# en/2008_08_17_angola-brazil-a-culture-shock-divide_.xml.gz
# sw/2008_08_angola-brazil-mshituko-na-utengano-wa-kitamaduni_.xml.gz


(src)="1.1"> Angola , Brazil : A culture shock divide · Global Voices
(trg)="1.1">Angola, Brazil: Mshituko na Utengano wa Kitamaduni

(src)="2.1"> Polychromed woodcarving of an Orixá by Luiz Paulino da Cunha .
(trg)="2.1">Kinyago cha mtumwa mweusi kilichochongwa na Luiz Paulino da Cunha.

(src)="2.2"> Photo by Children At Risk Foundation
(trg)="2.2">Picha kwa hisani ya Asasi ya Watoto Walio Hatarini.

(src)="3.1"> Angola and Brazil have a special relationship towards each other , partially because of their common language and their shared colonial past - both countries were part of the Portuguese Empire - and the cultural ties that stem from this shared history .
(trg)="3.1">Angola na Brazil zina uhusiano maalum baina yao, kutokana na matumizi ya lugha moja na pamoja na historia yao ya kutawaliwa huko nyuma - nchi hizi mbili zilikuwa sehemu ya himaya ya Wareno – na utamaduni wa pamoja unaotoka na historia ya asili moja.

(src)="3.2"> Since 2000 , commerce between the two countries has started to grow and it is now booming .
(trg)="3.2">Tangu mwaka 2000, biashara kati ya mataifa haya mawili ilianza kukuwa na sasa inachanua.

(src)="3.3"> According to the Association of Brazilian Companies in Angola ( AEBRAN ) , trade between the two countries has risen six-fold since 2002 .
(trg)="3.3">Kwa mujibu wa Chama cha Makampuni ya KiBrazili nchini Angola (AEBRAN), biashara kati ya mataifa mawili haya imekuwa kwa mara sita zaidi tangu mwaka 2002.

(src)="4.1"> With the increase in trade , the presence of Brazilian companies in Angola has also grown .
(trg)="4.1">Kutokana na kuongezeka huko kwa biashara, uwepo wa makampuni ya Brazili nchini Angola pia kumeongezeka.

(src)="4.2"> Consequently , immigration from Brazil to Angola has increased too , 70 percent over the last five years .
(trg)="4.2">Kumepelekea, pia ongezeko la uhamiaji kutoka Brazili kwenda Angola kwa kadri ya asilimia 70 kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita.

(src)="4.3"> There are an estimated 5,000 Brazilians registered in Angola , mainly working for construction , mining and agribusiness companies .
(trg)="4.3">Inakadiriwa kuwa kuna Wabrazili 5,000 waliosajiliwa nchini Angola haswa wanaojishughulisha na masuala ya ujenzi, uchimbaji madini na biashara za mazao ya kilimo.

(src)="4.4"> This new development in Angolan history , a country which was more accustomed to immigration to the other side of the Atlantic , leads to an unavoidable culture shock for both Brazilians and Angolans alike .
(trg)="4.4">Maendeleo haya mapya katika historia ya Angola, nchi iliyozoea kuwa na uhamiaji kuelekea ng'ambo nyingine ya Atlantiki, yanapelekea kwenye mtikisiko wa kiutamaduni usioweza kuepukika kwa wote, Wabrazili na Waangola pia.

(src)="5.1"> Below are two entire blog posts showing different perspectives of one people towards the other , raising issues of immigration , racism , ethnicity and mutual respect .
(trg)="5.1">Hapa chini kuna habari zilizopachikwa katika kurasa za blogu mbili zikionyesha mitazamo tofauti baina ya watu wawili kwa kuibua masuala muhimu kama uhamiaji, ubaguzi wa rangi, ukabila na heshima miongoni mwa watu.

(src)="5.2"> Above all , they illustrate the complex and diverse relationship - with all of the inevitable similarities and differences - of siblings growing up an ocean apart .
(trg)="5.2">Zaidi ya yote, wanabainisha mahusiano ya namna mbalimbali na yenye mchanganyiko - kwa kuwianisha yale yanayofanana na yanayotofautiana - miongoni mwa watoto hao waliotenganishwa na bahari wakati wa makuzi yao.

(src)="7.1"> Polychromed woodcarving of a slave by Luiz Paulino da Cunha .
(trg)="7.1">Kinyago cha mtumwa mweusi kilichochongwa na Luiz Paulino da Cunha.

(src)="7.2"> Photo by Children At Risk Foundation
(trg)="7.2">Picha kwa hisani ya Asasi ya Watoto Walio Hatarini.

(src)="8.1"> Migas , a Brazilian living in Luanda , says the following :
(trg)="8.1">Migas , Mbrazili anayeishi Luanda, anasema yafuatayo:

(src)="9.1"> The Negro was uprooted from his land and sold as merchandise , enslaved .
(trg)="11.1">Mtu mweusi aling'olewa kutoka katika ardhi yake na kuuzwa kama bidhaa, utumwani.

(src)="9.2"> In Brazil he arrived as slave , object ; from his land he departed as a free man .
(trg)="11.2">Aliwasili nchini Brazili kama mtumwa, kifaa; kutoka katika ardhi yake alitoka kama mtu huru.

(src)="9.3"> During the journey , the slave traffic , he lost his personality , but his culture , his history , his landscape , his experiences ; they came with him .
(trg)="11.3">Wakati wa safari, safari ya utumwani, alipoteza utu wake, lakini utamaduni wake, historia yake, nchi yake, na uzoefu wake alikuja navyo.

(src)="10.1"> 300-year history of Negro enslavement in Brazil has made an impact on this country .
(trg)="12.1">Miaka 300 ya historia ya utumwa wa mtu mweusi nchini Brazili imeacha athari kubwa ndani ya nchi hiyo.

(src)="10.2"> Candomblé is one such impact , a religion filled with many secrets , symbols and rituals known only to initiates but it is also a vital part of cultural expression in Brazil .
(trg)="12.2">Candomblé ni mojawapo ya athari hizo, dini iliyojawa na siri nyingi, ishara za matambiko yanayofahamika tu kwa wanaopitipia matambiko hayo lakini pia ni ni sehemu muhimu ya utamaduni wa Brazili.

(src)="10.3"> There are no definitive numbers on how many people in Brazil follow Candomblé .
(trg)="12.3">Hakuna idadi kamili kuhusiana na watu wangapi wanaabudu Candomblé.

(src)="10.4"> The government estimates , conservatively , that there are more than 300,000 centers of worship for Brazil 's Afro-Brazilian religions , which include Candomblé .
(trg)="12.4">Serikali inakadiria, kihafidhina, kwamba kuna vituo zaidi ya 300,000 vya kuabudia imani za Wabrazili wenye asili ya Afrika, ambavyo vinajumuisha Candomblé.

(src)="10.5"> Those participating in these faiths are thought to make-up at least one-third of Brazil 's near 170 million inhabitants .
(trg)="12.5">Wanaoshiriki katika imani hizo wanadhaniwa kufikia angalau theluthi moja ya watu wote wa Brazili wanaokaribia milioni 170.

(src)="10.6"> Many practice both Catholicism and Candomblé .
(trg)="12.6">Wengi wanaabudu katika Ukatoliki na Candomblé.

(src)="11.1"> Bahia , the state with the largest percentage of Blacks , is the capital of this religion , which closely follows its African roots and traditions among the Yoruba people of Nigeria and the Bantu people of Angola and the Congo .
(trg)="12.7">Bahia, jimbo ambalo lina asilimia kubwa zaidi ya watu weusi, ndiyo makao makuu ya dini hii, ambayo inafuata kwa karibu asili yake ya Kiafrika na hasa tamaduni za Kiyoruba za Nigeria na za Kibantu za Angola na Kongo.

(src)="11.2"> Yoruban traditions , including the most commonly used names of the Orixás ( gods of the African pantheon ) , predominate .
(trg)="12.8">Tamaduni za Kiyoruba zinazojumuisha majina yanayotumika sana ya Orisha (miungu ya mahekalu ya Kiafrika), bado inatawala sana.

(src)="12.1"> Today Candomblé is officially recognized and protected by the government of Brazil .
(trg)="12.9">Hivi sasa Candomblé inatambulika rasmi na inalindwa na serikali ya Brazil.

(src)="12.2"> However , during the period of slavery and for many decades following its abolition in Brazil in 1888 , Candomblé practices were banned by the government and by the Catholic church , and its practitioners were severely punished .
(trg)="12.10">Hata hivyo, enzi za utumwa na miongo mingine iliyofuata baada ya kukomeshwa kwa biashara hiyo ya watu nchini Brazil mwaka 1888, ibada za Candomblé zilipigwa marufuku na serikali na kanisa Katoliki, na wafuasi wake waliadhibiwa vikali.

# en/2008_08_08_angola-countdown-to-the-long-awaited-elections_.xml.gz
# sw/2008_08_angola-kuelekea-uchaguzi-unaosubiriwa-kwa-muda-mrefu_.xml.gz


(src)="1.1"> Angola : Countdown to the long awaited elections · Global Voices
(trg)="1.1">Angola: Kuelekea Uchaguzi Unaosubiriwa Kwa Muda Mrefu

(src)="1.2"> It is less than a month for Angola to experience one of the most anticipated episodes in its history .
(trg)="1.2">Ni chini ya chini ya mwezi mmoja kwa Angola kabla ya kuingia zoezi linalosubiriwa zaidi katika aya za historia yake.

(src)="1.3"> Sixteen years since the last elections , Angolans will once again have the opportunity to exercise their right to vote in the upcoming legislative elections , taking place from 5 through 6 September .
(trg)="1.3">Miaka kumi na sita baada ya uchaguzi wake wa mwisho, Waangola kwa mara nyingine tena watapata fursa ya kutumia haki yao ya kupiga kura katika uchaguzi wa bunge,utakaofanyika kuanzia tarehe 5 mpaka 9 Septemba.

(src)="2.1"> The atmosphere is quiet , although there are different feelings among the population .
(trg)="2.1">Hali ni ya ukimya, japokuwa kuna hisia zinazotofautiana katika umma.

(src)="2.2"> The more affluent people say they are going abroad ; some smile and guarantee that nothing will happen because Angolans don 't want war and suffering anymore ; while others rush to stores to buy staple goods , just in case the devil pays and things go wrong , as happened in 1992 .
(trg)="2.2">Watu wanojiweza wanasema watakwenda ughaibuni; wengine wanatabasamu na kujihakikishia kwamba hakuna litakalotokea kwani Waangola hawataki tena vita na mateso; wakati wengine wanakimbilia madukani kunua vyakula, ikiwa muovu atalipa na mambo yataenda vibaya, kama ilivyotokea mwaka 1992.

(src)="2.3"> As a reminder , at that time the largest opposition party , UNITA , contested the polls and fighting broke out , leading to a resumption of the civil war that ended ten years later , with the death of the charismatic leader of that party , Jonas Savimbi .
(trg)="2.3">Kama itakumbukwa, wakati ule chama kikubwa cha upinzani, UNITA, kilishindana katika uchaguzi na mapigano yalizuka, yakapelekea kuibuka tena kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe ambavyo vilimalizika miaka kumi baadaye, na kifo cha kiongozi mwenye mvuto mkubwa wa chama hicho, Jonas Savimbi.

(src)="3.1"> When it comes to foreign businessmen based in Angola , they have no intention of returning to their home countries .
(trg)="4.6">Kiongozi huyo aliongeza kwamba ni muhimu "kuheshimu mitazamo na fikra za wengine" bila kutumia " maneno au vitendo vya vurugu".

(src)="3.2"> The business community is confident that everything will remain the same after the elections and that it is not necessary to change professional commitments .
(trg)="5.1">Tunategemea kuwa wapiga kura milioni 8.3 watakuwa na mazingira yenye amani kwa upigaji kura na watafanya hivyo katika njia ya safi na inayoeleweka vyema.

(src)="3.3"> Jotacê Carranca makes the following reflection on the local atmosphere :
(trg)="5.2">Kuna zaidi ya vituo 12 elfu vya kupigia kura katika dola ya kitaifa.

# en/2008_08_06_arabeyes-mauritanian-president-ousted-in-military-coup-detat_.xml.gz
# sw/2008_08_arabeyes-rais-wa-mauritania-aliyepinduliwa-katika-mapinduzi-ya-kijeshi_.xml.gz


(src)="1.1"> Arabeyes : Mauritanian President Ousted in Military Coup d 'état · Global Voices
(trg)="1.1">Arabeyes: Rais wa Mauritania Aliyepinduliwa Katika mapinduzi ya Kijeshi

(src)="1.2"> Army commanders ousted Mauritania 's first freely elected president in two decades , President Sidi Ould Cheikh Abdallahi , in a military coup d 'état Wednesday after political feuding over the firing of the country 's four top generals .
(trg)="2.1">MAKAMANDA wa jeshi wamemuondoa madarakani Rais Sidi Ould Cheikh Abdallahi, rais wa kwanza kuchaguliwa katika uchaguzi huru katika miongo miwili, katika mapinduzi ya kijeshi yaliyofanywa Jumatano iliyopita baada ya mtafaruku wa kisiasa uliotokana na rais huyo kuwatimua kazi majenerali wanne wa ngazi za juu wa jeshi.

(src)="1.3"> Military commanders announced the formation of a new state council and its leader , General Mohamed Ould Abdel Aziz ( one of the four fired generals ) , on state radio and television stations .
(trg)="2.2">Makamanda wa jeshi walitangaza kuundwa kwa Baraza jipya la taifa na kiongozi wake, Jenerali Mohamed Ould Abdel Aziz (mmoja kati ya majenerali wanne wa jeshi waliotimuliwa), kwenye radio na vituo vya televisheni vya serikali.

(src)="1.4"> General Abdel Aziz was also involved in a 2005 coup d 'état in Mauritania .
(trg)="2.3">Jenerali Abdel Aziz ni miongoni mwa walioshiriki mapinduzi ya kijeshi nchini Mauritania mwaka 2005.

(src)="2.1"> Algerian The Moor Next Door has been blogging the story intensively and reports :
(trg)="3.1">Bloga kutoka Algeria The Moor next Door amekuwa akiblogu habari hii kwa kina anaripoti:

(src)="2.2"> Talking to informed Mauritanians , some of them saw the coup coming during the summer ( as it did ) , in the autumn , or not at all .
(trg)="3.2">Ninapozungumza na Wa-Mauritania wanaojua, baadhi yao walihisi kutokea kwa mapinduzi wakati wa kiangazi kama ilivyotokea, wakati wa kipupwe au isingeweza kutokea kabisa.
(trg)="3.3">Hisia zangu mara zote zilikuwa zikinielekeza kwamba mapinduzi haya yangefanyika majira ya kiangazi (Sijawahi kuandika bayana juu ya hili, lakini nimelielezea hili katika majadiliano na sikutaka kuchangia lolote kuhusiana na sakata hili.

(src)="2.3"> My sense was always that the coup would come this summer ( I never wrote this expressly but I expressed this view in discussion and refrained from commenting on the crisis ( 1 ) because Western Sahara Info. covered it well and there is not point in competing when you ’ re one of two or three bloggers paying attention to it , ( 2 ) I wanted to make sure that if I “ predicted ” it I would not be wrong ; I could have said , “ by the end of May / June / July / August Sidi s government ’ will be no more and been ” wrong ; I ’ m no weather man , and ( 3 ) I ’ ve yet to encounter a Mauritanian that had positive things to say about Sidi beyond his golden personality ) .
(trg)="3.4">(1) kwa sababu Western Sahara Info. taarifa za kutoka Sahara Magharibi zilielezea kinaganaga na hakukuwa na haja ya kushindana ikiwa wewe ni mmoja wa mabloga wawili au watatu unakuwa miongonimwa wanaofuatilia sakata hili kwa karibu sana.
(trg)="3.5">(2) nilitaka kuhakikisha kwamba kama 'ningetabiri' jambo hili nisingekosea; Ningeweza kutabiri kuwa 'Mwishoni mwa miezi ya Mei, Juni, Julai na Agosti Serikali ya Rais Sidi, isingelikuwapo tena' na ningekuwa nimekosea; mimi si mtabiri wa hali ya hewa, na (3) sijawahi kukutana na raia wa Mmauritania ambaye lolote jema la kumzungumza kuhusu Sidi, ukiachilia mbali uzuri wa wajihi wake.)

(src)="2.4"> One of the major pressures that forced Sidi to act the way he did towards the end was the threat of a commission being formed to investigate the financial side of his wife ’ s foundation , which would surely have done him in ever more deeply .
(trg)="3.6">Mojawapo ya mashinikizo yaliyomfanya Rais Sidi afanye alivyofanya ni kuwapo tishio la kuundwa tume huru ya kuchunguza mapesa ya mfuko wa maendeleo wa mkewe, tume ambayo ingemuweka hata yeye mwenyewe pabaya zaidi.

(src)="2.5"> The commission might even have made his administration s ridiculous personal expenditures ’ public .
(trg)="3.7">Tume hiyo pia ingeufanya utawala wa Rais Sidi kituko kutokana na matumizi mabaya ya fedha za umma.

(src)="2.6"> For instance , I am told that his air travels alone cost the state some $ 2 billion , on chartered jets , his family , full entourage , and various other luxuries .
(trg)="3.8">Kwa mfano, nimeambiwa kuwa, safari zake za ndege za nje ziliigharimu serikali zaidi ya dola za Marekani mbili bilioni, kwa kukodisha ndege za kifahari yeye na familia yake na ujumbe wake pamoja na anasa zingine zisizokuwa za lazima.

(src)="2.7"> He was between a rock and a hard place : Either he would be forced to step down ( a la Olmert ) in total shame , or he would be impelled to dissolve parliament and reorganize his government , which would precipitate a coup such as today s ’ , allowing him to save political face .
(trg)="3.9">Kwa hakika alikuwa katika wakati mgumu: Ama angelazimika kujiuzulu (kwa mujibu wa Olmert) katika aibu kubwa au angelazimika kuvunja bunge na hivyo kuunda serikali yake upya, hali ambayo ingempeleka katika mapinduzi kama haya tuliyoyoyashuhudia, ambayo angalau imeficha aibu yake kisiasa.

(src)="2.8"> Flanked on both sides , he moved in desperation and met his fate .
(trg)="3.10">Alibanwa pande zote na alikuwa hana pa kutokea zaidi ya kukumbana na hatima yake.

(src)="2.9"> Western Sahara Info has been blogging the crisis from its outset , and today provided up-to-the-minute information on the coup , including a brief analysis :
(trg)="3.11">Western Sahara Info amekuwa akiblogu mgogoro huu tokea ulipoanza, na leo ametuletea habari za mapinduzi hayo ya kijeshi kama zinavyotokea dakika kwa dakika, pamoja na muhtasari wa unyambuzi:

(src)="2.10"> Quick analysis , which I may regret : a tragedy for Mauritanian democracy , on the one hand , but that didn 't stand much of a chance anyway ; but more importantly , a giant setback for the country 's broader chances of political development .
(trg)="3.12">Uchambuzi wa harakaharaka, ambao naweza kuujutia: balaa kwa demokrasia ya Mauritania, kwa upande mmoja, (demokrasia) ambayo haikuwa na nafasi, lakini muhimu zaidi ni kuwa (mapinduzi haya) yamerudisha nyuma nafasi iliyokuwepo kwa maendeleo ya kisiasa.

(src)="2.11"> While President Abdellahi and his cronies aren 't exactly angels , Generals Ghazouani and Abdelaziz represent the very worst military-parasitic element of the Mauritanian regime , and their refusal to let the civilian side of the regime settle down in power threatens to undo it completely in the long run .
(trg)="3.13">Ingawa, Rais Abdellahi na washirika wake si malaika, lakini Majenerali Ghazouani na Abdelaziz wanawakilisha kundi baya la kinyonyaji katika utawala wa Mauritania, kwa kukataa kuruhusu utawala wa kiraia kutulia madarakani kwa kuwatishia kung'oa kabisa utawala wa kiraia hatimaye.

(src)="2.12"> If the last coup , in August 2005 , could be met with cautious understanding by the international community , having unseated President ould Tayaa , and eventually with praise as it led to a real transformation , this time around it is different .
(trg)="3.14">Kama mapinduzi ya mwisho ya kijeshi yaliyotokea Agosti 2005, yangalieleweka na Jumuiya ya Kimataifa baada ya kung'olewa kwa Rais Ould Tayaa, na hatimaye kupelekea mabadiliko makubwa, mapinduzi haya ya juzi yalikuwa tofauti saana.

(src)="2.13"> What happened in 2005 was that a military-personal-tribal dictatorship was overthrown and the chance arrived to replace it with a civilian semi-authoritarian structure that respected most democratic norms most of the time , and which made sensible moves towards national reconciliation , refugee return and economic development ; not heaven , but infinitely better .
(trg)="3.15">Kilichotokea mwaka 2005 ilikuwa kwamba madikteta wa kijeshi walioegemea katika ukabila waling'atuliwa na nafasi ilijitokeza ikasimika badala yake utawala wa kiraia uliokuwa na muundo wa nusu-mabavu ambao uliruhusu desturi nyingi za kidemokrasia kwa muda mwingi zaidi, (utawala huo) ulishughulikia zaidi muwafaka wa kitaifa, urejeshwaji wa wakimbizi na maendeleo ya kiuchumi; ingawa siyo hema, lakini ilikuwa bora.

(src)="2.14"> This change is now being reversed .
(trg)="3.16">Mabadiliko haya hivi sasa yanageuzwa.

(src)="2.15"> The putschists — even though they are some of the same people as acted in 2005 — must be condemned and the result of the coup overturned if possible ; Mauritania had a golden opportunity to break its vicious circle , and it is now slipping away .
(trg)="3.17">Wapinduaji - japokuwa wengine ni miongoni mwa wale waliofanya mwaka 2005 - - ni lazima walaumiwe na matokeo ya mapinduzi yabatilishwe kama inawezekana; Mauritania ilikuwa na fursa ya pekee kuweza kuvunja mzunguko huu usiokwisha, na sasa (fursa hiyo ya pekee) inaponyoka.

(src)="2.16"> Roads to Iraq , in a post entitled " American orchestrated coup in Mauritania , " reports the news as well :
(trg)="3.18">Blogu ya Roads To Iraq, katikaujumbe wenye kichwa cha habari "Wamarekani walipanga mapinduzi nchini Mauritania," inaripoti habari hiyo vile vile:

(src)="2.17"> Things are happening rapidly in Mauritania , started with a coup this morning , issuing the statement “ no 1 ” on the Mauritanian TV , changing the Head of the TV because he refused to cooperate with the army chief who staged the coup , and announcing a new military junta .
(trg)="4.1">Mambo yanabadilika kwa kasi sana nchini Mauritania, imeanza na mapinduzi asubuhi hii, kwa kutoa "taarifa nambari moja" katika kituo cha televisheni cha Mauritania, Mkuu wa kituo hicho cha televisheni
(trg)="5.1">alibadilishwa sababu alikataa kushirikiana na mkuu wa jeshi aliyeandaa mapinduzi na kumtangaza mtawala mpya wa kijeshi.

(src)="2.18"> In Egypt , Bella says what happened in Mauritania proved that Arabs weren 't cut for democracy .
(trg)="5.2">Huko Misri, Bella anasema kilichotokea Mauritania kimedhihirisha kuwa Waarabu hawakupangwa kwa demokrasia.

(src)="3.1"> It seems that democracy wasn 't made for people like us - who cannot breathe outside military rule .
(trg)="5.3">Inaonekana demokrasia haikuumbwa kwa watu kama sisi - ambao hatuwezi kupumua nje ya tawala za kijeshi.

(src)="4.1"> After giving us a brief history of Mauritania 's young democracy , Bella writes :
(trg)="5.4">Baada ya kutupa historia fupi ya demokrasia changa ya Mauritania Bella anaandika:

(src)="5.1"> This way , Mauritania , which was just about to reap the fruit of democracy in a pioneering move which the entire region was eyeing with excitement , things return to what they were originally , and the military intervened and the coup happened .
(trg)="5.5">Kwa njia hii, Mauritania, ambayo ilikuwa ianze kuvuna matunda ya demokrasia katika msukumo wa kiasisi ambao eneo lote la mataifa ya jirani yalikuwa yanaungalia kwa shauku, mambo yamerejea kule yalikotoka kiasili, na wanajeshi wakaingilia kati na mapinduzi kutokea.

(src)="6.1"> Kuwaiti Wild Il Deera poses a few questions about the coup .
(trg)="5.6">Bloga wa Kuwaiti Wild Il Deera anahoji maswali machache kuhusiana na mapinduzi haya.

(src)="7.1"> ألم يكن الرئيس الموريتاني رئيساً منتخباً من الشعب ؟
(trg)="5.7">Anauliza:

(src)="9.1"> What is the stance of the Arab League from the leaders of this coup ?
(trg)="6.1">Jumuiya ya Kiarabu ina msimamo gani kuhusu viongozi wa mapinduzi haya?

(src)="10.1"> Wasn 't the Mauritanian leader elected by his people ?
(trg)="7.1">Hivi huyu kiongozi wa Mauritania hakuchaguliwa na watu wake?

(src)="11.1"> How can a political group , like the Arab League , which demands that it is respected in Arab and international arenas allow such a military coup to take place in one of its member countries ?
(trg)="8.1">Hivi inawezekanaje kundi la kisiasa, kama Jumuiya ya Kiarabu, ambayo inataka kuheshimiwa katika jamii ya Kiarabu na katika ulingo wa kimataifa ikaruhusu mapinduzi kama haya kufanyika katika moja ya mataifa wanachama wake?

(src)="12.1"> Prolific Moroccan blogger Larbi linked to a news article , remarking :
(trg)="8.7">Mwishoni KABOBfest, ambaye huwa anaingiza vichekesho katika kila hali, anatoa maoni yenye mzaha:

(src)="12.2"> Whereas coup culture in a lot of countries is a thing of the past ( e.g. , Syria ain 't had a coup in a few decades ) some countries like to kick it old skool , harking back to when it seemed like there was a coup-a-week somewhere in the world .
(trg)="8.8">Wakati utamaduni wa mapinduzi katika mataifa mengi ni utamaduni uliopitwa na wakati (kama vile Syria hakujapata kutokea mapinduzi kwa miongo kadhaa sasa) Baadhi ya mataifa yanapendelea mitindo ya kizamani, rejea pale ambapo ianonekana palikuwa na mapinduzi kama juma moja lililopita sehemu fulani hapa duniani.

(src)="12.3"> While Mauritania isn 't Fiji , they are keeping the tradition of pointless coups alive and well in the Arab world .
(trg)="8.9">Wakati Mauritania siyo Fiji, wanadumisha utamaduni usio na maana wa mapinduzi katika dunia ya Waarabu.

(src)="12.4"> The Arabdemocracy blog also has an excellent " obituary " for the young democracy that was .
(trg)="8.10">Blogu ya Arabdemocracy pia anayo taarifa ya maombolezo ya iliyokuwa demokrasia changa.

(src)="13.1"> Photo above is of Sidi Mohamed Ould Cheikh Abdallahi , by Marcello Casal Jr . / Abr ( Setember 2007 )
(trg)="9.1">Picha ya hapo juu ni ya Sidi Mohamed Ould Cheikh Abdallahi iliyopigwa na Marcello Casal Jr./Abr (Septemba 2007)

# en/2008_07_29_bangladesh-tweeting-and-blogging-an-earthqauke_.xml.gz
# sw/2008_08_bangladeshi-ku-twita-na-kublogu-tetemeko-la-ardhi_.xml.gz


(src)="1.1"> Bangladesh : Tweeting and blogging an earthquake · Global Voices
(trg)="1.1">Bangladeshi: Ku-twita na kublogu tetemeko la ardhi

(src)="1.2"> A moderate earthquake jolted Dhaka city on the 27th of July approximately at 00 : 51 hours Bangladesh Time ( + 6 GMT ) .
(trg)="1.2">Tetemeko la ardhi la wastani lilitikisa jiji la Dhaka siku ya tarehe 27 Julai mnamo muda wa saa 00:51 kwa saa za Bangladeshi (+6 GMT).

(src)="1.3"> Russell John reports in his blog :
(trg)="1.3">Russell John anaripoti katika blogu yake:

(src)="2.1"> I was lying on my bed talking to a friend on the phone , and I suddenly felt that the bed was shaking .
(trg)="2.1">Nilikuwa nimelala kwenye kitanda changu huku nikongea kwa simu na rafiki yangu, na ghafla nikahisi kitanda kikitetemeka.

(src)="2.2"> Within 3 seconds , it stopped .
(trg)="2.2">Ndani ya sekunde 3 kikasimama.

(src)="2.3"> My first impression was that a cat got under my bed and it was shaking it , but then I realised that it 's impossible as the bed is way too heavy .
(src)="2.4"> ( Plus there was no cat , I checked ! )
(trg)="2.3">Kwa mtazamo wangu wa kwanza nilidhani ni paka aliyeingia kwenye uvungu wa kitanda na alikuwa akikisukuma-sukuma kitanda, lakini nikagundua kuwa hilo lisingewezekana kwani kitanda ni kizito mno. (aidha hapakuwa na paka, nilihakikisha!)

(src)="3.1"> I quickly asked my friends on IRC , and they said they felt it too .
(trg)="3.1">Niliwauliza marafiki zangu haraka kwa kutumia IRC, na wao wakasema walihisi (tetemeko) pia.

(src)="3.2"> So it was an earthquake for real !
(trg)="4.1">Kwa hiyo lilikuwa ni tetemeko kwa hakika!

(src)="3.3"> Quake in Dhaka at 12 : 51 AM !
(trg)="4.2">Tetemeko ndani ya Dhaka saa 6.51 za usiku.

(src)="3.4"> Russell tweeted instantaneously :
(trg)="4.3">Russell alituma ujumbe wa tweeter mara moja:

(src)="3.5"> Oh my God , I just felt an earthquake !
(trg)="4.4">Mungu wangu, nimelihisi tetemeko la ardhi!

(src)="3.6"> Within next minutes , tweets started to appear confirming that they also felt the earthquake .
(trg)="4.5">Katika dakika chache zilizofuata, jumbe za tweeter zikaanza kutokea zikithibitisha kwamba nao pia walilihisi tetetmeko.

(src)="4.1"> Munaz of Nothing to Lose and Nothing to Gain shared the tweeter feeds of some of his friends :
(trg)="5.1">Munaz wa Nothing to lose and Nothing to Gain akaanza kuonyesha jumbe nyingine za tweeter zilizotumwa na marafiki zake:

(src)="6.1"> Information online was hard to come by ( except some Bangla blogs ) and everybody was trying to get updates .
(trg)="7.1">Ilikuwa ni vigumu kupata habari katika mtandao (isipokuwa kwenye blogu za lugha ya ki-bangla) na kila mtu alikuwa akijaribu kupata habari zilizosasishwa.

(src)="6.2"> So Bauani of Information blog contacted U.S. Geological Survey , National Earthquake Information Center and posted the find :
(trg)="7.2">Hivyo Bauani wa Information blogs akawasiliana na U.S geological Survey, National Earthquake Information na akabadika ujumbe wa alichokipata:

(src)="7.1"> Magnitude : 4.9
(trg)="8.1">Ukubwa: 4.9

(src)="8.1"> Date-Time : Saturday , July 26 , 2008 at 18 : 51 : 49 UTC
(trg)="9.1">Tarehe-saa: Jumamosi, Julai 26, 2008 saa 18:51:49 UTC

(src)="9.1"> Location : 24.773 ° N , 90.480 ° E
(trg)="10.1">Sehemu: 24.773°Maskasini, 90.480°Mashariki

(src)="10.1"> Depth : 5.2 km ( 3.2 miles ) ( poorly constrained )
(trg)="11.1">Urefu kwa kwenda chini: km5.2 (maili 3.2)

(src)="11.1"> Region : BANGLADESH
(trg)="12.1">Eneo: BANGLADESHI

(src)="12.1"> He was also posting the updates as and when available .
(trg)="12.2">Alikuwa pia akituma jumbe zilizosasishwa kama na wakati habari mpya zilivyopatikana.

(src)="13.1"> Apparently no casualties were reported but it rattled the affected people of Dhaka , a populous mega city .
(trg)="13.1">Hapakuwa na majeruhi walioripotiwa lakini (tetemeko) lilitikisa na kuwaathiri watu wa jiji kubwa lenye wakazi wengi la Dhaka.

(src)="14.1"> Rumi of In The Middle of Nowhere writes :
(trg)="14.1">Rumi wa In the Middle of Nowhere anaandika:

(src)="16.1"> Map of all the major and minor tectonic plates of the world
(src)="17.1"> If you can locate Bangladesh in the world map , you will see two plate boundaries , i.e. two fault lines cross Bangladesh .... many scientists have been warning about the probability of a devastating 8-9 Richter scale catastrophic earthquake in the northeastern and southeastern parts of Bangladesh .
(trg)="16.1">Kama naweza kuiona Bangladeshi kwenye ramani ya dunia, utaona mipaka ya sahani mbili, yaani, mistari ya inayokutanisha (au kutenganisha) magamba ya miamba-nchi inapita katikati ya Bangladeshi… wanasayansi wengi wamekuwa wakionya kuhusu uwezekano wa kutokea kwa tetemeko la ardhi lenye athari kubwa, 8-9 kwa vipimo vya skeli ya rikta huko kaskazini-mashariki na kusini-mashariki mwa Bangladeshi.

(src)="17.2"> So , ( a ) major earthquake is also possible in Bangladesh .
(trg)="16.2">Kwa hiyo (a) kuna uwezekano wa kutokea tetemeko kubwa la ardhi katika Bangladeshi.

(src)="17.3"> Are we ready ?
(trg)="16.3">Je tupo tayari?

# en/2008_08_17_caribbean-lightning-bolt-strikes-beijing_.xml.gz
# sw/2008_08_karibeani-radi-ya-bolt-yaipiga-beijing_.xml.gz


(src)="1.1"> Caribbean : Lightning Bolt Strikes Beijing · Global Voices
(trg)="1.1">Karibeani: Radi ya Bolt Yaipiga Beijing

(src)="2.1"> " Lightning Bolt " - Screenshot by hybridvigour .
(trg)="2.1">“Radi ya Bolt” - Picha na hybridvigour.