la unika nomanta praktiko en Birmo :
(trg)="2.1"> Mkazi mmoja wa Myanmar anaandika kuhusu utaratibu wao wa kuwapa watoto majina .
(trg)="2.2"> Anasema :

(src)="2.2"> Sed por ni , birmanoj , familia nomo estas nur unu vorto en fabeloj skribitaj en la angla .
(trg)="2.3"> Sisi wa-Myanmar , ni kama neno tu katika hadithi ziandikwazo kwa Kiingereza .

(src)="2.3"> Kredu aŭ ne !
(trg)="2.4"> Amini usiamini !

(src)="2.4"> Ni tute ne havas familian nomon .
(trg)="2.5"> Hatuna majina ya ukoo kabisa .

(src)="2.5"> Kaj en ajna formularo en Birmo , estas neniu spaco por alia kesteto apud la kolumno Nomo por plenigi .
(trg)="2.6"> Na hakuna nafasi nyingine baada ya sehemu ya jina la kwanza katika fomu yoyote itakayotakiwa kujazwa majina hapa Myanmar .

(src)="2.6"> Vendisto de sukerkana suko de Birmo .
(trg)="2.7"> Muuza juisi itokanayo na miwa kutoka Myanmar .

(src)="2.7"> Biildo de Flickr-paĝo de Michael Foley uzita sub la CC Permesilo
(trg)="2.8"> Picha kutoka ukurasa wa Flirck wa Michael Foley iliyotumika chini ya mpango wa CC wa haki miliki .

(src)="3.1"> Kaj la aŭtoro eksplikas kiel homoj el Birmo kutime plenigi formularojn , kiuj postulas kaj antaŭnomon kaj familinomon :
(trg)="3.1"> Na anaeleza namna ambavyo watu wa Myanmar wanavyojaza fomu zinazohitaji majina yote , yaani jina la kwanza na la ukoo :

(src)="3.2"> Sed kiam ajn ni klopodas plenigi la retajn formularojn , ni ne havas elekton krom plenigi la spacon de familia nomo , ĉar oni markis ĝin devige .
(trg)="3.2"> Lakini tunapojaza fomu kutoka kwenye mtandao wa intaneti , huwa hatuna njia mbadala zaidi ya kuweka majina ya ukoo kwa kuwa ni lazima kufanya hivyo .

(src)="3.3"> Kaj , kion ni plenigas ?
(trg)="3.3"> Sasa , huwa tunajaza nini ?

(src)="3.4"> Por mi , mi metas du vortojn de mia nomo kiel unuan nomon , kaj la lastan vorton kiel familinomon .
(trg)="3.4"> Kwa upande wangu , huwa ninajaza maneno mawili ya kwanza kutoka katika jina langu kama jina la kwanza na neno la mwisho kama jina la ukoo .

(src)="3.5"> Tre hazarda ?
(trg)="3.5"> Unafikiri hakuna mpangilio ?

(src)="3.6"> Nu , en tiu punkto , vi eble volas scii kiom da vortoj estas en ĉiu nomo ?
(trg)="3.6"> Vizuri , labda ungependa kufahamu kuna maneno mangapi kwa kila jina ?

(src)="3.7"> Mia saĝa respondo estas " tio dependas " .
(trg)="3.7"> Kwa busara kabisa , jibu langu ni kuwa “ inategemea” .

(src)="3.8"> Jes , tio tute dependas de kiel kreaj la gepatroj aŭ kiu ajn donis la nomojn estas .
(trg)="3.8"> Ndio , inategemea na namna wazazi walivyo wabunifu au inategemea na yule anayempatia mtoto jina .

(src)="3.9"> Twobmad menciis kiel malfacile estas trakti birmajn nomojn en fremdaj komunumoj :
(trg)="3.9"> Twobmad alizitaja changamoto anazokabiliana nazo mtu pale anaposhughulikia majina ya watu wa Myanmar :

(src)="3.10"> Mi kutime estas konfuzita , plenigante la nomon , kiel unua , meza kaj familinomo .
(trg)="3.10"> Huwa ninachanganyikiwa kabisa pale ninapolazimika kuandika majina yote matatu , yaani jina la kwanza , la kati na la mwisho .

(src)="3.11"> La sama afero okazas , vivante en fremdalando , pri amikoj , kiuj ŝatus scii kiel ili vokus min .
(trg)="3.11"> Hali hii pia hujitokeza pale ninapokuwa ugenini , yaani mbali na nchini mwangu , marafiki huwa wananiuliza ningependa waniite kwa jina gani .

(src)="3.12"> Ankaŭ ili konfuziĝas .
(trg)="3.12"> Hakika , wao pia , huwa wanachanganyikiwa .

(src)="3.13"> Ĉar kiam ili volas voki min laŭ mia unua nomo , tio ne estas la maniero kiel mi estis vokita en mia familio aŭ en mia antaŭa komunumo .
(trg)="3.13"> Kwa sababu kama wakiniita kwa jina kwanza jina , sio tu kuwa hawaniiti kama nilvyokuwa naitwa katika familia yangu , lakini pia hata kwa jamii yangu iliyotangulia .

(src)="3.14"> Ili uzas mian unuan nomon por voki min , sed mi sentas min strange se mi estas vokita per nomo , kiun mi neniam antaŭe aŭdis .
(trg)="3.16"> Miaka michache baadae , baada ya kushuhudia tamaduni mbalimbali duniani kote , niligundua kuwa utamaduni wa watu wa Burma wa kuwapa watoto majina ni wa kipekee kabisa kwani unajumuisha muunganiko wa kipekee wa tabia njema ya mtu huku jina likihusisha pia mahesabu ya elimu ya nyota ya mtu kwa siku ya wiki aliyozaliwa kwa kuzingatia kalenda ya mwaka itokanayo na mwezi wa wa-Barma .

(src)="3.18"> Ĝi ankaŭ kovras la nomadon en la birma lingvo , kiu estas grava por la birma popolo sed kelkfoje konfuzas eksterlandanojn kiel " U " en " U Thant " .
(trg)="3.17"> Pia alizungumzia hatma ya lugha ya wa-Myanmar ambayo ni muhimu kwao na ambayo wakati mwingine imekuwa ikiwachanganya wageni , kwa mfano , “ U” ( inayotamkwa Oo ) katika " U Thant " .

(src)="3.19"> Krome , homoj kun unu-vortaj nomoj kutime alfrontas malfacilaĵojn difinante kial la familian nomon la unuan vorton , ekzemple " U " , " Ma " , " Daw " kaj tiel plu , kiuj ne estas iliaj nomoj teknike :
(trg)="3.18"> Kwa kuongezea , watu wenye majina yenye neno moja tu , mara nyingi huwa wanapata ugumu wakati wa kuelezea jina la familia , kama ilivyo kwa neno la kwanza kama “ U” , Ma” , “ Daw” na kadhalika , ambayo siyo majina yao kiuhalisia :

(src)="4.3"> Diri ies nomon sen aldonaĵo estos konsiderata malĝentila alparolo .
(src)="5.1"> Por alparoli junulojn kaj amikojn , antaŭ iliaj nomoj :
(trg)="3.19"> Kuonesha heshima pia ni jambo muhimu sana katika kutaja majina ya watu wa Myanmar .

(src)="6.1"> " Ko " estas uzata kiel vira formo .
(trg)="3.20"> Mtu anaweza kutambulishwa kwa jina lake kutanguliwa na maneno ya heshima kwa kutegemea na umri wake , aina ya uhusiano na jinsia .

(src)="7.1"> " Ma " estas uzata kiel ina kaj formala formo .
(trg)="3.22"> Majina ya watu wazima hutanguliwa na “ U” or “ Oo” ambayo hutumiwa kutambulisha wanaume katika mfumo rasmi .

(src)="8.1"> " Maung " estas uzata kiel vira formala formo .
(trg)="3.23">“ Daw” hutangulizwa katika majina ya wanawake katika mfumo rasmi .

(src)="9.1"> Por alparoli pliaĝulojn , antaŭ iliaj nomoj :
(trg)="3.24"> Kwa kuwa hakuna majina ya kifamilia kwa watu wa Myanmar , wanawake hawana ulazima wa kubadilisha majina yao pindi wanapoolewa .
(trg)="3.25"> Dharana anaandika :

(src)="10.1"> " U " aŭ " Oo " estas uzata kiel vira kaj formala formo .
(trg)="3.26"> Mradi wangu wa tatu umekuwa ni kujifunza namna ya kutamka kwa usahihi majina ya wenzangu .

(src)="11.1"> " Daw " estas uzata kiel ina kaj formala formo .
(trg)="3.27"> Majina ya watu wa Myanmar hutegemea na siku ya wiki mtu aliyozaliwa na huwa hayana kipengele chochote cha majina ya kifamilia .

(src)="11.2"> Ĉar ne estas familia nomo por birmanoj , virinoj ne bezonas ŝanĝi ajnan parton de sia nomo eĉ post kiam ili edziĝas , Dharana skribas :
(trg)="3.28"> Hii inamaanisha kuwa , wanawake wataendelea kuwa na majina yao hata mara baada ya kuolewa- jambo ambalo wasichana wenzangu wananionea wivu

(src)="11.3"> Mia tria projekto temas pri tio , kiel korekte prononci miajn kolegajn nomojn .
(trg)="3.30"> Lionslayer anaandika kuwa watu wachache sana wa Myanmar wana majina ya ukoo :

(src)="11.4"> Birmaj nomoj dependas de tio , en kiu tago de la semajno la persono estis naskita , kaj ili ne havas unu konsistigaĵon de familia nomo .
(trg)="3.31"> Baadhi ya watu wanapenda kutumia majina ya baba zao kwa kutumia utaratibu wa kuwapa watoto majina kwa mfumo wa Kiingereza Aung San Suu Kyi ni mtoto wa kike wa Aung San na Hayma Nay Win ni mtoto wa kike wa Nay Win .

(src)="11.8"> Kelkaj homoj ŝatas preni sian patran nomon , uzante britan nomsistemon .
(trg)="3.32"> Hata hivyo ni nadra sana kuona utaratibu wa namna hii .

(src)="11.9"> Aung San Suu Kyi estas filino de Aung San kaj Hayma Nay Win estas filino de Nay Win .
(trg)="3.33"> Watu wa Burma huwa wanawapa majina watoto wao wachanga kwa kuzingatia unajimu kuliko kuwapa watoto majina kwa kuwa kuna fulani aliwahi kupewa jina hilo .

(src)="11.10"> Tamen vi eble malofte vidas tiujn specojn .
(trg)="3.34"> Baadhi ya makabila ya Myanmar kuna majina ya kifamilia .

(src)="11.12"> Kelkaj etnoj en Birmo havas familinomojn .
(src)="11.13"> Kaj kelkaj islamanoj kaj kristanoj ankaŭ nomitaj laŭ siaj patroj aŭ avoj
(trg)="3.35"> Na baadhi ya Waislamu na Wakristo pia huwapatia watoto majina kwa kuzingatia majina ya baba zao na babu zao .

(src)="11.14"> Li konkludis ke la Birma registaro devus starigi familian registradon ĉar estas malfacile spuri sian familian arbon :
(trg)="3.36"> Alihitimisha kuwa , serikali ya Myanmar inapaswa kuweka utaratibu wa usajili kwa kuweka kumbukumbu za familia kwa kuwa ni vigumu kufuatilia chimbuko la familia ya mtu fulani :

(src)="11.15"> Estas malavantaĝo ne havi familian nomon .
(trg)="3.37"> Kuna madhara ya kutokuwa na majina ya familia .

(src)="11.16"> Estas tre malfacile spuri ies praulojn pli ol 5 generaciojn .
(trg)="3.38"> Ni vigumu sana kutafuta chimbuko la mtu kwa zaidi ya vizazi vitano .

(src)="11.17"> Ne estus granda problemo , se Birmo havus familian registradan oficejon .
(trg)="3.39"> Sio tatizo kubwa sana kama Myanmar itakuwa na ofisi inayoratibu familia za watu wa Myanmar .

(src)="11.18"> Mi esperas , ke la registaro starigos tian registron kaj enketan servon .
(trg)="3.40"> Ni matumaini yangu kuwa serikali iataweka utaratibu huu pamoja na namna nzuri ya kupata taarifa hizi .

(src)="11.19"> Ĉiaokaze , ni ne estas solaj sur la tero sen familiaj nomoj .
(trg)="3.41"> Hata hivyo haijalishi kwa kuwa sio sisi tu katika ulimwengu tusio na majina ya kifamilia .

(src)="11.20"> Mi ĵus eksciis , ke estas ankaŭ kelkaj pliaj aziaj etnoj sen familiaj nomoj .
(trg)="3.42"> Siku za hivi karibuni nilijifunza kuwa kuna baadhi ya makabila ya Asia ambayo pia hayana majina ya kifamilia .

# eo/2013_10_157.xml.gz
# sw/2013_10_namna-wanawake-nchini-india-wanavyoweza-kujilinda_.xml.gz


(src)="1.1"> Kiel virinoj povas resti sendanĝeraj en Barato
(trg)="1.1"> Namna Wanawake Nchini India Wanavyoweza Kujilinda

(src)="1.2"> La nombro de krimoj kontraŭ virinoj kreskas en Barato .
(trg)="1.2"> Ukatili dhidi ya wanawake umezidi kushika kasi nchini India .

(src)="1.3"> La verkistino kaj blogistino Shilpa Garg donas kelkajn konsilojn en la angla por ke virinoj restu atentaj kaj sendanĝeraj .
(trg)="1.3"> Mwandishi na mwanablogu Shilpa Garg aweka bayana dondoo za namna ambavyo wanawake wanavyoweza kuchukua tahadhari na kujilinda .

# eo/2013_11_410.xml.gz
# sw/2013_10_wali-unaonata-ni-haufai-kwa-watoto-akina-mama-wa-lao-waambiwa_.xml.gz


(src)="1.1"> Al Laosaj patrinoj : Gluteneca rizo estas malbona por beboj
(trg)="1.1"> Wali Unaonata Haufai kwa Watoto , Akina Mama Waambiwa

(src)="1.2"> @ LaotianMama memorigas al Laosaj patrinoj , ke ili ne donu glutenecan rizon , Laosan tradician manĝaĵon , al malsataj beboj :
(trg)="1.2"> @LaotianMama anawakumbusha akina mama wa Lao kutokuwalisha watoto wenye njaa wali unaonata ambao ni chakula cha asili kwao .

(src)="1.3"> Gluteneca rizo por infanoj , en Laoso , estas egalvalora al riza cerealaĵo en la okcidenta kulturo .
(trg)="1.3"> Wali unaonata kwa watoto wachanga ni sawa na punje za wali katika utamaduni wa ki-Magharibi .

# eo/2013_10_262.xml.gz
# sw/2013_10_yemeni-bundi-atua-nje-ya-dirisha-langu_.xml.gz


(src)="1.1"> Jemeno : Strigo ekster mia fenestro
(trg)="1.1"> Yemeni : Bundi Atua Nje ya Dirisha Langu

(src)="1.2"> Jemena blogisto Abdulkader Alguneid trovis strigon ekster sia fenestro .
(trg)="1.2"> Mwanablogu wa Yemeni , Abdulkader Alguneid amkuta bundi nje ya dirisha lake :

(src)="2.1"> Li pepis tiun maloftan okazaĵon :
(trg)="2.1"> Kupitia mtandao wa Twita , anaelezea tukio hilo ambalo ni nadra sana kutokea :

# eo/2013_11_613.xml.gz
# sw/2013_11_ecuador-harakati-ya-kiasili-itaendelea_.xml.gz


(src)="1.1"> Ekvadoro : " La indiĝena movado daŭros "
(trg)="1.1"> Ecuador : " Harakati ya Kiasili Itaendelea "

(src)="1.2"> " La registaro daŭrigos sian provon por fari nin nevideblaj , sed nia lukto ne povas esti venkita .
(trg)="1.2"> " Serikali inaweza kuendelea na jitihada zake za kutufanya sisi kutosikika , lakini mapambano yetu hayawezi kushindwa .

(src)="1.3"> Dum ekzistas maljusteco , dum restas la profunda malegaleco inter la urbanoj kaj la kamparanoj , la indiĝena movado daŭros . "
(trg)="1.3"> Bora kuna ukosefu wa haki , na kuwepo kwa tofauti kubwa kati ya mijini na vijijini kubaki , harakati ya kiasili itaendelea . "

# eo/2013_11_456.xml.gz
# sw/2013_11_filamu-14-za-mazingira-zenye-kuvutia_.xml.gz


(src)="1.1"> 14 inspirpovaj , unuminutaj filmetoj pri naturmedio
(trg)="1.1"> Filamu 14 za Mazingira zenye Kuvutia

(src)="1.2"> TVE ( Televido por Naturmedio ) prezentas 14 filmetojn faritajn de finalistoj en sia tutmonda filmkonkurso , sub la temo " naturmedio " .
(trg)="1.2"> TVE ( Televisheni inayohusika na Mazingira ) yaonesha video 14 bora za washindani waliofika fainali kwenye shindano la kimataifa la filamu bora ya mazingira .

(src)="3.1"> Oni rajtas voĉdoni por sia plej ŝatata filmo ĝis la 19a de Decembro , 2013 .
(trg)="3.1"> Kila mmoja anaweza kupigia kura filamu aipendayo ; mwisho ni tarehe 19 Desemba , 2013.

# eo/2013_12_708.xml.gz
# sw/2013_11_iran-mwanablogu-aliyefungwa-jela-ahitaji-huduma-ya-matibabu-ya-haraka_.xml.gz


(src)="1.1"> Irano : Enkarcerigita blogisto bezonas urĝan medicianan prizorgon
(trg)="1.1"> Iran : Mwanablogu Aliyefungwa Jela Ahitaji Huduma ya Matibabu ya Haraka

(src)="1.2"> Hossein Ronaghi , enkarcerigita Irana blogisto , bezonas urĝan medician prizorgon .
(trg)="1.2"> Mwanablogu aliyefungwa jela , Hossein Ronaghi Maleki anahitaji huduma ya matibabu ya haraka .

(src)="1.3"> Li estis kondamnita al 15 jaroj da malliberigo .
(trg)="1.3"> Alihukumiwa kifungo cha jela cha miaka 15.

(src)="1.4"> Laleh pepis
(trg)="1.4"> Laleh alitwiti

(src)="1.5"> Enkarcerigita aktivulo Hossein Ronaghi en malbonega sano kun ŝvelintaj renoj ( unu el du ne funkcias ) , urinvezika kaj prostata malsanoj
(trg)="2.1"> Mwanaharakati aliyefungwa jela Hossein Ronaghi yuko katika hali mbaya ya afya , kuvimba figo -(moja haifanyi kazi ) , kibofu cha mkojo na ugonjwa wa kibofu #Iran #Iranelection — Lalehلاله ( @Lalehsr ) Novemba 25 , 2013

# eo/2013_11_379.xml.gz
# sw/2013_11_misri-katika-harakati-za-kujitafutia-makazi_.xml.gz


(src)="1.2"> Kie oni sentas sin kiel hejme ?
(trg)="1.2"> Ni wapi mtu hujisikia kuwa yupo nyumbani ? mwanablogu wa Misri Tarek Shalaby atoa maoni yake :

(src)="1.4"> Kelkaj homoj diras , ke hejmo estas tie , kie via lito estas , aliaj argumentas , ke hejmo estas tie , kie via sendrata konekto funkcias aŭtomate .
(src)="1.5"> Mi povas diri , ke hejmo estas tie , al kie via salajro estas transdonita .
(trg)="1.3"> Baadhi ya watu wanasema kuwa nyumbani ni pale palipo na kitanda chake , wengine wanadai kuwa nyumbani ni pale unapoweza kupata mtandao huru wa intaneti . naweza kusema kuwa nyumbani ni pale ambapo mishahara yako imehamishiwa .

# eo/2013_10_99.xml.gz
# sw/2013_11_misri-morsi-hatarudi-madarakani_.xml.gz


# eo/2013_10_65.xml.gz
# sw/2013_11_mradi-wa-hifadhi-ya-papa-nchini-thailand_.xml.gz


(src)="1.1"> Tajlanda Ŝarka Konservada Projekto
(trg)="1.1"> Mradi wa Hifadhi ya Papa Nchini Thailand

(src)="1.3"> La deziro de tajlanda e-ŝarka projekto povas kolekti la datumon por pli esploro .
(trg)="1.2"> Nchini Thailand eShark mradi ulizinduliwa katika mwanga wa taarifa ya kushuka kwa asilimia 95 drop katika kuonekana kwa papa nchini Thailand .

(src)="1.4"> La rezulto de tajlanda e-ŝarka projekto estos uzi por veki la konscion , ke la ŝarkoj jam malgrandigis en tajlando .
(trg)="1.3"> Matokeo ya mradi wa eShark nchini Thailand utatumika kuleta ufahamu kwa kupungua kwa idadi ya papa nchini Thailand .

(src)="1.5"> Krome , ĝi ankaŭ helpas plibonigi la protektan maran parkon kaj plifortas la ne kaptan zonon .
(trg)="1.4"> Zaidi ya hayo ili kusaidia kuboresha hifadhi ya ulinzi baharini ya utekelezaji na kuimarisha umuhimu wa kanda zisizostahili kupitwa .

# eo/2013_11_603.xml.gz
# sw/2013_11_ufuatiliaji-wa-upendeleo-kwenye-vyombo-vya-habari-nchini-malaysia_.xml.gz


(src)="1.1"> Kontroli tendencon de komunikiloj en Malajzio
(trg)="1.1"> Ufuatiliaji wa Upendeleo Kwenye Vyombo vya Habari Nchini Malaysia

(src)="1.2"> Tessa Houghton dividas la trovaĵojn de studo , kiu kontrolis tendencon de amaskomunikiloj en Malajzio dum la 13a Ĝenerala Elekto ( GE13 ) antaŭ kelkaj monatoj :
(trg)="1.2"> Tessa Houghton anashiriki matokeo ya utafiti ambao ulifuatilia upendeleo katika vyombo vya habari nchini Malaysia wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 13 miezi michache iliyopita :

# eo/2013_11_494.xml.gz
# sw/2013_11_waathirika-wa-kimbunga-nchini-ufilipino-wauliza-iko-wapi-serikali-yetu_.xml.gz


(src)="1.1"> La postvivantoj de la tajfuno en Filipinoj demandas : Kie estas nia registaro ?
(trg)="1.1"> Waathirika wa Kimbunga Nchini Ufilipino Wauliza : ‘ Iko Wapi Serikali Yetu ?’

(src)="1.2"> Loĝantoj de orienta Samar starigis intertempajn ŝirmejojn post la ŝtormo .
(trg)="1.2"> Wakazi wa mashariki Samar wameanzisha makazi ya muda mfupi baada ya dhoruba .

(src)="1.3"> Bildo de Plan Phillipines
(trg)="1.3"> Picha kutoka kwa Mpango wa Ufilipino

(src)="3.1"> Ses tagoj pasis ekde la granda tajfuno Haiyan ( Yolanda ) atingis la centra parto de Filipinoj , sed reliefo ankoraŭ ne estis donita al multaj postvivantoj .
(trg)="2.1"> Siku sita zimepita tangu kimbunga kikubwa kijulikanacho kwa jina la Haiyan ( Yolanda ) kuikumba sehemu ya kati ya Ufilipino lakini misaada ya kibinadamu bado haijafika kwa waathirika wengi .

(src)="3.2"> Multaj kadavroj ankoraŭ kuŝas en la stratoj , rifuĝintoj krias por manĝo , kaj elaĉeto ne atingas aliajn malproksimajn insulojn en Visayas
(trg)="2.2"> Miili mingi ya maiti bado imelazwa katika mitaa , wakimbizi wakiomba chakula , juhudi za kuokoa hazifikii visiwa vingine mbali ya mikoa ya Visayas .

(src)="4.1"> Haiyan kaŭzis granda cunamŝtormo kiu mortigis milojn tuj .
(trg)="3.1"> Haiyan ilisababisha dhoruba kama tsunami kuongezeka ambayo iliwauwa maelfu papo hapo .

(src)="4.3"> Laŭ la lasta oficiala informo , pli ol 2.000 mortis , sed la nombro de viktimoj eble estas multe pli granda , ĉar multaj kadavroj ankoraŭ ne estis trovitaj .
(trg)="3.3"> Kwa mujibu wa ripoti rasmi za hivi karibuni , zaidi ya watu 2,000 wamefariki lakini majeruhi wanaweza kuwa zaidi kwa sababu maiti mingi bado haijapatikana .

(src)="5.1"> La frustriĝo pri la ŝajne malrapida respondo de la registaro estas reflektita en sociaj amaskomunikiloj :
(trg)="4.1"> Kuna hali ya sintofahamu inayosababishwa majibu yaliyochelewa kutoka serikali lakini baadae yakajitokeza kwenye vyombo vya habari vya kijamii :

(src)="6.1"> — anjell _ 27 ( @ anjell _ 27 ) November 13 , 2013
(src)="6.2"> Helpo kaj subteno venas de normalaj personoj .
(trg)="5.1"> Misaada mingi ya kibinadamu inatoka kwa watu wa kawaida .

(src)="6.3"> Kaj mi demandas : kie estas la politikistoj ?
(src)="6.4"> Kie estas nia registaro ?
(trg)="5.2"> Katika nyakati kama hizi unaweza kushangaa , wako wapi wanasiasa , wapi serikali yetu ? — anjell_27 ( @anjell_27 ) Novemba 13 , 2013

(src)="6.5"> — JR Pantino ( @ guillmo ) November 13 , 2013
(src)="6.6"> Bedaŭrinde , 6 tagoj post # YolandaPH , ni ne sentas iun helpon el registaro .
(trg)="5.3"> Siku 5 baada ya uharibifu , iko wapi Serikali yetu ? @govph mafunzo yamekwisha , ni wakati wa kufanya mambo kwa kasi ! #aibu #yolandaph — JR Pantino ( @guillmo ) Novemba 13 , 2013

(src)="6.7"> Kadavroj estas ankoraŭ en la stratoj , atendante iu kiu prenu ilin
(trg)="5.4"> cha kusikitisha , siku 6 baada ya #YolandaPH kutokea , msaada wa serikali bado haujaonekana na waathirika .

(src)="6.8"> — Nina Belgica ( @ ninavbelgica ) November 13 , 2013
(trg)="5.5"> Miili imetapakaa kila pahali mitaani wakisubiri kuhifadhiwa . — Marlon Ramos ( @iammarlonramos ) Novemba 13 , 2013

(src)="6.9"> Tutmonda amaskomunikiloj presentas nian registaran mankon de agado por la Yolanda viktimoj .
(trg)="5.6"> Chombo cha habari cha Global kimeonyesha namna serikali yetu ilivyoshidwa kuwajibika kwa ajili ya waathirika wa Yolanda .

(src)="6.11"> Hmmm ?
(trg)="5.7"> Bajeti ya rais ya trilioni 1 ilikwenda wapi ?

(src)="6.12"> — Anton Recto ( @ IamAntonRecto ) November 13 , 2013
(trg)="5.8"> Hmmm ? — Nina Belgica ( @ninavbelgica ) Novemba 13 , 2013

(src)="6.13"> Kie estas mono por la viktimoj de tajfuno ?
(trg)="5.9"> Fedha kwa ajili ya waathirika wa kimbunga zote zimakwenda wapi ?

(src)="6.14"> Ĉu en la poŝoj de politikistoj ?
(trg)="5.10"> Kama jibu ni katika mfuko wa serikali yetu ?

(src)="6.16"> Helpo venas de la tuta monda , sed ne estas sistema por fari efikan disdonon de la donacoj :
(trg)="5.11"> Imani imepotea katika hali ya binadamu . — Anton Recto ( @IamAntonRecto ) Novemba 13 , 2013

(src)="7.1"> — Zen Hernandez ( @ zenhernandez ) November 13 , 2013
(trg)="5.12"> Misaada inamiminika kutoka duniani kote lakini hakuna mfumo madhubuti wa usambazaji wa rasilimali hizi :

(src)="7.2"> Ni havas multe da donacoj , sed mutaj viktimoj ankoraŭ malsatas aŭ malvarmas .
(trg)="6.1"> Michango ni mingi , na bado waathirika wa kimbunga kubaki na njaa na kuhisi baridi .

(src)="7.3"> Mi esperas ke @ govph aĝu kiel eble plej BALDAŬ ! ! ! # YolandaDay6
(trg)="6.2"> Tunatumaini @govph itatatua masuala ya utoaji haraka iwezekanavyo ! ! ! #YolandaDay6

(src)="7.4"> — Tudla Productions ( @ tudlaprod ) November 13 , 2013
(trg)="7.1">— Zen Hernandez ( @zenhernandez ) Novemba 13 , 2013